Al Gore: Alarming new slides of the worsening climate crisis

52,109 views ・ 2009-05-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Hector Mongi Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Last year I showed these two slides so that
0
12160
3000
Mwaka jana nilionyesha hizi kurasa mbili ili
00:15
demonstrate that the arctic ice cap,
1
15160
2000
kuthibitisha kuwa barafu inayofunika arctic,
00:17
which for most of the last three million years
2
17160
2000
ambayo kwa zaidi ya miaka milioni tatu iliyopita
00:19
has been the size of the lower 48 states,
3
19160
2000
imekuwa na ukubwa unaopungua kidogo ya ule wa majimbo 48,
00:21
has shrunk by 40 percent.
4
21160
2000
imepungua kwa asilimia 40.
00:23
But this understates the seriousness of this particular problem
5
23160
3000
Lakini hii inapunguza msisitizo wa tatizo hili mahsusi
00:26
because it doesn't show the thickness of the ice.
6
26160
3000
kwa sababu haionyeshi unene wa barafu.
00:29
The arctic ice cap is, in a sense,
7
29160
2000
Mfuniko wa barafu wa arctic ni, kwa matazamo,
00:31
the beating heart of the global climate system.
8
31160
3000
Mapigo ya moyo wa mfumo wa tabia nchi wa dunia.
00:34
It expands in winter and contracts in summer.
9
34160
3000
Inatanuka wakati wa masika na kusinyaa wakati wa kiangazi.
00:37
The next slide I show you will be
10
37160
3000
Kurasa inayofuata nawaonesha
00:40
a rapid fast-forward of what's happened over the last 25 years.
11
40160
4000
(barafu) itatoweka kwa kasi zaidi kuliko ilivyotokea miaka 25 iliyopita.
00:44
The permanent ice is marked in red.
12
44160
2000
Barafu ya kudumu imewekewa alama nyekundu.
00:46
As you see, it expands to the dark blue --
13
46160
3000
Kama mnavyoona, inatanuka kuelekea rangi ya bluu iliyokolea.
00:49
that's the annual ice in winter,
14
49160
2000
Hiyo ni barafu ya mwaka wakati wa masika.
00:51
and it contracts in summer.
15
51160
2000
Na inasinyaa wakati wa kiangazi.
00:53
The so-called permanent ice, five years old or older,
16
53160
2000
Kilichoitwa barafu ya kudumu, katika umri wa miaka mitano,
00:55
you can see is almost like blood,
17
55160
3000
mnaona imekuwa kama damu,
00:58
spilling out of the body here.
18
58160
4000
ikitiririka kutoka mwilini hapa.
01:02
In 25 years it's gone from this, to this.
19
62160
4000
Ndani ya miaka 25 imetoweka kutoka hii, hadi hii.
01:06
This is a problem because the warming
20
66160
3000
Hili ni tatizo kwa kuwa kuongezeka kwa joto,
01:09
heats up the frozen ground around the Arctic Ocean,
21
69160
3000
kunapasha ardhi iliyoganda kuzunguka bahari ya arctic
01:12
where there is a massive amount of frozen carbon
22
72160
3000
ambayo ina kiasi kikubwa cha ukaa ulioganda
01:15
which, when it thaws, is turned into methane by microbes.
23
75160
3000
ambao, unapoyeyuka, unabadilishwa na wadudu wadogo kuwa methini.
01:18
Compared to the total amount of global warming pollution in the atmosphere,
24
78160
4000
Ukilinganisha na jumla ya uchafuzi wa anga wenye kuleta ongezeko la joto duniani,
01:22
that amount could double if we cross this tipping point.
25
82160
4000
Kiasi hiki chaweza`kuwa mara mbili endapo tutavuka ncha hii hatari.
01:26
Already in some shallow lakes in Alaska,
26
86160
3000
Tayari katika maziwa ya kina kifupi yaliyoko Alaska
01:29
methane is actively bubbling up out of the water.
27
89160
2000
methini inatoka majini kama mapovu yenye nguvu.
01:31
Professor Katey Walter from the University of Alaska
28
91160
3000
Profesa Katey Walter kutoka Chuo Kikuu cha Alaska
01:34
went out with another team to another shallow lake last winter.
