A taboo-free way to talk about periods | Aditi Gupta

353,697 views ・ 2016-05-16

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Leah Ligate Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Periods.
0
12520
1576
Siku.
00:14
Blood.
1
14120
1376
Damu.
00:15
Menstruation.
2
15520
1200
Hedhi.
00:17
Gross.
3
17440
1576
Uchafu.
00:19
Secret.
4
19040
1616
Siri.
00:20
Hidden.
5
20680
1200
Kuficha.
00:22
Why?
6
22400
1200
Kwanini?
00:24
A natural biological process
7
24760
1896
Utaratibu asilia kibaolojia
00:26
that every girl and woman goes through every month
8
26680
3816
ambao kila msichana na mwanamke anapitia kila mwezi
00:30
for about half of her life.
9
30520
2176
kwa karibia nusu ya maisha yake.
00:32
A phenomenon that is so significant
10
32720
2696
Jambo ambalo ni la umuhimu mkubwa sana
00:35
that the survival and propagation of our species depends on it.
11
35440
4200
kiasi kwamba kupona na uenezwaji wa spishi zetu unautegemea.
00:40
Yet we consider it a taboo.
12
40480
1840
Bado tunauchukulia kama mwiko.
00:43
We feel awkward and shameful talking about it.
13
43160
2880
Tunajisikia ugumu na fedheha kuliongelea.
00:47
When I got my first periods,
14
47840
1816
Nilipopata siku zangu mara ya kwanza,
00:49
I was told to keep it a secret from others --
15
49680
2360
Niliambiwa nifanye iwe siri nisiwaambie wengine--
00:52
even from my father and brother.
16
52760
1880
hata kwa baba yangu au kaka.
00:55
Later when this chapter appeared in our textbooks,
17
55640
2616
Baadaye wakati hili somo limejitokeza vitabuni mwetu,
00:58
our biology teacher skipped the subject.
18
58280
2336
mwalimu wetu wa baolojia aliiruka mada.
01:00
(Laughter)
19
60640
2680
(Kicheko)
01:04
You know what I learned from it?
20
64000
1680
Nilijifunza nini kutokana na hili?
01:06
I learned that it is really shameful to talk about it.
21
66360
3160
Nilijifunza kwamba ni fedheha mno kuongelea jambo hili.
01:10
I learned to be ashamed of my body.
22
70080
2656
Nilijifunza kufedheshwa na mwili wangu.
01:12
I learned to stay unaware of periods
23
72760
3056
Nilijifunza kutokufahamu siku zangu
01:15
in order to stay decent.
24
75840
1960
ili kuweza kubaki na heshima.
01:18
Research in various parts of India
25
78440
1816
Utafiti katika sehemu mbalimbali India
01:20
shows that three out of every 10 girls are not aware of menstruation
26
80280
4736
waonyesha wasichana watatu kati ya kumi hawafahamu kuhusu hedhi
01:25
at the time of their first periods.
27
85040
1760
wakati wa siku zao za kwanza.
01:27
And in some parts of Rajasthan
28
87400
1616
Na baadhi ya sehemu za Rajasthan
01:29
this number is as high as nine out of 10 girls being unaware of it.
29
89040
4840
hii namba ni kubwa kama wasichana tisa kati ya kumi kutokufahamu
01:34
You'd be surprised to know
30
94800
1656
Unaweza kushangazwa kujua
01:36
that most of the girls that I have spoken to,
31
96480
2216
kwamba wasichana wengi nilioongea nao,
01:38
who did not know about periods at the time of their first menstruation
32
98720
3816
waliokuwa hawajui kuhusu siku zao wakati wa hedhi zao za kwanza
01:42
thought that they have got blood cancer
33
102560
2376
walifikiria kuwa wana saratani ya damu
01:44
and they're going to die soon.
34
104960
1600
na watakufa muda sio mrefu.
01:48
Menstrual hygiene is a very important risk factor
35
108760
2936
Usafi wa hedhi ni kipengele muhimu cha hatari
01:51
for reproductive tract infections.
36
111720
2560
kwa maambukizi wa mfumo wa via vya uzazi.
01:55
But in India, only 12 percent of girls and women
37
115040
3176
Lakini India, ni asilimia 12 tu ya wasichana na wanawake
01:58
have access to hygienic ways of managing their periods.
