What Islam really says about women | Alaa Murabit

4,102,391 views ・ 2015-07-21

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Hope Crick Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
So on my way here,
0
12785
3055
Njiani kufika hapa,
00:15
the passenger next to me and I had a very interesting conversation
1
15840
3702
nilikuwa na mazungumzo mazuri na mtu aliyekuwa anakaa pembeni yangu kwenye
00:19
during my flight.
2
19542
2043
ndege. Alinambia
00:21
He told me, "It seems like the United States has run out of jobs,
3
21585
4528
"Hamna kazi tena USA,
yaani sasa wamebuni kazi mpya:
00:26
because they're just making some up:
4
26113
2368
00:28
cat psychologist, dog whisperer, tornado chaser."
5
28481
6262
mwanasaikolojia wa paka, mzungumzaji wa mbwa,msasi wa kimbunga."
Punde, aliniuliza,
00:34
A couple of seconds later, he asked me,
6
34743
2817
"Kwani wewe unafanya kazi gani?"
00:37
"So what do you do?"
7
37560
2252
00:39
And I was like, "Peacebuilder?"
8
39812
2693
Nikamjibu, "Mjenzi wa usalama?"
(Vicheko)
00:42
(Laughter)
9
42505
2480
00:46
Every day, I work to amplify the voices of women
10
46925
4427
Kila siku, nafanya bidii kuwazidishia wanawake sauti
00:51
and to highlight their experiences
11
51352
3098
na kuoneysha maisha yao na michango yao
00:54
and their participation in peace processes and conflict resolution,
12
54450
5059
katika hatua za kutafuta usalama na kutatua migogoro,
00:59
and because of my work,
13
59509
2779
na kwa sababu ya kazi zangu, natambua kwamba njia ya pekee
01:02
I recognize that the only way to ensure the full participation of women globally
14
62288
6176
kwa kuhakikisha ushirikiano kamili
wa wanawake duniani ni kuchukua tena dini mikononi mwetu.
01:08
is by reclaiming religion.
15
68464
2866
01:11
Now, this matter is vitally important to me.
16
71330
4064
Sasa, jambo hilo ni muhimu sana kwangu.
01:15
As a young Muslim woman, I am very proud of my faith.
17
75394
4411
Kama muislamu na mwanamke kijana, ninaijali dini yangu sana.
01:19
It gives me the strength and conviction to do my work every day.
18
79805
4735
Inanipa nguvu na msimamo katika kazi zangu kila siku.
01:24
It's the reason I can be here in front of you.
19
84540
2759
Ndiyo sababu inayoniwezesha kusimama hapa leo mbele yenu.
01:27
But I can't overlook the damage that has been done in the name of religion,
20
87909
5224
Lakini siwezi kutojali hasara kubwa zilizofanyika kwa kutumia jina la dini,
01:33
not just my own, but all of the world's major faiths.
21
93133
4528
si dini yangu tu, lakini dini zote kubwa za dunia.
01:37
The misrepresentation and misuse and manipulation of religious scripture
22
97661
4504
Kuyatumia vibaya na kuyageuza maandiko ya kidini
01:42
has influenced our social and cultural norms,
23
102165
3529
kumebadilisha desturi zetu za kijamii na kitamaduni,
01:45
our laws, our daily lives,
24
105694
2926
sheria zetu, kila siku zetu,
01:48
to a point where we sometimes don't recognize it.
25
108620
3854
hadi kumefikia tusipoweza kupagundua.
Wazazi wangu walihama Libya, Afrika ya Kaskazini kwenda Kanada
01:52
My parents moved from Libya, North Africa, to Canada
26
112804
4686
01:57
in the early 1980s,
27
117490
1764
mwanzoni mwa miaka 1980,
01:59
and I am the middle child of 11 children.
28
119254
3846
na mimi niko katikati ya watoto 11.
02:03
Yes, 11.
29
123100
1331
Ehee, 11.
02:05
But growing up, I saw my parents,
30
125431
2158
Lakini katika kukulia kwangu,
02:07
both religiously devout and spiritual people,
31
127589
3576
niliwaona wazazi wangu, wote wacha Mungu na waumini wa Akhera, wakisali na
02:11
pray and praise God for their blessings,
32
131165
2740
kumshukuru kwa baraka zao,
02:13
namely me of course, but among others. (Laughter)
33
133905
4759
kama mimi, lakini zinginezo pia. (Vicheko)
02:18
They were kind and funny and patient,
34
138664
3158
Walikuwa na huruma, wenye kuchekesha, na wenye subira,
02:21
limitlessly patient, the kind of patience that having 11 kids forces you to have.
