My Inner Life with Asperger's | Alix Generous | TED Talks

427,048 views ・ 2015-09-08

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Miriam Loivotoki Elisha Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
Today, I want to talk to you about dreams.
0
12746
2627
Leo ninataka kuzungumza nawe kuhusu ndoto.
00:15
I have been a lucid dreamer my whole life,
1
15999
2717
nimekuwa mwota ndoto mzuri maisha yote,
00:18
and it's cooler than in the movies.
2
18740
1976
na ni nzuri kuliko za kwenye filamu.
00:20
(Laughter)
3
20740
1943
(kicheko)
00:22
Beyond flying, breathing fire,
4
22707
2708
zaidi ya kupaa, kupumua moto,
00:25
and making hot men spontaneously appear ...
5
25439
2841
na kufanya wanaume wazuri watokee kwa ghafla ...
00:28
(Laughter)
6
28304
1977
(kicheko)
00:30
I can do things like read and write music.
7
30305
2408
Ninaweza kufanya vitu kama kusoma na kuandika muziki.
00:33
Fun fact is that I wrote my personal statement to college
8
33344
3331
Cha kufurahisha ni kuwa niliandika habari yangu binafsi kwenda chuoni
00:36
in a dream.
9
36699
1320
nikiwa kwenye ndoto.
00:38
And I did accepted. So, yeah.
10
38043
2755
Na nilikubaliwa. Hivyo sawa.
00:41
I am a very visual thinker.
11
41873
1806
Ninafikiri kwa namna ya picha.
00:44
I think in pictures, not words.
12
44393
2249
Ninafikiri kwa picha, sio maneno.
00:47
To me, words are more like instincts and language.
13
47174
4231
Kwangu mimi, maneno ni kama lugha na hisia.
00:51
There are many people like me;
14
51993
1752
Kuna watu wengi kama mimi;
00:53
Nikola Tesla, for example,
15
53769
2514
Nikola Tesla, kwa mfano,
00:56
who could visualize, design, test, and troubleshoot everything --
16
56307
5015
ambaye anaweza kuona, kubuni, kupima na kutafuta suluhu kila kitu --
01:01
all of his inventions -- in his mind, accurately.
17
61346
3406
uvumbuzi wake wote -- katika akili yake, kwa ufasaha.
01:06
Language is kind of exclusive to our species, anyway.
18
66633
3342
Lugha ni kitu ambacho hakipo katika aina yetu, hata hivyo.
01:09
I am a bit more primitive,
19
69999
2110
mimi ni mshamba kidogo,
01:12
like a beta version of Google Translate.
20
72133
2568
kama toleo la beta la tafsiri ya Google.
01:14
(Laughter)
21
74725
2612
(Kicheko)
01:18
My brain has the ability to hyper-focus on things that interest me.
22
78741
3883
Ubongo wangu una uwezo wa kuzingatia kwa hali ya juu kwenye vitu vinavyonivutia
01:23
For example, once I had an affair with calculus
23
83307
2667
Kwa mfano, niliwahi kuwa na mapenzi na hesabu za calculus
01:25
that lasted longer than some celebrity marriages.
24
85998
2689
ambayo yalidumu kwa muda mrefu kuliko ndoa za watu maarufu.
01:28
(Laughter)
25
88711
2927
(kicheko)
01:32
There are some other unusual things about me.
26
92527
2516
Kuna mambo mengine yasiyo ya kawaida kuhusu mimi.
01:36
You may have noticed that I don't have much inflection
27
96391
2826
utakuwa umegundua kuwa sina mawimbi
01:39
in my voice.
28
99241
1214
kwenye sauti yangu
01:40
That's why people often confuse me with a GPS.
29
100479
3061
Ndio mana watu hunichanganya mimi na GPS.
01:43
(Laughter)
30
103564
3874
(Kicheko)
01:48
This can make basic communication a challenge, unless you need directions.
31
108034
3947
Hii inafanya mawasiliano kuwa changamoto, labda kama unahitaji maelekezo.
01:52
(Laughter)
32
112005
4415
(kicheko)
01:56
Thank you.
33
116444
1174
Asante.
01:57
(Applause)
34
117642
4227
(Makofi)
02:02
A few years ago, when I started doing presentations,
35
122600
3239
Miaka michache iliyopita, nilipoanza kufanya mawasilisho,
02:05
I went to get head shots done for the first time.
36
125863
2629
Nilikwenda kupigwa shoti za kichwa kwa mara ya kwanza.
02:09
The photographer told me to look flirty.
37
129381
2743
Mpiga picha aliniambia nijiweke kichafu.
