When You Inform Women, You Transform Lives | Paige Alexander | TED

19,092 views ・ 2024-03-13

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Victor Mushimbami Reviewer: Nelson Simfukwe
00:04
So this is Anna.
0
4376
2544
Huyu ni Anna.
00:07
Four years ago in Guatemala City,
1
7254
2419
Miaka minne iliyopita katika mji wa Guatemala
00:09
she was literally at death's door.
2
9714
2378
Alikuwa karibuni na kifo.
00:12
Her husband had died,
3
12133
1585
Mume wake alifaliki,
00:13
she had fallen into a deep depression, she had stopped eating.
4
13760
3378
aliingia katika msongo mkubwa wa mawazo, aliacha kula.
00:17
She didn't have the stamina to walk door to door to sell the eggs,
5
17180
3879
Hakuwa na nguvu za kutembea kuuza mayai.
00:21
which is what was supporting her family.
6
21059
2252
Ambayo yalikuwa yanaihudumia familia yake.
00:23
Her daughters watched helplessly
7
23687
2168
binti wake walitazama tu bila mutumaini
00:25
as she gave every last penny she had to them.
8
25897
3671
Alipotoa kila pesa ya mwisho kwao.
00:29
Until a neighbor said,
9
29568
2293
Mpaka jirani mmoja aliposema,
00:31
“Right down the street, there’s a city-run, free women’s clinic
10
31861
3295
“Mtaa wa mbele kuna kliniki ya bure ya wanawake
00:35
where you can get help."
11
35198
1168
ambapo unaweza pata msaada.” Na mazungumzo yale yalibadili maisha yake.
00:36
And that conversation changed her life.
12
36366
2628
00:39
She went to the center.
13
39411
1501
Alienda kwenye kituo.
00:40
They treated her for malnutrition.
14
40954
2127
Walimpa tiba ya utapiamlo.
00:43
They gave her the mental health care she needed and other health support.
15
43123
3753
Walimpa huduma ya afya ya akili na huduma nyingne a kiafya alizohitaji.
00:46
And now Anna and her two daughters make tortillas in a small,
16
46918
4171
Sasa, wanatengeneza mikate
00:51
women-owned business,
17
51089
1585
biashara ndogo inayomilikiwa
00:52
and that's enough to support her family.
18
52716
2168
hiyo inatosha kumsaidia na familia yake.
00:55
Anna was saved by information.
19
55719
2210
Na Anna aliokolewa na taarifa.
00:59
So you hear that story and you probably think,
20
59472
2545
Kwa hivyo unasikia hadithi hiyo na labda unafikiria,
01:02
"Ah, another nice NGO doing some good work around the world."
21
62058
4046
“Ah, shirika lingine la kujitolea linafanya kazi nzuri duniani kote.”
01:06
But when I hear that story,
22
66104
1543
Lakini ninaposikia hadithi hiyo,
01:07
I think how the right information at the right time
23
67689
3128
Nafikiria namna ambavyo habari sahihi katika muda wakati sahihi
01:10
actually saved a woman's life.
24
70859
2127
ambavyo imeokoa maisha ya mwanamke.
01:13
That information saved Anna's life.
25
73403
2336
Habari hiyo iliokoa maisha ya Anna.
01:16
At the Carter Center,
26
76656
1168
Katika Kituo cha Carter,
01:17
we work in global health and peace around the world,
27
77866
3128
tunafanya kazi katika afya ya kimataifa na amani duniani kote
01:21
and I've been in the business long enough to know that there is no silver bullet
28
81036
5255
Nimekuwa katika taasisi kwa muda mrefu kujua kwamba si kitu rahisi
01:26
to solving our world's problems,
29
86291
2627
katika kutatua matatizo ya dunia yetu,
01:28
but the closest thing we have is access to information.
30
88960
3212
lakini kitu rahisi tunachoweza kukipata ni taarifa.
01:32
And I consider that a master key, because it unlocks human rights
31
92172
5422
Na nazingatia hilo kama ufunguo mkuu, vile unafungua uwepo wa haki za binadamu
01:37
for everyone around the world.