35
141822
6339
subira kubwa, aina inayofunzwa kwa kuwalea watoto 11.
02:28
And they were fair.
36
148161
2020
Pia walifanya haki.
02:30
I was never subjected to religion through a cultural lens.
37
150181
4714
Sikuwahi kupaswa kuijua dini kwa mtazamo wa kitamaduni tu.
02:34
I was treated the same,
38
154895
2066
Nilitendewa sawasawa na kaka zangu, na sisi sote
02:36
the same was expected of me.
39
156961
2449
tulikuwa tunatarijiwa kufanya sawasawa.
02:39
I was never taught that God judged differently based on gender.
40
159740
4437
Sikuwahi kuambiwa kwamba Mungu huhukumu tofauti kwa jinsia.
02:44
And my parents' understanding of God as a merciful and beneficial friend
41
164647
5642
Wazazi wangu walimwona Mungu kuwa Mwingi wa Rehema, Fadhila na rizki
02:50
and provider shaped the way I looked at the world.
42
170289
3854
na mimi nilichukulia msimamo wao.
02:54
Now, of course, my upbringing had additional benefits.
43
174143
4827
Kwa uhakika, malezi yangu yalikuwa na faida zake.
02:58
Being one of 11 children is Diplomacy 101. (Laughter)
44
178970
4752
kuwa katikati ya watoto 11 ni kama Diplomasia 101. (Vicheko)
03:04
To this day, I am asked where I went to school,
45
184592
2577
Mpaka leo, watu huniuliza wapi nilipokwenda skule,
03:07
like, "Did you go to Kennedy School of Government?"
46
187169
2483
kama, “Ulienda Skule ya Kennedy ya Serikali?"
03:09
and I look at them and I'm like, "No,
47
189652
1906
na mimi huwatazama na kuwambia, “Hapana,
03:11
I went to the Murabit School of International Affairs."
48
191558
2809
Nimeenda Skule ya Murabit ya Mambo ya Kimataifa.”
03:14
It's extremely exclusive. You would have to talk to my mom to get in.
49
194367
5828
Ni maalum sana. Ungeongea na Mamangu kwa kujipatia nafasi
03:20
Lucky for you, she's here.
50
200195
2136
Lakini kwa bahati yenu, yupo leo.
03:23
But being one of 11 children and having 10 siblings
51
203879
4489
Lakini kuwa miongoni wa watoto 11, na kuwa na ndugu 10,
03:28
teaches you a lot about power structures and alliances.
52
208368
4232
kunafundisha mengi kama mifumo ya mamlaka na muungano.
03:32
It teaches you focus; you have to talk fast or say less,
53
212600
2803
Kama kuzingatia lengo; useme haraka au
usiseme sana, kwa sababu utadakiwa mazungumzo kila mara.
03:35
because you will always get cut off.
54
215403
2508
03:37
It teaches you the importance of messaging.
55
217911
2856
Kunafundisha umuhimu wa kuwa mjumbe mzuri.
03:40
You have to ask questions in the right way to get the answers you know you want,
56
220767
4226
Uyaulize maswali kwa mpango kwa kupata jibu unalolitaka, na
03:44
and you have to say no in the right way to keep the peace.
57
224993
4179
ujue kusema 'la' kwa mpango pia kwa kufuliza usalama.
03:49
But the most important lesson I learned growing up
58
229172
4272
Lakini funzo muhimu sana nililolipata kutoka utoto wangu
lilikuwa umuhimu wa kuwa na nafasi kwenye meza.
03:53
was the importance of being at the table.
59
233444
3530
03:56
When my mom's favorite lamp broke, I had to be there when she was trying
60
236974
3831
Taa yake ndogo mamangu ilipovunjika, alivyoipenda sana, ilinilazimu niwepo
04:00
to find out how and by who, because I had to defend myself,
61
240805
4529
wakati alipochunguza ilikuwaje, ili nijitetee,
04:05
because if you're not, then the finger is pointed at you,
62
245334
3783
kwa sababu kama hupo, lawama inakuangukia kwako,
04:09
and before you know it, you will be grounded.
