My year of living biblically | A.J. Jacobs

277,554 views ・ 2008-07-17

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
00:16
I thought I'd tell you a little about what I like to write.
0
16160
4000
Nimeona niwaeleze kidogo kuhusu kile ninachopenda kuandika
00:20
And I like to immerse myself in my topics.
1
20160
4000
Napenda kujikita hasa katika mada zangu.
00:24
I just like to dive right in and become sort of a human guinea pig.
2
24160
5000
Napenda kuzamia humo na kuwa kama nguruwe.
00:29
And I see my life as a series of experiments.
3
29160
5000
ninaona maisha yangu kama mkusanyiko wa majaribio
00:34
So, I work for Esquire magazine, and a couple of years ago,
4
34160
4000
Nafanya kazi na Jarida la Esquire, na miaka michache iliyopita
00:38
I wrote an article called "My Outsourced Life,"
5
38160
3000
Niliandika makala iliyoitwa "Maisha yangu kwenda kwa wengine"
00:41
where I hired a team of people in Bangalore, India,
6
41160
4000
ambapo niliajiri watu katika mji wa Bangalore, India
00:45
to live my life for me.
7
45160
2000
Kuyaishi kwa niaba yangu
00:47
So, they answered my emails.
8
47160
2000
Kwa hiyo walikuwa wanajibu barua pepe zangu
00:49
They answered my phone.
9
49160
2000
walijibu simu zangu
00:51
They argued with my wife for me, and they read my son bedtime stories.
10
51160
7000
Waligombana na mke wangu kwa niaba yangu,na kumsomea hadithi mtoto wangu wa kiume
00:58
It was the best month of my life,
11
58160
2000
ulikuwa ni mwezi mzuri sana wa maisha yangu
01:00
because I just sat back and I read books and watched movies.
12
60160
5000
Kwa sababu nilikaa tu nikisoma vitabu na kuangalia filamu
01:05
It was a wonderful experience.
13
65160
2000
Hii ilikuwa hali nzuri sana
01:07
More recently, I wrote an article for Esquire called --
14
67160
3000
Hivi karibuni, nimeandika makala kwa ajili ya jarida la Esquire
01:10
about radical honesty.
15
70160
3000
Kuhusu kuwa mwaminifu hasa
01:13
And this is a movement where --
16
73160
2000
Na huu ni muunganiko wa watu
01:15
this is started by a psychologist in Virginia,
17
75160
4000
ulioanzishwa na mwanasaikolojia katika mji wa Virginia
01:19
who says that you should never, ever lie,
18
79160
3000
Ambaye anasema usiseme uongo kabisa.
01:22
except maybe during poker and golf, his only exceptions.
19
82160
5000
labda tu wakati unacheza kamari au mchezo wa golf.
01:27
And, more than that, whatever is on your brain
20
87160
2000
Na zaidi ya hapo, chochote kilicho katika ubongo wako
01:29
should come out of your mouth.
21
89160
2000
kinatakiwa kitoke katika mdomo wako
01:31
So, I decided I would try this for a month.
22
91160
3000
Niliamua kuwa nitajaribu kwa mwezi mmoja.
01:34
This was the worst month of my life.
23
94160
3000
Huu ulikuwa ni mwezi mbaya sana wa maisha yangu
01:37
(Laughter)
24
97160
1000
(Vicheko)
01:38
I do not recommend this at all.
25
98160
2000
Sipendekezi hatua hii kwa mtu yeyote
01:40
To give you a sense of the experience,
26
100160
2000
Kukujulisha jinsi hali inavyokuwa,
01:42
the article was called, "I Think You're Fat."
27
102160
4000
Makala iliitwa "Nafikiri wewe ni mnene"
01:46
(Laughter)
28
106160
2000
(Vicheko)
01:48
So, that was hard.
29
108160
1000
Kwa hiyo,ilikuwa ngumu
01:50
My most recent book -- my previous book was called "The Know-It-All,"
30
110160
4000
Kitabu cha karibuni, kitabu cha zamani kinaitwa "kujua yote"
01:55
and it was about the year I spent reading the Encyclopedia Britannica
31
115160
4000
Ulikuwa ni mwaka niliosoma kitabu cha Encyclopedia Britannica.
01:59
from A to Z in my quest to learn everything in the world,
32
119160
3000
Kutokea mwanzo mpaka mwisho, katika nia yangu ya kujifunza kila kitu katika Dunia
02:03
or more precisely from Aak, which is a type of East Asian music,
33
123160
5000
au pia kutoka A-ak ambao ni aina ya muziki kutoka Mashariki ya Asia.
02:08
all the way to Zwyiec, which is -- well, I don't want to ruin the ending.
34
128160
4000
Mpaka Zwyiec,ambayo ni -- sitaki kuharibu mwisho wake.
02:12
(Laughter)
35
132160
1000
(Vicheko)
02:13
It's a very exciting twist ending, like an O. Henry novel, so I won't ruin it.
36
133160
4000
Ina mabadiliko ya ajabu mwishoni kama kitabu cha hadithi cha Henry, kwa hiyo sitaki kuharibu.
02:17
But I love that one,
37
137160
2000
lakini naipenda hiyo
02:19
because that was an experiment about how much information
38
139160
4000
Kwa sababu hili lilikuwa ni zoezi kuhusu taarifa kiasi gani.
02:23
one human brain could absorb.
