A promising test for pancreatic cancer ... from a teenager | Jack Andraka

490,670 views ・ 2013-07-11

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
Have you ever experienced a moment in your life
0
12879
3946
Je umeshawahi kukutana na wakati maishani
00:16
that was so painful and confusing,
1
16849
3006
ambao ulikuwa ni wa huzuni sana
kiasi kitu pekee ulichotaka
00:20
that all you wanted to do
2
20276
1798
kufanya ni kujifunza zaidi na zaidi ili kuelewa hali hiyo?
00:22
was learn as much as you could to make sense of it all?
3
22098
3697
00:25
When I was 13, a close family friend who was like an uncle to me
4
25818
4623
Nilipokuwa na miaka 13, rafiki wa karibu wa familia
ambaye alikuwa kama mjomba kwangu
00:30
passed away from pancreatic cancer.
5
30465
2030
alifariki kwa kansa ya kongosho.
00:33
When the disease hit so close to home,
6
33398
2344
Wakati ugonjwa ulipokumba karibu sana na nyumbani,
00:35
I knew I needed to learn more.
7
35766
2059
Nilitambua nahitaji kujifunza zaidi,
00:37
So I went online to find answers.
8
37849
2030
nikaingia mtandaoni kutafuta majibu.
00:40
Using the Internet, I found a variety of statistics on pancreatic cancer,
9
40716
4745
kwa kutumia mtandao, nikapata takwimu mbalimbali
kuhusu kansa ya kongosho,
00:45
and what I had found shocked me.
10
45485
1980
na kilichonishtusha.
zaidi ya asilimia 85 ya kansa zote za kongosho
00:48
Over 85 percent of all pancreatic cancers are diagnosed late,
11
48410
4977
zinagundulika kwa kuchelewa sana,
00:53
when someone has less than a two percent chance of survival.
12
53411
3050
wakati mtu ana chini ya asilimia ya kuishi.
00:57
Why are we so bad at detecting pancreatic cancer?
13
57772
3030
kwa nini hatufanyi vizuri kugundua kansa ya kongosho?
01:01
The reason?
14
61885
1768
Sababu?mfumo wetu wa utabibu na dawa
01:03
Today's current "modern" medicine is a 60-year-old technique.
15
63677
3821
una umri wa miaka karibu 60 sasa.
01:07
That's older than my dad.
16
67522
1642
Umri huo ni mkubwa kuliko wa baba yangu
01:09
(Laughter)
17
69516
3285
(vicheko)
01:13
But also, it's extremely expensive, costing 800 dollars per test,
18
73563
5977
lakini pia, ni wa gharama kubwa sana,
unagharimu dola za kimarekani 800 kwa kipimo,
01:19
and it's grossly inaccurate, missing 30 percent of all pancreatic cancers.
19
79564
5040
lakini pia vipimo havina uhakika,
na kushindwa kugundua asilimia 30 ya kansa zote za kongosho
01:25
Your doctor would have to be ridiculously suspicious that you have the cancer
20
85519
4017
Daktari wako itabidi awe ni mdadisi wa ajabu sana
kuamua kukuandikia kipimo hiki.
01:29
in order to give you this test.
21
89560
1693
01:31
Learning this, I knew there had to be a better way.
22
91958
2930
nilipojua hili, nikajua lazima iwepo njia bora zaidi.
01:35
So, I set up scientific criteria
23
95714
2121
kwa nikaweka kigezo
01:37
as to what a sensor would have to look like
24
97859
2086
cha kipimo kinavyotakiwa kuwa
01:39
in order to effectively diagnose pancreatic cancer.
25
99969
2870
ili kugundua vizuri kansa ya kongosho.
01:43
The sensor would have to be:
26
103357
1572
Kipimo kinahitajika kuwa cha gharama nafuu, haraka,
01:44
inexpensive, rapid, simple, sensitive,
27
104953
4728
rahisi,kinachogundua haraka,
01:49
selective, and minimally invasive.
28
109819
3510
na kisichohitaji kuingia kwa sehemu kubwa mwilini.
Kuna sababu kwa nini kipimo hiki hakijabadilishwa
01:54
Now, there's a reason why this test hasn't been updated in over six decades.
