How I learned to read -- and trade stocks -- in prison | Curtis "Wall Street" Carroll

4,231,820 views

2017-05-18 ・ TED


New videos

How I learned to read -- and trade stocks -- in prison | Curtis "Wall Street" Carroll

4,231,820 views ・ 2017-05-18

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
I was 14 years old
0
12780
2056
Nilikuwa na umri wa miaka 14
00:14
inside of a bowling alley,
1
14860
1576
nikiwa kwenye jumba la michezo,
00:16
burglarizing an arcade game,
2
16460
1760
nikiiba kwenye mashine ya mchezo,
00:19
and upon exiting the building
3
19020
1776
na nilipokuwa nikitoka nje ya jengo
00:20
a security guard grabbed my arm, so I ran.
4
20820
2200
mlinzi alikamata mkono wangu, hivyo nikakimbia.
00:23
I ran down the street, and I jumped on top of a fence.
5
23580
2976
Nilikimbilia mtaani, na nikaruka juu ya uzio.
00:26
And when I got to the top,
6
26580
1616
Na nilipofika juu,
00:28
the weight of 3,000 quarters in my book bag
7
28220
2176
uzito wa sarafu 3,000 kwenye mkoba wangu
00:30
pulled me back down to the ground.
8
30420
1640
ulinielemea na kunivuta chini.
00:32
So when I came to, the security guard was standing on top of me,
9
32700
3056
Niliponyanyuka, mlinzi alikuwa amesima juu yangu,
00:35
and he said, "Next time you little punks steal something you can carry."
10
35780
3416
na akasema, "Siku nyingine nyinyi vibaka, ibeni vitu mnavyoweza kubeba."
00:39
(Laughter)
11
39220
2016
(Kicheko)
00:41
I was taken to juvenile hall
12
41260
2136
Nilipelekwa kwenye mahabusu ya watoto
00:43
and when I was released into the custody of my mother,
13
43420
2560
na nilipoachiliwa chini ya dhamana ya mama yangu,
00:46
the first words my uncle said was, "How'd you get caught?"
14
46900
2976
maneno ya kwanza mjomba wangu alisema yalikuwa, "Ulikamatwaje?"
00:49
I said, "Man, the book bag was too heavy."
15
49900
2176
Nikasema, "Mzee, mkoba ulikuwa mzito sana."
00:52
He said, "Man, you weren't supposed to take all the quarters."
16
52100
2936
Akasema, "Mzee, hukutakiwa kuchukua sarafu zote."
Nikasema, "Mzee, zilikuwa ndogo. Ningefanyaje?"
00:55
I said, "Man, they were small. What am I supposed to do?"
17
55060
2816
00:57
And 10 minutes later, he took me to burglarize another arcade game.
18
57900
4896
na dakika 10 baadaye, alinipeleka kuiba kwenye mashine nyingine ya mchezo.
01:02
We needed gas money to get home.
19
62820
1640
Tulihitaji pesa ya petroli kufika maskani.
01:05
That was my life.
20
65100
1200
Hayo ndiyo yalikuwa maisha yangu.
01:07
I grew up in Oakland, California,
21
67260
1856
Nimekulia Oakland, Kalifornia,
01:09
with my mother and members of my immediate family
22
69140
2336
na mama yangu na ndugu wa karibu wa familia
01:11
addicted to crack cocaine.
23
71500
1240
walevi wa madawa ya kulevya ya kokeini .
01:13
My environment consisted of living with family, friends,
24
73380
4440
Mazingira yangu yalijumuisha kuishi na familia, marafiki,
01:18
and homeless shelters.
25
78780
1600
na makazi kwa wasio-na-makazi.
01:20
Oftentimes, dinner was served in breadlines and soup kitchens.
26
80860
3680
Mara nyingi, mlo wa jioni tuliupata kwenye foleni za vyakula vya msaada.
01:25
The big homey told me this:
27
85260
1856
Mjomba aliniambia hivi:
01:27
money rules the world
28
87140
1976
pesa inatawala dunia
01:29
and everything in it.
29
89140
1216
na kila kitu ndani yake.
01:30
And in these streets, money is king.
