Majora Carter: Greening the ghetto | TED

205,778 views ・ 2007-01-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:26
If you're here today --
0
26000
1406
Iwapo uko hapa leo -- nina furaha sana kwakuwa uko hapa --
00:27
and I'm very happy that you are --
1
27430
1934
00:29
you've all heard about how sustainable development
2
29388
2353
wote mmesikia kuhusu maendeleo endelevu
00:31
will save us from ourselves.
3
31765
1962
yatatuokoa kutoka kwetu wenyewe. Lakini sisi hatuko TED,
00:33
However, when we're not at TED, we are often told
4
33751
3499
mara nyingi tunaambiwa kuwa ajenda ya sera ya maendeleo halisi si jambo linalowezekana,
00:37
that a real sustainability policy agenda is just not feasible,
5
37274
3909
00:41
especially in large urban areas like New York City.
6
41207
2769
hasa katika miji mikubwa kama New York.
00:44
And that's because most people with decision-making powers,
7
44429
3236
Na mara nyingi ni kwa sababu watu wengi wenye uwezo wa kutoa maamuzi,
00:47
in both the public and the private sector,
8
47689
2230
katika sekta za umma na binafsi,
00:49
really don't feel as though they're in danger.
9
49943
2286
hawaoni kama wako kwenye hatari.
00:52
The reason why I'm here today, in part, is because of a dog --
10
52578
4093
Sababu ya kuwa hapa leo, pia, ni kwasababu ya mbwa:
00:56
an abandoned puppy I found back in the rain, back in 1998.
11
56695
3278
mtoto wa mbwa niliyemuokota kwenye mvua, mwaka 1998.
00:59
She turned out to be a much bigger dog than I'd anticipated.
12
59997
2979
Alikuja kuwa mbwa mkubwa zaidi ya nilivyotegemea.
01:03
When she came into my life, we were fighting against a huge waste facility
13
63431
3975
Wakati alipokuja kwenye maisha yangu, tulikuwa tunapinga sehemu kubwa ya jalala
01:07
planned for the East River waterfront
14
67430
2462
ambalo lilikuwa limepangwa kwa ajili ya ufukwe wa East River, pamoja na ukweli kwamba sehemu yetu ndogo ya jiji la New York
01:09
despite the fact that our small part of New York City
15
69916
2510
01:12
already handled more than 40 percent of the entire city's commercial waste:
16
72450
4358
tayari lilikuwa linapokea zaidi ya asilimia 40 ya uchafu wote unaotokana na shughuli za jiji.
01:16
a sewage treatment pelletizing plant, a sewage sludge plant, four power plants,
17
76832
5144
Sehemu ya kusafishia maji machafu, sehemu ya mafuta machafu, sehemu nne za umeme,
01:22
the world's largest food-distribution center,
18
82000
2335
sehemu kubwa kuliko zote duniani ya kusambaza chakula,
01:24
as well as other industries that bring more than 60,000 diesel truck trips
19
84359
4182
pamoja na viwanda vingine ambavyo vinaingiza zaidi ya malori ya dizeli 60,000 katika sehemu hii kwa wiki.
01:28
to the area each week.
20
88565
1156
Eneo hili pia lina uwiano mdogo wa bustani za kupumzikia kwa ajili ya watu katika mji huu.
01:30
The area also has one of the lowest ratios of parks to people in the city.
21
90118
3968
01:34
So when I was contacted by the Parks Department
22
94110
2293
Kwa hiyo nilipofuatwa na kitengo cha bustani za kupumzikia
01:36
about a $10,000 seed-grant initiative to help develop waterfront projects,
23
96427
4158
karibu dola 10,000 za utekelezaji kusaidia kuendeleza miradi ya pwani.
01:40
I thought they were really well-meaning, but a bit naive.
24
100609
2914
Nilifikiri walikuwa na heri, lakini hawajui kitu.
01:43
I'd lived in this area all my life, and you could not get to the river,
25
103547
3667
Nimeishi eneo hili maisha yangu yote, na ulikuwa huwezi kufika mtoni kwasababu
01:47
because of all the lovely facilities that I mentioned earlier.
26
107238
3293
ya miundo mbinu ambayo niliyokwisha iongelea mwanzoni.
01:50
Then, while jogging with my dog one morning,
27
110555
2260
Halafu, wakati nilipokuwa nakimbia na mbwa wangu asubuhi moja,
01:52
she pulled me into what I thought was just another illegal dump.
28
112839
3111
alinivuta kwenye dampo ambalo nilifikiri kuwa liko hapo kimakosa.
Kulikuwa na mizizi na rundo la uchafu na vitu vingine ambavyo sitavitaja hapa,
01:56
There were weeds and piles of garbage and other stuff that I won't mention here,
29
116606
3777
02:00
but she kept dragging me,
30
120407
1214
aliendelea kunivutia kule -- na lo na tazama, mwishoni wa rundo lile kulikuwa na mto.
02:01
and lo and behold, at the end of that lot was the river.
31
121645
2872
02:04
I knew that this forgotten little street-end,
32
124541
2101
Nilijua kuwa huu mtaa mdogo uliosahauliwa,
02:06
abandoned like the dog that brought me there, was worth saving.
33
126666
3004
uliotupwa kama mbwa wangu aliyenileta hapaleo, ulikuwa na haki ya kusaidiwa.
02:09
And I knew it would grow to become the proud beginnings
34
129694
2596
Na nilijua kuwa utakuja kuwa mwanzo wa kujivunia
wa ufufuaji unaoendeshwa na jumuia mpya ya Bronx kusini.
02:12
of the community-led revitalization of the new South Bronx.
35
132314
2984
02:15
And just like my new dog, it was an idea that got bigger than I'd imagined.
36
135322
3979
Na kama ilivyo kwa mbwa wangu mpya, lilikuwa ni wazo ambalo lilikuwa zaidi ya nilivyofikiria.
02:19
We garnered much support along the way,
37
139325
2135
Tulipata msaada sana katika kuendeleza.
02:21
and the Hunts Point Riverside Park became the first waterfront park
38
141484
3160
Na bustani ya Hunts Point Riverside ilikuwa bustani ya pwani ya kwanza
02:24
that the South Bronx had had in more than 60 years.
39
144668
2399
ambayo Bronx kusini ilikuwa nayo zaidi ya miaka 60.
Tuliwezesha msaada wa dola 10,00 zaidi ya mara 300 kufikia bustani ya dola milioni 3.
