Want to be happy? Be grateful | David Steindl-Rast

3,443,171 views ・ 2013-11-27

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
There is something you know about me,
0
12496
3735
Kuna kitu
unafahamu kuhusu mimi,kitu cha binafsi sana,
00:16
something very personal,
1
16255
3816
na kitu nafahamu kuhusu
00:20
and there is something I know about every one of you
2
20095
4431
kila mmoja wenu
00:24
and that's very central to your concerns.
3
24550
2948
na hicho ndiyo kitu kikuu kwa dhumuni lenu.
00:28
There is something that we know
4
28663
2581
Kuna kitu tunajua
00:31
about everyone we meet anywhere in the world, on the street,
5
31268
6034
kuhusu kila mtu tunayekutana nae duniani,
mtaani,
00:37
that is the very mainspring of whatever they do
6
37326
4954
hicho ndiyo kiini
cha kila tunachofanya
00:42
and whatever they put up with.
7
42304
2215
na chochote tunachokuwa pamoja nacho,
00:46
And that is that all of us want to be happy.
8
46047
5255
ni kwamba wote
tunataka kuwa na furaha.
00:52
In this, we are all together.
9
52341
2338
Katika hili,tupo pamoja.
00:55
How we imagine our happiness, that differs from one another,
10
55203
5474
Tunavyofikiria furaha yetu.
inatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine,
01:00
but it's already a lot that we have all in common,
11
60701
4804
lakini ni vitu tulivyonavyo kwa pamoja,
01:05
that we want to be happy.
12
65529
2214
tunataka kuwa na furaha.
01:09
Now my topic is gratefulness.
13
69164
2952
Sasa,mada yangu ni kuhusu kushukuru.
01:12
What is the connection between happiness and gratefulness?
14
72612
5390
Kuna uhusiano gani kati ya
furaha na kushukuru?
01:19
Many people would say, well, that's very easy.
15
79310
2994
Watu wengi watasema,sawa,hiyo ni rahisi sana.
01:22
When you are happy, you are grateful.
16
82328
2518
Ukiwa na furaha,basi unashukuru.
01:26
But think again.
17
86331
1510
Lakini tazama tena.
01:29
Is it really the happy people that are grateful?
18
89688
4220
Ni kweli kwamba watu wenye furaha wana shukrani?
Sote tunafahamu namba kiasi ya watu
01:35
We all know quite a number of people
19
95077
3541
01:38
who have everything that it would take to be happy,
20
98642
4177
ambao wana kila kitu cha kuwafanya wawe na furaha,
01:42
and they are not happy,
21
102843
1757
lakini hawa furaha,
01:44
because they want something else or they want more of the same.
22
104624
3715
kwa sababu wanataka kitu kingine
au wanataka kilekile lakini kwa mara nyingine.
01:50
And we all know people who have lots of misfortune,
23
110173
6824
Na tunafahamu watu
ambao ni fukara sana,
01:57
misfortune that we ourselves would not want to have,
24
117021
3777
ufukara ambao sisi hatutaki kuwa nao,
02:00
and they are deeply happy.
25
120822
2198
lakini wamejawa na furaha mno.
02:03
They radiate happiness. You are surprised.
26
123574
3419
Wanamiminika furaha.Unashangaa.
02:07
Why? Because they are grateful.
27
127017
2199
Kwanini?kwa sababu wanajua kushukuru.
02:10
So it is not happiness that makes us grateful.
28
130348
4035
Kwa hiyo si furaha inayotufanya tuwe na shukrani.
02:14
It's gratefulness that makes us happy.
29
134407
2515
Ni shukrani inayotufanya tuwe na furaha.
02:17
If you think it's happiness that makes you grateful,
30
137835
2917
Kama unafikiri ni furaha inayotufanya tushukuru,
02:20
think again.
31
140776
1485
tazama tena.
02:22
It's gratefulness that makes you happy.
32
142285
2254
Ni shukrani inayokufanya uwe na furaha.
02:26
Now, we can ask,
33
146293
2488
Sasa,tunaweza kuuliza,
02:28
what do we really mean by gratefulness?
