Jinha Lee: Reach into the computer and grab a pixel

120,462 views ・ 2013-07-03

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Throughout the history of computers
0
12457
3100
Katika historia ya kompyuta
00:15
we've been striving to shorten the gap between us
1
15581
3223
tumekuwa tukitafuta kupunguza pengo kati yetu
00:18
and digital information,
2
18828
1570
na taarifa za kidigitali,
00:20
the gap between our physical world
3
20422
1810
tofauti kati ya dunia yetu katika uhalisi
00:22
and the world in the screen
4
22256
1774
na dunia katika kioo cha kompyuta
00:24
where our imagination can go wild.
5
24054
2818
pale ambapo fikra zetu zaweza kwenda mbali.
00:26
And this gap has become shorter,
6
26896
3903
Na huu utofauti umekuwa mdogo,
00:30
shorter, and even shorter,
7
30823
2741
mdogo,na mdogo sana,
00:33
and now this gap is shortened down
8
33588
1620
na sasa utofauti huu umekuwa mdogo kupita kiasi
00:35
to less than a millimeter,
9
35232
1286
chini ya milimita moja,
00:36
the thickness of a touch-screen glass,
10
36542
1854
unene wa kioo cha kugusa kwa kidole,
00:38
and the power of computing
11
38420
1426
na nguvu ya kazi ya kompyuta
00:39
has become accessible to everyone.
12
39870
4879
imekuwa rahisi kupatikana kwa kila mtu.
00:44
But I wondered, what if there could be no boundary at all?
13
44773
5015
Lakini nilishangaa,ingekuwaje kusingekuwa na mipaka kabisa?
00:49
I started to imagine what this would look like.
14
49812
3720
Nikaanza kufikiri hii ingeonekana vipi.
00:53
First, I created this tool
15
53556
2427
Kwanza,Nilitengeneza hii nyenzo
00:56
which penetrates into the digital space,
16
56007
2485
ambayo inapenyeza katika sehemu ya kidigitali,
00:58
so when you press it hard on the screen,
17
58516
2067
hivyo unavyobonyeza kwa nguvu katika skrini,
01:00
it transfers its physical body into pixels.
18
60607
3309
inabadili viungo halisi vya mwili katika pixeli.
01:03
Designers can materialize their ideas
19
63940
2088
Wabunifu wanaweza kutengeneza kitu halisi kutoka katika mawazo yao
01:06
directly in 3D,
20
66052
1672
moja kwa moja katika 3D,
01:07
and surgeons can practice on virtual organs
21
67748
2528
na wafanya upasuaji wanaweza jifunza kwa viungo bandia
01:10
underneath the screen.
22
70300
2200
chini ya skrini.
01:12
So with this tool, this boundary has been broken.
23
72524
4873
Kwa kifaa hiki,mpaka umevunjwa.
01:17
But our two hands still remain outside the screen.
24
77421
2943
Lakini mikono yetu miwili inabaki nje ya skrini.
01:20
How can you reach inside and interact
25
80388
2460
Unawezaje kufika ndani na kucheza
01:22
with the digital information
26
82872
1403
na taarifa za kidigitali
01:24
using the full dexterity of our hands?
27
84299
2980
kwa kutumia miondoko kamili ya mikono yetu?
01:27
At Microsoft Applied Sciences,
28
87303
2278
Nikiwa Microsoft
01:29
along with my mentor Cati Boulanger,
29
89605
1892
na mwalimu wangu Cati Boulanger,
01:31
I redesigned the computer
30
91521
1247
Niliibuni tena kompyuta
01:32
and turned a little space above the keyboard
31
92792
2857
na kubadili sehemu ndogo juu ya kichapa maandishi
01:35
into a digital workspace.
32
95673
2341
kuwa sehemu ya kidigitali.
