Before I die I want to... | Candy Chang

709,252 views ・ 2012-09-04

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Joseph Geni Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
Kuna njia nyingi ambazo watu wanaotuzunguka
00:16
There are a lot of ways the people around us
1
16220
3324
00:19
can help improve our lives.
2
19568
2103
wanaweza kuboresha maisha yetu
00:21
We don't bump into every neighbor,
3
21695
1620
Hatuonani na jirani zetu
00:23
so a lot of wisdom never gets passed on,
4
23339
3047
kwa hiyo maarifa mengi yanashindwa kusambaa
00:26
though we do share the same public spaces.
5
26410
2452
pamoja na kwamba wote tunashiriki sehemu zile zile za jamii yote
00:29
So over the past few years, I've tried ways to share more
6
29362
2761
Kwa hiyo miaka michache iliyopita, nimejaribu kutafuta njia za kushirikiana zaidi
00:32
with my neighbors in public space,
7
32147
2316
na majirani zangu katika maeneo ya jamii yote
00:34
using simple tools like stickers, stencils and chalk.
8
34487
2960
Kwa kutumia vifaa rahisi kama stika ,karatasi nyembamba na chaki
Mipango hii ilitokana na maswali niliyokuwa nayo kama
00:38
And these projects came from questions I had, like:
9
38058
3372
Ni kiasi gani majirani zangu wanalipa kwa ajili ya nyumba zao?
00:41
How much are my neighbors paying for their apartments?
10
41454
2691
00:44
(Laughter)
11
44169
1190
(Vicheko) Je ni jinsi gani tunaweza kuazimishana vitu vingi zaidi
00:45
How can we lend and borrow more things,
12
45383
2254
00:47
without knocking on each other's doors at a bad time?
13
47661
2999
bila kugonga katika milango wakati usio mzuri?
00:51
How can we share more memories of our abandoned buildings,
14
51978
4053
Je tunawezaje kushirikishana kumbukumbu zetu zaidi
za majengo yetu yaliyotelekezwa
00:56
and gain a better understanding of our landscape?
15
56055
2415
na kuyaelewa zaidi mazingira yetu
00:59
How can we share more of our hopes for our vacant storefronts,
16
59811
4318
Ni vipi tunaweza kushirikishana matumaini yetu zaidi.
kuhusu maduka yasiyo na watu, ili jamii zetu
01:04
so our communities can reflect our needs and dreams today?
17
64153
3453
ziendane na mahitahi yetu na ndoto zetu?
Sasa naishi New Orleans,
01:10
Now, I live in New Orleans,
18
70034
1931
01:11
and I am in love with New Orleans.
19
71989
2317
Ninaipenda New Orleans
01:14
My soul is always soothed by the giant live oak trees,
20
74660
4508
Nafsi yangu inaburudishwa na miti mikubwa ya mwalo
inayowafunika wapenzi,walevi na watu wanaowaza mambo makubwa
01:19
shading lovers, drunks and dreamers for hundreds of years,
21
79192
4372
kwa mamia ya miaka, na nauamini mji
01:23
and I trust a city that always makes way for music.
22
83588
3262
ambao wakati wote una njia kwa ajili ya muziki
01:26
I feel like every time someone sneezes,
23
86874
2418
Nahisi kama kila wakati ambapo mtu atakuwa anakoroma,
01:29
New Orleans has a parade.
24
89316
1239
New Orleans kuna gwaride.(Vicheko)
01:30
(Laughter)
25
90579
1285
01:31
The city has some of the most beautiful architecture in the world,
26
91888
3516
Mji huu una baadhi ya majengo ambayo ni mazuri sana
katika dunia,lakini pia una namba kubwa
01:35
but it also has one of the highest amounts of abandoned properties in America.
27
95428
3920
ya majengo yaliyotelekezwa katika nchi ya Marekani
Ninaishi karibu na nyumba hii, na nilifikiri ni jinsi gani ninavyoweza
01:40
I live near this house,
28
100062
1428
01:41
and I thought about how I could make it a nicer space for my neighborhood,
29
101514
3841
kuifanya kuwa sehemu nzuri kwa ajili mtaa wangu,
na pia niliwaza kuhusu kitu kingine
01:45
and I also thought about something that changed my life forever.
30
105379
3714
ambacho kilibadilisha maisha yangu milele
01:51
In 2009, I lost someone I loved very much.
