What it takes to be a great leader | Roselinde Torres | TED

1,555,709 views ・ 2014-02-19

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
What makes a great leader today?
0
13636
3595
Kitu gani kinatengeneza kiongozi bora leo?
00:17
Many of us carry this image
1
17231
2643
Wengi tuna picha
00:19
of this all-knowing superhero
2
19874
3320
ya mashujaa bora wajuao yote
00:23
who stands and commands
3
23194
2448
anayesimama na kuamrisha
00:25
and protects his followers.
4
25642
3629
na kuwakinga wafuasi wake.
00:29
But that's kind of an image from another time,
5
29271
4296
Hiyo ndo picha iliyopo akilini,
00:33
and what's also outdated
6
33567
2251
na kilichopitwa na wakati ni
00:35
are the leadership development programs
7
35818
2402
programu za maendeleo ya uongozi
00:38
that are based on success models
8
38220
2383
ambazo zinategemea mazingira ya kufanikiwa
00:40
for a world that was, not a world that is
9
40603
4182
katika dunia iliyokuwepo miaka hiyo,sio dunia tuliyonayo
00:44
or that is coming.
10
44785
2164
au ile inayokuja.
00:46
We conducted a study of 4,000 companies,
11
46949
4411
Tumefanya tafiti katika makampuni 4000,
00:51
and we asked them, let's see the effectiveness
12
51360
3007
tuliwauliza,tuone ufanisi
00:54
of your leadership development programs.
13
54367
2591
wa programu yenu ya maendeleo ya uongozi.
00:56
Fifty-eight percent of the companies
14
56958
2188
aslimia 58% ya makampuni yote
00:59
cited significant talent gaps
15
59146
2368
walilenga vipaji muhimu
01:01
for critical leadership roles.
16
61514
2355
kwa majukumu mazito ya uongozi.
01:03
That means that despite corporate training programs,
17
63869
3439
Ina maana pamoja na mafunzo ya ushirika,
01:07
off-sites, assessments, coaching, all of these things,
18
67308
4437
ukaguzi,mafunzo na haya yote,
01:11
more than half the companies
19
71745
1941
zaidi ya nusu ya makampuni
01:13
had failed to grow enough great leaders.
20
73686
4857
yalishindwa kukuza viongozi bora wa kutosha.
01:18
You may be asking yourself,
21
78543
2023
Unaweza jiuliza,
01:20
is my company helping me to prepare
22
80566
2731
kampuni langu linanisaidia kuniandaa
01:23
to be a great 21st-century leader?
23
83297
3243
kuwa kiongozi bora wa karne ya 21?
01:26
The odds are, probably not.
24
86540
3412
Ubaya ni kwamba,jibu lawezekana kuwa hapana
01:29
Now, I've spent 25 years of my professional life
25
89952
4063
Nimetumia miaka 25 nikiwa kama mtaalamu
01:34
observing what makes great leaders.
26
94015
3505
nikichunguza ni kipi kinaleta kiongozi bora.
01:37
I've worked inside Fortune 500 companies,
27
97520
2465
Nimefanya kazi ndani ya makampuni 500 yenye utajiri mkubwa,
01:39
I've advised over 200 CEOs,
28
99985
2069
Nimeshauri zaidi ya wakurugenzi 200,
01:42
and I've cultivated more leadership pipelines
29
102054
2759
na nimeibua mkondo wa uongozi
01:44
than you can imagine.
30
104813
3010
zaidi ya unavyoweza fikiria.
01:47
But a few years ago, I noticed a disturbing trend
31
107823
3725
Lakini miaka michache iliyopita,niligundua mlolongo ulio na usumbufu
01:51
in leadership preparation.
32
111548
3215
katika kuandaa kiongozi.
01:54
I noticed that, despite all the efforts,
33
114763
3826
Niligundua kwamba,pamoja na juhudi zote,
01:58
there were familiar stories that kept resurfacing
34
118589
2539
kulikuwa na hadithi zilezile ambazo watu wengi wanazifahamu
02:01
about individuals.
35
121128
2124
kuhusu watu.
