What to do when everything feels broken | Daniel Alexander Jones

39,859 views ・ 2020-09-08

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Hanningtone Omollo Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
"I've got people in me."
0
12792
2541
"Nina watu ndani yangu"
00:15
So sang the late Abbey Lincoln.
1
15375
2851
Aliimba marehemu Abbey Lincoln.
00:18
I take that lyric as mantra.
2
18250
2976
Nachukulia maandiko hayo kama mwito
00:21
"I've got people in me."
3
21250
2042
"Nina watu ndani yangu"
00:24
Jomama Jones is the person in me I turn to as a guide.
4
24500
5226
Jomama Jones ndiye aliye ndani yangu namtazama kama mwongozo.
00:29
She's my alter ego.
5
29750
2018
Ndiye nafsi mbadala wangu.
00:31
I've been embodying her in performance since 1995,
6
31792
3976
Nimemjumuisha kwa uigizaji tangu mwaka 1995,
00:35
and she comes around when she has some insight to offer folks.
7
35792
5809
na huja pale ambapo ana dondoo za kuwapa majamaa.
00:41
At this time of radical change,
8
41625
2059
Wakati huu wa mabadiliko makuu,
00:43
I'm glad to be the vessel for her message to you.
9
43708
4209
Nafurahia kuwa chombo cha ujumbe wake kwenu.
00:53
Jomama Jones: What if I told you
10
53542
1601
Jomama Jones: Ni vipi nikikwambia
00:55
it's going to be alright ...
11
55167
2392
itakua sawa........
00:57
but what if I told you not yet?
12
57583
2000
lakini itakuaje nkikwambia bado?
01:00
What if I told you there are trials ahead
13
60542
2601
Je, nikikwambia kuna majaribu mbeleni
01:03
beyond your deepest fears?
14
63167
2809
kuzidi hofu yako ya kina ?
01:06
What if I told you will you fall ...
15
66000
2893
Je, nikikwambia utaanguka .....
01:08
down, down, down?
16
68917
2208
chini chini chini ?
01:12
But what if I told you you will surprise yourself?
17
72000
5518
Lakini nikkiwambia utajishangaza?
01:17
What if I told you will be brave enough?
18
77542
4458
Je, nikikwambia utakua jasiri kutosha ?
01:23
What if I told you
19
83333
1851
Je, nikikwambia
01:25
we won't all make it through?
20
85208
2209
si sote tutafaulu?
01:28
But what if I told you
21
88333
2310
Lakini itakuaje nikikwambia
01:30
that is as it must be?
22
90667
3392
ipo inavyobidi iwe?
01:34
What if I told you I've seen the future?
23
94083
4334
Je nikikwambia nayaona yajayo?
01:41
Do you like my hands?
24
101125
2059
Unapenda mikono yangu?
01:43
They're expressive, yeah?
25
103208
2310
Inajieleza, ndiyo?
01:45
Now look at your hands -- now go on.
26
105542
2476
Sasa tazama mikono yako -- tazama.
01:48
There's so much history recorded through their touches
27
108042
2684
Kuna historia kubwa iliyorekodiwa kupitia miguso yake.
01:50
and marks of the future sketched on their palms.
28
110750
4559
na alama za siku za baadaye kuchorwa katika viganja.
01:55
Sometimes hands grip tight,
29
115333
1810
Kuna wakati mikono hushikilia kwa nguvu,
01:57
sometimes hands let go.
30
117167
2791
wakati mwingine kuachilia.
02:01
What if I told you
31
121375
2393
Je nikikwambia,
02:03
it's all going to come undone?
32
123792
2500
yote itasambaratika ?
02:07
Hm.
33
127083
1393
Mmm
02:08
Ladies and gentlemen
34
128500
1726
Mabibi na mabwana
02:10
and otherwise described,
35
130250
2518
na wengineo,
02:12
I am Jomama Jones.
36
132792
3101
Mimi ni Jomama Jones
02:15
Some call me a soul sonic superstar,
37
135917
2851
Kwa wengine mimi nyota wa soniki
02:18
and I agree,
38
138792
1892
na nakubaliana,
02:20
though even in my past that was from the future.
39
140708
3435
japokua hata mwanzoni, ilitokana na yale yajayo.
02:24
Let me take you back to girlhood.
40
144167
2101
Kidogo nikupeleke utotoni,
02:26
Picture this:
41
146292
1559
Wazia hili:
02:27
it was Planting Day,
42
147875
1851
ni siku ya kupanda,
02:29
which was a holiday I invented
43
149750
2143
ambayo ni likizo nimebuni
02:31
for the Black youth community group I founded.
