Chimamanda Ngozi Adichie: The danger of a single story | TED

14,089,006 views ・ 2009-10-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Miriam Loivotoki Elisha Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
I'm a storyteller.
0
12160
1976
Mimi ni msimuliaji wa hadithi
00:14
And I would like to tell you a few personal stories
1
14160
2976
Ningependa kuwasimulia kidogo maisha yangu
00:17
about what I like to call "the danger of the single story."
2
17160
4976
juu ya kile ninachopenda kuita "hatari ya simulizi moja"
00:22
I grew up on a university campus in eastern Nigeria.
3
22906
3230
Nilikulia mazingira ya chuo kikuu magharibi mwa Nigeria
00:26
My mother says that I started reading at the age of two,
4
26318
3309
Mama yangu anasema nilianza kusoma nikiwa na miaka miwili
00:29
although I think four is probably close to the truth.
5
29651
3016
japo nadhani miaka minne ni sahihi zaidi
00:33
So I was an early reader,
6
33913
1811
Niliwahi sana kuanza kusoma
00:35
and what I read were British and American children's books.
7
35748
3388
Nilisoma vitabu vya watoto vya Uingereza na Marekani
00:39
I was also an early writer,
8
39866
2270
Pia nilianza kuandika katika umri mdogo
00:42
and when I began to write, at about the age of seven,
9
42160
3976
Na nilipoanza kuandika, nikiwa na takriban miaka saba,
00:46
stories in pencil with crayon illustrations
10
46160
2048
hadithi za penseli na michoro ya rangi
00:48
that my poor mother was obligated to read,
11
48232
3532
ambazo mama yangu alilazimika kuzisoma,
00:51
I wrote exactly the kinds of stories I was reading:
12
51788
3568
niliandika hadithi sawa na zile nilizokuwa nazisoma:
00:55
All my characters were white and blue-eyed,
13
55380
4756
Wahusika wangu wote walikuwa wazungu na wenye macho ya bluu.
01:00
they played in the snow,
14
60160
2307
Walicheza katika theluji.
01:02
they ate apples,
15
62491
2087
Walikula matofaa
01:04
(Laughter)
16
64602
1397
(Kicheko)
01:06
and they talked a lot about the weather,
17
66173
2011
Na walizungumza sana kuhusu hali ya hewa,
01:08
how lovely it was that the sun had come out.
18
68208
2128
jinsi ilivyo vizuri kuona jua limechomoza.
01:10
(Laughter)
19
70569
1964
(Kicheko)
01:12
Now, this despite the fact that I lived in Nigeria.
20
72557
3134
Yote haya,ingawa niliishi Nigeria.
01:15
I had never been outside Nigeria.
21
75715
1778
Nilikuwa sijawahi kwenda nje ya Nigeria.
01:19
We didn't have snow, we ate mangoes,
22
79303
3261
Hatukuwa na theluji, tulikula maembe.
01:22
and we never talked about the weather,
23
82588
1848
Na hatukuzungumza kuhusu hali ya hewa,
01:24
because there was no need to.
24
84460
1676
sababu hakukuwa na haja ya kufanya hivyo.
01:26
My characters also drank a lot of ginger beer,
25
86429
2707
Wahusika wangu pia walikunywa sana bia ya tangawizi
01:29
because the characters in the British books I read
26
89160
2381
kwa sababu wahusika katika vitabu vya Uingereza
01:31
drank ginger beer.
27
91565
1571
walikunywa bia ya tangawizi.
01:33
Never mind that I had no idea what ginger beer was.
28
93461
2675
Ijapokuwa sikuifahamu bia ya tangawizi
01:36
(Laughter)
29
96160
1531
(Kicheko)
01:37
And for many years afterwards,
30
97715
1450
Na kwa miaka mingi baadaye
01:39
I would have a desperate desire to taste ginger beer.
31
99189
2947
nilikuwa na shauku ya kuonja bia ya tangawizi.
01:42
But that is another story.
32
102636
1500
Lakini hiyo ni hadithi nyingine.
01:44
What this demonstrates, I think,
33
104160
2483
Ambacho hii inaonyesha,nafikiri
01:46
is how impressionable and vulnerable we are
34
106667
2854
Ni namna tulivyo wajinga na wanyonge
01:49
in the face of a story,
35
109545
1591
Tunapokabiliana na simulizi
01:51
particularly as children.
36
111160
1385
hasa hasa kama watoto
01:53
Because all I had read were books in which characters were foreign,
37
113799
3770
Sababu nilisoma vitabu vyenye wahusika wa kigeni
01:57
I had become convinced that books
38
117593
2119
Nilikuwa nimeaminishwa kwamba vitabu
01:59
by their very nature had to have foreigners in them
39
119736
3170
kwa asili lazima viwe na wahusika wageni
02:02
and had to be about things with which I could not personally identify.
40
122930
3719
Na vielezo kuhusu mambo ambayo binafsi siyafahamu
02:07
Now, things changed when I discovered African books.
41
127760
2619
Mambo yalibadilika Nilipopata vitabu vya Afrika
02:11
There weren't many of them available,
42
131160
1976
havikuwepo kwa wingi
02:13
and they weren't quite as easy to find as the foreign books.
43
133160
2869
Na haikuwa rahisi kuvipata kama vya kigeni
02:16
But because of writers like Chinua Achebe and Camara Laye,
44
136053
3083
Lakini sababu ya waandishi kama Chinua Achebe na Camara Laye
02:19
I went through a mental shift in my perception of literature.
45
139160
3976
Nilipata badiliko la akili ninavyoiona fasihi
02:23
I realized that people like me,
46
143160
2214
Niligundua kwamba watu kama mimi,
02:25
girls with skin the color of chocolate,
47
145398
2007
wasichana weusi
02:27
whose kinky hair could not form ponytails,
48
147429
3262
wenye nywele ngumu
02:30
could also exist in literature.