29
114352
4762
kwa karibia miaka sitini,
01:59
And that's because when we're looking for pancreatic cancer,
30
119396
2957
kwa sababu,tunapoangalia kansa ya kongosho,
02:02
we're looking at your bloodstream,
31
122377
1688
tunaangalia mzunguko wako wa damu
ambao tayari umejaa tani nyingi za protini,
02:04
which is already abundant in all these tons and tons of protein,
32
124089
4726
02:08
and you're looking for this miniscule difference in this tiny amount of protein.
33
128839
3775
na unatafuta chembe tofauti ndogo sana
katika protini ndogo sana,
02:12
Just this one protein.
34
132638
1150
protini hii moja tu.
jambo hili ni gumu sana
02:14
That's next to impossible.
35
134135
1482
lakini, bila kukatishwa tamaa kutokana na shauku ya ujana
02:16
However, undeterred due to my teenage optimism --
36
136044
3731
02:19
(Laughter)
37
139799
1186
(makofi)
02:21
(Applause)
38
141008
4572
02:25
I went online to a teenager's two best friends, Google and Wikipedia.
39
145604
5231
nikaenda mtandaoni kwa marafiki wawili sana wa kijana
Google na Wikipedia
02:30
I got everything for my homework from those two sources.
40
150859
2916
Nilipata kila kitu kutoka vyanzo hivyo viwili,
02:33
(Laughter)
41
153799
1150
nilichokipata ilikuwa ni chapisho
02:35
And what I had found was an article
42
155080
2549
02:37
that listed a database of over 8,000 different proteins
43
157653
3847
ambalo lilionyesha taarifa za protini 8000 tofauti
02:41
that are found when you have pancreatic cancer.
44
161524
2191
ambazo zinaonekana ukiwa na kansa ya kongosho.
02:43
So, I decided to go and make it my new mission
45
163967
3457
kwa hiyo nikaamua hii iwe kazi yangu mpya
02:47
to go through all these proteins,
46
167448
1733
kupitia protini zote hizi na kuona zipi
02:49
and see which ones could serve as a bio-marker for pancreatic cancer.
47
169205
3331
zinaweza kuwa kitambulishi cha kansa ya kongosho.
na kunirahisishia mambo,
02:53
And to make it a bit simpler for myself,
48
173087
2276
02:55
I decided to map out scientific criteria, and here it is.
49
175387
3753
nikachagua kigezo, na ni hiki.
02:59
Essentially, first, the protein would have to be found in all pancreatic cancers,
50
179799
3946
Kwanza, protini lazima ionekane
katika kansa zote za kongosho kwa kiasi kikubwa,katika damu
03:03
at high levels in the bloodstream,
51
183769
1743
katika hatua za mwanzoni.
03:05
in the earliest stages, but also only in cancer.
52
185536
3501
03:09
And so I'm just plugging and chugging through this gargantuan task,
53
189553
3359
Kwa hiyo nikawa nafanya majaribio katika kazi hii ngumu,
03:12
and finally, on the 4,000th try,
54
192936
2859
na mwishowe, katika jaribio la 4000,
03:15
when I'm close to losing my sanity,
55
195819
1916
wakati nakaribia kuwa kichaa,
03:17
I find the protein.
56
197759
1150
nikaipata hiyo protini.
03:19
And the name of the protein I'd located was called mesothelin,
57
199408
3957
jina la protini niliyoiona
linaitwa mesothelin,
03:23
and it's just your ordinary, run-of-the-mill type protein,
58
203389
2865
na ni protini ya kawaida tu,
03:26
unless, of course, you have pancreatic, ovarian or lung cancer,
59
206278
3264
ikiwa tu hauna kansa ya kongosho
ya kizazi au ya mapafu,
03:29
in which case it's found at these very high levels in your bloodstream.
60
209566
3335
ikiwa unazo,protini hii inakua nyingi sana katika damu
03:32
But also, the key is that it's found in the earliest stages of the disease,
61
212925
4659
lakini pia muhimu ni
kwamba inapatikana katika hatua za mwanzo kabisa za ugonjwa,
03:37
when someone has close to 100 percent chance of survival.