01:38
By combining a transparent display and depth cameras
33
98038
2477
Kwa kuunganisha kioo kinachoonesja na kamera
01:40
for sensing your fingers and face,
34
100539
1626
kwa kugundua vidole vyako na uso,
01:42
now you can lift up your hands from the keyboard
35
102189
2286
sasa unaweza kunyanyua mkono wako toka kwenye kichapa maandishi
01:44
and reach inside this 3D space
36
104499
2814
na kufikia hii nafasi ya 3D
01:47
and grab pixels with your bare hands.
37
107337
2476
na kuzishika pixeli kwa mikono yako.
01:49
(Applause)
38
109837
2947
(Makofi)
01:52
Because windows and files have a position in the real space,
39
112808
4182
Kwa sababu madirisha na makabrasha yana nafasi katika uhalisia,
01:57
selecting them is as easy as grabbing a book off your shelf.
40
117014
3335
kuyachagua ni rahisi kama vile kutoa kitabu toka kabatini.
02:00
Then you can flip through this book
41
120373
2129
Halafu unaweza geuza kitabu hiki
02:02
while highlighting the lines, words
42
122526
1693
ukiwa unakoleza mistari,,maneno
02:04
on the virtual touch pad below each floating window.
43
124243
2540
kwenye mguso wa kufikirika chini ya dirisha lolote linaloelea.
02:06
Architects can stretch or rotate the models
44
126807
2511
Wasanifu majengi wanaweza kuminya au kuzungusha michoro
02:09
with their two hands directly.
45
129342
2401
kwa mikono yao miwili moja kwa moja.
02:11
So in these examples,
46
131767
1596
Katika mifano hii,
02:13
we are reaching into the digital world.
47
133387
2713
tunafikia dunia ya kidigitali.
02:16
But how about reversing its role
48
136124
2322
Lakini vipi kuhusu kurudisha nyuma lengo lake
02:18
and having the digital information reach us instead?
49
138470
4795
na kufanya taarifa za kidigitali zitufikie sisi badala?
02:23
I'm sure many of us have had the experience
50
143289
2048
Na uhakika wengi wetu tumewahi kuwa na uzoefu
02:25
of buying and returning items online.
51
145361
2083
kununua na kurudisha vitu tunavyonunua mtandaoni.
02:27
But now you don't have to worry about it.
52
147468
1953
Lakini sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi.
02:29
What I got here is an online augmented fitting room.
53
149445
4614
Nilichopata hapa ni kuweza kujaribisha ukiwa mtandaoni.
02:34
This is a view that you get from
54
154083
1878
Hivi ndivyo inavyoonekana
02:35
head-mounted or see-through display
55
155985
1720
kichwa kikiwa juu au kuona kupitia skrini
02:37
when the system understands the geometry of your body.
56
157729
5123
wakati mfumo unaelewa geometri ya mwili wako.
02:42
Taking this idea further, I started to think,
57
162876
3527
Kupeleka mawazo haya mbali,nikaanza kufikiria,
02:46
instead of just seeing these pixels in our space,
58
166427
3345
badala ya kuona hizi pixeli katika nafasi ya kufikirika
02:49
how can we make it physical
59
169796
1498
tunawezaje kuzifanya zionekane katika uhalisia
02:51
so that we can touch and feel it?
60
171318
4238
ambapo tunaweza kuzigusa na kuhisi?
02:55
What would such a future look like?
61
175580
3025
Je itaonekanaje?
02:58
At MIT Media Lab, along with my advisor Hiroshi Ishii
62
178629
3634
Katika maabara za MIT,nikiwa na mshauri wangu Hiroshi Ishii
03:02
and my collaborator Rehmi Post,
63
182287
1999
na mshirika wangu Rehmi Post,
03:04
we created this one physical pixel.
64
184310
3620
tulitengeneza hii pixeli moja ya uhalisia.
03:07
Well, in this case, this spherical magnet
65
187954
2600
Katika hali hii,sumaku ya mviringo
03:10
acts like a 3D pixel in our space,
66
190578
2328
inakuwa kama pixeli ya 3D katika nafasi ya kufikirika,
03:12
which means that both computers and people
67
192930
2880
inamaanisha kompyuta na watu
03:15
can move this object to anywhere
68
195834
1874
wanaweza kuhamisha hiki kitu kwenda kokote
03:17
within this little 3D space.
