You shouldn't have to choose between filling your prescriptions and paying bills | Kiah Williams

39,825 views

2020-10-06 ・ TED


New videos

You shouldn't have to choose between filling your prescriptions and paying bills | Kiah Williams

39,825 views ・ 2020-10-06

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Hanningtone Omollo
00:13
Every day in this country,
0
13119
1879
Kila uchao hapa nchini,
00:15
families are forced to make impossible choices
1
15022
2974
familia wanalazimika kufanya maamuzi magumu sana
00:18
when it comes to their health care.
2
18020
2093
yanayohusu huduma yao ya afya
00:20
Like Kimberly, who said,
3
20137
2251
Kama Kimberly, aliyesema,
00:23
"There was times I had to choose between my food and my pills.
4
23388
4246
"Kuna wakati nafanya maamuzi kati ya chakula changu na vidonge"
00:27
It wasn't luxury stuff, because I didn't make that much.
5
27658
3331
Haikuwa raha sababu kipato changu ni duni.
00:31
It was like, 'Can I get shampoo or conditioner?'
6
31013
2856
Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?"
00:34
Things you take for granted."
7
34586
1713
Vitu tunachukulia kua ya kawaida"
00:36
And Debbie, who said,
8
36323
2627
Na Debbie,aliyesema,
00:38
"You put your medicine in one hand,
9
38974
2799
"Unaweka dawa kwa mkono mmoja,
00:41
your living costs in the other.
10
41797
2201
na mahitaji ya maisha kwa mwingine.
00:44
OK. Well, what am I going to do?
11
44618
2545
Sawa, ntafanya nini ?
00:47
Am I going to get my medicine
12
47187
1929
Nitanunua dawa
00:49
or am I going to pay my bills?
13
49140
1634
ama kulipa bili zangu?
00:51
Well, I can't live without my medicine,
14
51340
2612
Na siwezi ishi bila dawa zangu,
00:53
but I can't live if I don't pay my bills."
15
53976
2690
na sitaishi bila kulipa bili zangu."
00:57
Ten thousand people die every month in this country,
16
57065
4404
Watu elfu kumi wanafariki kila mwezi hapa nchini,
01:01
because they don't take the medicine that they need.
17
61493
2575
kwa sababu hawatumii dawa inavyostahili,
01:04
More people die from not taking medications
18
64623
3306
Watu wengi hufa kwa kutomeza dawa
01:07
than opioid overdoses and car accidents combined.
19
67953
4754
kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango na ajali za barabara zikijumuishwa
01:13
But you can't take medicine if you can't afford it.
20
73488
3380
Lakini huwezi meza tembe kama hutamudu gharama yake.
01:17
Today, the average household spends 3,000 dollars a year
21
77280
5108
Leo hii,familia ya kawaida inatumia dola 3000 kila mwaka
01:22
on medications.
22
82412
1571
kwa matibabu.
01:24
About a third of folks who are uninsured
23
84007
2922
Takriban thuluthi moja ya wasio na bima
01:26
said that they stopped taking medicine as prescribed
24
86953
3767
walisema waliacha kutumia dawa walivyoagizwa
01:30
because of cost.
25
90744
1425
kwa ajili ya gharama ya juu
01:32
Even folks with insurance,
26
92193
2381
Hata wenye bima,
01:34
if they make under 35,000 dollars a year,
27
94598
3273
na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka
01:37
half of them report skipping the medications
28
97895
3598
nusu yao walisema walirukisha kumeza dawa
01:41
if their insurance doesn't cover it.
29
101517
1838
kama bima haitagharamia
01:43
So there are 10 million adults like Kimberly and like Debbie
30
103814
4857
Kunao watu wazima milioni kuni kama Kimberly na Debbie
01:48
who are forced to make impossible choices every day.
31
108695
4409
amabao wanalazimika kufanya maamuzi magumu kilasiku,
01:53
We all know that prescription drug prices are too high.
32
113555
3989
Sote tunafahamu madawa ya kuagizwa ni bei ghali mno.