02:12
(Laughter)
38
132148
2269
(kicheko)
02:14
And I had no idea what she was talking about.
39
134441
2589
Sikuwa ninafahamu alichokuwa anamaanisha
02:17
(Laughter)
40
137054
1646
(kicheko)
02:18
She said, "Do that thing, you know, with your eyes,
41
138724
2428
Akasema, "fanya kile kitu, unajua, kwa macho yako,
02:21
when you're flirting with guys."
42
141176
1901
pale unapo washawishi wanaume."
02:23
"What thing?" I asked.
43
143101
2091
"kitu gani?" nikauliza.
02:25
"You know, squint."
44
145608
1453
"unajua, macho".
02:27
And so I tried, really.
45
147553
1684
Hivyo nikajaribu, kiukweli.
02:29
It looked something like this.
46
149261
1661
Ikatokea kitu kama hiki.
02:31
(Laughter)
47
151382
2461
(kicheko)
02:33
I looked like I was searching for Waldo.
48
153867
2623
Nikaonekana kama aliyekuwa anatafuta Waldo.
02:36
(Laughter)
49
156514
2386
(kicheko)
02:40
There's a reason for this,
50
160582
1732
Kuna sababu kuhusu hili,
02:42
as there is a reason that Waldo is hiding.
51
162338
2569
kama ambavyo iko sababu ya Waldo kujificha.
02:44
(Laughter)
52
164931
4447
(kicheko)
02:52
I have Asperger's,
53
172918
1588
Nina Aspega
02:54
a high-functioning form of autism
54
174530
1992
aina ya usonji wenye uwezo mkubwa
02:56
that impairs the basic social skills one is expected to display.
55
176546
3476
ambayo inaharibu ujuzi wa kijamii ambao mtu anategemewa kuuonyesha.
03:02
It's made life difficult in many ways,
56
182726
3084
Inafanya maisha kuwa magumu kwa namna nyingi,
03:05
and growing up, I struggled to fit in socially.
57
185834
3740
na nilipokuwa nakuwa, nilipata ugumu kuishi na jamii.
03:09
My friends would tell jokes, but I didn't understand them.
58
189955
3627
Marafiki zangu walisema vichekesho, lakini sikuweza kuwaelewa.
03:14
My personal heroes were George Carlin and Stephen Colbert --
59
194320
4656
Mashujaa wangu walikuwa George Carlin na Stephen Colbert --
03:19
and they taught me humor.
60
199000
2381
na walinifundisha ucheshi.
03:22
My personality switched from being shy and awkward
61
202881
3806
Haiba yangu ikabadilika kutoka kuwa na aibu na wa ajabu
03:26
to being defiant and cursing out a storm.
62
206711
2793
kuwa mtukutu na ninayesababisha dhoruba
03:30
Needless to say, I did not have many friends.
63
210322
2733
Sina haja ya kusema, Sikuwa na marafiki wengi.
03:33
I was also hypersensitive to texture.
64
213714
2278
Lakini pia nilikuwa na hisia kali na hali za vitu.
03:36
The feel of water on my skin was like pins and needles,
65
216722
3687
Hisia ya maji kwenye ngozi yangu ilikuwa kama sindano na pini,
03:40
and so for years, I refused to shower.
66
220433
2294
hivyo kwa miaka mingi, nilikataa kuoga.
03:43
I can assure you that my hygiene routine is up to standards now, though.
67
223251
3968
ninakuhakikishia hali yangu ya usafi iko kwa viwango kwa sasa, hata hivyo.
03:47
(Laughter)
68
227243
1633
(Kicheko)
03:50
I had to do a lot to get here, and my parents --
69
230487
4393
Ilinibidi kufanya kazi kubwa kufika hapa, na wazazi wangu --
03:54
things kind of got out of control when I was sexually assaulted by a peer,
70
234904
4629
mambo kidogo yalikwenda mrama nilipodhalilishwa kingono na mtu wa rika langu,
03:59
and on top of everything, it made a difficult situation worse.
71
239557
4800
na juu ya mambo yote,ilifanya hali mbaya kuwa mbaya zaidi.
04:05
And I had to travel 2,000 miles across the country to get treatment,
72
245270
5563
Nikapaswa kusafiri maili 2000 ndani ya nchi kupata matibabu,
04:10
but within days of them prescribing a new medication,
73
250857
3674
lakini siku chache baada ya kupewa dawa mapya,
04:14
my life turned into an episode of the Walking Dead.
74
254555
2752
maisha yangu yakageuka kuwa kipindi cha mfu anayetembea.
