Don't suffer from your depression in silence | Nikki Webber Allen

230,718 views ・ 2017-10-26

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Sophia Mwema
00:12
What are you doing on this stage
0
12776
4410
Unafanya nini katika jukwaa hili
00:17
in front of all these people?
1
17210
3118
mbele ya watu wote hawa?
00:20
(Laughter)
2
20352
1374
(Kicheko)
00:21
Run!
3
21750
1151
Kimbia!
00:22
(Laughter)
4
22925
1003
(Kicheko)
00:23
Run now.
5
23952
1178
Kimbia sasa.
00:26
That's the voice of my anxiety talking.
6
26554
2967
Hii ni sauti ya hofu yangu inaongea.
00:30
Even when there's absolutely nothing wrong,
7
30359
2936
Hata kama hakuna tatizo lolote,
00:33
I sometimes get this overwhelming sense of doom,
8
33319
3959
Kuna wakati huwa napata hisia za mahangaiko,
00:37
like danger is lurking just around the corner.
9
37302
2962
kama hatari inaninyemelea kwenye kona.
00:40
You see, a few years ago,
10
40877
2116
Unaona, miaka michache iliyopita,
00:43
I was diagnosed with generalized anxiety
11
43017
2497
Niligundulika na ugonjwa wa msongo wa hofu
00:45
and depression --
12
45538
1150
na mawazo --
00:47
two conditions that often go hand in hand.
13
47109
2420
hali mbili ambazo huenda pamoja.
00:49
Now, there was a time I wouldn't have told anybody,
14
49893
4265
Sasa, kuna wakati nisingemuambia mtu yoyote,
00:54
especially not in front of a big audience.
15
54182
2460
hususani mbele ya umati mkubwa.
00:56
As a black woman,
16
56666
1527
Kama mwanamke mwenye ngozi nyeusi,
00:58
I've had to develop extraordinary resilience to succeed.
17
58217
3640
Nimetakiwa kujijengea ustahimilivu wa hali ya juu ili kufanikiwa.
01:01
And like most people in my community,
18
61881
1979
Na kama watu wengi katika jamii yangu,
01:03
I had the misconception that depression was a sign of weakness,
19
63884
3808
Nilikuwa na imani potofu kwamba msongo wa mawazo ni kiashiria cha udhaifu,
01:07
a character flaw.
20
67716
1536
udhaifu wa tabia.
01:09
But I wasn't weak;
21
69276
1574
Lakini sikuwa dhaifu;
01:10
I was a high achiever.
22
70874
1470
Nilikuwa nimefanikiwa kwa hali ya juu.
01:12
I'd earned a Master's degree in Media Studies
23
72745
2203
Nilipata Shahada ya Uzamili kwenye masomo ya vyombo vya habari
01:14
and had a string of high-profile jobs in the film and television industries.
24
74972
4109
na kuwa na kazi za hadhi ya juu katika tasnia ya filamu na televisheni.
01:19
I'd even won two Emmy Awards for my hard work.
25
79554
3050
Nimeshinda hata tuzo mbili za Emmy kwa uchapakazi kazi wangu.
01:23
Sure, I was totally spent,
26
83256
3016
Hakika, Nilitumika sana,
01:26
I lacked interest in things I used to enjoy,
27
86296
2670
Nilikosa hamu katika vitu nilivyozoea kuvifurahia,
01:28
barely ate,
28
88990
1298
nilikula mara chache,
01:30
struggled with insomnia
29
90312
1903
nilisumbuka kupata usingizi
01:32
and felt isolated and depleted.
30
92239
2624
na nilijihisi kutengwa na kushuka thamani.
01:35
But depressed?
31
95382
1352
Lakini kuwa na masononeko?
01:36
No, not me.
32
96758
1524
Hapana, sio mimi.
01:39
It took weeks before I could admit it,
33
99741
2206
Ilinichukua wiki kadhaa kabla ya kukubaliana na hali yangu,
01:41
but the doctor was right:
34
101971
1429
lakini daktari alikuwa sahihi:
01:43
I was depressed.
