Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | Madame Gandhi

30,287 views ・ 2020-09-09

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Alakara Priscilla Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
So often,
0
13930
1161
Mara nyinyi
00:15
I'll take a fitness class,
1
15115
1953
Huwa nachukua darasa la mazoezi
00:17
or I'll go to a music venue,
2
17092
2832
Au naenda kwenye ukumbi wa muziki
00:19
or, really, anywhere that plays music in the background,
3
19948
3335
Au, kwa kweli, popote panapochezwa muziki kwa nyuma
00:23
and I'll find myself loving the rhythms
4
23307
3029
na najipata nayapenda mahadhi
00:26
and the melodies and the beats ...
5
26360
2393
na wimbo na midundo
00:29
And then I take a second to listen to the lyrics,
6
29357
2599
alafu nachukua Sekunde kuyasikiza maneno ya muziki
00:31
lyrics that, for example, place us in a position of subservience
7
31980
3616
maneno ambayo, kwa mfano
Yanatuweka katika nafasi ya utiifu
00:35
that we would never tolerate in any other context.
8
35620
3232
ambayo hatungevumilia katika mukhtadha wowote mwingine
00:38
And I'm aghast at the degree to which we normalize sexism in our culture.
9
38876
4277
Na nashangaa kiwango ambacho
tunafanya taasubi kuwa kawaida katika utamaduni wetu
00:43
I listen to this music and I'm like,
10
43177
2419
Nasikiliza wimbo huu na kufikiri
00:45
I don't want to have to turn up to the sound of my own oppression.
11
45620
3127
Sitaki kulazimika kuibuka kwa sauti ya huzuni yangu mwenyewe
00:48
You know, music is one of the most powerful forms of communication,
12
48771
5923
Unajua, muziki Ni moja ya mbinu za kuwasiliana ambayo Ina nguvu zaidi
00:54
because it has the potential to either uplift or oppress.
13
54718
4032
Kwa sababu Ina uwezo wa kuinua au kuhuzunisha
00:59
Music caters to the emotions. Music caters to the soul.
14
59567
3458
Muziki inahudumia hisia. Muziki inahudumia roho
01:03
Music opens up our soul.
15
63049
1716
Muziki yafungua roho zetu
01:04
It opens up our channels to receive information
16
64789
2356
Yafungua njia zetu kupokea habari
01:07
about somebody else's walk of life,
17
67169
1836
Kuhusu maisha ya mtu mwengine
01:09
to inform our own roles.
18
69029
2141
Kujuza majukumu yetu wenyewe
01:11
And while I have no problem with male fantasy,
19
71194
4161
Na ingawa Sina shida na ndoto zao wanaume
01:15
what I do have a problem with
20
75379
2127
Kile ambacho Nina shida nacho Ni,
01:17
is that, according to a recent study, only 2.6 percent of all music producers
21
77530
5760
Kulingana na matokeo ya utafiti hivi majuzi,
2.6 pekee ya waimbji Ni wanawake. Hii inamaanisha kuwa
01:23
identify as women.
22
83314
1472
01:24
That means an even smaller percentage identify as trans or gender nonconforming.
23
84810
4193
hata asilimia ndogo zaidi Ni wa jinsia nyingine
01:29
And why does this matter?
24
89669
1828
Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
01:31
Because, if we don't own and control our own narrative,
25
91521
3409
Kwa sababu Kama hatumiliki na kudhibiti hadithi yetu
01:34
somebody else will tell our stories for us,
26
94954
3167
Mtu mwengine atatusemea hadithi zetu
01:38
and they will get it wrong,
27
98145
1813
Na itakuwa na makosa
01:39
perpetuating the very myths that hold us back.
28
99982
3151
Na kuendeleza hadithi zenyewe za uongo zinazoturudisha nyuma
01:43
And I'm not here to tell other people how to make their music.
29
103565
3609
Na sijakuja hapa kuwaambia wengine jinsi ya kutengeneza nyimbo zao
01:48
But I am here to provide and design the alternative.
30
108063
3639
Lakini Niko hapa kutoa mbadala wake
01:52
One strategy I take in my music
31
112250
3180
Mkakati mmoja ninaouchukua katika muziki wangu
01:55
is making uplifting, energetic, percussive global beats
32
115454
5020
Ni kutengeneza midundo yenye kupa nguvu na kuinua
02:00
and placing lyrics on top of them
33
120498
1739
Na kueka maneno ninayosema juu yao
02:02
that genuinely describe my life's experiences
34
122261
3552
Inayoeleza kwa halisi matukio ya maisha yangu
02:05
without contributing to the oppression of anybody else.
