How fake news does real harm | Stephanie Busari

163,933 views ・ 2017-05-18

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
I want to tell you a story about a girl.
0
12892
2808
Nataka niwaambie kisa kuhusu msichana mmoja.
00:16
But I can't tell you her real name.
1
16335
2112
Lakini siwezi kuwaambia jina lake halisi.
00:18
So let's just call her Hadiza.
2
18835
1913
Hivyo tufanye kumuita Hadiza.
00:21
Hadiza is 20.
3
21381
1489
Hadiza ana miaka 20.
00:23
She's shy,
4
23459
1151
Ana aibu,
00:24
but she has a beautiful smile that lights up her face.
5
24634
3234
lakini ana tabasamu zuri ambalo hufanya uso wake kung'aa
00:28
But she's in constant pain.
6
28779
1930
Lakini yuko katika maumivu wakati wote.
00:32
And she will likely be on medication for the rest of her life.
7
32463
3474
Na anaweza kuwa mtu wa matibabu maisha yake yote.
00:36
Do you want to know why?
8
36866
1505
Je wataka kujua kwa nini?
00:39
Hadiza is a Chibok girl,
9
39784
2857
Hadiza ni msichana wa Chibok,
00:42
and on April 14, 2014, she was kidnapped
10
42665
3233
na mnamo Aprili 14, 2014, alitekwa
00:45
by Boko Haram terrorists.
11
45922
1624
na magaidi wa Boko Haram.
00:48
She managed to escape, though,
12
48290
2509
Ingawa alijaribu kutoroka,
00:50
by jumping off the truck that was carrying the girls.
13
50823
3197
kwa kuruka toka kwenye gari lililokuwa limebeba wasichana.
00:54
But when she landed, she broke both her legs,
14
54044
3293
Lakini alipotua chini, alivunjika miguu yako yote miwili,
00:57
and she had to crawl on her tummy to hide in the bushes.
15
57361
3420
na alihitaji kutambaa kwa tumbo kujificha kichakani.
01:00
She told me she was terrified that Boko Haram would come back for her.
16
60805
4078
Aliniambia aliogopa sana kuwa Boko Haram wangeweza kumrudia.
01:05
She was one of 57 girls who would escape by jumping off trucks that day.
17
65524
4627
Alikuwa mmoja wa wasichana 57 waliotoroka kwa kuruka toka kwenye magari siku ile.
01:10
This story, quite rightly, caused ripples
18
70175
2541
Kisa hiki, hakika, kilisambaa kama mawimbi
01:12
around the world.
19
72740
1372
duniani kote.
01:14
People like Michelle Obama, Malala and others
20
74136
3270
Watu kama Michelle Obama, Malala na wengine
01:17
lent their voices in protest,
21
77430
2092
walitoa sauti zao wakipinga,
01:19
and at about the same time -- I was living in London at the time --
22
79546
3261
na wakati huo huo -- nilikuwa nikiishi London wati huo
01:22
I was sent from London to Abuja to cover the World Economic Forum
23
82831
4643
Nilitumwa kutoka London kwenda Abuja kupata habari za Jukwaa la Uchumi Duniani
01:27
that Nigeria was hosting for the first time.
24
87498
2422
ambapo Naijeria ilikuwa mwenyeji kwa mara ya kwanza
01:30
But when we arrived, it was clear that there was only one story in town.
25
90475
4064
Lakini nilipofika, ilikuwa dhahiri kwamba kulikuwa na habari moja tu mjini.
01:35
We put the government under pressure.
26
95729
1845
Tuliiiweka serikali kwenye shinikizo.
01:37
We asked tough questions about what they were doing
27
97598
2562
Tuliuliza maswali magumu juu ya nini wanafanya
01:40
to bring these girls back.
28
100184
1491
kuwarudisha wasichana hawa.
01:42
Understandably,
29
102199
1724
Ilieleweka hakika,
01:43
they weren't too happy with our line of questioning,
30
103947
2807
hawakuwa na furaha juu ya maswali yetu,
01:46
and let's just say we received our fair share of "alternative facts."
31
106778
3749
na tuseme tu tulipata mgao mzuri wa "ukweli mbadala".
01:50
(Laughter)
32
110551
2681
(Kicheko)
01:53
Influential Nigerians were telling us at the time
33
113256
3198
Wanaijeria wenye ushawishi mkubwa walikuwa wakituambia wakati ule
01:56
that we were naïve,
34
116478
1997
kuwa tulikuwa washamba.
01:58
we didn't understand the political situation in Nigeria.
35
118499
3204
hatukuelewa hali ya siasa ya Naijeria.
02:02
But they also told us
36
122720
2095
Lakini pia walituambia
02:04
that the story of the Chibok girls
37
124839
2608
kuwa habari ya wasichana wa Chibok
02:07
was a hoax.
38
127471
1185
illikuwa mzaha.