34
148805
3461
nini maana ya shukrani?
02:32
And how does it work?
35
152897
1918
na inafanya kazi vipi?
02:37
I appeal to your own experience.
36
157985
1966
Nitarufaa katika uzoefu wako.
02:39
We all know from experience how it goes.
37
159975
2733
Wote tunajua kutoka katika uzoefu inakuaje.
02:43
We experience something that's valuable to us.
38
163055
4998
Tunapata hali fulani
ambayo ina thamani kwetu.
02:48
Something is given to us that's valuable to us.
39
168734
4299
Tunapata kitu chenye thamani.
02:53
And it's really given.
40
173925
1922
na kweli tunapata.
02:55
These two things have to come together.
41
175871
2219
Vitu hivi viwili vinatakiwa kuja pamoja.
02:58
It has to be something valuable, and it's a real gift.
42
178114
5589
Inatakiwa kuwa na thamani,
na ni zawadi halisi.
03:03
You haven't bought it. You haven't earned it.
43
183727
3143
Hujainunua.Hujaitolea jasho.
03:06
You haven't traded it in. You haven't worked for it.
44
186894
2451
Hujaifanyia biashara.Hujaifanyia kazi.
03:09
It's just given to you.
45
189369
1428
Umepewa tu.
03:10
And when these two things come together,
46
190821
2243
na hivi vitu viwili vinapokuja pamoja,
03:13
something that's really valuable to me and I realize it's freely given,
47
193088
5625
kile kilicho na thamani kwangu
nagundua nimepewa bure,
03:18
then gratefulness spontaneously rises in my heart,
48
198737
4913
halafu shukrani muda huohuo
inaamshwa katika moyo wangu,
03:23
happiness spontaneously rises in my heart.
49
203674
3644
furaha muda huohuo pia inaamshwa katika moyo wangu.
03:28
That's how gratefulness happens.
50
208037
2165
Hivyo ndivyo shukrani inavyotokea.
03:31
Now the key to all this
51
211546
5395
Sasa,ufunguo wa haya yote ni kwamba
03:36
is that we cannot only experience this once in a while.
52
216965
6717
hatuwezi kukutana na hali hii mara moja.
03:44
We cannot only have grateful experiences.
53
224997
3734
Hatuwezi kuwa na mazoea ya kushukuru tu.
03:48
We can be people who live gratefully.
54
228755
3235
Tunaweza kuwa watu tunaoishi kwa shukrani.
03:52
Grateful living, that is the thing.
55
232649
2611
Kuishi ukiwa na shukrani,hicho ndo cha maana.
03:56
And how can we live gratefully?
56
236216
2373
Ni vipi tunaweza ishi tukiwa na shukrani?
04:00
By experiencing, by becoming aware
57
240136
4360
Kwa mazoea,kwa kujua
04:04
that every moment is a given moment, as we say.
58
244520
4749
kila wakati ni wakati tuliopewa,kama tusemavyo.
04:09
It's a gift. You haven't earned it.
59
249293
2581
Ni zawadi.Hujautolea jasho.
04:11
You haven't brought it about in any way.
60
251898
2588
Hujauleta kwa njia yoyote ile.
04:14
You have no way of assuring
61
254805
3088
Hauna njia ya kuhakikisha kwamba kutakuwa
04:17
that there will be another moment given to you,
62
257917
2976
na wakati mwingine kwa ajili yako,
04:20
and yet, that's the most valuable thing that can ever be given to us,
63
260917
5065
na bado,hicho ni kitu muhimu sana
ambacho tunaweza pewa,
04:26
this moment, with all the opportunity that it contains.
64
266006
5488
wakati huu,na nafasi zote ulizonazo.
04:31
If we didn't have this present moment,
65
271518
2640
Kama tusingekuwa na wakati huu,
04:34
we wouldn't have any opportunity to do anything
66
274182
3176
tusingekuwa na nafasi ya kufanya lolote
04:37
or experience anything,
67
277382
1824
au kuzoea chochote,
04:39
and this moment is a gift.
