How we could teach our bodies to heal faster | Kaitlyn Sadtler

164,521 views ・ 2018-10-11

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
What if you could take a pill or a vaccine
0
13404
3508
Je kama unaweza kuchukua kidonge au chanjo
00:16
and, just like getting over a cold,
1
16936
1730
na kama ukawa unapona mafua,
00:18
you could heal your wounds faster?
2
18690
2095
unaweza kuponya jeraha kwa urahisi?
00:20
Today, if we have an operation or an accident,
3
20809
3522
Leo, kama tukiwa na upasuaji au ajali,
00:24
we're in the hospital for weeks,
4
24355
1621
tunakaa hospitalini kwa wiki,
00:26
and often left with scars and painful side effects
5
26000
2626
na mara nyingi tunabaki na makovu na madhara ya uchungu
00:28
of our inability to regenerate or regrow healthy, uninjured organs.
6
28650
5135
kwa uwezo wetu wa kutengeneza au kukuza afya, na viungo visivyo na jeraha.
00:34
I work to create materials
7
34436
2026
Nafanya kazi kujenga vifaa
00:36
that instruct our immune system to give us the signals to grow new tissues.
8
36486
4203
vinavyofundisha mfumo wetu wa kinga ili utupe alama za kukuza tishu mpya.
00:41
Just like vaccines instruct our body to fight disease,
9
41497
3074
Kama tu chanjo inavyofundisha mwili wetu kupigana na magonjwa,
00:44
we could instead instruct our immune system
10
44595
2728
badala yake tunaweza fundisha mfumo wetu wa kinga
00:47
to build tissues and more quickly heal wounds.
11
47347
2864
kujenga tishu na kuponya majeraha kwa urahisi.
00:50
Now, regrowing body parts out of nowhere might seem like magic,
12
50886
3778
Sasa, kukuza sehemu za mwili kutoka popote inaweza kuonekana kama uchawi,
00:54
but there are several organisms that can achieve this feat.
13
54688
3191
lakini kuna viumbe kadhaa vinavyoweza kutimiza mafanikio haya.
00:57
Some lizards can regrow their tails,
14
57903
2443
Baadhi ya mijusi inaweza kukuza mikia yao,
01:00
the humble salamander can completely regenerate their arm,
15
60370
3945
yule salamanda mnyenyekevu anaweza kukuza kabisa mkono wake,
01:04
and even us mere humans can regrow our liver
16
64339
2889
na hata binadamu tu wanaweza kukuza ini lao
01:07
after losing more than half of its original mass.
17
67252
2571
baada ya kupoteza zaidi ya nusu ya uzito wao wa awali.
01:10
To make this magic a bit closer to reality,
18
70615
2635
Ili kufanya uchawi huu kuwa karibu zaidi na ukweli,
01:13
I'm investigating how our body can heal wounds and build tissue
19
73274
4095
nina fanya uchunguzi wa jinsi mwili wetu unaweza kuponya majeraha na kujenga tishu
01:17
through instructions from the immune system.
20
77393
2129
kupitia maelekezo kutoka mfumo wa kinga.
01:20
From a scrape on your knee to that annoying sinus infection,
21
80387
3525
Kutoka kwenye mkato wa goti lako mpaka maambukizi ya sinus yanayoboa,
01:23
our immune system defends our body from danger.
22
83936
2681
mfumo wetu wa kinga unalinda mwili wetu na hatari.
01:27
I'm an immunologist,
23
87199
1461
Mimi ni immunolojisti
01:28
and by using what I know about our body's defense system,
24
88684
3030
na kwa kutumia ninachojua kuhusu mfumo wa ulinzi wa mwili wetu,
01:31
I was able to identify key players
25
91738
2176
niliweza kutambua wachezaji wakuu
01:33
in our fight to build back our cuts and bruises.
26
93938
2688
kwenye mapambano ya kujenga mikato na michubuko yetu.
01:37
When looking at materials that are currently being tested
27
97436
2669
Tunapoangalia vifaa vinavyojaribiwa kwa sasa
01:40
for their abilities to help regrow muscle,
28
100129
2198
kwa uwezo wao wa kusaidia kukuza misuli,
01:42
our team noticed that after treating an injured muscle with these materials,
29
102351
4159
timu yetu imeona kua baada ya kutibu msuli uliojeruhiwa na vifaa hivi,
01:46
there was a large number of immune cells
30
106534
2323
kulikua na idadi kubwa ya seli za kinga
01:48
in that material and the surrounding muscle.
