A path to higher education and employment for refugees | Chrystina Russell

40,807 views ・ 2020-07-10

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Hanningtone Omollo
00:14
Saida Aden Said: I still have this horrific image in my mind.
0
14753
3255
Saida Aden Said: Bado nina taswira hii mbaya katika kumbukumbu zangu.
00:18
I could see people falling down,
1
18032
2290
ningeweza ona watu wakianguka chini,
00:20
gunshots.
2
20346
1164
milio ya risasi.
00:21
I was so terrified.
3
21534
1328
Niliogopa sana.
00:22
Really, I was crying a lot.
4
22886
2209
Kwa kweli, nililia sana.
00:25
Someone who knew my father and my mom grabbed my hand, and he said,
5
25119
3336
Mtu aliyewajua baba na mama yangu akanishika mkono, akisema,
00:28
"Let's go! Let's go! Let's go!"
6
28479
1964
"Twenda! Twende! Twende!"
00:30
And I was like, "Where's my mom? My mom? My mom?"
7
30467
2857
Nikawa nasema," Mamangu yuwapi? Mama yangu? Mama yangu?"
00:34
Noria Dambrine Dusabireme: During nights we would hear shots,
8
34245
3096
Noria Dambrine Dusabireme: Usiku tungesikia milio ya risasi,
00:37
we would hear guns.
9
37365
1193
tulisikia bunduki,
00:38
Elections were supposed to happen.
10
38582
1694
Uchaguzi ulitakiwa kufanyika.
00:40
We had young people going in the street,
11
40300
2547
Vijana walienda barabarani,
00:42
they were having strikes.
12
42871
1826
walikuwa na migomo.
00:44
And most of the young people died.
13
44721
2017
Na vijana wengi walifariki
00:47
SAS: We boarded a vehicle.
14
47627
1801
SAS: Tulipanda gari.
00:49
It was overloaded.
15
49452
1200
Lilikuwa limejaa sana
00:50
People were running for their lives.
16
50676
2505
Watu walikimbia kunusuru maisha yao,
00:53
That is how I fled from Somalia.
17
53205
2457
Hivi ndivyo nilivyochipuruka Somalia.
00:56
My mom missed me.
18
56221
1464
Mama yangu alinimisi sana.
00:57
Nobody told her where I went.
19
57709
2071
Hakuna yeyote aliyemweleza nilikokwenda.
01:00
NDD: The fact that we did not go to school,
20
60520
2034
NDD:Ukweli ni kwamba, hatukusoma,
01:02
we couldn't go to the market, we were just stuck home
21
62578
2731
Hatukuweza kwenda sokoni, tulibaki nyumbani tu
01:05
made me realize that if I got an option to go for something better,
22
65333
4604
ikanifanya nijue kuwa ningepata nafasi ya kuchagua kitu kizuri,
01:09
I could just go for it and have a better future.
23
69961
2894
ningeweza kukichagua na kuwa na maisha bora mbeleni.
01:13
(Music)
24
73448
1092
(Muziki)
01:14
Ignazio Matteini: Globally, displaced people in the world
25
74564
2710
Ignazio Matteini: Duniani, idadi wa watu walio uhamishoni
01:17
have been increasing.
26
77298
1154
imekuwa ikiongezeka
01:18
Now there are almost 60 million people displaced in the world.
27
78476
3938
Sasa takriban watu Millioni 60 wako uhamishoni duniani
01:22
And unfortunately, it doesn't stop.
28
82438
2353
Na kwa bahati mbaya, haipungui.
01:25
Chrystina Russell: I think the humanitarian community
29
85410
2574
Chrystina Russell:Nafikiri jamii ya misaada kibinadamu
01:28
is starting to realize from research and reality
30
88008
2265
inaanza kugundua kutokana na utafiti na uhakika
01:30
that we're talking about a much more permanent problem.
31
90297
2684
tunaongelea tatizo la kudumu zaidi
01:33
Baylie Damtie Yeshita: These students, they need a tertiary education,
32
93005
3381
Baylie Damtie Yeshita: Wanafunzi hawa, wanahitaji elimu ya juu,
01:36
a degree that they can use.
33
96410
2490
shahada wanayoweza kuitumia.
01:38
If the students are living now in Rwanda,
34
98924
2344
Ikiwa wanafunzi wanaishi Rwanda sasa,
01:41
if they get relocated, still they can continue their study.
35
101292
3287
Ikiwa watahama, bado wataendelea na masomo yao.