68
279230
1988
na wakati huu ni zawadi.
04:41
It's a given moment, as we say.
69
281242
1912
Ni wakati tuliopewa,kama tusemavyo.
04:43
Now, we say the gift within this gift is really the opportunity.
70
283712
6616
Sasa,tunasema zawadi ndani ya zawadi
ni nafasi halisi.
04:50
What you are really grateful for is the opportunity,
71
290352
4542
Unachoshukuru kwa hili ni nafasi,
04:54
not the thing that is given to you,
72
294918
1934
na sio kile ulichopewa,
04:56
because if that thing were somewhere else
73
296876
1955
kwa sababu kama hicho kitu kingekuwa sehemu nyingine
04:58
and you didn't have the opportunity to enjoy it,
74
298855
3506
na hukuwa na nafasi ya kukifaidi,
05:02
to do something with it,
75
302385
1811
kufanya chochote nacho,
05:04
you wouldn't be grateful for it.
76
304220
1943
usingeshukuru.
05:07
Opportunity is the gift within every gift,
77
307149
3996
Nafasi ni zawadi katika kila zawadi,
05:11
and we have this saying, opportunity knocks only once.
78
311169
5673
na tunao huu msemo,
nafasi huja mara moja tu.
05:17
Well, think again.
79
317943
1579
Sawa,fikiria tena.
05:20
Every moment is a new gift, over and over again,
80
320679
4187
Kila wakati ni zawadi mpya,tena na tena,
05:24
and if you miss the opportunity of this moment,
81
324890
3244
na kama utakosa nafasi ya wakati huu,
05:28
another moment is given to us, and another moment.
82
328158
3582
wakati mwingine utakuja,na tena mwingine utakuja.
05:32
We can avail ourselves of this opportunity,
83
332175
2690
Tunaweza pata nafasi tena
05:34
or we can miss it,
84
334889
1847
au kukosa,
05:36
and if we avail ourselves of the opportunity,
85
336760
3910
na kama tutaipata nafasi,
05:40
it is the key to happiness.
86
340694
2793
ni ufunguo wa furaha.
05:43
Behold the master key to our happiness
87
343511
3241
Tunayo funguo kuu ya furaha yetu
05:46
in our own hands.
88
346776
1779
katika mikono yetu.
05:48
Moment by moment, we can be grateful for this gift.
89
348579
4697
wakati kwa wakati,
tunaweza kuwa na shukrani kwa zawadi hii.
05:53
Does that mean
90
353593
2499
Ina maana kwamba
05:56
that we can be grateful for everything?
91
356116
2711
tuwe na shukrani kwa kila kitu?
05:59
Certainly not.
92
359629
1587
Si hivyo.
06:01
We cannot be grateful for violence, for war,
93
361597
4916
Hatuwezi kuwa na shukrani kwa vurugu,vita,
06:06
for oppression, for exploitation.
94
366537
2467
kugandamizwa,kunyonywa na kuonewa.
06:09
On the personal level, we cannot be grateful
95
369360
2739
Katika hali ya utu,hatuwezi kuwa na shukrani
06:12
for the loss of a friend, for unfaithfulness,
96
372123
3277
kwa kupoteza marafiki,kwa kudanganywa,
06:15
for bereavement.
97
375424
1722
kwa kufiwa.
06:18
But I didn't say we can be grateful for everything.
98
378733
3770
Lakini sikusema tuwe na shukrani kwa kila kitu.
06:22
I said we can be grateful in every given moment
99
382527
4482
Nimesema tuwe na shukrani kwa kila nyakati tunayopewa
kwa nafasi,
06:27
for the opportunity,
100
387033
1830
06:28
and even when we are confronted with something that is terribly difficult,
101
388887
6395
na hata tunapopingwa
katika kitu ambacho ni kigumu sana,
06:35
we can rise to this occasion
102
395306
2516
tunaweza ibuka katika hili
06:37
and respond to the opportunity that is given to us.
103
397846
4231
na kuitikia nafasi tunayopewa.
