Can you really tell if a kid is lying? | Kang Lee

11,304,001 views ・ 2016-06-08

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Leah Ligate Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
Hi.
0
13112
1325
Habari
00:14
Let me ask the audience a question:
1
14461
2346
Ngoja niiulize hadhira swali:
00:16
Did you ever lie as a child?
2
16831
2195
Ulishawahi kudanganya ukiwa mtoto?
00:19
If you did, could you please raise your hand?
3
19050
2667
Kama uliwahi, unaweza kunyanyua mkono tafadhali?
00:23
Wow! This is the most honest group of people I've ever met.
4
23145
3454
Wow! hili ni kundi la watu wakweli kuliko wote niliowahi kukutana nao.
00:26
(Laughter)
5
26623
1957
(Kicheko)
00:28
So for the last 20 years,
6
28604
1709
Hadi sasa kwa miaka 20 iliyopita,
00:30
I've been studying how children learn to tell lies.
7
30337
3415
Nimekuwa nikisoma jinsi watoto wanavyojifunza kudanganya.
00:33
And today, I'm going to share with you
8
33776
2304
Na leo, nitawashirikisha
00:36
some of the discoveries we have made.
9
36104
2162
baadhi ya ugunduzi tulioupata.
00:38
But to begin, I'm going to tell you a story from Mr. Richard Messina,
10
38624
4925
Ila kwa kuanza, nitawaambia hadithi kutoka kwa Bwana Richard Messina,
00:43
who is my friend and an elementary school principal.
11
43573
3129
ambaye ni rafiki yangu na mkuu wa shule ya msingi.
00:47
He got a phone call one day.
12
47266
1561
Alipokea simu siku moja.
00:51
The caller says,
13
51279
1151
Aliyepiga akasema,
00:52
"Mr. Messina, my son Johnny will not come to school today
14
52454
3882
"Bwana Messina, mtoto wangu Johnny hatakuja shuleni leo
00:56
because he's sick."
15
56360
1463
kwasababu anaumwa."
00:58
Mr. Messina asks,
16
58498
1736
Bwana Messina akauliza,
01:00
"Who am I speaking to, please?"
17
60258
2014
"Naongea na nani, tafadhali?"
01:02
And the caller says,
18
62788
1490
Na aliyepiga akasema,
01:04
"I am my father."
19
64302
1665
"Mimi ni baba yangu."
01:05
(Laughter)
20
65991
2787
(Kicheko)
01:10
So this story --
21
70227
1682
Sasa hadithi hii --
01:11
(Laughter)
22
71933
1532
(Vicheko)
01:13
sums up very nicely three common beliefs we have
23
73489
4310
inajumlisha vizuri sana imani tatu zilizo zoeleka tulizonazo
01:17
about children and lying.
24
77823
1859
kuhusu watoto na kudanganya.
01:20
One, children only come to tell lies
25
80140
4631
Moja, watoto huja tu kusema uongo
01:24
after entering elementary school.
26
84795
2268
baada ya kuingia shule ya msingi.
01:27
Two, children are poor liars.
27
87552
2311
Mbili, watoto hawadanganyi vizuri.
01:29
We adults can easily detect their lies.
28
89887
2857
Watu wazima twaweza kugundua uwongo wao.
01:32
And three, if children lie at a very young age,
29
92768
4038
Na tatu, kama watoto watadanganya katika umri mdogo sana,
01:36
there must be some character flaws with them,
30
96830
2849
lazima watakuwa na makosa kitabia,
01:39
and they are going to become pathological liars for life.
31
99703
4049
na watakuja kuwa wagonjwa wa kudanganya maishani.
01:44
Well, it turns out
32
104720
2194
Hivyo inaonekana kwamba
01:46
all of the three beliefs are wrong.
33
106938
2298
imani zote tatu hazikuwa sahihi.
01:50
We have been playing guessing games
34
110617
2710
Tumekuwa tukifanya mchezo wa kukisia
01:53
with children all over the world.
35
113351
2082
na watoto dunia nzima.
01:55
Here is an example.
36
115457
1486
Huu ni mfano
01:56
So in this game, we asked children to guess the numbers on the cards.