01:58
And our health care system,
33
118131
1983
Na mfumo wetu wa huduma za afya,
02:00
that makes some folks uninsured and other folks underinsured,
34
120138
4125
inayobagua wengine kutopata bima na wengineo kupata bima ya chini,
02:04
doesn't prioritize people who need access now
35
124287
4391
haipi kipaombele watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa
02:08
and need medications now.
36
128702
2445
na matibabu sasa.
02:11
Ten million -- it's a big number,
37
131532
2305
Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa,
02:13
but it's also a solvable number,
38
133861
1997
lakini ni nambari lina suluhu,
02:15
because there's also 10 billion dollars
39
135882
4039
kwa sababu pia kuna dola bilioni 10
02:19
of perfectly good, unused medication
40
139945
3368
ya madawa mazuri haijatumika
02:23
that goes to waste.
41
143337
1396
yanayoharibika.
02:24
So this is an injustice on two sides:
42
144757
2632
Hii ni udhalimu kwa pande mbili:
02:27
people not getting the medicine that they need to survive and to thrive,
43
147413
4851
watu kutopata madawa wanayohitaji kua hai na kustawi,
02:32
and that very same medication being sent to a medical waste incinerator
44
152288
5629
na ni dawa hivi vinatumwa kasha moto la madawa
02:37
to be destroyed.
45
157941
1352
kuharibiwa.
02:39
This waste is unconscionable, but it also offers an opportunity.
46
159317
4895
Huu uharibifu unapumbaza, lakini pia unatoa fursa.
02:44
I started SIRUM,
47
164236
1809
Nilianzisha SIRUM,
02:46
a not-for-profit technology company, with my cofounders Adam and George,
48
166069
5280
Kiwanda cha teknolojia isio ya faida, na wanzilishi wenza Adam na George,
02:51
to turn discarded medications into a lifeline,
49
171373
4079
kuibadili madawa yanayotupwa kua na manufaa
02:55
just like the medications in this warehouse.
50
175476
2993
kama vile madawa yaliyo kwa hili ghala
02:58
We may not be able to fix
51
178862
1579
Labda hatutaweza rekebisha
03:00
all the ways in which our health care system is failing us,
52
180465
3431
yote yanayotufeli katika mfumu wetu ya huduma za afya
03:03
but we can fix this one.
53
183920
2387
lakini hili tunaweza tengeneza.
03:06
Medications come from manufacturers and wholesalers who have safety stock,
54
186927
4634
Madawa hutoka viwandani na wauzi jumla wanao hifadhi salama
03:11
and when it's short-dated, they destroy it.
55
191585
2161
na wakati wa kuraribika ikiwadia wanatofua
03:14
It also comes from health care facilities
56
194130
2325
Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya
03:16
like hospitals, pharmacies and nursing homes,
57
196479
3076
kama hospitali, famasia,na uguzia
03:19
who end up with surplus when a patient stops taking medication
58
199579
3809
wanaobaki na ziada, zisizomezwa
03:23
or when they pass away.
59
203412
1800
au wakati wagonjwa wanapofariki.
03:25
We can use this untapped source of medications
60
205236
4071
Tweza nufuika na haya madawa ziada
03:29
to supply all 10 million people who need medications.
61
209331
5118
kusambazia watu milioni kumi wanaohitaji haya madawa.
03:34
And we can do this today.
62
214473
1644
Na tunaweza fanya hivyo leo.
03:36
SIRUM gets surplus medications
63
216589
2815
SIRUM inapata madawa ziada
03:39
by putting recycling bins into these hundreds of facilities
64
219428
3706
kwa kuweka chombo cha matumizi tena kwa haya majumba
03:43
that have surplus.
65
223158
1381
yenye ziada
03:44
They fill the bin, and when the box is full,
66
224563
3236
Chombo linapojaa
03:47
SIRUM initiates a courier pickup to pick up that medication,
67
227823
3902
SIRUM inatuma gari kuchukua hayo madawa,
03:51
and we handle the shipping, the tracking, the manifests and the tax receipt.
