The Beauty of What We'll Never Know | Pico Iyer | TED

150,743 views ・ 2016-11-01

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
00:13
One hot October morning,
0
13436
3207
Asubuhi moja ya mwezi Oktoba yenye joto,
00:16
I got off the all-night train
1
16667
2710
nilishuka kutoka kwenye treni ya usiku
00:19
in Mandalay,
2
19401
1158
Mandalay,
00:20
the old royal capital of Burma,
3
20583
3118
mji mkuu wa kifalme wa zamani wa Burma,
00:23
now Myanmar.
4
23725
1417
sasa Myanmar.
00:25
And out on the street, I ran into a group of rough men
5
25660
4198
Kwenye mtaa, nikakutana na kundi la wanaume ambao ni wakorofi
00:29
standing beside their bicycle rickshaws.
6
29882
3893
wakiwa wamesimama pembeni ya baiskeli zao.
00:33
And one of them came up
7
33799
1370
Mmoja kati yao akanifuata
00:35
and offered to show me around.
8
35193
2182
na kujitolea kunionesha maeneo.
00:38
The price he quoted was outrageous.
9
38615
2664
Bei aliyoitaja ilikuwa ni ya kushangaza.
00:41
It was less than I would pay for a bar of chocolate at home.
10
41832
3988
Ilikuwa ni kidogo kuliko ambayo ningetumia kununua chokoleti nyumbani.
00:45
So I clambered into his trishaw,
11
45844
3141
Nikapanda kwenye baiskeli yake,
00:49
and he began pedaling us slowly between palaces and pagodas.
12
49009
5871
na akaanza kutuendesha polepole kwenye makasri na mahekalu.
00:55
And as he did, he told me how he had come to the city from his village.
13
55972
5299
Wakati anaendesha, akaniambia jinsi alivyokuja mjini kutoka kijijini kwake.
01:01
He'd earned a degree in mathematics.
14
61295
2379
Alikuwa na digrii ya hisabati.
01:03
His dream was to be a teacher.
15
63698
2327
Ndoto yake ilikuwa awe mwalimu.
01:06
But of course, life is hard under a military dictatorship,
16
66445
4812
Hakika maisha ni magumu kwenye udikteta wa kijeshi,
01:11
and so for now, this was the only way he could make a living.
17
71281
4120
kwa sasa, hii ilikuwa ni namna pekee ya kujipatia kipato.
01:16
Many nights, he told me, he actually slept in his trishaw
18
76796
3941
Mara nyingi usiku, aliniambia, alilala kwenye guta yake
01:20
so he could catch the first visitors off the all-night train.
19
80761
4386
ili kusudi apate wateja wa kwanza wa treni ya usiku.
01:27
And very soon, we found that in certain ways,
20
87543
3849
Punde si punde, tukagundua kwamba kwa namna fulani
01:31
we had so much in common --
21
91416
1666
tuna mengi ya kufanana --
01:33
we were both in our 20s,
22
93106
1861
wote tulikuwa kwenye miaka ya 20,
01:34
we were both fascinated by foreign cultures --
23
94991
3212
sote tulikuwa tunavutiwa na tamaduni za kigeni --
01:38
that he invited me home.
24
98734
1924
mpaka akanikaribisha nyumbani.
01:42
So we turned off the wide, crowded streets,
25
102056
3807
Tukatoka kwenye mtaa wenye watu wengi,
01:45
and we began bumping down rough, wild alleyways.
26
105887
4210
na tukaanza kupita kwenye njia zenye mabonde na kona nyingi
01:50
There were broken shacks all around.
27
110121
2348
Kulikuwa na nyumba zilizo bomoka kila sehemu.
01:52
I really lost the sense of where I was,
28
112493
2842
Kwakweli sikujua nilipokuwepo,
01:56
and I realized that anything could happen to me now.
29
116136
3682
na nikagundua kua chochote kinaweza kunitokea sasa.
01:59
I could get mugged or drugged
30
119842
2442
Ninaweza ibiwa au leweshwa
02:02
or something worse.
31
122308
1316
au kibaya zaidi.
02:03
Nobody would know.
32
123648
1384
Hamna ambaye angejua.