32
97636
2168
kwa kila mtu ulimwenguni
01:39
And it's because of that that Anna's life and many other women's lives were saved.
33
99804
4880
kwa sababu hiyo, maisha ya Anna na maisha ya wanawake wengine yameokolewa
01:44
So when you work for President Carter,
34
104684
2294
Hivyo unapofanya kazi kwa Rais Carter,
01:47
you spend a lot of time thinking about human rights.
35
107020
3003
Unatumia muda mwingi kufikiria haki za binadamu.
01:50
And when your other boss is Rosalynn Carter,
36
110065
2252
ukiwa na bosi mwingine Rosalynn Carter,
01:52
you spend a lot of time thinking about women's rights.
37
112317
2919
Unatumia muda mwingi kufikiria haki za wanawake.
01:55
My favorite thing on Mrs. Carter's desk is a picture that she keeps
38
115236
5089
Kitu kizuri ofisini ya Carter ni picha
02:00
of a group of women in front of the White House in 1977,
39
120325
4296
ya kundi la wanawake mbele ya Ikulu mwaka 1977,
02:04
protesting against the Equal Rights Amendment.
40
124663
3336
Ambao walikuwa wanapinga Marekebisho ya Haki Sawa.
02:07
And when I asked her, "Why do you keep that on your desk?"
41
127999
3504
Na nilipomuuliza, “Kwa nini unaweka hiyo picha kwenye dawati yako?”
02:11
She said, because she wanted to be reminded
42
131503
2335
Alisema, kwa sababu alitaka kukumbushwa
02:13
of the work that she had left to do.
43
133880
2127
kaza ambayo bado hajaikamilisha.
02:16
Now, you don't have to be a former president of the United States,
44
136675
3712
Sasa, sio lazima uwe rais wa zamani wa Marekani,
02:20
or a former first lady,
45
140387
1626
au mke wa raisi wa zamani,
02:22
to understand the power of sharing information.
46
142013
3003
kuelewa nguvu ya kushiriki habari.
02:25
Honestly, obviously the platform does not hurt.
47
145767
3295
Kwa kweli, ni wazi kuwa jukwaa halidhuru.
02:29
But what we do now is we look at how we match information needs
48
149104
4879
tunachofanya ni kuwaangalia jinsi yaku linganisha mahitaji ya Habari
02:34
with information wants that exist.
49
154025
2503
Na habari ambayo yupo.
02:36
So when we talk to President Carter
50
156903
2044
Kwa hiyo tunapoongea na Rais Carter
02:38
about the fact that there's a gap
51
158988
1752
juu ya ukweli kwamba kuna pengo
02:40
between how men and women receive information,
52
160782
3337
kati ya jinsi wanaume na wanawake wanapokea habari,
02:44
we ask very specifically, we want to run a program on this.
53
164160
3504
tunaomba tunataka kuendelea na programu juu ya hili
02:47
But he is a very disciplined engineer,
54
167664
2961
Lakini yeye ni mhandisi mwenye nidham
02:50
and he said, "It's an interesting thesis, but can you prove it
55
170667
3045
alisema ni nadharia ya kuvutia lakini unaweza kuthibitisha
02:53
and can you come up with a program
56
173753
1794
akisema unaweza kufanya mpango
02:55
that's actually going to make a difference?"
57
175588
2336
Kwa kweli, hii italeta tofauti?
02:57
So not working on anecdotal information,
58
177924
3504
Basi si kufanyia kazi taarifa za kifamilia,
03:01
we decided to survey about 2,000 women --
59
181428
4254
tuliwaamua kufanya uchunguzi kuhusu wanawake 2,000 --
03:05
people in Guatemala, Liberia, Bangladesh --
60
185682
4337
watu huko Guatemala, Liberia, Bangladesh --
03:10
and we wanted to ask government offices: “Are women seeking information?”
61
190019
4505
uliza ofisi za serikali: “Je, wanawake wanatafuta habari?”