49
150715
1810
pia wapo katika fasihi.
02:32
I started to write about things I recognized.
50
152842
3294
Nilianza kuandika vitu nilivyovifahamu
02:36
Now, I loved those American and British books I read.
51
156897
3239
Nilikuwa navipenda hivyo vitabu vya Marekani na Uingereza
02:40
They stirred my imagination. They opened up new worlds for me.
52
160160
3976
Viliamsha fikra zangu Vilifunua vitu vipya.
02:44
But the unintended consequence
53
164160
1976
Lakini matokeo yasiyokusudiwa
02:46
was that I did not know that people like me
54
166160
2048
yalikuwa; sikufahamu kuwa watu kama mimi
02:48
could exist in literature.
55
168232
1426
waweza kuwepo katika fasihi.
02:50
So what the discovery of African writers did for me was this:
56
170611
3525
hivyo ufumbuzi wa waandishi Waafrika:
02:54
It saved me from having a single story of what books are.
57
174160
3877
Uliniokoa na mtazamo mmoja juu ya vitabu
02:59
I come from a conventional, middle-class Nigerian family.
58
179160
2976
Ninatoka kwenye familia ya kawaida
03:02
My father was a professor.
59
182160
1976
Baba yangu alikuwa mhadhiri
03:04
My mother was an administrator.
60
184545
1683
Mama yangu ni afisa wa utawala
03:07
And so we had, as was the norm,
61
187529
2802
Kwa hiyo kama kawaida, tulikuwa na,
03:10
live-in domestic help, who would often come from nearby rural villages.
62
190355
4349
mtumishi wa nyumbani anayetoka vijiji vya jirani
03:15
So, the year I turned eight, we got a new house boy.
63
195342
3286
Nilipokuwa na miaka nane tulipata mtumishi wa kiume
03:19
His name was Fide.
64
199262
1254
Jina lake aliitwa Fide
03:21
The only thing my mother told us about him was that his family was very poor.
65
201818
4301
Mama alituambia kuwa familia yake ni masikini sana
03:27
My mother sent yams and rice, and our old clothes, to his family.
66
207160
4976
Mama alituma magimbi na mchele na nguo zetu za zamani kwa familia yao
03:32
And when I didn't finish my dinner, my mother would say,
67
212160
2620
Na niliposhindwa kumaliza chakula mama alisema,
03:34
"Finish your food! Don't you know? People like Fide's family have nothing."
68
214804
4332
"Maliza chakula! kuna watu ambao hawana chochote
03:39
So I felt enormous pity for Fide's family.
69
219160
3976
Niliwahurumia sana familia ya Fide
03:43
Then one Saturday, we went to his village to visit,
70
223736
2897
Jumamosi moja tukaenda kijijini kwao kutembelea
03:46
and his mother showed us a beautifully patterned basket
71
226657
3479
na mama yake akatuonyesha kikapu kizuri
03:50
made of dyed raffia that his brother had made.
72
230160
2976
kilichosukwa kwa ukili uliopakwa rangi na kaka yake Fide
03:53
I was startled.
73
233160
1976
Nilishangaa
03:55
It had not occurred to me that anybody in his family
74
235160
2976
Sikudhani kuwa yeyote katika familia yake
03:58
could actually make something.
75
238160
2976
angeweza kutengeneza chochote
04:01
All I had heard about them was how poor they were,
76
241160
2976
yote niliyowahi kusikia kuhusu wao ni namna walivyo masikini
04:04
so that it had become impossible for me to see them as anything else but poor.
77
244160
4467
Kwa hiyo ilikuwa haiwezekani kwangu kuwaona tofauti na umasikini wao
04:09
Their poverty was my single story of them.
78
249303
2371
umasikini wao ilikuwa ni simulizi moja kwangu
04:13
Years later, I thought about this when I left Nigeria
79
253160
2524
baadaye niliwaza hili nilipotoka Nigeria
04:15
to go to university in the United States.
80
255708
2682
Kwenda Marekani kusoma chuo kikuu
04:18
I was 19.
81
258501
1333
Nilikuwa na miaka 19
04:20
My American roommate was shocked by me.
82
260581
2777
Mmarekani niliyekuwa naishi naye chumba kimoja alinishangaa
04:24
She asked where I had learned to speak English so well,
83
264160
3586
Aliuliza wapi nimefunza kuzungumza kiingereza vizuri
04:27
and was confused when I said that Nigeria
84
267770
2088
Alishangaa nilipomwambia kuwa Nigeria
04:29
happened to have English as its official language.
85
269882
2714
wanatumia kiingereza kama lugha ya taifa
04:33
She asked if she could listen to what she called my "tribal music,"
86
273913
4223
Aliomba kusikiliza "nyimbo za kikabila"
04:38
and was consequently very disappointed
87
278160
1976
na alipigwa butwaa vile vile
04:40
when I produced my tape of Mariah Carey.
88
280160
1976
Nilipompa kanda yangu ya Mariah Carey
04:42
(Laughter)
89
282160
2976
(kicheko)
04:45
She assumed that I did not know how to use a stove.
90
285160
3693
Alidhani kuwa sifahamu kutumia jiko la umeme
04:49
What struck me was this:
91
289942
1256
Kilichonishangaza mimi ni hiki
04:51
She had felt sorry for me even before she saw me.
92
291222
3075
Alikuwa ananihurimia hata kabla ya kuniona
04:54
Her default position toward me, as an African,
93
294688
3448
Mtazamo wake mbovu, kunihusu, kama Mwafrika,
04:58
was a kind of patronizing, well-meaning pity.
94
298160
3036
Ulikuwa wa huruma ya kudhalilisha, yenye kujali
05:02
My roommate had a single story of Africa:
95
302160
3496
Alikuwa na simulizi moja kuhusu Afrika:
05:05
a single story of catastrophe.