35
125837
2863
Bila kuchangia kuteseka kwa mwengine
02:09
It's funny, because it's the same reason
36
129152
2258
Ni ya kuchekesha kwani Ni sababu hii hii
02:11
as to why we excuse so many problematic lyrics;
37
131434
3775
Inayotufanya tupuuze maneno mengi yanayoleta shida
02:15
it's because we love how the beats make us feel.
38
135233
2761
Ni kwa sababu tunapenda hisia zinazoletwa na midundo
02:19
An example of this is my song "Top Knot Turn Up."
39
139144
4058
Mfano wa nyimbo hizi Ni wimbo wangu: "Top knot turn up"
02:26
(Music: "Top Knot Turn Up")
40
146015
2441
(Muziki: "Top knot turn up)
02:43
(Sings) I turned off my phone's notifications so I have more time /
41
163075
3935
(aimba) Nilizima arifa za simu yangu ili niwe na wakati
02:47
No bubbles to trouble my clear state of mind /
42
167034
3604
Hakuna Cha kusumbua utulivu wangu
02:50
One thing to know, I'm not here to please /
43
170662
2098
Kitu kimoja kijulikane sijakuja hapa kufurahisha
02:52
Hair tied up, I do it properly /
44
172784
1904
Nywele inapofungwa, naifanya vizuri
02:54
My time is not your property /
45
174712
1517
Wakati wangu si mali yako
02:56
When I'm productive like my ovaries, eyy! /
46
176253
2271
Nikiwa na nguvu za uzalishaji Kama ovari zangu
02:58
Give a grown girl room to breathe, basic rights and her liberty /
47
178548
3403
Mpe msichana mzima nafasi ya kupumua haki za kimsingi na Uhuru wake
03:01
Free from insecurity that the world's projecting onto me /
48
181975
3562
Bila ukosefu wa usalama ambayo dunia inanisababishia
03:05
Please do not trouble me when I am focused /
49
185561
2046
Tafadhali usinisumbue nikiwa makini
03:07
The future is female you already know this /
50
187621
2047
Siku zijazo wanawake watawala, tayari unajua hili
03:09
I'm fighting against the corruption on SCOTUS /
51
189682
2199
Napiga ufisadi katika SCOTUS
03:11
Turned up in my top knot since when I first wrote this /
52
191905
2839
Ilitokea katika fundo langu la juu tangu Mara ya kwanza nilipoandika hili
03:15
It's a top knot turn up It's a top knot turn up, turn up, turn up.
53
195789
3484
Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo, Ni tokeo
03:19
It's a top knot turn up It's a top knot turn up, turn up, turn up.
54
199297
3797
Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo Ni tokeo
03:23
It's a top knot turn up It's a top knot turn up, eyyy.
55
203118
3479
Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, eyyyy
03:26
It's a top knot turn up.
56
206621
1700
Ni tokeo la fundo la juu
03:28
(Music ends)
57
208749
1300
(muziki unaisha)
03:30
I want us to keep making sex-positive, beautiful music
58
210178
4260
Nataka tuendelee kutengeneza nyimbo za kuinua jinsia zote na iliyo maridadi
03:34
about joy and freedom.
59
214462
2163
Kuhusu furaha na uhuru
03:36
I want us to embrace our own pleasure
60
216649
1832
Nataka tukumbatie raha yetu
03:38
just as much as we embrace our own pain.
61
218505
2072
Kama tunavyokumbatia uchungu wetu
03:40
I want us to celebrate the authentic,
62
220601
2394
Nataka tusherehekee ule uhalisi
03:43
nuanced,
63
223019
1349
Uwazi
03:44
multidimensional aspects of our human existence,
64
224392
3365
Na upana wa vipengele vya kuwepo kwetu
03:48
rather than perform false narratives of degrading sexuality
65
228575
5119
Badala ya kuwasilisha hadithi za uongo zinazodhalilisha ujinsia
03:53
in order to feel accepted or loved.
66
233718
2551
Ili kuhisi umekubalika au kupendwa
03:56
And another strategy that I take in my music
67
236293
2893
Na mkakati mwingine ninaochukua katika muziki wangu
03:59
to combat the misogyny that exists on the airwaves
68
239210
2916
Ni kupinga taasubi iliyopo kwenye hewa
04:02
is to visually depict the very world I wished we lived in.