44
151917
2559
kwa vijana weusi kikundi cha jamii nilichoanzisha
02:34
I dashed home to put on my gardening ensemble
45
154500
3101
Nilikimbia nyumbani kuvalia mavazi ya bustani
02:37
when I caught my uncle Freeman red-handed.
46
157625
4018
nikamfumania mjomba wangu aitwaye Freeman
02:41
He was standing over my piggy bank with his hammer raised high.
47
161667
5017
Kasimama mbele ya kibubu akiwa amenyanyua nyundo hewani.
02:46
He was fixing to steal my coins.
48
166708
2250
Alikuwa anajiandaa kuiba pesa zangu
02:49
And you see,
49
169667
1309
Unajua,
02:51
my uncle Freeman was a handyman.
50
171000
2476
mjomba wangu Freeman alikuwa mtu anayefahamu fani nyingi.
02:53
He could fix anything --
51
173500
1351
Angerekebisha kitu yoyote-
02:54
a broken chair, a shattered pot --
52
174875
2184
kiti kilichovinjika, chungu imepasuka-
02:57
even bring grandmother's plants back to life.
53
177083
3268
hata kurudisha uhai kwa mimea za nyanya
03:00
He had that magic touch with broken things ...
54
180375
4101
Alikua na sihiri na vitu vilivyovunjika
03:04
and broken people.
55
184500
1684
na watu wenye kasoro
03:06
He would take me with him on his jobs
56
186208
1976
Angenichukua akienda kazini
03:08
and say, "C'mon Jo,
57
188208
1310
na kusema, "Kuja Jo,
03:09
let's go do something to make this world a better place."
58
189542
3351
tukafanye kitu kuibadili huu ulimwengu kua bora."
03:12
His hands were wide and calloused,
59
192917
2226
Mikono yake mipana na migumu,
03:15
and they always reminded me of displaced tree roots.
60
195167
5476
kila wakati zikinikumbusha mizizi iliohamishwa
03:20
As we worked he would talk with folks
61
200667
3351
Tukifanya kazi angeongea na watu
03:24
about the change he was sure was just around the corner.
62
204042
3934
kuhusu mabadiliko aliyoamini yangetokea karibuni.
03:28
I saw him mend flagging hopes
63
208000
4351
Nilitazama akiunda tena matumaini yaliyovunjika
03:32
and leave folks with their heads held high.
64
212375
2726
na kuacha watu wamefurahi.
03:35
His hands stirred the sunshine.
65
215125
2917
Mikono yake iliwasha miale ya jua
03:38
And now he was about to break my piggy bank.
66
218875
4143
Na hapa alikuwa akikaribia kuvunja kibubu mbele yangu.
03:43
I said "Step back, man, and show me your hands."
67
223042
3101
Nikasema"Piga hatua nyuma, na unionyeshe mikono yako."
03:46
You know the irony was
68
226167
2434
Unajua cha ajabu kilichotokea kilikuwa
03:48
he used to give me all the old coins he'd find under floorboards while working.
69
228625
5768
alikua akinipatia sarafu kuu kuu zote alizopata kwenye sakafu wakati akiwa anafanya kazi.
03:54
And I put them in the piggy bank
70
234417
1601
Nami niliziweka katika kibubu
03:56
along with the money I earned through my childhood side hustles.
71
236042
3833
pamoja na mapato yangu kutokana na vibarua
04:01
But by the spring of 1970,
72
241000
2976
Lakini kufika msimu wa masika 1970,
04:04
Uncle Freeman had lost his touch ...
73
244000
2851
mjomba Freeman aliacha ufanisi wake ...
04:06
along with most of his jobs.
74
246875
2625
na kupoteza kazi zake nyingi.
04:10
He saw a heavy future
75
250333
3476
Alitabiria mbeleni
04:13
of civil wrongs and Black power outages in his palms.
76
253833
5810
wenye dhuluma na uwezeshaji kwa raia weusi kiganjani mwake.
04:19
The last straw had come the previous winter
77
259667
3101
Pigo la mwisho lilikuja majira ya baridi iliyopita
04:22
when they had gunned down Fred Hampton.
78
262792
3541
wakati walipomuua Fred Hampton.
04:27
Overwhelmed with fear
79
267417
3017
Alipozidiwa na hofu
04:30
and rage
80
270458
1768
na ghadhabu
04:32
and grief,
81
272250
1309
na majonzi,
04:33
Uncle Freeman tried to game his future.