06:42
It isn't as bad as it might seem.
104
402101
2351
Sio mbaya kama inavyoonekana.
06:44
Actually, when you look at it and experience it,
105
404476
3869
Kiukweli,unapoiangalia na kuizoea,
06:48
you find that most of the time,
106
408369
2932
unakuta muda mwingi,tunachopewa
06:51
what is given to us is the opportunity to enjoy,
107
411325
3709
ni nafasi ya kustarehe,
na tunaikosa kwa sababu
06:55
and we only miss it because we are rushing through life
108
415058
3017
tunaharakisha maisha
06:58
and we are not stopping to see the opportunity.
109
418099
3403
na hatuachi kuona nafasi.
07:01
But once in a while,
110
421919
1407
Lakini wakati huo,
07:03
something very difficult is given to us,
111
423350
2922
tunapewa kitu kigumu,
07:06
and when this difficult thing occurs to us,
112
426296
4067
na hiki kitu kigumu kinapokuja,
07:10
it's a challenge to rise to that opportunity,
113
430387
4304
ni changamoto katika kuifanikisha ile nafasi,
07:14
and we can rise to it by learning something
114
434715
3396
na tunaweza fanikiwa kwa kujifunza kitu
ambacho wakati mwingine kinaumiza.
07:18
which is sometimes painful.
115
438135
1717
07:19
Learning patience, for instance.
116
439876
2063
kujifunza uvumilivu,mfano.
07:21
We have been told that the road to peace
117
441963
2973
Tunaambiwa kwamba njia ya amani
07:24
is not a sprint, but is more like a marathon.
118
444960
3744
sio ya harakaharaka,
lakini ni ya kukimbia kama marathon.
07:28
That takes patience. That's difficult.
119
448728
2537
Inahitaji uvumilivu.Hiyo ni ngumu.
07:32
It may be to stand up for your opinion, to stand up for your conviction.
120
452439
6091
Inaweza kuwa kusimama kwa maoni yako,
kusimama kwa ajili ya ushawishi wako.
07:39
That's an opportunity that is given to us.
121
459126
2737
Hiyo ni nafasi tunayopewa.
07:42
To learn, to suffer, to stand up,
122
462314
3425
Kujifunza,kuumia,kusimama,
07:45
all these opportunities are given to us,
123
465763
2346
nafasi hizi zote tunapewa,
07:48
but they are opportunities,
124
468133
1482
lakini ni nafasi,
07:49
and those who avail themselves of those opportunities
125
469639
3852
na wote wanaozitumia
nafasi hizo
07:53
are the ones that we admire.
126
473515
2103
ndiyo tunaowathamini.
07:55
They make something out of life.
127
475642
2248
Wanafanya kitu katika maisha.
07:57
And those who fail get another opportunity.
128
477914
4728
Na wale wanaofeli wanapata nafasi nyingine.
Siku zote tunapata nafasi nyingine.
08:03
We always get another opportunity.
129
483023
2193
08:05
That's the wonderful richness of life.
130
485240
3057
Huo ndo uzuri wa maisha.
08:10
So how can we find a method that will harness this?
131
490272
6525
Kwa hiyo ni jinsi gani tunatafuta namna
katika kuendelea na kukuza hili?
08:16
How can each one of us find a method for living gratefully,
132
496821
5006
Jinsi gani kila mmoja wetu atatafuta njia
ya kuishi kwa shukrani,
08:21
not just once in a while being grateful,
133
501851
1905
sio mara moja tu kuwa na shukrani,
08:23
but moment by moment to be grateful.
134
503780
2408
lakini wakati hadi wakati.
08:26
How can we do it? It's a very simple method.
135
506591
3352
Tunaweza kufanyaje?
Ni rahisi sana.
08:29
It's so simple that it's actually what we were told as children
136
509967
5063
Ni rahisi sana,kama tulivyoambiwa wakati
tukiwa watoto tulijifunza kukatiza mitaani.
08:35
when we learned to cross the street.
137
515054
2305
08:37
Stop.