30
90380
2080
Na katika hii mitaa, pesa ni Mfalme.
01:33
And if you follow the money,
31
93140
1616
Na ikiwa utafuata pesa,
01:34
it'll lead you to the bad guy or the good guy.
32
94780
2520
itakupeleka kwa mtu mbaya au mtu mzuri.
01:37
Soon after, I committed my first crime,
33
97900
2536
Baadaye kidogo, nilifanya uhalifu wangu wa kwanza,
01:40
and it was the first time that I was told that I had potential
34
100460
2976
na ndiyo mara ya kwanza nilipoambiwa kuwa nina kipaji
01:43
and felt like somebody believed in me.
35
103460
1840
na nikajisikia kuwa kuna mtu ananiaminia.
01:46
Nobody ever told me that I could be a lawyer,
36
106060
2136
Hakuna aliyewahi-niambia kuwa ningeweza kuwa mwanasheria,
01:48
doctor or engineer.
37
108220
1656
daktari au mhandisi.
01:49
I mean, how was I supposed to do that? I couldn't read, write or spell.
38
109900
3416
Yaani, ningewezaje kufanya hivyo? Sikuweza kusoma, kuandika wala kutahajia.
01:53
I was illiterate.
39
113340
1216
Sikuwa mtu aliyesoma.
01:54
So I always thought crime was my way to go.
40
114580
2560
Kwahiyo, mara zote nilifikiri uhalifu ndio njia ya kwenda.
01:59
And then one day
41
119300
1696
Na kisha siku moja
02:01
I was talking to somebody
42
121020
1256
Nilikuwa naongea na mtu
02:02
and he was telling me about this robbery that we could do.
43
122300
3600
na alikuwa ananiambia juu ya huu wizi ambao tungeweza fanya.
02:06
And we did it.
44
126580
1200
Na tukaufanya.
02:08
The reality was that I was growing up
45
128900
1816
Ukweli ni kwamba nilikuwa nakulia
02:10
in the strongest financial nation in the world,
46
130740
2216
kwenye nchi yenye uwezo mkubwa wa kifedha duniani,
02:12
the United States of America,
47
132980
1856
Marekani,
02:14
while I watched my mother stand in line at a blood bank
48
134860
4080
huku nikiangalia mama yangu, akisimama kwenye foleni ya benki ya damu
02:20
to sell her blood for 40 dollars just to try to feed her kids.
49
140500
3680
kuuza damu yake kwa Dola 40 kujaribu tu kulisha wanae.
02:25
She still has the needle marks on her arms to day to show for that.
50
145140
3320
Bado ana alama za sindano mikononi mwake leo kudhihirisha hilo.
02:29
So I never cared about my community.
51
149300
1736
Kwa hiyo sikuijali jumuiya yangu,
02:31
They didn't care about my life.
52
151060
1496
Hawakujali maisha yangu.
02:32
Everybody there was doing what they were doing to take what they wanted,
53
152580
3416
Kila mtu pale alifanya anachotaka fanya kupata alichotaka,
02:36
the drug dealers, the robbers, the blood bank.
54
156020
2176
wauza mihadarati, wezi, benki ya damu.
02:38
Everybody was taking blood money.
55
158220
1616
Kila mtu alichukua fedha ya damu.
02:39
So I got mine by any means necessary.
56
159860
1896
Hivyo nilipata yangu kwa njia yoyote ile.
02:41
I got mine.
57
161780
1576
Nilipata yangu.
02:43
Financial literacy really did rule the world,
58
163380
2120
Elimu ya fedha kweli ilitawala dunia,
02:46
and I was a child slave to it
59
166500
1976
na nilikuwa mtoto mtumwa kwake
02:48
following the bad guy.
60
168500
1240
nikifuata mtu mbaya.
02:52
At 17 years old, I was arrested for robbery and murder
61
172100
3176
Nikiwa na miaka 17, nilikamatwa kwa wizi na mauaji
02:55
and I soon learned that finances in prison rule more than they did on the streets,
62
175300
3976
na punde nikajifunza kuwa fedha jela zinatawala zaidi ya zilivyo mitaani,
02:59
so I wanted in.
63
179300
1200
Hivyo nilitaka kuingia.