38
118240
3760
wanaweza kupata njia za usafi wa kumudu siku zao.
02:02
If you do the math,
39
122840
1496
Ukifanya mahesabu,
02:04
88 percent of girls and women use unhygienic ways to manage their periods.
40
124360
5096
asilimia 88 ya wasichana na wanawake hutumia njia zisizo salama kwa siku zao.
02:09
I was one of them.
41
129480
1200
Nilikuwa mmoja wao.
02:11
I grew up in a small town called Garhwa, in Jharkhand,
42
131880
2936
Nilikulia kwenye mji mdogo uitwao Garhwa, jimbo la Jharkhand,
02:14
where even buying a sanitary napkin is considered shameful.
43
134840
3120
ambako hata kununua pedi ilichukuliwa kama fedheha.
02:18
So when I started getting my periods,
44
138840
2055
Sasa nilipoanza kupata siku zangu,
02:20
I began with using rags.
45
140919
1761
Nilianza kutumia matambara.
02:24
After every use I would wash and reuse them.
46
144560
2656
Baada ya kila matumizi niliyafua na kuyatumia tena.
02:27
But to store them,
47
147240
1256
Lakini kuyahifadhi,
02:28
I would hide and keep it in a dark, damp place
48
148520
2616
Niliyaficha na kuyaweka sehemu yenye giza na unyevu
02:31
so that nobody finds out that I'm menstruating.
49
151160
2600
ilikwamba mtu asijue kuwa niko kwenye hedhi.
02:34
Due to repeated washing the rags would become coarse,
50
154520
2616
Kwa kuyarudia kufua matambara yalikuja kuwa magumu,
02:37
and I would often get rashes and infections using them.
51
157160
3000
na mara nyingi nilipata upele na maambukizi kwa kuyatumia.
02:40
I wore these already for five years until I moved out of that town.
52
160880
4280
Niliyavaa kwa muda wa miaka mitano hadi nilipohama ule mji.
02:47
Another issue that periods brought in my life
53
167640
2336
Suala lingine ambalo siku zilileta maishani mwangu
02:50
those of the social restrictions
54
170000
2296
lile la kuwekewa mipaka kijamii
02:52
that are imposed upon our girls and women when they're on their periods.
55
172320
4336
iliyowekwa kwa wasichana wetu na wanawake wakiwa kwenye siku zao.
02:56
I think you all must be aware of it,
56
176680
2296
Nafikiri wote lazma mtakuwa mnajua,
02:59
but I'll still list it for the few who don't.
57
179000
2960
lakini bado nitaelezea kwa wale wachache wasiojua.
03:02
I was not allowed to touch or eat pickles.
58
182720
2480
Sikuruhusiwa kula au kugusa vitu vichachu.
03:05
I was not allowed to sit on the sofa or some other family member's bed.
59
185840
4856
Sikuruhusiwa kukaa kwenye sofa au kitandani mwa ndugu wa familia.
03:10
I had to wash my bed sheet after every period,
60
190720
2456
Nilitakiwa kufua mashuka kila baada ya siku zangu,
03:13
even if it was not stained.
61
193200
1936
hata kama hazikuchafuka kwa madoa.
03:15
I was considered impure
62
195160
1816
Nilichukuliwa kama najisi
03:17
and forbidden from worshipping or touching any object of religious importance.
63
197000
4800
na kukatazwa kuabudu au kugusa kitu chochote chenye umuhimu kidini.
03:22
You'll find signposts outside temples
64
202880
2216
Ulikutana na matangazo nje ya misikiti
03:25
denying the entry of menstruating girls and women.
65
205120
2440
kukataza wasichana na wanawake walio kwenye hedhi.
03:29
Ironically,
66
209080
1376
Chakuchekesha,
03:30
most of the time it is the older woman
67
210480
2816
wakati wote ni wanawake watu wazima
03:33
who imposes such restrictions on younger girls in a family.
68
213320
4440
ndio walioweka vizuizi hivyo kwa wasichana wadogo katika familia.
03:38
After all, they have grown up accepting such restrictions as norms.
69
218360
4176
hata hivyo, wamekua wakikubali vizuizi hivyo kama desturi.
