Why domestic violence victims don't leave | Leslie Morgan Steiner | TED

4,609,004 views ・ 2013-01-25

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Joseph Geni Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: David Mvoi Reviewer: Joachim Mangilima
00:15
I'm here today to talk about a disturbing question,
1
15941
3288
Leo niko hapa kuongea kuhusu swala nyeti,
00:19
which has an equally disturbing answer.
2
19229
3698
ambalo lina jibu tatanishi.
00:22
My topic is the secrets of domestic violence,
3
22927
3602
Swala langu ni zile siri za ugomvi nyumbani,
00:26
and the question I'm going to tackle
4
26529
2334
na swali nitakalokabiliana nalo
00:28
is the one question everyone always asks:
5
28863
4081
ni lile swali moja kila mmoja huliuliza kila mara:
00:32
Why does she stay?
6
32944
1612
Kwa nini muathirika hubakia?
00:34
Why would anyone stay with a man who beats her?
7
34556
3996
Kwa nini mtu yeyote abaki na mume ampigaye?
00:38
I'm not a psychiatrist, a social worker
8
38552
2977
Mie si daktari wa akili, mfanyakazi wa ustawi wa jamii
00:41
or an expert in domestic violence.
9
41529
2335
au mtaalam wa ugomvi wa nyumbani.
00:43
I'm just one woman with a story to tell.
10
43864
3199
Mimi ni mwanamke mwenye hadithi ya kusimulia.
00:47
I was 22. I had just graduated from Harvard College.
11
47063
4513
Nilikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili. Nilikuwa nimehitimu tu kutoka chuo cha Harvard.
00:51
I had moved to New York City for my first job
12
51576
2472
Nilikuwa nimehamia mjini New York kwa ajili ya kazi yangu ya kwanza
00:54
as a writer and editor at Seventeen magazine.
13
54048
3296
kama mwandishi na mhariri wa gazeti la Seventeen.
00:57
I had my first apartment,
14
57344
2240
Nilikuwa na nyumba yangu ya kwanza,
00:59
my first little green American Express card,
15
59584
3200
kadi yangu ya kwanza ya American Express,
01:02
and I had a very big secret.
16
62784
3028
na nilikuwa na siri moja kubwa sana.
01:05
My secret was that I had this gun
17
65812
3699
Siri yangu ilikuwa kwamba kulikuwa na bunduki
01:09
loaded with hollow-point bullets pointed at my head
18
69511
3438
iliyojaa risasi iliyoelekezwa kichwani mwangu
01:12
by the man who I thought was my soulmate,
19
72949
2563
na mwanamme niliyefikiria alikuwa mpenzi wangu,
01:15
many, many times.
20
75512
3485
mara kadhaa.
01:18
The man who I loved more than anybody on Earth
21
78997
3560
Mwanamme huyu niliyempenda kuliko yeyote duniani
01:22
held a gun to my head and threatened to kill me
22
82557
4079
alielekeza bunduki kichwani mwangu na kutishia kuniua
01:26
more times than I can even remember.
23
86636
3185
mara nyingi kuliko zile ningeweza kukumbuka.
01:29
I'm here to tell you the story of crazy love,
24
89821
2743
Niko hapa kuwapa hadithi ya upendo wa kupindukia,
01:32
a psychological trap disguised as love,
25
92564
3184
mtego wa kisaikolojia uliofichwa kama mapenzi,
01:35
one that millions of women and even a few men
26
95748
2852
ambao mamilioni ya wanawake na hata wanaume wengine
01:38
fall into every year.
27
98600
2381
hutumbukia kila mwaka.
01:40
It may even be your story.
28
100981
2749
Inaweza hata kuwa hadithi yako.
01:43
I don't look like a typical domestic violence survivor.
29
103730
3043
Sionekani kama mtu niliyenusurika na ugomvi katika mahusiano.
01:46
I have a B.A. in English from Harvard College,
30
106773
2306
Nina shahada ya sanaa katika Kiigereza kutoka chuo cha Harvard,
01:49
an MBA in marketing from Wharton Business School.
31
109079
2362
na shahada ya juu katika mauzo kutoka kwa chuo cha biashara cha Wharton.
01:51
I've spent most of my career working for Fortune 500 companies
32
111441
3292
Nimetumia muda mrefu maishani nikifanya kazi kwenye kampuni bora duniani
01:54
including Johnson & Johnson, Leo Burnett and The Washington Post.
33
114733
4272
zikiwemo Johnson & Johnson, Leo Burnett na The Washington Post.
01:59
I've been married for almost 20 years to my second husband
34
119005
3796
Nimeolewa takriban miaka ishirini kwa mme wangu wa pili
02:02
and we have three kids together.