29
94160
4000
alienda pamoja na timu nyingine kwenye ziwa jingine fupi wakati wa masika iliyopita.
01:48
Video: Whoa! (Laughter)
30
108160
2000
Whoa!
01:50
Al Gore: She's okay. The question is whether we will be.
31
110160
3000
Yuko sawa. Swali ni iwapo tutakuwa.
01:53
And one reason is, this enormous heat sink
32
113160
2000
Na sababu moja ni, hili joto kuu linaloshuka
01:55
heats up Greenland from the north.
33
115160
3000
likipasha joto Greenland kutoka kaskazini.
01:58
This is an annual melting river.
34
118160
3000
Huu ni mto unaoyeyuka mwaka mzima.
02:01
But the volumes are much larger than ever.
35
121160
3000
Lakini kiasi cha ujazo ni kikubwa kuliko wakati wote.
02:04
This is the Kangerlussuaq River in southwest Greenland.
36
124160
3000
Huu ni mto Kangerlussuaq kusini magharibi mwa Greenland.
02:07
If you want to know how sea level rises
37
127160
2000
Kama unataka kujua jinsi kina cha bahari kinavyoongezeka
02:09
from land-base ice melting
38
129160
2000
kutokana na kuyeyuka kwa ardhi-barafu
02:11
this is where it reaches the sea.
39
131160
2000
hapa ndipo huingilia baharini.
02:13
These flows are increasing very rapidly.
40
133160
2000
Mitiririko hii inaongezeka kwa kasi sana.
02:15
At the other end of the planet, Antarctica
41
135160
2000
Pale Antarctica, mwisho mwingine wa sayari,
02:17
the largest mass of ice on the planet.
42
137160
2000
kuna mlundikano mkubwa zaidi wa barafu katika sayari hii.
02:19
Last month scientists reported the entire continent
43
139160
2000
Mwezi uliopita wanasayansi waliripoti bara nzima
02:21
is now in negative ice balance.
44
141160
2000
lina barafu katika mizania hasi.
02:23
And west Antarctica cropped up on top some under-sea islands,
45
143160
4000
Na Antarctica magharibi ambayo imezuka ghafla juu ya baadhi ya visiwa ndani ya bahari,
02:27
is particularly rapid in its melting.
46
147160
3000
Ni mahsusi kwa kuyeyuka haraka.
02:30
That's equal to 20 feet of sea level, as is Greenland.
47
150160
4000
Hiyo si sawa na futi 20 za usawa wa bahari, kama ilivyo Greenland.
02:34
In the Himalayas, the third largest mass of ice:
48
154160
2000
Himalaya, ina mkusanyiko wa barafu wa tatu kwa ukubwa,
02:36
at the top you see new lakes, which a few years ago were glaciers.
49
156160
4000
Juu yake unaona maziwa mapya, ambayo miaka michache iliyopita yalikuwa barafu.
02:40
40 percent of all the people in the world
50
160160
2000
Asilimia 40 ya watu wote duniani
02:42
get half of their drinking water from that melting flow.
51
162160
2000
wanapata nusu ya maji ya kunywa kutokana na kuyeyuka kunakotoa mtiririko huo.
02:44
In the Andes, this glacier is the
52
164160
2000
Katika Andes, hii barafu ni
02:46
source of drinking water for this city.
53
166160
2000
chanzo cha maji ya kunywa kwa jiji hili.
02:48
The flows have increased.
54
168160
2000
Mitiririko imeongezeka.
02:50
But when they go away, so does much of the drinking water.
55
170160
3000
Lakini kadiri yanavyotoweka, vivyo hivyo na maji ya kunywa
02:53
In California there has been a 40 percent
56
173160
2000
Huko California asilimia 40
02:55
decline in the Sierra snowpack.
57
175160
2000
ya mlundikano ya barafu wa Sierra umepungua.
02:57
This is hitting the reservoirs.
58
177160
2000
Hili linaathiri akiba ya maji.
02:59
And the predictions, as you've read, are serious.
59
179160
3000
Na tabiri, kama mlivyosoma, ni makini.
03:02
This drying around the world has lead to
60
182160
2000
Huku kukauka kwa dunia kumepelekea
03:04
a dramatic increase in fires.
61
184160
2000
Ongezeko kubwa la mioto.