02:03
One story was about Chris,
36
123252
3634
Hadithi hii inamhusu Chris,
02:06
a high-potential, superstar leader
37
126886
2344
kiongozi mahiri na maarufu
02:09
who moves to a new unit and fails,
38
129230
3602
aliyehamia katika kampuni nyingine na kuja kufeli,
02:12
destroying unrecoverable value.
39
132832
2736
kuharibu thamani isiyoweza rudishwa.
02:15
And then there were stories like Sidney, the CEO,
40
135568
3593
Na pia kulikuwa na hadithi kama ya Sidney,mkurugenzi,
02:19
who was so frustrated
41
139161
1702
aliyechanganyikiwa
02:20
because her company is cited
42
140863
2067
kwa sababu kampuni yake inaangaliwa
02:22
as a best company for leaders,
43
142930
2329
kama kampuni bora kwa viongozi,
02:25
but only one of the top 50 leaders is equipped
44
145259
3837
lakini ni mmoja tu, kati ya viongozi 50 bora anayeweza
02:29
to lead their crucial initiatives.
45
149096
2585
kuongoza mipango yao muhimu.
02:31
And then there were stories
46
151681
1957
na tena kulikuwa na hadithi
02:33
like the senior leadership team
47
153638
2530
ya timu ya ngazi ya juu ya uongozi
02:36
of a once-thriving business
48
156168
2080
inashughulika na biashara yenye kuweza leta faida sana
02:38
that's surprised by a market shift,
49
158248
3456
lakini inashangazwa na kubadilika kwa hali ya soko,
02:41
finds itself having to force the company
50
161704
2731
na kujikuta katika ulazima
02:44
to reduce its size in half
51
164435
2328
wa kupunguza namba ya wafanyakazi hadi nusu
02:46
or go out of business.
52
166763
2813
au kuacha biashara kabisa.
02:49
Now, these recurring stories
53
169576
2718
Sasa,hizi hadithi zinazojirudia
02:52
cause me to ask two questions.
54
172294
2567
zimenisababisha nijiulize maswali mawili.
02:54
Why are the leadership gaps widening
55
174861
2471
Kwanini pengo la uongozi linazidi kuongezeka
02:57
when there's so much more investment
56
177332
1933
wakati kuna ongezeko kubwa la uwekezaji
02:59
in leadership development?
57
179265
2224
katika maendeleo ya uongozi?
03:01
And what are the great leaders doing
58
181489
3297
Kipi cha tofauti ambacho viongozi wakubwa wanafanya
03:04
distinctly different to thrive and grow?
59
184786
3875
kinachowawezesha kukua na kuleta faida kubwa?
03:08
One of the things that I did,
60
188661
2369
Kati ya vitu nilivyofanya,
03:11
I was so consumed by these questions
61
191030
2676
Nilitumia muda sana kufikiria kuhusu haya maswali
03:13
and also frustrated by those stories,
62
193706
2944
na pia kuchanganywa na hizi hadithi
03:16
that I left my job
63
196650
2408
niliacha kazi
03:19
so that I could study this full time,
64
199058
2580
ili niweze kujifunza kuhusu hili muda wote,
03:21
and I took a year to travel
65
201638
2945
ilinichukua mwaka kusafiri
03:24
to different parts of the world
66
204583
2020
sehemu mbalimbali za dunia
03:26
to learn about effective and ineffective
67
206603
2386
kujifunza kuhusu palipo ufanisi na pasipo ufanisi
03:28
leadership practices in companies,
68
208989
2385
uongozi katika makampuni,
03:31
countries and nonprofit organizations.
69
211374
3503
nchi na pia taasisi zisizo na kibiashara.
03:34
And so I did things like travel to South Africa,
70
214877
3327
Niliamua pia kwenda Afrika Kusini,
03:38
where I had an opportunity to understand
71
218204
2926
na ndipo niliweza kuelewa
03:41
how Nelson Mandela was ahead of his time
72
221130
2474
jinsi gani Nelson Mandela alikuwa mbele ya muda wake
03:43
in anticipating and navigating
73
223604
1891
katika kugundua mapema
03:45
his political, social and economic context.
74
225495
3417
mazingira yake ya kisiasa,kijamii na kiuchumi.