03:42
And in the absence of any intervention,
70
222560
3016
Na katika kukosekana kwa kuingiliwa,
03:45
it is the myth and misconception
71
225600
2016
ni imani potofu na kutoeleweka
03:47
that propagate from generation to generation.
72
227640
2600
kunakoenezwa kizazi hata kizazi.
03:51
During my years of work in this field,
73
231240
1856
Kwa miaka nilyofanyia kazi taaluma hii,
03:53
I have even come across stories
74
233120
1496
Nimeshakutana na hadithi
03:54
where girls have to eat and wash their dishes separately.
75
234640
3616
ambapo wasichana walitakiwa kula na kuosha vyombo vyao kwa kutengwa.
03:58
They're not allowed to take baths during periods,
76
238280
2336
Hawakuruhusiwa kuoga wakati wa siku zao,
04:00
and in some households they are even secluded from other family members.
77
240640
4080
na katika nyumba nyingine walitengwa hata na ndugu wengine wa familia.
04:05
About 85 percent of girls and women in India
78
245720
3536
Kiasi cha asilimia 85 za wasichana na wanawake India
04:09
would follow one or more restrictive customs on their periods every month.
79
249280
5320
walifuata moja au zaidi ya masharti ya mila kwenye siku zao kila mwezi.
04:15
Can you imagine what this does
80
255320
1536
Unafikiria hii inafanya nini
04:16
to the self-esteem and self-confidence of a young girl?
81
256880
2960
katika kujithamini na kujiamini kwa msichana mdogo?
04:20
The psychological trauma that this inflicts,
82
260720
2736
Kiwewe cha kisaikolojia ambacho hili huumiza,
04:23
affecting her personality,
83
263480
2576
kuathiri haiba yake,
04:26
her academic performance
84
266080
1736
utendaji wake kimasomo
04:27
and every single aspect of growing up during her early formative years?
85
267840
4640
na kila kipengele cha ukuaji katika miaka ya awali ya uumbaji wake?
04:33
I religiously followed all these restrictive customs for 13 years,
86
273760
4040
Nilifuata kwa bidii masharti haya yote ya kimila kwa miaka 13,
04:38
until a discussion with my partner, Tuhin,
87
278400
2376
hadi mjadala na mshirika mwenzangu, Tuhin,
04:40
changed my perception about menstruation forever.
88
280800
2560
ulipobadilisha mtazamo wangu kuhusu hedhi milele.
04:44
In 2009, Tuhin and I were pursuing our postgraduation in design.
89
284280
5456
Mwaka 2009, mimi na Tuhin tulikuwa tunasoma stashada katika ubunifu.
04:49
We fell in love with each other
90
289760
1656
Tukapendana
04:51
and I was at ease discussing periods with him.
91
291440
2440
na nilikuwa huru kujadiliana naye kuhusu siku zangu.
04:54
Tuhin knew little about periods.
92
294640
1920
Tuhin alijua kidogo kuhusu siku.
04:57
(Laughter)
93
297520
2280
(Kicheko)
05:03
He was astonished to know that girls get painful cramps
94
303800
3616
Alishangazwa kujua kwamba wasichana hupata maumivu makali
05:07
and we bleed every month.
95
307440
1416
na hutokwa damu kila mwezi.
05:08
(Laughter)
96
308880
2096
(Kicheko)
05:11
Yeah.
97
311000
1496
Ndio.
05:12
He was completely shocked to know
98
312520
1776
Alishtushwa kabisa kujua
05:14
about the restrictions that are imposed upon menstruating girls and women
99
314320
5176
kuhusu vizuizi vinavyowekwa kwa wasichana na wanawake walio kwenye hedhi
05:19
by their own families and their society.
100
319520
2576
na familia pamoja na jamii zao wenyewe.
05:22
In order to help me with my cramps,
101
322120
2056
Ili kuweza kunisaidia na maumivu yangu,
05:24
he would go on the Internet and learn more about menstruation.
102
324200
3800
alikwenda kwenye mtandao wa intaneti kujifunza kuhusu hedhi.
05:28
When he shared his findings with me,
103
328600
1736
Aliponielezea alichojifunza,
05:30
I realized how little I knew about menstruation myself.
104
330360
3000
Niligundua ufahamu mdogo nilionao kuhusu hedhi,
05:33
And many of my beliefs actually turned out to be myths.