39
143160
2000
ubongo mmoja unaweza kuchukua,
02:25
Although, listening to Kevin Kelly, you don't have to remember anything.
40
145160
4000
ingawa ukimsikiliza Kevin Kelly, hauhitaji kukumbuka chochote.
02:29
You can just Google it.
41
149160
2000
unaweza ukaitafuta katika mtandao wa Google
02:31
So, I wasted some time there.
42
151160
2000
kwa hiyo nilipoteza muda kidogo hapo
02:33
I love those experiments,
43
153160
3000
nayapenda majaribio kama hayo
02:36
but I think that the most profound
44
156160
2000
lakini nadhani jaribio muhimu zaidi
02:38
and life-changing experiment that I've done
45
158160
4000
na lililobadilisha maisha yangu
02:42
is my most recent experiment, where I spent a year
46
162160
4000
ni hili la karibuni, ambapo nilikaa mwaka moja
02:46
trying to follow all of the rules of the Bible,
47
166160
3000
nikijitahidi kufuata maelekezo ya Biblia
02:49
"The Year of Living Biblically."
48
169160
2000
"Mwaka wa kuishi Kibiblia"
02:52
And I undertook this for two reasons.
49
172160
3000
na nilifanya hivi kwa sababu mbili
02:55
The first was that I grew up with no religion at all.
50
175160
4000
Kwanza, ni kwa sababu nilikua bila dini kabisa
02:59
As I say in my book, I'm Jewish in the same way
51
179160
4000
Kama navyosema katika kitabu changu, ni Myahudi kama vile
03:03
the Olive Garden is Italian.
52
183160
2000
Kama vile bustani ya mizeituni ilivyo ya kiitaliano
03:05
(Laughter)
53
185160
2000
(vicheko)
03:07
So, not very.
54
187160
2000
Kwa hiyo sio sana
03:09
But I've become increasingly interested in religion.
55
189160
3000
Lakini nimevutiwa sana na dini
03:12
I do think it's the defining issue of our time,
56
192160
2000
Na amini ni jambo muhimu sana kwa kipindi hiki
03:14
or one of the main ones.
57
194160
2000
moja muhimu kati ya mengi
03:16
And I have a son. I want to know what to teach him.
58
196160
3000
Na nina mtoto wa kiume na nataka nijue jinsi ya kumfundisha.
03:19
So, I decided to dive in head first, and try to live the Bible.
59
199160
4000
kwa hiyo nikaamua kuishi kwa kufuata Biblia
03:24
The second reason I undertook this is because
60
204160
3000
Sababu ya pili ni kuwa
03:27
I'm concerned about the rise of fundamentalism,
61
207160
3000
ninaguswa na mwongezeko wa uhafidhina
03:30
religious fundamentalism, and people who say
62
210160
3000
uhafidhina wa kidini, na watu wanaosema
03:33
they take the Bible literally, which is, according to some polls,
63
213160
3000
Wanaifuata Biblia kama ilivyo, na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali
03:36
as high as 45 or 50 percent of America.
64
216160
3000
Asilimia karibu 45 au 50 ya wamarekani
03:40
So I decided, what if you really did take the Bible literally?
65
220160
4000
Kwa hiyo nikaamua, itakuwaje kama utaifuata Biblia kama ilivyo?
03:44
I decided to take it to its logical conclusion
66
224160
4000
nikaamua kuifuata
03:48
and take everything in the Bible literally,
67
228160
2000
kufuata kila kama kilivyo
03:50
without picking and choosing.
68
230160
3000
bila kuchuja wala kubagua
03:53
The first thing I did was I got a stack of bibles.
69
233160
3000
Kitu cha kwanza nilichofanya ilikuwa ni kutafuta Biblia nyingi
03:56
I had Christian bibles.
70
236160
2000
Nilikuwa na Biblia ya Kikristo
03:58
I had Jewish bibles.
71
238160
2000
Nilikuwa na Biblia ya Kiyahudi
04:00
A friend of mine sent me something called a hip-hop bible,
72
240160
3000
Rafiki yangu alinitumia Biblia ya kufoka foka,
04:03
where the twenty-third Psalm is rendered as, "The Lord is all that,"
73
243160
4000
Ambayo Zaburi ya 23, inasema "Bwana ndiye kila kitu",
04:07
as opposed to what I knew it as, "The Lord is my shepherd."
74
247160
4000
Badala ya "Bwana ndiye mchungaji wangu" kama ninavyojua
04:11
Then I went down and I read several versions,
75
251160
4000
Na nikaendelea na kusoma tafsiri mbalimbali
04:15
and I wrote down every single law that I could find.
76
255160
3000
Na nikaandika kila agizo ambalo niliweza kuliona
04:18
And this was a very long list -- over 700 rules.
77
258160
4000
hii ilikuwa orodha ndefu -- zaidi ya maagizo 700
04:23
And they range from the famous ones that I had heard of --
78
263160
3000
Kuanzia yale maarufu ambayo niliwahi kuyasikia
04:26
The Ten Commandments, love your neighbor, be fruitful and multiply.
79
266160
3000
Amri kumi, mpende jirani yako,enendeni mkaijaze nchi.
04:29
So I wanted to follow those.
80
269160
2000
Kwa hiyo nikataka kuzifuata
04:31
And actually, I take my projects very seriously,
81
271160
3000
Na kwa kweli nilichukulia jambo kwa uzito sana
04:34
because I had twins during my year,
82
274160
2000
Kwa sababu nilipata watoto mapacha katika mwaka huo
04:36
so I definitely take my projects seriously.