31
108881
2557
ndani ya kifaa na inayozunguka msuli.
01:52
So in this case,
32
112010
1158
Hivyo kwa sababu hii,
01:53
instead of the immune cells rushing off towards infection to fight bacteria,
33
113192
4214
badala ya seli za kinga kukimbilia kwenye maambukizi kupigana na bakteria,
01:57
they're rushing toward an injury.
34
117430
2087
zinakimbilia kuelekea kwenye jeraha.
01:59
I discovered a specific type of immune cell,
35
119922
2833
Nimegundua aina maalum ya seli za kinga,
02:02
the helper T cell,
36
122779
1294
ni msaidizi T kiini,
02:04
was present inside that material that I implanted
37
124097
2729
ilikua inapatikana ndani ya kile kifaa nilichokipanda
02:06
and absolutely critical for wound healing.
38
126850
2397
na ni muhimu kabisa kwa ajili ya uponyaji jeraha.
02:10
Now, just like when you were a kid and you'd break your pencil
39
130325
3442
Sasa, kama tu ulivyokua mdogo na ukavunja penseli yako
02:13
and try and tape it back together again,
40
133791
2538
na kujaribu kugundisha kwa pamoja tena,
02:16
we can heal,
41
136353
1154
tunaweza kupona,
02:17
but it might not be in the most functional way,
42
137531
2245
lakini inaweza isiwe njia inayofanya kazi zaidi,
02:19
and we'll get a scar.
43
139800
1373
na tutapata kovu.
02:21
So if we don't have these helper T cells,
44
141515
2984
Hivyo kama hatuna hizi msaidizi T kiini,
02:24
instead of healthy muscle,
45
144523
1587
badala ya misuli yenye afya,
02:26
our muscle develops fat cells inside of it,
46
146134
2611
misuli yetu inatengeneza seli za mafuta ndani yake,
02:28
and if there's fat in our muscle, it isn't as strong.
47
148769
2477
na kama kuna mafuta kwenye misuli yetu, haina nguvu.
02:32
Now, using our immune system,
48
152033
2400
Sasa, kutumia mfumo wetu wa kinga,
02:34
our body could grow back without these scars
49
154457
2497
miili yetu inaweza kukua tena bila haya makovu
02:36
and look like what it was before we were even injured.
50
156978
2912
na kuonekana kama ilivyokua kabla hata hatujajeruhiwa.
02:41
I'm working to create materials
51
161128
2560
Nina fanya kazi kutengeneza vifaa
02:43
that give us the signals to build new tissue
52
163712
2279
vinavyotuma alama za kujenga tishu mpya
02:46
by changing the immune response.
53
166015
1840
kwa kubadilisha mwitikio wa kinga.
02:48
We know that any time a material is implanted in our body,
54
168840
4215
Tunajua kua muda wowote kifaa kinapopandwa mwilini mwetu,
02:53
the immune system will respond to it.
55
173079
2055
mfumo wa kinga utaitikia kwake.
02:55
This ranges from pacemakers to insulin pumps
56
175158
4509
Hii hutofautiana kwanzia kipima mapigo ya moyo mpaka pampu za insulini
02:59
to the materials that engineers are using to try and build new tissue.
57
179691
3666
mpaka vifaa ambavyo wanatumia wahandisi ili kujaribu kujenga tishu mpya.
03:03
So when I place that material, or scaffold, in the body,
58
183932
4065
Hivyo ninapoweka hicho kifaa, au kiguzo, ndani ya mwili,
03:08
the immune system creates a small environment of cells and proteins
59
188021
4405
mfumo wa kinga hutengeneza mazingira madogo ya seli na protini
03:12
that can change the way that our stem cells behave.
60
192450
2872
ambazo zinaweza badili jinsi seli shina zetu zinavyoishi.