37
116967
4365
Hivyo katika mchezo huu, tunauliza watoto kukisia namba kwenye kadi.
02:01
And we tell them if they win the game,
38
121958
2878
Na tunawaambia wakishinda mchezo,
02:04
they are going to get a big prize.
39
124860
2157
watapata zawadi kubwa.
02:07
But in the middle of the game,
40
127525
1477
Lakini katikati ya mchezo,
02:09
we make an excuse and leave the room.
41
129026
2760
tunatoa udhuru na kutoka kwenye chumba.
02:13
And before we leave the room,
42
133763
1934
Na kabla ya kutoka kwenye chumba,
02:15
we tell them not to peek at the cards.
43
135721
2936
tunawaambia wasichungulie kwenye kadi.
02:19
Of course,
44
139518
1416
Bila shaka,
02:20
we have hidden cameras in the room
45
140958
2161
tuna kamera zilizofichwa katika chumba
02:23
to watch their every move.
46
143143
1795
kuangalia kila hatua yao.
02:26
Because the desire to win the game is so strong,
47
146216
3417
Kwasababu haja ya kushinda mchezo ni kubwa sana,
02:29
more than 90 percent of children will peek
48
149657
3486
zaidi ya asilimia 90 ya watoto watachungulia
02:33
as soon as we leave the room.
49
153167
1437
mara tutakapotoka chumbani.
02:34
(Laughter)
50
154628
2000
(Kicheko)
02:37
The crucial question is:
51
157044
1986
Swali la msingi ni:
02:39
When we return and ask the children
52
159054
2748
Tutakaporudi na kuuliza watoto
02:41
whether or not they have peeked,
53
161826
2309
Kama wamechungulia au la,
02:44
will the children who peeked confess
54
164159
3052
watoto waliochungulia watakiri
02:47
or lie about their transgression?
55
167235
2578
au watadanganya kuhusu makosa yao?
02:51
We found that regardless of gender, country, religion,
56
171525
4773
Tuligundua kwamba bila kujali jinsia, nchi, au dini,
02:56
at two years of age,
57
176934
1579
katika umri wa miaka miwili,
02:59
30 percent lie,
58
179188
1927
asilimia 30 hudanganya,
03:01
70 percent tell the truth about their transgression.
59
181139
3809
asilimia 70 husema ukweli kuhusu makosa yao.
03:04
At three years of age,
60
184972
2138
Katika umri wa miaka mitatu,
03:07
50 percent lie and 50 percent tell the truth.
61
187134
3474
asilimia 50 hudanganya na asilimia 50 husema kweli.
03:11
At four years of age,
62
191302
1899
Katika umri wa miaka minne,
03:13
more than 80 percent lie.
63
193225
1947
zaidi ya asilimia 80 hudanganya.
03:16
And after four years of age,
64
196334
2451
Na baada ya miaka minne,
03:18
most children lie.
65
198809
1389
watoto wengi hudanganya.
03:21
So as you can see,
66
201180
1363
Hivyo unaweza kuona,
03:22
lying is really a typical part of development.
67
202567
3463
kudanganya ni sehemu halisi ya kuendelea.
03:26
And some children begin to tell lies
68
206054
2790
Na baadhi ya watoto huanza kusema uwongo
03:28
as young as two years of age.
69
208868
2439
wakiwa na umri mdogo wa miaka miwili.
03:32
So now, let's take a closer look at the younger children.
70
212438
3557
Hivyo sasa, tuangalie kwa ukaribu watoto wadogo.
03:37
Why do some but not all young children lie?
71
217336
3813
Kwanini baadhi na sio wote watoto wadogo hudanganya?
03:42
In cooking, you need good ingredients
72
222184
3329
Katika mapishi unahitaji viungo vizuri
03:45
to cook good food.
73
225537
1613
kupika chakula kizuri.
03:47
And good lying requires two key ingredients.
74
227793
4563
Na uongo mzuri unahitaji viungo viwili vikuu.
03:53
The first key ingredient is theory of mind,
75
233109
4110
Kiungo kikuu cha kwanza ni nadharia ya akili,
03:57
or the mind-reading ability.
76
237243
1835
au uwezo wa kusoma- akili.