35
103424
1278
Nilikumbwa na msongo wa mawazo.
01:45
Still, I didn't tell anybody about my diagnosis.
36
105231
3548
Bado, sikumwambia mtu yoyote kuhusu majibu ya uchunguzi.
01:49
I was too ashamed.
37
109342
1613
Nilihisi aibu.
01:50
I didn't think I had the right to be depressed.
38
110979
2517
Sikudhani nilipaswa kusongwa na mawazo.
01:54
I had a privileged life
39
114238
1630
Nilikuwa na maisha yenye kipaumbele
01:55
with a loving family and a successful career.
40
115892
3100
yenye familia iliyo na upendo na kazi iliyo na mafanikio.
01:59
And when I thought about the unspeakable horrors
41
119528
2592
Na nilipowaza kuhusu maafa yasiyofikirika
02:02
that my ancestors had been through in this country
42
122144
2488
ambayo mababu zangu walipitia katika nchi hii
02:04
so that I could have it better,
43
124656
1968
ili niwe na maisha bora,
02:06
my shame grew even deeper.
44
126648
1678
aibu yangu iliongezeka zaidi.
02:08
I was standing on their shoulders.
45
128800
2093
Nilikuwa nimesimama kwenye mabega yao.
02:10
How could I let them down?
46
130917
1602
Ningewezaje kuwaangusha?
02:13
I would hold my head up,
47
133202
2053
Nilinyanyua kichwa changu na kuangalia juu,
02:15
put a smile on my face
48
135279
2360
na kuweka tabasamu katika uso wangu
02:17
and never tell a soul.
49
137663
1708
na kutoiambia nafsi yoyote.
02:22
On July 4, 2013,
50
142286
3277
Mnamo tarehe 4, Julai mwaka 2013,
02:26
my world came crashing in on me.
51
146299
2188
dunia yangu ilipasuka ndani yangu.
02:29
That was the day I got a phone call from my mom
52
149219
2901
Hiyo ilikuwa siku nilipokea simu kutoka kwa mama yangu
02:32
telling me that my 22-year-old nephew, Paul, had ended his life,
53
152144
4190
akiniambia kwamba mpwa wangu mwenye miaka 22, Paul, amejiua,
02:36
after years of battling depression and anxiety.
54
156358
2641
baada ya miaka kadhaa ya kupambana na msongo wa mawazo na hofu.
02:40
There are no words that can describe the devastation I felt.
55
160488
3155
Hakuna maneno ambayo yanaweza kuelezea namna gani nilijisikia vibaya.
02:44
Paul and I were very close,
56
164487
1294
Mimi na Paul tulikuwa karibu,
02:45
but I had no idea he was in so much pain.
57
165805
2054
lakini sikutambua alikuwa akipitia maumivu makubwa.
02:48
Neither one of us had ever talked to the other about our struggles.
58
168516
3558
Hakuna yeyote kati yetu ambaye aliwahi kumwambia mwenzie kuhusu mahangaiko aliyokuwa akipitia.
02:52
The shame and stigma kept us both silent.
59
172098
2164
Aibu na unyanyapaa ulitufanya wote kuwa kimya.
02:55
Now, my way of dealing with adversity is to face it head on,
60
175981
4003
Sasa, namna yangu ya kupambana na mikosi ni kuitazama bila uoga,
03:00
so I spent the next two years researching depression and anxiety,
61
180008
3158
kwa hiyo nilitumia miaka miwili baadaye kufanyia utafiti msongo wa mawazo na hofu,
03:03
and what I found was mind-blowing.
62
183190
2767
na niligundua jambo la kushangaza.
03:06
The World Health Organization reports
63
186584
1974
Taasisi ya Afya Duniani imetoa ripoti ikisema
03:08
that depression is the leading cause of sickness and disability
64
188582
5224
kwamba msongo wa mawazo ni sababu kuu ya magonjwa na ulemavu
03:13
in the world.
