Architectural secrets of the world's ancient wonders | Brandon Clifford

124,153 views ・ 2019-07-19

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joyce Nyakale Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Do you think the things we build today
0
12917
2726
Je unafikiri vitu tunavyojenga leo
00:15
will be considered wonders in the future?
1
15667
2166
vitahesabika kama maajabu miaka ijayo?
00:19
Think of Stonehenge,
2
19042
1642
Tafakari kuhusu Stonehenge,
00:20
the Pyramids,
3
20708
1518
Mapiramidi,
00:22
Machu Picchu and Easter Island.
4
22250
2667
Machu Picchu na Kisiwa cha Easter
00:26
Now, they're all pretty different from what we're doing today,
5
26167
2916
Vyote hivi ni tofauti sana na vile tunavyofanya leo,
00:30
with those massive stones,
6
30333
2435
na yale mawe makubwa,
yakiwa yamepangwa katika hali ya kiutata hali ngumu kuelewa
00:32
assembled in complex but seemingly illogical ways,
7
32792
4125
00:38
and all traces of their construction
8
38292
3642
na mabaki yake yote ya ujenzi
00:41
erased,
9
41958
1643
yakifutwa,
00:43
shrouding them in mystery.
10
43625
2042
ikiyaacha katika hali ya kutojulikana
00:47
It seems like people could not have possibly built these things,
11
47417
3708
Inaonekana kama vile watu hawakuweza kujenga vitu hivi,
00:52
because people didn't.
12
52583
1292
kwa sababu watu hawakujenga.
00:54
They were carefully crafted by a primordial race of giants
13
54792
4309
Vilitengenezwa kwa uangalifu na jamii ya majitu
00:59
known as Cyclops.
14
59125
1268
yajulikanayo kama Cyclops.
01:00
(Laughter)
15
60417
1309
(Vicheko)
01:01
And I've been collaborating with these monsters
16
61750
2226
Na nimekuwa nashirikiana na majitu haya
01:04
to learn their secrets for moving those massive stones.
17
64000
3250
ili kujifunza siri zao za kuhamisha mawe hayo makubwa.
01:08
And as it turns out, Cyclops aren't even that strong.
18
68667
3500
na ni kwamba, Cyclops hawana nguvu kivile,
01:13
They're just really smart about getting material to work for them.
19
73250
3125
Ni wajanja sana katika kufanya vitu kufanya kazi kwa niaba yao.
01:19
Now, the videos you see behind me of large, stone-like, wobbly creatures
20
79042
4434
Video, ambazo mnaziona nyuma yangu za vitu vinavyobadilika vikubwa,kama mawe
01:23
are the results of this collaboration.
21
83500
1833
ni matokeo ya ushirikiano huu.
01:26
OK, so Cyclops might be a mythical creature,
22
86875
2917
SAWA, inawezekana Cyclops vikawa ni viumbe vya kufikirika
01:30
but those wonders are still real.
23
90917
2851
lakini maajabu haya bado ni halisi.
01:33
People made them.
24
93792
1250
Watu waliyajenga.
01:35
But they also made the myths that surround them,
25
95917
2583
Lakini pia waliunda dhana kuhusu hayo
01:39
and when it comes to wonders, there's this thick connective tissue
26
99667
3809
na kuhusu maajabu, kuna kiunganishi kinene
01:43
between mythology and reality.
27
103500
2458
kati ya dhana fikirishi na uhalisia.
01:47
Take Easter Island, for example.
28
107083
1667
Chukulia mfano wa Kisiwa cha Easter.
01:49
When the Dutch explorers first encountered the island,
29
109958
3143
Pale wavumbuzi wa Kidachi walipokifikia kwa mara ya kwanza kisiwa hiki,
01:53
they asked the people of Rapa Nui
30
113125
2018
Waliwauliza watu wa Rapa Nui
01:55
how their ancestors could have possibly moved those massive statues.
31
115167
3416
Vile mababu zao walivyoweza kuhamisha sanamu hizi kubwa
01:59
And the Rapa Nui said,
32
119833
1976
Na watu wa Rapa Nui wakasema,
02:01
"Our ancestors didn't move the statues,
33
121833
3643
"Mababu zetu hawakuhamisha sanamu hizo,
02:05
because the statues walked themselves."
34
125500
2125
kwa sababu zilitembea zenyewe."
02:09
For centuries, this was dismissed, but actually it's true.
35
129500
2750
Kwa karne kadhaa, hili lilikataliwa, lakini ni kweli kabisa.
02:13
The statues, known as moai, were transported standing,
36
133083
5393
Sanamu, zijulikanazo kama moai, zilihamishwa zikiwa zimesimama,
02:18
pivoting from side to side.