03:48
I also met a number of nonprofit leaders
75
228912
3023
Nilionana pia na viongozi wengi wa taasisi zisizo za kibiashara
03:51
who, despite very limited financial resources,
76
231935
3970
ambao,pamoja na kuwa uwezo mdogo wa kifedha,
03:55
were making a huge impact in the world,
77
235905
2943
lakini wanaleta mchango mkubwa sana duniani,
03:58
often bringing together seeming adversaries.
78
238848
3862
wanaleta pamoja changamoto mbalimbali
04:02
And I spent countless hours in presidential libraries
79
242710
5055
Nimetumia masaa yasiyohesabika kaika maktaba za maraisi
04:07
trying to understand how the environment
80
247765
2332
nikijaribu kuelewa jinsi gani mazingira
04:10
had shaped the leaders,
81
250097
1158
yamewabadili viongozi,
04:11
the moves that they made,
82
251255
1603
hatua walizopiga,
04:12
and then the impact of those moves
83
252858
1526
na matokeo ya hizo hatua
04:14
beyond their tenure.
84
254384
2927
zaidi ya madaraka yako.
04:17
And then, when I returned to work full time,
85
257311
3001
Kisha,niliporudi kufanya kazi muda wote,
04:20
in this role, I joined with wonderful colleagues
86
260312
3289
katika jukumu hili,niliungana na washiriki wenzangu walio bora
04:23
who were also interested in these questions.
87
263601
3492
ambao pia walikuwa na hamu ya majibu ya haya maswali.
04:27
Now, from all this, I distilled
88
267093
2945
Sasa,katika haya yote,nilichambua
04:30
the characteristics of leaders who are thriving
89
270038
4004
tabia za viongozi wanaofanikiwa sana
04:34
and what they do differently,
90
274042
1826
na kujua kipi cha tofauti wanachofanya,
04:35
and then I also distilled
91
275868
2453
na pia nikachambua
04:38
the preparation practices that enable people
92
278321
2942
maandalizi yanayowezesha watu
04:41
to grow to their potential.
93
281263
2641
kukuza uwezo wao.
04:43
I want to share some of those with you now.
94
283919
1933
Nataka kukufahamisha kuhusu haya sasa.
04:45
("What makes a great leader in the 21st century?")
95
285852
2075
("Kitu gani kinatengeneza kiongozi bora wa karne ya 21?")
04:47
In a 21st-century world, which is more global,
96
287927
3365
Katika karne ya 21,ambayo ipo kimataifa zaidi,
04:51
digitally enabled and transparent,
97
291292
2451
imekaa kidigitali na iliyo wazi,
04:53
with faster speeds of information flow and innovation,
98
293743
3413
yenye uwezo mkubwa wa kusambaza taarifa na pia ugunduzi,
04:57
and where nothing big gets done
99
297156
2295
na ambapo hamna kitu kikubwa kinachokamilika
04:59
without some kind of a complex matrix,
100
299451
3236
bila njia ngumu
05:02
relying on traditional development practices
101
302687
3660
zinazotegemea mazingira yaleyale ya zamani
05:06
will stunt your growth as a leader.
102
306347
2658
yanayohatarisha ukuaji wako kama kiongozi.
05:09
In fact, traditional assessments
103
309005
2847
Kiukweli,uchambuzi wa kizamani
05:11
like narrow 360 surveys or outdated performance criteria
104
311852
4343
ambao unatumia njia zilizopitwa na wakati
05:16
will give you false positives,
105
316195
2038
utakuwa majibu chanya ya uongo,
05:18
lulling you into thinking that you are more prepared
106
318233
3426
kukufanya ufikirie kwamba umejiandaa
05:21
than you really are.
107
321659
2140
kuliko vile ulivyo.
05:23
Leadership in the 21st century is defined
108
323799
3893
Uongozi katika karne ya 21 unaelezwa
05:27
and evidenced by three questions.
109
327692
3154
na kushuhudiwa na maswali matatu.
05:30
Where are you looking
110
330846
1334
Wapi unaangalia
05:32
to anticipate the next change
111
332180
3076
kutabiri mabadiliko yanayofata
05:35
to your business model or your life?
