An ultra-low-cost college degree | Shai Reshef

4,879,842 views ・ 2014-08-04

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Herbert Kinoti Reviewer: Joachim Mangilima
Ningependa kuwashirikisha
00:13
I would like to share with you a new model of higher education,
0
13071
4407
muundo mpya wa helimu ya juu
00:17
a model that, once expanded,
1
17502
2782
muundo ambao ukipanuliwa
00:20
can enhance the collective intelligence
2
20308
2318
unaweza ukaongeza akili ya pamoja
00:22
of millions of creative and motivated individuals
3
22650
4469
ya mamilioni ya watu binafsi walio na motisha na ubunifu
ambao vinginevyo wange achwa nyuma.
00:27
that otherwise would be left behind.
4
27143
2432
tazama ulimwengu
00:30
Look at the world.
5
30250
1219
chagua mahali na upaangazie
00:32
Pick a place and focus on it.
6
32001
2280
00:34
You will find humans chasing higher education.
7
34664
3690
utapata wanadamu wakikimbizana na elimu
ebu tukutane na wengine wao
00:39
Let's meet some of them.
8
39187
1449
Patrick
00:41
Patrick.
9
41354
1443
00:42
Patrick was born in Liberia to a family of 20 children.
10
42821
4794
Patrick alizaliwa Liberia
kwa familia ya watoto ishirini
Wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe, yeye na familia yake walilazimika
00:48
During the civil war,
11
48380
1600
00:50
he and his family were forced to flee to Nigeria.
12
50004
3919
kukimbilia Nigeria.
00:54
There, in spite of his situation,
13
54468
2738
huko licha ya hali yake,
00:57
he graduated high school with nearly perfect grades.
14
57230
3508
alihitimu sekondari kwa karibu alama kamili.
01:01
He wanted to continue to higher education,
15
61389
3064
Alitaka kuendelea na elimu ya juu
01:04
but due to his family living on the poverty line,
16
64477
3260
lakini kutokana na familia yake
kuishi katika mstari wa umaskini
01:07
he was soon sent to South Africa
17
67761
2507
haikuchukua mda, akatumwa Afrika Kusini
kufanya kazi na kutuma fedha nyumbani
01:10
to work and send back money to feed his family.
18
70292
3713
kulisha familia yake.
01:15
Patrick never gave up his dream of higher education.
19
75036
3832
Patrick hakuiacha ndoto ya elimu ya juu.
01:18
Late at night, after work,
20
78892
2399
usiku wa manane, baada ya kazi
01:21
he surfed the net, looking for ways to study.
21
81315
3712
alipekua mtandao akitafuta njia za kusoma.
01:25
Meet Debbie.
22
85827
1266
Kutana na Debbie.
Debbie anatoka Florida.
01:27
Debbie is from Florida.
23
87117
1866
01:29
Her parents didn't go to college, and neither did any of her siblings.
24
89897
4149
Wazazi wake hawakuenda chuo,
wala yeyote wa ndugu zake.
01:34
Debbie has worked all her life,
25
94706
1981
Debbie amefanya kazi maisha yake yote,
01:38
pays taxes, supports herself month to month,
26
98013
3810
hulipa kodi, na kujimudu mwezi kwa mwezi,
01:41
proud of the American dream,
27
101847
2328
akijivunia ndoto ya Marekani,
01:44
a dream that just won't be complete without higher education.
28
104199
3981
ndoto ambayo haiwezi ikawa kamili
bila elimu ya juu.
01:48
But Debbie doesn't have the savings for higher education.
29
108870
3719
Lakini Debbie hajaweka akiba
ya elimu ya juu.
01:52
She can't pay the tuition.
30
112613
1910
hawezi kulipia masomo,
01:54
Neither could she leave work.
31
114881
1948
wala kuweza kuacha kazi.
Kutana na Wael.
01:58
Meet Wael.
32
118094
1183
01:59
Wael is from Syria.
33
119750
1395
Wael ni mkaaji wa Syria.
02:01
He's experiencing firsthand
34
121910
2277
anapitia ana kwa ana
02:05
the misery, fear and failure imposed on his country.
35
125528
4026
taabu, hofu na kushindwa
zilizowekewa nchi yake.
02:10
He's a big believer in education.
36
130755
2551
Anaamini sana kwa elimu.