03:01
One day, I rushed to grab the sports page of the newspaper
64
181420
3056
Siku moja, nilikurupuka kushika ukurasa wa michezo katika gazeti
03:04
so my cellie could read it to me,
65
184500
1816
ili mfungwa mwenzangu anisomee,
03:06
and I accidentally picked up the business section.
66
186340
2416
na kwa bahati mbaya nikachukua sehemu ya biashara.
03:08
And this old man said, "Hey youngster, you pick stocks?"
67
188780
3256
Na huyu mzee akasema, "Hey, kijana, umechukua hisa?"
03:12
And I said, "What's that?"
68
192060
1256
Na nikasema, "Ndio nini hicho?"
03:13
He said, "That's the place where white folks keep all their money."
69
193340
3176
Akasema, "Hiyo ndiyo sehemu ambayo watu weupe huweka pesa yao yote."
03:16
(Laughter)
70
196540
1216
(Kicheko)
03:17
And it was the first time that I saw a glimpse of hope,
71
197780
3856
Na ilikuwa ndiyo mara ya kwanza nilipata ono fupi la tumaini,
03:21
a future.
72
201660
1496
siku za baadaye.
03:23
He gave me this brief description of what stocks were,
73
203180
2600
Alinipa maelezo mafupi ya hisa zilikuwa ni nini,
03:26
but it was just a glimpse.
74
206620
1440
lakini ilikuwa ni muhtasari tu.
03:30
I mean, how was I supposed to do it?
75
210180
1776
Yaani, ningewezaje kuifanya?
03:31
I couldn't read, write or spell.
76
211980
1760
Sikuweza kusoma, kuandika wala kutahajia.
03:34
The skills that I had developed to hide my illiteracy
77
214420
2616
Ujuzi niliokuwa nimeukuza kuficha kutokusoma kwangu
03:37
no longer worked in this environment.
78
217060
1976
haukufanya kazi tena katika mazingira haya.
03:39
I was trapped in a cage, prey among predators,
79
219060
3096
Nilikuwa nimenaswa kwenye kizimba mateka kati ya watekaji,
03:42
fighting for freedom I never had.
80
222180
1896
nikipigania uhuru ambao sijawahi kuwa nao.
03:44
I was lost, tired,
81
224100
2176
Nilikuwa nimepotea, nimechoka,
03:46
and I was out of options.
82
226300
1360
na sikuwa na machaguzi.
03:48
So at 20 years old,
83
228820
1776
Kwa hiyo nikiwa na miaka 20,
03:50
I did the hardest thing I'd ever done in my life.
84
230620
2520
nilifanya kitu kigumu kuliko vyote nilivyowahi kufanya maishani mwangu.
03:53
I picked up a book,
85
233980
1200
Nilichukua kitabu,
03:57
and it was the most agonizing time of my life,
86
237220
2480
na ilikuwa ni kipindi kigumu sana maishani mwangu.
04:01
trying to learn how to read,
87
241140
1816
kujaribu kujifunza jinsi ya kusoma,
04:02
the ostracizing from my family,
88
242980
2616
kutengana na familia yangu,
04:05
the homeys.
89
245620
1200
na rafiki zangu.
04:08
It was rough, man.
90
248100
1456
Ilikuwa shida, mzee.
04:09
It was a struggle.
91
249580
1376
Ilikuwa ni mahangaiko.
04:10
But little did I know
92
250980
1696
Lakini sikufahamu japo kidogo kuwa
04:12
I was receiving the greatest gifts I had ever dreamed of:
93
252700
3416
nilikuwa napata zawadi kubwa kuliko zote nilizowahi kuziota,
04:16
self-worth,
94
256140
1200
kujithamini,
04:18
knowledge, discipline.
95
258140
1840
maarifa, nidhamu.
04:20
I was so excited to be reading that I read everything I could get my hands on:
96
260820
3696
Nilisisimka mno kusoma, kiasi kwamba nilisoma kila kitu nilichokitia mkononi:
04:24
candy wrappers, clothing logos, street signs, everything.
97
264540
3335
makaratasi ya pipi, nembo za nguo, alama za barabarani, kila kitu.
04:27
I was just reading stuff!