112
335256
3473
katika mfumo wa biashara wa maisha yako?
05:38
The answer to this question is on your calendar.
113
338729
4850
Jibu la hili swali lipo katika kalenda yako.
05:43
Who are you spending time with? On what topics?
114
343579
3941
Unatumia muda na nani?Katika mada zipi?
05:47
Where are you traveling? What are you reading?
115
347520
2548
Unasafiri kwenda wapi?Unasoma nini?
05:50
And then how are you distilling this
116
350068
1747
Na kisha unachambua vipi haya yote
05:51
into understanding potential discontinuities,
117
351815
3707
katika kuelewa ukomo wa uwezo,
05:55
and then making a decision to do something
118
355522
2252
na kufanya maamuzi ili kutimia jambo fulani
05:57
right now so that you're prepared and ready?
119
357774
4414
kwamba sasa umejiandaa na upo tayari?
06:02
There's a leadership team that does a practice
120
362188
3002
Kuna timu ya uongozi inayofanya mazoezi
06:05
where they bring together each member
121
365190
2972
ambao wanakusanya kila mwanatimu alicholeta
06:08
collecting, here are trends that impact me,
122
368162
2807
huu ni mlolongo wangu,
06:10
here are trends that impact another team member,
123
370969
2285
huu ni mlolongo ulihamasisha wanatimu wengine,
06:13
and they share these,
124
373254
1399
na wanashirikiana pamoja,
06:14
and then make decisions, to course-correct a strategy
125
374653
2796
na kisha wanafanya maamuzi,kutengeneza mkakati ulio sahihi
06:17
or to anticipate a new move.
126
377449
3257
au kutabiri hatua mpya za mafanikio.
06:20
Great leaders are not head-down.
127
380706
3053
Viongozi bora huwa hawaangalii chini.
06:23
They see around corners,
128
383759
2245
Wanaangalia huku na kule,
06:26
shaping their future, not just reacting to it.
129
386004
3909
kutengeneza nyakati zao za baadaye,sio kupambana nazo.
06:29
The second question is,
130
389913
1955
Swali la pili ni,
06:31
what is the diversity measure
131
391868
2019
kipi ambacho utofauti unapima
06:33
of your personal and professional stakeholder network?
132
393887
3619
katika binafsi na utaalamu wa mtandao wa wadau?
06:37
You know, we hear often about good ol' boy networks
133
397506
3002
Unajua,mara nyingi huwa tunasikia kuhusu mitandao ya good 'ol boy
06:40
and they're certainly alive and well in many institutions.
134
400508
3908
na kiuhakika ipo hai katika taasisi nyingi.
06:44
But to some extent, we all have a network
135
404424
2543
Lakini kwa kiasi fulani,wote sisi tuna mtandao
06:46
of people that we're comfortable with.
136
406967
1929
wa watu ambao tuko huru kuwa nao katika mtandao huo.
06:48
So this question is about your capacity
137
408896
2912
Hili swali ni kuhusu uwezo wako
06:51
to develop relationships with people
138
411808
2499
wa kukuza mahusiano yako na watu wengine
06:54
that are very different than you.
139
414307
1523
wako tofauti kabisa zaidi yako.
06:55
And those differences can be biological,
140
415830
2993
Na hizo tofauti zinaweza kuwa za kibaiolojia,
06:58
physical, functional, political, cultural, socioeconomic.
141
418823
4784
kimuonekano wa nje,ka utumizi,kisiasa,kitamaduni,kiuchumi.
07:03
And yet, despite all these differences,
142
423607
3443
Na bado,pamoja na hizi tofauti zote,
07:07
they connect with you
143
427050
1757
mnaungana pamoja
07:08
and they trust you enough
144
428807
1254
na wanakuamini vya kutosha
07:10
to cooperate with you
145
430061
1282
kushirikiana na wewe
07:11
in achieving a shared goal.
146
431343
3138
katika kufanikisha lengo lenu la pamoja.