105
333960
3120
na vitu vingi nilivyoamini vilikuja kuwa ni imani potofu,
05:38
That's when we wondered:
106
338360
1536
Ndipo nilipojiuliza:
05:39
if we, being so well educated,
107
339920
2336
kama sisi, tumesoma vizuri hivi,
05:42
were so ill-informed about menstruation,
108
342280
2096
tumefundishwa vibaya kuhusu hedhi,
05:44
there would be millions of girls out there who would be ill-informed, too.
109
344400
4000
kutakuwa na mamilioni ya wasichana huko nje waliofundishwa vibaya, pia.
05:49
To study --
110
349760
1216
Kusoma--
05:51
to understand the problem better,
111
351000
1776
kuelewa tatizo vizuri,
05:52
I undertook a year-long research to study the lack of awareness about menstruation
112
352800
4616
Nilifanya utafiti wa mwaka mmoja kujifunza ukosefu wa ufahamu kuhusu hedhi
05:57
and the root cause behind it.
113
357440
1600
na chanzo chake nyuma yake.
05:59
While it is generally believed
114
359960
1736
Wakati kiujumla inaaminika
06:01
that menstrual unawareness and misconception is a rural phenomenon,
115
361720
5976
kwamba kutokufahamu hedhi na kuelewa vibaya ni tatizo la vijijini,
06:07
during my research,
116
367720
1216
katika utafiti wangu,
06:08
I found that it is as much an urban phenomenon as well.
117
368960
2976
Niligundua kwamba ni tatizo la mijini pia.
06:11
And it exists with the educated urban class, also.
118
371960
4360
Na lipo kwa daraja la walioelimika mijini, pia.
06:17
While talking to many parents and teachers,
119
377280
2496
Wakati naongea na wazazi wengi pamoja na waalimu,
06:19
I found that many of them actually wanted to educate girls about periods
120
379800
5296
Niligundua kuwa wengi wao walitaka kuelimisha wasichana kuhusu siku zao
06:25
before they have started getting their menstrual cycle.
121
385120
2640
kabla hawajaanza kupata mzunguko wao wa hedhi.
06:28
And --
122
388840
1216
Na--
06:30
but they lacked the proper means themselves.
123
390080
3536
lakini wenyewe walikosa njia stahiki.
06:33
And since it is a taboo,
124
393640
1256
Na kwavile ni mwiko,
06:34
they feel inhibition and shameful in talking about it.
125
394920
3040
wanajisikia kusita na fedheha kuongelea jambo hilo.
06:38
Girls nowadays get their periods in classes six and seven,
126
398840
4616
Wasichana siku hizi hupata siku zao wakiwa darasa la sita na la saba,
06:43
but our educational curriculum
127
403480
1616
lakini mtaala wetu wa elimu
06:45
teaches girls about periods only in standard eight and nine.
128
405120
3800
hufundisha wasichana kuhusu siku zao darasa la nane na la tisa tu.
06:49
And since it is a taboo,
129
409800
1560
na kwa vile ni mwiko,
06:52
teachers still skip the subject altogether.
130
412000
3440
waalimu bado wanairuka mada.
06:56
So school does not teach girls about periods,
131
416840
4256
Hivyo shule haziwafundishi wasichana kuhusu siku zao,
07:01
parents don't talk about it.
132
421120
2136
wazazi hawazungumzii jambo hilo.
07:03
Where do the girls go?
133
423280
1400
Wasichana wanaenda wapi?
07:05
Two decades ago and now --
134
425680
2840
Miongo miwili iliyopita na sasa--
07:09
nothing has changed.
135
429120
1280
hakuna kilichobadilika.
07:12
I shared these finding with Tuhin and we wondered:
136
432120
2820
Nilimshirikisha Tuhin matokeo yangu na tulijiuliza
07:14
What if we could create something
137
434960
1616
Itakuwaje tukianzisha kitu
07:16
that would help girls understand about menstruation on their own --
138
436600
4576
ambacho kitasaidia wasichana kuelewa kuhusu hedhi wao wenyewe --
07:21
something that would help parents and teachers
139
441200
4216
Kitu ambacho kitawasaidia wazazi na waalimu
07:25
talk about periods comfortably to young girls?
140
445440
2920
kuongelea kuhusu siku za hedhi kwa raha kwa wasichana wadogo?