83
276160
3000
kwa hiyo nilichukulia jambo hili kwa uzito unaostahili
04:39
But I also wanted to follow the hundreds
84
279160
3000
lakini pia nilitaka kufuata mamia
04:42
of arcane and obscure laws that are in the Bible.
85
282160
3000
ya maagizo ambayo hayajulikani na wengi ndani ya Biblia
04:45
There is the law in Leviticus,
86
285160
2000
Kuna agizo katika Walawi
04:47
"You cannot shave the corners of your beard."
87
287160
2000
Linalosema hauwezi kunyoa kona ya masharubu yako
04:49
I didn't know where my corners were,
88
289160
2000
sikujua kona yangu itakuwa wapi,
04:51
so I decided to let the whole thing grow,
89
291160
3000
kwa hiyo nikaacha ziendelee kukua
04:54
and this is what I looked like by the end.
90
294160
2000
na hivi ndivyo nilivyokuwa mwishowe
04:57
As you can imagine, I spent a lot of time at airport security.
91
297160
4000
Na kama unavyoweza kufikiri, nilikuwa nasimamishwa sana na watu wa usalama katika viwanja vya ndege
05:01
(Laughter)
92
301160
2000
(Vicheko)
05:03
My wife wouldn't kiss me for the last two months.
93
303160
3000
Mke wangu hakutaka kunibusu katika miezi miwili ya mwisho
05:06
So, certainly the challenge was there.
94
306160
2000
Kwa kweli,ilikuwa ni changamoto
05:08
The Bible says you cannot wear clothes made of mixed fibers,
95
308160
5000
Biblia inasema hauwezi kuvaa nguo zinazotokana na mchanganyiko wa nyuzi
05:13
so I thought, "Sounds strange, but I'll try it."
96
313160
2000
kwa hiyo nikaona kuwa ni kitu kigeni lakini nikasema nitajaribu
05:15
You only know if you try it.
97
315160
2000
hauwezi kujua bila kujaribu
05:17
I got rid of all my poly-cotton T-shirts.
98
317160
3000
nikaachana na fulana zangu za mchanganyiko mbalimbali
05:20
The Bible says that if two men are in a fight,
99
320160
4000
Biblia inasema kama wanaume wawili wanapigana
05:24
and the wife of one of those men grabs the testicles of the other man,
100
324160
6000
na mke wa mmoja wao akashika sehemu za siri za mwingine
05:30
then her hand shall be cut off.
101
330160
2000
mkono wake unatakiwa ukatwe
05:32
So, I wanted to follow that rule.
102
332160
2000
kwa hiyo nikataka nifuate agizo hilo
05:34
(Laughter)
103
334160
1000
(Vicheko)
05:35
That one I followed by default,
104
335160
3000
kwa hiyo nikalifuata bila kutaka
05:38
by not getting in a fight with a man whose wife was standing nearby,
105
338160
4000
kwa kutopigana na mwanaume ambaye mke wake alikuwa anasimama karibu,
05:42
looking like she had a strong grip.
106
342160
2000
ambaye alionekana kama anaweza akanishika vizuri
05:45
(Laughter)
107
345160
2000
(Vicheko)
05:48
So -- oh, there's another shot of my beard.
108
348160
3000
na hii pia ni picha yangu nyingine ya sharubu zangu
05:52
I will say it was an amazing year
109
352160
2000
ulikuwa ni mwaka wa ajabu
05:54
because it really was life changing, and incredibly challenging.
110
354160
3000
kwa kuwa nilibadilishwa na pia ilikuwa ni changamoto ya ajabu
05:57
And there were two types of laws that were particularly challenging.
111
357160
3000
kulikuwa na maagizo mawili ambayo yalinipa changamoto za kipekee
06:00
The first was avoiding the little sins that we all commit every day.
112
360160
4000
Kwanza ilikuwa ni kujiepusha na dhambi ndogo tunazozifanya kila siku
06:04
You know, I could spend a year not killing,
113
364160
2000
Ninaweza kukaa mwaka mzima bila kuua
06:06
but spending a year not gossiping, not coveting, not lying --
114
366160
5000
Lakini kukaa mwaka mzima bila kusengenya,bila kutamani,au kudanganya--
06:11
you know, I live in New York, and I work as a journalist,
115
371160
3000
Ninaishi New York, na nafanya kazi kama mwandishi wa habari
06:14
so this was 75, 80 percent of my day I had to do it.
116
374160
5000
kwa hiyo asilimia 75, 80 ya siku ilibidi nifanye
06:19
But it was really interesting, because I was able to make some progress,
117
379160
5000
lakini ilikuwa ni ya kupendekeza, na nilifanikiwa kupiga hatua
06:24
because I couldn't believe how much
118
384160
2000
kwa kuwa sikuamini kwa kiasi gani
06:26
my behavior changed my thoughts.
119
386160
3000
matendo yangu yalibadilisha mawazo yangu
06:29
This was one of the huge lessons of the year,
120
389160
2000
ili lilikuwa ni somo kubwa sana kwa mwaka huo,
06:31
is that I almost pretended to be a better person,
121
391160
3000
ni kwamba nilijifanya kuwa mtu mzuri
06:34
and I became a little bit of a better person.