02:27
We leveraged that $10,000 seed grant more than 300 times,
40
147091
3366
02:30
into a $3 million park.
41
150481
2240
02:32
And in the fall, I'm going to exchange marriage vows with my beloved.
42
152745
4928
Na wakati wa majira ya kupukutika majani, --
Nitafunga ndoa na mpenzi wangu. Asante sana (Makofi).
02:37
(Audience whistles)
43
157697
1000
02:38
Thank you very much.
44
158721
1268
02:40
(Applause)
45
160013
4542
02:44
That's him pressing my buttons back there, which he does all the time.
46
164579
3397
Ndio huyo hapo nyuma anayebonyeza kitufe, na hufanya hivyo mara zote.
02:48
(Laughter)
47
168000
2464
(Kicheko). (Makofi).
02:50
(Applause)
48
170488
3317
02:53
But those of us living in environmental justice communities
49
173829
2778
Lakini kwa sisi tunaoishi kwenye jumuia zinazojali mazingira
02:56
are the canary in the coal mine.
50
176631
1555
ni canary katika machimbo ya makaa ya mawe. Tunayaona matatizo hayo sasa, na tumekuwa tukiyaona kitambo.
02:58
We feel the problems right now, and have for some time.
51
178210
3411
Haki ya mazingira, kwa wale wanaoujua msemo huu, unasema kama hivi
03:02
Environmental justice, for those of you who may not be familiar with the term,
52
182290
3686
03:06
goes something like this:
53
186000
1200
jumuia yeyote isibebeshwe mzigo wa mazingira
03:07
no community should be saddled with more environmental burdens
54
187224
2991
03:10
and less environmental benefits than any other.
55
190239
2666
na faida chache za mazingira kuliko nyinginge.
03:12
Unfortunately, race and class are extremely reliable indicators
56
192929
4047
Kwa bahati mbaya rangi ya ngozi na class ni vielelezo vinavyonekana
03:17
as to where one might find the good stuff, like parks and trees,
57
197000
3037
katika kupata vitu vizuri kama bustani za kuumzikia na miti,
03:20
and where one might find the bad stuff, like power plants and waste facilities.
58
200061
3732
na mahali ambapo mtu anaweza kupata vitu vibaya, kama mitambo na sehemu za kutupia uchafu.
03:23
As a black person in America, I am twice as likely as a white person
59
203817
3235
Kama mtu mweusi nchini Marekani, nina uwezekano mara mbili kama mtu mweupe
kuishi kwenye eneo ambalo uchafuzi wa hali ya hewa unaweza kuhatarisha afya yangu.
03:27
to live in an area where air pollution poses the greatest risk to my health.
60
207076
3597
03:30
I am five times more likely to live within walking distance
61
210697
2783
Nina uwezekano mara tano wa kuishi karibu na
03:33
of a power plant or chemical facility,
62
213504
1909
mtambo au sehemu inayotoa kemikali hatari -- ndiko ninakoishi.
03:35
which I do.
63
215437
1157
Haya maamuzi ya matumizi ya ardhi yametengeneza mazingira mabovu ambayo yanaleta
03:37
These land-use decisions created the hostile conditions
64
217149
2631
03:39
that lead to problems like obesity, diabetes and asthma.
65
219804
2992
matatizo kama ubwanyenye, kisukari na pumu.
03:42
Why would someone leave their home to go for a brisk walk in a toxic neighborhood?
66
222820
3901
Nani anaweza kuondoka nyumbani kwake kutembea kwenye sehemu yenye kemikali za uchafu?
03:46
Our 27 percent obesity rate is high even for this country,
67
226745
2911
Uwiano wetu wa ubwanyenye wa asilimia 27 ni mkubwa sana, hata kwa nchi hii, na kisukari kinakuja pamoja nayo.
03:49
and diabetes comes with it.
68
229680
1413
03:51
One out of four South Bronx children has asthma.
69
231117
2508
Mmoja kati ya watoto wanne wa Bronx kusini ana pumu.
03:53
Our asthma hospitalization rate
70
233649
1815
Uwiano wa watoto wanaolazwa kwa ajili ya pumu ni mkubwa mara saba zaidi ya asilimia ya nchi nzima.
03:55
is seven times higher than the national average.
71
235488
2283
03:57
These impacts are coming everyone's way.
72
237795
1951
Matokeo haya yanakuja kwa njia tofauti.
03:59
And we all pay dearly for solid waste costs,
73
239770
2206
Na tunapata matatizo sana kwa ajili ya gharama za uchafu mgumu,
04:02
health problems associated with pollution and more odiously,
74
242000
2976
matatizo ya afya yanayotokana na uchafuzi na kunuka zaidi,
04:05
the cost of imprisoning our young black and Latino men,
75
245000
2989
gharama ya kuwafunga vijana wetu weusi na wanaume wa kilatino,
ambao wanauwezo mkubwa usioelezeka na ambao haujatumiwa ipasavyo.
04:08
who possess untold amounts of untapped potential.
76
248013
2755
04:10
Fifty percent of our residents live at or below the poverty line;
77
250792
3080
Asilimia 50 ya wakazi wetu wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
04:13
25 percent of us are unemployed.
78
253896
1755
Asilimi 25 kati yetu hatuna kazi. Wananchi wanaopata kipato kidogo mara nyingi wanatumia
04:15
Low-income citizens often use emergency-room visits as primary care.
79
255675
4023
vyumba vya dharura kama msingi.
04:19
This comes at a high cost to taxpayers and produces no proportional benefits.
80
259722
3899
Hii inawaumiza walipa kodi na haitoi faida zilizosawa.
04:23
Poor people are not only still poor, they are still unhealthy.
81
263645
3843
Watu maskini sio tuu bado ni maskini, bado wana afya mbaya.
04:27
Fortunately, there are many people like me who are striving for solutions
82
267512
3785
Kwa bahatio nzuri, kuna watu wengi kama mimi ambao wanataka kupata ufumbuzi
04:31
that won't compromise the lives
83
271321
1500
ambao hautasumbua maisha ya jamii yenye kipato kidogo ya watu wa rangi kwa muda mfupi,
04:32
of low-income communities of color in the short term,
84
272845
2500
04:35
and won't destroy us all in the long term.
85
275369
2106
na haitatuvuruga wote katika kipindi kirefu kijacho.
04:37
None of us want that, and we all have that in common.