62
217608
2760
wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100
ya kupona kabisa.
baada ya kupata protini ya uhakika,kuigundua
03:41
So now that I'd found a reliable protein I could detect,
63
221144
3321
03:44
I then shifted my focus to actually detecting that protein,
64
224489
2937
nikabadilisha mwelekeo kwenda katika kuigundua sasa,
03:47
and thus, pancreatic cancer.
65
227450
1334
na hivyo, kugundua pia kansa ya kongosho.
mafanikio yangu yalipatina mahali pasipotarajiwa kabisa,
03:50
Now, my breakthrough came in a very unlikely place,
66
230103
2977
03:53
possibly the most unlikely place for innovation --
67
233104
3007
labda sehemu isiyotegemewa kwa uvumbuzi kabisa:
katika darasa langu la biolojia la sekondari,
03:56
my high school biology class, the absolute stifler of innovation.
68
236135
4123
mahali ambapo ubunifu unazuiwa kabisa.
04:00
(Laughter)
69
240282
2533
(vicheko)(makofi)
04:02
(Applause)
70
242839
2970
na nilifanikiwa kuliona andiko kuhusu vitu vinaitwa
04:06
And I had snuck in this article on these things called carbon nanotubes,
71
246101
3688
tyubu ndogo sana za kaboni.
04:09
and that's just a long, thin pipe of carbon
72
249813
2457
04:12
that's an atom thick, and one 50,000th the diameter of your hair.
73
252294
3774
ambazo upana wake ni kama wa atom
na kipenyo chake moja ya hamsini ya kipenyo cha nywele yako.
04:16
And despite their extremely small sizes,
74
256092
2436
pamoja na udogo huu
04:18
they have these incredible properties.
75
258552
1947
zina tabia za ajabu sana.
04:20
They're kind of like the superheroes of material science.
76
260523
2719
ni kama mashujaa wa sayansi ya maada.
wakati nasoma chapisho
04:23
And while I was sneakily reading this article under my desk in my biology class,
77
263266
4047
chini ya dawati katika darasa la elimu ya viumbe,
04:27
we were supposed to be paying attention to these other kind of cool molecules,
78
267337
3762
tulitakiwa tuwe makini
katika molekyuli ziitwazo antibodi
04:31
called antibodies.
79
271123
1156
04:32
And these are pretty cool because they only react
80
272517
2288
na hizi zimetulia sana kwa kuwa zinaweza ungana tu
04:34
with one specific protein,
81
274829
1537
na protini moja,
04:36
but they're not nearly as interesting as carbon nanotubes.
82
276390
2746
lakini sio za kupendeza kama tyubu ndogo za kaboni
kwa hiyo nilikuwa darasani,
04:39
And so then, I was sitting in class, and suddenly it hit me:
83
279420
5405
na ghafla nikatambua:
04:44
I could combine what I was reading about, carbon nanotubes,
84
284849
3956
Kwamba naweza kuunganisha nilichokuwa nasoma,
tyubu ndogo za kaboni,
04:48
with what I was supposed to be thinking about, antibodies.
85
288829
3016
na kile nilichotakiwa kuwaza, antibodi.
04:51
Essentially, I could weave a bunch of these antibodies
86
291869
2661
naweza nikazungusha antibodi hizi
04:54
into a network of carbon nanotubes,
87
294554
2211
katika mkusanyiko wa tyubu ndogo za kaboni
04:56
such that you have a network that only reacts with one protein,
88
296789
3626
kiasi kwamba unakuwa na mkusanyiko
ambao unaungana na protini moja
05:00
but also, due to the properties of these nanotubes,
89
300439
3356
lakini,pia kutokana na tabia za tyubu ndogo za kaboni,
05:03
it will change its electrical properties,
90
303819
1976
itabadilisha tabia zake za kiumeme
05:05
based on the amount of protein present.
91
305819
1990
kulingana na kiasi cha protini kilichopo
05:08
However, there's a catch.
92
308252
1638
lakini kuna jambo la kuzingatia.
05:10
These networks of carbon nanotubes are extremely flimsy.
93
310364
3116
muunganiko huu wa tybu ndogo za kaboni ni laini sana
kwa kuwa ni laini sana,zinahitaji kutegemezwa
05:14
And since they're so delicate, they need to be supported.
94
314037
2764
05:17
So that's why I chose to use paper.