02:06
Finally, he stopped and led me into a hut,
33
126309
3697
Mwishowe, akasimama na akanipeleka kwenye kibanda,
02:10
which consisted of just one tiny room.
34
130030
3324
ambacho kilikuwa na chumba kimoja tu kidogo.
02:14
And then he leaned down,
35
134228
2177
Kisha akainama chini,
02:16
and reached under his bed.
36
136429
1942
kwenye kitanda chake.
02:19
And something in me froze.
37
139608
2178
Kitu ndani yangu kikaganda.
02:24
I waited to see what he would pull out.
38
144046
2700
Nikawa nasubiri nione atavuta nini.
02:27
And finally he extracted a box.
39
147361
3010
Mwishowe akatoa boksi.
02:31
Inside it was every single letter he had ever received
40
151295
4931
Ndani yake kulikuwa na barua zote alizowahi kupokea
02:36
from visitors from abroad,
41
156250
2041
kutoka kwa wageni wa nchi za nje,
02:39
and on some of them he had pasted
42
159001
2102
na baadhi zao alikuwa amebandika
02:41
little black-and-white worn snapshots
43
161127
3391
picha ndogo zisizo na rangi zilizochoka
02:44
of his new foreign friends.
44
164542
2204
za marafiki zake wapya wa kigeni.
02:48
So when we said goodbye that night,
45
168387
3627
Hivyo tulivyoagana usiku ule,
02:52
I realized he had also shown me
46
172038
2587
nikagundua kua amenionyesha pia
02:54
the secret point of travel,
47
174649
2310
siri ya kwenye kusafiri,
02:56
which is to take a plunge,
48
176983
2056
ambayo ni kufanya kitu bila uwoga,
02:59
to go inwardly as well as outwardly
49
179063
2692
kusafiri ndani vile vile na nje,
03:01
to places you would never go otherwise,
50
181779
2515
kwenda sehemu ambazo usingeenda vinginevyo,
03:04
to venture into uncertainty,
51
184990
2508
kufanya usiyoyafahamu,
03:07
ambiguity,
52
187928
1173
usichokielewa,
03:09
even fear.
53
189498
1282
hata uwoga.
03:12
At home, it's dangerously easy
54
192298
2439
Nyumbani, ni hatari kirahisi
03:14
to assume we're on top of things.
55
194761
2210
kujiona tupo juu ya mambo.
03:17
Out in the world, you are reminded every moment that you're not,
56
197810
4012
Nje kwenye dunia, unakumbushwa kila saa kwamba haupo
03:22
and you can't get to the bottom of things, either.
57
202309
2546
na hauwezi kufikia kwenye mwisho wa mambo pia.
03:26
Everywhere, "People wish to be settled,"
58
206235
2902
Kila sehemu, "Watu wanatamani kutulia,"
03:29
Ralph Waldo Emerson reminded us,
59
209161
2279
Ralph Waldo Emerson alitukumbusha,
03:31
"but only insofar as we are unsettled
60
211464
2676
"lakini mara nyingi tunapokuwa hatujatulia
03:34
is there any hope for us."
61
214164
1686
ndipo kuna tumaini kwetu."
03:36
At this conference, we've been lucky enough
62
216891
2427
Kwenye hili kongamano, tumebahatika sana
03:39
to hear some exhilarating new ideas and discoveries
63
219342
3453
kusikia mawazo mapya ya kustaajabisha na vumbuzi
03:42
and, really, about all the ways
64
222819
1756
na kweli, kuhusu njia zote
03:44
in which knowledge is being pushed excitingly forwards.
65
224599
3323
ambazo maarife yanasukumwa mbele sana.
03:48
But at some point, knowledge gives out.
66
228797
3229
Lakini kuna hatua, maarifa yanaondoka.
03:52
And that is the moment
67
232802
1224
Na huo ndio muda
03:54
when your life is truly decided:
68
234050
2635
ambao maisha yako yanaamua kweli:
03:57
you fall in love;
69
237825
1682
unapata upendo;
04:00
you lose a friend;
70
240093
1835
unapoteza rafiki;
04:02
the lights go out.
71
242893
1572
taa zinazimika.
