The myth of Pandora’s box - Iseult Gillespie

8,467,509 views ・ 2019-01-15

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
00:06
Curiosity:
0
6795
1260
Udadisi:
00:08
a blessing, or a curse?
1
8055
1808
Baraka au laana?
00:09
The paradoxical nature of this trait
2
9863
1740
Utata wa hili fumbo
00:11
was personified for the ancient Greeks
3
11603
1950
iliwekewa kwa Wagiriki
00:13
in the mythical figure of Pandora.
4
13553
2360
kwa umbo la dhana la Pandora.
00:15
According to legend,
5
15913
1120
Wahenga wanasema,
00:17
she was the first mortal woman,
6
17033
1710
alikuwa mwanamke wa kwanza mfaji,
00:18
whose blazing curiosity set a chain of earth-shattering events in motion.
7
18743
4670
udadisi wake ulipeleka ugunduzi wa mambo mengi kusogea.
00:23
Pandora was breathed into being by Hephaestus, God of fire,
8
23413
3663
Pandora alipewa pumzi na Hephaestus, mungu wa moto,
00:27
who enlisted the help of his divine companions to make her extraordinary.
9
27076
4190
ambae aliomba msaada wa wenzie ili amfanye kuwa maridadi
00:31
From Aphrodite she received the capacity for deep emotion;
10
31266
3360
Kutoka kwa Aphrodite alipewa uwezo wa hisia za kina;
00:34
from Hermes she gained mastery over language.
11
34626
2760
kwa Hermes akapata uwezo wa lugha
00:37
Athena gave the gift of fine craftsmanship and attention to detail,
12
37386
4440
Athena akampa zawadi ya usanii bora na umakini kwa kila kitu,
00:41
and Hermes gave her her name.
13
41826
2680
Na Hermes akampa jina lake.
00:44
Finally, Zeus bestowed two gifts on Pandora.
14
44506
3500
Mwishowe, Zeus akampatia zawadi mbili Pandora.
00:48
The first was the trait of curiosity,
15
48006
2370
Ya kwanza ilikuwa ni zawadi ya udadisi,
00:50
which settled in her spirit and sent her eagerly out into the world.
16
50376
4170
iliokaa ndani ya roho yake na kumtuma kwa bidii duniani.
00:54
The second was a heavy box, ornately curved, heavy to hold –
17
54546
4380
Ya pili ilikuwa ni boksi zito, lilitengenezwa vizuri, zito kubeba -
00:58
and screwed tightly shut.
18
58926
1866
na kufungwa kwa nguvu.
01:00
But the contents, Zeus told her, were not for mortal eyes.
19
60792
4010
Ila yaliyomo, Zeus alimwambia, hayakua kwa macho ya mfaji.
01:04
She was not to open the box under any circumstance.
20
64802
3790
Hakutakiwa kufungua boksi kwenye hali yeyote ile.
01:08
On earth, Pandora met and fell in love with Epimetheus, a talented titan
21
68592
4721
Duniani, Pandora akakutana na kupendana na Epimetheus, mtitani mwenye kipaji
01:13
who had been given the task of designing the natural world by Zeus.
22
73313
3780
ambaye alipewa kazi ya kutengeneza dunia ya kawaida na Zeus.
01:17
He had worked alongside his brother Prometheus,
23
77093
2670
Alifanya kazi hiyo pembeni ya kaka yake Prometheus,
01:19
who created the first humans
24
79763
1740
aliyeumba binadamu wa kwanza
01:21
but was eternally punished for giving them fire.
25
81503
3100
lakini alipewa adhabu ya milele kwa kuwapa moto.
01:24
Epimetheus missed his brother desperately,
26
84603
2500
Epimetheus alimkumbuka kaka yake mno,
01:27
but in Pandora he found another fiery-hearted soul for companionship.
27
87103
4670
lakini alivyokuwa na Pandora alipata nafsi nyingine machachari ya urafiki.
01:31
Pandora brimmed with excitement at life on earth.
28
91773
2630
Pandora alifurahia sana maisha ya duniani.
01:34
She was also easily distracted and could be impatient,
29
94403
3340
Alipagawa kirahisi pia na kila alichokiona na hakuwa mtulivu
01:37
given her thirst for knowledge and desire to question her surroundings.
30
97743
4330
kutokana na kiu yake ya maarifa na nia ya kujifunza mazingira yake.
01:42
Often, her mind wandered to the contents of the sealed box.
31
102073
3495
Mara nyingi, akili yake iliwaza vilivyomo kwenye boksi lililofungwa.
01:45
What treasure was so great it could never be seen by human eyes,
32
105568
4216
Ni hazina gani kubwa sana mpaka isionekane na macho ya binadamu,
01:49
and why was it in her care?
33
109784
2080
na kwanini yeye alipewa alitunze?
01:51
Her fingers itched to pry it open.
34
111864
2380
Vidole vyake viliwasha kutaka kulifungua.
01:54
Sometimes she was convinced she heard voices whispering
35
114244
2990
Kuna muda aliamini alisikia sauti zikinong'oneza
01:57
and the contents rattling around inside,
36
117234
2100
na vilivyomo vikitoa sauti kwa ndani,
01:59
as if straining to be free.