35
122801
2789
na tuna wana watatu pamoja
02:05
My dog is a black lab, and I drive a Honda Odyssey minivan.
36
125590
4229
Mbwa wangu ni mweusi, na mie huendesha gari ndogo la Honda Odyssey.
02:09
(Laughter)
37
129819
2480
(Kicheko)
02:12
So my first message for you is that domestic violence
38
132299
2719
Kwa hivyo ujumbe wangu wa kwanza kwenu ni kwamba ugomvi wa nyumbani
02:15
happens to everyone --
39
135018
2368
humtokea yeyote--
02:17
all races, all religions, all income and education levels.
40
137386
4176
kila jamii,dini, kila kipato na ngazi ya kimasomo.
02:21
It's everywhere.
41
141562
1939
Iko kila mahali.
02:23
And my second message is that everyone thinks
42
143501
2520
Na ujumbe wangu wa pili ni kwamba kila mtu hufikiri
02:26
domestic violence happens to women,
43
146021
2118
ugomvi wa nyumbani huwaathiri wanawake,
02:28
that it's a women's issue.
44
148139
2268
ati ni swala la wanawake.
02:30
Not exactly.
45
150407
2219
Si sahihi.
02:32
Over 85 percent of abusers are men, and domestic abuse
46
152626
4112
Zaidi ya asili mia 85 ya wanyanyasaji ni wanaume, na ugomvi wa nyumbani
02:36
happens only in intimate, interdependent, long-term relationships,
47
156738
5918
hutokea haswa katika mahusiano ya undani, ya kutegemeana na yale ya muda mrefu,
02:42
in other words, in families,
48
162656
2169
yaani, katika familia,
02:44
the last place we would want or expect to find violence,
49
164825
3865
mahali tusipotaka au kutarajia kupata ugomvi,
02:48
which is one reason domestic abuse is so confusing.
50
168690
4278
ndio sababu tuhuma za kinyumbani ni tatanishi hivi.
02:52
I would have told you myself that I was the last person on Earth
51
172968
3551
Ningekuambia kwamba ningekuwa mtu wa mwisho duniani
02:56
who would stay with a man who beats me,
52
176519
2572
kukaa na mwanaume anayenipiga,
02:59
but in fact I was a very typical victim because of my age.
53
179091
3407
lakini kusema kweli nilikuwa mwathirika kwa sababu ya umri wangu.
03:02
I was 22, and in the United States,
54
182498
3285
Nilikuwa mwenye umri wa miaka ishirini na mbili na Marekani,
03:05
women ages 16 to 24 are three times as likely
55
185783
3849
wanawake wenye umri kati ya miaka kumi na sita hadi ishirini na nne wana uwezekano wa mara tatu zaidi
03:09
to be domestic violence victims
56
189632
2761
kuwa waathirika wa ugomvi wa nyumbani
03:12
as women of other ages,
57
192393
2815
ikilinganishwa na wanawake wa umri mwingine,
03:15
and over 500 women and girls this age
58
195208
3303
vilevile zaidi ya wanawake mia tano na wasichana wa umri huu
03:18
are killed every year by abusive partners,
59
198511
3571
huuawa kila mwaka na wapenzi wanyanyasaji,
03:22
boyfriends, and husbands in the United States.
60
202082
4633
wapenzi, na waume zao Marekani.
03:26
I was also a very typical victim because I knew nothing
61
206715
3060
Nilikuwa muathirika kwa sababu sikujua chochote
03:29
about domestic violence, its warning signs or its patterns.
62
209775
4585
kuhusu ugomvi wa nyumbani, maonyo yake ama mifano yake.
03:34
I met Conor on a cold, rainy January night.
63
214360
5065
Nilikutana na Conor usiku mmoja wenye baridi na mvua, mwezi wa Januari.
03:39
He sat next to me on the New York City subway,
64
219425
2963
Alikaa kando yangu kwenye treni katika mji wa New York,
03:42
and he started chatting me up.
65
222388
2139
na alianza kuniongelesha.
03:44
He told me two things.
66
224527
1868
Aliniambia mambo mawili.
03:46
One was that he, too, had just graduated from an Ivy League school,
67
226395
3802
La kwanza kuwa, yeye pia, alikuwa amehitimu kutoka kwa kati ya zile shule bora zaidi Marekani,
03:50
and that he worked at a very impressive Wall Street bank.
68
230197
4355
na kwamba alifanya kazi kwenye benki moja ya kuvutia sana huko Wall Street.