138
517882
1239
Simama.Angalia.Nenda.
08:39
Look.
139
519421
1201
08:40
Go.
140
520646
1201
08:41
That's all.
141
521871
1375
Hivyo tu.
Lakini ni mara ngapi tunasimama?
08:43
But how often do we stop?
142
523270
2373
08:45
We rush through life. We don't stop.
143
525982
2745
Tunaharakisha katika maisha.Hatuachi.
08:48
We miss the opportunity because we don't stop.
144
528751
3398
Tunakosa nafasi kwa sababu hatuachi.
08:53
We have to stop.
145
533012
2328
Tunatakiwa kuacha.Tunatakiwa kunyamaza.
08:55
We have to get quiet.
146
535883
1833
08:58
And we have to build stop signs into our lives.
147
538128
4802
Na tunatakiwa kutengeneza alama za tahadhari
katika maisha yetu.
09:03
When I was in Africa some years ago and then came back,
148
543628
4968
Nilipokuwa Afrika miaka michache iliyopita
nikarudi tena,
09:08
I noticed water.
149
548620
2104
Niligundua maji.
09:11
In Africa where I was, I didn't have drinkable water.
150
551114
4155
Nilipokuwa Afrika,sikuwa na maji ya kunywa.
09:15
Every time I turned on the faucet, I was overwhelmed.
151
555293
3956
Muda wote nilipofungua bomba,
Nilifarijika.
09:20
Every time I clicked on the light, I was so grateful.
152
560067
3585
Muda wote nilipowasha taa,
Nilishukuru.Nilifurahishwa sana.
09:23
It made me so happy.
153
563676
1541
09:25
But after a while, this wears off.
154
565241
1983
Lakini baada ya muda,vyote vilipotea.
09:27
So I put little stickers on the light switch
155
567248
3762
Kwa hiyo nikaweka stika ndogo katika sehemu ya kuwashia taa
09:31
and on the water faucet,
156
571034
1677
na katika bomba la maji,
09:32
and every time I turned it on, water.
157
572735
2456
na kila wakati nikifungua,maji.
09:35
So leave it up to your own imagination.
158
575817
2856
Kwa hiyo achilia katika fikra zako.
09:38
You can find whatever works best for you,
159
578697
1953
Unaweza tafuta chochote kilicho bora kwako,
09:40
but you need stop signs in your life.
160
580674
3262
lakini unahitaji alama za tahadhari katika maisha yako.
09:44
And when you stop,
161
584278
1927
Na unaposimama.
09:46
then the next thing is to look.
162
586229
2080
kinachofata ni kuangalia.
09:48
You look. You open your eyes.
163
588730
2231
Unaangalia.Unafungua machi yako.
09:50
You open your ears. You open your nose.
164
590985
2262
Unafungua masikio.Unafungua pua.
09:53
You open all your senses
165
593271
2396
Unafungua milango yote ya fahamu
09:55
for this wonderful richness that is given to us.
166
595691
3231
kwa huu utajiri mzuri tuliopewa.
Hauna mwisho,
09:59
There is no end to it, and that is what life is all about,
167
599326
3952
na hivyo maisha yalivyo,
10:03
to enjoy, to enjoy what is given to us.
168
603302
3606
kufurahia,kufurahi kile tulichopewa.
10:06
And then we can also open our hearts,
169
606932
2819
Na baada ya hapo tunaweza fungua mioyo yetu,
10:09
our hearts for the opportunities,
170
609775
2822
kwa ajili ya nafasi,
10:12
for the opportunities also to help others,
171
612621
3218
kwa nafasi ya kutusaidia,
10:15
to make others happy,
172
615863
1271
kuwafanya wengine wawe na furaha,kwa sababu hamna kinachotufanya tuwe na furaha sana
10:17
because nothing makes us more happy than when all of us are happy.
173
617158
4108
kama wote tukiwa na furaha.
10:22
And when we open our hearts to the opportunities,
174
622743
4134
Na wakati tunafungua mioyo kwa ajili ya nafasi tupewazo,
10:26
the opportunities invite us to do something,
175
626901
3616
nafasi zinatualika kufanya kitu fulani,
10:30
and that is the third.