03:59
Mind reading is the ability to know
77
239768
2078
Kusoma akili ni uwezo wa kujua
04:01
that different people have different knowledge about the situation
78
241870
4608
kwamba watu tofauti wana ufahamu tofauti kuhusu hali fulani
04:06
and the ability to differentiate between what I know
79
246502
3801
na uwezo wa kutofautisha kati ya ninachojua
04:10
and what you know.
80
250327
1223
na kile unachojua
04:11
Mind reading is important for lying
81
251914
2247
Kusoma akili ni muhimu kwa kudanganya
04:14
because the basis of lying is that I know
82
254185
3847
kwasababu ya msingi wa kudanganya ni najua
04:18
you don't know
83
258056
1151
hujui
04:19
what I know.
84
259231
1151
ninachojua.
04:20
Therefore, I can lie to you.
85
260406
1371
Hivyo, naweza kukudanganya.
04:23
The second key ingredient for good lying is self-control.
86
263070
4610
Kiungo cha pili muhimu
04:27
It is the ability to control your speech, your facial expression
87
267704
4623
Ni uwezo wa kudhibiti maneno yako, kuonyesha hisia usoni
04:32
and your body language,
88
272351
1540
na lugha ya mwili,
04:33
so that you can tell a convincing lie.
89
273915
2078
ili kwamba unaweza kusema uongo thabiti.
04:36
And we found that those young children
90
276938
3726
Na tulikuta kwamba wale watoto wadogo
04:40
who have more advanced mind-reading and self-control abilities
91
280688
4856
walio na uwezo mkubwa wa kusoma akili na uwezo wa kujidhibiti
04:45
tell lies earlier
92
285568
2038
husema uwongo mapema
04:47
and are more sophisticated liars.
93
287630
2816
na ni waongo wa kisasa.
04:51
As it turns out, these two abilities are also essential for all of us
94
291887
5619
Kama inavyokuwa, uwezo huu wa aina mbili ni muhimu pia kwetu sote
04:57
to function well in our society.
95
297530
2522
kuweza kufanya kazi katika jamii yetu.
05:00
In fact, deficits in mind-reading and self-control abilities
96
300848
4335
Ki ukweli, kushindwa kusoma akili na uwezo wa kujidhibiti
05:05
are associated with serious developmental problems,
97
305207
3559
vinahusianishwa na matatizo makubwa ya ukuaji,
05:08
such as ADHD and autism.
98
308790
2759
kama ADHD na usonji.
05:13
So if you discover your two-year-old is telling his or her first lie,
99
313893
5177
Hivyo ukigundua mtoto wako wa miaka miwili anakudanganya kwa mara ya kwanza,
05:19
instead of being alarmed,
100
319094
1984
badala ya kushtushwa,
05:21
you should celebrate --
101
321102
1492
unatakiwa usherehekee--
05:22
(Laughter)
102
322618
1522
(Kicheko)
05:24
because it signals that your child has arrived at a new milestone
103
324164
5730
kwasababu inaashiria kwamba mtoto wako amefikia hatua mpya
05:29
of typical development.
104
329918
1635
ya ukuaji wa kawaida.
05:33
Now, are children poor liars?
105
333085
3136
Sasa, watoto hawadanganyi vizuri?
05:36
Do you think you can easily detect their lies?
106
336878
2994
Unafikiri unaweza kugundua udanganyifu wao kirahisi?
05:40
Would you like to give it a try?
107
340745
1678
Ungependa kujaribu?
05:42
Yes? OK.
108
342921
1480
Ndio? Sawa.
05:44
So I'm going to show you two videos.
109
344425
2139
Sasa nitakuonyesha video mbili
05:47
In the videos,
110
347024
1151
Kwenye video,
05:48
the children are going to respond to a researcher's question,
111
348199
3057
watoto watajibu maswali ya utafiti,
05:51
"Did you peek?"
112
351280
1482
"Ulichungulia?"
05:52
So try to tell me
113
352786
1554
Sasa jaribu kuniambia
05:54
which child is lying
114
354364
1398
mtoto yupi anadanganya
05:55
and which child is telling the truth.
115
355786
2110
na mtoto yupi anasema ukweli.
05:58
Here's child number one.