95
317211
1667
ndio maana nikachagua karatasi.
05:19
Making a cancer sensor out of paper is about as simple
96
319532
2967
Kutengeneza kipimo cha kansa kwa karatasi
ni rahisi kama kutengeneza biskuti za chokleti
05:22
as making chocolate chip cookies, which I love.
97
322523
2191
ambazo nazipenda
05:24
(Laughs)
98
324964
2332
05:27
You start with some water, pour in some nanotubes,
99
327869
2976
unaanza na maji,unamimina nanotubes,
05:30
add antibodies, mix it up, take some paper, dip it, dry it,
100
330869
4976
ongeza antibodies, changanya,
chukua karatasi,chovya,ikaushe,
05:35
and you can detect cancer.
101
335869
1664
na unaweza ukagundua kansa.
(makofi)
05:39
(Applause)
102
339267
6349
05:45
Then, suddenly, a thought occurred
103
345729
3106
ghafla, wazo likanijia,
05:48
that kind of put a blemish on my amazing plan here.
104
348859
3900
lililoweka doa katika mpango wangu wa ajabu.
05:53
I can't really do cancer research on my kitchen countertop.
105
353278
2937
siwezi nikafanya utafiti wa kansa
katika jiko langu.
05:56
My mom wouldn't really like that.
106
356239
1572
mama yangu hatapenda kitu hicho.
05:58
So instead, I decided to go for a lab.
107
358516
3071
kwa hiyo, nikaamua kwenda maabara.
06:01
So I typed up a budget, a materials list, a timeline, and a procedure,
108
361611
4602
nikaandika bajeti, orodha ya vifaa,
ratiba na taratibu zitakazotumika,
06:06
and I emailed it to 200 different professors
109
366237
2672
nikatuma kama barua pepe kwa maprofesa 200 tofauti
06:08
at Johns Hopkins University and the National Institutes of Health --
110
368933
3275
katika chuo cha Johns Hopkins
na katika taasisi ya afya ya taifa,
06:12
essentially, anyone that had anything to do with pancreatic cancer.
111
372232
3230
kimsingi yoyote ambaye alikuwa na chochote kuhusu kansa ya kongosho.
06:15
I sat back waiting for these positive emails to be pouring in,
112
375486
3125
nikakaa nikisubiri majibu mazuri kuingia,
06:18
saying, "You're a genius! You're going to save us all!"
113
378635
2797
yakisema, "wewe una kipaji cha ajabu!
unaenda kutusaidia sisi wote!"
06:21
And --
114
381456
1271
na - (vicheko)
06:22
(Laughter)
115
382751
2766
06:25
Then reality took hold, and over the course of a month,
116
385651
3980
baadae ukweli ukaanza kuonekana,
na ndani ya mwezi mmoja,
06:29
I got 199 rejections out of those 200 emails.
117
389655
4556
nikapata majibu ya kukataa 199 kati ya barua pepe zile 200.
profesa mmoja akapitia mpango wangu wote
06:34
One professor even went through my entire procedure,
118
394235
2516
06:36
painstakingly -- I'm not really sure where he got all this time --
119
396775
3097
sijui alipata wapi muda wote huu --
06:39
and he went through and said why each and every step
120
399896
3588
na akaanza kusema kwa nini kila hatua
06:43
was like the worst mistake I could ever make.
121
403508
2096
ni kosa kubwa sana.
06:46
Clearly, the professors did not have as high of an opinion of my work as I did.
122
406458
4252
wazi wazi kabisa kila profesa hakuwa na maono makubwa
kuhusu kazi yangu kama nilivyokuwa mimi.
lakini, kulikuwa bado na tumaini.
06:52
However, there is a silver lining.
123
412367
1957
06:54
One professor said, "Maybe I might be able to help you, kid."
124
414348
2967
profesa mmoja, "labda naweza kukusaidia kijana."
06:57
So, I went in that direction.
125
417339
1381
kwa hiyo nikaenda katika mwelekeo huo.
06:59
(Laughter)
126
419678
3979
(vicheko)
07:03
As you can never say no to a kid.
127
423762
1940
kwa kuwa hauwezi kumkatalia mtoto.