03:54
But what made the biggest impression on me that first meeting
69
234552
3660
Lakini kile kilichonivutia zaidi siku hiyo
03:58
was that he was smart and funny
70
238212
3288
ni kuwa alikuwa mwerevu na mcheshi
04:01
and he looked like a farm boy.
71
241500
1400
na alionekana kuwa kijana wa mashambani.
04:02
He had these big cheeks, these big apple cheeks
72
242900
2347
Alikuwa na haya mashavu makubwa, haya mashavu makubwa ya waridi
04:05
and this wheat-blond hair,
73
245247
1685
na hii nywele za rangi kama ya ngano,
04:06
and he seemed so sweet.
74
246932
3287
na alionekana kuwa mwema sana.
04:10
One of the smartest things Conor did, from the very beginning,
75
250219
3784
Jambo moja la busara Conor alilofanya, kutoka mwanzoni,
04:14
was to create the illusion that I was the dominant partner in the relationship.
76
254003
5574
lilikuwa kufanya kana kwamba nilikuwa mwenye ushawishi mkubwa katika huo uhusiano.
04:19
He did this especially at the beginning
77
259577
2201
Alifanya hivi haswa hapo mwanzo
04:21
by idolizing me.
78
261778
2866
kwa kunihusudu.
04:24
We started dating, and he loved everything about me,
79
264644
3286
Tukaanza kutoka pamoja, na alipenda kila kitu kunihusu,
04:27
that I was smart, that I'd gone to Harvard,
80
267930
1684
ati nilikuwa mwerevu, ati nilisomea chuo cha Harvard,
04:29
that I was passionate about helping teenage girls, and my job.
81
269614
3030
ati nilikuwa mwenye shauku kusaidia wasichana wadogo, na kazi yangu.
04:32
He wanted to know everything about my family
82
272644
2531
Alitaka kujua kila kitu kuhusu familia yangu
04:35
and my childhood and my hopes and dreams.
83
275175
2616
na utoto wangu na matarajio na ndoto zangu.
04:37
Conor believed in me, as a writer and a woman,
84
277791
3634
Conor alikuwa na imani nami, kama mwandishi na mwanamke,
04:41
in a way that no one else ever had.
85
281425
3679
kwa njia ambayo yeyote mwengine alikuwa hajawahi.
04:45
And he also created a magical atmosphere of trust between us
86
285104
4325
Na alileta uaminifu kati yetu
04:49
by confessing his secret,
87
289429
2520
kwa kunieleza siri yake,
04:51
which was that, as a very young boy starting at age four,
88
291949
4480
ambayo ilikuwa, alipokuwa mvulana mdogo sana akiwa na umri wa miaka minne
04:56
he had been savagely and repeatedly physically abused
89
296429
2911
alipigwa vibaya sana mara kwa mara
04:59
by his stepfather,
90
299340
1686
na babake wa kambo,
05:01
and the abuse had gotten so bad that he had had to drop out of school in eighth grade,
91
301026
3940
na unyanyasaji ulizidi kuwa mbaya zaidi hadi ikambidi aache shule akiwa daraja la nane,
05:04
even though he was very smart,
92
304966
2619
ingawa alikuwa mwerevu sana,
05:07
and he'd spent almost 20 years rebuilding his life.
93
307585
3256
na kwamba alitumia takriban miaka ishirini kujenga maisha yake upya.
05:10
Which is why that Ivy League degree
94
310841
3156
Ndiyo sababu hiyo shahada yake kutoka zile shule bora zaidi Marekani,
05:13
and the Wall Street job and his bright shiny future
95
313997
2813
na kazi yake Wall Street na maisha yake mazuri siku za usoni
05:16
meant so much to him.
96
316810
2571
zilikuwa za umuhimu mkubwa sana kwake.
05:19
If you had told me
97
319381
2144
Kama ungeniuliza
05:21
that this smart, funny, sensitive man who adored me
98
321525
5364
kama huyu mwanamme mwerevu, mcheshi na mwenye kujali aliyenipenda sana
05:26
would one day dictate whether or not I wore makeup,
99
326889
4383
angekuja kuniamulia kama ningejipamba au la,
05:31
how short my skirts were,
100
331272
2050
ufupi wa sketi zangu,
05:33
where I lived, what jobs I took,
101
333322
1930
mahali ningeishi, kazi gani ningefanya,
05:35
who my friends were and where I spent Christmas,
102
335252
3364
marafiki zangu wangekuwa wepi na pale ningekulia Krisimasi
05:38
I would have laughed at you,
103
338616
1948
ningekucheka,
05:40
because there was not a hint of violence or control
104
340564
3048
kwa sababu hakukuwa na ushahidi wowote wa tuhuma au uthibiti
05:43
or anger in Conor at the beginning.