03:06
And the disasters around the world
62
186160
3000
Na maafa duniani kote
03:09
have been increasing at an absolutely extraordinary
63
189160
2000
yamekuwa yakiongezeka kwa kiwango kisicho cha kawaida
03:11
and unprecedented rate.
64
191160
2000
na kwa kasi ya kutisha.
03:13
Four times as many in the last 30 years
65
193160
2000
Mara nne zaidi katika miaka 30 iliyopita
03:15
as in the previous 75.
66
195160
2000
kama ilivyo kwa miaka 75 ya karibuni.
03:17
This is a completely unsustainable pattern.
67
197160
4000
Huu ni mpangilio usio endelevu kabisa.
03:21
If you look at in the context of history
68
201160
3000
Kama ukiangalia katika muktadha wa historia
03:24
you can see what this is doing.
69
204160
5000
unaweza kuona hii inafanya nini.
03:29
In the last five years
70
209160
2000
Katika miaka mitano iliyopita
03:31
we've added 70 million tons of CO2
71
211160
2000
Tumeongeza tani milioni 70 za hewa ya ukaa
03:33
every 24 hours --
72
213160
2000
kila saa 24 --
03:35
25 million tons every day to the oceans.
73
215160
2000
tani milioni 25 kila siku kwenda baharini.
03:37
Look carefully at the area of the eastern Pacific,
74
217160
3000
Angalia kwa makini eneo la mashariki mwa Pacific,
03:40
from the Americas, extending westward,
75
220160
2000
kutoka Amerika, likitanuka kuelekea magharibi
03:42
and on either side of the Indian subcontinent,
76
222160
3000
na upande wowote wa bara dogo la India,
03:45
where there is a radical depletion of oxygen in the oceans.
77
225160
4000
ambako hewa ya oksijeni katika bahari inaisha kwa kasi.
03:49
The biggest single cause of global warming,
78
229160
2000
Sababu moja kubwa ya ongezeko la joto duniani
03:51
along with deforestation, which is 20 percent of it, is the burning of fossil fuels.
79
231160
4000
sambamba na ukataji hovyo wa miti, ambao ni asilimia 20, ni nishati itokanayo na visukuku
03:55
Oil is a problem, and coal is the most serious problem.
80
235160
3000
Mafuta ni tatizo, na makaa ya wawe ni tatizo kubwa kuliko yote.
03:58
The United States is one of the two
81
238160
2000
Marekani ni moja ya nchi mbili
04:00
largest emitters, along with China.
82
240160
2000
kubwa zinazotoa gesi joto, sambamba na China.
04:02
And the proposal has been to build a lot more coal plants.
83
242160
4000
Na pendekezo limekuwa kujenga viwanda zaidi vya makaa ya mawe.
04:06
But we're beginning to see a sea change.
84
246160
2000
Lakini tulikuwa tunaanza kuona badiliko.
04:08
Here are the ones that have been cancelled in the last few years
85
248160
3000
Hapa ni mpango mmoja uliovunjwa miaka michache iliyopita
04:11
with some green alternatives proposed.
86
251160
2000
Kukiwa na mapendekezo mbadala ya kijani.
04:13
(Applause)
87
253160
1000
(Makofi)
04:14
However there is a political battle
88
254160
3000
Hata hivyo kuna vita ya kisiasa
04:17
in our country.
89
257160
2000
nchini mwetu.
04:19
And the coal industries and the oil industries
90
259160
2000
Na viwanda vya makaa ya mawe na viwanda vya mafuta
04:21
spent a quarter of a billion dollars in the last calendar year
91
261160
3000
vilitumia dola robo bilioni katika mwaka wa kalenda uliopita
04:24
promoting clean coal,
92
264160
2000
kutangaza makaa safi ya mawe,
04:26
which is an oxymoron.
93
266160
2000
ambayo ni utatanishi.
04:28
That image reminded me of something.
94
268160
2000
Picha hiyo ilinikumbusha kitu
04:30
(Laughter)
95
270160
3000
(Kicheko)
04:33
Around Christmas, in my home in Tennessee,
96
273160
2000
Karibia na Krismas, nyumbani kwangu Tennessee,
04:35
a billion gallons of coal sludge was spilled.
97
275160
3000
galoni bilioni za majimaji ya makaa ya mawe zilivuja.
