Juan Enriquez: Your online life, permanent as a tattoo

286,429 views ・ 2013-05-02

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Joseph Geni Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
All right, so let's take
1
13643
1139
Sawa basi, tuchukue
00:14
four subjects that obviously go together:
2
14782
2340
mambo manne ambayo ni wazi yanaenda pamoja:
00:17
big data, tattoos, immortality and the Greeks.
3
17122
4729
data kubwa, michoro, ukosefu wa maadili na Wagiriki.
00:21
Right?
4
21851
830
Sio?
00:22
Now, the issue about tattoos is that,
5
22681
3419
Sasa, suala kuhusu michoro ni kua,
00:26
without a word, tattoos really do shout.
6
26100
4205
bila maneno, michoro kweli ina kelele.
00:30
[Beautiful]
7
30305
4060
[Nzuri]
00:34
[Intriguing]
8
34365
1898
[Inatatiza]
00:36
So you don't have to say a lot.
9
36263
3315
Hivyo huhitaji kusema chochote.
00:39
[Allegiance]
10
39578
3667
[Utii]
00:43
[Very intimate]
11
43246
4402
[Karibu sana]
00:47
[Serious mistakes]
12
47648
2625
[Makosa makubwa]
00:50
(Laughter)
13
50273
3088
(Kicheko)
00:54
And tattoos tell you a lot of stories.
14
54437
3781
Na michoro inakuambia hadithi nyingi.
00:58
If I can ask an indiscreet question,
15
58218
1745
Kama nikiuliza swali la kidadisi,
00:59
how many of you have tattoos?
16
59963
3476
wangapi wenu wana michoro?
01:03
A few, but not most.
17
63439
1507
Wachache, lakini sio wengi.
01:04
What happens if Facebook, Google, Twitter, LinkedIn,
18
64946
2787
Nini kitatokea kama Facebook, Google, Twita, LinkedIn,
01:07
cell phones, GPS, Foursquare, Yelp, Travel Advisor,
19
67733
2898
simu za mikononi, vihisio, Foursquare, Yelp, Travel Advisor,
01:10
all these things you deal with every day
20
70631
2760
vyote hivi unavyoshughulika navyo kila siku
01:13
turn out to be electronic tattoos?
21
73391
2360
zinageuka kua michoro ya elektroniki?
01:15
And what if they provide as much information
22
75751
1622
Na kama je vinatoa taarifa nyingi
01:17
about who and what you are as any tattoo ever would?
23
77373
4977
kuhusu wewe ni nani kama michoro inavyofanya?
01:22
What's ended up happening over the past few decades
24
82350
2186
Kilichotokea miongo michache iliopita
01:24
is the kind of coverage that you had as a head of state
25
84536
3106
ni aina ya kinga anayopata kama mkuu wa nchi
01:27
or as a great celebrity
26
87642
2679
au mtu mkubwa mashuhuri
01:30
is now being applied to you every day by all these people
27
90321
2721
sasa inatumika kila siku na watu wote hawa
01:33
who are Tweeting, blogging, following you,
28
93042
2987
ambao wana twiti, blogu, wanaokufuata,
01:36
watching your credit scores and what you do to yourself.
29
96029
4320
wanaoangalia alama zako za mikopo na unachojifanyia mwenyewe.
01:40
And electronic tattoos also shout.
30
100349
4414
Na michoro ya elektroniki pia ina kelele.
01:44
And as you're thinking of the consequences of that,
31
104763
2344
Na unapofikiria matokeo ya hayo,
01:47
it's getting really hard to hide from this stuff, among other things,
32
107107
2936
inakua ngumu kujificha kutoka kwa hivi vitu pamoja na vingine,
01:50
because it's not just the electronic tattoos,
33
110043
2779
kwa sababu sio tu michoro ya elektroniki,
01:52
it's facial recognition that's getting really good.
34
112822
4072
ni utambuaji uso unaokua mzuri kweli.
01:56
So you can take a picture with an iPhone and get all the names,
35
116894
3798
Hivyo unaweza chukua picha na iPhone na kupata majina yote,
02:00
although, again, sometimes it does make mistakes. (Laughter)
36
120692
4057
japo, tena, mara nyingine inakosea. (Kicheko)
02:04
But that means you can take a typical bar scene like this,
37
124749
3009
Lakini inamaanisha unaweza chukua picha ya baa kama hii,
02:07
take a picture, say, of this guy right here,
38
127758
4008
chukua picha, sema, kama huyu mtu hapa,
02:11
get the name, and download all the records
39
131766
3664
pata jina, na pakua kumbukumbu zote
02:15
before you utter a word or speak to somebody,
40
135430
3619
kabla hujasema neno au ongea na mtu
02:19
because everybody turns out to be
41
139049
1376
maana kila mtu anaishia kua
02:20
absolutely plastered by electronic tattoos.
