Martin Rees: Can we prevent the end of the world?

151,821 views ・ 2014-08-25

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
00:12
Ten years ago, I wrote a book which I entitled
0
12485
2222
Miaka kumi iliyopita, niliandika kitabu nilichokipa jina
00:14
"Our Final Century?" Question mark.
1
14707
3093
"Karne yetu ya mwisho?" Alama ya kuuliza.
00:17
My publishers cut out the question mark. (Laughter)
2
17800
3577
Wachapishaji wa kitabu hiki waliondoa alama ya kuuliza. (Vicheko)
00:21
The American publishers changed our title
3
21377
1882
Wachapishaji wa Marekani walibadili jina
00:23
to "Our Final Hour."
4
23259
3909
na kuwa "Lisaa Letu la Mwisho".
00:27
Americans like instant gratification and the reverse.
5
27168
3492
Wamarekani hupenda kuridhishwa haraka na kinyume.
00:30
(Laughter)
6
30660
1708
(Vicheko)
00:32
And my theme was this:
7
32368
1750
Na ujumbe wangu ulikuwa huu:
00:34
Our Earth has existed for 45 million centuries,
8
34118
4166
Dunia yetu imekuwepo kwa karne milioni 45,
00:38
but this one is special —
9
38284
2013
lakini hii hapa ni maalumu ---
00:40
it's the first where one species, ours,
10
40297
3016
ni ya kwanza ambayo jamii moja, yetu,
00:43
has the planet's future in its hands.
11
43313
2802
ina mustakabali wa sayari mikononi mwake.
00:46
Over nearly all of Earth's history,
12
46115
1990
Zaidi karibia ya historia yote ya Dunia,
00:48
threats have come from nature —
13
48105
1936
vitisho vimetoka kwenye mazingira,
00:50
disease, earthquakes, asteroids and so forth —
14
50041
3496
magonjwa, mitetemeko ya ardhi na mengine mengi --
00:53
but from now on, the worst dangers come from us.
15
53537
5672
lakini kuanzia sasa, hatari kubwa inatoka kwetu.
00:59
And it's now not just the nuclear threat;
16
59209
3271
Na sasa sio matisho tu ya nuklia;
01:02
in our interconnected world,
17
62480
1751
kwenye dunia yetu iliyoungana,
01:04
network breakdowns can cascade globally;
18
64231
3163
kuvunjika kwa mitandao kunaweza sambaa duniani;
01:07
air travel can spread pandemics worldwide within days;
19
67394
3956
usafiri wa anga unaweza kusambaza magonjwa dunia nzima ndani ya siku;
01:11
and social media can spread panic and rumor
20
71350
3327
na mitandao ya kijamii inaweza kusambaza vitisho na uzushi
01:14
literally at the speed of light.
21
74677
3217
kihalisi kama kasi ya mwanga.
01:17
We fret too much about minor hazards —
22
77894
3225
Tunagombana sana kuhusu matatizo madogo --
01:21
improbable air crashes, carcinogens in food,
23
81119
4031
uwezekano wa ndege kudondoka, kemikali kwenye chakula,
01:25
low radiation doses, and so forth —
24
85150
2226
dozi ndogo za mionzi, na kadhalika --
01:27
but we and our political masters
25
87376
2825
lakini sisi na wakuu wetu wa siasa
01:30
are in denial about catastrophic scenarios.
26
90201
4203
tupo kwenye kukana kuhusu hali za majanga.
01:34
The worst have thankfully not yet happened.
27
94404
3038
Bahati nzuri mabaya hayajatokea bado.
01:37
Indeed, they probably won't.
28
97442
2196
Kweli, pengine hayatatokea.
01:39
But if an event is potentially devastating,
29
99638
3185
Lakini kama tukio lina maafa makubwa,
01:42
it's worth paying a substantial premium
30
102823
2868
linastahili kupewa faida kubwa
01:45
to safeguard against it, even if it's unlikely,
31
105691
3836
kulinda dhidi yake, hata kama inaweza isitokee,
01:49
just as we take out fire insurance on our house.
