Religions and babies | Hans Rosling

1,656,655 views ・ 2012-05-22

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Timothy Covell Reviewer: Morton Bast
0
0
7000
Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:15
I'm going to talk about religion.
1
15617
3865
Nitaenda kuongelea kuhusu dini.
00:19
But it's a broad and very delicate subject,
2
19482
5252
Lakini ni mada pana na nyeti sana,
00:24
so I have to limit myself.
3
24734
1671
hivyo itabidi nijiwekee mpaka.
00:26
And therefore I will limit myself
4
26405
2480
Na kwahiyo nitajiwekea mpaka
00:28
to only talk about the links between religion and sexuality.
5
28885
4409
kuongelea tu kuhusu uhusiano kati ya dini na kujamiiana.
00:33
(Laughter)
6
33294
1566
(Kicheko)
00:34
This is a very serious talk.
7
34860
2560
Haya ni majadiliano yenye uzito sana.
00:37
So I will talk of what I remember as the most wonderful.
8
37420
4095
Hivyo, nitaongelea juu ya ninachokumbuka kua cha ajabu sana.
00:41
It's when the young couple whisper,
9
41515
2345
Ni pale wanandoa vijana walinong'oneza,
00:43
"Tonight we are going to make a baby."
10
43860
3172
"Usiku tutaenda kutengeneza mtoto."
00:47
My talk will be about the impact of religions
11
47032
5336
Maongezi yangu yatahusu athari ya dini
00:52
on the number of babies per woman.
12
52368
4169
kwa idadi ya watoto kwa mwanamke.
00:56
This is indeed important,
13
56537
1665
Hii ni muhimu kweli,
00:58
because everyone understands
14
58202
1530
kwa sababu kila mtu anaelewa
00:59
that there is some sort of limit
15
59732
2282
kua kuna aina fulani ya mpaka
01:02
on how many people we can be on this planet.
16
62014
3228
kwa jinsi watu wengi wanaweza kua kwenye hii sayari.
01:05
And there are some people
17
65242
1947
Na kuna baadhi ya watu
01:07
who say that the world population is growing like this --
18
67189
3419
wanaosema kua idadi ya watu duniani imekua kama hivi --
01:10
three billion in 1960,
19
70608
1807
bilioni tatu mwaka 1960,
01:12
seven billion just last year --
20
72415
2639
bilioni saba mwaka jana tu --
01:15
and it will continue to grow
21
75054
1546
na itaendelea kukua
01:16
because there are religions that stop women from having few babies,
22
76600
3780
kwa sababu kuna dini zinazozuia wanawake kuwa na watoto wachache,
01:20
and it may continue like this.
23
80380
2403
na inaweza kuendelea hivi.
01:22
To what extent are these people right?
24
82783
3902
Ni kwa kiasi gani hawa watu wako sahihi?
01:26
When I was born there was less than one billion children in the world,
25
86685
4880
Nilivyozaliwa kulikua na watoto chini ya bilioni moja duniani,
01:31
and today, 2000, there's almost two billion.
26
91565
4175
na leo, 2000, kuna karibia bilioni mbili.
01:35
What has happened since,
27
95740
1702
Nini kimetokea tangu hapo,
01:37
and what do the experts predict will happen
28
97442
2695
na nini wataalam wanatabiri kitatokea
01:40
with the number of children during this century?
29
100137
2483
na idadi ya watoto karne hii?
01:42
This is a quiz. What do you think?
30
102620
2618
Hili ni jaribio. Unafikiri nini?
01:45
Do you think it will decrease to one billion?
31
105238
3902
Unafikiri itapungua mpaka bilioni moja?
01:49
Will it remain the same and be two billion by the end of the century?
32
109140
3828
Itabaki sawa na kua bilioni mbili ifikapo mwisho wa karne?
01:52
Will the number of children increase each year up to 15 years,
33
112968
3717
Idadi ya watoto itaongezeka kila mwaka hadi miaka 15,
01:56
or will it continue in the same fast rate
34
116685
2504
au itaendelea na kiwango cha haraka kile kile
01:59
and be four billion children up there?
35
119189
2489
na kua watoto bilioni nne huko juu?
02:01
I will tell you by the end of my speech.
36
121678
3425
Nitawaambia ifikapo mwisho wa hotuba yangu.
02:05
But now, what does religion have to do with it?
37
125103
5022
Lakini sasa, dini inahusika vipi?