98
267899
1217
Nilikuwa nikisoma tu vitu!
04:29
(Applause)
99
269140
1016
(Makofi na Vifijo)
04:30
Just reading stuff.
100
270180
1200
kusoma tu vitu.
04:33
I was so excited to know how to read and know how to spell.
101
273180
2800
Nilisisimka sana kujua jinsi ya kusoma na kujua jinsi ya kutahajia.
04:36
The homey came up, said, "Man, what you eating?"
102
276540
2256
Rafiki alikuja, akaniuliza, "Mzee, unakula nini?"
04:38
I said, "C-A-N-D-Y, candy."
103
278820
1736
Nikasema, "P-I-P-I, pipi."
04:40
(Laughter)
104
280580
2256
(Kicheko)
04:42
He said, "Let me get some." I said, "N-O. No."
105
282860
2496
Akasema, "Nipe kidogo." Nikasema, "L-A. La."
04:45
(Laughter)
106
285380
1216
(Kicheko)
04:46
It was awesome.
107
286620
1416
Ilikuwa babukubwa.
04:48
I mean, I can actually now for the first time in my life read.
108
288060
3176
Yaani, sasa naweza, kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, kusoma.
04:51
The feeling that I got from it was amazing.
109
291260
2040
Hisia niliyoipata, ni ya kustaajabu sana.
04:55
And then at 22, feeling myself,
110
295060
2600
Kisha, nikiwa na miaka 22, nikijisikia mwenyewe,
04:58
feeling confident,
111
298620
1736
nikijiamini,
05:00
I remembered what the OG told me.
112
300380
1840
Nilikumbuka kile yule mzee aliniambia.
05:03
So I picked up the business section of the newspaper.
113
303580
3736
Kwa hiyo nilichukua kurasa za biashara za gazeti.
05:07
I wanted to find these rich white folks.
114
307340
1936
Nilitaka kuwatafuta hawa matajiri weupe.
05:09
(Laughter)
115
309300
1600
(Kicheko)
05:12
So I looked for that glimpse.
116
312340
1920
Kwa hiyo nilitafuta ule muhtasari.
05:15
As I furthered my career
117
315300
1616
Nilipokuwa nikijiendeleza kikazi
05:16
in teaching others how to financially manage money and invest,
118
316940
3856
nikifundisha wengine namna ya kusimamia fedha na kuwekeza,
05:20
I soon learned that I had to take responsibility for my own actions.
119
320820
3336
punde nikajifunza kuwa nilihitaji kuwajibika kwa matendo yangu.
05:24
True, I grew up in a very complex environment,
120
324180
3016
Kweli, nilikulia kwenye mazingira tata sana,
05:27
but I chose to commit crimes,
121
327220
1936
lakini nilichagua kufanya uhalifu,
05:29
and I had to own up to that.
122
329180
1776
na nilipaswa kukiri hilo.
05:30
I had to take responsibility for that, and I did.
123
330980
2616
Nilipaswa kuwajibika kwa hilo, na nilifanya hivyo.
05:33
I was building a curriculum that could teach incarcerated men
124
333620
2896
Nilikuwa nikiunda mtaala ambao ungeweza kuwafundisha wafungwa
05:36
how to manage money through prison employments.
125
336540
2280
namna ya kusimamia fedha kupitia ajira za gerezani.
05:40
Properly managing our lifestyle would provide transferrable tools
126
340540
3176
Kutiisha mtindo wetu wa maisha kungeweza kutoa zana zihamishikazo
05:43
that we can use to manage money when we reenter society,
127
343740
3336
ambazo tunaweza kuzitumia kusimamia fedha tunapoirudi kwenye jamii,
05:47
like the majority of people did who didn't commit crimes.
128
347100
3256
kama watu wengi walivyofanya ambao hawakufanya uhalifu.
05:50
Then I discovered
129
350380
1200
Kisha niligundua
05:52
that according to MarketWatch,
130
352500
2056
kulingana takwimu ya MarketWatch,
05:54
over 60 percent of the American population
131
354580
2536
zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Marekani
05:57
has under 1,000 dollars in savings.
132
357140
2120
wana chini ya Dola 1,000 katika akiba.