32
109527
4513
kama tunavyotoa bima ya moto kwenye nyumba yetu.
01:54
And as science offers greater power and promise,
33
114040
4997
Kama sayansi inavyoleta nguvu kubwa na ahadi,
01:59
the downside gets scarier too.
34
119037
3866
upande wa chini unazidi kuogopesha pia.
02:02
We get ever more vulnerable.
35
122903
2239
Tunazidi kuwa dhaifu na waoga,
02:05
Within a few decades,
36
125142
1838
Ndani ya miongo michache,
02:06
millions will have the capability
37
126980
2230
mamilioni watakuwa na uwezo,
02:09
to misuse rapidly advancing biotech,
38
129210
3121
wa kutumia vibaya bioteknolojia inayokua,
02:12
just as they misuse cybertech today.
39
132331
3553
Kama wanavyotumia teknolojia vibaya leo.
02:15
Freeman Dyson, in a TED Talk,
40
135884
3199
Freeman Dyson, kwenye mazungumzo ya TED,
02:19
foresaw that children will design and create new organisms
41
139083
3596
aliona kuwa huko mbeleni watoto wataweza kutengeneza viumbe hai
02:22
just as routinely as his generation played with chemistry sets.
42
142679
4511
kama ambavyo kizazi chake kilivyocheza na seti za kemia.
02:27
Well, this may be on the science fiction fringe,
43
147190
2528
Hii inaweza kuwa sayansi ya kubuniwa zaidi,
02:29
but were even part of his scenario to come about,
44
149718
3183
lakini tuna amini itatokea hata kwa kiasi,
02:32
our ecology and even our species
45
152901
2737
mazingira yetu na hata viumbe vyetu
02:35
would surely not survive long unscathed.
46
155638
3989
hawataweza kuishi muda mrefu bila kubadilika,
02:39
For instance, there are some eco-extremists
47
159627
3863
Mfano, kuna wanamazingira wengi wa msimamo mkali,
02:43
who think that it would be better for the planet,
48
163490
2509
wanaomini kua itafaa kwa sayari yetu,
02:45
for Gaia, if there were far fewer humans.
49
165999
3403
kwa Gaia, kama kutakuwa na binadamu wachache.
02:49
What happens when such people have mastered
50
169402
2717
Nini kitatokea kama watu hawa wakifuzu
02:52
synthetic biology techniques
51
172119
2137
ufundi wa kibiolojia za sanisia
02:54
that will be widespread by 2050?
52
174256
2852
ambao utasambaa ifikapo mwaka 2050?
02:57
And by then, other science fiction nightmares
53
177108
3042
Kipindi hicho, matisho mengine ya sayansi ya kubuniwa
03:00
may transition to reality:
54
180150
1710
yanaweza kugeuka kweli:
03:01
dumb robots going rogue,
55
181860
2070
roboti za kijinga kujiongoza zenyewe,
03:03
or a network that develops a mind of its own
56
183930
2417
au mtandao unaotumia akili yake yenyewe
03:06
threatens us all.
57
186347
2589
unatutisha sote.
03:08
Well, can we guard against such risks by regulation?
58
188936
3270
Je, tutaweza kujikinga na hizi hatari kwa sheria?
03:12
We must surely try, but these enterprises
59
192206
2407
Itabidi tujaribu, lakini hizi biashara
03:14
are so competitive, so globalized,
60
194613
3529
zina ushindani mkubwa, zipo dunia nzima,
03:18
and so driven by commercial pressure,
61
198142
1980
na zinasukumwa na mbinu za biashara,
03:20
that anything that can be done will be done somewhere,
62
200122
3285
kwa kila kinachoweza kufanyika, kitafanyika mahali,
03:23
whatever the regulations say.
63
203407
2036
bila kujali sheria zinasema nini.
03:25
It's like the drug laws — we try to regulate, but can't.
64
205443
3487
Ni kama sheria za madawa -- tunajaribu kuzipunguza, lakini hatuwezi.
03:28
And the global village will have its village idiots,
65
208930
3044
Na kijiji cha dunia kitakua na wajinga wa kijiji,
03:31
and they'll have a global range.