03:15
Now, just like the weather affects our daily activities,
61
195817
3898
Sasa, kama hali ya hewa inavyoathiri shughuli zetu za siku,
03:19
like going for a run
62
199739
1325
kama kwenda kukimbia
03:21
or staying inside and binge-watching an entire TV show on Netflix,
63
201088
4485
au kukaa ndani na kutazama kipindi kizima cha TV kwenye Netflix,
03:25
the immune environment of a scaffold
64
205597
1968
mazingira ya kinga ya kiguzo
03:27
affects the way that our stem cells grow and develop.
65
207589
2825
inaathiri jinsi seli shina zetu zinavyokua na kuendelea.
03:30
If we have the wrong signals,
66
210883
2016
Kama tunakua na ishara za mbovu,
03:32
say the Netflix signals,
67
212923
1675
tuseme kama ishara za Netflix,
03:34
we get fat cells instead of muscle.
68
214622
2864
tunapata seli za mafuta badala ya misuli.
03:38
These scaffolds are made of a variety of different things,
69
218790
3127
Viguzo hivi vimetengenezwa na aina nyingi tofauti ya vitu,
03:41
from plastics to naturally derived materials,
70
221941
3365
kwanzia plastiki mpaka vitu vinavyopatikana kiasili,
03:45
nanofibers of varying thicknesses,
71
225330
2751
nyuzi ndogo zinazotofautiana unene,
03:48
sponges that are more or less porous,
72
228105
2413
sifongo ambazo zina matundu makubwa au madogo,
03:50
gels of different stiffnesses.
73
230542
2119
jeli zenye ugumu unaotofautiana.
03:52
And researchers can even make the materials
74
232685
2110
Na watafiti wanaweza hata kutengeneza vifaa
03:54
release different signals over time.
75
234819
2039
kutoa ishara tofauti na mda.
03:57
So in other words, we can orchestrate this Broadway show of cells
76
237473
5246
Hivyo kwa maneno mengine, tunaweza kupanga maonyesho hayaya Broadway ya seli
04:02
by giving them the correct stage, cues and props
77
242743
3858
kwa kuzipa jukwaa, sehemu na heshima sahihi
04:06
that can be changed for different tissues,
78
246625
2221
inayoweza kubadilishwa kwa tishu tofauti,
04:08
just like a producer would change the set
79
248870
2196
kama tu mtengenezaji anavyobadilisha jukwaa
04:11
for "Les Mis" versus "Little Shop of Horrors."
80
251090
2923
kwa "Les Mis" dhidi ya "Little Shop of Horrors."
04:14
I'm combining specific types of signals
81
254398
2684
Nina changanya aina maalum za ishara
04:17
that mimic how our body responds to injury to help us regenerate.
82
257106
4708
ambazo zinaiga jinsi miili yetu inavyojibu maumivu kutusaidia kua wapya.
04:22
In the future, we could see a scar-proof band-aid,
83
262283
3528
Huko mbeleni, tutaona bandi ya misaada ambayo ni kizuia kovu,
04:25
a moldable muscle filler or even a wound-healing vaccine.
84
265835
3978
kijazo cha msuli kinachofinyangika au hata chanjo inayoponya jeraha.
04:29
Now, we aren't going to wake up tomorrow and be able to heal like Wolverine.
85
269837
3577
Sasa, hatutaweza kuamka kesho na kuweza kuponywa kama Wolverine.
04:33
Probably not next Tuesday, either.
86
273438
1866
Pengine hata sio Jumanne ijayo pia.
04:35
But with these advances,
87
275328
1184
Ila na haya maednelelo,
04:36
and working with our immune system to help build tissue and heal wounds,
88
276536
4205
na kufanya kazi na mfumo wetu wa kinga kusaidia kuunda tishu na kutibu majeraha,
04:40
we could begin seeing products on the market
89
280765
2229
tunaweza kuanza kuona bidhaa kwenye soko
04:43
that work with our body's defense system to help us regenerate,
90
283018
3866
zinazofanya kazi na mfumo wa ulinzi mwilini kusaidia kutengeneza upya,
04:46
and maybe one day be able to keep pace with a salamander.
91
286908
4055
na labda siku moja tutaweza kua sambamba na salamander.
04:51
Thank you.
92
291876
1151
Asante.
04:53
(Applause)
93
293051
3639
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7