96
305783
2354
Simulizi ya majanga.
05:08
In this single story,
97
308572
1286
Kwenye simulizi hii moja,
05:09
there was no possibility of Africans being similar to her in any way,
98
309882
4254
Hakukuwa na uwezekano wa Mwafrika kufanana naye kwa namna yeyote,
05:14
no possibility of feelings more complex than pity,
99
314160
2976
Hakukuwa na uwezekano wa hisia ngumu zaidi ya huruma,
05:17
no possibility of a connection as human equals.
100
317160
3976
Hakukuwa na uwezekano wa ushirikiano kama binadamu walio sawa.
05:21
I must say that before I went to the U.S.,
101
321160
2123
Lazima niseme kuwa kabla ya kwenda Marekani,
05:23
I didn't consciously identify as African.
102
323307
2281
Sikuwa nikijitambua kwa undani kama Mwafrika.
05:26
But in the U.S., whenever Africa came up, people turned to me.
103
326160
2976
Lakini Marekani, popote Afrika ilipotajwa, watu walinigeukia.
05:29
Never mind that I knew nothing about places like Namibia.
104
329160
2746
Bila kujali kuwa sifahamu chochote kuhusu nchi kama Namibia.
05:33
But I did come to embrace this new identity,
105
333160
2096
Lakini nilikuja kuupokea huu utambulisho mpya,
05:35
and in many ways I think of myself now as African.
106
335280
2856
Na kwa namna nyingi sasa ninajitazama kama Mwafrika.
05:38
Although I still get quite irritable when Africa is referred to as a country,
107
338160
3976
Ijapokuwa bado ninakasirishwa sana pale Afrika inapoelezewa kama ni nchi
05:42
the most recent example being my otherwise wonderful flight
108
342160
3976
Mfano wa karibu, ni safari yangu ya ndege
05:46
from Lagos two days ago,
109
346160
1285
Kutoka Lagos hivi juzi,
05:47
in which there was an announcement on the Virgin flight
110
347469
2882
Ambapo kulikuwa na tangazo
05:50
about the charity work in "India, Africa and other countries."
111
350375
4761
Kuhusu kazi ya kujitolea kule "India, Afika na nchi nyingine"
05:55
(Laughter)
112
355160
1317
Kicheko
05:56
So, after I had spent some years in the U.S. as an African,
113
356636
3500
Baada ya kuishi Marekani kama Mwafrica
06:00
I began to understand my roommate's response to me.
114
360160
3174
Nikaanza kuelewa mwitikio wa niliyekuwa naishi naye chumba kimoja
06:04
If I had not grown up in Nigeria,
115
364160
2025
kama sikukulia Nigeria
06:06
and if all I knew about Africa were from popular images,
116
366209
3141
Na kama kila nilichofahamu kuhusu Afrika kilitokana na picha maarufu
06:09
I too would think that Africa was a place of beautiful landscapes,
117
369374
5172
Mimi pia ningedhani kuwa Africa ni mahali penye mandhari nzuri,
06:14
beautiful animals,
118
374570
1566
Wanyama wa kupendeza,
06:16
and incomprehensible people,
119
376160
1976
na watu wasioeleweka,
06:18
fighting senseless wars, dying of poverty and AIDS,
120
378160
3631
wapiganao vita visivyo na maana, wanaokufa na umasikini na UKIMWI
06:21
unable to speak for themselves
121
381815
2321
wasioweza kujisemea
06:24
and waiting to be saved by a kind, white foreigner.
122
384160
4155
wanaosubiri kusaidiwa na mtu mweupe, mgeni mwenye ukarimu
06:29
I would see Africans in the same way that I,
123
389088
2169
Ningewaona waafrika kwa namna ile ambayo mimi,
06:31
as a child, had seen Fide's family.
124
391281
2703
nilipokuwa mtoto, niliiona familia ya Fide
06:35
This single story of Africa ultimately comes, I think, from Western literature.
125
395160
3976
Hii simulizi moja kuhusu Afrika nadhani inatokana na fasihi za magharibi
06:39
Now, here is a quote from the writing of a London merchant called John Lok,
126
399160
4976
Sasa, huu ni msemo kutoka katika uandishi wa mfanyabiashara wa London aitwaye John Lok,
06:44
who sailed to west Africa in 1561
127
404160
2976
aliyesafiri kwa maji kuelekea Afrika magharibi mwaka 1561
06:47
and kept a fascinating account of his voyage.
128
407160
3663
na aliweka hazina ya kuvutia kutokana na safari yake.
06:52
After referring to the black Africans as "beasts who have no houses,"
129
412363
3773
Baada ya kuwaita Waafrika weusi kama " hayawani wasio na nyumba,"
06:56
he writes, "They are also people without heads,
130
416160
3976
aliandika,"Pia kuna watu wasio na vichwa,
07:00
having their mouth and eyes in their breasts."
131
420160
3968
midomo na macho yao yapo katika vifua vyao."
07:05
Now, I've laughed every time I've read this.
132
425160
2096
Sasa, nilicheka kila nikisoma haya maneno.
07:07
And one must admire the imagination of John Lok.
133
427280
3380
Na lazima mtu atakubaliana na fikira za John Lok.
07:11
But what is important about his writing
134
431533
1866
Lakini kipi ni muhimu kuhusu uandishi wake
07:13
is that it represents the beginning
135
433423
1713
ni kwamba inawakilisha mwanzo
07:15
of a tradition of telling African stories in the West:
136
435160
2976
wa utamaduni wa kuelezea hadithi za Afrika kwa Magharibi:
07:18
A tradition of Sub-Saharan Africa as a place of negatives,
137
438160
3367
Utamaduni wa kusini mwa jangwa la Sahara kama sehemu isiyofaa,
07:21
of difference, of darkness,
138
441639
2155
yenye utofauti, yenye kiza,
07:23
of people who, in the words of the wonderful poet Rudyard Kipling,
139
443818
5318
ya watu ambao, kutokana na maneno ya mshairi bora aitwaye Rudyard Kipling,
07:29
are "half devil, half child."
