Secrets of success in 8 words, 3 minutes | Richard St. John

3,399,026 views ・ 2007-01-06

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Sophia Mwema Reviewer: Nelson Simfukwe
Huu ni mjadala wa kweli wa masaa mawili nilioutoa kwa wanafunzi wa sekondari,
unakatiza kwa dakika tatu.
Na yote yalianza siku moja nikiwa kwenye ndege, nikielekea TED,
miaka saba iliyopita.
Na katika siti iIiyopo pembeni yangu alikuwapo mwanafunzi wa sekondari, kijana,
alitokea katika familia masikini sana.
00:25
This is really a two-hour presentation I give to high school students,
0
25031
3290
Na alitaka kujitengenezea maisha,
00:28
cut down to three minutes.
1
28345
1251
00:29
And it all started one day on a plane, on my way to TED,
2
29620
2641
akaniuliza swali rahisi.
Alisema, "Ni nini husababisha mafanikio?"
00:32
seven years ago.
3
32285
1294
00:33
And in the seat next to me was a high school student, a teenager,
4
33603
4373
Na nilijisikia vibaya sana,
kwa sababu sikuweza kumpa jibu zuri.
Hivyo nilitoka kwenye ndege, na kuja TED.
00:38
and she came from a really poor family.
5
38000
2007
Na nikafikiri, lahaula, niko miongoni mwa watu wenye mafanikio!
00:40
And she wanted to make something of her life,
6
40483
2493
00:43
and she asked me a simple little question.
7
43000
2039
Kwa nini nisiwaulize wao nini kiliwasaidia kufanikiwa,
00:45
She said, "What leads to success?"
8
45063
1945
na kuwaelimisha watoto?
00:47
And I felt really badly,
9
47032
1379
00:48
because I couldn't give her a good answer.
10
48435
2461
Hivyo, miaka saba, mahojiano 500 baadaye,
00:50
So I get off the plane, and I come to TED.
11
50920
2056
nitawaambia nini hasa hupelekea mafanikio
00:53
And I think, jeez, I'm in the middle of a room of successful people!
12
53000
3730
yanayowasukuma wanaTED.
00:56
So why don't I ask them what helped them succeed,
13
56754
2611
Na jambo la kwanza ni shauku.
00:59
and pass it on to kids?
14
59389
1714
Freeman Thomas anasema, "Ninaendeshwa na shauku yangu."
01:01
So here we are, seven years, 500 interviews later,
15
61817
3609
WanaTED hufanya yote kwa sababu ya upendo; hawafanyi kwa ajili ya fedha.
01:05
and I'm going to tell you what really leads to success
16
65450
2940
Carol Coletta anasema, "Ningelipa mtu kufanya ninachofanya. "
01:08
and makes TEDsters tick.
17
68414
1365
Na jambo la kushangaza ni:
01:10
And the first thing is passion.
18
70367
1609
ukifanya kwa upendo, pesa huja hata hivyo.
01:12
Freeman Thomas says, "I'm driven by my passion."
19
72787
2532
Kazi! Rupert Murdoch aliniambia, "Yote ni kazi ngumu.
01:15
TEDsters do it for love; they don't do it for money.
20
75763
2460
Hakuna kitu kinakuja kwa urahisi. Lakini ninaifurahia kazi yangu. "
01:18
Carol Coletta says, "I would pay someone to do what I do."
21
78247
3484
Amesema furaha? Rupert? Ndiyo!
01:21
And the interesting thing is:
22
81755
1411
(Vicheko)
01:23
if you do it for love, the money comes anyway.
23
83190
2191
WanaTED hufurahia kazi zao. Na hufanya kazi kwa bidii.
01:25
Work! Rupert Murdoch said to me, "It's all hard work.
24
85866
3110
Niligundua, sio workaholics. Ni workafrolics.
01:29
Nothing comes easily. But I have a lot of fun."
25
89000
3083
(Vicheko)
Vyema!
(Makofi)
01:32
Did he say fun? Rupert? Yes!
26
92107
2870
Alex Garden anasema, "Ili kufanikiwa, weka jitihada katika kitu kimoja
01:35
(Laughter)
27
95001
1476
01:36
TEDsters do have fun working. And they work hard.
28
96501
2746
na kuwa mtaalamu kwenye hilo."
Hakuna mazingaombwe; ni mazoezi, mazoezi, mazoezi.
01:39
I figured, they're not workaholics. They're workafrolics.
29
99271
2953
Na ni lengo.
Norman Jewison aliniambia,
01:42
(Laughter)
30
102248
1590
01:43
Good!
31
103862
1057
"Nadhani huhusiana na kujishughulisha na jambo moja. "
01:44
(Applause)
32
104943
1001
01:45
Alex Garden says, "To be successful, put your nose down in something
33
105968
3346
Na kukazana!
Daudi Gallo anasema, "Jisukume.
01:49
and get damn good at it."
34
109338
1246
01:50
There's no magic; it's practice, practice, practice.
