Richard Turere: My invention that made peace with lions

614,259 views ・ 2013-03-27

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Joseph Geni Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
This is where I live. I live in Kenya,
1
12982
2774
Hapo ndipo ninapoishi,naishi nchi ya kenya,
00:15
at the south parts of the Nairobi National Park.
2
15756
3067
kusini mwa mbuga ya wanyama ya Nairobi.
00:18
Those are my dad's cows at the back,
3
18823
1988
Hao ni ng'ombe wa baba yangu hapo nyuma,
00:20
and behind the cows,
4
20811
1980
na nyuma ya ng'ombe
00:22
that's the Nairobi National Park.
5
22791
2304
hiyo ndiyo mbuga ya wanyama ya taifa iitwayo Nairobi
00:25
Nairobi National Park is not fenced in the south widely,
6
25095
3505
mbuga ya wanyama ya Nairobi haina uzio upande wa kusini kiupana
00:28
which means wild animals like zebras
7
28600
3462
ina maana wanyama mwitu kama Pundamilia
00:32
migrate out of the park freely.
8
32062
3921
wanaondoka toka kwenye mbuga bila kipingamizi
00:35
So predators like lions follow them,
9
35983
4013
kwa hiyo wanyama wakali kama Simba huwafata
00:39
and this is what they do.
10
39996
2795
na hiki ndicho huwa wanafanya
00:42
They kill our livestock.
11
42791
3001
Wanaua mifugo yetu
00:45
This is one of the cows which was killed at night,
12
45792
2447
Huyu ni mmoja wa ng'ombe ambaye aliuliwa nyakati za usiku,
00:48
and I just woke up in the morning and I found it dead,
13
48239
4040
niliamka asubuhi na kukuta amekufa,
00:52
and I felt so bad,
14
52279
2426
nilijisikia vibaya sana,
00:54
because it was the only bull we had.
15
54705
4487
kwa sababu alikuwa ng'ombe dume pekee tuliyekuwa nae
00:59
My community, the Maasai, we believe that
16
59192
2787
Jamii yangu,ya Maasai,tunaamini kwamba
01:01
we came from heaven with all our animals and all the land
17
61979
6057
tumetokea mbinguni na wanyama wetu na ardhi yetu yote
01:08
for herding them, and that's why we value them so much.
18
68036
3775
kuwachunga,na ndo maana tunawathamini sana
01:11
So I grew up hating lions so much.
19
71811
3759
Kwa hiyo nimekua nikiwachukia sana Simba
01:15
The morans are the warriors
20
75570
3053
Morani ni vijana walinzi
01:18
who protect our community and the livestock,
21
78623
3317
ambao wanalinda jamii yetu na mifugo pia
01:21
and they're also upset about this problem.
22
81940
3079
na wao wanachukizwa na hili tatizo
01:25
So they kill the lions.
23
85019
3005
Kwa hiyo wanaua Simba.
01:28
It's one of the six lions which were killed in Nairobi.
24
88024
3914
Ni mmoja kati ya Simba sita waliouawa Nairobi
01:31
And I think this is why the Nairobi National Park lions are few.
25
91938
4539
Na fikiri hii ndo maana mbuga ya wanyama ya Nairobi ina Simba wachache.
01:36
So a boy, from six to nine years old, in my community
26
96477
4961
Mvulana,kuanzia miaka sita hadi nane,katika jamii yangu
01:41
is responsible for his dad's cows,
27
101438
2874
ana jukumu kwa Ng'ombe za baba yake,
01:44
and that's the same thing which happened to me.
28
104312
3130
na hiki pia ndicho kilichonipata mimi.
01:47
So I had to find a way of solving this problem.
29
107442
3415
Nilihitajika kutafuta njia ya kutatua hili tatizo.
01:50
And the first idea I got was to use fire,
30
110857
4814
Na wazo la kwanza nililolipata ni kutumia moto,
01:55
because I thought lions were scared of fire.