01:44
Still, their degree is useful, wherever they are.
36
104603
4203
Bado, shahada yao itakuwa na maana, kokote wako
01:49
CR: Our audacious project was to really test
37
109778
2759
CR: Mradi wetu wa kijasiri ulikuwa ni kwa ajili ya kupima
01:52
Southern New Hampshire University's Global Education Movement's
38
112561
3101
Vuguvugu la Elimu Ulimwenguni la Chuo cha New Hampshire ya Kusini
01:55
ability to scale,
39
115686
2034
uwezo wa kukuza
01:57
to bring bachelor's degrees and pathways to employment
40
117744
3235
shahada za kwanza na mifumo ya kupata ajira
02:01
to refugees and those who would otherwise not have access to higher education.
41
121003
4574
kufikia wahamiaji na wale ambao wasingeweza kufikia elimu ya juu
02:06
SAS: It was almost impossible, as a refugee person,
42
126402
3141
SAS: Kama mhamiaji, ni changamani
02:09
to further my education and to make my career.
43
129567
3763
kujiendeleza kielimu na kitaaluma.
02:13
My name is Saida Aden Said,
44
133354
1877
Jina langu ni Saida Aden Said,
02:15
and I am from Somalia.
45
135255
2569
Na ninatokea Somalia,
02:17
I was nine years old when I came to Kakuma,
46
137848
2702
Nilikuwa na miaka tisa, nilipokuja Kakuma,
02:20
and I started going to school at 17.
47
140574
3061
na nikaanza shule nikiwa na miaka 17
02:23
Now I am doing my bachelor degree
48
143659
2851
Kwa sasa nafanya shahada yangu ya kwanza
02:26
with SNHU.
49
146534
1826
na SNHU.
02:29
NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme.
50
149896
3269
NDD: My name is Noria Dambrine Dusabireme.
02:33
I'm doing my bachelor of arts in communications
51
153189
4394
Ninasomea shahada ya kwanza ya sanaa katika mawasiliano
02:37
with a concentration in business.
52
157607
2364
nikijikita katika masuala ya biashara.
02:39
CR: We are serving students across five different countries:
53
159995
3699
CR:Tunahudumia wanafunzi kutoka nchi tano tofauti:
02:43
Lebanon, Kenya, Malawi, Rwanda and South Africa.
54
163718
4303
Lebanon, Kenya, Malawi, Rwanda na Afrika ya Kusini.
02:48
Really proud to have 800 AA grads to over 400 bachelor's graduates
55
168045
5570
Tunafurahia wahitimu wa kiwango cha AA 800 na zaidi ya 400 wa shahada ya kwanza
02:53
and nearly 1,000 students enrolled right now.
56
173639
3412
na karibu wanafunzi 1000 walioandikisha kwa sasa.
02:59
So, the magic of this is that we're addressing refugee lives as they exist.
57
179391
5172
la ajabu, tunaangazia maisha ya wakimbizi kama yalivyo.
03:04
There are no classes.
58
184587
1417
Hakuna ubaguzi kitabaka
03:06
There are no lectures.
59
186028
1707
Hakuna mihadhara.
03:07
There are no due dates.
60
187759
1480
Hakuna tarehe za mwisho
03:09
There are no final exams.
61
189263
1713
Hakuna mitihani ya mwisho.
03:11
This degree is competency-based and not time-bound.
62
191573
3930
shahada hili linapima uwezo na haujafungwa na muda.
03:15
You choose when you start your project.
63
195527
2401
Unachagua muda wa kuanza mradi wako.
03:17
You choose how you're going to approach it.
64
197952
2523
Unachagua utakavyoikabili
03:20
NDD: When you open the platform, that's where you can see the goals.
65
200499
3478
NDD:Unapofungua jukwaa, ndipo unapoweza kuona malengo.
03:24
Under each goal, we can find projects.
66
204001
3252
Kwenye kila lengo, tunaweza kupata miradi.
03:27
When you open a project, you get the competencies
67
207277
3081
Unapofungua mradi, unakutana na uweza
03:30
that you have to master,
68
210382
1853
ambao unatakiwa kumudu,
03:32
directions
69
212259
1325
uelekeo
03:33
and overview of the project.
70
213608
1583
na muhtasari wa mradi,
03:35
CR: The secret sauce of SNHU
71
215754
2199
CR: Kiungo muhimu cha SNHU
03:37
is combining that competency-based online learning
72
217977
4220
ni kujumuisha usomaji kwa kuangalia uwezo
03:42
with the in-person learning that we do with partners
73
222221
3158
pamoja na usomaji wa pamoja na washirika
03:45
to provide all the wraparound supports.