65
193830
1339
duniani.
03:15
While the exact cause of depression isn't clear,
66
195859
2991
Wakati sababu hasa ya msongo wa mawazo haijatambulika,
03:18
research suggests that most mental disorders develop,
67
198874
3098
utafiti unaelezea kwamba magonjwa mengi ya akili hujitokeza,
03:21
at least in part,
68
201996
1727
walau katika sehemu,
03:23
because of a chemical imbalance in the brain,
69
203747
2655
kwa sababu ya kutolingana kwa kemikali katika ubongo,
03:26
and/or an underlying genetic predisposition.
70
206426
3902
na/au katika utengenezaji wa mwanzo wa jenetikia.
03:30
So you can't just shake it off.
71
210861
2161
Kwa hiyo huwezi kuachana nayo tu.
03:34
For black Americans,
72
214727
1731
Kwa Wamarekani weusi,
03:36
stressors like racism and socioeconomic disparities
73
216482
4056
vileta msongo wa mawazo kama ubaguzi wa rangi na utofauti wa hali ya kiuchumi katika jamii
03:40
put them at a 20 percent greater risk of developing a mental disorder,
74
220562
5040
huwaweka katika asilimia 20 zaidi ya kupata ugonjwa wa akili,
03:45
yet they seek mental health services
75
225626
2412
na bado hutafuta huduma za afya ya akili
03:48
at about half the rate of white Americans.
76
228062
2739
katika kiwango sawa na nusu ya Wamarekani weupe.
03:51
One reason is the stigma,
77
231364
2850
Sababu moja ni unyanyapaa,
03:54
with 63 percent of black Americans mistaking depression for a weakness.
78
234238
6217
ikiwa asilimia 63 ya Wamarekani weusi hukosea kwa kuwaza kwamba msongo wa mawazo ni udhaifu.
04:01
Sadly, the suicide rate among black children
79
241423
4258
Cha kusikitisha, kasi ya watoto weusi ambao hujiua
04:05
has doubled in the past 20 years.
80
245705
2687
imeongezeka mara mbili katika miaka 20 iliyopita.
04:09
Now, here's the good news:
81
249663
2205
Sasa, hii ni habari njema:
04:12
seventy percent of people struggling with depression will improve
82
252423
4282
asilimia 70 ya watu ambao wanasumbuka na msongo wa mawazo hali zao zitaboreka
04:16
with therapy, treatment and medication.
83
256729
3357
kwa kupata tiba na dawa.
04:21
Armed with this information,
84
261278
1662
Wakipewa taarifa,
04:22
I made a decision:
85
262964
1707
Nimechukua uamuzi:
04:24
I wasn't going to be silent anymore.
86
264695
2968
Sitakuwa kimya tena.
04:28
With my family's blessing,
87
268560
1803
Na baraka za familia yangu,
04:30
I would share our story
88
270387
1893
Nitasimulia hadithi yetu
04:32
in hopes of sparking a national conversation.
89
272304
2814
katika matumaini ya kuleta mjadala wa kitaifa.
04:35
A friend, Kelly Pierre-Louis, said,
90
275960
2771
Rafiki yangu, Kelly Pierre-Loius, alisema,
04:38
"Being strong is killing us."
91
278755
2491
"Kuwa ngangari hutuua."
04:42
She's right.
92
282563
1419
Alikuwa sahihi.
04:44
We have got to retire those tired, old narratives
93
284006
4022
Tunabidi kuondokana na hizo imani ziilizopitwa na wakati
04:48
of the strong black woman
94
288052
1555
kuhusu mwanamke mweusi jasiri
04:49
and the super-masculine black man,
95
289631
2210
na mwanaume mweusi kuwa mwanaume hasa,
04:51
who, no matter how many times they get knocked down,
96
291865
2920
ambaye, haijalishi mara ngapi wakidondoshwa,
04:54
just shake it off and soldier on.