31
115671
3793
sababu nilijua Simba wanaogopa moto.
01:59
But I came to realize that that didn't really help,
32
119464
4719
Lakini nikaja kugundua hiyo haikusaidia kiukweli
02:04
because it was even helping the lions
33
124183
2609
sababu ilikuwa ikisaidia Simba
02:06
to see through the cowshed.
34
126792
3511
kuona zizi la Ng'ombe
02:10
So I didn't give up. I continued.
35
130303
3329
Kwa hiyo sikukata tamaa na niliendelea
02:13
And a second idea I got was
36
133632
2640
na wazo la pili nililopata lilikuwa
02:16
to use a scarecrow.
37
136272
2067
kutumia mtu wa bandia
02:18
I was trying to trick the lions
38
138339
1614
nilijaribu kuwapumbaza Simba
02:19
[into thinking] that I was standing near the cowshed.
39
139953
2907
kufikiri nimesimama karibu na zizi la ng'ombe
02:22
But lions are very clever. (Laughter)
40
142860
4076
Lakini Simba wana akili sana(vicheko)
02:26
They will come the first day and they see the scarecrow, and they go back,
41
146936
4446
Watakuja siku ya kwanza wataona mtu bandia,wanarudi walipotoka.
02:31
but the second day, they'll come and they say,
42
151382
3274
lakini siku ya pili,watakuja na kusema,
02:34
this thing is not moving here, it's always here. (Laughter)
43
154656
3110
hiki kitu hakihami hapa,kipo hapa muda wote(vicheko)
02:37
So he jumps in and kills the animals.
44
157766
3237
kwa hiyo anaruka na kuua simba.
02:41
So one night, I was walking around the cowshed with a torch,
45
161003
3953
usiku mmoja,nilikuwa nikitembea kuzunguka zizi la ng'ombe nikiwa na kurunzi.
02:44
and that day, the lions didn't come.
46
164956
3843
na siku hiyo Simba hawakuja.
02:48
And I discovered that lions are afraid of a moving light.
47
168799
4558
Na niligundua Simba wanaogopa mwanga unaotembea.
02:53
So I had an idea.
48
173357
2573
Nikapata wazo.
02:55
Since I was a small boy,
49
175930
2310
Tangu nilipokuwa mtoto mdogo,
02:58
I used to work in my room for the whole day,
50
178240
3258
Nilizoea kufanya kazi katika chumba changu siku nzima,
03:01
and I even took apart my mom's new radio,
51
181498
3106
na nilidiriki kutenganisha radio mpya ya mama yangu,
03:04
and that day she almost killed me,
52
184604
1818
na siku hiyo ilibaki kidogo aniue,
03:06
but I learned a lot about electronics. (Laughter)
53
186422
6254
lakini nilijifunza kuhusu vifaa vitumiavyo umeme(vicheko)
03:12
So I got an old car battery,
54
192676
3360
nilipata betri chakavu ya gari
03:16
an indicator box. It's a small device found in a motorcycle,
55
196036
3790
kasha la kuonesha uelekeo.ni kifaa kidogo kinapatikana kwenye pikipiki,
03:19
and it helps motorists when they want to turn right or left. It blinks.
56
199826
5051
na kinasaidia waendesha pikipiki wanapotaka kukata kona kulia au kushoto,kinawaka na kuzimika.
03:24
And I got a switch where I can switch on the lights, on and off.
57
204877
4554
nilipata swichi ambapo naweza kuwasha na kuzima taa.
03:29
And that's a small torch from a broken flashlight.
58
209431
4828
na hiyo ni kurunzi ndogo kutoka katika taa iliyovunjika.
03:34
So I set up everything.
59
214259
2881
kwa hiyo niliunda kila kitu.
03:37
As you can see, the solar panel charges the battery,
60
217140
3224
kama uonavyo,sola inachaji betri,
03:40
and the battery supplies the power
61
220364
2121
betri inapeleka umeme
03:42
to the small indicator box. I call it a transformer.