63
249117
2624
na kabla hujagundua, utakuwa umeadhibiwa.
04:11
I am not speaking from experience, of course.
64
251741
3277
Kwa uhahika, sijapewa adhabu mimi mwenyewe.
04:16
When I was 15 in 2005, I completed high school and I moved
65
256338
5412
Nilipokuwa na miaka 15 mwakani 2005, nikatimiza skule ya sekondari nikahamia
04:21
from Canada -- Saskatoon --
66
261750
2490
Kanada-- Saskatoon --
Ila Zawiya, Libya, mji wa nyumbani wa wazazi wangu,
04:24
to Zawiya, my parents' hometown in Libya,
67
264240
4079
04:28
a very traditional city.
68
268319
2392
mji wa kidesturi sana.
04:30
Mind you, I had only ever been to Libya before on vacation,
69
270711
4819
Fikiri, muda huo niliwahi kufika Libya kwa ajili ya matembezi tu,
04:35
and as a seven-year-old girl, it was magic.
70
275530
4376
na kama msichana wa miaka 7, ilipendeza sana.
04:39
It was ice cream and trips to the beach and really excited relatives.
71
279906
4992
Ilikuwa aiskrimu na pwani na jamaa wenye furaha.
04:45
Turns out it's not the same as a 15-year-old young lady.
72
285468
5002
niligundua haiko vilevile kama msichana wa miaka 15.
04:50
I very quickly became introduced to the cultural aspect of religion.
73
290470
5968
Nikakutana upesi na mambo ya dini ya kiutamaduni.
04:56
The words "haram" -- meaning religiously prohibited --
74
296438
4458
Maneno ya "haramu" -- lenye maana ya kukatazwa kidini --
05:00
and "aib" -- meaning culturally inappropriate --
75
300896
3506
na "aibu" -- lenye maana ya kutofaa kimaadili --
05:04
were exchanged carelessly,
76
304402
2716
yalibadilishanwa bila mpango.
05:07
as if they meant the same thing and had the same consequences.
77
307118
4319
kama yalikuwa na maana moja na adhabu moja vilevile.
05:11
And I found myself in conversation after conversation with classmates
78
311437
4737
Nikajikuta sana katika mazungumzo na wenzangu wa skule
05:16
and colleagues, professors, friends, even relatives,
79
316174
3436
na wa kazi, profesa, rafiki zangu na hata jamaa zangu,
05:19
beginning to question my own role and my own aspirations.
80
319610
4783
nikaanza kujiuliza kuhusu desturi zangu na malengo yangu.
05:24
And even with the foundation my parents had provided for me,
81
324393
3530
Na hata na msingi mzuri niliopokea kutoka wazazi wangu,
05:27
I found myself questioning the role of women in my faith.
82
327923
4295
Nilijikuta nikajiuliza kuhusu nafasi ya mwanamke katika dini yangu.
05:32
So at the Murabit School of International Affairs,
83
332218
4179
Kule kwenye Skule ya Murabit ya Mambo ya Kimataifa,
05:36
we go very heavy on the debate,
84
336397
2740
tunapenda sana kufanya mjadala,
05:39
and rule number one is do your research, so that's what I did,
85
339137
5495
na sheria ya kwanza ni fanya utafiti wako, na hivyo ndivyo nilivyofanya mimi,
05:44
and it surprised me how easy it was
86
344640
3785
Ikanishangaza sana vipi ilikuwa rahisi
05:48
to find women in my faith who were leaders,
87
348425
4017
kuwagundua wanawake katika Uislamu waliokuwa viongozi,
05:52
who were innovative, who were strong --
88
352442
3552
wavumbuzi, wenye nguvu --
05:55
politically, economically, even militarily.
89
355994
3366
za kisiasa, za kiuchumi hata za kijeshi.
05:59
Khadija financed the Islamic movement
90
359360
3391
Khadija aliziendesha fedha za harakati za Kiislamu
06:02
in its infancy.
91
362751
1661
katika siku zake za mwanzo.
06:04
We wouldn't be here if it weren't for her.
92
364562
2445
Tusingekuwepo hapa leo bila michango yake.
06:07
So why weren't we learning about her?
93
367627
2647
Kwa nini tusifundishwe kisa chake?
