The tyranny of merit | Michael Sandel

495,768 views ・ 2020-09-15

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Hanningtone Omollo Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
Here's a question we should all be asking:
0
12714
2818
Kuna swali tunafaa kujiuliza:
00:15
What went wrong?
1
15556
1769
Kipi hakikwenda sawa?
00:17
Not just with the pandemic
2
17349
1858
Si tu kuhusiana na janga
00:19
but with our civic life.
3
19231
2000
lakini na uraia wetu.
00:21
What brought us to this polarized, rancorous political moment?
4
21544
4682
Nini kilichotuletea huu mgawano na chuki kisiasa ?
00:27
In recent decades,
5
27147
1454
Kwa miongo ya karibu,
00:28
the divide between winners and losers has been deepening,
6
28625
4270
utengano baina ya washindi na walioshindwa umezidi,
00:32
poisoning our politics,
7
32919
1991
na kutia sumu siasa yetu,
00:34
setting us apart.
8
34934
2199
kututenganisha.
00:37
This divide is partly about inequality.
9
37157
3885
Mgawanyiko huu unahusu udhalimu kwa kiasi fulani.
00:41
But it's also about the attitudes toward winning and losing
10
41577
4647
Lakini pia mtazamo kuhusu kushinda na kushindwa
00:46
that have come with it.
11
46248
1587
ambayo huja nayo.
00:47
Those who landed on top
12
47859
1651
Walio kileleni
00:49
came to believe that their success was their own doing,
13
49534
4257
wanaamini ufanisi wao ni juhudi yao,
00:54
a measure of their merit,
14
54196
2000
kipimo cha ustahili wao,
00:56
and that those who lost out had no one to blame but themselves.
15
56522
4428
na walioanguka hawana wa kulaumu bali nafsi zao.
01:02
This way of thinking about success
16
62177
2381
Mtazamo huu wa mafanikio
01:04
arises from a seemingly attractive principle.
17
64582
3418
unatokana na kanuni inayovutia,
01:08
If everyone has an equal chance,
18
68772
2408
kwamba kila mtu ana nafasi sawa,
01:11
the winners deserve their winnings.
19
71204
2976
na washindi wanstahili ushindi wao.
01:14
This is the heart of the meritocratic ideal.
20
74927
3816
Huu ndio kiini cha wazo la ustahi.
01:19
In practice, of course, we fall far short.
21
79849
3482
Kwa vitendo,bila shaka, tuna upungufu.
01:24
Not everybody has an equal chance to rise.
22
84581
3405
Si kila mtu ana nafasi sawa kuinuka.
01:29
Children born to poor families tend to stay poor when they grow up.
23
89006
4912
Watoto wazaliwao kwa jamii maskini hukua kwa umaskini,
01:34
Affluent parents are able to pass their advantages onto their kids.
24
94648
4887
Wazazi tajiri wana uwezo kupitisha manufaa kwa wototo wao.
01:40
At Ivy League universities, for example,
25
100083
3524
Kwa mfano, katika vyuo bora zaidi,
01:43
there are more students from the top one percent
26
103631
3400
idadi wengi wametoka familia tajiri sana
01:47
than from the entire bottom half of the country combined.
27
107055
4881
kushinda nusu ya chini ya nchi ukijumuishwa.
01:53
But the problem isn't only that we fail to live up
28
113627
4020
Shida sio tu kushindwa kufikia
01:57
to the meritocratic principles we proclaim.
29
117671
2912
mawazo ya ustahi tunavyopiga mbiu.
02:01
The ideal itself is flawed.
30
121583
2875
Wazo lenyewe lina kasoro.
02:04
It has a dark side.
31
124792
1634
Ina dosari.
02:06
Meritocracy is corrosive of the common good.
32
126887
4071
Ustahi una madhara kwa manufaa kwa watu wote.
02:11
It leads to hubris among the winners
33
131839
2505
unaleta kiburi kwa washindi
02:15
and humiliation among those who lose out.