105
343612
3484
au hasira kutoka kwa Conor hapo mwanzoni.
05:47
I didn't know that the first stage
106
347096
3125
Sikujua kwamba daraja la kwanza
05:50
in any domestic violence relationship
107
350221
2375
katika uhusiano wowote wenye ugomvi
05:52
is to seduce and charm the victim.
108
352596
3652
ni kumvuta na kumpumbaza mwathirika
05:56
I also didn't know that the second step is to isolate the victim.
109
356248
4760
Pia sikujua kuwa daraja ya pili ni kumtenga mwathirika.
06:01
Now, Conor did not come home one day and announce,
110
361008
4154
Conor hakuja nyumbani siku moja na kutangaza,
06:05
"You know, hey, all this Romeo and Juliet stuff has been great,
111
365162
3134
"Unajua huu uhusiano wetu kama wa Romeo na Julieti umekuwa mtamu,
06:08
but I need to move into the next phase
112
368296
2005
lakini nataka kwenda katika hatua inayofuata
06:10
where I isolate you and I abuse you" — (Laughter) —
113
370301
4179
ambapo nitakutenga na kukunyanyasa" - (Kicheko) -
06:14
"so I need to get you out of this apartment
114
374480
1355
"kwa hivyo nataka kukuhamisha kutoka nyumba hii
06:15
where the neighbors can hear you scream
115
375835
1641
ambapo majirani wanawezakusikia ukipiga mayowe
06:17
and out of this city where you have friends and family
116
377476
2473
na kukupeleka nje ya mji huu ambapo una marafiki na familia
06:19
and coworkers who can see the bruises."
117
379949
3306
na wafanyakazi wenzako wanaoweza kuona hiyo michubuko."
06:23
Instead, Conor came home one Friday evening
118
383255
4221
Badala yake, Conor alikuja nyumbani jioni ya Ijumaa moja
06:27
and he told me that he had quit his job that day,
119
387476
2731
na akaniambia kuwa alikuwa ameacha kazi siku hiyo,
06:30
his dream job,
120
390207
2465
kazi ya ndoto zake,
06:32
and he said that he had quit his job because of me,
121
392672
4141
na akasema kwamba alikuwa ameacha kazi hiyo kwa sababu yangu,
06:36
because I had made him feel so safe and loved
122
396813
3178
kwa sababu nilimfanya ahisi usalama na kupendwa
06:39
that he didn't need to prove himself on Wall Street anymore,
123
399991
3123
ati hakuhitaji tena kujithibitisha huko Wall Street,
06:43
and he just wanted to get out of the city
124
403114
2515
na alitaka tu kutoka mjini
06:45
and away from his abusive, dysfunctional family,
125
405629
2978
na kukaa mbali na familia yake iliyomnyanyasa.
06:48
and move to a tiny town in New England
126
408607
3122
na kuhamia mji mdogo wa New England
06:51
where he could start his life over with me by his side.
127
411729
3573
ambapo angeweza kuanza upya maisha yake nikiwa kando yake.
06:55
Now, the last thing I wanted to do was leave New York,
128
415302
3866
Sikutaka kamwe kuhama kutoka New York,
06:59
and my dream job,
129
419168
3607
na kuacha kazi ya ndoto zangu,
07:02
but I thought you made sacrifices for your soulmate,
130
422775
2583
lakini nilifikiria mtu hujitoa muhanga kwa mpenzi wake,
07:05
so I agreed, and I quit my job,
131
425358
3464
kwa hivyo nikakubali na nikaacha kazi yangu,
07:08
and Conor and I left Manhattan together.
132
428822
2631
na Conor na mimi tukaondoka Manhattan pamoja.
07:11
I had no idea I was falling into crazy love,
133
431453
4366
Sikuwai kufikiria kwamba penzi nililokuwa nalo halikuwa la kawaida,
07:15
that I was walking headfirst into a carefully laid
134
435819
3632
na kwamba nilikuwa nikitembea bila habari ndani ya
07:19
physical, financial and psychological trap.
135
439451
4980
mtego mzuri wa kimwili, kifedha na kiakili
07:24
The next step in the domestic violence pattern
136
444431
2320
Daraja ya pili katika ugomvi wa kimahusiano
07:26
is to introduce the threat of violence
137
446751
4282
ni kuleta tishio la vurugu
07:31
and see how she reacts.
138
451033
2199
na kuangalia vile linavyomgusa.
07:33
And here's where those guns come in.
139
453232
2709
Na hapa ndipo bunduki zinapoingia.