04:38
You probably saw it on the news.
98
278160
2000
Huenda mliiona kwenye habari.
04:40
This, all over the country, is the second largest waste stream in America.
99
280160
4000
Hiki, nchini kote, ni kijito cha pili kwa ukubwa cha uchafu katika Marekani.
04:44
This happened around Christmas.
100
284160
2000
Hii ilitokea karibu na Krismas.
04:46
One of the coal industry's ads around Christmas was this one.
101
286160
3000
Moja ya matangazo kutoka kiwanda cha makaa ya mawe karibia Krismas lilikuwa hili,
04:49
Video: ♪♫ Frosty the coal man is a jolly, happy soul.
102
289160
3000
Bila bashasha Kaa-jiwe-mtu ni mchangamfu, akiishi kwa furaha.
04:52
He's abundant here in America,
103
292160
2000
Anapatikana kwa wingi hapa Marekani,
04:54
and he helps our economy grow.
104
294160
2000
Na anasaidia uchumi wetu kukua.
04:56
Frosty the coal man is getting cleaner everyday.
105
296160
4000
Bila bashasha kaa–jiwe-mtu anakuwa safi kila siku,
05:00
He's affordable and adorable, and workers keep their pay.
106
300160
4000
gharama yake ni ndogo na anapendwa, na watumishi wanabakiza malipo yao.
05:04
Al Gore: This is the source of much of the coal in West Virginia.
107
304160
4000
Hiki ni chanzo cha kiasi kikubwa cha makaa ya mawe katika Virginia Magharibi
05:08
The largest mountaintop miner is the head of Massey Coal.
108
308160
5000
Mchimbaji mkubwa kuliko wote ni mkuu wa kampuni ya makaa ya mawe ya Massey
05:13
Video: Don Blankenship: Let me be clear about it. Al Gore,
109
313160
2000
Ngoja niwe wazi kuhusu hiyo. Al Gore,
05:15
Nancy Pelosi, Harry Reid, they don't know what they're talking about.
110
315160
4000
Nancy Pelosi, Harry Reid, hawajui wanalozungumzia.
05:19
Al Gore: So the Alliance for Climate Protection
111
319160
2000
Kwa hiyo Muungano wa Kulinda Tabia Nchi
05:21
has launched two campaigns.
112
321160
2000
umezindua kampeni mbili.
05:23
This is one of them, part of one of them.
113
323160
3000
Hii ni mojawapo, sehemu ya mojawapo.
05:26
Video: Actor: At COALergy we view climate change as a very serious
114
326160
2000
Pale COALergy tunaona mabadiliko ya tabia nchi kama
05:28
threat to our business.
115
328160
2000
tishio kubwa kwa biashara zetu.
05:30
That's why we've made it our primary goal
116
330160
2000
Ndio maana tumelifanya lengo letu la msingi
05:32
to spend a large sum of money
117
332160
2000
kutumia kiasi kikubwa cha fedha
05:34
on an advertising effort to help bring out and complicate
118
334160
3000
katika juhudi za kutangaza kuweza kuuweka wazi na kwa ujumla wake
05:37
the truth about coal.
119
337160
2000
uweki kuhusu makaa ya mawe.
05:39
The fact is, coal isn't dirty.
120
339160
2000
Ukweli ni kuwa, makaa ya mawe sio uchafu.
05:41
We think it's clean --
121
341160
2000
Tunadhani ni safi –
05:43
smells good, too.
122
343160
2000
ina harufu nzuri, pia.
05:45
So don't worry about climate change.
123
345160
3000
Hivyo msijali kuhusu mabadiliko ya tabia nchi.
05:48
Leave that up to us.
124
348160
2000
Tuachie sisi.
05:50
(Laughter)
125
350160
1000
(Kicheko)
05:51
Video: Actor: Clean coal -- you've heard a lot about it.
126
351160
2000
Makaa safi ya mawe, mmesikia mengi kuyahusu.
05:53
So let's take a tour of this state-of-the-art clean coal facility.
127
353160
6000
Hivyo hebu tutalii nyenzo yetu mahiri ya makaa safi ya mawe.
05:59
Amazing! The machinery is kind of loud.
128
359160
3000
Yashangaza! Mashine ni aina ya kelele.
06:02
But that's the sound of clean coal technology.