86
277499
2486
Wote hatutaki hivyo, na wote tuna jambo linalofanana. Kwa hiyo tuna kitu gani kingine kinachofanana?
04:40
So what else do we have in common?
87
280009
1639
04:41
Well, first of all, we're all incredibly good-looking.
88
281672
2778
Kwanza, sote hapa tuna sura nzuri --
(Kicheko)-- tumemaliza sekondari, chuo, shahada za uzamili,
04:44
(Laughter)
89
284474
1187
04:45
Graduated high school, college, post-graduate degrees,
90
285685
2787
04:48
traveled to interesting places, didn't have kids in your early teens,
91
288496
3312
tumesafiri sehemu zinazovutia, hatukupata watoto katika umri mdogo,
04:51
financially stable, never been imprisoned.
92
291832
2618
kipato chetu ni kizuri, hatujawahi kufungwa. Sawa.
04:55
OK. Good.
93
295688
1160
04:56
(Laughter)
94
296872
1339
Vizuri. (Kicheko).
04:58
But, besides being a black woman,
95
298235
1607
Lakini, pamoja na kuwa mwanamke mweusi, niko tofauti na wengi wenu katika njia nyingine.
04:59
I am different from most of you in some other ways.
96
299866
2662
05:02
I watched nearly half of the buildings in my neighborhood burn down.
97
302552
3391
Niliangalia karibu nusu ya majengo ya mtaani kwetu yakiungua.
05:05
My big brother Lenny fought in Vietnam,
98
305967
1963
Kaka yangu mkubwa Lenny alipigana vita ya Vietnam,
05:07
only to be gunned down a few blocks from our home.
99
307954
2905
lakini aliuawa hatua chache kutoka nyumbani kwetu.
Yesu. Nilikulia katika mtaa ambao ilikuwa mkabala na nyumba ya wavuta madawa ya kulevya.
05:13
Jesus.
100
313992
1255
05:15
I grew up with a crack house across the street.
101
315271
2946
Ndio, mimi ni mtoto mweusi maskini kutoka geto.
05:19
Yeah, I'm a poor black child from the ghetto.
102
319796
2699
Vitu hivi vinanifanya niwe tofauti nanyi.
05:23
These things make me different from you.
103
323784
2167
05:25
But the things we have in common
104
325975
1863
Lakini vitu ambavyo tumefanana vinanitofautisha na watu wengi katika jumia yangu,
05:27
set me apart from most of the people in my community,
105
327862
2739
05:30
and I am in between these two worlds
106
330625
1826
na niko katika dunia hizi mbili,
05:32
with enough of my heart to fight for justice in the other.
107
332475
2887
na moyo wangu wa kutosha wa kupigania haki katika jamii yangu.
Kwa hiyo ni jinsi gani vitu vimekuwa tofauti kwetu?
05:36
So how did things get so different for us?
108
336315
2008
05:38
In the late '40s, my dad -- a Pullman porter, son of a slave --
109
338347
3331
Mwishoni mwa miaka ya 40s, baba yangu - mpagazi wa Pullman, mtoto wa mtumwa -
05:41
bought a house in the Hunts Point section of the South Bronx,
110
341702
2867
alinunua nyumba huko Hunts Point sehemu ya Bronx Kusini,
05:44
and a few years later, he married my mom.
111
344593
2015
na miaka michache baadaye alimuoa mama yangu.
05:46
At the time, the community was a mostly white, working-class neighborhood.
112
346632
3481
Kwa miaka hiyo, wengi wa wanajumuia hiyo walikuwa wazungu, jumuia ya wafanyakazi.
05:50
My dad was not alone.
113
350137
1526
Baba yangu hakuwa peke yake.
05:51
And as others like him pursued their own version of the American dream,
114
351687
3437
Na wengine kama yeye waliifata ndoto ya Marekani kwa jinsi wajuavyo wao,
05:55
white flight became common in the South Bronx
115
355148
2529
white flight ilikuwa kitu cha kawaida katika Bronx ya Kusini na miji mingine nchini.
05:57
and in many cities around the country.
116
357701
2000
Red-lining ilikuwa inatumiwa na mabenki, katika baadhi ya maeneo ya jijini,
06:00
Red-lining was used by banks, wherein certain sections of the city,
117
360018
3633
06:03
including ours, were deemed off-limits to any sort of investment.
118
363675
3989
ikiwa pamoja na kwetu, ilikuwa haijapewa kipaumbele kwa uwekezaji wa aina yeyote ile.
06:07
Many landlords believed it was more profitable to torch their buildings
119
367688
3468
Wenye nyumba wengi waliona ni faida zaidi kuchoma moto majengo yao
06:11
and collect insurance money rather than to sell under those conditions --
120
371180
4171
na kupata hela za bima kuliko kuyauza yakiwa katika hali nzuri -
bila kujali wapangaji wao kama wamekufa au kujeruhiwa.
06:15
dead or injured former tenants notwithstanding.
121
375375
2440
06:17
Hunts Point was formerly a walk-to-work community,
122
377839
2842
Hunts Point ilikuwa ni jumuia iliyokuwa karibu na sehemu za kazi,
06:20
but now residents had neither work nor home to walk to.
123
380705
3926
lakini sasa wakazi hawana kazi wala nyumba za kwenda.
06:24
A national highway construction boom was added to our problems.
124
384655
3186
Ujenzi wa barabara kuu uliongezwa kwenye matatizo yetu.
06:27
In New York State,
125
387865
1151
Katika jimbo la New York, Robert Moses alichochea kampeni ya upanuaji wa barabara kubwa.
06:29
Robert Moses spearheaded an aggressive highway-expansion campaign.
126
389040
3783
06:32
One of its primary goals was to make it easier
127
392847
2196
Moja ya lengo lake kuu ilikuwa ni kuwarahisishia wakazi
06:35
for residents of wealthy communities in Westchester County to go to Manhattan.
128
395067
5025
wa jumuia za matajiri huko katika kaunti ya Westchester kwenda Manhattan.
06:40
The South Bronx, which lies in between, did not stand a chance.
129
400116
3075
Bronx Kusini, ambayo iko katikati, haikuwa na jinsi.
06:43
Residents were often given less than a month's notice
130
403215
2550
Wakazi wa huko walipewa notisi ya chini ya mwezi mmoja kabla majengo yao hayavunjwa.
06:45
before their buildings were razed.
131
405789
1630
06:47
600,000 people were displaced.