42
140425
3601
ameandikwa kabisa na michoro ya elektroniki.
02:24
And so there's companies like face.com that now have
43
144026
2492
Hivyo kuna makampuni kama face.com ambayo sasa yana
02:26
about 18 billion faces online.
44
146518
3784
takribani nyuso bilioni 18 mtandaoni.
02:30
Here's what happened to this company.
45
150302
1589
Hichi kilitokea kwenye hii kampuni.
02:31
[Company sold to Facebook, June 18, 2012...]
46
151891
2663
[Kampuni imeuzwa kwa Facebook, Juni 18, 2012...]
02:34
There are other companies that will place a camera
47
154554
2653
Kuna makampuni mengine yangeweka kamera
02:37
like this — this has nothing to do with Facebook —
48
157207
2423
kama hivi - hii haihusiani na Facebook -
02:39
they take your picture, they tie it to the social media,
49
159630
2312
wanachukua picha yako, na kuilinganisha mitandaoni
02:41
they figure out you really like to wear black dresses,
50
161942
2127
wanagundua unapenda kuvaa magauni meusi,
02:44
so maybe the person in the store comes up and says,
51
164069
2436
hivyo mtu kwenye duka anakuja na kusema,
02:46
"Hey, we've got five black dresses
52
166505
2300
"Vipi, tuna magauni meusi matano
02:48
that would just look great on you."
53
168805
3233
ambayo yangekupendeza sana wewe."
02:52
So what if Andy was wrong?
54
172038
2120
Basi kama je Andy alikosea?
02:54
Here's Andy's theory.
55
174158
1270
Hii hapa kanuni ya Andy.
02:55
[In the future, everybody will be world famous for 15 minutes.]
56
175428
1844
[Mbeleni, kila mtu atakua maarufu dakika 15.]
02:57
What if we flip this?
57
177272
1106
Je kama tukigeuza hili?
02:58
What if you're only going to be anonymous for 15 minutes? (Laughter)
58
178378
4681
Je kama utakua haujulikani kwa dakika 15 tu? (Kicheko)
03:03
Well, then, because of electronic tattoos,
59
183059
3016
Basi, tena, kwa sababu ya michoro ya elektroniki,
03:06
maybe all of you and all of us are very close to immortality,
60
186075
4661
labda nyie wote na sisi wote tuko karibu sana na ukosefu wa maadili,
03:10
because these tattoos will live
61
190736
1578
kwa sababu hii michoro itaishi
03:12
far longer than our bodies will.
62
192314
2777
mda mrefu zaidi ya miili yetu.
03:15
And if that's true, then what we want to do
63
195091
1891
Na kama ni kweli, tunachotaka kufanya
03:16
is we want to go through four lessons from the Greeks
64
196982
3409
ni tunataka kupitia mambo manne kutoka kwa Wagiriki
03:20
and one lesson from a Latin American.
65
200391
3309
na jambo moja kutoka kwa Mmarekani wa Kusini.
03:23
Why the Greeks?
66
203700
1823
Kwanini Wagiriki?
03:25
Well, the Greeks thought about what happens
67
205523
1857
Wagiriki walifikiria kitakachotokea
03:27
when gods and humans and immortality mix for a long time.
68
207380
4958
pale miungu na binadamu na ukosefu wa maadili ukijichanganya kwa mda mrefu.
03:32
So lesson number one: Sisyphus.
69
212338
2680
Hivyo somo la kwanza: Sisyphus.
03:35
Remember? He did a horrible thing, condemned for all time
70
215018
3026
Unakumbuka? Alifanya kitu kibaya, kuhukumiwa kwa siku zote
03:38
to roll this rock up, it would roll back down,
71
218044
2383
kupandisha hili jiwe juu, litarudi tena chini,
03:40
roll back up, roll back down.
72
220427
1973
viringisha juu, viringika chini.
03:42
It's a little like your reputation.
73
222400
2403
Ni kidogo kama kua na sifa.
03:44
Once you get that electronic tattoo,
74
224803
1435
Unapopata mchoro wa elektroniki,
03:46
you're going to be rolling up and down for a long time,
75
226238
2928
utakua unaviringika juu na chini kwa mda mrefu,
03:49
so as you go through this stuff,
76
229166
2308
hivyo unapopitia haya mambo,
03:51
just be careful what you post.
77
231474
3085
kua tu mwangalifu unachoweka.