66
211974
3496
nao watakua na masafa ya dunia.
03:35
So as I said in my book,
67
215470
2291
Kama nilivyosema kwenye kitabu changu,
03:37
we'll have a bumpy ride through this century.
68
217761
2889
tutakuwa na mwendo mtata kwenye hii karne.
03:40
There may be setbacks to our society —
69
220650
3490
Kunaweza kuwa na vikwazo kwenye jamii yetu --
03:44
indeed, a 50 percent chance of a severe setback.
70
224140
4115
kweli, asilimia 50 ya vikwazo zikali.
03:48
But are there conceivable events
71
228255
2914
Lakini kuna matukio ya maana
03:51
that could be even worse,
72
231169
2161
yanayoweza kuwa mabaya zaidi,
03:53
events that could snuff out all life?
73
233330
3430
matukio yanayoweza kutoa maisha yote?
03:56
When a new particle accelerator came online,
74
236760
2926
Pale punje mpya chochezi iikija mtandaoni,
03:59
some people anxiously asked,
75
239686
1789
badhi ya watu walijiuliza kwa bidii,
04:01
could it destroy the Earth or, even worse,
76
241475
2250
vinaweza kuharibu dunia, au mbaya zaidi,
04:03
rip apart the fabric of space?
77
243725
2659
kuharibu kabisa mfumo wa anga?
04:06
Well luckily, reassurance could be offered.
78
246384
3543
Bahati nzuri, tuliweza kujihakikishia.
04:09
I and others pointed out that nature
79
249927
2044
Mimi na wenzangu tulisema kua asili
04:11
has done the same experiments
80
251971
1933
imefanya majaribio kama hayo
04:13
zillions of times already,
81
253904
2186
mara zilioni tayari,
04:16
via cosmic ray collisions.
82
256090
1765
kutumia kugongana kwa miali ya anga.
04:17
But scientists should surely be precautionary
83
257855
3054
Lakini wanasayansi wanatakiwa wawe makini
04:20
about experiments that generate conditions
84
260909
2580
kuhusu majaribio yanayotengeneza hali
04:23
without precedent in the natural world.
85
263489
2483
bila uhakiki kwenye dunia ya halisi.
04:25
Biologists should avoid release of potentially devastating
86
265972
3423
Wanabiolojia wanatakiwa kuepuka kuachia uharibifu muhimu wa
04:29
genetically modified pathogens.
87
269395
2715
vimelea vilivyoundwa kijenetiki.
04:32
And by the way, our special aversion
88
272110
3517
Na pia, karaha yetu ya kipekee
04:35
to the risk of truly existential disasters
89
275627
3461
kwenye hatari ya mafaa makubwa
04:39
depends on a philosophical and ethical question,
90
279088
3275
inatokana na swali hili kubwa la msingi,
04:42
and it's this:
91
282363
1670
nalo ni;
04:44
Consider two scenarios.
92
284033
2308
Zingatia hali mbili.
04:46
Scenario A wipes out 90 percent of humanity.
93
286341
5236
Hali A inaua asilimia 90 ya binadamu.
04:51
Scenario B wipes out 100 percent.
94
291577
3896
Hali B inaua asilimia 100.
04:55
How much worse is B than A?
95
295473
2918
Je B ni mbaya kiasi gani kuliko A?
04:58
Some would say 10 percent worse.
96
298391
3023
Baadhi watasema ni asilimia 10 mbaya zaidi.
05:01
The body count is 10 percent higher.
97
301414
3150
Idadi ni asilimia 10 zaidi.
05:04
But I claim that B is incomparably worse.
98
304564
2906
Lakini nasema kua B ni mbaya zaidi.
05:07
As an astronomer, I can't believe
99
307470
2629
Kama mwanafalaki, siamini
05:10
that humans are the end of the story.
100
310099
2467
binadamu ni mwisho wa hadithi.