02:10
When you want to classify religion,
38
130125
2332
Unapotaka kuainisha dini,
02:12
it's more difficult than you think.
39
132457
1531
ni ngumu kuliko unavyofikiri.
02:13
You go to Wikipedia and the first map you find is this.
40
133988
3204
Unaenda Wikipedia na ramani ya kwanza unayopata ni hii.
02:17
It divides the world into Abrahamic religions and Eastern religion,
41
137192
5533
Inagawanyisha dunia kwenye dini za Ibrahimu na dini za Mashariki,
02:22
but that's not detailed enough.
42
142725
1772
lakini hio haina undani wa kutosha.
02:24
So we went on and we looked in Wikipedia, we found this map.
43
144497
3809
Hivyo tukaenda zaidi na kuangalia kwenye Wikipedia, tukapata hii ramani.
02:28
But that subdivides Christianity, Islam and Buddhism
44
148306
4646
Lakni hio inaianisha Ukristo, Uislamu na Ubuddha
02:32
into many subgroups,
45
152952
1603
kwenye makundi mengi madogo,
02:34
which was too detailed.
46
154555
1505
ambayo yalikua ya kina sana.
02:36
Therefore at Gapminder we made our own map,
47
156060
3418
Kwa hiyo pale Gapminder tulitengeneza ramani yetu,
02:39
and it looks like this.
48
159478
2373
Na inaonekana hivi.
02:41
Each country's a bubble.
49
161851
3403
Kila nchi ni puto.
02:45
The size is the population -- big China, big India here.
50
165254
3424
Ukubwa ni idadi ya watu -- China kubwa, India kubwa hapa.
02:48
And the color now is the majority religion.
51
168678
4114
Na rangi sasa ni dini yenye wengi.
02:52
It's the religion where more than 50 percent of the people
52
172792
3231
Ni dini ambayo watu zaidi ya asilimia 50
02:56
say that they belong.
53
176023
1255
wanasema wanahusika.
02:57
It's Eastern religion in India and China and neighboring Asian countries.
54
177278
4717
Ni dini ya Mashariki huko India na China na nchi jirani za Asia.
03:01
Islam is the majority religion
55
181995
1973
Uislamu ni dini ya wingi
03:03
all the way from the Atlantic Ocean across the Middle East,
56
183968
3775
njia yote kutoka Bahari ya Atlantiki kupitia Mashariki ya Kati,
03:07
Southern Europe and through Asia
57
187743
2280
Ulaya ya Kusini na kupitia Asia
03:10
all the way to Indonesia.
58
190023
2237
njia yote mpaka Indonesia.
03:12
That's where we find Islamic majority.
59
192260
2917
Hapo ndipo tunapata Waislamu wengi.
03:15
And Christian majority religions, we see in these countries. They are blue.
60
195177
4803
Na dini nyingi za Kikristo, tunaona kwenye hizi nchi. Ni za bluu.
03:19
And that is most countries in America and Europe,
61
199980
4025
Na hizo ni nchi nyingi za Marekani na Ulaya,
03:24
many countries in Africa and a few in Asia.
62
204005
3670
nchi nyingi za Afrika na chache za Asia.
03:27
The white here are countries which cannot be classified,
63
207675
2680
Nyeupe hapa ni nchi ambazo haziwezi kuwa kuainishwa,
03:30
because one religion does not reach 50 percent
64
210355
2625
kwa sababu dini moja haifiki asilimia 50
03:32
or there is doubt about the data or there's some other reason.
65
212980
3357
au kuna shaka kuhusu takwimu au sababu yoyote nyingine.
03:36
So we were careful with that.
66
216337
1760
Hivyo tulikua makini na hilo.
03:38
So bear with our simplicity now when I take you over to this shot.
67
218097
3858
Hivyo vumilia urahisi wetu sasa nikiwapeleka kwenye hii picha.
03:41
This is in 1960.
68
221955
2013
Hii ni 1960.
03:43
And now I show the number of babies per woman here:
69
223968
3532
Na sasa naonyesha idadi ya watoto kwa mwanamke hapa:
03:47
two, four or six --
70
227500
3086
mbili, nne au sita --
03:50
many babies, few babies.
71
230586
2191
watoto wengi, watoto wachache.
03:52
And here the income per person in comparable dollars.
72
232777
3181
Na hapa mapato kwa mtu ikilinganishwa dola.