140
449160
1941
ni "nusu shetani, nusu watoto."
07:32
And so, I began to realize that my American roommate
141
452371
2765
Hivyo, nilianza kuelewa kwamba mwanafunzi Mmarekani ninayeshirikiana nae chumba
07:35
must have throughout her life
142
455160
1976
lazima katika maisha yake
07:37
seen and heard different versions of this single story,
143
457160
3976
atakuwa ameona na kusikia namna mbalimbali za hii hadithi moja,
07:41
as had a professor,
144
461160
1976
kama ilivyo kwa profesa,
07:43
who once told me that my novel was not "authentically African."
145
463160
3766
ambaye aliwahi niambia kuwa riwaya yangu haikuwa "na uhalisia wa Kiafrika,"
07:48
Now, I was quite willing to contend
146
468029
1691
Sasa, nilikubaliana na kuchanganua
07:49
that there were a number of things wrong with the novel,
147
469744
3095
kwamba kulikuwa na baadhi ya vitu ambavyo si sawa katika riwaya hii,
07:52
that it had failed in a number of places,
148
472863
3273
na kuwa nilifeli katika maeneo mbalimbali,
07:56
but I had not quite imagined that it had failed
149
476160
2239
lakini sikufiria kwamba ilifeli
07:58
at achieving something called African authenticity.
150
478423
2713
katika kutekeleza uhalisia wake wa Kiafrika.
08:01
In fact, I did not know what African authenticity was.
151
481160
3706
Kiukweli, sikufahamu uhalisia wa Kiafrika ni upi.
08:06
The professor told me that my characters were too much like him,
152
486160
4396
Profesa alinielezza kwamba wahusika kwenye riwaya walikuwa wanafanana mno kama yeye,
08:10
an educated and middle-class man.
153
490580
1976
msomi aliye katika maisha ya kati.
08:12
My characters drove cars.
154
492580
2102
Wahusika wangu waliendesha magari.
08:14
They were not starving.
155
494706
2430
Hawakuwa wanashinda na njaa.
08:17
Therefore they were not authentically African.
156
497160
2927
Kwa hiyo hawakuwa Waafrika halisi.
08:21
But I must quickly add that I too am just as guilty
157
501160
2976
Lakini niongeze haraka-haraka kwamba najisikia hatia
08:24
in the question of the single story.
158
504160
2070
katika swali la la hadithi iliyo moja.
08:27
A few years ago, I visited Mexico from the U.S.
159
507160
2991
Miaka michache iliyopita, nilitembelea Mexico nikitokea Marekani.
08:31
The political climate in the U.S. at the time was tense,
160
511160
2667
Hali ya kisiasa nchini Marekani wakati huo ilikuwa tete,
08:33
and there were debates going on about immigration.
161
513851
3285
kulikuwa na majadiliano yanayoendelea kuhusu uhamiaji.
08:37
And, as often happens in America,
162
517160
1976
Na, mara kwa mara hutokea Marekani,
08:39
immigration became synonymous with Mexicans.
163
519160
2976
neno uhamiaji likaja kuwa linahusishwa na watu wenye asili ya Mexico.
08:42
There were endless stories of Mexicans
164
522858
1933
Kulikuwa na hadithi ndefu kuhusu Wamexico
08:44
as people who were fleecing the healthcare system,
165
524815
3321
kama watu wanaonyonya mfumo wa afya,
08:48
sneaking across the border,
166
528160
1976
wanajipenyeza kwenye mipaka,
08:50
being arrested at the border, that sort of thing.
167
530160
2465
wanakamatwa kwenye mipaka, vitu kama hivyo.
08:54
I remember walking around on my first day in Guadalajara,
168
534323
3813
Nakumbuka siku ya kwanza nilipokuwa natembea eneo liitwalo Guadalajara,
08:58
watching the people going to work,
169
538160
1976
nikiwaangalia watu wakielekea makazini,
09:00
rolling up tortillas in the marketplace,
170
540160
1976
wakitengeneza tortilla maeneo ya sokoni,
09:02
smoking, laughing.
171
542160
1973
wakivuta sigara, wakicheka.
09:05
I remember first feeling slight surprise.
172
545355
2781
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilipatwa na mshangao kidogo.
09:08
And then, I was overwhelmed with shame.
173
548160
2976
Kisha, nikagubikwa na aibu.
09:11
I realized that I had been so immersed in the media coverage of Mexicans
174
551501
4635
Nikatambua ya kwamba nimezama sana katika habari zinazoelezea watu wa Mexico
09:16
that they had become one thing in my mind,
175
556160
2000
ambao wamekuwa jambo katika akili yangu,
09:18
the abject immigrant.
176
558184
1825
wahamiaji duni,
09:20
I had bought into the single story of Mexicans
177
560929
2422
nilidanganyika katika hadithi moja ya watu wa Mexico
09:23
and I could not have been more ashamed of myself.
178
563375
2507
na sikuweza kujisikia aibu zaidi.
09:26
So that is how to create a single story,
179
566231
2547
Kwa hiyo hiyo ndiyo namna ya kutengeneza hadithi moja.
09:28
show a people as one thing,
180
568802
2334
kuwaeleza watu kama jambo moja,
09:31
as only one thing,
181
571160
1976
kama jambo moja tu,
09:33
over and over again,
182
573160
1976
tena na tena,
09:35
and that is what they become.
183
575160
1515
na hivyo ndivyo watakavyokuwa.