07:29
During my research,
141
449840
1616
Wakati wa utafiti wangu,
07:31
I was collecting a lot of stories.
142
451480
1976
Nilikuwa nakusanya hadithi nyingi.
07:33
These were stories of experiences of girls during their periods.
143
453480
4680
Hizi ni hadithi za mambo waliyopitia wasichana kipindi cha siku zao.
07:38
These stories would make girls curious and interested
144
458800
3256
Hadithi hizi zitawafanya wasichana wawe wadadisi na kuvutiwa
07:42
in talking about menstruation in their close circle.
145
462080
3936
katika kuongea kuhusu hedhi ndani ya watu wao wa karibu.
07:46
That's what we wanted.
146
466040
1456
Hicho ndio tulichotaka.
07:47
We wanted something that would make the girls curious
147
467520
3336
Tulitaka kitu ambacho kingewafanya wasichana wawe wadadisi
07:50
and drive them to learn about it.
148
470880
2176
na kuwasukuma kujifunza.
07:53
We wanted to use these stories to teach girls about periods.
149
473080
3160
Tulitaka kutumia hadithi hizi kufundisha wasichana kuhusu siku zao.
07:57
So we decided to create a comic book,
150
477360
3096
Hivyo tukaamua kutengeneza kitabu cha vikatuni
08:00
where the cartoon characters would enact these stories
151
480480
3256
ambapo wahusika wa katuni wataigiza hadithi hizi
08:03
and educate girls about menstruation in a fun and engaging way.
152
483760
3880
na kuwaelimisha wasichana kuhusu hedhi kwa njia ya kufurahisha na kuwashirikisha.
08:08
To represent girls in their different phases of puberty,
153
488360
3016
Kuwasilisha wasichana katika hatua zao tofauti za kubalehe,
08:11
we have three characters.
154
491400
1640
tunao wahusika watatu.
08:13
Pinki, who has not gotten her period yet,
155
493560
3176
Pinki, ambaye hajapata siku zake bado,
08:16
Jiya who gets her period during the narrative of the book
156
496760
3496
Jiya anayepata siku zake wakati wa simulizi za kitabu
08:20
and Mira who has already been getting her period.
157
500280
3256
na Mira ambaye tayari amekuwa akipata siku zake.
08:23
There is a fourth character, Priya Didi.
158
503560
2416
Kuna mhusika wa nne, Priya Didi.
08:26
Through her, girls come to know about the various aspects of growing up
159
506000
3536
Kupitia yeye, wasichana wanakuja kujua kuhusu vipengele kadhaa vya ukuaji
08:29
and menstrual hygiene management.
160
509560
1800
na kusimamia usafi wa hedhi.
08:32
While making the book, we took great care
161
512455
1943
Utengenezaji kitabu, ulitumia umakini
08:34
that none of the illustrations were objectionable in any way
162
514423
3953
hakuna katika vielelezo ambavyo vilikuwa na pingamizi lolote
08:38
and that it is culturally sensitive.
163
518400
1960
na hiyo ni nyeti kitamaduni.
08:41
During our prototype testing, we found that the girls loved the book.
164
521200
3856
Wakati wa majaribio ya sampuli ya awali tuligundua wasichana wakilipenda kitabu.
08:45
They were keen on reading it
165
525080
1376
Walikuwa na hamu ya kukisoma
08:46
and knowing more and more about periods on their own.
166
526480
2760
na kujua zaidi na zaidi kuhusu siku zao wao wenyewe.
08:50
Parents and teachers were comfortable in talking about periods
167
530039
3017
Wazazi na waalimu walikuwa hawaoni shida kuongea kuhusu siku
08:53
to young girls using the book,
168
533080
1695
kwa wasichana wadogo kutumia kitabu
08:54
and sometimes even boys were interested in reading it.
169
534799
2977
na wakati mwingine hata wavulana walivutiwa kukisoma.
08:57
(Laughter)
170
537800
2136
(Kicheko)
08:59
(Applause)
171
539960
1760
(Makofi)
09:03
The comic book helped in creating an environment
172
543840
3816
Kitabu cha vikatu kilisaidia katika kujenga mazingira
09:07
where menstruation ceased to be a taboo.
173
547680
2440
ambapo itasimamisha hedhi kuwa mwiko.