132
407443
2324
Watu 600,000 walikosa makazi.
06:49
The common perception was
133
409791
1310
Fikira za watu zilikuwa kwamba makuwadi, wauza madawa ya kulevya na malaya walikuwa wanatoka Bronx Kusini.
06:51
that only pimps and pushers and prostitutes were from the South Bronx.
134
411125
3851
06:55
And if you are told from your earliest days
135
415000
2930
Na kama unaambiwa toka mwanzo kuwa hamna kitu kizuri kinaweza kutoka
06:57
that nothing good is going to come from your community,
136
417954
2617
katika jamuia yako, hiyo ni mbaya sana, itakuwaje isiakisi kwako?
07:00
that it's bad and ugly,
137
420595
1151
07:01
how could it not reflect on you?
138
421770
2090
07:04
So now, my family's property was worthless,
139
424335
2518
Kwa hiyo, nyumba yetu ilikuwa haina thamani, zaidi ya hilo ilikuwa ni nyumba yetu na tuliitegemea.
07:06
save for that it was our home, and all we had.
140
426877
2642
07:09
And luckily for me, that home and the love inside of it,
141
429543
3726
Na kwa bahati kwangu, nyumba ile ilikuwa na upendo ndani yake pamoja nam saada
07:13
along with help from teachers, mentors and friends along the way, was enough.
142
433293
5142
kutoka kwa walimu, mentors na marafiki muda wote.
07:18
Now, why is this story important?
143
438459
1689
Sasa, kwanini hii hadithi ni muhimu?
07:20
Because from a planning perspective,
144
440172
1810
kwasababu ya mipango, kutetereka kwa uchumi
07:22
economic degradation begets environmental degradation,
145
442006
3717
kunasababisha uharibifu wa mazingira, ambao unasababisha mmomonyoko wa jamii.
07:25
which begets social degradation.
146
445747
2516
Kutokuwekeza kulikoanza miaka ya 1960
07:28
The disinvestment that began in the 1960s set the stage
147
448287
3063
ndio kulikuwa msingi wa uharibifu wa mazingira ambao umekuja.
07:31
for all the environmental injustices that were to come.
148
451374
2602
07:34
Antiquated zoning and land-use regulations are still used to this day
149
454000
3976
Antiquated zoning na sheria za matumizi ya ardhi bado zinatumika mpaka leo
07:38
to continue putting polluting facilities in my neighborhood.
150
458000
3043
kuendelea kuweka sehemu za uchafuzi wa mazingira katika maeneo yangu.
Sababu hizi zinazingatiwa wakati sheria za ardhi zinapoamuliwa?
07:41
Are these factors taken into consideration when land-use policy is decided?
151
461067
3778
07:44
What costs are associated with these decisions?
152
464869
2596
Gharama ngapi zinahusiana na maamuzi haya? Na nani analipa?
07:47
And who pays? Who profits?
153
467489
2236
Nani anafaidika? Kuna kitu chochote kinachoonyesha matatizo ya jumuia?
07:49
Does anything justify what the local community goes through?
154
469749
3619
07:53
This was "planning" -- in quotes --
155
473392
2294
Hii ni "mipango" - katika mabano - ambayo haikuwa na manufaa kwetu katika fikra.
07:55
that did not have our best interests in mind.
156
475710
2268
Mara tulipogundua hilo, tuliamua kuwa ni muda muafaka wa kupanga mipango yetu.
07:58
Once we realized that, we decided it was time to do our own planning.
157
478002
3415
08:01
That small park I told you about earlier
158
481441
1944
Ile bustani ndogo ya mapumziko niliyowaelezea mwanzoni ilikuwa ndio hatua yetu ya kwanza
08:03
was the first stage of building a Greenway movement in the South Bronx.
159
483409
3278
ya kujenga a greenway movement katika Bronx ya Kusini.
08:06
I wrote a one-and-a-quarter-million dollar federal transportation grant
160
486711
3352
Niliandika moja na robo milioni federal transportation grant
kusanifu mpango wa sehemu ya mapumziko ya ufukweni ambayo yana njia ya waendesha baiskeli
08:10
to design the plan for a waterfront esplanade
161
490087
2108
08:12
with dedicated on-street bike paths.
162
492219
1730
08:13
Physical improvements help inform public policy regarding traffic safety,
163
493973
3458
Matengenezo yanasaidia kuhabarisha jamii kuhusu usalama barabarani,
08:17
the placement of the waste and other facilities,
164
497455
2245
uwekaji wa uchafu na miundo mbinu mingine,
08:19
which, if done properly, don't compromise a community's quality of life.
165
499724
3472
ambayo kama itafanywa vizuri, haitahatarisha maisha ya wanajumuia.
08:23
They provide opportunities to be more physically active,
166
503220
2714
Inatoa fursa kwa jamii kujishughulisha,
08:25
as well as local economic development.
167
505958
2433
pamoja na maendeleo ya uchumi.
08:28
Think bike shops, juice stands.
168
508415
1572
Fikiria maduka ya baiskeli, viduka vya juisi.
Tulipata dola milioni 20 za kuendeleza hatua ya kwanza miradi.
08:30
We secured 20 million dollars to build first-phase projects.
169
510011
2871
08:32
This is Lafayette Avenue --
170
512906
1874
Hapa ni Lafayette Avenue - na kama ilivyosanifiwa na wasanifu majengo wa Matthews-Nielsen.
08:34
and that's redesigned by Mathews Nielsen Landscape Architects.
171
514804
3157
08:37
And once this path is constructed, it'll connect the South Bronx
172
517985
3021
Na mara hii njia ikishajengwa, itaunganisha Bronx Kusini
na zaidi ya ekari 400 za bustani ya mapumziko ya Randall's Island.
08:41
with more than 400 acres of Randall's Island Park.
173
521030
2349
08:43
Right now we're separated by about 25 feet of water, but this link will change that.
174
523403
3974
Kwa sasa tunatenganishwa na karibu futi 25 za maji, lakini hiki kiunga kitabadilisha hayo.
08:47
As we nurture the natural environment, its abundance will give us back even more.
175
527401
4264
Jinsi tunavyotunza mazingira asilia, ndivyo tutakavyofaidika zaidi.