03:14
And so when you go into a government office,
62
194566
2752
unapoingia kwenye ofisi ya serikali,
03:17
you'll find women who might be sitting there,
63
197360
2503
utapata wanawake ambao wemekaa pale
03:19
if they brave the odds,
64
199904
1544
Kama wana ujasiri wa odds
03:21
but they're being ignored, they're being questioned,
65
201448
2585
lakini wanapuuzwa, wanaulizwa maswali,
03:24
or they're actually being derided.
66
204075
1752
au kwa kweli wanadhihakiwa
03:26
And so we thought, what are the barriers to finding this information for women?
67
206161
4546
tulifikiri, ni vikwazo gani vya kupata taarifa kwa wanawake?
03:30
Well we all know,
68
210707
1501
Vizuri sisi wote tunajua,
03:32
data illiteracy is greater among women.
69
212250
4004
ujinga wa data ni mkubwa zaidi miongoni mwa wanawake.
03:36
They have less chance of education,
70
216254
1960
Wana nafasi ndogo ya elimu,
03:38
transportation can be very difficult.
71
218256
2628
Usafiri unaweza kuwa mgumu sana.
03:40
You look at gender norms and cultural norms,
72
220925
2294
angalia mila za kijinsia na mila za kitamaduni,
03:43
often women are responsible for not only full-time childcare
73
223261
4796
wanawake wanawajibika si tu kwa malezi ya watoto wakati wote,
03:48
but also raising the family and working.
74
228057
3254
lakini pia kukuza familia na kufanya kazi.
03:51
And it also can be very dangerous if they take transportation on their own.
75
231311
3795
Na pia inaweza kuwa hatari sana ikiwa wanachukua usafiri peke yao.
03:55
And so one government office building,
76
235440
2085
Na hivyo jengo moja la ofisi ya serikali,
03:57
we noticed that there were no women's bathrooms.
77
237567
2252
tuligundua kwamba hakukuwa na bafu za wanawake.
03:59
So if anyone had gone in to try to seek the information,
78
239819
3253
ikiwa mtu akijaribu kutafuta habari hiyo,
04:03
they were there all day without a restroom.
79
243114
2503
Watakuwa hapo siku nzima bila chumba cha bafu.
04:05
So we thought, what can we do to change the situation?
80
245658
3129
tulifikiria, tunaweza kufanyaje Kuhusu kubadilisha hali hiyo?
04:08
So we decided that all politics is local and all development is local.
81
248828
4797
Kwa hivyo tuliamua kuwa siasa zote ni za ndani na maendeleo yote ni ya ndani.
04:13
And so we hired local information liaisons
82
253625
2544
tukawaajiri wakala wa habari wa ndani
04:16
to help connect the dots for women to get the information they needed.
83
256211
4546
Ili kupata habari wanazohitaji
04:20
For example, in Dhaka in Bangladesh,
84
260757
3086
Kwa mfano, Dhaka nchini ya Bangladesh,
04:23
there was a woman who wanted to get a streetlight in her slum,
85
263885
3587
kulikuwa mwanamke ambaye alitaka kupata taa ya barabara katika nyumba yake,
04:27
but her father had said, "Don't ask for the information.
86
267514
3044
lakini baba yake alisema, ’Usiulize taarifa.
04:30
This is not your position.
87
270600
1543
habari. Hii sio nafasi yako.
04:32
You won't get it."
88
272185
1335
Hutaipata.”
04:33
So when the street lamp showed up, he was incredibly proud of her.
89
273520
4170
wakati taa ya barabarani ilipoonekana, alijivunia sana yeye.
04:37
And in Liberia,
90
277690
1335
Na nchini Liberia,
04:39
a group of women came together and they sought information
91
279025
3045
kikundi cha wanawake kilikusanyika na wakatafuta taarifa.
04:42
on county development funds.
92
282070
1960
kwenye fedha za maendeleo ya kaunti.
04:44
And with that money,
93
284030
1293
Na kwa pesa hizo,
04:45
they were able to open a soap business.
94
285365
2961
waliweza kufungua biashara ya sabuni.
