Memory Banda: A Warrior’s Cry Against Child Marriage | TED

141,124 views ・ 2015-07-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Louise Joanne Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
I'll begin today
0
13014
1811
Nitaanza leo
00:14
by sharing a poem
1
14825
2066
kwa kuigawana shairi
00:16
written by my friend from Malawi,
2
16891
3135
iliyoandikiwa na rafiki yangu mmalawi,
00:20
Eileen Piri.
3
20026
2136
Eileen Piri.
00:22
Eileen is only 13 years old,
4
22162
3344
Eileen ana miaka 13 tu,
00:25
but when we were going through the collection of poetry that we wrote,
5
25506
5874
lakini tulipoangalia diwani ya ushairi tuliyoandika,
00:31
I found her poem so interesting,
6
31380
2868
Niliona shairi yake ilinivuta sana,
00:34
so motivating.
7
34248
1997
ilitia motisha sana.
00:36
So I'll read it to you.
8
36245
2113
Basi nitakusomeeni.
00:38
She entitled her poem "I'll Marry When I Want."
9
38905
3598
Ameiita shairi yake "Nitaolewa ninapotaka"
00:42
(Laughter)
10
42503
2856
(Kicheko)
00:45
"I'll marry when I want.
11
45359
2531
"Nitaolewa ninapotaka.
00:47
My mother can't force me to marry.
12
47890
4900
Mama yangu hatonilazimisha kuolewa.
00:52
My father cannot force me to marry.
13
52790
3204
Baba yangu hatonilazimisha kuolewa.
00:57
My uncle, my aunt,
14
57526
2810
Mjomba, Shangazi,
01:00
my brother or sister,
15
60336
2345
Kaka au dada,
01:02
cannot force me to marry.
16
62681
2182
Hawawezi kunilazimisha.
01:05
No one in the world
17
65885
2369
Hakuna mtu duniani
01:08
can force me to marry.
18
68254
3296
awezaye kunilazimisha kuolewa.
01:11
I'll marry when I want.
19
71550
2949
Nitaolewa ninapotaka.
01:14
Even if you beat me,
20
74499
2578
Hata ukinipiga,
01:17
even if you chase me away,
21
77077
2670
hata ukinifukuza
01:19
even if you do anything bad to me,
22
79747
3181
hata ukinifanya vibaya,
01:22
I'll marry when I want.
23
82928
3436
Nitaolewa ninapotaka.
01:26
I'll marry when I want,
24
86364
2903
Nitaolewa ninapotaka,
01:29
but not before I am well educated,
25
89267
3738
lakini sio kabla sijapata elimu nzuri
01:33
and not before I am all grown up.
26
93005
4318
na sio kabla sijakua mtu mzima
01:37
I'll marry when I want."
27
97323
2487
Nitaolewa ninapotaka."
01:40
This poem might seem odd,
28
100831
2996
Shairi inaonekana isiyo ya kawaida
01:43
written by a 13-year-old girl,
29
103827
3529
kuandikwa na msichana wa miaka 13,
01:47
but where I and Eileen come from,
30
107356
4783
lakini tunapotoka mimi na Eileen,
01:52
this poem, which I have just read to you,
31
112139
3761
shairi hiyo, niliyoikusomeeni,
01:55
is a warrior's cry.
32
115900
3716
ni sauti ya shujaa.
01:59
I am from Malawi.
33
119616
2925
Ninatoka Malawi.
02:03
Malawi is one of the poorest countries,
34
123191
3924
Malawi ni nchi ya maskini,
02:07
very poor,
35
127115
2879
maskini sana,
02:09
where gender equality is questionable.
36
129994
4528
ambapo usawa wa kijinsi sio hakika.
02:14
Growing up in that country,
37
134522
2322
Kukua katika nchi ile,
02:16
I couldn't make my own choices in life.
38
136844
3251
Sikuweza kujichagulia katika maisha.