122
394160
3000
na nikafanikiwa kuwa mtu mzuri kidogo
06:37
So I had always thought, you know, "You change your mind,
123
397160
5000
nimekuwa kila wakati nikifikiri, "Badilisha mawazo yako,
06:42
and you change your behavior," but it's often the other way around.
124
402160
3000
na utabadilisha pia matendo yako, lakini mara nyingi inakuwa ni kinyume.
06:45
You change your behavior, and you change your mind.
125
405160
5000
Unabadilisha matendo yako, na pia unabadilisha mawazo yako.
06:50
So, you know, if you want to become more compassionate,
126
410160
3000
Kwa hiyo kama unataka kuwa mwema
06:53
you visit sick people in the hospital,
127
413160
2000
unatembelea wagonjwa hospitalini
06:55
and you will become more compassionate.
128
415160
2000
na utakuwa mwema
06:57
You donate money to a cause,
129
417160
2000
unachangia pesa katika jambo fulani,
06:59
and you become emotionally involved in that cause.
130
419160
3000
na unajihusisha na jambo hilo
07:02
So, it really was cognitive psychology --
131
422160
2000
kwa hiyo ilikuwa ni fikra za kisaikolojia
07:05
you know, cognitive dissonance -- that I was experiencing.
132
425160
3000
unajua ilikuwa ni hali kutojisikia vizuri ambayo ilinikumba
07:08
The Bible actually talks about cognitive psychology,
133
428160
3000
Biblia inaongelea kuhusu fikra za kisaikolojia
07:11
very primitive cognitive psychology.
134
431160
2000
fikra za kisaikolojia za kizamani sana
07:13
In the Proverbs, it says that if you smile, you will become happier,
135
433160
4000
Katika Mithali, inasema kama ukitabasamu,utakuwa na furaha.
07:17
which, as we know, is actually true.
136
437160
3000
Ambavyo kama tunavyojua ni kweli
07:20
The second type of rule that was difficult to obey
137
440160
4000
Aina ya pili ya agizo ambayo ilikuwa ngumu kufuata,
07:24
was the rules that will get you into a little trouble
138
444160
3000
Ilikuwa ni agizo ambalo litakuingiza katika matatizo kidogo
07:27
in twenty-first-century America.
139
447160
2000
Katika Marekani ya karne ya 21.
07:30
And perhaps the clearest example of this is stoning adulterers.
140
450160
5000
Na mfano mzuri wa hii ni kuwapiga mawe wazinzi
07:35
(Laughter)
141
455160
1000
(Vicheko)
07:36
But it's a big part of the Bible,
142
456160
4000
Lakini ni sehemu kubwa ya Biblia
07:40
so I figured I had to address it.
143
460160
2000
Kwa hiyo nikaona ni vizuri niiongelee
07:43
So, I was able to stone one adulterer.
144
463160
2000
Kwa hiyo niliweza kumpiga mawe mzinzi mmoja
07:45
It happened -- I was in the park, and I was dressed in my biblical clothing,
145
465160
5000
ilitokea, nilikuwa katika bustani, na nilikuwa nimevaa mavazi yangu ya kibiblia
07:50
so sandals and sort of a white robe,
146
470160
3000
sandoz na kanzu nyeupe
07:53
you know, because again, the outer affects the inner.
147
473160
2000
kama unavyojua tena, nje kunaathiri ndani.
07:55
I wanted to see how dressing biblically affected my mind.
148
475160
3000
Nilitaka kuona uvaaji wa kibiblia utaathiri vipi mawazo yangu
07:59
And this man came up to me and he said,
149
479160
2000
na mtu mmoja akaja akaniambia
08:01
"Why are you dressed like that?"
150
481160
2000
Kwa nini umevaa hivyo?
08:03
And I explained my project,
151
483160
2000
Nikamweleza kuhusu zoezi langu,
08:05
and he said, "Well, I am an adulterer, are you going to stone me?"
152
485160
3000
Na akasema mimi ni mzinzi je utanipiga mawe?
08:08
And I said, "Well, that would be great!"
153
488160
3000
Nikasema, "nadhani hiyo itakuwa nzuri"
08:11
(Laughter)
154
491160
4000
(Vicheko)
08:16
And I actually took out a handful of stones from my pocket
155
496160
5000
Nikachukua mawe kadhaa kutoka katika mfuko wangu
08:21
that I had been carrying around for weeks,
156
501160
2000
ambayo nilikuwa nimeyabeba kwa wiki kadhaa
08:23
hoping for just this interaction -- and, you know, they were pebbles --
157
503160
4000
nikitumaini kupata nafasi kama hii, na yalikuwa mawe madogo tu
08:27
but he grabbed them out of my hand.
158
507160
3000
lakini aliyachukua kutoka katika mkono wangu
08:30
He was actually an elderly man, mid-70s, just so you know.
159
510160
3000
alikuwa ni mtu mzima,katikati ya miaka sabini.
08:33
But he's still an adulterer, and still quite angry.
160
513160
2000
lakini bado alikuwa ni mzinzi, na mwenye hasira
08:35
He grabbed them out of my hand
161
515160
2000
aliyachukua kutoka mkononi mwangu
08:37
and threw them at my face, and I felt that I could --
162
517160
3000
akanirushia usoni, na nikahisi kuwa
08:40
eye for an eye -- I could retaliate, and throw one back at him.
163
520160
4000
jicho kwa jicho, ningeweza kumrudishia, nikamrushia moja.