07:35
As soon as we moved to New England -- you know,
140
455941
2918
Muda tu tulipohamia New England--unajua,
07:38
that place where Connor was supposed to feel so safe --
141
458859
2738
mahali Connor aliposema pangemfanya ajisikie salama--
07:41
he bought three guns.
142
461597
2416
alinunua bunduki tatu.
07:44
He kept one in the glove compartment of our car.
143
464013
3440
Aliweka moja garini.
07:47
He kept one under the pillows on our bed,
144
467453
2656
Aliweka moja chini ya mto kitandani mwetu,
07:50
and the third one he kept in his pocket at all times.
145
470109
3162
na ya tatu alitembea nayo mfukoni nyakati zote.
07:53
And he said that he needed those guns
146
473271
2318
Na alisema alihitaji bunduki hizo
07:55
because of the trauma he'd experienced as a young boy.
147
475589
2796
kwa sababu ya uchungu aliopitia akiwa mchanga.
07:58
He needed them to feel protected.
148
478385
2484
Alizihitaji kujisikia salama.
08:00
But those guns were really a message for me,
149
480869
2912
Lakini bunduki hizo zilikuwa ujumbe kwangu,
08:03
and even though he hadn't raised a hand to me,
150
483781
2694
na ingawa hakuwai kuninyoshea mkono,
08:06
my life was already in grave danger every minute of every day.
151
486475
5806
maisha yangu tayari yalikuwa hatarini kila dakika ya kila siku.
08:12
Conor first physically attacked me
152
492281
3573
Kwanza Conor alinishambulia
08:15
five days before our wedding.
153
495854
2825
siku tano kabla ya harusi yetu.
08:18
It was 7 a.m. I still had on my nightgown.
154
498679
4192
Ilikuwa saa moja asubuhi na bado nilikuwa nimevalia vazi la kulala
08:22
I was working on my computer trying to finish a freelance writing assignment,
155
502871
4240
Nilikuwa nafanya kazi kweny kompyuta yangu nikijaribu kumaliza kazi fulani ya uandishi,
08:27
and I got frustrated,
156
507111
1814
na nilikuwa nimekasirika,
08:28
and Conor used my anger as an excuse
157
508925
3087
na Conor akatumia hasira zangu kama kisingizio
08:32
to put both of his hands around my neck
158
512012
3151
kunikaba koo
08:35
and to squeeze so tightly that I could not breathe or scream,
159
515163
3820
na kuikaza hadi sikuweza kupumua au kupiga kelele,
08:38
and he used the chokehold
160
518983
1824
na alitumia mkazo huo
08:40
to hit my head repeatedly against the wall.
161
520807
4426
kugonga kichwa changu mara kadhaa kwenye ukuta.
08:45
Five days later, the ten bruises on my neck had just faded,
162
525233
5318
Siku tano baadaye, ile michubuko kumi shingoni mwangu ilipotea
08:50
and I put on my mother's wedding dress,
163
530551
2475
na nikavaa nguo ya mama yangu ya harusi,
08:53
and I married him.
164
533026
2317
na nikafunga ndoa naye.
08:55
Despite what had happened,
165
535343
2281
Licha ya yaliyotokea,
08:57
I was sure we were going to live happily ever after,
166
537624
3519
nilikuwa na hakika tungeishi maisha ya raha milele,
09:01
because I loved him, and he loved me so much.
167
541143
4081
kwa sababu nilimpenda, na alinipenda sana.
09:05
And he was very, very sorry.
168
545224
3372
Na aliniomba msamaha.
09:08
He had just been really stressed out by the wedding
169
548596
3173
Alikuwa amechoshwa sana na mipango ya harusi yetu
09:11
and by becoming a family with me.
170
551769
2197
na kwa kuwa kitu kimoja na mimi.
09:13
It was an isolated incident,
171
553966
1721
Halikuwa jambo la kawaida
09:15
and he was never going to hurt me again.
172
555687
3596
na asingeniumiza tena.
09:19
It happened twice more on the honeymoon.
173
559283
2580
Ilitokea mara mbili katika fungate.
09:21
The first time, I was driving to find a secret beach
174
561863
3087
Mara ya kwanza, nilikuwa naendesha gari kutafuta ufukwe wa siri
09:24
and I got lost,
175
564950
2702
na nikapotea,
09:27
and he punched me in the side of my head so hard
176
567652
2970
na akanipiga ngumi nzito kwenye upande wa kichwa changu
09:30
that the other side of my head repeatedly hit
177
570622
2144
hata ule upande mwengine wa kichwa changu ukagonga
09:32
the driver's side window.