116
358272
1719
Huyu ni mtoto namba moja.
06:00
Are you ready?
117
360991
1237
Uko tayari?
06:03
(Video) Adult: Did you peek? Child: No.
118
363006
1920
(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana
06:05
Kang Lee: And this is child number two.
119
365619
2236
Kang Lee: Na huyu ni mtoto namba mbili.
06:09
(Video) Adult: Did you peek? Child: No.
120
369501
2192
(Video) Mtu: Ulichungulia? Mtoto: Hapana.
06:13
KL: OK, if you think child number one is lying,
121
373296
3587
KL: OK, kama unafikiri mtoto namba moja anadanganya,
06:16
please raise your hand.
122
376907
1687
tafadhali inua mkono wako.
06:20
And if you think child number two is lying, please raise your hand.
123
380401
3552
Na kama unafikiri mtoto namba mbili anadanganya, tafadhali inua mkono wako.
06:25
OK, so as a matter of fact,
124
385593
2474
OK, kusema ukweli,
06:28
child number one is telling the truth,
125
388091
2937
mtoto namba moja anasema ukweli,
06:31
child number two is lying.
126
391052
2029
mtoto namba mbili anadanganya.
06:34
Looks like many of you are terrible detectors of children's lies.
127
394124
3230
Inaonekana wengi wenu sio wagunduzi wazuri wa uwongo wa watoto.
06:37
(Laughter)
128
397378
2478
(Kicheko)
06:39
Now, we have played similar kinds of games
129
399880
3384
Sasa, tumeshiriki kwenye michezo sawasawa
06:43
with many, many adults from all walks of life.
130
403288
4625
na watu wazima wengi sana kutoka sehemu zote za maisha.
06:48
And we show them many videos.
131
408714
2158
Na tunawaonyesha video nyingi.
06:51
In half of the videos, the children lied.
132
411347
2549
Katika nusu ya video, watoto walidanganya.
06:53
In the other half of the videos, the children told the truth.
133
413920
3267
Katika nusu ya video nyingine, watoto walisema ukweli.
06:58
And let's find out how these adults performed.
134
418529
2857
Ngoja tuone watu wazima hawa walifanyaje.
07:02
Because there are as many liars as truth tellers,
135
422319
3855
Kwasababu kuna waongo wengi kama wasema kweli,
07:06
if you guess randomly,
136
426198
2399
ukikisia kwa kubahatisha,
07:08
there's a 50 percent chance you're going to get it right.
137
428621
4070
kunauwezekano wa asilimia 50 ukapatia.
07:12
So if your accuracy is around 50 percent,
138
432715
3594
Hivyo ikiwa usahihi wako ni takriban asilimia 50,
07:16
it means you are a terrible detector of children's lies.
139
436333
3441
inamaanisha wewe ni mgunduzi mbaya wa uwongo wa watoto.
07:20
So let's start with undergrads and law school students,
140
440290
4529
Sasa tuanze na wanafunzi wa shahada ya kwanza na wanafunzi wa sheria,
07:24
who typically have limited experience with children.
141
444843
3672
ambao kwa ujumla hawana uzoefu na watoto.
07:30
No, they cannot detect children's lies.
142
450038
1962
Hapana hawawezi kugundua uwongo wa watoto
07:32
Their performance is around chance.
143
452024
2214
Utendaji wao ni wa kubahatisha
07:34
Now how about social workers and child-protection lawyers,
144
454262
5229
Sasa vipi kuhusu wafanyakazi za jamii na walinda haki za watoto,
07:39
who work with children on a daily basis?
145
459515
2674
wanaofanyakazi na watoto kila siku?
07:42
Can they detect children's lies?
146
462213
2087
Wanaweza kugundua uwongo wa watoto?
07:45
No, they cannot.
147
465624
1151
Hapana, hawawezi,
07:46
(Laughter)
148
466799
1045
(Kicheko)
07:47
What about judges,
149
467868
1472
Vipi kuhusu majaji,
07:49
customs officers
150
469364
1800
maafisa forodha
07:51
and police officers,
151
471188
1858
na maafisa polisi,
07:53
who deal with liars on a daily basis?