09:10
Many of the volunteers took this prototype themselves to educate girls
174
550720
4056
Wengi wa waliojitolea walichukua hii sampuli ya awali kuelimisha wasichana
09:14
and take menstrual awareness workshops in five different states in India.
175
554800
3936
na kufanya warsha za kuelimisha hedhi katika majimbo matano tofauti India.
09:18
And one of the volunteers took this prototype to educate young monks
176
558760
3376
na mmoja wa waliojitolea alitumia sampuli hii kuelimisha watawa vijana
09:22
and took it to this monastery in Ladakh.
177
562160
2216
na aliipeleka kwenye nyumba ya utawa Ladakh.
09:24
We made the final version of the book, called "Menstrupedia Comic"
178
564400
3336
Tulitengeneza toleo la mwisho la kitabu, tukakiita "Menstrupedia Comic"
09:27
and launched in September last year.
179
567760
2760
na kukizindua Septemba mwaka jana.
09:31
And so far,
180
571120
1376
Na mpaka sasa,
09:32
more than 4,000 girls have been educated by using the book in India and --
181
572520
4336
zaidi ya wasichana 4,000 wameelimika kwa kutumia kitabu India na --
09:36
(Applause)
182
576880
2656
(Makofi)
09:39
Thank you.
183
579560
1216
Asanteni.
09:40
(Applause)
184
580800
2320
(Makofi)
09:46
And 10 different countries.
185
586240
1800
na nchi nyingine 10.
09:49
We are constantly translating the book into different languages
186
589160
3016
Mara kwa mara tunakitafsiri kitabu katika lugha tofauti
09:52
and collaborating with local organizations
187
592200
2736
Na kushirikiana na mashirika ya ndani nchi
09:54
to make this book available in different countries.
188
594960
2656
na kufanya hiki kitabu kipatikane katika nchi tofauti.
09:57
15 schools in different parts of India
189
597640
2936
Mashule 15 katika sehemu tofauti India
10:00
have made this book a part of their school curriculum
190
600600
3416
yamekifanya kitabu hiki kuwa sehemu ya mtaala wa shule zao
10:04
to teach girls about menstruation.
191
604040
1776
kufundisha wasichana kuhusu hedhi.
10:05
(Applause)
192
605840
2400
(Makofi)
10:12
I am amazed to see how volunteers,
193
612440
5336
Nafurahishwa kuona jinsi wanaojitolea,
10:17
individuals, parents, teachers, school principals,
194
617800
4136
watu binafsi, wazazi waalimu, wakuu wa mashule
10:21
have come together
195
621960
1496
wamekutana pamoja
10:23
and taken this menstrual awareness drive to their own communities,
196
623480
4256
na kufanya msukumo huu wa ufahamishaji wa hedhi kwa jamii zao,
10:27
have made sure that the girls learn about periods at the right age
197
627760
3696
wamehakikisha wasichana wanajifunza kuhusu siku zao katika umri sahihi
10:31
and helped in breaking this taboo.
198
631480
2160
na kusaidia katika kuvunja mwiko huu
10:35
I dream of a future where menstruation is not a curse,
199
635040
4296
Ninaota maisha ya mbele ambapo hedhi sio laana,
10:39
not a disease,
200
639360
1536
sio ugonjwa,
10:40
but a welcoming change in a girl's life.
201
640920
2440
ila ni mabadiliko katika maisha ya msichana.
10:44
And I would --
202
644120
1216
Na ninge --
10:45
(Applause)
203
645360
2120
(Makofi)
10:49
And I would like to end this
204
649960
1376
Na ningependa kumalizia hii
10:51
with a small request to all the parents here.
205
651360
3896
kwa ombi dogo kwa wazazi wote hapa.
10:55
Dear parents,
206
655280
1200
Wapendwa wazazi,
10:57
if you would be ashamed of periods,
207
657240
2216
kama mtakuwa mnafedheheshwa na hedhi
10:59
your daughters would be, too.
208
659480
2216
na mabinti zenu watafedheheshwa, pia.
11:01
So please be period positive.
209
661720
2456
Hivyo tafadhali muwe na mtazamo chanya katika siku.
11:04
(Laughter)
210
664200
1216
(Kicheko)
11:05
Thank you.
211
665440
1216
Asanteni.
11:06
(Applause)
212
666680
2723
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7