06:00
Sports Illustrated said that over 60 percent of NBA players
133
360020
3216
Michezo ilielezea kwamba zaidi ya asilimia 60 ya wachezaji wa NBA
06:03
and NFL players go broke.
134
363260
1536
na wachezaji wa NFL hufilisika.
06:04
40 percent of marital problems derive from financial issues.
135
364820
3040
Asilimia 40 ya matatizo ya ndoa hutokana na masuala ya kifedha.
06:08
What the hell?
136
368900
1216
Balaa gani?
06:10
(Laughter)
137
370140
2136
(Kicheko)
06:12
You mean to tell me that people worked their whole lives,
138
372300
2696
Unataka kuniambia, watu wamefanya kazi maisha yao yote,
06:15
buying cars, clothes, homes and material stuff
139
375020
2576
wakinunua magari, nguo, nyumba na vitu mbalimbali
06:17
but were living check to check?
140
377620
2216
lakini walikuwa waliishi hundi kwa hundi?
06:19
How in the world were members of society going to help incarcerated individuals
141
379860
4336
Ni namna gani duniani wanajamii wangekwenda kuwasaidia wafungwa
06:24
back into society
142
384220
1216
kurudi kwenye jamii
06:25
if they couldn't manage they own stuff?
143
385460
1880
ikiwa hawakuweza kusimamia mambo yao wenyewe?
06:27
We screwed.
144
387980
1256
Tumevurugwa.
06:29
(Laughter)
145
389260
1736
(Kicheko)
06:31
I needed a better plan.
146
391020
1400
Nahitaji mpango mzuri zaidi.
06:34
This is not going to work out too well.
147
394340
2120
Hii haitakwenda kufanya kazi vizuri.
06:36
So ...
148
396860
1200
Hivyo ...
06:39
I thought.
149
399700
1200
Nilifikiria.
06:43
I now had an obligation to meet those on the path
150
403620
2840
Sasa nilikuwa na wajibu kukutana na wale waliokuwa kwenye mkondo huo
06:48
and help,
151
408180
1216
na kuwasaidia,
06:49
and it was crazy because I now cared about my community.
152
409420
3256
na ilikuwa ni ajabu sababu sasa nilijali jumuiya yangu
06:52
Wow, imagine that. I cared about my community.
153
412700
2360
Lo, hebu fikiria. Nilijali kuhusu jumuiya yangu.
06:56
Financial illiteracy is a disease
154
416460
2296
Ujinga juu ya Fedha ni ugonjwa
06:58
that has crippled minorities and the lower class in our society
155
418780
3016
ambao umedhohofisha wachache na walio chini katika jamii yetu
07:01
for generations and generations,
156
421820
2136
kwa vizazi na vizazi,
07:03
and we should be furious about that.
157
423980
2496
na tunapaswa kukasirika juu ya hilo.
07:06
Ask yourselves this:
158
426500
1576
Ebu jiulize:
07:08
How can 50 percent of the American population
159
428100
3256
Inawezekanaje asilimia 50 ya wakazi wa Marekani
07:11
be financially illiterate in a nation driven by financial prosperity?
160
431380
3960
wasiwe na elimu ya fedha katika nchi inayoendeshwa kwa ustawi wa kifedha?
07:16
Our access to justice, our social status,
161
436820
2856
Kupatikana kwa haki kwetu, hadhi yetu ya kijamii,
07:19
living conditions, transportation and food
162
439700
3016
hali ya maisha, usafirishaji na chakula
07:22
are all dependent on money that most people can't manage.
163
442740
3056
vyote vinategemea fedha ambayo watu wengi hawawezi kuisimamia.
07:25
It's crazy!
164
445820
1576
Ni ajabu!
07:27
It's an epidemic
165
447420
1376
Ni janga
07:28
and a bigger danger to public safety than any other issue.
166
448820
3000
na hatari kubwa kwa usalama wa umma kuliko suala jingine lolote.