34
135538
3670
na kufedhehesha waliopeteza.
02:20
It encourages the successful to inhale too deeply of their success,
35
140050
5593
huchochea washindi kujiona bora zaidi
02:25
to forget the luck and good fortune that helped them on their way.
36
145667
4875
na kusahau nasibu na uenyemali iliyowasaidia kupata mafanikio.
02:31
And it leads them to look down on those less fortunate,
37
151002
4381
Na kupelekea kuonea wasiobahatika,
02:35
less credentialed than themselves.
38
155407
2769
na wasio na wasifi kama wao.
02:39
This matters for politics.
39
159085
2484
Huu hujalisha kisiasa.
02:42
One of the most potent sources of the populous backlash
40
162490
4960
Mojawapo ya chanzo kuu cha upinzani maarufu
02:47
is the sense among many working people that elites look down on them.
41
167474
5333
miongoni mwa wafanyikazi ni dhana ya wasomi kuwadharau.
02:53
It's a legitimate complaint.
42
173708
2000
Ni lawama halali.
02:56
Even as globalization brought deepening inequality
43
176589
5266
Ingawaje utandawazi umezidi kukosesha usawa
03:01
and stagnant wages,
44
181879
1405
na mshahara usioongezeka,
03:04
its proponents offered workers some bracing advice.
45
184506
4773
watetezi wake walishauri wafanyikazi.
03:10
"If you want to compete and win in the global economy,
46
190359
3460
"Kama unataka kushindana na kushinada karika uchumi wa kimataifa,
03:13
go to college."
47
193843
1468
enda chuo"
03:15
"What you earn depends on what you learn."
48
195776
2974
"Mapato yako yanalingana na masomo yako"
03:19
"You can make it if you try."
49
199125
2000
"Utafaulu ukijaribu"
03:22
These elites miss the insult implicit in this advice.
50
202327
5889
Hawa wasomi hawazingatii tusi fiche kwenye huu ushauri.
03:29
If you don't go to college,
51
209260
1865
Usipoenda chuo,
03:31
if you don't flourish in the new economy,
52
211149
3496
usiponawiri kwenye huu uchumi mpya,
03:34
your failure is your fault.
53
214669
2623
basi shida ni lako.
03:37
That's the implication.
54
217819
1674
Huo ndio sababu.
03:39
It's no wonder many working people turned against meritocratic elites.
55
219851
5649
Si ajabu wafanyikzi wengi waligeukia ustahi wa wasomi.
03:46
So what should we do?
56
226506
1714
Tunafaa tufanye nini ?
03:48
We need to rethink three aspects of our civic life.
57
228609
4055
Tunafaa kuwazia kipengee tatu cha uraia wetu.
03:53
The role of college,
58
233331
1310
Nafasi ya chuo,
03:54
the dignity of work
59
234665
1579
usharifu wa kazi
03:56
and the meaning of success.
60
236268
1714
na maana ya ufanisi.
03:59
We should begin by rethinking the role of universities
61
239149
4148
Tunafaa kuwazia tena nafasi ya vyuo
04:03
as arbiters of opportunity.
62
243321
2679
kama suluhishi la fursa.
04:07
For those of us who spend our days in the company of the credentialed,
63
247583
4877
Kwa watu kama sisi tunaotangamana na wasomi,
04:12
it's easy to forget a simple fact:
64
252484
3269
ni rahisi kusahau hakika sahili:
04:16
Most people don't have a four-year college degree.
65
256530
3995
Watu wengi hawana sahada la miaka minee chuoni.
04:21
In fact, nearly two-thirds of Americans don't.
66
261077
4131
Kwa hakika, thuluthi mbili Wamerikani hawana.
04:25
So it is folly to create an economy
67
265978
4064
Kwa hivyo ni upumbavu kujenga uchumi
04:30
that makes a university diploma a necessary condition
68
270066
5177
inayoshurutisha shahada ya chuo
04:35
of dignified work and a decent life.