08:44
So that was my experience stoning, and it did allow me
164
524160
3000
Kwa hiyo,huo ndio ulikuwa uzoefu wangu,kuhusu kupiga mawe,na uliniruhusu
08:47
to talk about, in a more serious way, these big issues.
165
527160
5000
kuongelea kwa uzito zaidi mambo mazito haya
08:52
How can the Bible be so barbaric in some places,
166
532160
4000
Kwa nini Biblia ni ya kikatili katika sehemu nyingine,
08:56
and yet so incredibly wise in others?
167
536160
2000
Na papo hapo imejaa hekima kupindukia katika maeneo mengine
08:59
How should we view the Bible?
168
539160
2000
Tuiangalieje Biblia?
09:01
Should we view it, you know, as original intent,
169
541160
2000
Je tuiangalie katika dhumuni lake halisi
09:03
like a sort of a Scalia version of the Bible?
170
543160
4000
Kama tafsiri ya Scalia ya Biblia?
09:08
How was the Bible written?
171
548160
2000
Je Biblia iliandikwaje?
09:10
And actually, since this is a tech crowd,
172
550160
2000
Na kwa kuwa hii ni hadhara ya watu wa teknolojia
09:12
I talk in the book about how the Bible actually reminds me
173
552160
4000
Ninaongelea katika kitabu jinsi Biblia ambavyo inanikumbusha,
09:16
of the Wikipedia, because it has all of these authors and editors
174
556160
3000
Kuhusu Wikipedia wa sababu ina waandishi na wahariri
09:19
over hundreds of years.
175
559160
2000
mbalimbali kwa zaidi ya mamia ya miaka
09:21
And it's sort of evolved.
176
561160
2000
Na imeendela kubadilika
09:23
It's not a book that was written and came down from on high.
177
563160
3000
Sio kitabu kilichoandikwa na kushuka kutoka juu
09:28
So I thought I would end by telling you
178
568160
4000
Nafikiri nimalizie kwa kuwaeleza
09:32
just a couple of the take-aways, the bigger lessons
179
572160
3000
kuhusu mambo makubwa
09:35
that I learned from my year.
180
575160
2000
niliyojifunza katika mwaka huu
09:38
The first is, thou shalt not take the Bible literally.
181
578160
4000
Cha kwanza, Usichukue neno katika Biblia bila kulielewa
09:42
This became very, very clear, early on.
182
582160
3000
Hii ilikuwa dhahiri kwangu mwanzoni kabisa
09:45
Because if you do, then you end up acting like a crazy person,
183
585160
3000
Kwa sababu kama ukifanya hivyo,utakuwa kama mtu aliyechanganyikiwa
09:48
and stoning adulterers, or -- here's another example.
184
588160
3000
kuwapiga mawe wazinzi au mfano mwingine
09:51
Well, that's another. I did spend some time shepherding.
185
591160
5000
nilikaa nikichunga kondoo
09:56
(Laughter)
186
596160
1000
(Vicheko)
09:57
It's a very relaxing vocation. I recommend it.
187
597160
3000
ni kazi nzuri, napendekeza kwa wengine
10:01
But this one is -- the Bible says that you cannot touch women
188
601160
4000
Lakini pia Biblia inasema hauwezi kumshika mwanamke
10:05
during certain times of the month, and more than that,
189
605160
3000
akiwa katika siku zake za hedhi
10:08
you cannot sit on a seat where a menstruating woman has sat.
190
608160
3000
Hauruhusiwi kukaa katika kiti ambacho mwanamke aliye katika hedhi alikaa
10:12
And my wife thought this was very offensive,
191
612160
2000
Mke wangu hakuipenda hii
10:14
so she sat in every seat in our apartment,
192
614160
2000
kwa hiyo akawa anakaa katika kila kiti katika nyumba yetu
10:16
and I had to spend much of the year standing
193
616160
3000
ilibidi niishi karibia mwaka wote nikiwa nasimama
10:19
until I bought my own seat and carried it around.
194
619160
6000
mpaka niliponunua kiti changu na kuwa nakibeba
10:25
So, you know, I met with creationists.
195
625160
4000
nilikutana na watu wanaoamini kuhusu uumbaji
10:29
I went to the creationists' museum.
196
629160
2000
nikaenda katika makumbusho ya watu hawa
10:31
And these are the ultimate literalists.
197
631160
2000
hawa ni wale wanaochukua maneno kama yalivyo
10:33
And it was fascinating, because they were not stupid people at all.
198
633160
3000
ilipendeza sana, kwa kuwa hawakuwa wajinga kabisa.
10:36
I would wager that their IQ is exactly the same as the average evolutionist.
199
636160
3000
ufahamu wao ulikuwa ni sawa sawa na wale wasioamini juu ya uumbaji
10:39
It's just that their faith is so strong
200
639160
3000
Tofauti ni kuwa imani ni kubwa sana
10:42
in this literal interpretation of the Bible
201
642160
2000
Katika tafsiri hii ya Biblia
10:44
that they distort all the data to fit their model.
202
644160
4000
ambayo imebadilishwa ili kwendana na mawazo yao
10:49
And they go through these amazing mental gymnastics to accomplish this.
203
649160
4000
Na wanabadilisha vitu ili kufanikisha hii.
10:53
And I will say, though, the museum is gorgeous.
204
653160
5000
Ingawa nitasema kuwa makumbusho ni nzuri sana.
10:58
They really did a fantastic job.