03:55
The reason for that is that many people say you have to get rich first
73
235958
3597
Sababu ya hio ni kua watu wengi wanasema unapaswa kua tajiri kwanza
03:59
before you get few babies.
74
239555
1670
kabla hujapata watoto wachache.
04:01
So low income here, high income there.
75
241225
3632
Hivyo mapato ya chini hapa, mapato ya juu pale.
04:04
And indeed in 1960,
76
244857
1638
Na kweli mwaka 1960,
04:06
you had to be a rich Christian to have few babies.
77
246495
2737
ulitakiwa uwe Mkristo tajiri kuwa na watoto wachache.
04:09
The exception was Japan.
78
249232
2274
Ilikua isipokua Japan.
04:11
Japan here was regarded as an exception.
79
251506
3237
Japan hapa ilionekana ya kipekee.
04:14
Otherwise it was only Christian countries.
80
254743
2028
Vinginevyo ni nchi za Kikristo tu.
04:16
But there was also many Christian countries
81
256771
2209
Lakini pia kulikua na nchi nyingi za Kikristo
04:18
that had six to seven babies per woman.
82
258980
2572
zilizokua na watoto sita mpaka saba kwa mwanamke.
04:21
But they were in Latin America or they were in Africa.
83
261552
5477
Lakini zilikua Amerika ya Kusini au zilikua Afrika.
04:27
And countries with Islam as the majority religion,
84
267029
4173
Na nchi zenye Kiislamu kama dini kuu,
04:31
all of them almost had six to seven children per woman,
85
271202
4630
zote zilikua na karibia watoto sita mpaka saba kwa mwanamke,
04:35
irregardless of the income level.
86
275832
2425
bila kujali kiwango cha mapato.
04:38
And all the Eastern religions except Japan had the same level.
87
278257
4243
Na dini zote za mashariki isipokua Japan zilikua na kiwango sawa.
04:42
Now let's see what has happened in the world.
88
282500
1920
Sasa tuone kilichotokea kwenye dunia.
04:44
I start the world, and here we go.
89
284420
1920
Ninaanzisha dunia, na tunaenda hivi.
04:46
Now 1962 -- can you see they're getting a little richer,
90
286340
3218
Sasa 1962 -- unaweza kuona wanakua tajiri zaidi,
04:49
but the number of babies per woman is falling?
91
289558
2674
lakini idadi ya watoto kwa mwanamke inashuka?
04:52
Look at China. They're falling fairly fast.
92
292232
2173
Angalia China. Wanashuka kwa haraka sana.
04:54
And all of the Muslim majority countries across the income are coming down,
93
294405
4763
Na nchi zote zenye Wasilamu wengi katika mapato zinakuja chini,
04:59
as do the Christian majority countries in the middle income range.
94
299168
4963
kama nchi zenye Wakristo wengi kwenye eneo lenye mapato ya kati.
05:04
And when we enter into this century,
95
304131
2529
Na tunapoingia kwenye karne hii,
05:06
you'll find more than half of mankind down here.
96
306660
3360
utakuta zaidi ya nusu ya watu huku chini.
05:10
And by 2010, we are actually 80 percent of humans
97
310020
4926
Na ifikapo 2010, tuko kwa kweli asilimia 80 ya watu
05:14
who live in countries with about two children per woman.
98
314946
4314
wanaoishi kwenye nchi zenye kama watoto wawili kwa mwanamke.
05:19
(Applause)
99
319260
3538
(Makofi)
05:22
It's a quite amazing development which has happened.
100
322798
3960
Ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo yametokea.
05:26
(Applause)
101
326758
1377
(Makofi)
05:28
And these are countries from United States here,
102
328135
3202
Na hizi ni nchi za Marekani hapa,
05:31
with $40,000 per capita,
103
331337
2161
zenye $40,000 kwa kila mtu,
05:33
France, Russia, Iran,
104
333498
2947
Ufaransa, Urusi, Uajemi,
05:36
Mexico, Turkey, Algeria,
105
336445
3652
Mexico, Uturuki, Algeria,
05:40
Indonesia, India
106
340097
2225
Indonesia, India
05:42
and all the way to Bangladesh and Vietnam,
107
342322
2729
na moja kwa moja mpaka Bangladesh na Vietnam,
05:45
which has less than five percent of the income per person of the United States
108
345051
4043
ambazo zinazo chini ya asilimia tano ya mapato kwa mtu wa Marekani
05:49
and the same amount of babies per woman.