09:37
It is impossible to talk about the single story
184
577953
2446
Haiwezekani kuongelea kuhusu hadithi moja
09:40
without talking about power.
185
580423
1689
bila kuongelea kuhusu uwezo ya mamlaka.
09:43
There is a word, an Igbo word,
186
583656
1748
Kuna neno, neno la lugha ya Igbo,
09:45
that I think about whenever I think about the power structures of the world,
187
585428
3651
ambalo huwa naliwaza kila nikifikiria mfumo wa mamlaka wa dunia,
09:49
and it is "nkali."
188
589103
1190
na hili "nkali".
09:50
It's a noun that loosely translates to "to be greater than another."
189
590492
4644
Ni nomino ambayo inatafsiriwa kama "kuwa juu zaidi ya mwigine."
09:55
Like our economic and political worlds,
190
595714
2928
Kama ulivyo ulimwengu wa kiuchumi na kisiasa,
09:58
stories too are defined by the principle of nkali:
191
598666
4470
hadithi pia huelezwa kwa kanuni ya nkali:
10:03
How they are told, who tells them,
192
603160
1976
Zinaelezwaje, nani anaelezea,
10:05
when they're told, how many stories are told,
193
605160
3237
wakati gani zilielezwa, hadithi ngapi zinaelezwa,
10:08
are really dependent on power.
194
608421
2207
haya yote yanategemea sana nguvu ya mamlaka.
10:12
Power is the ability not just to tell the story of another person,
195
612160
3143
Mamlaka ni uwezo sio tu wa kueleza hadithi ya kuhusu mtu mwingine,
10:15
but to make it the definitive story of that person.
196
615327
3809
lakini kuifanya iwe hadithi mahususi kuhusu mtu huyo.
10:19
The Palestinian poet Mourid Barghouti writes
197
619160
2096
Mshairi wa Kipalestina Mourid Barghouti aliandika
10:21
that if you want to dispossess a people,
198
621280
2856
kwamba kama unataka kuwaondoa watu,
10:24
the simplest way to do it is to tell their story
199
624160
2976
njia rahisi ya kufanya hivyo ni kuelezea hadithi yao
10:27
and to start with, "secondly."
200
627160
2230
na kuanza na, "pili."
10:30
Start the story with the arrows of the Native Americans,
201
630644
3898
Anza hadithi na mishale ya waliokuwa wakazi halisi wa Amerika,
10:34
and not with the arrival of the British,
202
634566
2570
na sio baada ya kufika kwa Waingereza,
10:37
and you have an entirely different story.
203
637160
2977
na utakuwa na hadithi tofauti nyingine kabisa.
10:40
Start the story with the failure of the African state,
204
640161
4432
Anza na hadithi kuhusu kuanguka kwa dola za Kiafrika,
10:44
and not with the colonial creation of the African state,
205
644617
3519
na sio dola za Kiafrika zilizotokana na ukoloni,
10:48
and you have an entirely different story.
206
648160
2742
na utakuwa na hadithi tofauti kabisa.
10:52
I recently spoke at a university
207
652160
1976
Hivi karibun nilitoa hotuba katika chuo
10:54
where a student told me that it was such a shame
208
654160
3785
ambapo mwanafunzi aliniambia kwamba ilikuwa ni aibu
10:57
that Nigerian men were physical abusers
209
657969
3119
kwamba wanaume wa Kinigeria walikuwa wanyanyasaji
11:01
like the father character in my novel.
210
661112
1944
kama alivyo muhusika ambaye ni baba katika riwaya yangu.
11:04
I told him that I had just read a novel called "American Psycho" --
211
664160
3976
Nikamwambia nimesoma riwaya iitwayo "Mwendawazimu wa Kiamerika" --
11:08
(Laughter)
212
668160
1976
(Kicheko)
11:10
-- and that it was such a shame
213
670160
1976
-- na kwamba ilikuwa aibu
11:12
that young Americans were serial murderers.
214
672160
2976
kwamba vijana wadogo wa Kiamerika walikuwa wauaji waliokubuhu.
11:15
(Laughter)
215
675160
3976
(Kicheko)
11:19
(Applause)
216
679160
5976
(Makofi)
11:25
Now, obviously I said this in a fit of mild irritation.
217
685160
2976
Sasa, kiukweli nilisema hili kutokana na kukerwa.
11:28
(Laughter)
218
688160
1976
(Kicheko)
11:30
But it would never have occurred to me to think
219
690160
2191
Lakini isingeweza kutokea kwangu kuwaza
11:32
that just because I had read a novel in which a character was a serial killer
220
692375
3761
kwamba kwa sababu nimesoma riwaya ambayo muhusika ni muuaji wa kufululiza
11:36
that he was somehow representative of all Americans.
221
696160
3976
kwamba kwa kiasi fulani wanawakilisha Wamarekani wote.
11:40
This is not because I am a better person than that student,
222
700160
2976
Hii si kwamba mimi ni mtu bora kuliko yule mwanafunzi,
11:43
but because of America's cultural and economic power,
223
703160
2976
lakini kwa sababu ya utamaduni na nguvu ya uchumi wa Marekani,
11:46
I had many stories of America.
224
706160
1976
Nilikuwa nina hadithi nyingi za Marekani.
11:48
I had read Tyler and Updike and Steinbeck and Gaitskill.
225
708160
3976
Nilisoma Tyler na Updike na Steinbeck na Gaitskill.
11:52
I did not have a single story of America.
226
712160
2560
Sikuwa na hadithi moja ya Marekani.
11:55
When I learned, some years ago,
227
715831
1706
Nilipojifunza, miaka kadhaa iliyopita,
11:57
that writers were expected to have had really unhappy childhoods
228
717561
4341
kwamba waandishi wanategemewa kuwa na maisha ya utotoni ambayo siyo ya furaha
12:01
to be successful,
229
721926
2210
ili kuja kufanikiwa baadaye,
12:04
I began to think about how I could invent horrible things my parents had done to me.