02:13
He knew that if he could find an opportunity for higher education,
37
133330
4033
Alijua kwamba akipata fursa
ya elimu ya juu,
02:17
an opportunity to get ahead of the rest,
38
137387
2795
fursa ya kutangulia wengine,
ana nafasi nzuri ya kuishi
02:20
he has a better chance to survive in a world turned upside down.
39
140206
4461
katika dunia iliogeuka kichwa chini.
02:26
The higher education system
40
146057
2002
Mfumo wa elimu ya juu
02:29
failed Patrick, Debbie and Wael,
41
149495
2722
ulifeli Patrick, Debbie na Wael,
02:32
exactly as it is failing millions of potential students --
42
152241
4945
jinsi tu inavyofeli
mamilioni ya wanafunzi
02:37
millions that graduate high school,
43
157210
2953
mamilioni waliohitimu shule za sekondari
02:40
millions that are qualified for higher education,
44
160187
3388
mamilioni ambao wamefuzu elimu ya juu
02:43
millions that want to study yet cannot access it for various reasons.
45
163599
5504
mamilioni wanaotaka kusoma
bali hawawezi wakapata kwa sababu tofauti.
02:49
First: financial.
46
169618
1905
Kwanza, za fedha.
02:52
Universities are expensive; we all know it.
47
172412
2895
Vyuo vikuu ni ghali. sote twajua
02:55
In large parts of the world,
48
175331
2104
Maeneo kubwa ulimwenguni
02:57
higher education is unattainable for an average citizen.
49
177459
3887
elimu ya juu haiwezekani
kwa raia wa kawaida.
03:02
This is probably the biggest problem facing our society.
50
182258
3844
Hii ndio pengine shida kubwa
inayokumba jamii yetu
03:06
Higher education stopped being a right for all
51
186672
3586
elimu ya juu ilikoma kuwa haki kwa wote
03:10
and became a privilege for the few.
52
190282
2670
ikawa teule kwa wachache.
03:13
Second: cultural.
53
193971
2082
Pili, tamaduni.
wanafunzi waliohitimu elimu ya juu,
03:18
Students who are qualified for higher education
54
198061
2829
03:20
can afford -- want to study -- cannot,
55
200914
3239
wanaojimudu, wanataka masomo, hawawezi
03:24
because it is not decent, it is not a place for a woman.
56
204970
5458
Kwa sababu haiheshimiki,
si mahali pa mwanamke.
Hii ndio taswira ya mamia ya wanawake
03:31
This is the story of countless women in Africa, for example,
57
211047
3939
Afrika, Kwa mfano,
03:35
prevented from higher education because of cultural barriers.
58
215010
3930
Waliozuiliwa kwa elimu ya juu
kwa sababu ya kinga za tamaduni.
03:39
And here comes the third reason:
59
219686
2400
Na hapa ni sababu ya tatu:
03:42
UNESCO stated that in 2025,
60
222110
3812
UNESCO ilisema kuwa mwakani 2025,
03:45
100 million students will be deprived of higher education,
61
225946
5644
wanafunzi milioni mia moja
watanyimwa elimu ya juu
03:51
simply because there will not be enough seats to accommodate them,
62
231614
4970
kwa sababu tu, ya kutokua na viti tosha
kuwapa malazi, kukidhi mahitaji.
03:56
to meet the demand.
63
236608
1731
03:58
They will take a placement test, they will pass it,
64
238363
3169
Watafanya mtihani wa usajili,
wataupita,
04:01
but they still won't have access, because there are no places available.
65
241556
4307
lakini bado hawatapata kuingia
kwa sababu hakuna nafasi zilizoko
04:07
These are the reasons I founded University of the People,
66
247416
4700
Hizi ndizo sababu
Nilianzisha Chuo kikuu cha watu,
si cha faida, na bila malezi,
04:12
a nonprofit, tuition-free, degree-granting university
67
252140
4883
Chuo kinachopeana shahada ya digrii
kupeana mbadala,
04:17
to give an alternative,
68
257047
1787
04:18
to create an alternative, to those who have no other;
69
258858
3494
kujenga mbadala kwa wasio na mwingine
04:22
an alternative that will be affordable and scalable,
70
262376
5441
mbadala ulio nafuu
na wenye kipimo
04:27
an alternative that will disrupt the current education system,
71
267841
5860
mbadala utakao koroga
mfumo wa elimu wa sasa
04:33
and open the gates to higher education for every qualified student
72
273725
4168
ufungue milango ya elimu ya juu
kwa mwanafunzi yeyote aliyehitimu
04:37
regardless of what they earn, where they live,
73
277917
4612
bila kujali pato lao, wala wanakoishi,
04:42
or what society says about them.