07:06
And so then, three months later,
128
426157
2588
kwa hiyo miezi mitatu baadae,
07:08
I finally nailed down a harsh deadline with this guy,
129
428769
2871
nilifanikiwa kupanga kukutana na mtu huyu,
07:11
and I get into his lab, I get all excited, and then I sit down,
130
431664
3570
nikaingia katika maabara yake,
nikawa na shauku kubwa, halafu nikakaa chini
07:15
I start opening my mouth and talking,
131
435258
1880
nikaanza kuongea,
sekunde tano baadaye akamwita Daktari wa fasafa
07:17
and five seconds later, he calls in another Ph.D.
132
437162
2448
07:19
Ph.D.s just flock into this little room,
133
439634
3734
madaktari wa falsafa wakajaa katika chumba hiki kidogo,
07:23
and they're just firing these questions at me,
134
443392
2144
wakawa wananiuliza maswali,
07:25
and by the end, I kind of felt like I was in a clown car.
135
445560
2800
na mwishowe,nikahisi kama nilikuwa katika gari lililojaa watu wengi mno
07:28
There were 20 Ph.D.s, plus me and the professor
136
448384
2192
Kulikuwa na madaktari wa falsafa 20, mimi na huyu Profesa
tumejazana katika ofisi ndogo
07:30
crammed into this tiny office space,
137
450600
1842
07:32
with them firing these rapid-fire questions at me,
138
452466
2977
wakinirushia maswali ya haraka haraka
07:35
trying to sink my procedure.
139
455467
2026
wakijaribu kuzamisha mpango wangu.
07:37
How unlikely is that? I mean, pshhh.
140
457651
2016
Jinsi gani jambo hili lilivyokuwa gumu?
07:39
(Laughter)
141
459962
3777
(vicheko)
07:44
However, subjecting myself to that interrogation --
142
464419
2937
bila kujali kuhojiwa kote kule,
07:47
I answered all their questions, and I guessed on quite a few
143
467380
2947
nilijibu maswali yao yote,
nilibahatisha katika baadhi ya maswali lakini nilikuwa sahihi,
07:50
but I got them right --
144
470351
1247
mwishowe nikafanikiwa kupata nafasi ya maabara niliyoihitaji.
07:51
and I finally landed the lab space I needed.
145
471622
3578
07:55
But it was shortly afterwards that I discovered my once brilliant procedure
146
475819
3796
muda mfupi baadae ndipo nikagundua
mpango wango mahiri
07:59
had something like a million holes in it,
147
479639
2126
kuwa na makosa karibia milioni moja,
08:01
and over the course of seven months,
148
481789
1761
na ndani ya miezi saba,
08:03
I painstakingly filled each and every one of those holes.
149
483574
2935
nikaanza kazi nzito ya kusahihisha makosa haya yote moja baada ya jingine.
08:06
The result?
150
486533
1227
Matokeo yake? kipimo cha karatasi
08:07
One small paper sensor that costs three cents and takes five minutes to run.
151
487784
4826
kikigharimu senti tatu za dola kikichukua dakika tano.
08:12
This makes it 168 times faster,
152
492981
3425
hii inakifanya kiwe mara 168 haraka zaidi,
08:16
over 26,000 times less expensive,
153
496430
2799
kikiwa na gharama ya chini ya mara 26,000
08:19
and over 400 times more sensitive than our current standard
154
499253
3522
na kikiwa cha uhakika kwa zaidi ya mara 400
kushinda kipimo cha sasa cha kansa ya kongosho
08:22
for pancreatic cancer detection.
155
502799
1960
(makofi)
08:25
(Applause)
156
505745
6990
08:34
One of the best parts of the sensor, though,
157
514738
2317
moja kati ya vitu muhimu kuhusu kipimo hiki,
ni kuwa kinatoa majibu sahihi kwa karibia asilimia 100,
08:37
is that it has close to 100 percent accuracy,
158
517079
2501
08:39
and can detect the cancer in the earliest stages,
159
519604
2686
na kinagundua kansa katika hatua za mwanzo kabisa
wakati mtu ana nafasi ya asilimia 100 ya kupona.
08:42
when someone has close to 100 percent chance of survival.