230
724160
4000
Nilianza kuwaza ni namna gani naweza buni vitu vibaya ambavyo wazazi wangu walinifanyia.
12:08
(Laughter)
231
728184
1952
(Kicheko)
12:10
But the truth is that I had a very happy childhood,
232
730160
3976
Lakini ukweli ni kwamba nilikuwa na maisha ya utoto ambayo yalikuwa ya furaha sana,
12:14
full of laughter and love, in a very close-knit family.
233
734160
2976
yaliyojaa vicheko na upendo, katika familia iliyo na ukaribu sana.
12:17
But I also had grandfathers who died in refugee camps.
234
737160
3211
Lakini pia nilikuwa na mababu waliofia kwenye kambi za wakimbizi.
12:20
My cousin Polle died because he could not get adequate healthcare.
235
740910
4226
Binamu yangu Polle alifariki sababu hakupata matibabu yanayostahili.
12:25
One of my closest friends, Okoloma, died in a plane crash
236
745160
2976
Mmoja wa rafiki zangu,Okoloma, alifariki kwenye ajali ya ndege
12:28
because our fire trucks did not have water.
237
748160
2976
kwa sababu gari zetu za zimamoto hazikuwa na maji.
12:31
I grew up under repressive military governments
238
751160
2976
Nimekulia katika serikali ya kijeshi ambayo ni kandamizi
12:34
that devalued education,
239
754160
1976
ambayo haikujali elimu,
12:36
so that sometimes, my parents were not paid their salaries.
240
756160
2976
kwa muda mwingine, wazazi walikuwa hawalipwi mishahara.
12:39
And so, as a child, I saw jam disappear from the breakfast table,
241
759160
3977
Hivyo, kama mtoto, nilianza kuona jamu hakuna mezani wakati wa kupata kifungua kinywa,
12:43
then margarine disappeared,
242
763161
2497
kisha siagi nayo ikakosekana,
12:45
then bread became too expensive,
243
765682
2454
kisha mkate ukawa ghali sana,
12:48
then milk became rationed.
244
768160
1871
kisha maziwa yakapungua.
12:51
And most of all, a kind of normalized political fear
245
771160
3657
Na katika yote, hali ya hofu ya kisiasa
12:54
invaded our lives.
246
774841
1682
ikaingilia maisha yetu,
12:57
All of these stories make me who I am.
247
777983
2137
Na hadithi zote hizi zimenitengeneza mimi wa leo.
13:00
But to insist on only these negative stories
248
780617
3519
Lakini kusisitiza katika hizi hadithi hasi
13:04
is to flatten my experience
249
784160
2976
ni kuongeza uzoefu wangu
13:07
and to overlook the many other stories that formed me.
250
787160
3664
na kuachana na hadithi nyinginezo nyingi ambazo zimenitengeneza mimi.
13:11
The single story creates stereotypes,
251
791554
2582
Hadithi moja hutengeneza tabaka,
13:14
and the problem with stereotypes is not that they are untrue,
252
794160
4976
na tatizo la tabaka si kwamba hazina kweli,
13:19
but that they are incomplete.
253
799160
1976
lakini hazijakamilika.
13:21
They make one story become the only story.
254
801517
2603
Hufanya hadithi moja kuwa hadithi pekee.
13:25
Of course, Africa is a continent full of catastrophes:
255
805160
2572
Hakika, Afrika ni bara ambalo limejaa majanga:
13:27
There are immense ones, such as the horrific rapes in Congo
256
807756
3380
Kuna majanga yaliyo makubwa, kama ubakaji wa kutisha nchini Congo
13:31
and depressing ones,
257
811160
1626
na wa kudidimiza,
13:32
such as the fact that 5,000 people apply for one job vacancy in Nigeria.
258
812810
4500
kama ukweli kwamba watu 5000 wanaomba nafasi moja ya kazi nchini Nigeria.
13:38
But there are other stories that are not about catastrophe,
259
818160
3563
Lakini kuna hadithi nyingine ambazo hazihusiani na majanga,
13:41
and it is very important, it is just as important, to talk about them.
260
821747
3389
na ni muhimu sana, ni namna kuziongelea.
13:45
I've always felt that it is impossible
261
825160
1976
Wakati wote nimekuwa nikihisi haiwezekani
13:47
to engage properly with a place or a person
262
827160
2976
kujiunga kwa utaratibu na sehemu au mtu
13:50
without engaging with all of the stories of that place and that person.
263
830160
3976
bila kuhusiana na hadithi zote za mahala pale au mtu huyo.
13:54
The consequence of the single story is this:
264
834160
3580
Madhara ya hadithi moja ni kwamba:
13:57
It robs people of dignity.
265
837764
1957
Hunyang'anya watu wa heshima.
14:00
It makes our recognition of our equal humanity difficult.
266
840492
3644
Hufanya utambuzi wetu wa usawa wa kibinadamu kuwa mgumu.
14:04
It emphasizes how we are different rather than how we are similar.
267
844160
4164
Husisitiza ni jinsi gani tulivyo tofauti kuliko vile tulivyo sawa.
14:09
So what if before my Mexican trip,
268
849160
2489
Inakuwaje wakati kabla ya safari yangu ya Mexico,
14:11
I had followed the immigration debate from both sides,
269
851673
3463
Ningefatilia majadiliano ya uhamiaji kutoka pande zote,
14:15
the U.S. and the Mexican?
270
855160
1976
upande wa Marekani na wa Mexico?
14:17
What if my mother had told us that Fide's family was poor
271
857160
3976
Ingekuwaje kama mama yangu angeniambia familia ya Fide ilikuwa masikini
14:21
and hardworking?