04:48
And that created an entire community of women entrepreneurs.
95
288368
3837
Na hiyo iliunda jamii nzima ya wajasi riamali wanawake.
04:52
So it's great to do this one information liaison at a time.
96
292247
4212
Kwa hivyo ni nzuri kufanya mawasiliano huu moja ya habari kwa wakati mmoja.
04:56
But the reality is we wanted to scale up.
97
296501
2753
Lakini ukweli ni kwamba tulitaka kuongeza.
04:59
So in 2021, in the middle of the pandemic,
98
299254
3670
Mwaka was 2021, katikati ya janga hilo,
05:02
we decided to start a campaign called Inform Women, Transform Lives.
99
302966
3920
tuliamua kuanzisha kampeni inayoitwa Habari Wanawake, Badilisha Maisha.
05:06
And it was to connect women with information
100
306928
2377
Na ilikuwa kuunganisha wanawake na habari
05:09
that was out there that they did not have.
101
309347
2169
ambayo hawakuwa nayo.
05:11
So we're now on five continents, across 35 different cities,
102
311850
3962
Kwa hivyo sasa tuko kwenye mabara tano, katika miji 35 tofauti,
05:15
from Atlanta to Chicago,
103
315812
2335
kutoka Atlanta hadi Chicago,
05:18
from Dublin to Rotterdam,
104
318147
1794
kutoka Dublin hadi Rotterdam,
05:19
from Sao Paulo to Kathmandu.
105
319941
1877
kutoka Sao Paulo hadi Kathmandu.
05:22
And it hits 215 million people,
106
322360
3337
Na inashikilia watu milioni 215, wana
05:25
215 million citizens who can be affected by information
107
325697
3753
raia milioni 215 ambao wanaweza kuathiriwa na taarifa.
05:29
through the city's programs.
108
329450
1877
Kupitia mipango ya jiji hilo.
05:31
So this is how it works.
109
331369
1668
Hivyo ndivyo inavyofanya kazi.
05:33
We start with the city,
110
333079
1835
Tunaanza na jiji,
05:34
we find a city service that women have access to
111
334914
3629
tunapata huduma ya jiji ambayo inapatikana kwa wanawake
05:38
but they don't know about it
112
338585
1376
lakini hawajui
05:39
because they haven't been told.
113
339961
1710
kwasabu hawajaambiwa.
05:41
And then we run radio jingles,
114
341671
2878
kisha tunaendesha jingles redio,
05:44
we do murals, we do transit ads,
115
344549
3712
tunafanya michoro ya ukutani, tunafanya matangazo ya usafiri,
05:48
we use social media,
116
348303
1585
tunatumia mitandao wa kijamii,
05:49
and we get them the information.
117
349929
1543
na tunawapata habari.
05:51
We meet women where they are.
118
351514
2419
Tunakutana na wanawake ambapo wapo.
05:53
So it seems quite simple.
119
353975
1835
Kwa hivyo inaonekana kuwa rahisi sana.
05:55
and the results were real.
120
355810
1543
Na matokeo yalikuwa ya kweli.
05:57
In Sao Paulo there was 86 percent uptick in the information
121
357395
3587
Huko Sao Paulo kulikuwa ongezeko la asilimia 86 katika habari
06:00
that was received for gender-based violence and domestic violence.
122
360982
4046
yalipopokelewa kwa vurugu za jinsia na unyanyasaji wa ny umbani.
06:05
In Nairobi, we were able to put the sign up
123
365069
3838
Nairobi, tulikuwa na uwezo wakuweka ishara
06:08
that actually was a hotline for women who wanted help on domestic violence.
124
368948
5756
nambari ya dharura ya wanawake waliotaka msaadakuhusu vurugu za nyumbani
06:14
Before this billboard went up,
125
374746
2294
Kabla ya bango hili kuwekwa,
06:17
there were 10 calls to that hotline.
126
377081
2044
Kulikuwa na simu 10 kwa laini hiyo ya simu
06:19
After this billboard went up, there were 500 calls.