152
473070
2643
wanaokutana na wadanganyifu kila siku?
07:55
Can they detect children's lies?
153
475737
1917
Wanaweza kugundua uwongo wa watoto?
07:58
No, they cannot.
154
478800
1214
Hapana hawawezi.
08:00
What about parents?
155
480430
1186
Vipi kuhusu wazazi?
08:01
Can parents detect other children's lies?
156
481640
3014
Wazazi wanaweza kugundua uwongo wa watoto wengine?
08:05
No, they cannot.
157
485898
1238
Hapana, hawawezi.
08:07
What about, can parents detect their own children's lies?
158
487821
3585
Inawezekana wazazi kugundua uwongo wa watoto wao wenyewe?
08:13
No, they cannot.
159
493208
1201
Hapana, hawawezi.
08:14
(Laughter) (Applause)
160
494433
3476
(Kicheko) (Makofi)
08:17
So now you may ask
161
497933
1547
Hivyo sasa unaweza kuuliza
08:20
why children's lies are so difficult to detect.
162
500504
3632
kwanini uwongo wa watoto ni vigumu kuugundua.
08:24
Let me illustrate this with my own son, Nathan.
163
504958
3012
Ngoja niwaonyeshe hili na mtoto wangu mwenyewe, Nathan
08:27
This is his facial expression
164
507994
2169
Hii ni hisia za uso wake
08:30
when he lies.
165
510187
1384
anapodanganya.
08:31
(Laughter)
166
511595
2206
(Kicheko)
08:33
So when children lie,
167
513825
1602
Hivyo wakati watoto wanadanganya,
08:35
their facial expression is typically neutral.
168
515451
3156
hisia za nyuso zao ni za kawaida.
08:39
However, behind this neutral expression,
169
519123
3460
Ingawa nyuma ya hii hisia ya kawaida,
08:42
the child is actually experiencing a lot of emotions,
170
522607
3326
mtoto kiukweli hupitia hisia nyingi,
08:45
such as fear, guilt, shame
171
525957
3855
kama hofu, hatia, fedheha
08:49
and maybe a little bit of liar's delight.
172
529836
3096
na pengine raha ya kudanganya kidogo.
08:52
(Laughter)
173
532956
2702
(Kicheko)
08:55
Unfortunately, such emotions are either fleeting or hidden.
174
535682
4840
Bahati mbaya, hisia za aina hiyo ni aidha za muda mfupi au zimejificha
09:00
Therefore, it's mostly invisible to us.
175
540546
3099
Kwahiyo, ni ambazo hazionekani kwetu.
09:03
So in the last five years,
176
543669
1359
Kwa miaka mitano iliyopita,
09:05
we have been trying to figure out a way to reveal these hidden emotions.
177
545052
3896
tumekuwa tukijaribu kutafuta njia ya kuonyesha hisia hizi zilizojificha.
09:08
Then we made a discovery.
178
548972
1514
Kisha tukapata ugunduzi.
09:11
We know that underneath our facial skin,
179
551273
3185
Tunajua kwamba chini ya ngozi za nyuso zetu,
09:14
there's a rich network of blood vessels.
180
554482
3394
kuna mtandao mkubwa wa mishipa ya damu.
09:17
When we experience different emotions,
181
557900
2417
Tunapopitia hisia tofauti,
09:20
our facial blood flow changes subtly.
182
560341
2641
msukumo wa damu usoni hubadilika bila kujua.
09:23
And these changes are regulated by the autonomic system
183
563613
3948
Na mabadiliko haya huendeshwa kwa mfumo wa autonomiki
09:27
that is beyond our conscious control.
184
567585
2169
ambayo ni nje ya uwezo wetu kudhibiti.
09:30
By looking at facial blood flow changes,
185
570159
3823
Kwa kuangalia mabadiliko ya msukumo wa damu usoni,
09:34
we can reveal people's hidden emotions.
186
574006
2697
tunaweza kuonyesha hisia za watu zilizojificha.
09:37
Unfortunately, such emotion-related facial blood flow changes
187
577229
4778
Bahati mbaya, hisia hizo zinazohusiana na mabadiliko ya msukumo wa damu usoni
09:42
are too subtle to detect by our naked eye.