37
138500
1958
zikishikiliwa pande moja hadi nyingine.
02:21
OK?
38
141750
1268
SAWA?
02:23
As spectacular as the moai are for visitors today,
39
143042
3934
Pamoja na uzuri wa moai kwa wageni leo,
02:27
you have to imagine being there then,
40
147000
2518
unahitaji kuwaza kuwa pale wakati ule,
02:29
with colossal moai marching around the island.
41
149542
3392
na moai makubwa yakitembea katika kisiwa.
02:32
Because the real memorial was not the objects themselves,
42
152958
5185
Kwa sababu kumbukumbu halisi sio vitu vyenyewe,
02:38
it was the cultural ritual of bringing a stone to life.
43
158167
3916
Ilikuwa ni utamaduni wa kulifanya jiwe liwe hai.
02:43
So as an architect, I've been chasing that dream.
44
163708
2584
Kwa hiyo kama msanifu majengo, nimekuwa nakimbizana na ndoto hiyo.
02:47
How can we shift our idea of construction to accommodate that mythical side?
45
167458
4542
Tunawezaje kuhamisha dhana yetu ya ujenzi ili kutoa nafasi ya dhana hii fikirishi
02:53
So what I've been doing is challenging myself
46
173583
2143
Kwa hiyo kile nimekuwa nafanya ni kujipa changamoto mwenyewe
02:55
with putting on a series of performances
47
175750
3101
kwa kufanya maonyesho kadhaa
02:58
of the ancient but pretty straightforward task
48
178875
2601
ya zamani lakini yaliyo na jukumu la wazi kabisa
03:01
of just moving and standing big heavy objects,
49
181500
4018
ya kuhamisha na kusimamisha vitu vikubwa vizito,
03:05
like this 16-foot-tall megalith designed to walk across land
50
185542
3934
kama vile jiwe hili kubwa lililosanifiwa kutembea ardhini
03:09
and stand vertically;
51
189500
1250
na kusimama wima
03:12
or this 4,000-pound behemoth that springs itself to life
52
192000
4393
au jiwe hili kubwa lenye uzito wa 4,000 linaloibuka likiwa hai
03:16
to dance onstage.
53
196417
1583
ili kucheza stejini
03:19
And what I've found is that by thinking of architecture
54
199792
3351
na nilichojifunza ni kuwa kwa kuwaza kuhusu usanifu majengo
03:23
not as an end product but as a performance
55
203167
3559
si kama bidhaa ya mwisho bali kama onyesho
03:26
from conception to completion,
56
206750
3351
kutoka wazo mpaka kukamilika,
03:30
we end up rediscovering some really smart ways to build things today.
57
210125
3500
tunajikuta tunagundua njia bora sana za kujenga hivi leo.
03:35
You know, so much of the discussion surrounding our future
58
215375
2768
Unajua, sehemu kubwa ya mazungumzo kuhusu zsiku zetu za baadaye
03:38
focuses on technology, efficiency and speed.
59
218167
3976
yanaangazia zaidi teknolojia, ufanisi na uharaka.
03:42
But if I've learned anything from Cyclops,
60
222167
2059
Lakini kama nimejifunza chochote kuhusu Cyclops,
03:44
it's that wonders can be smart, spectacular
61
224250
4518
ni kuwa maajabu yanaweza kuwa ya kijanja, mazuri sana
03:48
and sustainable --
62
228792
1684
na endelevu --
03:50
because of their mass and their mystery.
63
230500
2167
kutokana na uwingi na kutoeleweka kwake.
03:54
And while people still want to know how those ancient wonders were built,
64
234000
3809
na pamoja na kuwa wanahitaji kujua jinsi maajabu haya yalivyojengwa,
03:57
I've been asking Cyclops how to create the mystery
65
237833
2810
Nimekuwa nikiwauliza Cyclops jinsi ya kuunda sintofahamu hii
04:00
that compels people to ask that very question.
66
240667
2458
ambayo inawalazimisha watu kuuuliza swala lenyewe hasa.
04:04
Because in an era where we design buildings
67
244375
2059
Kwa sababu katika zama ambazo tunasanifu majengo
04:06
to last 30, maybe 60 years,
68
246458
2584
kudumu kwa miaka 30, labda 60,
04:09
I would love to learn how to create something
69
249875
2643
ningependa nijifunze jinsi ya kutengeneza kitu
04:12
that could entertain for an eternity.
70
252542
1762
ambacho kinaweza kuburudisha milele.
04:15
Thank you.
71
255083
1268
Asante
04:16
(Applause)
72
256375
4792
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7