02:20
I couldn't even explore
39
140095
2298
Sikuweza hata kuzichungua
02:22
personal opportunities in life.
40
142393
2996
nafasi za kibinafsi katika maisha yangu.
02:25
I will tell you a story
41
145389
2530
Nitakuambieni hadithi
02:27
of two different girls,
42
147919
2462
ya wasichana wawili tofauti,
02:30
two beautiful girls.
43
150381
3645
wasichana wawili warembo.
02:34
These girls grew up
44
154026
2554
Hawa wasichana walikua
02:36
under the same roof.
45
156580
2113
chini ya paa moja.
02:38
They were eating the same food.
46
158693
2717
Walikula chakula sawa sawa.
02:41
Sometimes, they would share clothes,
47
161410
2763
Wakati wengine, wangezigawana nguo,
02:44
and even shoes.
48
164173
2809
na hata viatu.
02:46
But their lives ended up differently,
49
166982
4667
Lakini maisha zao ziliishia tofauti,
02:51
in two different paths.
50
171649
1997
kwa njia mbili tofauti.
02:55
The other girl is my little sister.
51
175039
3715
Yule msichana mwengine ni dada yangu mdogo.
02:58
My little sister was only 11 years old
52
178754
4923
Dada yangu alikuwa na miaka 11
03:03
when she got pregnant.
53
183677
2652
alipopata mimba.
03:08
It's a hurtful thing.
54
188029
3713
Ni jambo la kuumiza.
03:13
Not only did it hurt her, even me.
55
193352
3281
Si kama ilimwumiza pekee, lakini mimi pia.
03:16
I was going through a hard time as well.
56
196633
3599
Nilikuwa na wakati wa tafrani pia.
03:20
As it is in my culture,
57
200232
3715
Kwa sasa katika utamaduni wangu,
03:23
once you reach puberty stage,
58
203947
2995
ukifika ubalehe,
03:26
you are supposed to go to initiation camps.
59
206942
3878
inabidi uende makambi ya kuanzisha.
03:30
In these initiation camps,
60
210820
2298
Katika makambi haya,
03:33
you are taught how to sexually please a man.
61
213118
3855
unafundishwa vipi umfurahishe mwanamume kwa kijinsia.
03:36
There is this special day,
62
216973
1788
Kuna siku maalum,
03:38
which they call "Very Special Day"
63
218761
3204
wanayoiita "Siku maalum sana"
03:41
where a man who is hired by the community
64
221965
2554
ambapo mwanamume anaajiriwa na jamii
03:44
comes to the camp
65
224519
2624
anakuja kambini
03:47
and sleeps with the little girls.
66
227143
2429
na anafanya mapenzi na watoto wadogo.
03:51
Imagine the trauma that these young girls
67
231252
2514
Wazeni kiwewe wasichana hawa
03:53
go through every day.
68
233766
2750
wanachokisikia kila siku.
03:58
Most girls end up pregnant.
69
238766
3159
Wasichana wengi wanapata mimba.
04:01
They even contract HIV and AIDS
70
241925
2617
Na hata wanashikwa na ukimwi
04:04
and other sexually transmitted diseases.
71
244542
2340
na magonjwa mengine ya zinaa.
04:07
For my little sister, she ended up being pregnant.
72
247692
4911
Kwa dadangu mdogo, alipata mimba.
04:12
Today, she's only 16 years old
73
252603
4063
Leo, ana miaka 16
04:16
and she has three children.
74
256666
2996
na ana watoto watatu.
04:19
Her first marriage did not survive,
75
259662
3645
Ndoa yake ya kwanza haijaishi,
04:23
nor did her second marriage.
76
263307
3297
wala ndoa yake ya pili.
04:26
On the other side, there is this girl.
77
266604
4177
Kwa upande wengine, kuna msichana huyo.
04:31
She's amazing.
78
271341
1973
Anashangaza.