08:51
We run a project called the Bronx [Environmental] Stewardship Training,
176
531689
3811
Tunaendesha mradi unaoitwa Bronx Ecological Stewardship Training,
08:55
which provides job training in the fields of ecological restoration,
177
535524
3307
ambayo inasaidia kufundisha kazi katika maeneo ya ecological restorations,
08:58
so that folks from our community have the skills to compete
178
538855
2801
ili watu wa kutoka kwenye jumuia yetu wawe na uwezo wa kushindania hizi kazi zinazolipa vizuri.
09:01
for these well-paying jobs.
179
541680
1339
Kidogo kidogo, tunapandikiza mbegu za mafanikio katika maeneo yetu kwa ajili ya kazi nzuri -
09:03
Little by little, we're seeding the area with green-collar jobs --
180
543043
3337
09:06
and with people that have both a financial and personal stake
181
546404
2859
halafu watu watakuwa na maamuzi ya kifedha na binafsi kuhusu mazingira yao.
09:09
in their environment.
182
549287
1157
09:10
The Sheridan Expressway is an underutilized relic
183
550468
2643
Sheridan Expressway ni ..........
09:13
of the Robert Moses era,
184
553135
1199
09:14
built with no regard for the neighborhoods that were divided by it.
185
554358
3376
ilijengwa bila kuzingatia mazingira yaligawanywa nayo.
09:17
Even during rush hour, it goes virtually unused.
186
557758
2769
Hata wakati wa msongamano, ni wazi kwamba haitumiki sana.
09:20
The community created an alternative transportation plan
187
560551
2672
Jumuia ilitengenza mpango wa mbadala wa usafiri
09:23
that allows for the removal of the highway.
188
563247
2626
ambao uliruhusu kuondolewa kwa njia kubwa.
09:25
We have the opportunity now to bring together all the stakeholders
189
565897
3123
Tuna fursa sasa ya kuwaunganisha wadau wote
09:29
to re-envision how this 28 acres can be better utilized
190
569044
2588
katika kufikiria hizi ekari 28 zinaweza kutumikaje vizuri kwa ajili ya Parkland,
09:31
for parkland, affordable housing and local economic development.
191
571656
3042
nyumba za bei nafuu na maendeleo ya uchumi.
09:34
We also built New York City's first green and cool roof demonstration project
192
574722
4827
Pia tumejenga jiji - paa la kwanza la kijani la jiji la New York
mradi wa majaribio juu ya ofisi zetu.
09:39
on top of our offices.
193
579573
1388
09:40
Cool roofs are highly-reflective surfaces that don't absorb solar heat,
194
580985
3465
Paa nzuri ambazo hazinyonyi joto la jua
09:44
and pass it on to the building or atmosphere.
195
584474
2103
na kuipitsha kwenye jengo au hewa.
09:46
Green roofs are soil and living plants.
196
586601
2032
Paa za kijani ni udongo na mimea hai.
09:48
Both can be used instead of petroleum-based roofing materials
197
588657
3247
Zote zinaweza kutumika badala ya vifaa vya kuezekea vyenye petroli
09:51
that absorb heat, contribute to urban "heat island" effect
198
591928
2771
ambayo inanyonya joto, inachangia katika matokeo ya urban "heat island" na kuharibu chini ya jua,
09:54
and degrade under the sun,
199
594723
1325
09:56
which we in turn breathe.
200
596072
1222
ambayo tunaivuta. Paa za kijani pia zinatunza asilimia 75 ya mvua,
09:57
Green roofs also retain up to 75 percent of rainfall,
201
597318
2658
10:00
so they reduce a city's need to fund costly end-of-pipe solutions --
202
600000
3659
kwa hiyo inapunguza mahitaji ya jiji kudhamini suluhisho la mabomba -
10:03
which, incidentally, are often located
203
603683
1820
ambayo, mara nyingi yamewekwa katika jumuia zisizo na haki ya mazingira kama yangu.
10:05
in environmental justice communities like mine.
204
605527
2221
10:07
And they provide habitats for our little friends!
205
607772
3300
Na nyumba ya rafiki zetu wadogo!
Kwa hiyo -- (kicheko) -- nzuri sana!
10:11
[Butterfly]
206
611096
1157
10:12
(Laughter)
207
612277
1223
10:13
So cool!
208
613524
1183
10:14
Anyway, the demonstration project is a springboard
209
614731
2506
Hata hivyo, mradi wa mfano ni chanzo cha kuezeka paa zetu za kijani,
10:17
for our own green roof installation business,
210
617261
2124
10:19
bringing jobs and sustainable economic activity to the South Bronx.
211
619409
3502
kuongeza ajira na maendeleo endelevu katika Bronx Kusini.
10:22
[Green is the new black ...]
212
622935
1376
(Kicheko). (Makofi). Hata mimi napenda hiyo pia.
10:24
(Laughter) (Applause)
213
624335
4143
10:28
I like that, too.
214
628502
1651
Hata hivyo, najua Chris alituambia tusijinadi hapa juu,
10:30
Anyway, I know Chris told us not to do pitches up here,
215
630177
3696
10:33
but since I have all of your attention:
216
633897
1880
lakini kwa kuwa mnanisikiliza: tunahitaji wawekezaji. Mwisho wa kujinadi.
10:35
We need investors. End of pitch.
217
635801
1587
10:37
It's better to ask for forgiveness than permission.
218
637412
2388
Ni afadhali kuomba msamaha kuliko ruhusa.
10:39
Anyway --
219
639824
1156
Hata hivyo - (Kicheko). (Makofi).
10:41
(Laughter)
220
641004
1460
10:42
(Applause)
221
642488
4919
10:47
OK. Katrina.
222
647431
2263
OK. Katrina. Kabla ya Katrina, Bronx Kusini na wadi ya tisa ya New Orleans
10:50
Prior to Katrina, the South Bronx and New Orleans' Ninth Ward
223
650884
3024
10:53
had a lot in common.
224
653932
1189
vina vitu vya kufanana. Yote ilikuwa na watu wengi wa jamii moja maskini,
10:55
Both were largely populated by poor people of color,
225
655145
2754
10:57
both hotbeds of cultural innovation: think hip-hop and jazz.
226
657923
3295
zote ni hotbeds za utamaduni ulioundwa: fikiria hip-hop na jazz.
11:01
Both are waterfront communities that host both industries and residents
227
661242
3334
Zote ni jumuia za ufukweni ambazo zina viwanda
11:04
in close proximity of one another.
228
664600
1886
wakaazi wanaokaa karibu karibu sana.