04:18
I became paranoid, and began to hallucinate
75
258109
3112
Nikawa mtu wa ajabu na kikaanza kuona vitu ambavyo havipo.
04:21
that rotting corpses were coming towards me.
76
261245
3024
kwamba maiti zilizooza zinanijia.
04:24
My family finally rescued me,
77
264769
2842
hatimaye familia yangu ikaninusuru,
04:27
but by that time, I had lost 19 pounds in those three weeks,
78
267635
4689
lakini kwa wakati huo, nilipoteza paundi 19 katika wiki tatu,
04:32
as well as developing severe anemia,
79
272348
2429
pamoja na kuanza kuwa na tatizo la kupungukiwa damu,
04:34
and was on the verge of suicide.
80
274801
1761
na nilifikia kutaka kujiua.
04:38
I transferred to a new treatment center that understood my aversions,
81
278180
4675
Nilienda kwenye kituo kingine cha matibabu ambacho kilielewa machukizo yangu,
04:42
my trauma, and my social anxiety,
82
282879
3681
taabu yangu, na hofu yangu ya kijamii.
04:46
and they knew how to treat it, and I got the help I finally needed.
83
286584
3316
na walifahamu namna ya kunitibu, na nilipata msaada niliouhitaji.
04:50
And after 18 months of hard work,
84
290202
2572
Na baada ya miezi 18 ya kazi ngumu,
04:52
I went on to do incredible things.
85
292798
3092
Nikaenda kufanya mambo ya ajabu.
04:56
One of the things with Asperger's is that oftentimes,
86
296710
3428
Kitu kimojawapo kuhusu Aspegaz ni kwamba mara kwa mara,
05:00
these people have a very complex inner life,
87
300162
2093
hawa watu huwa wana utu wa ndani mtata sana,
05:02
and I know for myself, I have a very colorful personality,
88
302279
2841
na mimi ninajifahamu, nina haiba ya kuvutia sana,
05:05
rich ideas, and just a lot going on in my mind.
89
305144
3704
maoni mazuri, na vitu vingi vinavyoendelea kwenye akili yangu.
05:08
But there's a gap between where that stands,
90
308872
3373
Lakini kuna mwanya kati ya mahali hilo linasimama,
05:12
and how I communicate it with the rest of the world.
91
312269
2591
na jinsi ninavyowasilisha hayo kwa ulimwengu unaonizunguka.
05:15
And this can make basic communication a challenge.
92
315416
3476
Na hii inaweza kufanya mawasiliano ya kawaida kuwa na changamoto.
05:20
Not many places would hire me, due to my lack of social skills,
93
320106
3259
Sio sehemu nyingi zinaweza kuniajiri, kwa sababu ya ukosefu wa stadi za kijamii,
05:23
which is why I applied to Waffle House.
94
323389
2300
Ndio maana niliomba kazi Waffle House.
05:25
(Laughter)
95
325713
5587
(Kicheko)
05:32
Waffle House is an exceptional 24-hour diner --
96
332070
3678
Waffle House ni mgahawa wa masaa 24 ---
05:35
(Laughter)
97
335772
1953
(Kicheko)
05:37
(Applause)
98
337749
3254
(Makofi)
05:41
thank you --
99
341027
1940
Asante --
05:42
where you can order your hash browns
100
342991
1759
ambapo unaweza kuagiza hasi brown
05:44
the many ways that someone would dispose of a human corpse ...
101
344774
3153
kwa namna nyingi ambavyo mtu anaweza kutupa mzoga wa binadamu ...
05:47
(Laughter)
102
347951
1633
(kicheko)
05:49
Sliced, diced, peppered, chunked, topped, capped, and covered.
103
349608
4729
imekatwa, ina pilipili, imewekwa topin, iko vipande, na imefunikwa.
05:54
(Laughter)
104
354361
2103
(kicheko)
05:56
As social norms would have it,
105
356488
1445
Kama taratibu za kijamii zinavyoweka,
05:57
you should only go to Waffle House at an ungodly hour in the night.
106
357957
3497
unatakiwa kwenda Waffle House mida isiyo ya kawaida usiku tu.
06:01
(Laughter)
107
361478
1151
(kicheko)
06:02
So one time, at 2 am, I was chatting with a waitress, and I asked her,
108
362653
4356
Hivyo siku moja, saa 8 alfajiri, nilikuwa naongea na muhudumu, nikamuuliza,
06:07
"What's the most ridiculous thing that's happened to you on the job?"
109
367033
3270
"nikitu gani cha ajabu kimewahi kukutokea katika kazi yako?"
