Will Potter: The shocking move to criminalize nonviolent protest

92,074 views ・ 2014-06-11

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
It was less than a year after September 11,
0
12531
2576
Ilikuwa ni chini ya mwaka mmoja baada ya Septemba 11,
00:15
and I was at the Chicago Tribune
1
15107
1675
Na nilikuwa katika ofisi ya gazeti la Chicago Tribune
00:16
writing about shootings and murders,
2
16782
1874
Nikiandika kuhusu mauaji,
00:18
and it was leaving me feeling
3
18656
1462
ilinisababisha nijihisi
00:20
pretty dark and depressed.
4
20118
1782
Katika hali ya giza na kuelemewa
00:21
I had done some activism in college,
5
21900
1582
Nilikuwa mwanaharakati nilipokuwa chuoni,
00:23
so I decided to help a local group
6
23482
1647
Nikaamua kulisaidia kundi la maeneo ya kwetu
00:25
hang door knockers against animal testing.
7
25129
2709
Kuweka mabango kinyume na kuwafanyia wanyama majaribio ya kisayansi.
00:27
I thought it would be a safe way
8
27838
1507
Nilifikiri itakuwa ni njia salama
00:29
to do something positive,
9
29345
1882
kufanya kitu kizuri
00:31
but of course I have the absolute worst luck ever,
10
31227
2566
Lakini nina bahati mbaya hasa
00:33
and we were all arrested.
11
33793
2325
tulikamatwa wote.
00:36
Police took this blurry photo of me
12
36118
2212
Polisi wakanipiga picha hii isiyoonekana vizuri
00:38
holding leaflets as evidence.
13
38330
3226
Nikiwa nimeshika vipeperushi kama ushahidi.
00:41
My charges were dismissed,
14
41556
1864
Mashtaka kinyume nami yalifutwa,
00:43
but a few weeks later,
15
43420
1136
lakini wiki chache baadae,
00:44
two FBI agents knocked on my door,
16
44556
2037
wanausalama wawili kutoka FBI wakaja nyumbani,
00:46
and they told me that unless I helped them
17
46593
1761
wakaniambia kama sitawasaidia
00:48
by spying on protest groups,
18
48354
2101
kwa kufanya upelelezi katika makundi ya waandamanaji
00:50
they would put me on a domestic terrorist list.
19
50455
3817
Wataniweka katika orodha ya magaidi wa nyumbani
00:54
I'd love to tell you that I didn't flinch,
20
54272
2036
Napenda nikwambie kuwa sikuogopa,
00:56
but I was terrified,
21
56308
1991
lakini nilishtuka,
00:58
and when my fear subsided,
22
58299
1884
Mshtuko wangu ulipoisha,
01:00
I became obsessed with finding out
23
60183
1917
Nilipata hamu ya kutaka kujua
01:02
how this happened,
24
62100
1117
,hali hii imefikaje hapa
01:03
how animal rights and environmental activists
25
63217
2178
Jinsi wanaharakati wa haki za jamii na mazingira
01:05
who have never injured anyone
26
65395
2214
ambao hawajawahi kumjeruhi mtu yeyote
01:07
could become the FBI's number one
27
67609
1913
wanaweza kuwa watu wa kwanza kwa shirika la FBI
01:09
domestic terrorism threat.
28
69522
3204
kuwafanya kuwa ni tishio kubwa la kiadui la nyumbani
01:12
A few years later, I was invited to testify
29
72726
1970
miaka michache baadae, niliitwa kutoa ushahidi
01:14
before Congress about my reporting,
30
74696
2504
mbele ya bunge kuhusu ripoti yangu,
01:17
and I told lawmakers that, while everybody
31
77200
1358
na nikawaambia wabunge , kuwa wakati kila mtu
01:18
is talking about going green,
32
78558
1725
anaongelea mapinduzi ya kijani,
01:20
some people are risking their lives
33
80283
1538
watu wengine wanatoa maisha yao
01:21
to defend forests and to stop oil pipelines.
34
81821
3512
kuilinda misitu na kuzuia mabomba ya mafuta.