05:12
It is five billion years before the sun flares up,
101
312566
3323
Ni miaka bilioni tano mpaka jua liripuke,
05:15
and the universe may go on forever,
102
315889
2711
na ulimwengu ungeendelea kuwepo,
05:18
so post-human evolution,
103
318600
2292
kwahiyo mageuzi ya binadamu wa baadae,
05:20
here on Earth and far beyond,
104
320892
2190
hapa duniani na kwingineko mbali,
05:23
could be as prolonged as the Darwinian process
105
323082
2714
inaweza kuwa ndefu kama harakati ya Darwinian
05:25
that's led to us, and even more wonderful.
106
325796
3281
iliyokuja kwetu, na nzuri zaidi.
05:29
And indeed, future evolution will happen much faster,
107
329077
2664
Na kweli, mageuzi ya mbeleni yatatokea kwa haraka zaidi,
05:31
on a technological timescale,
108
331741
2199
kwenye kipimo cha mda cha teknolojia,
05:33
not a natural selection timescale.
109
333940
2299
sio wa uchaguzi wa asili.
05:36
So we surely, in view of those immense stakes,
110
336239
4195
Kwahiyo tupo katika mwanga wa hicho kipimo,
05:40
shouldn't accept even a one in a billion risk
111
340434
3386
kutokupokea hata hatari moja kati ya billioni
05:43
that human extinction would foreclose
112
343820
2229
ambayo kupotea kwa binadamu kutasababisha
05:46
this immense potential.
113
346049
2310
huu uwezekano mkubwa.
05:48
Some scenarios that have been envisaged
114
348359
1772
Baadhi ya hali ambazo zilionyesha
05:50
may indeed be science fiction,
115
350131
1819
kua kweli zingekua sayansi ya kubuniwa,
05:51
but others may be disquietingly real.
116
351950
3386
lakini nyingine zinaweza kuwa ni za kweli.
05:55
It's an important maxim that the unfamiliar
117
355336
2874
Ni msemo muhimu kua vile visivyozoeleka
05:58
is not the same as the improbable,
118
358210
2697
sio sawa na vinavyoshindikana,
06:00
and in fact, that's why we at Cambridge University
119
360907
2398
na ndio maana, sisi katika Chuo cha Cambridge,
06:03
are setting up a center to study how to mitigate
120
363305
3375
tunaanda kitivo cha kujifunza jinsi ya kuepuka
06:06
these existential risks.
121
366680
2032
hizi hatari kubwa.
06:08
It seems it's worthwhile just for a few people
122
368712
3063
Inaonekana ni ya maana kwa watu wachache
06:11
to think about these potential disasters.
123
371775
2316
kuwaza kuhusu haya mafaa yanayoweza kutokea.
06:14
And we need all the help we can get from others,
124
374091
3013
Na tunahitaji msaada wote tutakaopata kwa wengine,
06:17
because we are stewards of a precious
125
377104
2479
sababu sote ni wahudumu wa,
06:19
pale blue dot in a vast cosmos,
126
379583
3483
kidoti cha bluu kwenye ulimwengu huu mkubwa,
06:23
a planet with 50 million centuries ahead of it.
127
383066
3378
sayari yenye karne milioni 50 mbele yake.
06:26
And so let's not jeopardize that future.
128
386444
2556
Kwa hiyo tusiharibu mustakabali wetu.
06:29
And I'd like to finish with a quote
129
389000
1795
Na ningependa kumalizia na nukuu
06:30
from a great scientist called Peter Medawar.
130
390795
3501
kutoka kwa mwanasayansi mashuhuri aitwae Peter Medawar.
06:34
I quote, "The bells that toll for mankind
131
394296
3273
nanukuu "Kengengele zinazolia kwa binadamu
06:37
are like the bells of Alpine cattle.
132
397569
2644
ni kama zile za mifugo ya Alpine.
06:40
They are attached to our own necks,
133
400213
2286
Zimefungwa shingoni mwetu wenyewe,
06:42
and it must be our fault if they do not make
134
402499
2675
na ni juu yetu kama hazitatengeneza
06:45
a tuneful and melodious sound."
135
405174
2131
mfuatano mzuri wa sauti."
06:47
Thank you very much.
136
407305
2267
Asanteni sana.
06:49
(Applause)
137
409572
2113
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7