205
658160
2000
walifanya kazi nzuri sana
11:00
If you're ever in Kentucky,
206
660160
1000
kama itatokea kuwa Kentucky,
11:01
there's, you can see a movie of the flood,
207
661160
3000
Pale -- unaweza kuona filamu ya gharika,
11:04
and they have sprinklers in the ceiling
208
664160
2000
na wana vibomba vidogo vidogo katika dari
11:06
that will sprinkle on you during the flood scenes.
209
666160
4000
ambavyo vitakumwagia maji katika sehemu ambayo filamu inaonyesha mafuriko
11:10
So, whatever you think of creationism -- and I think it's crazy --
210
670160
3000
Kwa hiyo vyovyote unavyofikiri kuhusu uumbaji
11:13
they did a great job.
211
673160
2000
walifanya kazi nzuri
11:16
(Laughter)
212
676160
2000
(Vicheko)
11:18
Another lesson is that thou shalt give thanks.
213
678160
4000
Somo jingine ni kuwa unatakiwa uwe ni mtu wa shukrani
11:22
And this one was a big lesson because I was praying,
214
682160
4000
na hili lilikuwa ni somo kubwa kwa kuwa nilikuwa ninaomba
11:26
giving these prayers of thanksgiving, which was odd for an agnostic.
215
686160
4000
nikitoa maombi ya shukrani,
11:30
But I was saying thanks all the time, every day,
216
690160
4000
Nilikuwa nasema asante wakati wote, kila siku,
11:34
and I started to change my perspective.
217
694160
3000
nikaanza kubadilisha mtazamo wangu
11:37
And I started to realize the hundreds of little things
218
697160
3000
nikaanza kutambua vitu vidogo vidogo vingi
11:40
that go right every day, that I didn't even notice,
219
700160
4000
ambavyo vinatokea kila siku, ambavyo sikuweza hata kuvijua
11:44
that I took for granted, as opposed to focusing
220
704160
2000
ambavyo sikuvizingatia, toauti na kutiliaa maanani
11:46
on the three or four that went wrong.
221
706160
3000
kati ya vitatu au vinne ambavyo havikwenda vizuri
11:50
So, this is actually a key to happiness for me,
222
710160
2000
kwa huu ndiyo ufunguo wa furaha kwangu mimi
11:53
is to just remember when I came over here,
223
713160
2000
ni kukumbuka kuwa nilipokuja hapa
11:55
the car didn't flip over, and I didn't trip coming up the stairs.
224
715160
4000
gari halikupinduka, na sikuteleza wakati napanda ngazi
11:59
It's a remarkable thing.
225
719160
2000
ni kitu cha ajabu sana
12:03
Third, that thou shall have reverence.
226
723160
2000
Tatu,unatakiwa uwe na hofu ya Mungu
12:05
This one was unexpected because I started the year
227
725160
3000
Hii sikuitegemea, kwa sababu nilianza mwaka
12:08
as an agnostic, and by the end of the year,
228
728160
2000
Kama mtu asiye na hakika na uwepo wa Mungu, lakini mwishoni mwa mwaka
12:10
I became what a friend of mine calls a reverent agnostic, which I love.
229
730160
5000
Nikawa kama rafiki yangu anavyopenda kusema,asiyeamini mwenye hofu ya Mungu,kitu ambacho nakipenda
12:15
And I'm trying to start it as a movement.
230
735160
2000
Na nataka nianzishe muungano wa watu wa namna hii
12:17
So, if anyone wants to join,
231
737160
2000
kama mtu yoyote anataka kujiunga
12:19
the basic idea is, whether or not there is a God,
232
739160
3000
wazo kuu ni, kama Mungu yupo au la,
12:22
there's something important and beautiful about the idea of sacredness,
233
742160
4000
Kuna kitu muhimu na kizuri kuhusu utakatifu
12:26
and that our rituals can be sacred.
234
746160
2000
na mambo yetu ya kila siku yanaweza yakawa matakatifu
12:28
The Sabbath can be sacred.
235
748160
3000
Sabato inaweza ikawa takatifu
12:31
This was one of the great things about my year, doing the Sabbath,
236
751160
3000
Hiki kile ni kitu kizuri sana katika mwaka huu kwa kuifuata Sabato
12:34
because I am a workaholic, so having this one day
237
754160
4000
Kwa sababu napenda sana kufanya kazi,kwa hiyo kupata hii siku moja
12:38
where you cannot work, it really, that changed my life.
238
758160
3000
ambayo haufanyi kazi ,ilibadilisha maisha yangu.
12:42
So, this idea of sacredness, whether or not there is a God.
239
762160
4000
Kwa hiyo wazo hili la utakatifu,bila kujali kama Mungu yupo au la,
12:47
Thou shall not stereotype.
240
767160
2000
Usilidharau
12:49
This one happened because
241
769160
2000
Hii imetokea kwa sababu
12:51
I spent a lot of time with various religious communities
242
771160
3000
kwa sababu natumia muda mwingi na jamii za dini mbalimbali
12:54
throughout America because I wanted it to be more
243
774160
2000
katika maeneo mengi ya Marekani, na nilitaka pia
12:56
than about my journey.
244
776160
2000
iwe zaidi tu ya safari yangu
12:58
I wanted it to be about religion in America.
245
778160
3000
Nilitaka iwe ni kuhusu dini nchini Marekani
13:01
So, I spent time with evangelical Christians, and Hasidic Jews, and the Amish.