35
110608
2842
Kimwili, kiakili, unapaswa kujisukuma, kujisukuma, kujisukuma."
Unahitaji kujisukuma kutoka katika aibu na mashaka.
01:53
And it's focus.
36
113474
1019
01:54
Norman Jewison said to me,
37
114517
1734
Goldie Hawn anasema, "Siku zote nilikuwa na mashaka.
01:56
"I think it all has to do with focusing yourself on one thing."
38
116275
2992
Sikuwa na ujuzi wakutosha; Sikukuwa na kipaji cha kutosha.
01:59
And push!
39
119773
1065
Sikufikiri ningeweza kufanikiwa."
02:01
David Gallo says, "Push yourself.
40
121235
1988
Daima si rahisi kujisukuma,
02:03
Physically, mentally, you've got to push, push, push."
41
123247
2642
na ndiyo maana tuna mama.
02:05
You've got to push through shyness and self-doubt.
42
125913
2611
(Vicheko)
(Makofi)
02:08
Goldie Hawn says, "I always had self-doubts.
43
128548
2428
Frank Gehry aliniambia,
02:11
I wasn't good enough; I wasn't smart enough.
44
131000
2096
"Mama yangu alinisukuma."
02:13
I didn't think I'd make it."
45
133120
1543
(Vicheko)
Tumikia!
02:15
Now it's not always easy to push yourself,
46
135264
2039
Sherwin Nuland anasema, "Ilikuwa ni fursa kutumikia kama daktari."
02:17
and that's why they invented mothers.
47
137327
2088
02:19
(Laughter)
48
139439
1000
Watoto wengi wanataka kuwa mamilionea.
02:20
(Applause)
49
140439
1561
02:22
Frank Gehry said to me,
50
142000
2976
Jambo la kwanza ninalosema ni:
"Sawa, vizuri huwezi kujihudumia mwenyewe;
02:25
"My mother pushed me."
51
145000
1370
unapaswa kutumikia wengine kitu cha thamani.
02:26
(Laughter)
52
146394
1214
02:27
Serve!
53
147632
1016
Kwa sababu hiyo ndiyo njia watu hupata utajiri. "
02:29
Sherwin Nuland says, "It was a privilege to serve as a doctor."
54
149427
3039
Mawazo!
MwanaTED Bill Gates anasema, "Nilikuwa na wazo:
02:33
A lot of kids want to be millionaires.
55
153093
2110
kuanzisha kampuni ya kwanza ya programu za mikro-kompyuta."
02:35
The first thing I say is:
56
155227
1250
02:36
"OK, well you can't serve yourself;
57
156501
1902
Ningependa kusema ni wazo zuri sana.
02:38
you've got to serve others something of value.
58
158427
2237
Na hakuna miujiza katika ubunifu wa mawazo mapya --
02:40
Because that's the way people really get rich."
59
160688
2537
ni kufanya baadhi ya mambo rahisi sana.
02:44
Ideas!
60
164074
1025
02:45
TEDster Bill Gates says, "I had an idea:
61
165123
2853
Na ninatoa ushahidi mwingi.
Stahimili!
02:48
founding the first micro-computer software company."
62
168000
2976
Joe Kraus anasema,
"Ustahimilifu ni sababu namba moja ya mafanikio yetu. "
02:51
I'd say it was a pretty good idea.
63
171000
1976
Unahitaji kustahimili unapofeli. Unahitaji kustahimili misukosuko!
02:53
And there's no magic to creativity in coming up with ideas --
64
173000
2976
02:56
it's just doing some very simple things.
65
176000
2335
Ambayo ni "Kukosolewa, Kukataliwa, Watu ovyo na Presha."
02:58
And I give lots of evidence.
66
178359
1617
(Vicheko)
03:00
Persist!
67
180291
1114
03:01
Joe Kraus says,
68
181799
1001
03:02
"Persistence is the number one reason for our success."
69
182824
2594
Hivyo, jibu kwa swali hili ni rahisi:
03:05
You've got to persist through failure. You've got to persist through crap!
70
185832
3542
Lipa dola 4,000 na uje kwenye TED.
(Vicheko)
03:09
Which of course means "Criticism, Rejection, Assholes and Pressure."
71
189398
3515
Au ukishindwa hilo, fanya mambo haya nane - na niamini,
03:12
(Laughter)
72
192937
2766
haya ni mambo makuu nane ambayo huleta mafanikio.
03:15
So, the answer to this question is simple:
73
195727
3719
Asanteni wanaTED kwa mahojiano yenu yote!
(Makofi)
03:19
Pay 4,000 bucks and come to TED.
74
199470
2125
03:21
(Laughter)
75
201619
1193
03:22
Or failing that, do the eight things -- and trust me,
76
202836
2738
03:25
these are the big eight things that lead to success.
77
205598
3220
03:28
Thank you TEDsters for all your interviews!
78
208842
2719
03:31
(Applause)
79
211585
3000
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7