68
231749
6513
tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji, dhihirisho, na risiti ya kodi.
03:58
Medicine donors want to donate because it's actually cheaper and easier
69
238286
4992
Wafadhili wa madawa wanataka kutoa kwa sababu ni nafuu na rahisi
04:03
than the highly regulated medicine destruction process.
70
243302
3209
kuliko kutofoa madawa yenye kanuni mingi
04:06
And there are strong tax incentives to actually donate.
71
246917
4298
Na pia kunayo motisha kikodi kutoa
04:11
We then deliver those donated medications to people who need it.
72
251239
4435
Baadaye tunafikisha haya madawa kwa watu wazozihitaji.
04:15
A new prescription comes in,
73
255698
1819
Pendekezo mpya inapokuja,
04:17
and our platform matches that patient need with the inventory that's available.
74
257541
5409
jukwaa letu inaambatanisha matakwa ya mgonjwa na dawa ilioko
04:22
Our platform then generates a warehouse pick list,
75
262974
3041
Jukwaa letu basi inatoa orodha ya kuchukua dawa bohari
04:26
the medications are picked and the prescriptions filled.
76
266039
3008
madawa yanachukuliwa na mapendekezo kuandikwa
04:29
We are building the 21st-century pharmacy experience
77
269428
4436
Tunajega duka ya kisasa wenye uzoefu ya karne 21
04:33
that low-income families deserve.
78
273888
2818
Wanayostahili familia wenye mapato madogo
04:37
Patients can register in under five minutes
79
277017
2915
Wagonjwa wanaweza jiandikisha chini ya dakika tano
04:39
and have access to over 500 different medications,
80
279956
4513
na kufikia zaidi ya madawa 500,
04:44
a stable list of medications for everything from heart disease
81
284493
4676
yenye orodha toka afkani
04:49
to mental health conditions,
82
289193
1952
mpaka kichaa
04:51
actually representing over 75 percent of all prescriptions prescribed
83
291169
5998
Kiukweli imewakilisha asilimia 75 ya madawa yanayoagizwa
04:57
in the United States today.
84
297191
1621
Amerika leo.
04:59
We also partner with a network of doctors, nurses and case managers
85
299204
5277
Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari wauguzi na wasimamizi wa kesi
05:04
at community health centers and free clinics
86
304505
2649
katika hospitali na kliniki huru
05:07
that refer patients to the service.
87
307178
2287
wanaopendekeza wagonjwa kwetu
05:09
We make it as easy for these health care providers
88
309489
2972
Tunarahisishia wadumu wa afya kazi
05:12
to have a prescription filled with donated medications
89
312485
3159
kwa kutoa madawa yaliyoagizwa
05:15
as it is to send a prescription to a local pharmacy.
90
315668
3839
kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa
05:19
And patients can pick up medications on-site at one of our partners
91
319917
4766
Na wagojwa kuchukulia kwa moja wa washirika wetu
05:24
or have medications delivered directly to their home.
92
324707
3361
ama kupelekewa madawa nyumbani
05:28
By circumventing the traditional supply chain,
93
328423
3531
Kwa kutofualitia njia ya kawaida
05:31
we're able to offer flat, transparent pricing --
94
331978
3814
tunaweza dai bei sawa na ilio wazi -
05:35
about two dollars for a month's supply of most medications.
95
335816
4369
kama dola mbili kila mwezi kununua takriban madawa zote
05:41
And that allows a predictable, affordable price
96
341003
4147
Hii inadhihirisha bei inayotabirika na nafuu
05:45
that folks can actually budget for.
97
345174
2568
ambayo watu wanaweza bajetia.
05:48
We've already supplied enough medication for 150,000 people.
98
348091
5148
Tumegawa dawa za kutosha kwa takriban watu 150,000
05:53
But we can do more.
99
353756
1810
Lakini tunaweza fanya zaidi.