176
630541
1323
na ni cha tatu.
10:31
Stop, look, and then go, and really do something.
177
631888
4090
Simama,angalia,halafu nenda,na fanya kitu kweli.
10:36
And what we can do
178
636351
1580
Na tunachoweza kufanya ni
10:37
is whatever life offers to you in that present moment.
179
637955
4662
chochote ambacho maisha yamekupa kwa wakati huo.
10:42
Mostly it's the opportunity to enjoy,
180
642641
5043
Mara nyingi ni nafasi ya kufurahi,
10:47
but sometimes it's something more difficult.
181
647708
3376
lakini wakati mwingine ni kitu kigumu.
10:51
But whatever it is, if we take this opportunity,
182
651108
4268
Lakini vyovyote ilivyo,kama tutaichukua nafasi hii,
10:55
we go with it, we are creative, those are the creative people.
183
655400
5447
tukaenda nayo,sisi ni wabunifu,
hao ni watu wabunifu,
11:00
And that little stop, look, go,
184
660871
3849
na hiyo simama,angalia,nenda,
11:04
is such a potent seed
185
664744
2230
ni mbegu bora sana
11:06
that it can revolutionize our world.
186
666998
3071
inayoweza badilisha dunia.
11:10
Because we are at the present moment
187
670500
5296
Kwa sababu tunahitaji,tupo katika kipindi cha sasa
11:15
in the middle of a change of consciousness,
188
675820
3312
katikati ya mabadiliko ya dhamira,
11:19
and you will be surprised if you --
189
679156
2541
na utashangaa kama uki
Siku zote nahamaki ninaposikia ni mara ngapi
11:22
I am always surprised when I hear how many times
190
682002
2662
11:24
this word "gratefulness" and "gratitude" comes up.
191
684688
2904
hili neno"shukrani" na "kushukuru" yanapokuja.
11:27
Everywhere you find it,
192
687952
1314
Kila unapoyakuta,
11:29
a grateful airline, a restaurant gratefulness,
193
689290
3255
ndege ya kushukuru,mgahawa wa shukrani,
11:32
a café gratefulness, a wine that is gratefulness.
194
692569
3185
Mvinyo wenye shukrani.
11:35
Yes, I have even come across a toilet paper
195
695778
3251
Ndiyo,nimewahi ona karatasi ya chooni
11:39
whose brand is called "Thank You."
196
699053
2343
alama yake ya biashara inaitwa Nashukuru((Vicheko)
11:41
(Laughter)
197
701420
1596
11:43
There is a wave of gratefulness
198
703040
1942
Kuna wimbi la shukrani kwa sababu
11:45
because people are becoming aware how important this is
199
705006
3782
watu wanaanza kugundua ni muhimu kiasi gani
11:48
and how this can change our world.
200
708812
2596
na jinsi gani itabadili dunia.
11:51
It can change our world in immensely important ways,
201
711884
6616
Inaweza badili dunia yetu
na katika njia muhimu sana,
11:58
because if you're grateful, you're not fearful,
202
718524
3587
kwa sababu kama una shukrani,hauna uoga,
12:02
and if you're not fearful, you're not violent.
203
722135
3362
na kama hauna uoga,hauna vurugu.
12:05
If you're grateful, you act out of a sense of enough
204
725521
4162
Kama una shukrani,unaenenda katika hali ya kutosha
12:09
and not of a sense of scarcity,
205
729707
2070
na sio katika hali ya upungufu,
12:11
and you are willing to share.
206
731801
2025
haupo tayari kugawana.
12:13
If you are grateful,
207
733850
1268
Kama una shukrani,unafurahia
12:15
you are enjoying the differences between people,
208
735142
2851
tofauti kati ya watu,
na heshima yako kwa kila mtu,
12:18
and you are respectful to everybody,
209
738017
2355
12:20
and that changes this power pyramid under which we live.