160
522314
2684
08:45
And so in the next two to five years,
161
525496
1947
kwa hiyo ndani ya miaka miwili mpaka mitano ijayo,
08:47
this sensor could potentially lift the pancreatic cancer survival rates
162
527467
3335
kipimo hiki kinaweza kikaongeza watu kupona kansa ya kongosho
08:50
from a dismal 5.5 percent to close to 100 percent,
163
530826
4098
kutoka asilimia 5.5
mpaka karibu na asilimia 100,
08:54
and it would do similar for ovarian and lung cancer.
164
534948
2655
na pia itafanya hivyo hivyo kwa kansa ya kizazi na ya mapafu.
lakini haitaishia hapo tu.
08:58
But it wouldn't stop there.
165
538091
1864
09:00
By switching out that antibody,
166
540245
1654
Kwa kuifunga hiyo antibodi,
09:01
you can look at a different protein, thus, a different disease --
167
541923
3506
unaweza ukaangalia protini mbalimbali,
kwa hiyo pia magonjwa mbalimbali,
09:05
potentially any disease in the entire world.
168
545453
2918
lakini uwezo huu ni kwa ugonjwa wowote duniani
09:08
So that ranges from heart disease, to malaria, HIV, AIDS,
169
548869
4624
kutoka ugonjwa wa moyo
mpaka Malaria,HIV,AIDS,
09:13
as well as other forms of cancer -- anything.
170
553517
2277
pia ni aina nyingine za kansa-- ugonjwa wowote ule.
09:16
And so, hopefully one day,
171
556462
1947
Kwa hiyo, tumaini ni kuwa siku moja
09:18
we can all have that one extra uncle,
172
558433
2412
wote tunaweza tukawa na yule mjomba wa ziada,
09:20
that one mother, that one brother, sister,
173
560869
3234
yule mama,yule kaka,dada,
tunaweza kuwa na ndugu wa kumpenda,
09:24
we can have that one more family member to love.
174
564127
2239
na mioyo yetu itapunguziwa mzigo wa ugonjwa mmoja
09:27
And that our hearts will be rid of that one disease burden
175
567023
4762
09:31
that comes from pancreatic, ovarian and lung cancer,
176
571809
2926
utokanao na kansa ya kongosho,kizazi na mapafu,
09:34
and potentially any disease.
177
574759
2076
au ugonjwa wowote mwingine,
09:36
But through the Internet, anything is possible.
178
576859
2801
na kupitia mtandao mengi yanawezekana.
09:39
Theories can be shared,
179
579684
1280
tunaweza kushirikishana nadharia,
09:40
and you don't have to be a professor with multiple degrees
180
580988
2727
na sio lazima uwe profesa
na shahada nyingi ili mawazo yako yathaminike.
09:43
to have your ideas valued.
181
583739
1506
09:45
It's a neutral space, where what you look like, age or gender --
182
585269
4041
ni eneo lililo wazi kwa mtu yeyote
ambapo mwonekano,umri wako au jinsia,
09:49
it doesn't matter.
183
589334
1156
haijalishi.
09:50
It's just your ideas that count.
184
590594
1830
ni mawazo yako tu ndiyo yanayojalisha.
Kwangu mimi,ni suala la kuangalia mtandao wa intaneti
09:53
For me, it's all about looking at the Internet in an entirely new way,
185
593113
4702
kwa mtazamo mpya kabisa
09:57
to realize that there's so much more to it
186
597839
2096
ili kujua kuna mengi sana ndani yake
09:59
than just posting duck-face pictures of yourself online.
187
599959
2870
badala ya kuweka picha zako tu mtandaoni.
10:03
(Laughter)
188
603464
1150
unaweza ukaibadilisha dunia.
10:05
You could be changing the world.
189
605277
1662
10:08
So if a 15 year-old who didn't even know what a pancreas was
190
608202
5262
kwa hiyo kama kijana wa miaka 15
ambaye alikuwa hajui hata kongosho ni nini
10:13
could find a new way to detect pancreatic cancer --
191
613488
2741
anaweza akavumbua njia mpya ya kugundua kansa ya kongosho.
jaribu kufikiri unaweza ukafanya mangapi.
10:17
just imagine what you could do.
192
617451
1698
10:19
Thank you.
193
619376
1238
Asante sana
10:20
(Applause)
194
620638
6699
(makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7