272
861160
1976
na ya wachapakazi?
14:23
What if we had an African television network
273
863160
2096
Inakuwaje kama tungekuwa na mtandao wa televisheni wa Kiafrika
14:25
that broadcast diverse African stories all over the world?
274
865280
3856
ambao unarusha vipindi vya hadithi za Afrika duniani kote?
14:29
What the Nigerian writer Chinua Achebe calls "a balance of stories."
275
869160
4331
Kitu ambacho muandishi wa Kinigeria Chinua Achebe anaita "usawa wa hadithi."
14:33
What if my roommate knew about my Nigerian publisher,
276
873515
3976
Inakuweaje kama mwanafunzi niliyeishi naye chumba kimoja angefahamu kuhusu mchapishaji wangu wa Kinigeria,
14:37
Muhtar Bakare,
277
877515
1621
Muhtar Bakare,
14:39
a remarkable man who left his job in a bank
278
879160
2048
mtu wa kipekee ambaye aliacha kazi ya benki
14:41
to follow his dream and start a publishing house?
279
881232
2905
na kufuata ndoto zake na kuanzisha nyumba ya uchapishaji
14:44
Now, the conventional wisdom was that Nigerians don't read literature.
280
884161
3687
Sasa, hekima iliyozoeleka ilikuwa kwamba Wanigeria huwa hawasomi fasihi.
14:47
He disagreed.
281
887872
1254
Yeye alikataa.
14:49
He felt that people who could read, would read,
282
889150
3086
Alihisi kwamba watu ambao wanaweza kusoma, wangesoma,
14:52
if you made literature affordable and available to them.
283
892260
3876
kama ungefanya kazi ya fasihi iwe katika bei nafuu na kupatikana kiurahisi.
14:56
Shortly after he published my first novel,
284
896826
2310
Muda mfupi baada ya kuchapisha riwaya yangu ya kwanza,
14:59
I went to a TV station in Lagos to do an interview,
285
899160
2976
Nilikwenda kwenye kituo cha televisheni kilichopo Lagos kwa ajili ya mahojiano,
15:02
and a woman who worked there as a messenger came up to me and said,
286
902160
3191
na mwanamke ambaye anafanya kazi pale kama karani alinifata na kusema,
15:05
"I really liked your novel. I didn't like the ending.
287
905375
2761
"Nimependa sana riwaya yako. Sijapenda mwishoni mwake.
15:08
Now, you must write a sequel, and this is what will happen ..."
288
908160
3239
Sasa, ni lazima uandike muendelezo na hiki ndicho kitatokea ..."
15:11
(Laughter)
289
911423
2714
(Kicheko)
15:14
And she went on to tell me what to write in the sequel.
290
914161
2976
Na alipoendelea kunielezea kipi cha kuandika kwenye muendelezo.
15:17
I was not only charmed, I was very moved.
291
917724
2412
Si kwamba nilivutiwa tu, lakini pia nilisisimka.
15:20
Here was a woman, part of the ordinary masses of Nigerians,
292
920160
2976
Huyu ni mwanamke, mmoja wa watu wengi wa kawaida waliopo Nigeria,
15:23
who were not supposed to be readers.
293
923160
2003
ambao hawakutakiwa kuwa wasomaji.
15:26
She had not only read the book,
294
926061
1624
Si kwamba alisoma tu kitabu,
15:27
but she had taken ownership of it
295
927709
1809
lakini pia alikimiliki
15:29
and felt justified in telling me what to write in the sequel.
296
929542
3103
na aliona ana haki kuaniambia kitu cha kuandika katika muendelezo.
15:33
Now, what if my roommate knew about my friend Funmi Iyanda,
297
933740
3396
Sasa, ingekuwaje kama mwanafunzi niishiye nae chumba kimoja angejua kuhusu rafiki yangu Funmi Lyanda,
15:37
a fearless woman who hosts a TV show in Lagos,
298
937160
2976
mwanamke jasiri ambaye anaongoza kipindi cha televisheni Lagos,
15:40
and is determined to tell the stories that we prefer to forget?
299
940160
3000
na anadhamiria kuelezea hadithi ambazo tunapendelea kuzisahau?
15:43
What if my roommate knew about the heart procedure
300
943855
3281
Inakuwaje kama mwenzangu angetambua kuhusu upasuaji wa moyo
15:47
that was performed in the Lagos hospital last week?
301
947160
2976
ambao ulifanyika wiki iliyopita jijini Lagos?
15:50
What if my roommate knew about contemporary Nigerian music,
302
950160
3976
Inakuwaje angefahamu kuhusu muziki wa kisasa kwa Kinigeria,
15:54
talented people singing in English and Pidgin,
303
954160
2976
watu wenye vipaji wanaoimba katika lugha za Kiingereza na pijini,
15:57
and Igbo and Yoruba and Ijo,
304
957160
1976
na Kiigbo na Kiyoruba na Kiijo,
15:59
mixing influences from Jay-Z to Fela
305
959160
3976
wakichanganya ushawishi kutoka kwa Jay Z hadi kwa Fela
16:03
to Bob Marley to their grandfathers.
306
963160
2182
kwenda kwa Bob Marley na babu zao.
16:06
What if my roommate knew about the female lawyer
307
966160
2239
Inakuwaje kama angejua kuhusu wakili mwanamke
16:08
who recently went to court in Nigeria to challenge a ridiculous law
308
968423
3713
ambaye hivi karibuni alienda mahakamani nchini Nigeria kuipa changamoto sheria isiyo na maana
16:12
that required women to get their husband's consent
309
972160
2976
ambayo inawataka wanawake kupewa ruhusa na waume zao
16:15
before renewing their passports?
310
975160
2976
kabla ya kutengeneza hati mpya ya kusafiria?