188
582031
2625
ni vigumu sana kugundua kwa macho yetu.
09:45
So to help us reveal people's facial emotions,
189
585632
3768
Hivyo kusaidia kuonyesha hisia za watu usoni,
09:49
we have developed a new imaging technology
190
589424
3034
tumeunda teknolojia mpya ya picha
09:52
we call "transdermal optical imaging."
191
592482
3149
tunaiita "tansderaml optical imaging"
09:56
To do so, we use a regular video camera to record people
192
596679
3953
Kufanya hivyo tunatumia kamera ya video ya kawaida kurekodi watu
10:00
when they experience various hidden emotions.
193
600656
3086
wanapokuwa na hisia mbalimbali zilizojificha
10:04
And then, using our image processing technology,
194
604385
4094
Na kisha, kwa kutumia teknolojia ya usindikaji picha,
10:08
we can extract transdermal images of facial blood flow changes.
195
608503
5536
tunaweza kupata picha kupitia ngozi za mabadiliko ya msukumo wa damu usoni.
10:16
By looking at transdermal video images,
196
616475
4272
Kwa kuangalia video za picha kupitia ngozi,
10:20
now we can easily see
197
620771
1787
sasa tunaweza kuona kwa urahisi
10:23
facial blood flow changes associated with the various hidden emotions.
198
623737
5631
mabadiliko ya msukumo wa damu usoni yanayohusiana na hisia zilizojificha.
10:29
And using this technology,
199
629944
1788
Na kwa kutumia teknolojia hii,
10:31
we can now reveal the hidden emotions associated with lying,
200
631756
4668
tunaweza kuonyesha hisia zilizojificha zinazohusiana na udanganyifu,
10:36
and therefore detect people's lies.
201
636448
2910
na kwahiyo kugundua uwongo wa watu.
10:39
We can do so noninvasively,
202
639382
2439
tunaweza kufanya bila upasuaji,
10:41
remotely, inexpensively,
203
641845
2539
kwa mbali, na gharama nafuu
10:44
with an accuracy at about 85 percent,
204
644408
3660
kwa usahihi wa takriban asilimia 85
10:48
which is far better than chance level.
205
648092
2054
ambayo ni bora kuliko kubahatisha.
10:51
And in addition, we discovered a Pinocchio effect.
206
651100
3790
Na kwa kuongezea, tumegundua athari za Pinikio.
10:56
No, not this Pinocchio effect.
207
656336
2055
Hapana, sio athari za Pinokio huyu.
10:58
(Laughter)
208
658415
1007
(Kicheko)
10:59
This is the real Pinocchio effect.
209
659446
2122
Hizi ni athari za kweli za Pinokio.
11:01
When people lie,
210
661592
1417
Wakati watu wanapodanganya,
11:03
the facial blood flow on the cheeks decreases,
211
663033
3779
msukumo wa damu usoni kwenye mashavu hupungua,
11:06
and the facial blood flow on the nose increases.
212
666836
3261
na msukumo wa damu usoni kwenye pua huongezeka.
11:11
Of course, lying is not the only situation
213
671379
3507
Hata hivyo, kudanganya sio tukio pekee
11:14
that will evoke our hidden emotions.
214
674910
2848
ambalo litaamsha hisia zilizojificha.
11:17
So then we asked ourselves,
215
677782
1874
Hivyo basi tukajiuliza wenyewe,
11:19
in addition to detecting lies,
216
679680
2347
pamoja na kugundua uwongo,
11:22
how can our technology be used?
217
682051
2333
teknolojia yetu inaweza kutumikaje?
11:25
One application is in education.
218
685027
3546
Utumikaji wake mmoja ni kwenye elimu.
11:28
For example, using this technology, we can help this mathematics teacher
219
688597
4661
Kwa mfano, kwa kutumia teknolojia hii, tunaweza kumsaidia mwalimu huyu wa hesabu
11:33
to identify the student in his classroom
220
693282
2907
kutambua wanafunzi darasani kwake
11:36
who may experience high anxiety about the topic he's teaching
221
696213
4745
wanapata woga mkubwa kuhusu mada anayofundisha
11:40
so that he can help him.