11:06
In the post-Katrina era, we have still more in common.
229
666510
3048
Katika kipindi cha mpito cha Katrina, bado tuna vitu vya kufanana.
11:09
We're at best ignored, and maligned and abused, at worst,
230
669582
3478
Tunadharauliwa na kunyanyaswa sana,
na negligent mashirika ya sheria, pernicious zoning and lax governmental accountability.
11:13
by negligent regulatory agencies, pernicious zoning
231
673084
3347
11:16
and lax governmental accountability.
232
676455
2173
11:18
Neither the destruction of the Ninth Ward nor the South Bronx was inevitable.
233
678652
4428
Si uharibifu wa wadi ya tisa wala Bronx Kusini ulikuwa hauzuiliki.
Lakini tumejifunza mengi jinsi ya kujinasua wenyewe.
11:23
But we have emerged with valuable lessons
234
683104
2136
11:25
about how to dig ourselves out.
235
685264
2273
11:27
We are more than simply national symbols of urban blight
236
687561
3802
Tumekuwa zaidi ya nembo ya nchi ya bligh ya mjini.
11:31
or problems to be solved by empty campaign promises
237
691387
3306
Au matatizo yatakayotatuliwa na ahadi za kampeni hewa za marais wanaokuja na waliopita.
11:34
of presidents come and gone.
238
694717
1610
11:36
Now will we let the Gulf Coast languish for a decade or two,
239
696351
2819
Sasa tutaacha pwani ya Gulf
iteketee kwa muongo mmoja au miwili kama ilvyokuwa kwa Bronx Kusini?
11:39
like the South Bronx did?
240
699194
1262
Au tutachukua hatua za ziada na kujifunza kutoka kwa
11:40
Or will we take proactive steps
241
700480
1484
11:41
and learn from the homegrown resource of grassroots activists
242
701988
2937
wakereketwa ambao wametokana na jumuia yenye matatizo ka yangu?
11:44
that have been born of desperation in communities like mine?
243
704949
2846
11:47
Now listen, I do not expect individuals,
244
707819
2643
Sasa sikiliza, sitegemei mtu binafsi,
11:50
corporations or government to make the world a better place
245
710486
2785
makampuni au serikali kuifanya dunia iwe mahali pazuri pa kuishi kwasababu ni sawa na sahihi.
11:53
because it is right or moral.
246
713295
1824
11:55
This presentation today only represents some of what I've been through.
247
715596
4280
Hii presentation leo inaonyesha sehemu tuu ya mambo niliyopitia,
11:59
Like a tiny little bit. You've no clue.
248
719900
2076
sehemu ndogo tuu. Hujui.
12:02
But I'll tell you later, if you want to know.
249
722000
2096
Lakini nitakuelezea baadae kama utapenda kujua.
Lakini -- najua ni shina, au jinsi mtu aonavyo,
12:04
(Laughter)
250
724120
1065
12:05
But -- I know it's the bottom line, or one's perception of it,
251
725209
4290
12:09
that motivates people in the end.
252
729523
1736
ndio kinachomchochea mtu mwishoni.
12:11
I'm interested in what I like to call the "triple bottom line"
253
731283
2922
Ninashauku na ninachopenda kuita "triple bottom line"
12:14
that sustainable development can produce.
254
734229
2224
ambayo maendleo endelevu yanaweza kuleta.
12:16
Developments that have the potential to create positive returns
255
736477
3922
Maendeleo ambayo yanaweza kuleta matokeo chanya kwa wahusika wote:
12:20
for all concerned: the developers, government
256
740423
3102
waendelezaji, serikali na jumuia ambayo miradi hii inapelekwa.
12:23
and the community where these projects go up.
257
743549
2436
Kwa sasa hii haifanyiki katika jiji la New York.
12:26
At present, that's not happening in New York City.
258
746009
2540
Na tunafanyakazi katika upungufu wa mipango miji madhubiti.
12:29
And we are operating with a comprehensive urban-planning deficit.
259
749311
3665
12:33
A parade of government subsidies
260
753358
2095
Mlolongo wa ruzuku za serikali zinaenda kwenye miradi mikubwa iliyopendekezwa
12:35
is going to propose big-box and stadium developments in the South Bronx,
261
755477
3552
na ujenzi wa uwanja wa michezo katika Bronx Kusini,
lakini kuna ushirikiano mdogo kati ya mashirika ya jiji na jinsi ya
12:39
but there is scant coordination between city agencies
262
759053
3083
12:42
on how to deal with the cumulative effects of increased traffic, pollution,
263
762160
3750
kabiliana na mkusanyiko wa matatizo ya foleni, uchafuzi wa hewa, uchafu
12:45
solid waste and the impacts on open space.
264
765934
2525
na matokeo yake kwenye sehemu za wazi. Na mtazamo wao katika uchumi
12:48
And their approaches to local economic and job development are so lame
265
768483
4380
na kuendeleza ajira ni dhaifu sana hata si ya kuchekesha.
12:52
it's not even funny.
266
772887
1171
12:54
Because on top of that,
267
774082
2199
Kwa sababu juu ya hilo, timu ya michezo tajiri sana duniani inachukua nafasi ya
12:56
the world's richest sports team is replacing the House That Ruth Built
268
776305
4423
nyumba ambayo Ruth alijenga kwa kuvunja bustani mbili za jumuia za kupumzika ambazo zilipendwa sana.
13:00
by destroying two well-loved community parks.
269
780752
2817
13:03
Now, we'll have even less than that stat I told you about earlier.
270
783593
3111
Sasa, tutakuwa na upungufu zaidi wa stat ambao niliwaelezea awali.
13:06
And although less than 25 percent of South Bronx residents own cars,
271
786728
3318
Na ingawa chini ya asilimia 25 ya wakazi wa Bronx Kusini wana magari,
miradi hii inajumuisha maelfu ya sehemu za kuegesha magari,
13:10
these projects include thousands of new parking spaces,
272
790070
3674
13:13
yet zip in terms of mass public transit.
273
793768
3254
bado fikiria kuhusu usafiri wa jiji
13:17
Now, what's missing from the larger debate
274
797046
2032
Sasa, kipi kinakosekana kwenye mdahalo huu mkubwa ni
13:19
is a comprehensive cost-benefit analysis
275
799102
1929
mnyambulisho wa faida madhubuti kati ya na sio kurekebisha
13:21
between not fixing an unhealthy, environmentally-challenged community,
276
801055
3399
jumuia iliyo na mazingira yasiyo safi, dhidi ya
13:24
versus incorporating structural, sustainable changes.