246
781160
4000
Kwa nakaa na wakristo waliookoka, na wayahudi.
13:05
I'm very proud because
247
785160
2000
Ninajivunia kwa kuwa
13:07
I think I'm the only person in America
248
787160
2000
nadhani ni mtu pekee Marekani yote
13:09
to out Bible-talk a Jehovah's Witness.
249
789160
3000
Kuongelea Biblia kumshinda Shahidi wa Yehova
13:12
(Laughter)
250
792160
1000
(Vicheko)
13:13
After three and a half hours, he looked at his watch,
251
793160
3000
Baada ya masaa matatu aliangalia saa yake,
13:16
he's like, "I gotta go."
252
796160
2000
na akasema,"inabidi niondoke"
13:18
(Laughter)
253
798160
2000
(Vicheko)
13:20
Oh, thank you very much.
254
800160
1000
Asante sana
13:25
Thank you. Bless you, bless you.
255
805160
1000
Asante sana. mbarikiwe
13:27
But it was interesting
256
807160
2000
lakini pia cha kuvutia
13:29
because I had some very preconceived notions about, for instance,
257
809160
3000
ni kwa sababu nilikuwa na mawazo yangu mwenyewe kuhusu kwa mfano,
13:32
evangelical Christianity, and I found that
258
812160
4000
Ukristo wa kuokoka, na nilikuja kujua
13:36
it's such a wide and varied movement
259
816160
2000
Ni eneo pana na lenye tofauti mbalimbali
13:38
that it is difficult to make generalizations about it.
260
818160
5000
Na hauwezi ukawa na maelezo ya jumla juu ya kundi hili
13:44
There's a group I met with called the Red Letter Christians,
261
824160
3000
Kuna nikundi nilikutana nacho kiitwacho Wakristo wa Barua nyekundu,
13:47
and they focus on the red words in the Bible,
262
827160
3000
Na wao wanaangalia maneno mekundu katika Biblia,
13:50
which are the ones that Jesus spoke.
263
830160
2000
Ambayo ndiyo yale yaliyotamkwa na Yesu
13:52
That's how they printed them in the old Bibles.
264
832160
2000
ambayo ndivyo yalivyochapishwa katika Biblia za zamani.
13:54
And their argument is that Jesus never talked about homosexuality.
265
834160
5000
Na wao wanasema kuwa Yesu hakusema chochote kuhusu ushoga na usagaji.
13:59
They have a pamphlet that says,
266
839160
2000
Wana kijarida ambacho kinasema,
14:01
"Here's what Jesus said about homosexuality,"
267
841160
2000
"hivi Ndivyo Yesu alivyosema kuhusu Usagaji na Ushoga"
14:03
and you open it up, and there's nothing in it.
268
843160
2000
Na ukifungua,Hautakuta kitu chochote.
14:06
So, they say Jesus did talk a lot about helping the outcasts,
269
846160
6000
Kwa hiyo wanasema Yesu aliongelea sana kuhusu kuwasaidia watu waliotengwa,
14:12
helping poor people.
270
852160
3000
Kuwasaidia maskini.
14:15
So, this was very inspiring to me.
271
855160
3000
Kwa hiyo ilikuwa changamoto kubwa kwangu.
14:19
I recommend Jim Wallis and Tony Campolo.
272
859160
4000
Ninawapendekeza kwenu Jim Wallace na Tony Campolo.
14:24
They're very inspiring leaders, even though I disagree
273
864160
4000
Ni viongozi wanaotoa hamasa sana,ingawa sikubaliana,
14:28
with much of what they say.
274
868160
2000
Na mengi wanayoyasema.
14:30
Also, thou shalt not disregard the irrational.
275
870160
3000
Pia hautakiwi kudharau kitu kisichoeleweka
14:33
This one was very unexpected because, you know,
276
873160
4000
Hii sikuitegemea kwa kuwa
14:37
I grew up with the scientific worldview,
277
877160
3000
Nimekulia katika ulimwengu wa sayansi,
14:40
and I was shocked learning how much of my life
278
880160
7000
na nilishangaa kuona jinsi maisha yangu
14:47
is governed by irrational forces.
279
887160
3000
yanavyoongozwa na nguvu zisizoeleweka.
14:50
And the thing is, if they're not harmful,
280
890160
3000
Na kama kitu hakiumizi,
14:54
they're not to be completely dismissed.
281
894160
2000
si kitu cha kudharau moja kwa moja.
14:56
Because I learned that -- I was thinking, I was
282
896160
4000
Kwa sababu nimejifunza kuwa-- nilikuwa nafikiri
15:00
doing all these rituals, these biblical rituals,
283
900160
3000
kufanya mambo yote haya, ya Kibiblia,
15:03
separating my wool and linen, and I would ask these religious people
284
903160
3000
kutenganisha nguo zangu,na nilikuwa nikiwauliza watu wa dini,
15:07
"Why would the Bible possibly tell us to do this? Why would God care?"
285
907160
4000
Kwa nini Biblia itueleze hivi?Kwa nini Mungu ajali?
15:11
And they said, "We don't know,
286
911160
2000
Na wakasema,"Hatujui,
15:13
but it's just rituals that give us meaning."
287
913160
4000
lakini ni mambo ambayo yanatupa sisi maana"
15:17
And I would say, "But that's crazy."
288
917160
2000
Na nikawa nasema, "Lakini huu ni ujinga."