05:55
Our goal is to reach one million people
100
355590
3164
Lengo letu ni kufikia watu milioni
05:58
with approaching a billion dollars of unused medicine
101
358778
4039
na madawa ya dola takriban bilioni
06:02
in the next five years,
102
362841
1630
kwa miaka tano ijayo,
06:04
scaling our program to 12 states.
103
364495
2736
kupanua miradi yetu hadi majimbo 12
06:07
At this scale, we can actually cover communities that are home
104
367255
4417
Kwa kiwango hii,kufikia jamii ambao ni
06:11
to 40 percent of the 10 million people
105
371696
3918
asilimia 40 kwa hao milioni 10
06:15
who lack consistent, affordable access.
106
375638
4053
waliokosa ufikavu thabiti na nafuu
06:19
Our direct service to one million people
107
379715
3600
Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni
06:23
will drive price competition for so many more.
108
383339
3477
itashusha bei chini kwa watu wengi
06:26
Walmart launched one of the only price innovations in pharmacy
109
386840
4083
Ni Walmart pekee wamezindua bei ya dawa
06:30
in 2006,
110
390947
1652
mnamo mwaka 2016,
06:32
by offering a limited list of medications
111
392623
2588
kwa kutoa orodha finyu wa madawa
06:35
for a flat fee of four dollars.
112
395235
2201
kwa bei iliyosimama ya dola nne
06:37
This sparked incredible change.
113
397460
2027
Huu ulizindua mabadiliko makubwa,
06:39
It sparked competitors to offer other lists
114
399511
3560
Kupelekea washindani wake kutoa orodha zao
06:43
and price match guarantees.
115
403095
2561
na bei wangeshusha,
06:45
By targeting transparent, affordable medications
116
405680
4142
Kwa malengo ya madawa yenye uwazi na nafuu
06:49
into these new states,
117
409846
1901
kwenye majimbo haya mapya,
06:51
we can actually drive regional price competition
118
411771
3351
tunaweza shawishi bei kwenye maeneo haya
06:55
that drives down the prices for entire low-income communities.
119
415146
5376
kushuka kwa jamii wenye mapato ya chini
07:00
Our health care system is complex.
120
420879
2852
Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani
07:04
It is daunting.
121
424398
1317
Inachosha,
07:06
It feels impossible to make headway.
122
426217
3235
Ni kama hayamkini kupiga hatua.
07:09
But we can completely reimagine medicine access.
123
429476
4846
Tweza badili kufikia dawa.
07:15
By using surplus medications as a beachhead to force change
124
435242
5179
Kwa kutunia madawa ya ziada kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko
07:20
into this multibillion dollar industry,
125
440445
3432
katika hii sekta wenye bilioni kadha
07:23
we can create radical access to medications
126
443901
4019
tunaweza pindua ufikaji kwa madwa
07:27
based on a fundamental belief
127
447944
2195
kwa kuegemea msingi thabiti
07:30
that people who live in one of the wealthiest nations in the world
128
450163
4696
kwamba watu waoishi moja ya nchi tajiri duniani
07:34
can and should have access to medicine that they need
129
454883
4534
wanaweza na wanafaa wafikie kila aina ya dawa wanahitaji
07:39
to survive and to thrive.
130
459441
2462
kuishi wa kunawiri
07:42
I do not pretend to have all of the answers
131
462522
3475
Sitadanganya nina suluhu zote
07:46
to fix all of the problems in our health care system.
132
466021
3742
kurekebisha shida ilioko katika mfumo wetu wa afya
07:50
But getting medications to the millions of people
133
470189
3413
Lakini kufikishia mamilioni ya watu dawa
07:53
who need it to live a healthy life,
134
473626
2653
wanayohitaji kuishi kwa afya,
07:56
saving medicine to save lives --
135
476303
3356
kuokoa madawa ili kuokoa maisha -
07:59
that is something we can do today.
136
479683
4105
hio tunaweza fanya leo.
08:04
Thank you.
137
484762
1218
Ahsanteni
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7