109
349094
3157
na kiasi sawa cha watoto kwa mwanamke.
05:52
I can tell you that the data on the number of children per woman
110
352251
3231
Naweza kukuambia kua takwimu ya idadi ya watoto kwa mwanamke
05:55
is surprisingly good in all countries.
111
355482
2089
ina uzuri wa kushangaza nchi zote.
05:57
We get that from the census data.
112
357571
1947
Tunapata hizo kutoka takwimu za sensa.
05:59
It's not one of these statistics which is very doubtful.
113
359518
3393
Sio moja ya hizi takwimu zilizo na mashaka sana.
06:02
So what we can conclude
114
362911
1306
Hivyo tunachohitimisha
06:04
is you don't have to get rich to have few children.
115
364217
2781
ni hauhitaji kua tajiri kuwa na watoto wachache.
06:06
It has happened across the world.
116
366998
2342
Imetokea katika dunia.
06:09
And then when we look at religions,
117
369340
2578
Na kisha tunapoangalia dini.
06:11
we can see that the Eastern religions,
118
371918
2527
tunaona kua dini za mashariki,
06:14
indeed there's not one single country with a majority of that religion
119
374445
3000
kwa kweli hakuna nchi hata moja yenye wingi wa hio dini
06:17
that has more than three children.
120
377445
1895
ambayo ina zaidi ya watoto watatu.
06:19
Whereas with Islam as a majority religion and Christianity,
121
379340
4052
Ambapo na Uislamu kama dini ya wingi na Ukristo,
06:23
you see countries all the way.
122
383392
1908
unaona nchi njia yote.
06:25
But there's no major difference.
123
385300
1778
Lakini hakuna tofauti kubwa.
06:27
There's no major difference between these religions.
124
387078
3502
Hakuna tofauti kubwa kati ya hizi dini.
06:30
There is a difference with income.
125
390580
2351
Kuna tofauti kwenye mapato.
06:32
The countries which have many babies per woman here,
126
392931
3929
Nchi ambazo zina watoto wengi kwa mwanamke hapa,
06:36
they have quite low income.
127
396860
1932
zina mapato ya chini kweli.
06:38
Most of them are in sub-Saharan Africa.
128
398792
3431
Nyingi zao ziko Afrika kusini mwa Sahara.
06:42
But there are also countries here
129
402223
2662
Lakini pia kuna nchi huku
06:44
like Guatemala, like Papua New Guinea,
130
404885
4117
kama Guatemala, kama Papua New Guinea,
06:49
like Yemen and Afghanistan.
131
409002
2806
kama Yemen na Afghanistan.
06:51
Many think that Afghanistan here and Congo,
132
411808
3877
Wengi hufikiri kua Afghanistan hapa na Kongo,
06:55
which have suffered severe conflicts,
133
415685
3450
ambazo zimeteseka na migogoro mikali,
06:59
that they don't have fast population growth.
134
419135
2757
kua hazina ukuaji wa idadi ya watu wa haraka.
07:01
It's the other way around.
135
421892
1777
Ni kinyume chake.
07:03
In the world today, it's the countries that have the highest mortality rates
136
423669
3893
Kwenye dunia leo, ni nchi zenye kiwango cha juu cha vifo
07:07
that have the fastest population growth.
137
427562
2236
ambazo zina ukuaji wa haraka wa idadi ya watu.
07:09
Because the death of a child is compensated by one more child.
138
429798
3988
Kwa sababu kifo cha mtoto kimefidiwa na mtoto mmoja zaidi.
07:13
These countries have six children per woman.
139
433786
2908
Hizi nchi zina watoto sita kwa mwanake.
07:16
They have a sad death rate of one to two children per woman.
140
436694
4132
Zina kiwango cha vifo cha kusikitisha cha mtoto mmoja mpaka wawili kwa mwanamke.
07:20
But 30 years from now, Afghanistan will go from 30 million to 60 million.
141
440826
3819
Lakini miaka 30 kutoka sasa, Afghanistan inatoka milioni 30 mpaka milioni 60.
07:24
Congo will go from 60 to 120.
142
444645
3407
Kongo inaenda kutoka 60 mpaka 120.
07:28
That's where we have the fast population growth.
143
448052
2891
Hapo ndipo tunapata ukuaji wa idadi ya watu.
07:30
And many think that these countries are stagnant, but they are not.