07:33
According to the California Department of Corrections,
167
453540
2656
Kadiri ya Kitengo cha Urekebishaji cha Kalifornia,
07:36
over 70 percent of those incarcerated
168
456220
2336
zaidi ya asilimia 70 ya wale waliofungwa
07:38
have committed or have been charged with money-related crimes:
169
458580
3616
wamefanya au wameshtakiwa kwa uhalifu uhusianao na fedha:
07:42
robberies, burglaries, fraud, larceny, extortion --
170
462220
4520
wizi wa kutumia nguvu, kuvunja nyumba, kutapeli, uporaji, ghusubu --
07:47
and the list goes on.
171
467540
1320
na orodha inaendelea.
07:49
Check this out:
172
469740
1216
Angalia hii:
07:50
a typical incarcerated person
173
470980
2936
Mfungwa wa kawaida
07:53
would enter the California prison system
174
473940
2496
huingia katika mfumo wa gereza wa Kalifornia
07:56
with no financial education,
175
476460
1560
pasipo kuwa na elimu ya fedha,
07:58
earn 30 cents an hour,
176
478660
1976
hupata ujira wa senti 30 kwa saa,
08:00
over 800 dollars a year,
177
480660
2216
zaidi ya Dola 800 kwa mwaka,
08:02
with no real expenses and save no money.
178
482900
2760
bila ya kuwa na matumizi yoyote na kuweka akiba yoyote.
08:06
Upon his parole, he will be given 200 dollars gate money and told,
179
486580
4336
Anapopewa msamaha, hupewa dola 200 pesa ya geti na kuambiwa,
08:10
"Hey, good luck, stay out of trouble. Don't come back to prison."
180
490940
3080
"Wee, mafanikio mema, kaa mbali na matatizo. Usirudi gerezani tena."
08:14
With no meaningful preparation or long-term financial plan,
181
494620
3296
Bila kuwa na maandalizi yoyote ya maana au mpango fedha wa muda mrefu,
08:17
what does he do ... ?
182
497940
1200
anafanyaje ...?
08:20
At 60?
183
500420
1200
Akiwa na miaka 60?
08:22
Get a good job,
184
502940
1336
Apate kazi nzuri,
08:24
or go back to the very criminal behavior that led him to prison in the first place?
185
504300
3920
au arudi kwenye tabia ile ile ya uhalifu iliyompeleka gerezani kwanza?
08:29
You taxpayers, you choose.
186
509220
1776
Nyinyi walipakodi, chagueni wenyewe.
08:31
Well, his education already chose for him, probably.
187
511020
3160
Hakika, elimu yake imeshamchagulia, pengine.
08:34
So how do we cure this disease?
188
514940
2360
Kwa hiyo, tunatibuje ugonjwa huu?
08:38
I cofounded a program
189
518060
1736
Nilishiriki kuanzisha programu
08:39
that we call Financial Empowerment Emotional Literacy.
190
519820
4576
tuliyoiita Elimu Hisia ya Uwezeshaji wa Kifedha
08:44
We call it FEEL,
191
524420
1456
tunaiita FEEL
08:45
and it teaches how do you separate your emotional decisions
192
525900
3176
na inafundisha namna ya kutenganisha maamuzi ya kihisia
08:49
from your financial decisions,
193
529100
1976
na maamuzi ya kifedha,
08:51
and the four timeless rules to personal finance:
194
531100
3416
na sheria 4 aushi za utawala fedha binafsi:
08:54
the proper way to save,
195
534540
1560
njia sahihi ya kuweka akiba,
08:57
control your cost of living,
196
537380
1640
kudhibiti gharama zako za maisha,
09:00
borrow money effectively
197
540140
1776
kukopa fedha kwenye ufanisi
09:01
and diversify your finances by allowing your money to work for you
198
541940
3776
kutawanya fedha yako kuruhusu fedha yako ikufanyie kazi
09:05
instead of you working for it.
199
545740
1816
badala ya wewe kuifanyia kazi.
09:07
Incarcerated people need these life skills before we reenter society.
200
547580
4160
Wafungwa wanahitaji ujuzi huu kabla ya kuingia tena kwenye jamii.
09:13
You can't have full rehabilitation without these life skills.
201
553300
3896
Hatuwezi kubadilika kuwa na maisha ya kawaida bila ujuzi huu wa maisha.