04:05
And it's then, when you're lost or uneasy or carried out of yourself,
72
245000
5014
Na ni hapo, ambapo ukiwa umepotea, au huelewi au umepoteza matumaini,
04:10
that you find out who you are.
73
250038
2162
ndipo unapogundua wewe ni nani.
04:14
I don't believe that ignorance is bliss.
74
254224
3328
Siamini kama ujinga ni starehe.
04:18
Science has unquestionably made our lives
75
258193
3131
Sayansi imefanya maisha yetu
04:21
brighter and longer and healthier.
76
261348
2468
yang'ae zaidi, marefu zaidi na yenye afya zaidi.
04:24
And I am forever grateful to the teachers who showed me the laws of physics
77
264825
4827
Na ninawashukuru sana walimu walionifundisha kanuni za fizikia,
04:29
and pointed out that three times three makes nine.
78
269676
3513
na kunielekeza kwamba tatu mara tatu ni tisa.
04:33
I can count that out on my fingers
79
273678
2825
Naweza kuhesabu hiyo kwa vidole vyangu.
04:36
any time of night or day.
80
276527
2342
muda wowote wa usiku au mchana.
04:40
But when a mathematician tells me
81
280802
1612
Lakini mwanahisabati akiniambia
04:42
that minus three times minus three makes nine,
82
282438
3523
hio ukitoa mara tatu ukitoa tatu ni tisa,
04:45
that's a kind of logic that almost feels like trust.
83
285985
4869
hiyo ni aina ya mantiki inayoonekana kama uaminifu.
04:52
The opposite of knowledge, in other words, isn't always ignorance.
84
292674
3761
Tofauti ya maarifa, kwa maneno mengine, sio lazima iwe ujinga.
04:56
It can be wonder.
85
296948
1150
Inaweza ikawa mshangao.
04:58
Or mystery.
86
298482
1150
Au maajabu.
04:59
Possibility.
87
299964
1183
Uwezekano.
05:01
And in my life, I've found it's the things I don't know
88
301894
3837
Na kwenye maisha yangu, nimegundua ni vile nisivyovijua
05:05
that have lifted me up and pushed me forwards
89
305755
2679
ndivyo ambavyo vimeninyanyua na kunisukuma mbele zaidi
05:08
much more than the things I do know.
90
308458
2568
kushinda vile ninavyovijua.
05:12
It's also the things I don't know
91
312222
1799
Ni pia vile nisivyovijua
05:14
that have often brought me closer to everybody around me.
92
314045
3394
vilivyonileta karibu na kila mtu anaenizunguka.
05:18
For eight straight Novembers, recently,
93
318549
2000
Kwa Novemba nane mfululizo, hivi karibuni,
05:20
I traveled every year across Japan with the Dalai Lama.
94
320573
4428
nimesafiri kila mwaka kupitia Japan na Dalai Lama.
05:26
And the one thing he said every day
95
326001
3100
Na kitu ambacho alikuwa anasema kila siku
05:29
that most seemed to give people reassurance and confidence
96
329125
3547
ambacho kilionekana kuwapa watu suluhisho na tumaini
05:32
was, "I don't know."
97
332696
2058
ilikuwa ni "sijui."
05:36
"What's going to happen to Tibet?"
98
336325
1877
"Nini kitatokea Tibet?"
05:39
"When are we ever going to get world peace?"
99
339226
2980
"Lini tutapata amani duniani?"
05:42
"What's the best way to raise children?"
100
342765
2061
"Ipi ni njia sahihi ya kulea watoto?"
05:46
"Frankly," says this very wise man,
101
346134
3071
"Kiukweli," anasema huyu mtu mwenye busara,
05:49
"I don't know."
102
349229
1237
"Sijui."
05:52
The Nobel Prize-winning economist Daniel Kahneman
103
352117
3701
Mshindi wa tuzo ya Nobeli, mwanauchumi Daniel Kahneman
05:55
has spent more than 60 years now researching human behavior,
104
355842
4503
ametumia zaidi ya miaka 60 sasa akichunguza tabia za binadamu,
06:00
and his conclusion is
105
360369
2032
na muafaka wake ni
06:02
that we are always much more confident of what we think we know
106
362425
4614
kua huwa tunajiamini sana na kile tunachodhani tunakijua
06:07
than we should be.