144
450943
4345
Na wengi wanafikiri kua hizi nchi ziko palepale, lakini hazipo.
07:35
Let me compare Senegal, a Muslim dominated country,
145
455288
3514
Ngoja nilinganishe Senegal, nchi iliotawaliwa na Waislamu,
07:38
with a Christian dominated country, Ghana.
146
458802
2458
na nchi iliotawaliwa na Wakristo, Ghana.
07:41
I take them backwards here to their independence,
147
461260
3597
Nazipeleka nyuma hapa kwenye uhuru wao,
07:44
when they were up here in the beginning of the 1960s.
148
464857
3683
ambapo walikua huku juu mwanzoni mwa miaka ya 1960.
07:48
Just look what they have done.
149
468540
2098
Angalia tu walichokifanya.
07:50
It's an amazing improvement,
150
470638
1551
Ni maendeleo ya kushangaza,
07:52
from seven children per woman,
151
472189
2237
kutoka watoto saba kwa mwanake,
07:54
they've gone all the way down to between four and five.
152
474426
3065
wameenda moja kwa moja chini mpaka wanne na watano.
07:57
It's a tremendous improvement.
153
477491
1587
Ni maendeleo makubwa.
07:59
So what does it take?
154
479078
1425
Hivyo inachukua nini?
08:00
Well we know quite well what is needed in these countries.
155
480503
3597
Basi tunajua vizuri kabisa kinachohitajika kwenye hizi nchi.
08:04
You need to have children to survive.
156
484100
2489
Unahitaji kua na watoto kuishi.
08:06
You need to get out of the deepest poverty
157
486589
2613
Unahitaji kutoka nje ya umasikini uliokithiri
08:09
so children are not of importance for work in the family.
158
489202
3578
hivyo watoto sio wa muhimu kwa kazi kwenye familia.
08:12
You need to have access to some family planning.
159
492780
2871
Unahitaji kua na upatikanaji wa baadhi ya uzazi wa mpango.
08:15
And you need the fourth factor, which perhaps is the most important factor.
160
495651
4332
Na unahitaji sababu ya nne, ambayo pengine ni sababu muhimu kuliko zote.
08:19
But let me illustrate that fourth factor
161
499983
2908
Lakini ngoja nionyeshe hio sababu ya nne
08:22
by looking at Qatar.
162
502891
2101
kwa kuangalia Qatar.
08:24
Here we have Qatar today, and there we have Bangladesh today.
163
504992
3800
Hapa tuna Qatar leo, na pale tuna Bangladesh leo.
08:28
If I take these countries back to the years of their independence,
164
508792
3637
Kama nikizipeleka hizi nchi nyuma kwenye miaka ya uhuru wao,
08:32
which is almost the same year -- '71, '72 --
165
512429
3071
ambazo ni karibia mwaka mmoja -- '71, '72 --
08:35
it's a quite amazing development which had happened.
166
515500
3874
ni maendeleo ya kushangaza kabisa ambayo yalitokea.
08:39
Look at Bangladesh and Qatar.
167
519374
1806
Angalia Bangladesh na Qatar.
08:41
With so different incomes, it's almost the same drop
168
521180
3258
Zenye mapato yanayotofautiana kabisa, ni karibia muanguko sawa
08:44
in number of babies per woman.
169
524438
2114
kwenye idadi ya watoto kwa mwanamke.
08:46
And what is the reason in Qatar?
170
526552
2003
Na nini sababu ya Qatar?
08:48
Well I do as I always do.
171
528555
1659
Basi kama kawaida yangu.
08:50
I went to the statistical authority of Qatar, to their webpage --
172
530214
3772
Nilienda kwenye mamlaka ya takwimu ya Qatar, kwenye tovuti yao --
08:53
It's a very good webpage. I recommend it --
173
533986
2131
Ni tovuti nzuri sana. Ninaipendekeza --
08:56
and I looked up -- oh yeah, you can have lots of fun here --
174
536117
6491
na nikaangalia juu -- ndio, ni burudani nyingi hapa --
09:02
and provided free of charge, I found Qatar's social trends.
175
542608
4067
na zinatolewa bure, nilikuta mwenendo wa kijamii wa Qatar.
09:06
Very interesting. Lots to read.
176
546675
2345
Ya kuvutia sana. Vingi vya kusoma.
09:09
I found fertility at birth, and I looked at total fertility rate per woman.