31
111566
3554
Mwaka 2009,nilifiwa na mtu ambaye nilimpenda sana,
01:55
Her name was Joan, and she was a mother to me.
32
115930
2928
Jina lake ni Joan,na alikuwa ni mama yangu
01:59
And her death was sudden and unexpected.
33
119834
2762
Kifo chake kilikuwa cha ghafla bila kutarajiwa
02:06
And I thought about death a lot.
34
126424
1873
Niliwaza sana kuhusu kifo
02:12
And ... this made me feel deep gratitude for the time I've had.
35
132821
6071
na
hii ilinifanya nijae moyo wa shukrani kwa muda nilio nao
02:19
And ... brought clarity to the things that are meaningful to my life now.
36
139502
6945
na
ilinisaidia kuangalia vizuri vitu vyenye maana
katika maisha yangu kwa sasa.
02:29
But I struggle to maintain this perspective in my daily life.
37
149923
4055
Lakini napata shida kudumu katika hali hii katika maisha yangu ya kila siku.
02:34
I feel like it's easy to get caught up in the day-to-day,
38
154724
2809
Nahisi ni rahisi kusongwa na matukio ya kila siku,
02:37
and forget what really matters to you.
39
157557
1890
na kusahau mambo ya maana hasa kwako.
02:40
So with help from old and new friends,
40
160240
2130
Kwa hiyo kwa msaada wa marafiki wa zamani na wapya,
02:42
I turned the side of this abandoned house into a giant chalkboard,
41
162394
3854
Niligeuza upande wa nyumba hii iliyotelekezwa
na kuwa ubao mkubwa sanana kuuwekea karatasi nyembamba
02:46
and stenciled it with a fill-in-the-blank sentence:
42
166272
2907
na sentensi ambayo ilitakiwa ijazwe ikisema
02:49
"Before I die, I want to ..."
43
169203
2988
"Kabla sijafa,nataka
02:53
So anyone walking by can pick up a piece of chalk,
44
173723
3079
Kwa hiyo kila aliyepita aangeweza kuchukua chaki,
02:56
reflect on their life,
45
176826
1398
kutafakari maisha yake,na kutoa mawazo yake
02:58
and share their personal aspirations in public space.
46
178248
2744
katika eneo la wazi
03:02
I didn't know what to expect from this experiment,
47
182746
3094
sikujua niwaze nini kuhusu jaribio hili
03:05
but by the next day, the wall was entirely filled out,
48
185864
3321
lakini mpaka siku iliyofuata, ukuta wote ulijaa
na uliendelea kukua.
03:09
and it kept growing.
49
189209
1411
na ningependa nitawashirikisha vitu vichache
03:11
And I'd like to share a few things that people wrote on this wall.
50
191201
3342
ambavyo watu waliandika katika ubao huu.
03:17
"Before I die, I want to be tried for piracy."
51
197204
3433
"Kabla ya kufa,ningependa nishitakiwe kwa uharamia."(Vicheko)
03:20
(Laughter)
52
200661
6444
."Kabla ya kufa,nataka kusafiri kuufuata mstari wa kimataifa wa tarehe"
03:27
"Before I die, I want to straddle the International Dateline."
53
207461
4190
03:33
"Before I die, I want to sing for millions."
54
213468
3262
"Kabla ya kufa,nataka niimbe kwa ajili ya mamilioni."
"Kabla ya kufa,nataka nipande mti."
03:38
"Before I die, I want to plant a tree."
55
218239
2723
03:43
"Before I die, I want to live off the grid."
56
223987
2904
"Kabla ya kufa,nataka niishe bila kutegemea umeme."
03:48
"Before I die, I want to hold her one more time."
57
228610
3472
"Kabla ya kufa,nataka nimkumbatie tena kwa mara nyingine."
"Kabla ya kufa,nataka niwe askari wa farasi."
03:55
"Before I die, I want to be someone's cavalry."
58
235039
3580
04:00
"Before I die, I want to be completely myself."
59
240825
4528
"Kabla ya kufa,nataka kuwa peke yangu."
Kwa hiyo sehemu hii iliyotelekezwa ikageuka kuwa sehememu ya matengenezo,
04:09
So this neglected space became a constructive one,
60
249231
3975
04:13
and people's hopes and dreams made me laugh out loud, tear up,
61
253230
4872
matumaini na maono ya watu
ilinifanya nicheke, nilie
na kwa njia hii walinifariji katika wakati wangu mgumu.
04:18
and they consoled me during my own tough times.