04:33
(Laughter)
79
273314
1904
(Kicheko)
04:35
(Applause)
80
275218
2945
(Makofi)
04:39
I call her amazing because she is.
81
279723
2415
Nasema anashangaza kwa sababu ni kweli.
04:42
She's very fabulous.
82
282138
3065
Ni zaidi ya mzuri.
04:45
That girl is me. (Laughter)
83
285203
3761
Msichana yule ni mimi. (Kicheko)
04:48
When I was 13 years old,
84
288964
3018
Nilipokuwa na miaka 13,
04:51
I was told, you are grown up,
85
291982
3414
Niliambiwa, umekua mzima,
04:55
you have now reached of age,
86
295396
2832
sasa umebalehe,
04:58
you're supposed to go to the initiation camp.
87
298228
3367
inadhaniwa uende kambi la kuanzisha.
05:01
I was like, "What?
88
301595
2972
Nilisema, "Nini?
05:04
I'm not going to go to the initiation camps."
89
304567
3982
Siendi kwa yale makambi ya kuanzisha."
05:10
You know what the women said to me?
90
310349
2763
Unajua nini mwanamke yule aliniambia?
05:13
"You are a stupid girl. Stubborn.
91
313112
3622
"Wewe ni mpumbavu. Mkaidi.
05:16
You do not respect the traditions of our society, of our community."
92
316734
7267
Huziheshimu desturi za jamii yetu, za jumuia yetu."
05:24
I said no because I knew where I was going.
93
324001
3808
Nilikataa kwa sababu nilijua wapi nilipokwenda.
05:27
I knew what I wanted in life.
94
327809
2624
Nilijua nilivyotaka katika maisha yangu.
05:31
I had a lot of dreams as a young girl.
95
331773
2965
Nilikuwa na matumaini mengi nilipokuwa mtoto.
05:36
I wanted to get well educated,
96
336238
3645
Nilitaka kupata elimu nzuri
05:39
to find a decent job in the future.
97
339883
2480
Kutafuta kazi nzuri wakati wa badae.
05:42
I was imagining myself as a lawyer,
98
342363
1759
Nilikuwa najifikiria kama mwanasheria,
05:44
seated on that big chair.
99
344122
2710
kukaa katika kiti kile kikubwa.
05:46
Those were the imaginations that
100
346832
2306
Yale yalikuwa mawazo
05:49
were going through my mind every day.
101
349138
3330
yaliokuwa katika akili yangu kila siku.
05:52
And I knew that one day,
102
352468
1834
Na nilijua kwamba siku moja
05:54
I would contribute something, a little something to my community.
103
354302
4574
Ningesaidia kupa kitu, kitu kidogo kwa jumuia yangu.
05:58
But every day after refusing,
104
358876
2531
Lakini kila siku baada ya kukataa,
06:01
women would tell me,
105
361407
2020
wanawake wangeniambia,
06:03
"Look at you, you're all grown up. Your little sister has a baby.
106
363427
3390
"Jitazama, umekua mtu mzima. Dadako mdogo amepata mtoto.
06:06
What about you?"
107
366817
1486
Vipi wewe?"
06:08
That was the music that I was hearing every day,
108
368303
4714
Ile ilikuwa muziki niliyoisikia kila siku,
06:13
and that is the music that girls hear every day
109
373017
3877
na ile ni muziki wasichana wanayoisikia kila siku
06:16
when they don't do something that the community needs them to do.
110
376894
4149
wasipolifanya jambo ambalo jumuia inawatakia wafanye.
06:23
When I compared the two stories between me and my sister,
111
383524
3924
Nilipozilinganisha hadithi hizo mbili kati ya mimi na dadangu,
06:27
I said, "Why can't I do something?
112
387448
4737
Nilisema, "Mbona nisiweze kufanya kitu?"
06:32
Why can't I change something that has happened for a long time
113
392185
5061
Kwa nini nisiweze kubadilisha jambo lililotokea kwa muda mrefu
06:37
in our community?"