178
572766
2407
dirisha lililo kando ya dereva mara kadhaa.
09:35
And then a few days later, driving home from our honeymoon,
179
575173
3366
Alafu tena siku chache baadaye, tukielekea nyumbani baada ya likizo ya harusi,
09:38
he got frustrated by traffic,
180
578539
2283
alikasirishwa na trafiki,
09:40
and he threw a cold Big Mac in my face.
181
580822
3432
na akarusha Big Mac baridi usoni mwangu.
09:44
Conor proceeded to beat me once or twice a week
182
584254
2608
Conor aliendelea kunipiga mara moja au mbili kwa wiki
09:46
for the next two and a half years of our marriage.
183
586862
3417
kwa miaka miwili na nusu ya ndoa yetu.
09:50
I was mistaken in thinking that I was unique
184
590279
3125
Nilifanya makosa kufikiria nilikuwa wa kipekee
09:53
and alone in this situation.
185
593404
2643
na peke yangu katika hali hii.
09:56
One in three American women
186
596047
2191
Mmoja kati ya wanawake watatu wakiAmerika
09:58
experiences domestic violence or stalking at some point in her life,
187
598238
4152
hupitia ugomvi wa nyumbani ama kufuatwa fuatwa wakati mmoja maishani mwake,
10:02
and the CDC reports that 15 million children
188
602390
3641
na CDC inaripoti kwamba watoto milioni kumi na tano
10:06
are abused every year, 15 million.
189
606031
3410
wananyanyaswa kila mwaka, milioni kumi na tano.
10:09
So actually, I was in very good company.
190
609441
4373
Hivyo basi, nilikuwa kwenye ushirika mzuri sana.
10:13
Back to my question:
191
613814
2416
Kurudia swali langu:
10:16
Why did I stay?
192
616230
2495
Kwa nini nilibaki?
10:18
The answer is easy.
193
618725
2738
Jibu lenyewe ni rahisi.
10:21
I didn't know he was abusing me.
194
621463
2688
Sikujua alikuwa akininyanyasa.
10:24
Even though he held those loaded guns to my head,
195
624151
3848
Hata ingawa alielekeza bunduki zilizo na risasi kichwani mwangu,
10:27
pushed me down stairs,
196
627999
2223
akanisukuma ngazini,
10:30
threatened to kill our dog,
197
630222
1381
akatishia kuua mbwa wetu,
10:31
pulled the key out of the car ignition as I drove down the highway,
198
631603
3923
akatoa ufunguo wa gari nikiendesha barabarani,
10:35
poured coffee grinds on my head
199
635526
2517
akamwaga maganda ya kahawa kichwani mwangu
10:38
as I dressed for a job interview,
200
638043
2316
nikijitayarisha kwa mahojiano ya kazi,
10:40
I never once thought of myself as a battered wife.
201
640359
4370
SIkuwai hata mara moja kujihisi kuwa mke anayenyanyaswa.
10:44
Instead, I was a very strong woman
202
644729
3577
Badala yake, nilikuwa mwanamke mwenye nguvu
10:48
in love with a deeply troubled man,
203
648306
2252
alimpenda sana mwanaume aliyekuwa na shida,
10:50
and I was the only person on Earth
204
650558
2057
na nilikuwa mtu wa pekee duniani
10:52
who could help Conor face his demons.
205
652615
3440
ambaye angeweza kumsaidia Conor kukabiliana na mashetani yake.
10:56
The other question everybody asks is,
206
656055
3711
Swali lingine kila mtu huuliza ni,
10:59
why doesn't she just leave?
207
659766
2417
kwa nini hatoki tu?
11:02
Why didn't I walk out? I could have left any time.
208
662183
3951
Kwa nini sikuondoka? Ningeweza kuondoka wakati wowote.
11:06
To me, this is the saddest and most painful question that people ask,
209
666134
4712
Kwangu mimi, hili ndilo swali chungu na la kuhuzunisha zaidi ambalo watu huniuliza,
11:10
because we victims know something you usually don't:
210
670846
3091
kwa sababu sisi waathiriwa tunajua jambo nyinyi msilojua:
11:13
It's incredibly dangerous to leave an abuser.
211
673937
4393
Ni jambo la hatari sana kumtoroka mnyanyasaji.
11:18
Because the final step in the domestic violence pattern
212
678330
3319
Kwa sababu daraja ya mwisho katika tuhuma za kinyumbani
11:21
is kill her.
213
681649
2895
ni kumuua.