62
258126
2889
04:21
It's about knowing you're not alone;
63
261366
2414
Ni kwa ajili ya kujua kuwa hauko peke yako.
04:23
it's about understanding our neighbors in new and enlightening ways;
64
263804
3682
Ni kwa ajili ya majirani zetu
kwa njia mpya na za kupendeza
04:27
it's about making space for reflection and contemplation,
65
267510
3349
ni kwa aajili ya kuwa na nafasi ya kutafakari na kuwaza yale unayoyapenda kuwa nayo
04:30
and remembering what really matters most to us as we grow and change.
66
270883
4956
na kukumbuka ni nini hasa ambacho ni cha muhimu kwa wengi wetu
kadiri tunavyokua na kubadilika
nilifanya hivi mwaka jana, na nikaanza kupokea
04:37
I made this last year,
67
277419
1237
04:38
and started receiving hundreds of messages from passionate people
68
278680
3395
mamia ya jumbe kutoka kwa watu
04:42
who wanted to make a wall with their community.
69
282099
2417
ambao walitaka kutengeneza mbao na kuta kama hii katika jamii zao,
04:44
So, my civic center colleagues and I made a tool kit,
70
284540
3176
kwa hiyo washirika wangu na mimi tukatengeneza boksi la vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya kazi hii
04:47
and now walls have been made in countries around the world,
71
287740
2818
na kwa sasa kuta kama hii zimetengenezwa sehemu mbalimbali duniani,
04:50
including Kazakhstan,
72
290582
3413
Ikiwemo Kazakhstan, Afrika ya Kusini,
04:54
South Africa,
73
294019
2711
04:56
Australia,
74
296754
2452
Australia,
04:59
Argentina, and beyond.
75
299230
1992
Argentina na zaidi ya hapo
05:01
Together, we've shown how powerful our public spaces can be
76
301689
2882
Pamoja,tumeonyesha jinsi sehemu za wazi zinavyoweza
05:04
if we're given the opportunity to have a voice,
77
304595
2701
kuwa na uwezo mkubwa kama tutapewa nafasi ya kuongea
05:07
and share more with one another.
78
307320
2075
na kushirikishana.
05:12
Two of the most valuable things we have
79
312927
2112
Vitu vya thamani zaidi tulivyo navyo ni muda
05:15
are time, and our relationships with other people.
80
315063
3427
na mahusiano yetu na watu wengine
05:19
In our age of increasing distractions,
81
319522
2524
Katika wakati huu ambao kuna mambo mengi ya kututoa katika mambo muhimu,
Ni muhimu sana kutafuta njia za
05:22
it's more important than ever to find ways to maintain perspective,
82
322070
3476
kudumu katika mambo muhimu na kukumbuka kuwa maisha ni mafupi na mepesi
05:25
and remember that life is brief and tender.
83
325570
3204
05:29
Death is something that we're often discouraged to talk about,
84
329528
3040
Mara nyingi tunavunjwa moyo kuongelea kuhusu kifo
au kuwaza kuhusu kifo,lakini
05:32
or even think about,
85
332592
1270
05:33
but I've realized that preparing for death
86
333886
2324
nimetambua kuwa kujiandaa na kifo
05:36
is one of the most empowering things you can do.
87
336234
2754
ni moja kati ya vitu vya kukujenga sana
05:39
Thinking about death clarifies your life.
88
339464
2555
kufikiri kuhusu kifo , kunayafafanua maisha yako.
05:44
Our shared spaces can better reflect what matters to us,
89
344971
2889
Maeneo ya wazi na jamii yote yanaweza yakaonyesha ni kitu gani muhimu kwetu
05:47
as individuals and as a community,
90
347884
3289
kwa mtu mmoja mmoja na kama jamii,
na tukiwa na njia nyingi za kushirikishana matumaini, hofu na hadithi zetu,
05:51
and with more ways to share our hopes, fears and stories,
91
351197
3936
watu wanaotuzunguka sio tu wanaweza kutusaidia
05:55
the people around us can not only help us make better places,
92
355157
3920
kufanya maeneo haya kuwa mazuri, lakini wakaishi vizuri pia.
05:59
they can help us lead better lives.
93
359101
2071
06:01
Thank you.
94
361545
1152
Asante.(Makofi)
06:02
(Applause)
95
362721
4573
(Makofi)
06:07
Thank you.
96
367318
1156
Asante.(Makofi)
06:08
(Applause)
97
368498
5439
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7