01:25
They're physically putting their bodies on the line
35
85333
2049
Wanaweka miili yao kati ya
01:27
between the whalers' harpoons and the whales.
36
87382
3425
mitego ya nyangumi na nyangumi.
01:30
These are everyday people,
37
90807
1689
Hawa ni watu wa kawaida,
01:32
like these protesters in Italy
38
92496
2086
Kama waandamanaji hawa wa Italia
01:34
who spontaneously climbed over
39
94582
2062
ambao walipanda
01:36
barbed wire fences to rescue beagles
40
96644
2301
uzio wa waya kuwaokoa wanyama
01:38
from animal testing.
41
98945
2161
wasitumika katika majaribio ya kisayansi.
01:41
And these movements have been incredibly effective
42
101106
2676
na wimbi hili limekuwa la mafanikio sana
01:43
and popular,
43
103782
1938
na maarufu,
01:45
so in 1985, their opponents made up a new word,
44
105720
3861
Kwa hiyo mwaka 1985, wapinzani wao wakatengeneza neno jipya
01:49
eco-terrorist,
45
109581
1564
Gaidi wa mazingira,
01:51
to shift how we view them.
46
111145
2124
Ili kubadilisha jinsi tunavyowaona.
01:53
They just made it up.
47
113269
1887
walitengeneza tuu.
01:55
Now these companies have backed new laws
48
115156
2537
sasa kampuni hizi zimesaidia sheria mpya
01:57
like the Animal Enterprise Terrorism Act,
49
117693
2739
Kama Animal Enterprise Terrorism Act,
02:00
which turns activism into terrorism
50
120432
2119
ambayo inabadilisha uanaharakati kuwa ugaidi
02:02
if it causes a loss of profits.
51
122551
2768
Kama itasababisha ukosefu wa faida.
02:05
Now most people never even heard about this law,
52
125319
2999
watu wengi hawajawahi hata kuisikia sheria hii,
02:08
including members of Congress.
53
128318
2126
wakiwemo wabunge,
02:10
Less than one percent were in the room
54
130444
1911
Chini ya asilimia moja walikuwa bungeni
02:12
when it passed the House.
55
132355
2460
ilipopitishwa
02:14
The rest were outside at a new memorial.
56
134815
2903
Wengine walikuwa katika kumbukumbu
02:17
They were praising Dr. King
57
137718
1661
wakimsifu Dr . King
02:19
as his style of activism was branded as terrorism
58
139379
3426
ambaye aina yake ya uanaharakati ingeitwa ugaidi
02:22
if done in the name of animals or the environment.
59
142805
3651
kama ingefanywa kwa wanyama au mazingira.
02:26
Supporters say laws like this are needed
60
146456
1937
Waungaji mkono wanasema sheria hizi zinahitajika
02:28
for the extremists:
61
148393
1849
Kwa ajili ya wale wenye msimamo mkali
02:30
the vandals, the arsonists, the radicals.
62
150242
2949
wahuni na wanaoharibu mali.
02:33
But right now, companies like TransCanada
63
153191
2262
Lakini kwa sasa, kampuni kama TransCanada
02:35
are briefing police in presentations like this one
64
155453
3325
wanawaelekeza polisi
02:38
about how to prosecute nonviolent protesters
65
158778
2689
jinsi ya kuwashtaki waandamanaji wa amani
02:41
as terrorists.
66
161467
2138
kama magaidi.
02:43
The FBI's training documents on eco-terrorism
67
163605
3623
Mafunzo ya FBI kuhusu ugaidi wa mazingira
02:47
are not about violence,
68
167228
1551
sio kwa ajili ya kuzuia vurugu
02:48
they're about public relations.
69
168779
2713
ni kwa ajili ya mahusiano ya umma
02:51
Today, in multiple countries,
70
171492
1973
leo, katika nchi nyingi ,
02:53
corporations are pushing new laws
71
173465
1488
mashirika makubwa yanalazimisha sheria mpya
02:54
that make it illegal to photograph
72
174953
1714
ambazo zinafanya kuwa kinyume na sheria upigaji picha
02:56
animal cruelty on their farms.