277
804478
3607
majengo, mabadiliko endelevu.
13:28
My agency is working closely with Columbia University and others
278
808109
3231
Shirika la ngu linafanya kazi kwa karibu sana na chuo kikuu cha Columbia na wengine
13:31
to shine a light on these issues.
279
811364
1586
ili kutoa mwanga kwa mabo haya.
13:32
Now let's get this straight: I am not anti-development.
280
812974
3199
Sasa hebu tuweke hii sawa. Mimi sipingi maendeleo.
13:36
Ours is a city, not a wilderness preserve.
281
816197
2408
Sehemu yetu ni jiji, na sio hifadhi ya mbuga. Na nimeukumbatia ubepari ulio ndani yangu.
13:38
And I've embraced my inner capitalist.
282
818629
3039
13:41
And, but I don't have --
283
821692
1477
Na siajabu wote mnayo pia ndani yenu, na kama hamna, mnahitaji kuwa nayo.
13:43
(Laughter)
284
823193
1625
13:44
You probably all have, and if you haven't, you need to.
285
824842
2596
13:47
(Laughter)
286
827462
3770
(Kicheko). Kwa hiyo sina tatizo na waendelezaji kutengeneza pesa.
13:51
So I don't have a problem with developers making money.
287
831256
3416
13:54
There's enough precedent out there to show that a sustainable,
288
834696
2950
Kuna precedent ya kutosha huko kuonyesha kuwa
13:57
community-friendly development can still make a fortune.
289
837670
4391
maendeleo endelevu ya jumuia bado yanaweza kuleta utajiri.
Wenzangu wa TEDsters Bill McDonough na Emery Lovins --
14:02
Fellow TEDsters Bill McDonough and Amory Lovins --
290
842085
3072
14:05
both heroes of mine by the way -- have shown that you can actually do that.
291
845181
3969
wote ni heros wangu - wameonyesha kuwa unaweza kufanya hivyo.
Nina matatizo na maendeleo ambayo yanadidimiza
14:09
I do have a problem with developments that hyper-exploit
292
849174
2802
14:12
politically vulnerable communities for profit.
293
852000
2167
jumuia zisizo na usemi kwa ajili ya faida.
Hii ikiendelea ni aibu kwetu sote,
14:14
That it continues is a shame upon us all,
294
854191
2848
kwasababu sote tunawajibika kwa maisha tunayoyatengeneza.
14:17
because we are all responsible for the future that we create.
295
857063
2941
Lakini kitu kimoja ninachofanya kujikumbusha juu ya uwezekano mkubwa ni kujifunza kutoka kwa wajuzi kwenye miji mingine.
14:20
But one of the things I do to remind myself of greater possibilities,
296
860028
3247
14:23
is to learn from visionaries in other cities.
297
863299
2134
14:25
This is my version of globalization.
298
865457
2032
Haya ni maoni yangu juu ya utandawazi.
14:27
Let's take Bogota.
299
867513
1533
Hebu tuiangalie Bogota. Masikini, Latino, imezungukwa na wahalifu wenye silaha
14:29
Poor, Latino, surrounded by runaway gun violence and drug trafficking;
300
869070
3793
na uuzaji wa madawa ya kulevya: sifa si kama ile ya Bronx Kusini.
14:32
a reputation not unlike that of the South Bronx.
301
872887
2838
14:35
However, this city was blessed in the late 1990s
302
875749
3227
Lakini, jiji lilibarikiwa mwishoni mwa miaka ya 1990
14:39
with a highly-influential mayor named Enrique Peñalosa.
303
879000
4024
kwa kuwa na meya mwenye ushawishi aliyeitwa Enrique Penalosa.
Aliangalia demographics.
14:43
He looked at the demographics.
304
883048
1781
14:44
Few Bogotanos own cars,
305
884853
1731
Wabogota wachaceh walikuwa na magari, lakini rasilimali kubwa ya jiji ilikuwa imetengwa kuwahudumia wao.
14:46
yet a huge portion of the city's resources was dedicated to serving them.
306
886608
4038
14:50
If you're a mayor, you can do something about that.
307
890670
2385
Uwapo meya, waweza kufanya kitu fulani.
14:53
His administration narrowed key municipal thoroughfares from five lanes to three,
308
893079
4256
Uongozi wake ulipunguza thoroughfares za manispaa kutoka njia tano mpaka tatu,
14:57
outlawed parking on those streets,
309
897359
2263
ikapiga marufuku kupaki katika mitaa hiyo, ikapanua njia za watembea kwa miguu
14:59
expanded pedestrian walkways and bike lanes,
310
899646
2779
na barabara za waendesha baiskeli, ikatengeneza public plazas,
15:02
created public plazas,
311
902449
1931
15:04
created one of the most efficient bus mass-transit systems
312
904404
2867
ikatengeneza eficient buss mass-transit systems katika dunia nzima.
15:07
in the entire world.
313
907295
1482
15:08
For his brilliant efforts, he was nearly impeached.
314
908801
3774
Kwa juhudi zake nzuri, alikuwa karibu avuliwe madaraka.
Lakini jinsi watu walivyoanza kuona kuwa wao wanapewa kipaumbele kwenye masuala mbalimbali
15:13
But as people began to see that they were being put first
315
913186
3706
15:16
on issues reflecting their day-to-day lives,
316
916916
2210
yanayohusu shughuli zao za kila siku, mambo mazuri yakatokea.
15:19
incredible things happened.
317
919150
1331
15:20
People stopped littering.
318
920505
1392
Watu waliacha kutupa taka ovyo. Uhalifu ulipungua.
15:21
Crime rates dropped, because the streets were alive with people.
319
921921
3885
Kwasababu mitaa ilikuwa imejaa watu.
15:25
His administration attacked several typical urban problems at one time,
320
925830
3879
Uongozi wake ulipigana na matatizo mbalimbali ya mijini moja baada ya jingine,
15:29
and on a third-world budget, at that.
321
929733
2111
na katika bajeti ya dunia ya tatu.
15:31
We have no excuse in this country, I'm sorry.
322
931868
2699
Hatuna visingizio kwenye nchi hii. Samahani.