06:10
And she told me that one time, a man walked in completely naked.
110
370873
3263
Na akaniambia wakati mmoja, mwanaume aliingia akiwa uchi kabisa.
06:14
(Laughter)
111
374160
1230
(kicheko)
06:15
I said, "Great! Sign me up for the graveyard shift!"
112
375754
2508
Nikasema "vyema! niweke mimi kwenye zamu ya makaburini!"
06:18
(Laughter)
113
378286
2604
(kicheko)
06:20
Needless to say, Waffle House did not hire me.
114
380914
2791
Sina haja ya kusema, Waffle House hawakuniajiri.
06:25
So in terms of having Asperger's, it can be viewed as a disadvantage,
115
385838
4380
Hivyo kwa habari ya kuwa na Aspegaz, inaweza kuonekana kama tatizo,
06:30
and sometimes it is a real pain in the butt,
116
390242
2167
na wakati mwingine ni maumivu halisi ya kitako,
06:32
but it's also the opposite.
117
392433
1754
lakini pia ni kinyume chake.
06:34
It's a gift, and it allows me to think innovatively.
118
394211
3591
Ni zawadi, na inaniruhusu mimi kuwaza kiuvumbuzi.
06:38
At 19, I won a research competition for my research on coral reefs,
119
398810
6830
Nikiwa na miaka 19, nilishinda shindano la utafiti, katika tafiti yangu ya miamba maji,
06:45
and I ended up speaking
120
405664
1515
Na nikaishia kuzungumza
06:47
at the UN Convention of Biological Diversity,
121
407203
2251
Katika kongamano la UN la utofauti wa kibayolojia,
06:49
presenting this research.
122
409478
1496
nikiwasilisha utafiti huu.
06:50
(Applause)
123
410998
1688
(Makofi)
06:52
Thank you.
124
412710
1158
Asante.
06:53
(Applause)
125
413892
4898
(Makofi)
06:58
And at 22, I'm getting ready to graduate college,
126
418814
3995
Na nikiwa na miaka 22, ninajiangaa kumaliza chuo,
07:02
and I am a co-founder of a biotech company called AutismSees.
127
422833
4535
na ni mwanzilishi-mwenza wa kampuni ya kibayoteki inayoitwa AutismSees.
07:08
(Applause)
128
428275
1008
(Makofi)
07:09
Thank you.
129
429307
1255
Asante.
07:10
(Applause)
130
430586
2677
(Makofi)
07:13
But consider what I had to do to get here:
131
433287
3184
Lakini ukizingatia yale niliyofanya ili kufika hapa:
07:16
25 therapists, 11 misdiagnoses, and years of pain and trauma.
132
436495
5291
wataalamu 25, kukusea vipimo 11, na miaka ya maumivu na kiwewe.
07:22
I spent a lot of time thinking if there's a better way,
133
442698
3071
Nimetumia muda mwingi kuwaza kama kuna njia nzuri zaidi,
07:25
and I think there is: autism-assistive technology.
134
445793
4052
Na ninadhani ipo: teknolojia ya kusaidia-usonji.
07:30
This technology could play an integral role
135
450503
2017
Teknolojia hii itafanya kazi muhimu
07:32
in helping people with autistic spectrum disorder,
136
452544
2855
katika kuwasaidia watu wenye tatizo la usonji,
07:35
or ASD.
137
455423
1154
au ASD.
07:38
The app Podium, released by my company, AutismSees,
138
458465
4966
podium ya programu, iliyoachiliwa na kampuni yangu, AutismSees,
07:43
has the ability to independently assess and help develop communication skills.
139
463455
5274
inauwezo wa kuchunguza kibinafsi na kusaidia kuendeleza ujuzi wa mawasiliano.
07:49
In addition to this, it tracks eye contact through camera
140
469324
4322
Zaidi ya hapo, inafuatilia kutizama kwa macho kupitia kamera
07:53
and simulates a public-speaking and job-interview experience.
141
473670
5907
na inaigiza mazungumzo ya halaiki na uzoefu wa mahojiano ya kazi.
08:00
And so maybe one day, Waffle House will hire me,
142
480561
2557
Na hivyo labda siku moja, Waffle House wanaweza kuniajiri,
08:03
after practicing on it some more.
143
483142
2180
Baada ya kuifanyia mazoezi kwa muda.
08:05
(Laughter)
144
485346
1181
(kicheko)
08:09
And one of the great things is that I've used Podium
145
489162
5519
Na moja ya kitu kizuri zaidi ni kuwa nimetumia Podium
08:14
to help me prepare for today, and it's been a great help.