74
282553
2293
ama jamii inavyonena kuwahusu.
04:45
Patrick, Debbie and Wael
75
285449
1972
Patrick, Debbie na Wael
04:47
are only three examples out of the 1,700 accepted students
76
287445
3626
ni mifano tatu tu
kati ya wanafunzi 1,700 waliokubaliwa
04:51
from 143 countries.
77
291095
2351
kutoka nchi 143.
Sisi - (Makofi) - Asanteni.
04:55
(Applause)
78
295492
1380
04:56
Thank you.
79
296896
1276
04:58
(Applause)
80
298196
1808
05:00
We didn't need to reinvent the wheel.
81
300028
2221
Hatukuitaji kuibuka na gurudumu jipya.
05:02
We just looked at what wasn't working
82
302273
2512
Tuliangalia tu ni kipi kilikuwa hakifaulu
05:04
and used the amazing power of the Internet
83
304809
2739
na kutumia nguvu ya ajabu ya intaneti
05:07
to get around it.
84
307572
1296
kukizingira.
05:09
We set out to build a model
85
309386
2537
Tuliamua kujenga muundo
05:12
that will cut down almost entirely the cost of higher education.
86
312928
3996
utakao punguza kwa kiwango kikubwa
gharama ya elimu ya juu
05:17
And that's how we did it.
87
317927
1485
na hivyo ndivyo tulifanya.
05:19
First, bricks and mortar cost money.
88
319869
2536
Kwanza, matofali na chokaa ni gharama.
Vyuo vikuu vina matumizi
05:23
Universities have expenses that virtual universities don't.
89
323324
5122
ambayo vyuo vikuu vya mtandao havina.
05:28
We don't need to pass these expenses on to our students.
90
328470
3146
Hatuitaji kupasha gharama hizi
kwa wanafunzi wetu.
Hazipo.
05:32
They don't exist.
91
332124
1380
05:33
We also don't need to worry about capacity.
92
333528
3119
Pia hatufai kubabaishwa na uwezo.
05:36
There are no limits of seats in virtual university.
93
336671
3624
hakuna mipaka ya viti
kwa vyuo vikuu vya mtandao.
05:40
Actually, nobody needs to stand at the back of the lecture hall.
94
340867
3790
Hakika, hakuna anayeitaji kusimama
nyuma ya ukumbi.
05:45
Textbooks are also something our students don't need to buy.
95
345228
3891
Vitabu vya kiada pia ni kitu
wanafunzi wetu hawaitaji kununua.
05:49
By using open educational resources
96
349803
2904
Kwa kutumia raisilimali za elimu ya wazi
05:52
and the generosity of professors
97
352731
2456
na ukarimu wa maprofesa
05:55
who are putting their material up free and accessible,
98
355211
4512
wanaoweka nyenzo zao
bure na zinapatikana,
05:59
we don't need to send our students to buy textbooks.
99
359747
2752
Hatuitaji kutuma wanafunzi wetu kununua vitabu vya kiada,
06:02
All of our materials come free.
100
362523
2296
nyenzo zetu zote zinakuja bure
06:05
Even professors,
101
365635
1606
hata maprofesa,
06:07
the most expensive line in any university balance sheet,
102
367265
3871
Ule mustari ghali kabisa kwa mizania ya chuo kikuu chochote,
06:11
come free to our students.
103
371160
1656
huja bure kwa wanafunzi wetu,
06:12
Over 3,000 of them,
104
372840
2747
zaidi ya 3,000 yao
06:15
including presidents, vice chancellors, professors and academic advisers
105
375611
6013
wakiwemo Marais, makamu wa machancellor,
maprofesa na washauri wa kitaaluma
06:21
from top universities such as NYU, Yale, Berkeley and Oxford,
106
381648
5552
kutoka vyuo vikuu kama vile NYU,
Yale, Berkely, na Oxford,
06:27
came on board to help our students.
107
387224
2278
wakajiunga nasi kuwasaidia wanafunzi wetu.