62
222485
3055
katika kuonesha uelekeo,ninaita transfoma.
03:45
And the indicator box makes the lights flash.
63
225540
4721
na kionesha uelekeo kinafanya taa inawaka
03:50
As you can see, the bulbs face outside,
64
230261
3751
kama unavoona,taa imeelekezwa kwa nje,
03:54
because that's where the lions come from.
65
234012
2488
sababu huko ndipo simba wanapotokea.
03:56
And that's how it looks to lions when they come at night.
66
236500
4064
na hivi ndivo inaonekana kwa Simba wanapokuja usiku
04:00
The lights flash and trick
67
240564
2728
mwanga unawaka na kuwapumbaza
04:03
the lions into thinking I was walking around the cowshed,
68
243292
1942
simba wakifikiri natembea katika zizi la ng'ombe,
04:05
but I was sleeping in my bed.
69
245234
1926
lakini mimi nimelala katika kitanda changu.
04:07
(Laughter)
70
247160
2740
(vicheko)
04:09
(Applause)
71
249900
1669
(makofi)
04:11
Thanks.
72
251569
5595
Asante.
04:17
So I set it up in my home two years ago,
73
257164
4276
Niliweka nyumbani kwetu miaka miwili iliyopita,
04:21
and since then, we have never experienced any problem with lions.
74
261440
3320
na tangu hapo,hatujakumbana na tatizo lolote kuhusu simba.
04:24
And my neighboring homes heard about this idea.
75
264760
4012
na nyumba za jirani walisikia kuhusu hili wazo
04:28
One of them was this grandmother.
76
268772
2464
Mmoja wao alikuwa huyu bibi.
04:31
She had a lot of her animals being killed by lions,
77
271236
4276
Alikuwa na wanyama wengi waliokuwa wakiuliwa na Simba,
04:35
and she asked me if I could put the lights for her.
78
275512
2134
na aliniuliza kama naweza kumuwekea taa
04:37
And I said, "Yes."
79
277646
1278
nikasema,"ndiyo"
04:38
So I put the lights. You can see at the back, those are the lion lights.
80
278924
4600
kwa hiyo niliweka taa,unaweza ona hapo nyuma,hizo ni taa za simba.
04:43
Since now, I've set up seven homes around my community,
81
283524
3416
Tabgu sasa,nimeweka taa katika katika nyumba saba katika jamii yangu,
04:46
and they're really working.
82
286940
2225
na zinafanya kazi vizuri.
04:49
And my idea is also being used now all over Kenya
83
289165
5180
na wazo langu linatumika pia nchi ya Kenya yote.
04:54
for scaring other predators like hyenas, leopards,
84
294345
5113
kuogopesha wanyama wengi wala nyama kama mbwa mwitu na chui.
04:59
and it's also being used
85
299458
2235
na pia inatumika
05:01
to scare elephants away from people's farms.
86
301693
4045
kuogopesha tembo katika mashamba ya watu
05:05
Because of this invention, I was lucky to get a scholarship
87
305738
3040
kutokana na uvumbuzi huu,nilibahatika kupata ufadhili wa masomo yangu.
05:08
in one of the best schools in Kenya,
88
308778
2650
katika shule bora Kenya
05:11
Brookhouse International School,
89
311428
1907
Shule ya kimataifa ya Brookhouse.
05:13
and I'm really excited about this.
90
313335
2927
ninapendezwa sana na hili jambo.
05:16
My new school now is coming in and helping
91
316262
3850
Shule yangu inakuja na kusaidia.
05:20
by fundraising and creating an awareness.
92
320112
4532
kwa kutoa michango ya kifedha na kuelimisha.
05:24
I even took my friends back to my community,
93
324644
5283
Nimewachukua rafiki zangu kwenda katika jamii yangu,
05:29
and we're installing the lights to the homes
94
329927
3197
na tunaweka taa katika nyumba
05:33
which don't have [any], and I'm teaching them how to put them.