15:34
But the bottom line is: their people-first agenda
323
934591
2841
Lakini cha muhimu ni, ajenda yao ya kuwaweka watu kwanza haikumaanisha
15:37
was not meant to penalize those who could actually afford cars,
324
937456
3914
kuwapiga faini wale wasio kuwa na uwezo wa kuwa na magari,
15:41
but rather, to provide opportunities for all Bogotanos to participate
325
941394
3865
bali kutoa fursa kwa wabogota kushiriki
15:45
in the city's resurgence.
326
945283
1622
katika maendeleo ya jiji. Maendeleo hayo yasije kwa expense
15:46
That development should not come
327
946929
2160
15:49
at the expense of the majority of the population
328
949113
2587
ya walio wengi hii bado inaonekana kama ni wazo zito sana hapa Marekani.
15:51
is still considered a radical idea here in the U.S.
329
951724
2770
15:54
But Bogota's example has the power to change that.
330
954518
2458
Lakini mfano wa Bogota una nguvu ya kubadili hili.
15:57
You, however, are blessed with the gift of influence.
331
957327
3493
Ninyi, mmebarikiwa na zawadi ya ushawishi.
16:00
That's why you're here and why you value the information we exchange.
332
960844
3722
Hii si sababu kwanini mko hapa na kwanini mna thamini hizi habari tunazobadilishana.
16:04
Use your influence
333
964590
1350
Tumieni utashi wenu kuunga mkonomabadiliko endelevu madhubiti kila mahali.
16:05
in support of comprehensive, sustainable change everywhere.
334
965964
3300
16:09
Don't just talk about it at TED.
335
969567
1695
Msiongelee tuu kuhusu haya kwenye TED. Hii ni agenda ya nchi nzima ninayojitahidi kuijenga,
16:11
This is a nationwide policy agenda I'm trying to build,
336
971985
4110
16:16
and as you all know, politics are personal.
337
976119
2603
na kama mjuavyo, siasa ni kitu cha binafsi.
Nisaidieni kufanya kijani iwe nyeusi mpya. Nisaidieni kufanya uendelevu uwe wa kuvutia.
16:19
Help me make green the new black.
338
979118
1974
16:21
Help me make sustainability sexy.
339
981592
2137
16:23
Make it a part of your dinner and cocktail conversations.
340
983753
3397
Fanyeni yawe mazungumzo yenu wakati wa chakula cha usiku na wakati wa sherehe.
16:27
Help me fight for environmental and economic justice.
341
987174
3103
Nisaidieni kupigania haki ya mazingira na uchumi.
16:30
Support investments with a triple-bottom-line return.
342
990301
2675
Ungeni mkono uwekezaji wenye kulerta faida mara tatu.
16:33
Help me democratize sustainability by bringing everyone to the table,
343
993000
4540
Nisaidieni kuleta demekrasia katika uendelevu kwa kuhusisha kila mtu katika hili
16:37
and insisting that comprehensive planning can be addressed everywhere.
344
997564
3349
na kusisitiza mpango madhubuti unaweza kuongelewa kila mahali.
16:40
Oh good, glad I have a little more time!
345
1000937
1908
Oh vizuri, afadhali nina muda kidogo!
16:42
Listen -- when I spoke to Mr. Gore the other day after breakfast,
346
1002869
3945
Sikiliza - nilipoongea na Bw. Gore juzi baada ya kifungua kinywa,
16:46
I asked him how environmental justice activists were going to be included
347
1006838
4748
nilimuuliza wakereketwa wa haki za mazingira watawekwa wapi
katika mkakati wake mpya.
16:51
in his new marketing strategy.
348
1011610
2226
16:53
His response was a grant program.
349
1013860
2308
Jibu lake lilikuwa ni programu ya misaada.
Sidhani kama alielewa kuwa nilikuwa siombi msaada.
16:57
I don't think he understood that I wasn't asking for funding.
350
1017692
3742
Nilikuwa nampa ofa. (makofi).
17:03
I was making him an offer.
351
1023736
1772
17:07
(Applause)
352
1027233
6512
17:14
What troubled me was that this top-down approach is still around.
353
1034983
4364
Kilichonisumbua ni kwamba huu mtazamo wa juu-chini bado upo.
Sasa, msinielewe vibaya, tunahitaji pesa. (kicheko).
17:20
Now, don't get me wrong, we need money.
354
1040260
1890
17:22
(Laughter)
355
1042174
1412
17:23
But grassroots groups are needed at the table
356
1043610
4107
Lakini vikundi vya grassroots vinahitajika wakati wa kufanya maamuzi.
17:27
during the decision-making process.
357
1047741
2818
17:30
Of the 90 percent of the energy that Mr. Gore reminded us
358
1050583
4044
Kati ya asilimia 90 ya nguvu tunazopoteza kila siku ambayo Bw. Gore alitukumbusha,
17:34
that we waste every day,
359
1054651
1422
17:36
don't add wasting our energy, intelligence
360
1056097
3170
hajumuishi kupoteza nguvu zetu, akili
17:39
and hard-earned experience to that count.
361
1059291
3843
na ujuzi wetu mkubwa. (makofi).
17:43
(Applause)
362
1063158
5463
17:48
I have come from so far to meet you like this.
363
1068645
6468
Nimetoka mbali kukutana nanyi kama hivi.
Tafadhali msinipoteze. Kwa kufanya kazi pamoja,
17:56
Please don't waste me.
364
1076436
2375
18:00
By working together,
365
1080628
1154
18:01
we can become one of those small, rapidly-growing groups of individuals
366
1081806
4978
tunaweza kuwa moja ya vikundi vidogo vinavyokuwa haraka
18:06
who actually have the audacity and courage
367
1086808
2207
ambao wana ujasiri na ushujaa wa kuamini kuwa tunaweza kubadili dunia hii.
18:09
to believe that we actually can change the world.
368
1089039
2631
Tumekuja kwenye kongamano hili kutoka kwenye sehemu tofauti za maisha,
18:12
We might have come to this conference
369
1092238
1770
18:14
from very, very different stations in life,
370
1094032
2532
18:16
but believe me, we all share one incredibly powerful thing.
371
1096588
4600
lakini naamini, wote tunashirikiana kwa kitu kimoja kikubwa --
hatuna cha kupoteza na tunaweza kupata kila kitu.
18:23
We have nothing to lose and everything to gain.
372
1103517
3530
Kwaheri Wapendwa! (Makofi)
18:28
Ciao, bellos!
373
1108675
1176
18:29
(Applause)
374
1109875
6468
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7