16:18
What if my roommate knew about Nollywood,
311
978160
2976
Inakuwaje kama angefahamu kuhusu Nollywood,
16:21
full of innovative people making films despite great technical odds,
312
981160
4380
iliyojawa na watu wabunifu wanaotengeneza filamu ingawaje kuna changamoto nyingi za kiufundi,
16:25
films so popular
313
985564
1572
filamu ambazo ni maarufu sana
16:27
that they really are the best example of Nigerians consuming what they produce?
314
987160
4976
ambazo ni mfano mzuri unaoonyesha Wanigeria wanatumia kile wanachotengeneza?
16:32
What if my roommate knew about my wonderfully ambitious hair braider,
315
992160
3286
Inakuwaje kama angefahamu kuhusu msusi wangu bora kabisa,
16:35
who has just started her own business selling hair extensions?
316
995470
3666
ambaye ameanza biashara yake mwenyewe akiuza nywele za kuongezea?
16:39
Or about the millions of other Nigerians who start businesses and sometimes fail,
317
999160
3976
Au kuhusu mamilioni ya Wanigeria wengine ambao huanza biashara na muda mwingine kuanguka,
16:43
but continue to nurse ambition?
318
1003160
2938
lakini huendelea kukuza azma yao?
16:47
Every time I am home I am confronted
319
1007160
1976
Muda wote nikiwa nyumbani hukutana
16:49
with the usual sources of irritation for most Nigerians:
320
1009160
2976
na vyanzo vya kila wakati vya kukwaza kwa Wanigeria wengi:
16:52
our failed infrastructure, our failed government,
321
1012160
3444
miundombinu yetu mibovu, serikali iliyoanguka,
16:55
but also by the incredible resilience
322
1015628
2055
lakini pia kwa ustahimilivu mkubwa
16:57
of people who thrive despite the government,
323
1017707
3429
wa watu ambao hufanikiwa, bila ya kutegemea serikali,
17:01
rather than because of it.
324
1021160
1261
bila yenyewe kabisa.
17:03
I teach writing workshops in Lagos every summer,
325
1023533
2603
Huwa natoa mafunzo ya uandishi kila kipindi cha joto jijini Lagos,
17:06
and it is amazing to me how many people apply,
326
1026160
2976
na huwa inanishangaza kwa namna gani watu wengi hujiunga,
17:09
how many people are eager to write,
327
1029160
2976
namna ambavyo watu wengi wana shauku ya kuandika,
17:12
to tell stories.
328
1032160
1386
ili kueleza hadithi.
17:14
My Nigerian publisher and I have just started a non-profit
329
1034435
3023
Mimi na mchapishaji wa kitabu changu tumeanzisha taasisi isiyo ya kibiashara
17:17
called Farafina Trust,
330
1037482
1654
inayofahamika kama Farafina Trust,
17:19
and we have big dreams of building libraries
331
1039160
2976
na tuna ndoto kubwa ya kujenga maktaba
17:22
and refurbishing libraries that already exist
332
1042160
2143
na kukarabati maktaba ambazo tayari zipo
17:24
and providing books for state schools
333
1044327
2809
na kutoa vitabu kwa shule za majimboni
17:27
that don't have anything in their libraries,
334
1047160
2096
ambazo hazina vitabu katika maktaba zao,
17:29
and also of organizing lots and lots of workshops,
335
1049280
2381
na kuandaa mafunzo mengi mno,
17:31
in reading and writing,
336
1051685
1451
katika kuandika na kusoma,
17:33
for all the people who are eager to tell our many stories.
337
1053160
3199
kwa watu wote ambao wana shauku ya kuelezea hadithi zetu nyingi.
17:36
Stories matter.
338
1056486
1650
Hadithi zina maana.
17:38
Many stories matter.
339
1058160
1976
Hadithi nyingi zina maana.
17:40
Stories have been used to dispossess and to malign,
340
1060160
3976
Haidithi zimekuwa zikitumika kupokonya na kukejeli,
17:44
but stories can also be used to empower and to humanize.
341
1064160
3976
lakini hadithi zinaweza tumika kuhamasisha na kuleta ubinadamu.
17:48
Stories can break the dignity of a people,
342
1068802
2334
Hadithi zinaweza kuvunja heshima ya watu,
17:51
but stories can also repair that broken dignity.
343
1071160
3703
lakini hadithi zinaweza kurudisha heshima iliyopotea.
17:56
The American writer Alice Walker wrote this
344
1076160
2048
Mwandishi wa Kimarekani Alice Walker aliandika
17:58
about her Southern relatives who had moved to the North.
345
1078232
3904
kuhusu ndugu zake wanaotokea Kusini ambao walihamia Kaskazini.
18:02
She introduced them to a book about
346
1082160
1976
Aliwaonyesha kitabu kuhusu
18:04
the Southern life that they had left behind.
347
1084160
2068
maisha ya Kusini ambayo wameyaacha nyuma.
18:07
"They sat around, reading the book themselves,
348
1087752
3384
"Walikaa, na wakakisoma kitabu,
18:11
listening to me read the book, and a kind of paradise was regained."
349
1091160
5528
nisikilize mimi soma kitabu, na raha ya dunia utaipata tena."
18:17
I would like to end with this thought:
350
1097739
2862
Ningependelea kumalizia na hili wazo:
18:20
That when we reject the single story,
351
1100625
2511
Kwamba pale tunapokataa hadithi moja,
18:23
when we realize that there is never a single story
352
1103160
2976
tunapogundua kwamba hakuna hadithi moja
18:26
about any place,
353
1106160
2441
kuhusu sehemu yoyote,
18:28
we regain a kind of paradise.
354
1108625
1511
huwa tunarejesha Furaha.
18:30
Thank you.
355
1110855
1122
Asante.
18:32
(Applause)
356
1112001
3000
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7