69
242150
3740
Ni kuonyesha kwa macho dunia ambayo ningependa tuishi kwayo
04:05
In the music video for my song "See Me Thru,"
70
245914
2560
Katika video ya wimbo wangu "see me through"
04:08
which is like a vibe-y, queer electronic R and B song,
71
248498
4257
Ambao Ni wimbo wa R and B wenye mihemko na isiyo ya kawaida
04:12
I cast two of my dear friends, Ania and Dejha,
72
252779
4057
Naonyesha wawili wa marafiki wangu, Ania na Dejha
04:16
to play the role of the lovers, because they're married in real life.
73
256860
3674
Kufanya jukumu la wapendanao, kwa sababu wameolewa katika maisha halisi
04:20
But what you don't know is that they also are behind the camera
74
260558
3352
Lakini ambacho hujui na kuwa wapo pia nyuma ya kamera
04:23
concepting and directing the entire video.
75
263934
3136
Wakitengeneza na kuelekeza video nzima
04:28
(Video) Heyyyyy ohhhh My emotions were tired
76
268206
7931
(video) Heey ooh. Hisia zangu zilikuwa zimechoka
04:38
Music should be safe and accessible for all to experience.
77
278682
3472
Muziki unafaa kuwa salama na yenye kupatikana ili kila mtu ausikize
04:42
As you can see, it's not about losing the sex appeal or swag
78
282192
2857
Unavyoona, si kuhusu kupoteza rufaa ya ngono au madoido
04:45
that music has,
79
285073
1205
Iliyopo kwenye muziki
04:46
it's about writing messages that infuse tenderness and positivity
80
286302
3747
Ni kuhusu kuandika ujumbe unaoleta hisia chanya
04:50
into music that motivates us and challenges us.
81
290073
2950
Na kuifanya muziki unaotuinua na kutupa changamoto
04:53
And while we as musicians absolutely have the responsibility
82
293706
3472
Na ingawa sisi Kama wanamuziki tuna jukumu
04:57
to make music that isn't disempowering,
83
297202
2766
Kutengeneza muziki ambayo haidhalalishi
04:59
the consumers can be part of the change, too.
84
299992
2416
Wanaopokea wanaweza kuchangia katika badiliko hili
05:02
Firstly, we get to choose which songs we want to mute
85
302432
2560
Kwanza, tunaweza kuchagua nyimbo zipi hatutaki kusikiza
05:05
and which songs we want to turn louder.
86
305016
1896
Na nyimbo zipi tunataka kusikiza zaidi
05:06
We get to say, "I respect myself enough to say I don't want to listen to this,
87
306936
3903
Tunaweza kusema
"Heshima niliyo nayo inanitosha kusema
Sitaki kusikiza hii
05:10
and I don't want this to be in anybody else's space, either."
88
310863
2872
Na sitaki isikilizwe na wengine pia
05:13
Secondly, we can simply ask ourselves:
89
313759
2279
Pili, tunaweza kujiuliza
05:16
"Does this music or this message
90
316062
2028
Muziki huu au ujumbe huu
05:18
contribute to the oppression of somebody else?
91
318114
2198
Unaweza kuleta kuteseka kwa mtu mwengine
05:20
Why am I tolerating it?"
92
320336
1181
Mbona naivumilia
05:21
And finally, we can all be choosing to make playlists or DJ-ing music
93
321541
4155
Na mwisho, tunaweza wote kuchagua kutengeneza orodha ya nyimbo
05:25
that provides the right vibe or mood that we're looking for in that moment
94
325720
3554
Zinazoleta hisia tunazohitaji katika wakati huo
05:29
without the problematic messaging.
95
329298
1918
Na isiyokuwa na ujumbe wa kuleta shida
05:31
Why does this matter?
96
331683
1213
Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
05:32
Because it's teaching algorithms in our streaming systems and our world
97
332920
3434
Kwa sababu inatoa mwelekeo kwa dunia kuhusu
05:36
exactly what it is that we do want to listen to,
98
336378
3042
kile ambacho tunataka kusikiliza
05:40
creating long-term change and a feedbacking mechanism
99
340444
2891
Na kutengeneza mabadiliko ya muda na utaratibu wa maoni
05:43
that impacts the entire industry.
100
343359
1718
Inayoathiri sekta yote ya muziki
05:45
This is not a message
101
345966
1649
Huu si ujumbe
05:48
for just a small group of people.
102
348482
2017
Wa kikundi kidogo tu Cha watu
05:50
This is a message that affects everybody,
103
350523
2699
Huu Ni ujumbe unaoathiri kila mmoja wetu
05:53
because when we protect and liberate our most vulnerable genders,
104
353246
3990
Kwa sababu tunapoinua na kuweka huru jinsia dhaifu
05:57
we liberate everybody.
105
357260
1716
Tunaweka kila mtu huru
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7