73
176667
3260
wa ukatili wa wanyama katika mashamba yao.
02:59
The latest was in Idaho just two weeks ago,
74
179927
2527
Habari ya karibuni kabisa ni huko idaho ,wiki mbili zilizopita,
03:02
and today we released a lawsuit
75
182454
1773
na leo tumefungua kesi
03:04
challenging it as unconstitutional
76
184227
1727
tukisema ni kinyume na katiba
03:05
as a threat to journalism.
77
185954
2573
na pia kama kitisho kwa uandishi wa habari
03:08
The first of these ag-gag prosecutions,
78
188527
2338
Mwanzo wa sheria hizi
03:10
as they're called,
79
190865
1435
kufanya kazi
03:12
was a young woman named Amy Meyer,
80
192300
1652
ilikuwa ni pale binti aitwaye Amy Meyer,
03:13
and Amy saw a sick cow being moved
81
193952
1613
alipoona ng'ombe mgonjwa akiwa anahamishwa
03:15
by a bulldozer outside of a slaughterhouse
82
195565
2549
na tingatinga nje ya nyumba ya kuchinjia
03:18
as she was on the public street.
83
198114
2414
alipokuwa mtaani
03:20
And Amy did what any of us would:
84
200528
2211
amy alifanya kile ambacho wengi wetu wangefanya:
03:22
She filmed it.
85
202739
1775
alipiga video.
03:24
When I found out about her story, I wrote about it,
86
204514
3049
Nilipogundua habari,niliiandika
03:27
and within 24 hours, it created such an uproar
87
207563
2925
Ndani ya masaa 24, ikaleta rabsha
03:30
that the prosecutors just dropped all the charges.
88
210488
3250
iliyosababisha mashtaka yote kufutwa.
03:33
But apparently, even exposing stuff like that
89
213738
2018
Lakini, hata kufichua mambo kama hayo
03:35
is a threat.
90
215756
1820
ni tishio.
03:37
Through the Freedom of Information Act,
91
217576
1664
Kupitia sheria ya uhuru wa mawasiliano
03:39
I learned that the counter-terrorism unit
92
219240
1860
Niligundua kuwa kitengo cha kudhibiti ugaidi
03:41
has been monitoring my articles
93
221100
2077
kimekuwa kikifuatilia makala zangu
03:43
and speeches like this one.
94
223177
2286
Na hotuba kama hii.
03:45
They even included this nice little write-up of my book.
95
225463
2226
Hata wametoa maelezo haya kuhusu kitabu changu
03:47
They described it as "compelling and well-written."
96
227689
3115
Wanaeleza kuwa "inavutia na imeandikwa vizuri"
03:50
(Applause)
97
230804
4721
(Makofi)
03:55
Blurb on the next book, right?
98
235525
3235
Muhtsari kuhusu kitabu kifuatacho, si ndio?
03:58
The point of all of this is to make us afraid,
99
238760
3640
Haya yote ni kutufanya tuogope,
04:02
but as a journalist, I have an unwavering faith
100
242400
1889
Lakini kama mwandishi wa habari,nina imani thabiti
04:04
in the power of education.
101
244289
1831
kuhusu nguvu ya elimu.
04:06
Our best weapon is sunlight.
102
246120
3567
Silaha yetu nzuri ni mwanga wa jua
04:09
Dostoevsky wrote that the whole work of man
103
249687
1887
Dostoevsky aliandika kuwa kazi yote ya mtu
04:11
is to prove he's a man and not a piano key.
104
251574
3325
ni kuthibitisha kuwa ni mtu na sio sehemu ya kinanda
04:14
Over and over throughout history,
105
254899
1562
Mara nyingi katika historia
04:16
people in power have used fear
106
256461
1988
Watawala wametumia uoga
04:18
to silence the truth and to silence dissent.
107
258449
3799
Kunyamazisha ukweli na upinzani
04:22
It's time we strike a new note.
108
262248
2039
Ni wakati wa kuanzisha kitu kipya
04:24
Thank you.
109
264287
1975
Asante Sana
04:26
(Applause)
110
266262
1854
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7