69
197732
1945
ndani ya hii nafasi ndogo ya 3D.
03:19
What we did was essentially canceling gravity
70
199701
3468
Tulichofanya ni kuepukana na nguvu ya uvutano wa usumaku wa dunia
03:23
and controlling the movement by combining
71
203193
2115
na kumudu miondoko kwa kuunganisha
03:25
magnetic levitation and mechanical actuation
72
205332
2800
mgeuko wa usumaku na jinsi inavyotenda kimakenika
03:28
and sensing technologies.
73
208156
2453
na kuhisi teknolojia.
03:30
And by digitally programming the object,
74
210633
2481
Na kuongoza kifaa kwa kidijitali,
03:33
we are liberating the object from constraints
75
213138
2753
tunaifanya sumaku ifanye kazi kwa kuangalia
03:35
of time and space, which means that now,
76
215915
3411
muda na nafasi,inamaanisha sasa,
03:39
human motions can be recorded and played back
77
219350
3872
muondoko wa mwanadamu unaweza kurekodiwa na kurudiwa
03:43
and left permanently in the physical world.
78
223246
3595
na kuachwa muda wote katika dunia ya uhalisia.
03:46
So choreography can be taught physically over distance
79
226865
3009
mafunzo ya kuigiza yanaweza fundishwa toka katika umbali
03:49
and Michael Jordan's famous shooting can be replicated
80
229898
2572
na jinsi Michael Jordan anavyorusha mipira inaweza kuigwa
03:52
over and over as a physical reality.
81
232494
3454
mara kwa mara kama kitu halisi.
03:55
Students can use this as a tool
82
235972
2156
Wanafunzi wanaweza tumia hiki kama kifaa
03:58
to learn about the complex concepts
83
238152
1918
cha kujifunza kuhusu mawazo magumu
04:00
such as planetary motion, physics,
84
240094
4060
kuhusu miondoko ya sayari,fizikia,
04:04
and unlike computer screens or textbooks,
85
244178
2795
tofauti na vioo vya kompyuta au vitabu,
04:06
this is a real, tangible experience
86
246997
2458
hii ni halisi,na uzoefu bora
04:09
that you can touch and feel, and it's very powerful.
87
249479
3634
ambapo unaweza shikana kuhisi,ina nguvu sana.
04:13
And what's more exciting
88
253137
1958
Na cha kufurahisha zaidi
04:15
than just turning what's currently in the computer physical
89
255119
3324
zaidi ya kubadili kilichopo katika kompyuta
04:18
is to start imagining how programming the world
90
258467
3165
ni kuanza kufikiri jinsi dunia ya ku-programu
04:21
will alter even our daily physical activities.
91
261656
3696
itaweza ongeza kazi zetu za kila siku.
04:27
(Laughter)
92
267460
2458
(Vicheko)
04:29
As you can see, the digital information
93
269942
2733
Kama unavyoona,taarifa za kidigitali
04:32
will not just show us something
94
272699
1494
zitatuonesha kitu fulani
04:34
but it will start directly acting upon us
95
274217
2086
lakini zitaanza ,moja kwa moja kwetu
04:36
as a part of our physical surroundings
96
276327
2275
kama moja ya mazingira halisi
04:38
without disconnecting ourselves from our world.
97
278626
4174
bila kutukatisha sisi kutoka katika dunia yetu.
04:42
Today, we started by talking about the boundary,
98
282824
4322
Leo,tumeanza kuongelea kuhusu mipaka,
04:47
but if we remove this boundary,
99
287170
2656
lakini tukiondoa hii mipaka,
04:49
the only boundary left is our imagination.
100
289850
3864
mpaka pekee ni utaobaki ni fikra zetu.
04:53
Thank you.
101
293738
1224
Asante.
04:54
(Applause)
102
294986
5085
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7