82
273583
3435
Mjomba Freeman alijaribu kupambana na yaliyo mbeleni.
04:37
He gripped too tight,
83
277042
1934
Akashikilia kwa mkazo,
04:39
and he started playing the numbers.
84
279000
2309
na kuanza kucheza na nambari.
04:41
"Well, one of these numbers is gonna hit, little girl.
85
281333
2601
"Sikia, moja ya hizi nambari zitashinda, binti.
04:43
You got a quarter for your uncle Free -- "
86
283958
2060
Una robo kwa ajili ya uncle wako Free --"
04:46
Now some of y'all have that relative.
87
286042
2476
Wengine wenu mnaye ndugu kama huyu.
04:48
But I knew right then and there I had to do something.
88
288542
3559
Lakini nilijua papo hapo lazima ningechukua hatua.
04:52
I jumped up and I grabbed that hammer
89
292125
1809
Nikaruka na kunyaka nyundo
04:53
and I brought it crashing down on that pig.
90
293958
2226
na nikaileta chini kuvunja kibubu.
04:56
And Uncle Freeman started to weep as I gathered up all the coins.
91
296208
4101
Mjomba akaanza kulia huku mimi nikiokota sarafu.
05:00
"We're not buying no lottery ticket, Uncle Freeman.
92
300333
2518
"Hatununui tikiti za bahati nasibu mjomba,
05:02
C'mon."
93
302875
1250
C'mon."
05:05
We spent every last cent at the seed store.
94
305333
5250
Tulitumia hadi centi ya mwisho kwenye duka la mbegu
05:11
You know, the kids in my gardening group?
95
311542
2017
Unakumbuka wale watoto wakulima ?
05:13
They didn't bat an eye when I had Uncle Freeman get down
96
313583
2643
Hawakushtuka nilipomlazimisha mjomba Freeman
05:16
and put his hands in the earth again
97
316250
2434
kufanya kazi bustanini tena
05:18
and start breaking up that soil for our seeds.
98
318708
3018
na kutayarisha udongo kwa ajili ya mbegu
05:21
And my little friend Taesha even came over and started slapping him on the back
99
321750
3809
Na rafiki yangu mdogo akaja na kuanza kumpiga kofi mgongoni
05:25
saying, "Cry it out, Uncle Freeman.
100
325583
1726
akisema,"Lia mjomba Freeman,
05:27
Cry it out."
101
327333
1250
Lia
05:30
"I can't fix this," he sobbed.
102
330000
2292
"Siwezi rekebisha",alisema
05:34
It's an ancient-future truism, that.
103
334583
3542
Ni yakini ya kale-mbeleni.
05:39
He wasn't the first to feel that way, and he wouldn't be the last.
104
339042
3583
Hakua wa kwanza kuionelea hivyo na hatakua wa mwisho
05:43
Right now, it feels as though everything is breaking beyond repair.
105
343750
5750
Kwa sasa, ineonekana kila kitu kinavuja kuzidi marekebisho
05:50
It is.
106
350625
1250
Ni kweli
05:52
But that breaking apart can be a breaking open,
107
352708
4976
Lakini kuvunja kwa kutenganisha kunaweza kuwa kuvunja kwa kuacha wazi,
05:57
no matter how violent and uncertain
108
357708
2101
hata iwe dhalimu na isiyofahamika
05:59
and fearsome it seems.
109
359833
2292
na kuogofya inaonyesha
06:03
The thing is ...
110
363125
2268
Jambo kuu ni ...
06:05
we can't do it alone.
111
365417
2041
hatuwezi sisi wenyewe.
06:08
Uncle Freeman cried so much that day as we planted our seeds,
112
368958
5685
Mjomba Freeman alilia sana hiyo siku wakati wa upandaji mbegu zetu,
06:14
he was our very own irrigation system.
113
374667
3000
akawa mfumo wa kunyunyiza maji
06:20
"I don't know who I am anymore, little girl,"
114
380125
2351
"Sijui mimi ni nani tena, msichana mdogo",
06:22
he said to me at sundown.
115
382500
2333
aliniambia wakati wa machweo.
06:26
"Good, Uncle Freeman.
116
386083
2560
"Vyema, mjomba Freeman
06:28
Good.
117
388667
1291
Vyema.
06:30
You're new again,
118
390833
2685
Umekua mpya tena,
06:33
and that's just how we need you."
119
393542
3250
ni hivyo ndivyo tunakuhitaji uwe."
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7