107
367063
1725
kuliko tunavyotakiwa kuwa.
06:08
We have, as he memorably puts it,
108
368812
2659
Tunakuwa, kama anavyosema,
06:11
an "unlimited ability to ignore our ignorance."
109
371495
4204
na "uwezo usio na kikomo wa kupuuzia ujinga wetu."
06:16
We know -- quote, unquote -- our team is going to win this weekend,
110
376849
5087
Tunajua -- nanukuu -- timu yetu itaenda kushinda wikiendi hii,
06:21
and we only remember that knowledge
111
381960
2169
na tunakumbuka tu hayo maarifa
06:24
on the rare occasions when we're right.
112
384153
2349
mara chache tukiwa sahihi.
06:27
Most of the time, we're in the dark.
113
387582
2843
Mara nyingi, tunakuwa gizani.
06:31
And that's where real intimacy lies.
114
391319
3475
Na hapo ndipo hisia za kweli zipo.
06:36
Do you know what your lover is going to do tomorrow?
115
396580
2933
Unajua mpenzi wako atakachokua anafanya kesho?
06:40
Do you want to know?
116
400673
1273
Je unataka kujua?
06:43
The parents of us all, as some people call them,
117
403621
2813
Wazazi wetu sote kama watu wanavyowaita,
06:46
Adam and Eve,
118
406458
1159
Adam na Hawa,
06:47
could never die, so long as they were eating from the tree of life.
119
407641
4158
wasigeweza kufa, alimradi waliendelea kula kutoka kwenye mti wa uzima.
06:52
But the minute they began nibbling
120
412631
2198
Ila punde walivyoanza kula
06:54
from the tree of the knowledge of good and evil,
121
414853
2582
kutoka kwenye mti wa maarifa, ya mema na mabaya,
06:57
they fell from their innocence.
122
417459
1804
wakaanguka kutoka kwenye weupe wao.
06:59
They grew embarrassed and fretful,
123
419808
3025
Wakajawa na aibu na uwoga,
07:02
self-conscious.
124
422857
1197
wakajitambua.
07:04
And they learned, a little too late, perhaps,
125
424865
2368
Na wakajifunza, kwa kuchelewa, pengine,
07:07
that there are certainly some things that we need to know,
126
427257
2740
kwamba kwa kweli kuna vitu tunahitaji kuvijua,
07:10
but there are many, many more that are better left unexplored.
127
430021
3947
lakini kuna vingi, vingi zaidi ambavyo ni bora visichunguzwe.
07:15
Now, when I was a kid,
128
435999
1925
Sasa, nilivyokuwa mtoto,
07:17
I knew it all, of course.
129
437948
3318
nilijua vyote, bila shaka.
07:21
I had been spending 20 years in classrooms collecting facts,
130
441290
4212
Nilitumia miaka 20 darasani nikikusanya mawazo,
07:25
and I was actually in the information business,
131
445526
2719
na nilikuwa kweli kwenye biashara ya habari,
07:28
writing articles for Time Magazine.
132
448269
2150
nikiandika makala ya gazeti la Time.
07:31
And I took my first real trip to Japan for two-and-a-half weeks,
133
451129
5176
Nikasafiri kwenda Japan kwa mara ya kwanza kwa muda wa wiki mbili na nusu,
07:36
and I came back with a 40-page essay
134
456329
3280
na nikarudi na insha ya karatasi 40
07:39
explaining every last detail about Japan's temples,
135
459633
3564
ikielezea kila kitu kuhusu nyumba za ibada za Japan,
07:43
its fashions, its baseball games,
136
463221
2682
mitindo yake, michezo yake ya besiboli,
07:46
its soul.
137
466490
1159
nafsi yake.
07:49
But underneath all that,
138
469276
2330
Lakini chini ya hayo yote,
07:51
something that I couldn't understand
139
471630
3177
kitu ambacho sikuweza elewa
07:54
so moved me for reasons I couldn't explain to you yet,
140
474831
4494
kiliniongoza kwa sababu nisizoweza kuwaelezea bado,
08:00
that I decided to go and live in Japan.