02:10
Sadly, this hoax narrative has persisted,
39
130085
2700
Cha kusikitisha ni kuwa habari hii ya mzaha imedumu
02:12
and there are still people in Nigeria today
40
132809
2290
na bado kuna watu Naijeria leo
02:15
who believe that the Chibok girls were never kidnapped.
41
135123
2763
wanaoamini wasichana wa Chibok hawakutekwa.
02:18
Yet I was talking to people like these --
42
138751
2563
Bado, nilikuwa nikiongea na watu kama hawa
02:22
devastated parents,
43
142221
1705
wazazi wenye huzuni kubwa,
02:23
who told us that on the day Boko Haram kidnapped their daughters,
44
143950
4054
ambao walituambia siku Boko Haram waliwateka binti zao,
02:28
they ran into the Sambisa Forest after the trucks carrying their daughters.
45
148028
4574
walikimbia mpaka Msitu wa Sambisa wakifukuza magari laliyobeba binti zao.
02:32
They were armed with machetes, but they were forced to turn back
46
152626
3728
Wao walikuwa na mapanga kama silaha, lakini walilazimika kurudi
02:36
because Boko Haram had guns.
47
156378
1849
sababu Boko Haram walikuwa na bunduki.
02:39
For two years, inevitably, the news agenda moved on,
48
159165
3663
Kwa miaka miwili, pasipo kuepukika, ajenda za habari zilisonga mbele,
02:42
and for two years,
49
162852
1730
na kwa miaka miwili,
02:44
we didn't hear much about the Chibok girls.
50
164606
3159
hatukusikia sana kuhusu wasichana wa Chibok.
02:47
Everyone presumed they were dead.
51
167789
1869
Kila moja alidhania wamekwishakufa.
02:50
But in April last year,
52
170053
1987
Lakini Aprili mwaka jana,
02:52
I was able to obtain this video.
53
172064
2205
niliweza kupata video hii.
02:54
This is a still from the video
54
174856
1740
Hii ni picha-mnato toka kwenye video
02:56
that Boko Haram filmed as a proof of life,
55
176620
3114
ambayo Boko Haram walirekodi kama ushahidi kuwa wako hai,
03:00
and through a source, I obtained this video.
56
180743
2544
na kupitia chanzo kimoja, nilipata video hii.
03:03
But before I could publish it,
57
183929
1537
Lakini kabla sijaichapisha,
03:05
I had to travel to the northeast of Nigeria
58
185490
3025
Nilihitaji kusafiri kwenda kaskazini mashariki mwa Naijeria
03:08
to talk to the parents, to verify it.
59
188539
2067
kuzungumza na wazazi, kuihakikisha.
03:11
I didn't have to wait too long for confirmation.
60
191137
3377
Sikuhitaji kusubiri sana kupata uthibitisho.
03:15
One of the mothers, when she watched the video, told me
61
195450
3330
Mmoja wa wamama, alipoangalia hiyo video, aliniambia
03:18
that if she could have reached into the laptop
62
198804
2700
kama angeweza kuifika ndani ya kompyuta
03:21
and pulled our her child from the laptop,
63
201528
4019
na kumvuta na kumtoa nje mtoto wake kutoka kwenye kompyuta,
03:25
she would have done so.
64
205571
1406
angefanya hivyo.
03:28
For those of you who are parents, like myself, in the audience,
65
208023
3222
Kwa wale kati yenu ambao ni wazazi, kama mimi, katika wasikilizaji.
03:31
you can only imagine the anguish
66
211269
2828
Mnaweza tu kufikiria uchungu
03:34
that that mother felt.
67
214121
1459
ambao yule mama aliusikia
03:37
This video would go on to kick-start negotiation talks with Boko Haram.
68
217421
6554
Video hii iliendelea hadi kuanzisha mjadala wa mazungumzo na Boko Haram.
03:43
And a Nigerian senator told me that because of this video
69
223999
3968
Na seneta mmoja wa Kinaijeria aliniambia kuwa kwa sababu ya video hii
03:47
they entered into those talks,
70
227991
1993
waliingia katika yale mazungumzo,
03:50
because they had long presumed that the Chibok girls were dead.
71
230008
3506
kwa sababu muda mrefu walidhani wasichana wa Chibok walishakufa.
03:54
Twenty-one girls were freed in October last year.
72
234459
4702
Wasichana 21 waliachiwa huru mwezi Oktoba mwaka jana.
03:59
Sadly, nearly 200 of them still remain missing.
73
239185
3568
Cha kusikitisha, karibu 200 kati yao bado hawajapatikana.
04:03
I must confess that I have not been a dispassionate observer
74
243511
4197
Ni lazima nikiri, sijawa mwangalizi niliyependelea
04:07
covering this story.
75
247732
1186
kuzungumzia habari hii.