06:10
Why weren't we learning about these women?
94
370274
2921
Kwa nini tusifundishwe visa vya hao wanawake?
06:13
Why were women being relegated to positions which predated
95
373195
2791
Kwa nini wanawake wapewe vyeo vilivyotoka
06:15
the teachings of our faith?
96
375986
2670
zama zilizotangulia mafunzo ya dini yetu?
06:18
And why, if we are equal in the eyes of God,
97
378656
2275
Na kwa nini, kama sisi sote tuko sawasawa machoni mwa Mungu,
06:20
are we not equal in the eyes of men?
98
380931
3102
hatuko sawasawa machoni mwa binadamu?
06:24
To me, it all came back to the lessons I had learned as a child.
99
384623
5067
Hayo yalinipeleka kufikiria mafunzo yangu ya utotoni.
06:30
The decision maker, the person who gets to control the message,
100
390350
3672
Anayeamua, na kuwa na mamlaka juu ya ujumbe,
06:34
is sitting at the table,
101
394022
2582
anayo nafasi kwenye meza,
06:36
and unfortunately, in every single world faith,
102
396604
4900
na kwa bahati mbaya, katika dini zote za kidunia,
06:41
they are not women.
103
401504
2646
hao si wanawake.
06:44
Religious institutions are dominated by men
104
404150
3042
Taasisi za kidini zinatawaliwa na wanaume
06:47
and driven by male leadership,
105
407192
1951
na kuendeshwa na viongozi vya kiume,
06:49
and they create policies in their likeness,
106
409143
3436
na wanabuni sera zinazowafaa wanaume tu,
06:52
and until we can change the system entirely,
107
412579
4093
na ila tunaweza kubadilisha mfumo huo kabisa, kwa kweli hatuwezi
06:56
then we can't realistically expect to have full economic
108
416672
3267
kutarajia wanawake kushiriki kwa ukamilifu
06:59
and political participation of women.
109
419939
3576
katika uchumi au siasa.
07:03
Our foundation is broken.
110
423515
3111
Msingi wetu umevunjika.
07:07
My mom actually says, you can't build a straight house on a crooked foundation.
111
427786
4992
Mamangu husema, "huwezi kujenga nyumba nzima juu ya msingi mbovu".
07:14
In 2011, the Libyan revolution broke out, and my family was on the front lines.
112
434521
6609
Mwakani 2011, Mapinduzi ya Libya yaliripuka na aila yangu walikuwepo mistari ya mbele.
07:21
And there's this amazing thing that happens in war,
113
441580
3064
Kuna jambo moja la kushangaza linalojitokeza katika vita,
07:24
a cultural shift almost, very temporary.
114
444644
3129
kama mageuzo ya kiutamaduni, kwa muda mfupi tu.
07:27
And it was the first time that I felt it was not only acceptable
115
447773
3071
Kwa mara ya kwanza nilijisikia ilikubaliwa, au hata
07:30
for me to be involved, but it was encouraged.
116
450844
2972
ilisisitizwa kwa mimi kujihusisha na mambo.
07:33
It was demanded.
117
453816
2345
Ilihitajika.
07:36
Myself and other women had a seat at the table.
118
456161
3009
Mimi na wanawake wengine walipewa nafasi kwenye meza.
07:39
We weren't holding hands or a medium.
119
459170
3399
Hatukuwa wasaidizi wa wanaume tu.
07:42
We were part of decision making.
120
462569
1858
Tulichangia katika uamuzi.
07:44
We were information sharing. We were crucial.
121
464427
3413
Tulichangia katika kutoa taarifa. Tulikuwa muhimu sana.
07:47
And I wanted and needed for that change to be permanent.
122
467840
5050
Na mimi nilitaka, nilihitaji mageuzo hayo kutoondoka.
07:54
Turns out, that's not that easy.
123
474342
2786
Lakini niligundua si rahisi kuwa nilivyotaka.
07:57
It only took a few weeks before the women that I had previously worked with
124
477128
4372
Ilichukua wiki chache tu kabla hao wanawake niliowafanya nao kazi
08:01
were returning back to their previous roles,
125
481500
2970
walikuwa wanarejea katika kazi zao za zamani,
08:04
and most of them were driven by words of encouragement
126
484470
2805
na wengi walipewa maneno ya kusisitizwa
08:07
from religious and political leaders,
127
487275
2902
kutoka kwa viongozi wa kidini na vya kisiasa, wengi wao
08:10
most of whom cited religious scripture as their defense.