141
480087
3209
mpaka nikaamua kwenda kuishi Japan.
08:04
And now that I've been there for 28 years,
142
484450
2751
Na sasa ambapo nimekuwa kule kwa miaka 28,
08:07
I really couldn't tell you very much at all
143
487225
2400
siwezi kuwaelezea mengi kabisa
08:09
about my adopted home.
144
489649
1664
kuhusu nyumbani kwangu.
08:12
Which is wonderful,
145
492222
1347
Ambayo ni nzuri,
08:13
because it means every day I'm making some new discovery,
146
493593
2880
sababu inamaanisha kila siku ninagundua kitu kipya.
08:16
and in the process,
147
496497
1491
na kwenye hiyo harakati,
08:18
looking around the corner and seeing the hundred thousand things
148
498012
3894
kuangalia pembeni na kuona mamia na maelfu ya vitu
08:21
I'll never know.
149
501930
1301
nisingeweza kujua.
08:24
Knowledge is a priceless gift.
150
504964
2466
Maarifa ni zawadi kubwa sana.
08:28
But the illusion of knowledge can be more dangerous than ignorance.
151
508452
4555
Lakini maarifa ya uwongo yanaweza kua hatari kuliko ujinga.
08:33
Thinking that you know your lover
152
513895
2633
Kuwaza kwamba unamjua mpenzi wako
08:37
or your enemy
153
517115
1157
au adui yako
08:38
can be more treacherous
154
518621
1455
inaweza kua ya hila zaidi
08:40
than acknowledging you'll never know them.
155
520100
2448
kuliko kukubali kwamba hautowajua.
08:43
Every morning in Japan, as the sun is flooding into our little apartment,
156
523937
4472
Kila asubuhi Japan, ua likiwaka kwenye nyumba yetu ndogo,
08:48
I take great pains not to consult the weather forecast,
157
528433
4358
inanichukua maumivu mengi kutokuangalia utabiri wa hali ya hewa,
08:52
because if I do,
158
532815
1638
sababu nikiangalia,
08:54
my mind will be overclouded, distracted,
159
534477
3263
akili yangu itajawa na mawazo, na itasumbuka
08:57
even when the day is bright.
160
537764
2514
hata kama siku ikiwa angavu.
09:02
I've been a full-time writer now for 34 years.
161
542160
4193
Nimekuwa mwandishi kwa miaka 34 sasa.
09:06
And the one thing that I have learned
162
546816
2880
Na kitu kimoja ambacho nimejifunza
09:09
is that transformation comes when I'm not in charge,
163
549720
3536
ni kua mabadiliko huja pale nisipoyapangilia,
09:13
when I don't know what's coming next,
164
553280
2177
pale ambapo sijui nini kinafuata,
09:15
when I can't assume I am bigger than everything around me.
165
555481
4527
pale ambapo siwezi kuwaza kua ni mkubwa kuliko kila kitu kinachonizunguka.
09:21
And the same is true in love
166
561191
1906
Na hio ni kweli pia kwenye upendo
09:23
or in moments of crisis.
167
563643
2276
au kwenye wakati wa majanga.
09:26
Suddenly, we're back in that trishaw again
168
566929
3442
Ghafla, tumerudi kwenye ile guta tena
09:30
and we're bumping off the broad, well-lit streets;
169
570395
4035
na tunaruka mitaa mikubwa yenye taa;
09:34
and we're reminded, really, of the first law of travel
170
574454
3664
na tunakumbushwa, kweli, kwenye kanuni ya kwanza ya safari
09:38
and, therefore, of life:
171
578142
1726
na hivyo, ya maisha:
09:41
you're only as strong as your readiness to surrender.
172
581090
4739
una nguvu tu kama uwezo wako wa kujisalimisha.
09:47
In the end, perhaps,
173
587512
2009
Mwishowe, pengine,
09:49
being human
174
589545
1194
kuwa binadamu
09:51
is much more important
175
591262
1753
ni muhimu zaidi
09:53
than being fully in the know.
176
593039
2655
kuliko kuwa kwenye kujua kikamilifu.
09:56
Thank you.
177
596763
1186
Asanteni.
09:57
(Applause)
178
597973
6623
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7