09:17
This idea that only professionals can invest and manage money
202
557220
3816
Hii dhana kuwa ni Weledi tu wanaweza kuwekeza na kusimamia fedha
09:21
is absolutely ridiculous,
203
561060
2256
ni ya fedheha kabisa,
09:23
and whoever told you that is lying.
204
563340
1667
na yeyote aliyewaambia hivyo anadanganya.
09:25
(Applause)
205
565031
4965
(Makofi na Vifijo)
09:30
A professional is a person
206
570020
2416
Mweledi ni mtu
09:32
who knows his craft better than most,
207
572460
2496
anayejua kazi zake kuliko walio wengi,
09:34
and nobody knows how much money you need, have or want better than you,
208
574980
4936
na hakuna mtu ajuaye kiasi gani cha fedha wahitaji, unacho, au wataka zaidi ya wewe,
09:39
which means you are the professional.
209
579940
1960
ikimaanisha kuwa wewe ni mweledi.
09:42
Financial literacy is not a skill, ladies and gentlemen.
210
582700
4216
Elimu ya fedha siyo stadi, mabibi na mabwana.
09:46
It's a lifestyle.
211
586940
1200
Ni mtindo wa maisha.
09:49
Financial stability is a byproduct of a proper lifestyle.
212
589380
4496
Uimara wa kifedha ni matokeo ya ziada ya mtindo sahihi wa maisha.
09:53
A financially sound incarcerated person can become a taxpaying citizen,
213
593900
3800
Mfungwa mwenye elimu nzuri ya kifedha anaweza kuwa mwananchi mlipakodi,
09:58
and a financially sound taxpaying citizen can remain one.
214
598500
3496
na mwananchi mlipakodi mwenye elimu nzuri ya kifedha anaweza kubaki hivyo.
10:02
This allows us to create a bridge between those people who we influence:
215
602020
4336
Hii inatuwezesha kuunda daraja kati ya wale watu tunaowashawishi:
10:06
family, friends and those young people
216
606380
2736
familia, marafiki na wale vijana
10:09
who still believe that crime and money are related.
217
609140
2920
ambao bado wanaamini kuwa uhalifu na pesa vina uhusiano.
10:13
So let's lose the fear and anxiety
218
613540
2896
Kwa hiyo tupoteze uwoga na wasiwasi
10:16
of all the big financial words
219
616460
1456
wa maneno makubwa ya kifedha
10:17
and all that other nonsense that you've been out there hearing.
220
617940
3576
na ujinga mwingine wote ambao mmekuwa mkisikia huko nje.
10:21
And let's get to the heart of what's been crippling our society
221
621540
3856
Na tujikite kwenye kiini kilichokuwa kinadhoofisha jamii yetu
10:25
from taking care of your responsibility to be better life managers.
222
625420
4360
kuanzia kutimiza wajibu wako la kuwa meneja mzuri wa maisha.
10:30
And let's provide a simple and easy to use curriculum
223
630820
3336
Na tutoe mtaala mwepesi na rahisi kutumia
10:34
that gets to the heart, the heart
224
634180
2256
ambao utaingia kwenye kiini, kiini
10:36
of what financial empowerment and emotional literacy really is.
225
636460
3936
cha ni nini ukweli wa uwezeshaji wa kifedha na elimu ya hisia.
10:40
Now, if you're sitting out here in the audience and you said,
226
640420
2896
Sasa, ikiwa umekaa hapa kwa wasikilizaji na umesema,
10:43
"Oh yeah, well, that ain't me and I don't buy it,"
227
643340
2416
"Ndiyo, kweli, hiyo si mimi na sikubaliani nayo,"
10:45
then come take my class --
228
645780
1296
basi njoo uchukue somo langu --
10:47
(Laughter)
229
647100
1696
(Kicheko)
10:48
so I can show you how much money it costs you every time you get emotional.
230
648820
3680
ili nikuoneshe ni kiasi gani cha pesa inakugharimu kila unaposhikwa na hisia.
10:53
(Applause)
231
653780
3160
(Makofi na Vifijo)
10:59
Thank you very much. Thank you.
232
659420
1536
Asanteni sana. Asanteni.
11:00
(Applause)
233
660980
1160
(Makofi na Vifijo)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7