128
490177
3994
walijaribu kuthibitisha hoja zao kwa maandishi ya kidini.
08:14
It's how they gained popular support for their opinions.
129
494449
3551
Ndivyo walivyojipatia mikono ya watu katika hoja zao.
Mwanzoni, nilizingatia kuwapa wanawake nguvu katika siasa na uchumi.
08:19
So initially, I focused on the economic and political empowerment of women.
130
499080
5237
08:24
I thought that would lead to cultural and social change.
131
504317
3506
Nikafikiri ingeliongoza mabadiliko ya kiutamaduni na kijamii.
08:27
It turns out, it does a little, but not a lot.
132
507823
4342
Niligundua, ilifanikiwa kidogo tu, lakini sio sana.
08:32
I decided to use their defense as my offense,
133
512165
4365
Nikaamua kuitumia njia yao wale viongozi wa kidini
08:36
and I began to cite and highlight Islamic scripture as well.
134
516530
4644
nikaanza kuthibitisha hoja zangu kwa maandishi ya kiislamu pia.
08:41
In 2012 and 2013, my organization led the single largest
135
521174
4562
Katika miaka 2012 na 2013, shirika langu liliongoza kampeni ya pekee iliyokuwa
08:45
and most widespread campaign in Libya.
136
525736
2485
kubwa na pana kuliko zote Libya.
08:48
We entered homes and schools and universities, even mosques.
137
528221
4776
Tulipenyeza nyumbani, skuleni na vyuoni, hata misikitni.
08:52
We spoke to 50,000 people directly,
138
532997
2282
Tulizungumza na watu 50,000 uso kwa uso, na mamia ya maelfu zaidi
08:55
and hundreds of thousands more through billboards and television commercials,
139
535279
4064
kwa njia za matangazo ya kubandika,
matangazo kwenye tv na kwenye radio.
08:59
radio commercials and posters.
140
539343
2787
09:02
And you're probably wondering how a women's rights organization
141
542130
3064
Labda mnajiuliza, shirika la haki za wanawake
09:05
was able to do this in communities which had previously opposed
142
545194
2972
waliweza kufanya hivyo vipi katika jamii ilyopingana na sisi
09:08
our sheer existence.
143
548166
2995
kabisa mwanzoni.
09:11
I used scripture.
144
551701
2469
Niliyatumia maandishi ya kiislamu.
09:14
I used verses from the Quran and sayings of the Prophet,
145
554170
5390
Nilitumia aya za Korani na misemo ya Mtume Mohammed,
Hadithi zake, misemo yake ambayo ni, kwa mfano,
09:19
Hadiths, his sayings which are, for example,
146
559560
3965
09:23
"The best of you is the best to their family."
147
563525
3436
"Mtu bora ndiye anayefanya wema kwa familia yake."
09:26
"Do not let your brother oppress another."
148
566961
4017
"Usimruhusu mtu kumdhulumu mwingine."
09:30
For the first time, Friday sermons led by local community imams
149
570978
5015
Kwa mara ya kwanza, hotuba za Ijumaa kutoka kwa imamu wa kienyeji
09:35
promoted the rights of women.
150
575993
2485
zilitangaza haki za wanawake.
09:38
They discussed taboo issues, like domestic violence.
151
578478
3598
zilizungumzia masuala yasiyo kawaida, kama vurugu ya nyumbani.
09:42
Policies were changed.
152
582656
2964
Sera zilibadilishwa.
09:46
In certain communities, we actually had to go as far
153
586080
3125
Katika jamii fulani, ilitubidi kusema lile Azimio
09:49
as saying the International Human Rights Declaration,
154
589205
3901
la Kimataifa la Haki ya Wanadamu mlilopingana nayo
09:53
which you opposed because it wasn't written by religious scholars,
155
593106
4086
kwa sababu haikuandikwi na watalaamu wa kidini,
09:57
well, those same principles are in our book.
156
597192
4783
eti, misingi yote ile imo kitabu chetu.
10:01
So really, the United Nations just copied us.
157
601975
3771
Yaani, Shirika la Umoja wa Mataifa lilituiga tu.