127
379167
2878
Baada ya bango hili kuwekwa, simu 500 ilipigwa
06:22
That's 490 women who needed the assistance the month before
128
382086
5005
Hiyo ni wanawake 490 ambao walihitaji msaada kabla ya mwezi
06:27
but didn't even know it existed.
129
387133
1710
lakini hawakujua ilikuwepo
06:28
(Applause)
130
388885
5130
(Mshangao)
06:34
In Cape Town, we brought women together from a township,
131
394057
3003
Huko Cape Town, tuliwaleta wanawake pamoja kutoka jiji,
06:37
we brought them to the public library.
132
397060
1960
Tuliwaleta kwenye maktaba wa umma.
06:39
We had the city talk about how to access information services,
133
399062
3545
Tulikuwa na jiji kuzungumza juu ya jinsi ya kupata huduma za habari, na
06:42
and there was an uptick in everything
134
402607
1793
kulikuwa na ongezeko katika kila kitu
06:44
from requests for street cleaning to COVID vaccinations.
135
404400
3462
kutoka kwa maombi ya kusafisha mitaani hadi chanjo ya COVID.
06:47
And in Kampala,
136
407904
1793
Na huko Kampala,
06:49
women were able to get increased loans
137
409697
2753
wanawake walikuwa na uwezo wa kupata mikopo iliyoongezeka.
06:52
so women entrepreneurs could start.
138
412492
2586
ili wanawake wajasiriamali waweze kuanza.
06:55
In Chicago,
139
415119
1418
Huko Chicago, faida
06:56
the benefit of having a city keycard
140
416579
2836
faida ya kuwa na kadi ya ufunguo wa jiji.
06:59
was something that many women didn't know about
141
419457
2211
kitu ambacho wanawake wengi hawakujua kuhusu
07:01
until we started the campaign.
142
421668
1751
Mpaka tulipoanza kampeni hiyo.
07:03
It serves as a government ID,
143
423461
2461
Inatumika kama kitambulisho cha serikali,
07:05
a health prescription card, a transit card,
144
425964
2961
kadi ya maagizo ya afya, kadi ya usafiri,
07:08
a public library card,
145
428967
1835
Kadi ya maktaba ya umma
07:10
and there was a 225 percent uptick
146
430802
3378
na kulikuwa na ongezeko la asilimia 225
07:14
in requests for the city of Chicago.
147
434222
1877
katika maombi kwa jiji la Chicago.
07:17
And then here in Atlanta,
148
437016
1627
Na kisha hapa Atlanta,
07:18
we have a program that we call “safe spots.”
149
438643
2377
tuna programu “sehemu salama.” ni mpango ambao
07:21
It’s a program that the city started to create, in fire stations,
150
441062
4421
mji ulianza katika vituo vya mahali salama kwa wanawake na watoto
07:25
a safe spot for women and children
151
445525
2043
Mahali salama kwa wanawake na watoto
07:27
who are going through domestic abuse to enter.
152
447610
3253
Wanaopitia unyanyasaji wa ndani
07:30
The fire station shuts down,
153
450905
2127
Kituo cha moto kinafungwa,
07:33
the immediate assistance is given to the person who needs it,
154
453074
3795
usaidizi hutolewa kwa mtu anayehitaji,
07:36
and it's very difficult to walk into a police station
155
456911
2795
ni vigumu kuingia kwenye kituo cha polisi
07:39
if you're in a domestic abuse situation.
156
459706
2252
ikiwa uko kwenye unyanyasaji wa nyumbani.
07:41
But fire stations we've all been to,
157
461958
1793
Lakini vituo vya moto tuliyokuwa
07:43
we've all sat there, we've rang the bell,
158
463793
2294
Tuliikaa hapo, na kupiga kengele,
07:46
people feel more comfortable.
159
466087
1877
watu wanahisi vizuri zaidi.