146
494705
5086
kunisaidia kujiandaa kwa leo, na imekuwa ya msaada mkubwa.
08:19
But it's more than that.
147
499815
1627
Lakini ni zaidi ya hapo.
08:21
There's more that can be done.
148
501466
1554
Kuna la zaidi laweza kufanyika.
08:24
For people with ASD --
149
504274
3092
Kwa watu wenye ASD --
08:27
it has been speculated that many innovative scientists,
150
507390
4517
Imekuwa ikidhaniwa kuwa wavumbuzi wengi wa kisayansi,
08:31
researchers, artists, and engineers have it;
151
511931
4591
watafiti, wasanii na wahandisi wanayo;
08:36
like, for example, Emily Dickinson, Jane Austen, Isaac Newton, and Bill Gates
152
516546
6030
kama, mfano, Emily Dickinson, Jane Austen, Isaac Newton, and Bill Gates
08:42
are some examples.
153
522600
1737
ni baadhi ya mifano.
08:44
But the problem that's encountered
154
524361
1753
Lakini tatizo linalokuwepo
08:46
is that these brilliant ideas often can't be shared
155
526138
3837
ni kuwa haya maoni mazuri mara nyingi hayawezi shirikishwa
08:49
if there are communication roadblocks.
156
529999
2264
kama kuna ukinzani wa mawasiliano.
08:53
And so, many people with autism are being overlooked every day,
157
533249
4726
Na hivyo watu wengi wenye usonji wanapitwa bila kuonekana kila siku,
08:57
and they're being taken advantage of.
158
537999
1810
na pia wanachukuliwa faida yao.
09:01
So my dream for people with autism is to change that,
159
541175
6895
Hivyo ndoto yangu kwa watu wenye usonji ni kubadilisha hiyo,
09:08
to remove the roadblocks that prevent them from succeeding.
160
548094
2927
na kuondoa ukinzani unaowazuia wao kufanikiwa.
09:11
One of the reasons I love lucid dreaming
161
551808
2502
Sababu moja wapo ninayopendelea kuota ndoto
09:14
is because it allows me to be free,
162
554334
2882
ni kwasababu inaniruhusu kuwa huru,
09:17
without judgment of social and physical consequences.
163
557240
4065
bila kuhukumiwa na jamii na kupata madhara halisi.
09:21
When I'm flying over scenes that I create in my mind,
164
561638
3002
Ninapopaa juu ya mandhari ninazozitengeneza kwenye akili yangu,
09:24
I am at peace.
165
564664
1229
Ninakuwa na amani.
09:27
I am free from judgment,
166
567346
2020
Niko huru na hukumu,
09:29
and so I can do whatever I want, you know?
167
569390
2016
na ninaweza kufanya chochote nitakacho, unafahamu?
09:31
I'm making out with Brad Pitt, and Angelina is totally cool with it.
168
571430
4904
ninatengeneza na Brad Pitt, na Angelina hajali kabisa kuhusu hilo.
09:36
(Laughter)
169
576358
1880
(Kicheko)
09:39
But the goal of autism-assistive technology is bigger than that,
170
579759
3899
Lakini lengo la teknolojia ya usaidizi-usonji ni kubwa zaidi ya hilo,
09:43
and more important.
171
583682
1361
na muhimu zaidi.
09:45
My goal is to shift people's perspective
172
585725
3921
Lengo langu ni kubadili mitazamo ya watu
09:49
of autism and people with higher-functioning Asperger's
173
589670
4980
kuhusu usonji na watu wenye Aspegaz yenye uwezo mkubwa
09:54
because there is a lot they can do.
174
594674
3864
kwa sababu kuna vitu vingi wanawezafanya.
09:58
I mean, look at Temple Grandin, for example.
175
598562
3436
Ninamaanisha, angalia Temple Grandin, kwa mfano.
10:02
And by doing so, we allow people to share their talents with this world
176
602022
5095
Na kwa kufanya hivyo, tunaruhusu watu kushirikisha vipaji vyao kwa ulimwengu
10:07
and move this world forward.
177
607141
2367
na kufanya ulimwengu usonge mbele.
10:09
In addition, we give them the courage to pursue their dreams
178
609532
3222
kwa kuongeza, tunawapa ujasiri kufuatilia ndoto zao
10:12
in the real world, in real time.
179
612778
2288
katika ulimwengu halisi, na wakati halisi.
10:15
Thank you.
180
615090
1159
Asanteni.
10:16
(Applause)
181
616273
3648
(Makofi)
10:19
Thank you.
182
619945
1151
Asante.
10:21
(Applause)
183
621120
3840
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7