10:07
By changing the message, we were able to provide
158
607931
2843
Kwa kuubadilisha ujumbe wenyewe, tuliweza kuitoa
10:10
an alternative narrative which promoted the rights of women in Libya.
159
610774
4125
sura mpya iliyotangaza haki za wanawake Libya.
10:15
It's something that has now been replicated internationally,
160
615349
4852
Ni jambo ambalo sasa limeigwa duniani,
10:20
and while I am not saying it's easy -- believe me, it's not.
161
620201
4389
na sisemi ni rahisi--- niamini, si rahisi kabisa.
10:24
Liberals will say you're using religion and call you a bad conservative.
162
624590
3831
'Liberals' watasema unaitumia dini na kukuita 'conservative' mbaya.
10:28
Conservatives will call you a lot of colorful things.
163
628421
3483
na 'conservatives' watakupa matusi mengi.
10:31
I've heard everything from, "Your parents must be extremely ashamed of you" --
164
631904
4086
Mimi mwenyewe nimeyapata mengi, kama "Wazazi wako hawaaibiki na wewe?" --
10:35
false; they're my biggest fans --
165
635990
2110
sio kweli; wao wananipenda kuliko wote --
10:38
to "You will not make it to your next birthday" --
166
638100
2511
au "Hutoishi kuona siku yako ya kuzaliwa tena" --
10:40
again wrong, because I did.
167
640611
3693
tena sio kweli, nimeshaiona.
10:44
And I remain
168
644674
2136
Na bado, ninaamini kabisa
10:46
a very strong believer that women's rights and religion are not mutually exclusive.
169
646810
6421
kwamba haki za wanawake na dini zinaweza kuendana.
10:54
But we have to be at the table.
170
654291
2742
Lakini lazima tupewe nafasi kwenye meza.
10:57
We have to stop giving up our position, because by remaining silent,
171
657723
4133
Tusiache kupigania nafasi yetu, kwa sababu
kwa kukaa kimya, tunaruhusu mateso na dhuluma za wanawake duniani kuendelea.
11:01
we allow for the continued persecution and abuse of women worldwide.
172
661856
5531
11:07
By saying that we're going to fight for women's rights
173
667837
3005
Kwa kudai tutapigania haki za wanawake
11:10
and fight extremism with bombs and warfare,
174
670842
3785
na kupigania ugaidi kwa kutumia mabomu na vita,
11:14
we completely cripple local societies which need to address these issues
175
674627
4249
tunaharibu jamii za kienyeji zinazohitaji kuyashughulikia masuala hayo
11:18
so that they're sustainable.
176
678876
2229
ili yawezekane kuendelea.
11:23
It is not easy, challenging distorted religious messaging.
177
683496
5074
Sio rahisi, kushindana na taarifa za dini za kupotosha.
11:28
You will have your fair share of insults and ridicule and threats.
178
688930
4840
Utapata vyako vya matusi na dhihaka na vitisho.
Lakini ni lazima ifanyike.
11:34
But we have to do it.
179
694380
1836
11:36
We have no other option than to reclaim the message of human rights,
180
696216
4741
Hatuna budi ila kuuchukua tena ujumbe wa haki za binadamu,
11:40
the principles of our faith,
181
700957
2647
maadili ya dini yetu, si kwa ajili yetu,
11:43
not for us, not for the women in your families,
182
703604
2763
na si kwa ajili ya wanawake wenu tu,
11:46
not for the women in this room,
183
706367
1950
si kwa ajili ya wanawake humu leo,
11:48
not even for the women out there,
184
708317
3174
hata si kwa ajili ya wanawake kule nje,
11:51
but for societies that would be transformed
185
711491
3506
bali kwa ajili ya jamii ambazo zingebadilika kuwa nzuri
11:54
with the participation of women.
186
714997
2317
kwa mashirikiano ya wanawake.
11:57
And the only way we can do that,
187
717884
2507
Na jinsi ya pekee sisi tunavyoweza kufanya hivyo,
12:00
our only option,
188
720391
1788
njia yetu moja tu,
12:02
is to be, and remain, at the table.
189
722179
3530
ni kupata nafasi na kukaa daima, kwenye meza.
12:05
Thank you.
190
725709
2623
Asante.
(Makofi)
12:08
(Applause)
191
728332
3579
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7