97
294809
2235
hujifuta na kisha husonga mbele.
04:57
Having feelings isn't a sign of weakness.
98
297590
3715
Kuwa na hisia sio dalili ya udhaifu.
05:02
Feelings mean we're human.
99
302341
1883
Hisia zinamaanisha kwamba sisi ni binadamu.
05:04
And when we deny our humanity,
100
304670
2019
Na pale tunapoukana ubinadamu wetu,
05:06
it leaves us feeling empty inside,
101
306713
2116
hutuacha wapweke ndani,
05:08
searching for ways to self-medicate in order to fill the void.
102
308853
3004
tukitafuta njia za kujiponya ili kuepukana na upweke.
05:12
My drug was high achievement.
103
312405
2745
Dawa yangu ilikuwa mafanikio makubwa.
05:16
These days, I share my story openly,
104
316191
3301
Siku hizi, naweza kusimulia hadithi yangu wazi,
05:19
and I ask others to share theirs, too.
105
319516
2210
na kuwauliza wengine kusimulia zao, pia.
05:22
I believe that's what it takes
106
322226
1448
Naamini hicho ndicho kinachoweza
05:23
to help people who may be suffering in silence
107
323698
2595
kusaidia watu wanaohangaika katika ukimya
05:26
to know that they are not alone
108
326317
2209
ili wajue kwamba hawapo peke yao
05:28
and to know that with help,
109
328550
1685
na kujua kwamba kwa msaada,
05:30
they can heal.
110
330259
1341
wanaweza kupona.
05:31
Now, I still have my struggles,
111
331624
2165
Sasa, bado nina mahangaiko yangu,
05:33
particularly with the anxiety,
112
333813
2288
hasa kutokana na hofu,
05:36
but I'm able to manage it
113
336125
1603
lakini ninaweza kukabiliana na hali hio
05:37
through daily mediation, yoga and a relatively healthy diet.
114
337752
4874
kwa kutafakari kila siku, kufanya yoga na kula vizuri kiasi.
05:42
(Laughter)
115
342650
1068
(Kicheko)
05:43
If I feel like things are starting to spiral,
116
343742
2222
Kama nikiona kwamba hali inaanza kuwa mbaya,
05:45
I make an appointment to see my therapist,
117
345988
2044
Huwa nawasiliana na mtoa tiba wangu,
05:48
a dynamic black woman named Dawn Armstrong,
118
348056
3063
mwanamke mweusi anayeitwa Dawn Armstrong,
05:51
who has a great sense of humor
119
351143
1973
ambaye ni mcheshi
05:53
and a familiarity that I find comforting.
120
353140
2237
na mwenye uzoea ambao hunipa faraja.
05:56
I will always regret
121
356946
1638
Daima nitajuta
05:59
that I couldn't be there for my nephew.
122
359210
2066
sikuwepo kumsaidia mpwa wangu.
06:02
But my sincerest hope
123
362046
1787
Lakini tumaini langu la kweli
06:04
is that I can inspire others with the lesson that I've learned.
124
364515
3071
ni kwamba niwahamasishe wengine kutokana na somo nililojifunza.
06:11
Life is beautiful.
125
371002
2470
Maisha ni mazuri.
06:14
Sometimes it's messy,
126
374466
1562
Kuna wakati yanavurugika,
06:16
and it's always unpredictable.
127
376052
1934
na hayatabiriki siku zote.
06:18
But it will all be OK
128
378854
1203
Lakini kila kitu kitakuwa sawa
06:20
when you have your support system to help you through it.
129
380081
2785
unapokuwa na mfumo ambao utakusaidia kuyashinda yote.
06:23
I hope that if your burden gets too heavy,
130
383333
2421
Nina imani kama mzigo wako ukiwa mzito sana,
06:25
you'll ask for a hand, too.
131
385778
1706
utaomba msaada, pia.
06:27
Thank you.
132
387508
1167
Asante.
06:28
(Applause)
133
388699
2882
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7