222
700982
1509
ili iweze kumsaidia.
11:43
And also we can use this in health care.
223
703337
2740
Na pia tunaweza kuitumia katika huduma za afya.
11:46
For example, every day I Skype my parents,
224
706101
3368
Mfano, kila siku natumia huduma ya Skype kuwasilina na wazazi wangu,
11:49
who live thousands of miles away.
225
709493
2082
wanaoishi maelfu ya maili mbali.
11:52
And using this technology,
226
712178
1821
Na kwa kutumia teknolojia hii,
11:54
I can not only find out what's going on in their lives
227
714023
3482
Sio tu najua kinachoendelea katika maisha yao
11:57
but also simultaneously monitor their heart rate, their stress level,
228
717529
6302
lakini pia sambamba na kuangalia mapigo yao ya moyo na kiwango cha msongo,
12:03
their mood and whether or not they are experiencing pain.
229
723855
3225
hali zao na kama wanapata au hawapati maumivu.
12:07
And perhaps in the future,
230
727839
1810
Na pengine kwa siku za mbele,
12:09
their risks for heart attack or hypertension.
231
729673
3289
hatari za mshtuko wa moyo au shinikizo la damu
12:13
And you may ask:
232
733701
1260
Na unaweza kuuliza:
12:15
Can we use this also to reveal politicians' emotions?
233
735472
5481
Tunaweza kutumia hii pia kuonyesha hisia za wanasiasa?
12:20
(Laughter)
234
740977
1540
(Kicheko)
12:22
For example, during a debate.
235
742541
1854
Kwa mfano, wakati wa mijadala
12:25
Well, the answer is yes.
236
745220
1453
Kwakweli, jibu ni ndio.
12:27
Using TV footage,
237
747167
1944
Kutumia kipande kinachorushwa kwenye TV,
12:29
we could detect the politicians' heart rate,
238
749135
4046
tunaweza kugundua mapigo ya moyo ya mwanasiasa,
12:33
mood and stress,
239
753205
2046
hali na msongo,
12:35
and perhaps in the future, whether or not they are lying to us.
240
755275
3578
na pengine katika siku za mbele. iwe wanatudanganya au sivyo.
12:39
We can also use this in marketing research,
241
759495
2996
Tunaweza pia kutumia hii katika utafiti wa masoko,
12:42
for example, to find out
242
762515
1851
kwa mfano, kujua
12:44
whether or not people like certain consumer products.
243
764390
4355
kama watu wanapenda au hawapendi bidhaa fulani za matumizi.
12:49
We can even use it in dating.
244
769229
2238
Tunaweza hata kutumia kwenye miadi.
12:51
So for example,
245
771904
1160
Sasa kwa mfano
12:53
if your date is smiling at you,
246
773088
2594
Ikiwa mliyeahidiana anakuonyesha tabasamu,
12:55
this technology can help you to determine
247
775706
2794
teknolojia hii inaweza kukusaidia kujua
12:58
whether she actually likes you
248
778524
2607
kama anakupenda kweli
13:01
or she is just trying to be nice to you.
249
781155
2175
au anajaribu tu kuonyesha wema kwako.
13:03
And in this case,
250
783864
1695
Na kwa suala hili,
13:05
she is just trying to be nice to you.
251
785583
1876
anajaribu kuonyesha wema kwako.
13:07
(Laughter)
252
787483
2392
(Kicheko)
13:11
So transdermal optical imaging technology
253
791244
3709
Hivyo teknolojia ya transdermal optical imaging
13:14
is at a very early stage of development.
254
794977
2578
iko katika hatua za mwanzo za kuendelezwa.
13:17
Many new applications will come about that we don't know today.
255
797579
4114
Matumizi mengi mapya yatakuja ambayo hatuyajui leo.
13:22
However, one thing I know for sure
256
802293
2778
Ingawa, kitu kimoja ninachojua kwa uhakika
13:25
is that lying will never be the same again.
257
805095
3414
ni kwamba kudanganya hakutakuwa kama zamani tena.
13:28
Thank you very much.
258
808533
1158
Asanteni sana.
13:29
Xiè xie.
259
809715
1324
Asanteni.
13:31
(Applause)
260
811063
3906
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7