114
397246
2415
katika jamii yetu?"
06:39
That was when I called other girls
115
399661
2508
Wakati ule niliwaita wasichana wengine
06:42
just like my sister, who have children,
116
402169
2554
kama dadangu, ambao wamepata watoto,
06:44
who have been in class but they have forgotten how to read and write.
117
404723
3464
waliokwenda darasani lakini wamesahau kusoma na kuandika.
06:48
I said, "Come on, we can remind each other
118
408187
2110
Nilisema "Njoo, tukumbushane
06:50
how to read and write again,
119
410297
2135
je kusoma na kuandika tena,
06:52
how to hold the pen, how to read, to hold the book."
120
412432
3808
kuikamata kalamu vipi, kusomaje, kuzuia kitabu."
06:56
It was a great time I had with them.
121
416240
3645
Ilikuwa wakati nzuri sana nao.
06:59
Nor did I just learn a little about them,
122
419885
4272
Sio kwamba nilifundishwa kidogo kuhusu wale,
07:04
but they were able to tell me their personal stories,
123
424157
3437
lakini pia waliweza kuniambia hadithi zao za kibinafsi,
07:07
what they were facing every day
124
427594
1811
waliyokabiliana kila siku
07:09
as young mothers.
125
429405
2670
kama mama wadogo.
07:12
That was when I was like,
126
432075
1997
Wakati ule nilidhani,
07:14
'Why can't we take all these things that are happening to us
127
434072
3924
"Kwa nini tusiweze kuangalia mambo hayo yanayotuathiri
07:17
and present them and tell our mothers, our traditional leaders,
128
437996
3877
na kuyaonesha na kuwaambia mama zao, viongozi wetu wa jadi,
07:21
that these are the wrong things?"
129
441873
1997
kwamba mambo hayo ni maovu?"
07:23
It was a scary thing to do,
130
443870
2067
Ilikuwa jambo la hofu,
07:25
because these traditional leaders,
131
445937
1973
kwa sababu viongozi hawa wa jadi,
07:27
they are already accustomed to the things
132
447910
2204
wameshayazoea mambo
07:30
that have been there for ages.
133
450114
2440
yaliyokuwepo kwa muda mrefu.
07:32
A hard thing to change,
134
452554
1927
Ni jambo ambalo ni ngumu kubadilisha,
07:34
but a good thing to try.
135
454481
2624
lakini nzuri kujitahidi.
07:37
So we tried.
136
457105
2252
Kwa hiyo tulijitahidi.
07:39
It was very hard, but we pushed.
137
459357
2508
Ilikuwa ngumu sana, lakini tulivumulia.
07:42
And I'm here to say that in my community,
138
462245
2864
Na mimi nipo kwa kusema kwamba katika jumuia yangu,
07:45
it was the first community after girls
139
465109
2560
ilikuwa jumuia ya kwanza baada ya wasichana
07:47
pushed so hard to our traditional leader,
140
467669
3367
walijitahidi sana kumthibitishia kiongozi wa jadi wetu,
07:51
and our leader stood up for us and said no girl has to be married
141
471036
4389
na kiongozi wetu alitutetea na akasema hakuna msichana alazimishwaye kuolewa
07:55
before the age of 18.
142
475425
2229
kabla hajafika miaka 18.
07:57
(Applause)
143
477654
3853
(Makofi)
08:05
In my community,
144
485502
1741
Katika jumuia yangu
08:07
that was the first time a community,
145
487243
2647
Ilikuwa mara ya kwanza kwa jumuia,
08:09
they had to call the bylaws,
146
489890
2461
ilibidi watazame sheria ndogo,
08:12
the first bylaw that protected girls
147
492351
3507
ya kwanza iliyowalinda wasichana
08:15
in our community.
148
495858
2194
katika jumuia yetu.
08:18
We did not stop there.