69
275267
3275
ili kuwepo na maisha sharifu.
04:39
Encouraging people to go to college is a good thing.
70
279307
3651
Kuhimiza watu kwenda chuo ni wazo mzuri.
04:42
Broadening access for those who can't afford it
71
282982
2778
Upanuzi wa ufikavu kwa wasiojiweza
04:45
is even better.
72
285784
1364
ni bora zaidi
04:47
But this is not a solution to inequality.
73
287553
2572
Lakini huu si suluhu la kutokuwa na usawe.
04:50
We should focus less on arming people for meritocratic combat,
74
290948
5476
Haina faida kuandaa watu kupambania ustahi
04:56
and focus more on making life better
75
296448
3734
ni kuboresha maisha tunafaa kuzingatia
05:00
for people who lack a diploma
76
300206
2413
kwa watu hawana diploma
05:02
but who make essential contributions to our society.
77
302643
4134
lakini wenye mchango muhimu katika jamii.
05:07
We should renew the dignity of work
78
307728
2444
Tunafaa kufufua usharifu wa kazi.
05:10
and place it at the center of our politics.
79
310196
2555
na kuiweka kati kwenye siasa zetu
05:13
We should remember that work is not only about making a living,
80
313272
5023
Tunafaa kukumbuaka kazi sio tu kupata riziki,
05:18
it's also about contributing to the common good
81
318319
3425
ila pia ni kuchangia uzuri wa pamoja
05:21
and winning recognition for doing so.
82
321768
2774
na kushindania utambuzi wakati huo
05:25
Robert F. Kennedy put it well half a century ago.
83
325030
3642
Robert F. Kennedy alisema vyema nusu karne iliyopita
05:29
Fellowship, community, shared patriotism.
84
329117
3683
Ushirika,jumuiya, uzalendo shirika
05:33
These essential values do not come
85
333438
3334
Malengo haya hayaji
05:36
from just buying and consuming goods together.
86
336796
2871
kwa ununuzi na ulaji wa bidhaa pamoja.
05:40
They come from dignified employment,
87
340863
2484
Zinatokana na ajira adhama,
05:43
at decent pay.
88
343371
1785
kwa mshahara lifaalo.
05:45
The kind of employment that enables us to say,
89
345180
3758
Ni aina ya ajira inatuwezesha kusema,
05:48
"I helped to build this country.
90
348962
2000
"Nilichangia ujuenzi wa huu nchi.
05:51
I am a participant in its great public ventures."
91
351522
3978
Mimi ni mshiriki wa ubia umma zake kubwa"
05:56
This civic sentiment
92
356800
2722
Huu hisia wa uraia
05:59
is largely missing from our public life today.
93
359546
4079
Haipo pakubwa katika maisha ya umma siku hizi
06:04
We often assume that the money people make
94
364788
3777
Mara mingi tunadhania kipato cha watu
06:08
is the measure of their contribution to the common good.
95
368589
3289
ni kipimo cha mchango wao kwa mazuri kwa wote
06:12
But this is a mistake.
96
372807
1817
Huu ni kosa.
06:15
Martin Luther King Jr. explained why.
97
375450
2717
Martin Luther King Jr alielezea mbona.
06:19
Reflecting on a strike by sanitation workers
98
379355
3762
Kwa kutafakari mgomo wa wasafishaji mazingira
06:23
in Memphis, Tennessee,
99
383141
2001
uko Memphis, Tennessee,
06:25
shortly before he was assassinated,
100
385166
2000
muda mfupi kabla hajawawa,
06:28
King said,
101
388097
1587
King alisema,
06:29
"The person who picks up our garbage is, in the final analysis,
102
389708
5024
"Mtu anyezoa takataka, kwa uchambuzi wa kina,
06:34
as significant as the physician,
103
394756
2682
ana umuhimu sawa na daktari,
06:38
for if he doesn't do his job,
104
398855
2230
asipofanya kazi yake,
06:41
diseases are rampant.