07:14
Great leaders understand
147
434481
2335
Viongozi bora wanaelewa
07:16
that having a more diverse network
148
436816
2929
kwamba kuwa na mtandao wenye tofauti mbalimbali
07:19
is a source of pattern identification
149
439745
3541
ni chanzo cha kupata utofauti wa utambuzi
07:23
at greater levels and also of solutions,
150
443286
2785
katika ngazi za juu na katika kutafuta ufumbuzi,
07:26
because you have people that are thinking
151
446071
1824
kwa sababu una watu ambao wanafikiria
07:27
differently than you are.
152
447895
2685
tofauti na wewe.
07:30
Third question: are you courageous enough
153
450580
3350
Swali la tatu:una moyo vya kutosha
07:33
to abandon a practice that has made you successful in the past?
154
453930
5902
kuacha utaratibu uliokufanya upate mafanikio katika kipindi cha nyuma?
07:39
There's an expression: Go along to get along.
155
459832
4149
Kuna msemo unasema"nenda sambamba ili upate sambamba"
07:43
But if you follow this advice,
156
463981
2918
Kama utafata ushauri huu,
07:46
chances are as a leader,
157
466899
2392
kama kiongozi,inawezekana
07:49
you're going to keep doing what's familiar and comfortable.
158
469291
4515
ukafanya kile unachofahamu kwa uhuru zaidi.
07:53
Great leaders dare to be different.
159
473806
2853
Viongozi bora huwa wanathubutu kuwa tofauti.
07:56
They don't just talk about risk-taking,
160
476659
1645
Hawaongelei kuhusu kupata hatari tu,
07:58
they actually do it.
161
478304
1818
wanazipata pia.
08:00
And one of the leaders shared with me the fact that
162
480122
2912
Moja ya viongozi alianiambia kwamba
08:03
the most impactful development comes
163
483034
2577
maendeleo yenye kishindo huja
08:05
when you are able to build the emotional stamina
164
485611
3304
kama utaweza kutengeneza mhimili imara wa hisia
08:08
to withstand people telling you that your new idea
165
488915
4160
kuvumilia watu wanapokuambia kwamba wazo lako jipya
08:13
is naïve or reckless or just plain stupid.
166
493075
4718
ni la ovyo,lisilo na muelekeo au halina maana kabisa.
08:17
Now interestingly, the people who will join you
167
497793
3862
Cha kuvutia ni hiki, watu wataoungana na wewe
08:21
are not your usual suspects in your network.
168
501655
3455
sio wale wanaodhaniwa katika mtandao wako.
08:25
They're often people that think differently
169
505110
3651
Mara nyingi ni watu wanaofikiri tofauti
08:28
and therefore are willing to join you
170
508761
2872
kwa hivyo wako tayari kuungana na wewe
08:31
in taking a courageous leap.
171
511633
2359
na kusonga mbele kunakohitaji moyo.
08:33
And it's a leap, not a step.
172
513992
3251
ni kuruka zaidi, na sio kupiga hatua.
08:37
More than traditional leadership programs,
173
517243
2909
Zaidi programu ya uongozi uliozoeleka,
08:40
answering these three questions
174
520152
1882
kujibu haya maswali matatu
08:42
will determine your effectiveness
175
522034
1383
kutadhamiria ufanisi wako
08:43
as a 21st-century leader.
176
523417
3469
kama kiongozi wa karne ya 21.
08:46
So what makes a great leader in the 21st century?
177
526886
4421
Kipi kinachotengeneza kiongozi bora wa karne ya 21?
08:51
I've met many, and they stand out.
178
531307
3549
Nimekutana na wengi,na wanasimama vinara.
08:54
They are women and men
179
534856
1651
Ni wanaume kwa wanawake
08:56
who are preparing themselves
180
536507
1766
waliojiandaa
08:58
not for the comfortable predictability of yesterday
181
538273
3119
sio kwa uhuru wa utabiri wa jana
09:01
but also for the realities of today
182
541392
3776
lakini pia kwa uhalisi wa kesho
09:05
and all of those unknown possibilities of tomorrow.
183
545168
4261
na yasiyowezekana yote ya kesho
09:09
Thank you.
184
549429
2427
Asante.
09:11
(Applause)
185
551856
2678
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7