177
549020
4572
Nilikuta nguvu ya uzazi, na nikaangalia jumla ya kiwango cha uzazi kwa mwanamke.
09:13
These are the scholars and experts in the government agency in Qatar,
178
553592
3551
Hawa ni wasomi na wataalamu kwenye wakala wa serikali wa Qatar,
09:17
and they say the most important factors are:
179
557143
2655
na wakasema sababu za muhimu zaidi ni:
09:19
"Increased age at first marriage,
180
559798
1942
"Ongezeko la umri kwenye ndoa ya kwanza,
09:21
increased educational level of Qatari woman
181
561740
3025
ongezeko la kiwango cha elimu cha mwanamke wa Qatar
09:24
and more women integrated in the labor force."
182
564765
3313
na wanawake zaidi kujumuika kwenye nguvukazi."
09:28
I couldn't agree more. Science couldn't agree more.
183
568078
3742
Nisingekubali zaidi. Sayansi isingekubali zaidi.
09:31
This is a country that indeed has gone through
184
571820
2517
Hii ni nchi ambayo kweli imepitia
09:34
a very, very interesting modernization.
185
574337
3535
utamaduni wa kushangaza sana sana.
09:37
So what it is, is these four:
186
577872
2625
Hivyo kilichopo, ni hizi nne:
09:40
Children should survive, children shouldn't be needed for work,
187
580497
3083
Watoto wanatakiwa waishi, watoto hawatakiwi kuhitajika kwa kazi,
09:43
women should get education and join the labor force
188
583580
2902
wanawake wanatakiwa kupata elimu na kujiunga na nguvukazi
09:46
and family planning should be accessible.
189
586482
2273
na uzazi wa mpango unatakiwa kupatikana.
09:48
Now look again at this.
190
588755
3388
Sasa angalia tena hii.
09:52
The average number of children in the world
191
592143
2292
Wastani ya idadi ya watoto duniani
09:54
is like in Colombia -- it's 2.4 today.
192
594435
3422
ni kama ya Colombia -- ni 2.4 leo.
09:57
There are countries up here which are very poor.
193
597857
3037
Kuna nchi huku juu amabazo ni maskini sana.
10:00
And that's where family planning, better child survival is needed.
194
600894
3951
Na ndipo uzazi wa mpango, maisha bora ya watoto zinahitajika.
10:04
I strongly recommend Melinda Gates' last TEDTalk.
195
604845
3787
Nina pendekeza kwa nguvu mazungumzo ya TED ya mwisho ya Melinda Gates.
10:08
And here, down, there are many countries which are less than two children per woman.
196
608632
5459
Na hapa, chini, kuna nchi nyingi ambazo zina chini ya watoto wawili kwa mwanamke.
10:14
So when I go back now to give you the answer of the quiz,
197
614091
3612
Hivyo nikirudi sasa kuwapa jibu la jaribio,
10:17
it's two.
198
617703
1542
ni mbili.
10:19
We have reached peak child.
199
619245
2529
Tumefikia kilele mtoto.
10:21
The number of children is not growing any longer in the world.
200
621774
2889
Idadi ya watoto haikui tena zaidi duniani.
10:24
We are still debating peak oil,
201
624663
1992
Bado tunajadili kilele mafuta,
10:26
but we have definitely reached peak child.
202
626655
2931
lakini ni dhahiri tumefika kilele mtoto.
10:29
And the world population will stop growing.
203
629586
2723
Idadi ya watu duniani itaacha kukua.
10:32
The United Nations Population Division has said
204
632309
2102
Umoja wa Mataifa kitengo cha Wakazi kilisema
10:34
it will stop growing at 10 billion.
205
634411
2440
kitaacha kukua kwenye bilioni 10.
10:36
But why do they grow if the number of children doesn't grow?
206
636851
4040
Lakini kwanini tunaongezeka kama idadi ya watoto haiongezeki?
10:40
Well I will show you here.
207
640891
2446
Basi nitawaonyesha hapa.
10:43
I will use these card boxes in which your notebooks came.
208
643337
3775
Nitatumia hizi sanduku za kadi ambazo madaftari yenu yalikuja.
10:47
They are quite useful for educational purposes.
209
647112
3834
Ni muhimu sana kwa madhumuni ya elimu.
10:50
Each card box is one billion people.
210
650946
2908
Kila kisanduku ni watu bilioni moja.
10:53
And there are two billion children in the world.
211
653854
2668
Na kuna watoto bilioni mbili duniani.