37
119334
1610
kama vile vinataka kuwa huru.
02:00
Its enigma became maddening.
38
120944
3730
Fumbo lake likawa linamtatiza.
02:04
Over time, Pandora became more and more obsessed with the box.
39
124674
4062
Muda ulivyozidi kwenda Pandora alizidi kuwa na hamu na boksi.
02:08
It seemed there was a force beyond her control that drew her to the contents,
40
128736
3660
Ilionekana kulikuwa na nguvu nje ya uwezo wake iliyomuita kwenye boksi,
02:12
which echoed her name louder and louder.
41
132396
3120
Iliyoita jina lake kwa nguvu zaidi.
02:15
One day she could bear it no longer.
42
135516
2301
Siku moja alishindwa kuvumilia.
02:17
Stealing away from Epimetheus,
43
137817
1620
Akajificha mbali na Epimetheus,
02:19
she stared at the mystifying box.
44
139437
2260
aliangaza lile boksi la mafumbo.
02:21
She’d take one glance inside,
45
141697
2133
Angeangalia mara moja ndani,
02:23
then be able to rid her mind of it forever...
46
143830
3261
kisha akili yake itulie na asiliwaze tena...
02:27
But at the first crack of the lid, the box burst open.
47
147091
3248
Ila alivyogusa mfuniko mara moja, boksi likafunguka kwa nguvu.
02:30
Monstrous creatures and horrendous sounds
48
150339
1970
Majitu ya kutisha na sauti za ajabu
02:32
rushed out in a cloud of smoke and swirled around her, screeching and cackling.
49
152309
4330
iktoka na wingu la moshi na kumzunguka na sauti za mkwaruzo na kelele.
02:36
Filled with terror,
50
156639
990
Akijawa na uwoga,
02:37
Pandora clawed desperately at the air to direct them back into their prison.
51
157629
4680
Pandora alishikilia kwa bidii ile hewa akiwarudisha kwenye gereza lao.
02:42
But the creatures surged out in a gruesome cloud.
52
162309
3913
Lakini vile viumbe vilifurika nje kwenye wingu la kutisha.
02:46
She felt a wave of foreboding as they billowed away.
53
166226
3580
Alijisikia hali ya kukataza vilivyokuwa vikiondoka.
02:49
Zeus had used the box as a vessel
54
169806
2020
Zeus alitumia boksi kama chombo
02:51
for all the forces of evil and suffering he’d created –
55
171826
3350
cha mabaya yote na mabadhuri aliyotengeneza -
02:55
and once released,
56
175176
1100
na yakiachiwa,
02:56
they were uncontainable.
57
176276
1920
hayarudi tena.
02:58
As she wept,
58
178196
1100
Pandora akilia,
02:59
Pandora became aware of a sound echoing from within the box.
59
179296
3970
akasikia sauti ikitoka kwenye boksi,
03:03
This was not the eerie whispering of demons,
60
183266
2688
Hii haikua sauti ya minong'ono ya mashetani,
03:05
but a light tinkling that seemed to ease her anguish.
61
185954
3310
ila mwanga uliovuma ulionekana ukipungua hasira yake.
03:09
When she once again lifted the lid and peered in,
62
189264
2650
Alipofungua mfuniko na kuangalia ndani tena,
03:11
a warm beam of light rose out and fluttered away.
63
191914
4000
mwanga wenye joto zuri ukatoka na kuangaza mbali.
03:15
As she watched it flickering in the wake of the evil she’d unleashed,
64
195914
3710
Akiutazama ukiwaka kwenye amsho la uovu alioachia,
03:19
Pandora’s pain was eased.
65
199624
2310
uchungu wa Pandora ukapungua.
03:21
She knew that opening the box was irreversible –
66
201934
2660
Alijua kwamba hatoweza kurekebisha kufungua boksi -
03:24
but alongside the strife, she’d set hope forth to temper its effects.
67
204594
4870
lakini pamoja na jitihada, aliweka matumaini kubadilisha matokeo.
03:29
Today, Pandora’s Box suggests the extreme consequences
68
209464
3430
Leo hii, Boksi la Pandora linatufundisha madhara makubwa
03:32
of tampering with the unknown –
69
212894
2098
ya kuhangaika na tusivyovijua -
03:34
but Pandora’s burning curiosity also suggests the duality that lies
70
214992
3830
lakini hamu ya Pandora ya kujua ilidokeza uwili uliopo
03:38
at the heart of human inquiry.
71
218822
1930
kwenye kiini cha uchunguzi wa binadamu.
03:40
Are we bound to investigate everything we don’t know,
72
220752
2740
Je tunatakiwa kuchunguza kila tusichokijua,
03:43
to mine the earth for more –
73
223492
2050
kuchimbua dunia kwa zaidi -
03:45
or are there some mysteries
74
225542
1540
au kuna baadhi ya maajabu
03:47
that are better left unsolved?
75
227082
1770
ambayo ni bora yasitatuliwe?
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7