11:24
Over 70 percent of domestic violence murders
214
684544
2541
Zaidi ya asilimia sabini ya vifo vinavyosababishwa na tuhuma za kinyumbani
11:27
happen after the victim has ended the relationship,
215
687085
4068
hutokea baada ya mwathiriwa kukatiza uhusiano huo,
11:31
after she's gotten out,
216
691153
1893
baada ya kutoka,
11:33
because then the abuser has nothing left to lose.
217
693046
3251
kwa sababu wakati huo mnyanyasaji hana chochote cha kupoteza.
11:36
Other outcomes include long-term stalking,
218
696297
3091
Matokeo mengine ni pamoja na kufuatwa fuatwa,
11:39
even after the abuser remarries;
219
699388
2952
hata baada ya mnyanyasaji kuoa tena;
11:42
denial of financial resources;
220
702340
2155
unyimaji wa hela;
11:44
and manipulation of the family court system
221
704495
2389
na uingiliaji wa mfumo wa mahakama za kifamilia
11:46
to terrify the victim and her children,
222
706884
2823
ili kumtia wasiwasi mwathirika na wanawe,
11:49
who are regularly forced by family court judges
223
709707
4926
ambao mara kwa mara hushurutishwa na majaji wa mahakama za kifamilia
11:54
to spend unsupervised time
224
714633
1969
kuwa na wakati usiosimamiwa
11:56
with the man who beat their mother.
225
716602
3671
pamoja na mtu yule aliyemtuhumu mama yao.
12:00
And still we ask, why doesn't she just leave?
226
720273
4175
Na bado twauliza, kwa nini hamtoroki tu?
12:04
I was able to leave,
227
724448
1754
Niliweza kuondoka,
12:06
because of one final, sadistic beating
228
726202
2902
kwa sababu ya kipigo kibaya cha mwisho
12:09
that broke through my denial.
229
729104
3159
kilichofumbua macho yangu.
12:12
I realized that the man who I loved so much
230
732263
3170
Nilitambua kwamba mtu yule niliyempenda sana
12:15
was going to kill me if I let him.
231
735433
2910
angekuja kuniua kama ningeendelea kumuacha hivi hivi tu.
12:18
So I broke the silence.
232
738343
2515
Hivyo nikavunja ukimya.
12:20
I told everyone:
233
740858
2830
Nikawaeleza watu wote:
12:23
the police, my neighbors,
234
743688
3785
polisi, jirani zangu,
12:27
my friends and family, total strangers,
235
747473
3840
marafiki zangu na familia, wageni,
12:31
and I'm here today because you all helped me.
236
751313
6854
na niko hapa leo kwa sababu nyote mlinisaidia.
12:38
We tend to stereotype victims
237
758167
2538
Tuna tabia ya kuwabagua waathirika
12:40
as grisly headlines,
238
760705
3062
kama vichwa vibaya vya habari,
12:43
self-destructive women, damaged goods.
239
763767
3296
wanaojitakia maovu, watu walioharibika.
12:47
The question, "Why does she stay?"
240
767063
3003
Swali hilo, "Kwa nini haondoki?"
12:50
is code for some people for, "It's her fault for staying,"
241
770066
5636
kwa wengine ni kama kusema, "Ni makosa yake kuendela kukaa hapo,"
12:55
as if victims intentionally choose to fall in love with men
242
775702
3324
kana kwamba waathirika huchagua kusudi kupenda wanaume
12:59
intent upon destroying us.
243
779026
2632
walio na lengo la kutumaliza.
13:01
But since publishing "Crazy Love,"
244
781658
2504
Lakini tangu niandike kitabu "Crazy Love,"
13:04
I have heard hundreds of stories from men and women
245
784162
3523
nimesikia mamia ya hadithi kutoka kwa wanaume na wanawake
13:07
who also got out,
246
787685
2445
ambao pia waliondoka,
13:10
who learned an invaluable life lesson from what happened,
247
790130
4380
waliojifunza somo muhimu la maisha kutokana na yale yaliyotokea,
13:14
and who rebuilt lives -- joyous, happy lives --
248
794510
4213
na waliojenga maisha yao tena--maisha yenye furaha
13:18
as employees, wives and mothers,
249
798723
2334
kama wafanyakazi, wake na kina mama,
13:21
lives completely free of violence, like me.
250
801057
4681
maisha yasiyo na unyanyasaji, kama yangu.
13:25
Because it turns out that I'm actually a very typical domestic violence victim
251
805738
4031
Kwa sababu inaonekana kwamba mimi nilikuwa mwathirika halisi wa unyanyasaji majumbani.
13:29
and a typical domestic violence survivor.
252
809769
3444
na msalimika wa unyanyasaji wa majumbani.