06:30
Finally, is our belief in peer-to-peer learning.
108
390200
3784
Hatimaye, ni imani yetu kwa masomo ya rika kwa rika.
06:34
We use this sound pedagogical model
109
394394
3206
Tunatumia huu muundo wa ufundishaji imara
06:37
to encourage our students from all over the world
110
397624
2713
kuwapa moyo wanafunzi kutoka kote duniani
06:40
to interact and study together,
111
400361
2330
kuingiliana na kujifunza pamoja
06:42
and also to reduce the time our professors need
112
402715
5039
na pia kupunguza mda
Maprofesa wetu wanaohitaji kujizatiti kwa kazi ya mazoezi darasani.
06:47
to labor over class assignments.
113
407778
2252
Kama intaneti imetufanya kijiji cha kimataifa,
06:53
If the Internet has made us a global village,
114
413006
5202
06:58
this model can develop its future leadership.
115
418232
3765
muundo huu unaweza kuuendeleza uongozi wake wa usoni.
07:02
Look how we do it.
116
422378
1267
Angalia vile tunavyoifanya.
07:04
We only offer two programs:
117
424251
2804
Tunatoa mipango miwili tu:
07:07
business administration and computer science,
118
427079
2673
utawala kibiashara na sayansi ya kompyuta,
07:09
the two programs most in demand worldwide,
119
429776
4158
hiyo mipango miwili
ndio inayosakwa sana duniani kote,
07:13
the two programs that are likeliest to help our students find a job.
120
433958
4217
hiyo mipango miwili ndio yenye uwezo mkubwa
kuwasaidia wanafunzi wetu kupata ajira.
07:19
When our students are accepted,
121
439512
2738
Wanafunzi wetu wanapokubalika,
07:22
they are placed in a small classroom of 20 to 30 students,
122
442274
5863
huwekwa kwa darasa dogo
la wanafunzi 20 kwenda 30 kuhakikisha
07:28
to ensure that those who need personalized attention get it.
123
448161
4152
wanaohitaji usaidizi binafsi wanapata.
07:32
Moreover, for every nine-week course, they meet a new peer,
124
452827
5763
Zaidi ya hayo, kwa kila kozi ya wiki tisa,
hukutana na rika mpya,
07:38
a whole new set of students from all over the world.
125
458614
3491
kundi nzima la wanafunzi wapya
kutoka kote ulimwenguni.
07:42
Every week, when they go into the classroom,
126
462129
3256
Kila wiki, wanapoingia darasani,
07:45
they find the lecture notes of the week,
127
465409
2733
wanapata maelezo ya hotuba ya wiki,
07:48
the reading assignment, the homework assignment,
128
468166
2264
zoezi la kusoma, zoezi la ziada,
07:50
and the discussion question, which is the core of our studies.
129
470454
3927
na swali la majadiliano,
ambayo ni msingi wa masomo yetu,
07:54
Every week, every student must contribute to the class discussion,
130
474405
4458
Kila wiki, kila mwanafunzi
lazima achangie kwa mjadala darasani
07:58
and also must comment on the contribution of others.
131
478887
4198
na pia lazima atoe maoni
kwa michango ya wengine.
08:03
This way, we open our students' minds,
132
483109
3498
Kwa njia hii, tunafungua akili za wanafunzi wetu,
08:06
we develop a positive shift in attitude toward different cultures.
133
486631
4625
tunakuza mwelekeo chanya
kuelekea tamaduni tofauti.
08:12
By the end of each week, the students take a quiz,
134
492089
3741
Mwisho wa kila wiki,
wanafunzi hufanya jaribio,
08:15
hand in their homework,
135
495854
1323
wanawasilisha kazi za ziada,
08:17
which are assessed by their peers under the supervision of the instructors,
136
497201
4202
ambazo hukaguliwa na wenzao
kwa usimamizi wa waalimu,
08:22
get a grade, move to the next week.
137
502292
2250
pata alama, enda kwa wiki nyingine.
08:24
By the end of the course, they take the final exam,
138
504566
2646
Mwisho wa kozi, hufanya mtihani wa mwisho,
08:27
get a grade, and follow to the next course.
139
507236
4168
pata alama, na kuenda kwa kozi nyingine.
08:32
We open the gates for higher education for every qualified student.
140
512703
5172
Tulifungua milango ya elimu ya juu
kwa mwanafunzi yeyote aliyehitimu.