10:56
There are two billion young people between 15 and 30.
212
656522
6870
Kuna vijana bilioni mbili kati ya 15 na 30.
11:03
These are rounded numbers.
213
663392
1470
Hizi ni namba zilizokadiriwa.
11:04
Then there is one billion between 30 and 45,
214
664862
5026
Halafu kuna bilioni moja kati ya 30 na 45,
11:09
almost one between 45 and 60.
215
669888
3843
karibia moja kati ya 45 na 60.
11:13
And then it's my box.
216
673731
1624
na tena kuna sanduku langu.
11:15
This is me: 60-plus.
217
675355
2025
Huyu ni mimi: 60-na zaidi.
11:17
We are here on top.
218
677380
2162
Tupo hapa juu.
11:19
So what will happen now is what we call "the big fill-up."
219
679542
5232
Hivyo kitakachotokea sasa hivi ni tunachoita "ujazo mkubwa."
11:24
You can see that it's like three billion missing here.
220
684774
2988
Utaona kua kuna kama bilioni tatu inayokosekana hapa.
11:27
They are not missing because they've died; they were never born.
221
687762
4307
Haionekani kwa sababu wamekufa; hawakuwahi kuzaliwa.
11:32
Because before 1980, there were much fewer people born
222
692069
4108
Kwa sababu kabla ya 1980, kulikua na watu wachache zaidi waliozaliwa
11:36
than there were during the last 30 years.
223
696177
2757
kuliko waliopo wakati wa miaka 30 iliopita.
11:38
So what will happen now is quite straightforward.
224
698934
3154
Hivyo kitakachotokea sasa ni wazi sana.
11:42
The old, sadly, we will die.
225
702088
2797
Wazee, kwa sikitiko, tutakufa.
11:44
The rest of you, you will grow older and you will get two billion children.
226
704885
4655
Nyie wengine, mtakua wakubwa na mtapata watoto bilioni mbili.
11:49
Then the old will die.
227
709540
2608
Kisha wazee watakufa.
11:52
The rest will grow older and get two billion children.
228
712148
4038
Wengine watakua wakubwa na kupata watoto bilioni mbili.
11:56
And then again the old will die and you will get two billion children.
229
716186
5769
Na tena wazee watakufa na mtapata watoto bilioni mbili.
12:01
(Applause)
230
721955
2254
(Makofi)
12:04
This is the great fill-up.
231
724209
3633
Hii ni ujazo mkubwa.
12:07
It's inevitable.
232
727842
2772
Haiepukiki.
12:10
And can you see that this increase took place
233
730614
2646
Na unaona kua hili ongezeko lilitokea
12:13
without life getting longer and without adding children?
234
733260
4803
bila maisha kua marefu na bila kuongeza watoto?
12:18
Religion has very little to do with the number of babies per woman.
235
738063
4905
Dini inahusika kidogo sana kwenye idadi ya watoto kwa mwanamke.
12:22
All the religions in the world are fully capable
236
742968
3269
Dini zote duniani zina uwezo wa kikamilifu
12:26
to maintain their values and adapt to this new world.
237
746237
5125
kudumisha thamani zao na kukabiliana na hii dunia mpya.
12:31
And we will be just 10 billion in this world,
238
751362
5283
Na tutakua tu bilioni 10 kwenye dunia hii,
12:36
if the poorest people get out of poverty,
239
756645
3584
kama watu maskini watatoka kwenye umaskini,
12:40
their children survive, they get access to family planning.
240
760229
3173
watoto wao wataishi, watakua na upatikanaji wa uzazi wa mpango.
12:43
That is needed.
241
763402
1900
Hio inahitajika.
12:45
But it's inevitable that we will be two to three billion more.
242
765302
5715
Lakini haiepukiki kua tutakua bilioni mbili mpaka tatu zaidi.
12:51
So when you discuss and when you plan
243
771017
3212
Hivyo unavyojadili na unavyopanga
12:54
for the resources and the energy needed for the future,
244
774229
3403
kwa rasilimali na nishati zinazohitajika baadae,
12:57
for human beings on this planet,
245
777632
2333
kwa wanadamu kwenye hii sayari,
12:59
you have to plan for 10 billion.
246
779965
2157
unatakiwa upange kwa bilioni 10
13:02
Thank you very much.
247
782122
2150
Asante sana.
13:04
(Applause)
248
784272
6086
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7