149
498052
1788
Hatukumaliza na hivyo.
08:19
We forged ahead.
150
499840
2949
Tuliendelea.
08:22
We were determined to fight for girls not just in my community,
151
502789
3854
Tulikusudia kuwapigania wasichana sio katika jamii yangu tu
08:26
but even in other communities.
152
506643
2786
lakini kwenye jamii nyingine.
08:29
When the child marriage bill was being presented in February,
153
509429
4133
Wakati muswada wa ndoa za watoto iliwasilishwa mwezi wa pili
08:33
we were there at the Parliament house.
154
513562
3646
tulikuwepo kwenye mahakama ya bunge.
08:37
Every day, when the members of Parliament were entering,
155
517208
4086
Kila siku, wakati wabunge walipoingia,
08:41
we were telling them, "Would you please support the bill?"
156
521294
3089
tulikuwa tukiwaambia, "Tafadhali uitegemee muswada hii?"
08:44
And we don't have much technology like here,
157
524383
4759
Na hatuna teknolojia nyingi kama huku,
08:49
but we have our small phones.
158
529142
1997
lakini tunazo simu zetu ndogo.
08:51
So we said, "Why can't we get their numbers and text them?"
159
531139
5030
Kwa hiyo tulisema, "Mbona tusiweze kupata namba zao na kuwatumia text?"
08:56
So we did that. It was a good thing.
160
536178
3250
Kwa hiyo tulifanya hivyo. Na ilikuwa jambo zuri
08:59
(Applause)
161
539428
2020
(Makofi)
09:01
So when the bill passed, we texted them back,
162
541448
2973
Kwa hiyo muswada ilipokubalika, tuliwajibia na text,
09:04
"Thank you for supporting the bill."
163
544421
2428
"Asante kwa kutegemea muswada."
09:06
(Laughter)
164
546849
1070
(Kicheko)
09:07
And when the bill was signed by the president,
165
547919
3345
Na muswada iliposajilika na Rais,
09:11
making it into law, it was a plus.
166
551264
3366
kwa kuifanya kuwa sheria, ilikuwa ziada.
09:14
Now, in Malawi, 18 is the legal marriage age, from 15 to 18.
167
554630
5852
Sasa, katika Malawi, miaka 18 ni umri wa kisheria kuolewa, kutoka 15 hadi 18.
09:20
(Applause)
168
560482
3645
(Makofi)
09:26
It's a good thing to know that the bill passed,
169
566495
3576
Ni jambo zuri kulijua kwamba muswada imakubalika,
09:30
but let me tell you this:
170
570071
3042
lakini nikuambieni:
09:33
There are countries where 18 is the legal marriage age,
171
573113
4388
Kuna nchi ambako miaka 18 ni umri wa kisheria kuolewa,
09:37
but don't we hear cries of women and girls every day?
172
577501
4272
lakini sio tunasikia kilio za wanawake na wasichana kila siku?
09:41
Every day, girls' lives are being wasted away.
173
581773
5643
Kila siku, maisha ya wasichana yanashuka thamani.
09:47
This is high time for leaders to honor their commitment.
174
587416
6454
Ni wakati muhimu kwa viongozi waiheshimu ahadi yao.
09:53
In honoring this commitment,
175
593870
2369
Kwa kuiheshimu ahadi hiyo,
09:56
it means keeping girls' issues at heart every time.
176
596239
5712
inamaanisha kuyaweka maswala ya wasichana moyoni kila mara.
10:01
We don't have to be subjected as second,
177
601951
3761
Tusitiishiwe kama duni,
10:05
but they have to know that women, as we are in this room,
178
605712
4238
lakini wajue kwamba wanawake, kama sisi chumbani humu,
10:09
we are not just women, we are not just girls,
179
609950
3050
sisi sio wanawake tu, sisi sio wasichana tu,
10:13
we are extraordinary.
180
613000
1980
sisi ni wa ajabu.