210
740396
3709
na hiyo inabadili piramidi la nguvu
ambalo tunaishi sasa.
Na haileti usawa,
12:24
And it doesn't make for equality, but it makes for equal respect,
211
744129
5004
lakini inaleta heshima sawa,
12:29
and that is the important thing.
212
749157
1980
na hicho ni kitu muhimu.
12:31
The future of the world will be a network,
213
751161
3676
Dunia ya baadaye itakuwa mtandao,
12:34
not a pyramid turned upside down.
214
754861
3626
sio piramidi,ambalo limegeuzwa juu chini
12:38
The revolution of which I am speaking is a nonviolent revolution,
215
758511
4488
Mabadiliko ninayoongelea
sio mabadiliko ya vurugu,
na mabadiliko sana
12:43
and it's so revolutionary that it even revolutionizes
216
763023
3865
ambayo yanabadilisha
12:46
the very concept of a revolution,
217
766912
2157
maana halisi ya mapinduzi,
12:49
because the normal revolution
218
769093
2237
kwa sababu mapinduzi ya kawaida ni yale
12:51
is one where the power pyramid is turned upside down
219
771354
2984
ambayo piramidi linageuzwa juu chini
12:54
and those who were on the bottom are now on the top
220
774362
3145
na wale walio chini wanakuwa juu
12:57
and are doing exactly the same thing that the ones before.
221
777531
4126
na wa juu nao chini
yameahafanyika huko nyuma
13:02
What we need is a networking of smaller groups,
222
782246
4312
Tunachohitaji ni mtandao wa vikundi vidogo,
13:06
smaller and smaller groups who know one another,
223
786582
3646
vikundi vidogo na vidogo vinavyotambuana,
vinavyokutana pamoja,
13:10
who interact with one another, and that is a grateful world.
224
790252
4547
na hiyo ni dunia nzuri sana.
13:14
A grateful world is a world of joyful people.
225
794823
4124
Dunia nzuri yenye watu wenye furaha sana.
13:18
Grateful people are joyful people,
226
798971
2647
Watu wenye shukrani ni watu wenye furaha tele,
13:21
and joyful people --
227
801642
2017
na watu wenye furaha tele,
13:23
the more and more joyful people there are,
228
803683
2739
wanavyozidi kuwa watu wengi wenye furaha
13:26
the more and more we'll have a joyful world.
229
806446
3274
na hivyo tutakuwa na dunia yenye watu wenye furaha zaidi.
13:30
We have a network for grateful living, and it has mushroomed.
230
810758
6047
Tuna mtandao wa maisha ya kushukuru,
na ina uyoga.
13:36
We couldn't understand why it mushroomed.
231
816829
2423
Na hatuwezi kuelewa kwanini ina uyoga.
13:39
We have an opportunity for people to light a candle
232
819276
3312
Tuna nafasi ya watu kuwasha mshumaa
13:42
when they are grateful for something.
233
822612
2161
wanaposhukuru kwa jambo fulani.
13:45
And there have been 15 million candles lit in one decade.
234
825217
6421
Na kuna mishumaa milioni 15 inayowashwa
katika muongo mmoja.
13:52
People are becoming aware that a grateful world is a happy world,
235
832072
6201
Watu wanaanza kutambua
dunia ya shukrani ni dunia yenye furaha,
13:58
and we all have the opportunity by the simple stop, look, go,
236
838297
6002
na wote tuna nafasi
kwa njia rahisi ya simama,angalia,nenda,
14:04
to transform the world, to make it a happy place.
237
844323
3712
kubadilisha dunia,
kuifanya sehemu ya furaha.
14:08
And that is what I hope for us,
238
848059
1478
Na hilo ndo ninalotumaini kwetu,
14:09
and if this has contributed a little to making you want to do the same,
239
849561
4874
na kama hili linachangia kidogo
kwa kukufanya uhitaji kufanya hichohicho,
14:14
stop, look, go.
240
854459
1638
simama,angalia,nenda.
14:16
Thank you.
241
856121
1169
Asante.
14:17
(Applause)
242
857314
3364
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7