04:08
I am furious when I think about the wasted opportunities
76
248942
3808
Nakuwa na hasira ninapofikiria juu ya fursa zinazopotea
04:14
to rescue these girls.
77
254052
1189
kuwaokoa wasichana hawa.
04:15
I am furious when I think about what the parents have told me,
78
255265
3900
Nakuwa na hasira ninapofikiria juu ya kile wazazi wameniambia,
04:19
that if these were daughters of the rich and the powerful,
79
259189
2774
kuwa ingekuwa mabinti hawa ni wa matajiri na wenye nguvu,
04:21
they would have been found much earlier.
80
261987
2161
wangepatikana mapema zaidi.
04:26
And I am furious
81
266101
2008
Na nina hasira
04:28
that the hoax narrative,
82
268133
1928
kwamba simulizi la mzaha
04:30
I firmly believe,
83
270085
1878
ambalo naamini hakika
04:31
caused a delay;
84
271987
2112
limesababisha kuchelewa;
04:34
it was part of the reason for the delay in their return.
85
274123
2989
lilikuwa ni sehemu ya sababu ya ucheleweshwaji wa kurudi kwao.
04:38
This illustrates to me the deadly danger of fake news.
86
278500
4515
Hii inaonesha kwangu hatari kubwa ya habari za uongo.
04:43
So what can we do about it?
87
283039
1592
Nini twaweza kufanya juu ya hili?
04:45
There are some very smart people,
88
285703
1917
Kuna watu werevu sana,
04:47
smart engineers at Google and Facebook,
89
287644
2459
wahandisi werevu huko Google na Facebook,
04:50
who are trying to use technology to stop the spread of fake news.
90
290127
5065
wanaojaribu kutumia tekinolojia kuzuia kusambaa kwa habari za uongo.
04:55
But beyond that, I think everybody here -- you and I --
91
295216
4751
Lakini zaidi ya hapo, nafikiri kila mmoja hapa -- wewe na mimi --
04:59
we have a role to play in that.
92
299991
2187
tuna nafasi ya kushiriki katika hilo.
05:02
We are the ones who share the content.
93
302202
2293
Sisi ndio tunaoshirikishana maudhui
05:04
We are the ones who share the stories online.
94
304519
2511
Sisi ndio tunaoshirikishana habari mitandaoni
05:07
In this day and age, we're all publishers,
95
307054
2187
Nyakati za leo, sisi sote ni wachapishaji,
05:10
and we have responsibility.
96
310355
2491
na tuna jukumu.
05:12
In my job as a journalist,
97
312870
2310
Katika kazi yangu kama mwanahabari,
05:15
I check, I verify.
98
315204
2028
Ninaangalia, ninathibitisha,
05:17
I trust my gut, but I ask tough questions.
99
317256
3281
Ninaamini hisia zangu, lakini nauliza maswali magumu.
05:21
Why is this person telling me this story?
100
321440
2876
Kwa nini huyu mtu ananiambia habari hii?
05:24
What do they have to gain by sharing this information?
101
324340
3499
Nini atakachokipata kwa kunishirikisha taarifa hii?
05:27
Do they have a hidden agenda?
102
327863
1808
Je, ana ajenda ya siri?
05:30
I really believe that we must all start to ask tougher questions
103
330502
5491
Ninaamini kabisa kuwa wote tunatakiwa kuanza kuuliza maswali magumu zaidi
05:36
of information that we discover online.
104
336017
2310
kwa taarifa tunazozipata mtandaoni.
05:41
Research shows that some of us don't even read beyond headlines
105
341493
5731
Utafiti unaonesha kwamba kati yetu kuna wasiosoma zaidi ya vichwa vya habari
05:47
before we share stories.
106
347248
2103
kabla ya kushirikisha habari.
05:49
Who here has done that?
107
349375
1539
Nani hapa amefanya hivyo?
05:51
I know I have.
108
351764
1335
Najua mimi nimefanya.
05:54
But what if
109
354255
1359
Lakini ingekuwaje kama
05:57
we stopped taking information that we discover at face value?
110
357115
4209
tungeacha kuchukua taarifa tuipatayo jinsi ionekanavyo kijuujuu?
06:02
What if we stop to think about the consequence
111
362070
3573
vipi kama tutasimama na kufikiria athari
06:05
of the information that we pass on
112
365667
2449
za taarifa ambazo tunazisambaza
06:08
and its potential to incite violence or hatred?
113
368140
3211
na uwezo wake wa kuchochea vurugu na chuki?
06:12
What if we stop to think about the real-life consequences
114
372415
4535
Vipi kama tutasimama na kufikiria juu ya athari kwenye maisha halisi
06:16
of the information that we share?
115
376974
1848
za taarifa tunazoshirikishana?
06:19
Thank you very much for listening.
116
379925
1800
Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
06:21
(Applause)
117
381749
3494
(Makofi na vifijo)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7