95
333124
4649
ambazo hazina,nawaelekeza jinsi ya kuziweka.
05:37
So one year ago, I was just a boy in the savanna grassland
96
337773
3897
Mwaka mmoja uliopita,nilikuwa kijana wa mbugani
05:41
herding my father's cows,
97
341670
1674
nikichunga ng'ombe za baba yangu.
05:43
and I used to see planes flying over,
98
343344
2954
na nilikuwa nikiona ndege zinapaa tu,
05:46
and I told myself that one day, I'll be there inside.
99
346298
4211
na niliiambia nafsi yangu "siku moja",nitakuwa ndani ya hiyo ndege.
05:50
And here I am today.
100
350509
3088
na leo nipo hapa.
05:53
I got a chance to come by plane for my first time for TED.
101
353597
5936
Nilipata nafasi ya kuja kwa ndege kwa mara ya kwanza kuja TED.
05:59
So my big dream is to become an aircraft engineer and pilot when I grow up.
102
359533
5436
Hivyo,ndoto yangu ni kuwa mwandisi na mrusha ndege nikiwa mkubwa.
06:04
I used to hate lions, but now because my invention
103
364969
3694
Nilizoea kuchukia Simba,lakini sasa kwa sababu ya uvumbuzi wangu
06:08
is saving my father's cows and the lions,
104
368663
3318
unaokoa Ng'ombe wa baba yangu na Simba pia.
06:11
we are able to stay with the lions without any conflict.
105
371981
3700
tunaweza kaa na Simba bila ugomvi nao.
06:15
Ashê olên. It means in my language, thank you very much.
106
375681
3220
Ashe olen.Ina maana Asante sana katika lugha yangu.
06:18
(Applause)
107
378901
10900
(makofi )
06:33
Chris Anderson: You have no idea how exciting it is
108
393381
2301
Chris Anderson:Huwezi jua ni jinsi gani inavyofurahisha
06:35
to hear a story like yours.
109
395682
2111
kusikia hadithi kama yako.
06:37
So you got this scholarship.Richard Turere: Yep.
110
397793
2036
Kwa hiyo umepata ufadhili wa masomo.Richard Turere:Ndiyo.
06:39
CA: You're working on other electrical inventions.
111
399829
2577
Chris Anderson:unafanyia kazi uvumbuzi wa vifa vya umeme.
06:42
What's the next one on your list?
112
402406
1858
Kipi kinafata katika orodha yako?
06:44
RT: My next invention is,
113
404264
2674
Richard Turere:Uvumbuzi wangu unaofata ni,
06:46
I want to make an electric fence.CA: Electric fence?
114
406938
2582
Nataka tengeneza uzio wenye umeme,Chris Anderson:Uzio wenye umeme?
06:49
RT: But I know electric fences are already invented,
115
409520
2161
Richard Turere:Najua uzio wa umeme tayari umeshavumbuliwa,
06:51
but I want to make mine.
116
411681
2237
laikini natengeneza wa kwangu.
06:53
(Laughter)
117
413918
2091
(vicheko)
06:56
CA: You already tried it once, right, and you --RT: I tried it before,
118
416009
3170
Chris Anderson:Umeshajaribu,si ndio?,na,Richard Turere;Nishajaribu tayari
06:59
but I stopped because it gave me a shock. (Laughter)
119
419179
6757
lakini niliacha sababu nilinaswa na umeme(vicheko)
07:05
CA: In the trenches. Richard Turere, you are something else.
120
425936
3326
Chris Anderson;Richard Turere,wewe ni mtu zaidi ya kawaida.
07:09
We're going to cheer you on every step of the way, my friend.
121
429262
2968
Tutaendelea kuwa nawe katika kila hatua yako ya uvumbuzi,rafiki yangu.
07:12
Thank you so much.RT: Thank you. (Applause)
122
432230
3557
Asante sana.Richard Turere:Asante(makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7