08:38
Every student with a high school diploma,
141
518855
2914
Mwanafunzi yeyote aliyehitimu sekondari,
08:41
sufficient English and Internet connection
142
521793
3140
kingereza tosha na muunganisho wa intaneti
08:44
can study with us.
143
524957
1592
anaweza kusoma na sisi.
08:46
We don't use audio, we don't use video.
144
526573
2908
Hatutumii redio. Hatutumii video.
08:49
Broadband is not necessary.
145
529505
2360
upana wa bendi si hoja.
08:51
Any student from any part of the world with any Internet connection
146
531889
4579
Mwanafunzi yeyote kutoka kokote duniani
aliye na mwuunganisho wowote wa intaneti
08:56
can study with us.
147
536492
1399
anaweza kusoma nasi.
08:58
We are tuition free.
148
538798
1372
tuko malezi-huru.
tuulizacho tu wanafunzi wetu kukidhi
09:01
All we ask our students to cover is the cost of their exams,
149
541202
3617
ni gharama ya mitihani yao,
09:04
100 dollars per exam.
150
544843
2079
Dola 100 kwa kila mtihani.
09:07
A full-time bachelor's degree student taking 40 courses
151
547396
4600
Mwanafunzi wa muda kamili wa digrii ya hahada ya kwanza
anayechukua kozi 40,
09:12
will pay 1,000 dollars a year,
152
552020
1997
atalipa dola 1,000 kwa mwaka,
09:14
4,000 dollars for the entire degree.
153
554867
2630
Dola 4,000 kukamilisha digrii,
09:17
And for those who cannot afford even this,
154
557521
3576
na kwa wale hawawezi kumudu hata hii,
09:21
we offer them a variety of scholarships.
155
561121
2750
tunawapa udhamini aina mbali mbali.
09:23
It is our mission that nobody will be left behind
156
563895
3054
Ni dhamira yetu kuwa hakuna atakayeachwa nyuma
09:26
for financial reasons.
157
566973
1450
kwa sababu za kifedha.
09:29
With 5,000 students in 2016, this model is financially sustainable.
158
569058
6056
Kwa wanafunzi 5,000 mwaka wa 2016,
muundo huu ni endelevu kifedha.
09:37
Five years ago, it was a vision.
159
577352
3606
Miaka mitano iliyopita, yalikuwa maono.
09:41
Today, it is a reality.
160
581813
2326
Leo, ni halisi.
09:44
Last month, we got the ultimate academic endorsement to our model.
161
584862
4783
Mwezi jana, hatimaye tulipata
muhuri wa kitaaluma kwa muundo wetu.
09:50
University of the People is now fully accredited.
162
590325
3573
Chuo kikuu cha watu sasa kina kibali rasmi
09:54
(Applause)
163
594743
1262
(Makofi)
Asanteni.
09:56
Thank you.
164
596029
1224
09:57
(Applause)
165
597277
3948
10:01
With this accreditation, it's our time now to scale up.
166
601386
4150
Kwa kibali hichi,
ni wakati wetu sasa kupaa
10:06
We have demonstrated that our model works.
167
606179
3145
Tumeonyesha kwamba muundo wetu unafanya kazi.
nakaribisha vyuo vikuu, na maana zaidi,
10:10
I invite universities and, even more important,
168
610404
2988
10:13
developing countries' governments,
169
613416
1669
serikali za nchi zinazokua,
kuiga muundo huu
10:15
to replicate this model
170
615109
1906
kuhakikisha milango ya elimu ya juu
10:17
to ensure that the gates of higher education will open widely.
171
617039
4531
itapanuka zaidi.
10:22
A new era is coming --
172
622490
1325
Enzi mpya inakuja
10:24
an era that will witness the disruption of the higher education model
173
624450
5293
enzi itakayo shuhudia
kuvurugika kwa elimu ya juu
10:29
as we know it today,
174
629767
1444
kama tunvyoijua leo,
10:31
from being a privilege for the few
175
631931
2796
kutoka kuwa teule kwa wachache
10:35
to becoming a basic right, affordable and accessible for all.
176
635658
5393
kuenda kuwa haki ya kimsingi,
nafuu na inayopatikana kwa wote,
10:41
Thank you.
177
641779
1319
Asanteni.
10:43
(Applause)
178
643122
4222
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7