07:47
And we always have to check our assumptions
160
467964
2961
Na lazima tuangalie mawazo yetu
07:50
because the reality is we thought
161
470967
1960
Kwa sababu ukweli ni kwamba tulifikiri
07:52
this was going to be something that was used
162
472969
2085
Hii ilikuwa kitu ambacho kingetumiwa
07:55
in the lower-income parts of town,
163
475054
1752
Katika sehemu za chini za jiji
07:56
but in fact, the data shows that in the more affluent areas,
164
476848
3378
data inaonyesha katika maeneo
08:00
people are walking into those fire stations as safe spots.
165
480268
3295
watu wanatembea kwenye vituo vya moto kama sehemu salama.
08:04
So we all do our work for very different reasons.
166
484313
4130
sisi wote tunafanya kazi zetu kwa sababu tofauti sana.
08:08
I will tell you that I am the daughter
167
488943
3587
Nataka kuambia kwamba mimi ni binti huyo.
08:12
of an incredibly amazing woman
168
492572
2043
wa mwanamke wa ajabu sana.
08:14
who taught me I could be anything that my three older brothers could be.
169
494657
3670
Alisema naweza kuwa chochote kaka zangu watatu wakubwa wangeweza kuwa
08:18
I am now a mother of two amazing daughters, who are incredibly independent,
170
498327
4588
mimi ni mama sasa wama binti wawili wa ajabu ambao wako huru
08:22
and a very well-trained and sensitized teenage son.
171
502915
3504
na mwana wa kiume mwenye mafunzo mazuri na amehamasishwa sana
08:26
(Laughter)
172
506461
2961
(Mshangao)
08:30
We need more of those.
173
510673
1543
Tunahitaji kama hawa
08:32
(Applause)
174
512216
2586
(Mshangao)
08:34
And often it’s my vision of Mrs. Carter’s picture
175
514802
4338
Na mara nyingi ni maono yangu ya picha ya Bi. Carter
08:39
that is sitting on her desk
176
519182
2836
ambayo inakaa kwenye dawati lake
08:42
reminding me that for 40 years she looked at that picture,
177
522018
3336
Kunikumbusha kwamba kwa miaka 40 aliangalia picha hiyo,
08:45
and she knew that that was work that still needed to be done.
178
525396
3045
alijua kwamba hiyo ilikuwa kazi ambayo bado inahitaji kufanywa.
08:48
Or, of course, it could be the fact that President Carter,
179
528733
4046
bila shaka, ukweli kwamba Rais Carter,
08:52
who is 99 and still cares deeply about this issue,
180
532820
3754
Ambaye ali na miaka 99 bado anajali kuhusu suala hili
08:56
when he was 89, at the spry age of 89,
181
536574
2377
Alipokuwa 89 akiwa na nguvu kama za kijana
08:58
he wrote a book on women's issues and human rights,
182
538993
3003
Aliandika kitabu kuhusu wanawake Haki za binadamu
09:01
and he gave a talk at TEDWomen.
183
541996
2503
Na alitoa mhadhara katika TEDWomen.
09:04
(Applause)
184
544540
5256
(Mshangao)
09:09
He has always taught me
185
549796
2502
Amenifundisha daima
09:12
that wherever we go in the world, people are intelligent,
186
552340
4463
kwamba popote tuendapo duniani, watu ni werevu,
09:16
they care about their families, they're hardworking,
187
556844
2586
wanajali familia wanafanya kazi kwa bidii,
09:19
but they often just don't have the information
188
559472
2210
Lakini mara nyingi, hawana tu taarifa.
09:21
that they need to be successful.
189
561724
2544
kwamba wanahitaji kuwa na mafanikio.
09:24
And so it's my job,
190
564685
1627
Na kwa hivyo ni kazi yangu,
09:26
it's all of our jobs,
191
566354
1543
ni kazi yetu sis wote
09:27
to help women get that information,
192
567939
2085
kusaidia wanawake kupata taarifa hii,
09:30
because it's really quite simple.
193
570066
1960
Kwa sababu ni rahisi sana.
09:32
When you inform women, you transform lives.
194
572068
3128
Unapojulisha wanawake unabadilisha maisha
09:35
Thank you.
195
575655
1168
Asante.
09:36
(Applause)
196
576864
2711
(Mshangao)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7