105
401109
2000
magonjwa yanakithiri.
06:44
All labor has dignity."
106
404014
2778
Kazi zote zina usharifu"
06:47
Today's pandemic makes this clear.
107
407637
2428
Janga tunao leo unadhihirisha huu.
06:50
It reveals how deeply we rely
108
410589
3044
Unaonyesha tunavyotegemea sana
06:53
on workers we often overlook.
109
413657
3007
wafanykazi kunapuuza wakati mwingi.
06:57
Delivery workers,
110
417567
1621
Wafanyikazi wa upelekaji,
06:59
maintenance workers,
111
419212
1881
wafanyikazi wa matengenezo,
07:01
grocery store clerks,
112
421117
1897
karani wa duka,
07:03
warehouse workers,
113
423038
1671
wafanyikazi wa bohari,
07:04
truckers,
114
424733
1360
madereva wa lori,
07:06
nurse assistants,
115
426117
1627
wauguzi wasaidizi,
07:07
childcare workers,
116
427768
1642
watunza watoto,
07:09
home health care providers.
117
429434
2000
wahuduma wa afya nyumbani.
07:11
These are not the best-paid or most honored workers.
118
431776
4431
Wafanyikazi hawa kipato ni duni na wanapuuziliwa.
07:17
But now, we see them as essential workers.
119
437234
3936
Lakini sasa, tunawaona muhimu.
07:22
This is a moment for a public debate
120
442337
3805
Huu ni fursa wa mjadala wa umma
07:26
about how to bring their pay and recognition
121
446166
3625
kuhusu kuinua mapato yao na kuwatambua
07:29
into better alignment with the importance of their work.
122
449815
4111
kulingana na umuhimu wa kazi wanayofanya.
07:34
It is also time for a moral, even spiritual, turning,
123
454450
6199
Ni wakati wa kubadili maadili, hata roho,
07:40
questioning our meritocratic hubris.
124
460673
3701
kuulizia kiburi cha ustahi.
07:45
Do I morally deserve the talents that enable me to flourish?
125
465645
4253
Kimaadili,nastahiki talanta zinazoniwezesha kunawiri ?
07:50
Is it my doing
126
470533
1934
Ni uwezo wangu
07:52
that I live in a society that prizes the talents
127
472491
3642
kua naishi katika jamii inayothamini talanta
07:56
I happen to have?
128
476157
1718
ninazo ?
07:58
Or is that my good luck?
129
478315
2000
Ama ni bahati ?
08:01
Insisting that my success is my due
130
481042
3841
Kusisitiza ufanisi ni haki yangu
08:04
makes it hard to see myself in other people's shoes.
131
484907
4348
huleta ugumu kujiweka kwa niaba ya watu wengine.
08:10
Appreciating the role of luck in life
132
490188
2841
Kuthamini nafasi ya baraka maishani
08:13
can prompt a certain humility.
133
493053
2000
yanaweza leta unyenyekevu flani.
08:15
There but for the accident of birth, or the grace of God,
134
495879
4317
Kama si kwa ajali ya uzazi, ama neema ya mungu
08:20
or the mystery of fate,
135
500220
1874
ama fimbo la hatima,
08:22
go I.
136
502118
1257
ningekua nani.
08:24
This spirit of humility
137
504379
2357
Huu moyo wa unyenyekevu
08:26
is the civic virtue we need now.
138
506760
2595
ndio fadhila ya uraia tunahitaji sasa.
08:30
It's the beginning of a way back
139
510101
2421
Ndio mwanzo wa kurudi
08:32
from the harsh ethic of success that drives us apart.
140
512546
4246
toka maadili makali ya ufanisi unaotutenganisha.
08:37
It points us beyond the tyranny of merit
141
517466
4106
Inatuelekeza kupita ubabe wa ustahi
08:41
to a less rancorous, more generous public life.
142
521596
4118
hadi maisha ya ukarimu zaidi ya umma
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7