74
225403
2390
ili kuwa na msaada pande zote
03:47
That includes academic coaching.
75
227817
2306
Hii ni pamoja na ufundishaji kitaaluma.
03:50
It means psychosocial support,
76
230147
1822
Inamaanisha msaada saikolojia-jamii,
03:51
medical support,
77
231993
1593
msaada wa kimatibabu,
03:53
and it's also that back-end employment support
78
233610
3020
na pia ni ule msaada wa mlango wa nyuma wa ajira
03:56
that's really resulting in the 95 percent graduation,
79
236654
3484
ndiyo inasababisha hitimu kwa asilimia 95,
04:00
the 88 percent employment.
80
240162
2095
na asilimia 88 kuajiriwa,
04:02
NDD: I'm a social media management intern.
81
242281
2933
NDD: mimi mzoezi wa vitendo ya kuratibu mitandao ya kijamii.
04:05
It's related to the communications degree I'm doing.
82
245238
3699
Inahusiana na shahada ya mawasiliano ninayoifanya.
04:08
I've learned so many things out of the project and in the real world.
83
248961
5268
Nimejifunza mambo mengi katika mradi huu na dunia halisi.
04:14
CR: The structured internship is really an opportunity
84
254253
2579
CR: Mazoezi ya vitendo yanayoongozwa ni nafasi
04:16
for students to practice their skills,
85
256856
2262
kwa wanafunzi kufanyia mazoezi ujuzi wao
04:19
for us to create connections between that internship
86
259142
3351
kwa sisi kutengeneza daraja katika mazoezi kwa vitendo
04:22
and a later job opportunity.
87
262517
2521
na upatikanaji wa nafasi za kazi baadae.
04:25
(Music)
88
265703
1990
(Muziki)
04:28
This is a model that really stops putting time
89
268110
3981
Hii ni modeli ambayo inazuia kuweka muda
04:32
and university policies and procedures at the center
90
272115
2676
na sera za chuo kikuu na utaratibu kipao mbele
04:34
and instead puts the student at the center.
91
274815
2539
na badala yake unamweka mwanafunzi kileleni
04:38
IM: The SNHU model is a big way to shake the tree.
92
278158
4572
IM: Modeli ya SNHU ni njia kubwa ya kutikisa mti.
04:43
Huge.
93
283770
1152
Kubwa
04:44
It's a huge shake to the traditional way of having tertiary education here.
94
284946
4953
ni mtikisiko mkubwa kwenye njia ya asili ya elimu ya juu hapa
04:51
BDY: It can transform the lives of students
95
291610
3915
BDY:inaweza badilisha maisha ya wanafunzi
04:55
from these vulnerable and refugee communities.
96
295549
2996
kutoka katika hali ya mashaka na ukimbizi
04:58
NDD: If I get the degree,
97
298569
1437
NDD: nikipata shahada
05:00
I can just come back and work everywhere that I want.
98
300030
3511
naweza rudi na kufanya kazi popote nitakapo
05:03
I can go for a masters confidently in English,
99
303565
3495
Ninaweza kufanya shahada ya pili kwa ujasiri katika Kiingereza,
05:07
which is something that I would not have dreamt of before.
100
307084
3300
kitu nisingewazia hapo awali
05:10
And I have the confidence and the skills required
101
310408
3387
Na nina ujasiri na ujuzi unaohitajika
05:13
to actually go out and just tackle the workplace
102
313819
3537
kwenda na kupambana katika mazingira ya kazi
05:17
without having to fear that I can't make it.
103
317380
3859
bila kujali kuwa nitaweza.
05:21
SAS: I always wanted to work with the community.
104
321263
2516
SAS: Nilitaka kufanya kazi na jamii.
05:23
I want to establish a nonprofit.
105
323803
2617
Nataka kuanzisha shirika isiyo ya faida
05:26
We advocate for women's education.
106
326444
3281
Tunahimiza elimu ya wanawake.
05:29
I want to be someone who is, like, an ambassador
107
329749
3478
Ninataka kuwa mtu ambaye ni kama balozi
05:33
and encourage them to learn
108
333251
2717
na kuwashawishi kusoma
05:35
and tell them it is never too late.
109
335992
3094
na kuwaambia hawajachelewa.
05:40
It's a dream.
110
340206
1571
Ni ndoto
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7