13:33
I remarried a kind and gentle man,
253
813213
4025
Niliolewa na mtu mwema na mpole,
13:37
and we have those three kids.
254
817238
2336
na pamoja tuna watoto watatu.
13:39
I have that black lab, and I have that minivan.
255
819574
3401
Nina yule mbwa wangu mweusi, na nina lile gari ndogo.
13:42
What I will never have again,
256
822975
3466
Kile sitawahi kuwa nacho tena,
13:46
ever,
257
826441
2958
milele,
13:49
is a loaded gun held to my head
258
829399
2125
ni bunduki iliyojaa risasi iliyoelekezwa kichwani mwangu
13:51
by someone who says that he loves me.
259
831524
3643
na mtu anayesema eti ananipenda.
13:55
Right now, maybe you're thinking,
260
835167
2631
Wakati huu, labda unafikiria,
13:57
"Wow, this is fascinating,"
261
837798
1907
"Hili ni jambo la kushangaza,"
13:59
or, "Wow, how stupid was she,"
262
839705
3128
ama, "Kwa nini alikuwa mjinga hivi,"
14:02
but this whole time, I've actually been talking about you.
263
842833
6003
lakini muda huu wote, nimekuwa haswa nikiongea juu yako.
14:08
I promise you there are several people
264
848836
3517
Nakuhakikishia kuna watu kadhaa
14:12
listening to me right now
265
852353
1742
wanaonisikiliza saa hii
14:14
who are currently being abused
266
854095
3012
ambao wananyanyaswa
14:17
or who were abused as children
267
857107
2515
au ambao walinyanyaswa wakiwa watoto
14:19
or who are abusers themselves.
268
859622
3370
au walio wanyanyasaji wenyewe.
14:22
Abuse could be affecting your daughter,
269
862992
1937
unyanyasaji unaweza kuwa unamwathiri binti yako,
14:24
your sister, your best friend right now.
270
864929
5293
dadako, rafiki yako wa karibu wakati huu.
14:30
I was able to end my own crazy love story
271
870222
3444
Niliweza kumaliza hadithi yangu wazimu ya mapenzi
14:33
by breaking the silence.
272
873666
2201
kwa kuvunja ukimya.
14:35
I'm still breaking the silence today.
273
875867
2515
Bado naendelea kuvunja ukimya leo.
14:38
It's my way of helping other victims,
274
878382
3816
Ni njia yangu ya kusaidia waathirika wengine,
14:42
and it's my final request of you.
275
882198
3368
na ni ombi langu la mwisho kwenu.
14:45
Talk about what you heard here.
276
885566
2832
Ongeeni kuhusu mliyosikia hapa.
14:48
Abuse thrives only in silence.
277
888398
3328
Unyanyasaji hushamiri tu katika ukimya.
14:51
You have the power to end domestic violence
278
891726
3703
Una nguvu ya kumaliza unyanyasaji majumbani
14:55
simply by shining a spotlight on it.
279
895429
3509
kwa kuongea kuhusu unyanyasaji.
14:58
We victims need everyone.
280
898938
3074
Sisi waathirika tunahitaji kila mtu.
15:02
We need every one of you to understand
281
902012
4073
Tunawahitaji nyote kuelewa
15:06
the secrets of domestic violence.
282
906085
3778
siri za unyanyasaji majumbani.
15:09
Show abuse the light of day by talking about it
283
909863
2984
Mulikieni mwanga unyanyasaji kwa kuuongelea
15:12
with your children, your coworkers,
284
912847
2127
mkiwa na watoto wenu, wafanyakazi wenzenu,
15:14
your friends and family.
285
914974
1937
marafiki zenu na familia.
15:16
Recast survivors as wonderful, lovable people
286
916911
3446
Ongeleeni waliosalimika kama watu wema na wanaopendeka
15:20
with full futures.
287
920357
2815
walio na maisha kamili kwenye siku za usoni
15:23
Recognize the early signs of violence
288
923172
3481
Eleweni ishara za mapema za tuhuma
15:26
and conscientiously intervene,
289
926653
2833
na muingilie kati kistadi
15:29
deescalate it, show victims a safe way out.
290
929486
4162
malizeni na muonyeshe waathirika njia safi ya kuiepuka.
15:33
Together we can make our beds,
291
933648
3995
Pamoja tunaweza kufanya vitanda vyetu,
15:37
our dinner tables and our families
292
937643
3617
meza zetu za mlo na familia zetu
15:41
the safe and peaceful oases they should be.
293
941260
3257
mahali pa amani zinavyopaswa kuwa
15:44
Thank you.
294
944517
1972
Asanteni.
15:46
(Applause)
295
946489
7708
(Mahali)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7