15:19
And they would say, "Well, what about you?
289
919160
2000
na wao wakasema,"je vipi kuhusu wewe?
15:21
You blow out candles on top of a birthday cake.
290
921160
4000
unapuliza mishumaa iliyo juu ya keki ya siku ya kuzaliwa.
15:26
If a guy from Mars came down and saw, here's one guy
291
926160
4000
Kama mtu kutoka sayari ya Mars akija na kuona mtu
15:30
blowing out the fire on top of a cake
292
930160
4000
anapuliza moto juu ya keki
15:34
versus another guy not wearing clothes of mixed fabrics,
293
934160
4000
na mtu mwingine ambaye havai mavazi ya vitambaa mchanganyiko
15:38
would the Martians say, 'Well, that guy, he makes sense,
294
938160
4000
Je watu hawa kutoka sayari ya Mars unafikiri watasema, "mtu huyu anafanya kitu cha kueleweka
15:42
but that guy's crazy?'"
295
942160
2000
Lakini huyu anafanya ujinga?"
15:44
So no, I think that rituals are, by nature, irrational.
296
944160
5000
Kwa hiyo nafikiri mapokeo mengi ni vitu visivyoeleweka.
15:49
So the key is to choose the right rituals,
297
949160
3000
Kwa hiyo muhimu ni kuchagua mapokeo mazuri,
15:52
the ones that are not harmful -- but rituals by themselves
298
952160
6000
yale ambayo hayakuumizi, lakini mapokeo yenyewe
15:58
are not to be dismissed.
299
958160
2000
hayatakiwi kudharauliwa
16:01
And finally I learned that thou shall pick and choose.
300
961160
4000
Na pia nilijifunza pia kuwa unatakiwa kuangalia vizuri na kuchagua.
16:05
And this one I learned because
301
965160
2000
Na hii nilijifunza kwa sababu
16:07
I tried to follow everything in the Bible.
302
967160
2000
Nilijaribu kufuata kila kitu katika Biblia.
16:09
And I failed miserably.
303
969160
2000
Na nikashindwa vibaya sana
16:11
Because you can't.
304
971160
2000
Kwa kuwa haiwezekani.
16:13
You have to pick and choose. And anyone who follows the Bible
305
973160
3000
inabidi uchague, na yoyote anayeifuata Biblia
16:16
is going to be picking and choosing.
306
976160
2000
atakuwa anachagua.
16:18
The key is to pick and choose the right parts.
307
978160
5000
Muhimu ni kuchagua sehemu muhimu.
16:23
There's the phrase called cafeteria religion,
308
983160
4000
kuna msemo unaosema Dini ya mgahawa,
16:27
and the fundamentalists will use it in a denigrating way,
309
987160
4000
watu wanaofuata sana dini wataisema katika hali ya kumshusha mtu,
16:31
and they'll say, "Oh, it's just cafeteria religion.
310
991160
2000
Kuwa ni " Dini ya mgahawa.
16:33
You're just picking and choosing."
311
993160
1000
Unachagua tu"
16:34
But my argument is, "What's wrong with cafeterias?"
312
994160
4000
lakini msimamo ni kuwa, " Kuna tatizo gani na migahawa?"
16:38
I've had some great meals at cafeterias.
313
998160
2000
Nimefanikiwa kula vyakula vizuri sana katika migahawa.
16:40
I've also had some meals that make me want to dry heave.
314
1000160
4000
lakini pia nimekula vyakula ambavyo vilinifanya nitake kutapika.
16:44
So, it's about choosing the parts of the Bible about compassion,
315
1004160
3000
Kwa hiyo, ni kuchagua sehemu za Biblia zinazohusu huruma,
16:48
about tolerance, about loving your neighbor,
316
1008160
2000
ma uvumilivu,kuhusu kuwapenda jirani zako,
16:51
as opposed to the parts about homosexuality is a sin,
317
1011160
5000
badala ya sehemu za ushoga na usagaji kuwa ni dhambi,
16:56
or intolerance, or violence,
318
1016160
2000
au kukosa uvumilivu na machafuko.
16:58
which are very much in the Bible as well.
319
1018160
2000
ambavyo vipo katika Biblia pia.
17:00
So if we are to find any meaning in this book,
320
1020160
4000
Kama tunataka kupata maana katika kitabu hiki,
17:04
then we have to really engage it, and wrestle with it.
321
1024160
4000
tunahitaji kukitafakari hasa,
17:08
And I thought I'd end with just a couple more.
322
1028160
3000
Na nafikiri nimalizie na vitu vichache.
17:11
There's me reading the Bible.
323
1031160
2000
hapa ni mimi nikisoma Biblia.
17:13
That's how I hailed taxicabs.
324
1033160
2000
Hivi ndivyo nilivyoziita teksi.
17:15
(Laughter)
325
1035160
3000
(Vicheko)
17:18
Seriously, and it worked. And yes,
326
1038160
2000
na ilifanya kazi
17:20
that was actually a rented sheep,
327
1040160
3000
huyo alikuwa ni kondoo wa kukodiwa,
17:23
so I had to return that in the morning, but it served well for a day.
328
1043160
4000
kwa hiyo ilibidi nimrudishe asubuhi, lakini ilinisaidia kwa siku moja,
17:28
So, anyway, thank you so much for letting me speak.
329
1048160
3000
Kwa hiyo nashukuru sana kwa kuniruhusu kuongea nanyi.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7