Damian Palin: Mining minerals from seawater

56,980 views ・ 2012-06-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Timothy Covell Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
00:15
I collaborate with bacteria.
1
15572
2138
Ninashirikiana na bacteria
00:17
And I'm about to show you
2
17710
882
ninataka nikuonyeshe
00:18
some stop-motion footage that I made recently
3
18592
2180
kipande cha video ambacho nimetengeneza hivi karibuni
00:20
where you'll see bacteria accumulating minerals
4
20772
2234
ndani yake utaweza kuona bacteria wakikusanya madini
00:23
from their environment
5
23006
1550
kutoka katika mazingira yao
00:24
over the period of an hour.
6
24556
1934
ndani ya zaidi ya saa moja
00:26
So what you're seeing here
7
26490
1365
Kwa hiyo unachokiona hapa
00:27
is the bacteria metabolizing,
8
27855
2218
ni bacteria wakiwa wanameng'enya
00:30
and as they do so
9
30073
1199
wakati wanafanya hivyo
00:31
they create an electrical charge.
10
31272
1606
wanatengeneza chaji za umeme.
00:32
And this attracts metals
11
32878
2333
na inavuta metali
00:35
from their local environment.
12
35211
2167
kutoka katika mazingira ya karibu
00:37
And these metals accumulate as minerals
13
37378
2917
metali hizi zinajikusanya kama madini
00:40
on the surface of the bacteria.
14
40295
1917
katika uso wa wa bacteria
00:42
One of the most pervasive problems
15
42212
2167
Moja kati ya matatizo yaliyoenea sana
00:44
in the world today for people
16
44379
1749
duniani katikati ya watu
00:46
is inadequate access
17
46128
1417
ni upungufu
00:47
to clean drinking water.
18
47545
1751
wa maji safi na salama ya kunywa
00:49
And the desalination process
19
49296
1666
mchakato wa kuchukua maji
00:50
is one where we take out salts.
20
50962
1784
na kutoa chumvi ndani yake
00:52
We can use it for drinking and agriculture.
21
52746
2515
ili yaweze kutumika kwa ajili ya kunywa na kilimo
00:55
Removing the salts from water --
22
55261
2085
Kutoa chumvi katika maji
00:57
particularly seawater --
23
57346
1261
na hasa maji ya bahari
00:58
through reverse osmosis
24
58607
1604
kupitia mfumo wa kinyume wa osmosis
01:00
is a critical technique
25
60211
1318
na njia muhimu
01:01
for countries who do not have access to clean drinking water
26
61529
3232
kwa ajili ya nchi ambazo zina upungufu wa maji safi na salama ya kunywa
01:04
around the globe.
27
64761
1119
duniani kote
01:05
So seawater reverse osmosis
28
65880
1464
Kwa hiyo utoaji wa chumvi katika maji ya bahari
01:07
is a membrane-filtration technology.
29
67344
2167
ni teknolojia ya kuchuja kwa kutumia utando
01:09
We take the water from the sea
30
69511
2570
Tunachukua maji kutoka baharini
01:12
and we apply pressure.
31
72081
1531
na tunayagandamiza katika msukumo mkubwa
01:13
And this pressure forces the seawater
32
73612
2924
na mgandamizo huu unayalazimisha maji
01:16
through a membrane.
33
76536
1300
kupita katika utando
01:17
This takes energy,
34
77836
1435
Hii inahitaji nguvu
01:19
producing clean water.
35
79271
2532
kutengeneza maji ya kunywa
01:21
But we're also left with a concentrated salt solution, or brine.
36
81803
3701
Lakini hii inaacha nyuma chumvi kali
01:25
But the process is very expensive
37
85504
1413
Mchakato huu ni wa gharama sana
01:26
and it's cost-prohibitive for many countries around the globe.
38
86917
2634
gharama ambayo ni kubwa sana kwa nchi nyingi duniani
01:29
And also, the brine that's produced
39
89551
1782
Na pia chumvi inayobaki
01:31
is oftentimes just pumped back out into the sea.
40
91333
2884
mara nyingi hurudishwa tena baharini
01:34
And this is detrimental to the local ecology
41
94217
2548
na hali hii si nzuri kwa mazingira
01:36
of the sea area that it's pumped back out into.
42
96765
2435
ya eneo la baharini chumvi inapotupwa
01:39
So I work in Singapore at the moment,
43
99200
2016
Kwa hiyo nafanya kazi Singapore kwa sasa
01:41
and this is a place that's really a leading place
44
101216
2767
Na hili ni eneo ambalo linaongoza
01:43
for desalination technology.
45
103983
2001
kwa utoaji wa chumvi katika maji ya baharini
01:45
And Singapore proposes by 2060
46
105984
2550
Na Singapore inapendekeza kuwa mpaka mwaka 2060
01:48
to produce [900] million liters per day
47
108534
3099
kutengeneza lita millioni 900 kwa siku
01:51
of desalinated water.
48
111633
1833
za maji yaliyotolewa chumvi
01:53
But this will produce an equally massive amount
49
113466
3350
Lakini hii itasababisha kiasi kama hicho cha ukubwa
01:56
of desalination brine.
50
116816
1753
cha chumvi
01:58
And this is where my collaboration with bacteria comes into play.
51
118569
3198
Na hapa ndipo ushirikiano wangu na Bacteria unapofanya kazi
02:01
So what we're doing at the moment
52
121767
1949
Kwa hiyo tunachofanya kwa sasa
02:03
is we're accumulating metals
53
123716
2666
ni tunakusanya metali
02:06
like calcium, potassium and magnesium
54
126382
1984
kama Kalsiamu,Potassiamu na Magnesiamu
02:08
from out of desalination brine.
55
128366
2234
kutoka katika chumvi inayobaki baada ya maji kutolewa chumvi
02:10
And this, in terms of magnesium
56
130600
2282
Na hii, kwa Magnesiamu
02:12
and the amount of water that I just mentioned,
57
132882
2550
na kiasi cha maji ambacho nimekitaja
02:15
equates to a $4.5 billion
58
135432
2950
ina thamani ya Dola za Marekani,Billioni 4.5
02:18
mining industry for Singapore --
59
138382
2399
kwa mfumo wa madini wa Singapore
02:20
a place that doesn't have any natural resources.
60
140797
2534
Sehemu ambayo haina rasilimali zozozte
02:23
So I'd like you to image a mining industry
61
143331
2650
Kwa hiyo ningependa uwaze kuhusu viwanda vya madini
02:25
in a way that one hasn't existed before;
62
145981
2089
katika njia ambayo haijawahi kutokea kabla
02:28
imagine a mining industry
63
148070
2166
Fikiria viwanda vya madini
02:30
that doesn't mean defiling the Earth;
64
150236
2267
ambavyo haviharibu mazingira
02:32
imagine bacteria helping us do this
65
152503
2111
Fikiria bacteria wakiwa wanatusaidia kufanya hivi
02:34
by accumulating and precipitating
66
154614
3472
kwa kukusanya na kumeng'enya
02:38
and sedimenting minerals
67
158086
2417
madini
02:40
out of desalination brine.
68
160503
1849
kutoka katika chumvi iliyobaki baada ya maji kutolewa chumvi
02:42
And what you can see here
69
162352
1418
Na utakachokmiona hapa
02:43
is the beginning of an industry in a test tube,
70
163770
2482
ni mwanzo wa viwanda
02:46
a mining industry that is in harmony with nature.
71
166252
3350
,viwanda vya madini ambavyo vitaendana na mazingira
02:49
Thank you.
72
169602
1351
Asante Sana
02:50
(Applause)
73
170953
3632
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7