03:54
Myth number two: Orpheus, wonderful guy,
78
234559
3379
Dhana namba mbili: Orpheus, mtu mzuri,
03:57
charming to be around, great partier, great singer,
79
237938
3728
anavutia kua nae, mzuri kwenye sherehe, mwimbaji mzuri,
04:01
loses his beloved, charms his way into the underworld,
80
241666
3217
kapoteza mpendwa wake, anajibahatishia njia ya kuzimu
04:04
only person to charm his way into the underworld,
81
244883
2607
mtu pekee kujibahatisha njia ya kuzimu,
04:07
charms the gods of the underworld,
82
247490
2345
akavutia miungu ya kuzimu,
04:09
they release his beauty on the condition
83
249835
2895
wamuachie mrembo wake na sharti
04:12
he never look at her until they're out.
84
252730
3112
asimtazame kamwe mpaka watoke.
04:15
So he's walking out and walking out and walking out
85
255842
1839
Hivyo anatoka na kutoka na kutoka
04:17
and he just can't resist. He looks at her, loses her forever.
86
257681
4258
na anashindwa kujizuia. Anamuangalia, anampoteza milele.
04:21
With all this data out here, it might be a good idea
87
261939
2834
Na taarifa yote hii huko nje, inaweza kua wazo zuri
04:24
not to look too far into the past of those you love.
88
264773
5748
kutokuangalia mbali sana kwenye ya kale ya uwapendao.
04:30
Lesson number three: Atalanta.
89
270521
2841
Somo namba tatu: Atalanta.
04:33
Greatest runner. She would challenge anybody.
90
273362
4449
Mkimbiaji bora. Anashindana na yeyote.
04:37
If you won, she would marry you.
91
277811
2410
Kama ukishinda, angekuoa.
04:40
If you lost, you died.
92
280221
2925
Kama ukishindwa, unakufa.
04:43
How did Hippomenes beat her?
93
283146
2344
Hippomenes alimshinda vipi?
04:45
Well, he had all these wonderful little golden apples,
94
285490
1926
Alikua na matofaa madogo ya dhahabu,
04:47
and she'd run ahead, and he'd roll a little golden apple.
95
287416
2618
na angekimbia mbele, na kuangusha tofaa dogo la dhahabu.
04:50
She'd run ahead, and he'd roll a little golden apple.
96
290034
2004
Angempita, na kuangusha tofaa la dhahabu.
04:52
She kept getting distracted. He eventually won the race.
97
292038
4246
Akaendelea kukengeushwa. Hatimae akashinda mbio.
04:56
Just remember the purpose as all these little golden apples
98
296284
3230
Kumbuka tu kusudi haya matofaa madogo ya dhahabu
04:59
come and reach you and you want to post about them
99
299514
2572
yanakuja na kukufikia na unataka kuzituma
05:02
or tweet about them or send a late-night message.
100
302086
3836
au kuzitwiti au kutuma ujumbe usiku wa manane.
05:05
And then, of course, there's Narcissus.
101
305922
3248
Na kisha, bila shaka, kuna Narcissus.
05:09
Nobody here would ever be accused or be familiar with Narcissus.
102
309170
3547
Hakuna mtu hapa anaweza kutuhumiwa au kumjua Narcissus.
05:12
(Laughter)
103
312717
2296
(Kicheko)
05:15
But as you're thinking about Narcissus,
104
315013
2568
Lakini unapofikira kuhusu Narcissus,
05:17
just don't fall in love with your own reflection.
105
317581
4080
usipende tumuonekano wako mwenyewe.
05:21
Last lesson, from a Latin American:
106
321661
1791
Mwisho, kutoka kwa Muamerika wa Kusini:
05:23
This is the great poet Jorge Luis Borges.
107
323452
2761
Huyu ni mshairi maarufu Jorge Luis Borges.
05:26
When he was threatened by the thugs
108
326213
1189
Alipotishiwa na majambazi
05:27
of the Argentine military junta,
109
327402
2633
wa jeshi la serikali ya Argentina,
05:30
he came back and said, "Oh, come on,
110
330035
2253
alirudi na kusema, "Ah, wacha nawe,
05:32
how else can you threaten, other than with death?"
111
332288
3445
utatisha vipi, kama sio kwa kifo?"
05:35
The interesting thing, the original thing,
112
335733
3120
Kitu cha kuvutia, kitu cha asili,
05:38
would be to threaten somebody with immortality.
113
338853
3192
ilikua kutishia mtu na ukosefu wa maadili.
05:42
And that, of course, is what we are all
114
342045
1460
Na, bila shaka, ndo tulivyo
05:43
now threatened with today because of electronic tattoos.
115
343505
4176
sasa tunatishika leo kwa sababu ya michoro ya elekroniki.
05:47
Thank you.
116
347681
1085
Asanteni.
05:48
(Applause)
117
348766
3731
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7