129
362160
4000
Lakini hiyo ni sauti ya teknolojia ya makaa safi ya mawe.
06:06
And while burning coal is one of the leading causes of global warming,
130
366160
3000
Na wakati kuchoma makaa ya mawe ni moja ya sababu kuu za ongezeko la joto duniani,
06:09
the remarkable clean coal technology you see here
131
369160
3000
teknolojia ya kipekee ya makaa safi ya mawe mnayoona hapa
06:12
changes everything.
132
372160
2000
inabadilisha kila kitu.
06:14
Take a good long look: this is today's clean coal technology.
133
374160
3000
Angalia kwa kirefu, hii ni teknolojia ya kisasa ya makaa safi ya mawe.
06:19
Al Gore: Finally, the positive alternative
134
379160
2000
Mwisho mbadala chanya
06:21
meshes with our economic challenge
135
381160
2000
Unaoana na changamoto zetu za kiuchumi
06:23
and our national security challenge.
136
383160
2000
na changamoto zetu za usalama wa taifa.
06:25
Video: Narrator: America is in crisis -- the economy,
137
385160
2000
Marekani ipo katika mzozo, uchumi,
06:27
national security, the climate crisis.
138
387160
3000
Usalama wa taifa, mzozo wa tabia nchi.
06:30
The thread that links them all:
139
390160
2000
Utando unaziunganisha zote,
06:32
our addiction to carbon based fuels,
140
392160
2000
mazoea yetu ya nishati zitokanazo na ukaa,
06:34
like dirty coal and foreign oil.
141
394160
2000
kama makaa ya mawe chafu na mafuta ya kigeni.
06:36
But now there is a bold new solution to get us out of this mess.
142
396160
3000
Lakini sasa kuna suluhisho mpya thabiti la kututoa katika vurugu hili.
06:39
Repower America with 100 percent clean electricity
143
399160
3000
Kuipa nguvu mpya Marekani kwa kuwa na umeme safi kwa asilimia 100,
06:42
within 10 years.
144
402160
2000
ndani ya miaka 10.
06:44
A plan to put America back to work,
145
404160
2000
Mpango wa kuirejesha Marekani kazini,
06:46
make us more secure, and help stop global warming.
146
406160
3000
unatufanya tuwe salama, na unasaidia kusimamisha ongezeko la joto duniani.
06:49
Finally, a solution that's big enough to solve our problems.
147
409160
3000
Mwisho, suluhisho lililo kubwa vya kutosha kusuluhisha matatizo yetu.
06:52
Repower America. Find out more.
148
412160
2000
Kuipa nguvu mpya Marekani. Tafuta zaidi.
06:54
Al Gore: This is the last one.
149
414160
2000
Hii ni ya mwisho.
07:03
Video: Narrator: It's about repowering America.
150
423160
2000
Inahusu kuipa nguvu mpya Marekani.
07:05
One of the fastest ways to cut our dependence
151
425160
2000
Moja ya njia za haraka kupunguza utegemezi wetu
07:07
on old dirty fuels that are killing our planet.
152
427160
3000
kwenye nishati chafu ya kizamani inayoua sayari yetu.
07:12
Man: Future's over here. Wind, sun, a new energy grid.
153
432160
4000
Mustakabali wetu upo hapa. Upepo, jua, nishati mpya ya gridi.
07:17
Man #2: New investments to create high-paying jobs.
154
437160
3000
Uwekezaji mpya unaotengeneza ajira mpya zenye malipo makubwa.
07:22
Narrator: Repower America. It's time to get real.
155
442160
4000
Ipe nguvu mpya Marekani. Ni wakati wa kupata usahihi.
07:26
Al Gore: There is an old African proverb that says,
156
446160
3000
Kuna methali ya kale ya Kiafrika isemayo,
07:29
"If you want to go quickly, go alone.
157
449160
2000
"Kama unataka kwenda haraka, nenda mwenyewe.
07:31
If you want to go far, go together."
158
451160
3000
Kama unataka kwenda mbali, nenda pamoja."
07:34
We need to go far, quickly.
159
454160
2000
Tunataka kwenda mbali, kwa haraka.
07:36
Thank you very much.
160
456160
2000
Asanteni sana.
07:38
(Applause)
161
458160
3000
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7