10:14
We can do more.
181
614980
1913
Tunaweza kufanya zaidi.
10:16
And another thing for Malawi,
182
616893
2995
Na kitu chengine kwa Malawi,
10:19
and not just Malawi but other countries:
183
619888
2902
na si kwa Malawi pekee lakini nchi nyingine pia:
10:22
The laws which are there,
184
622790
3785
Sheria zinazowepo,
10:26
you know how a law is not a law until it is enforced?
185
626575
5851
mnajua sheria sio sheria mpaka inatekeleza?
10:32
The law which has just recently passed
186
632426
3413
Sheria iliyokubalika juzi
10:35
and the laws that in other countries have been there,
187
635839
2624
na sheria ambazo katika nchi nyingine zimekuwepo,
10:38
they need to be publicized at the local level,
188
638463
3924
zinahitajika kutangazwa kwa njia za kienyeji,
10:42
at the community level,
189
642387
2183
katika jamii,
10:44
where girls' issues are very striking.
190
644570
5386
ambako maswala ya wasichana yako wazi.
10:49
Girls face issues, difficult issues, at the community level every day.
191
649956
4760
Wasichana wanakabiliana na maswala, maswala magumu, katika jamii zao kila siku.
10:55
So if these young girls know that there are laws that protect them,
192
655274
5085
Kwa hiyo ikiwa wajue kwamba kuna sheria ziwalindazo,
11:00
they will be able to stand up and defend themselves
193
660359
2786
wataweza kusimama na kujilinda
11:03
because they will know that there is a law that protects them.
194
663145
3671
kwa sababu watajua kwamba kuna sheria ziwalindazo.
11:09
And another thing I would say is that
195
669254
4109
Na kitu chengine nisemacho ni kwamba
11:13
girls' voices and women's voices
196
673363
4598
sauti za wasichana na wanawake
11:17
are beautiful, they are there,
197
677961
2763
ni nzuri sana, na zipo,
11:20
but we cannot do this alone.
198
680724
3181
lakini hatuwezi kufanya peke yetu.
11:23
Male advocates, they have to jump in,
199
683905
2670
watetezi wa kiume, washirikiana,
11:26
to step in and work together.
200
686575
1950
wajihusishe na tufanye kazi pamoja.
11:28
It's a collective work.
201
688525
2578
ni kazi ya umoja.
11:31
What we need is what girls elsewhere need:
202
691103
2740
Tunavyohitaji ni vile vihitajikavyo na wasichana wa sehemu zote:
11:33
good education, and above all, not to marry whilst 11.
203
693843
5758
elimu nzuri, na juu ya yote, ni kutoolewa wakiwa na miaka 11.
11:42
And furthermore,
204
702085
2868
Na zaidi ya hayo,
11:44
I know that together,
205
704953
3065
Najua kwamba pamoja,
11:48
we can transform the legal,
206
708018
3948
tunaweza kubadilisha mifumo ya kisheria,
11:51
the cultural and political framework
207
711966
3169
kiutamaduni na kisiasa
11:55
that denies girls of their rights.
208
715135
4771
inayozikanusha haki za wasichana.
11:59
I am standing here today
209
719906
5058
Nasimama hapa leo
12:04
and declaring that we can end child marriage in a generation.
210
724964
7040
na kutangaza kwamba tunaweza kuisha ndoa za watoto katika kizazi kimoja.
12:12
This is the moment
211
732677
2183
Sasa ni wakati
12:14
where a girl and a girl, and millions of girls worldwide,
212
734860
4434
ambapo msichana na msichana, na millioni za wasichana duniani,
12:19
will be able to say,
213
739294
2601
wataweza kusema,
12:21
"I will marry when I want."
214
741895
3204
"Nitolewa ninapotaka."
12:25
(Applause)
215
745099
3045
(Makofi)
12:35
Thank you. (Applause)
216
755284
1935
Asante. (Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7