12 truths I learned from life and writing | Anne Lamott

701,654 views ・ 2017-07-13

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Sophia Mwema Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
My seven-year-old grandson sleeps just down the hall from me,
0
12862
3478
Chumba cha mjukuu wangu mwenye miaka saba kipo karibu na changu
00:16
and he wakes up a lot of mornings
1
16364
1666
mara nyingi huamka asubuhi
00:18
and he says,
2
18054
1538
na kusema,
00:19
"You know, this could be the best day ever."
3
19616
2214
"Unajua, leo inaweza kuwa siku bora kuliko zote. "
00:22
And other times, in the middle of the night,
4
22385
2177
Na mara nyingine, usiku wa manane,
00:24
he calls out in a tremulous voice,
5
24586
2926
huita kwa sauti za woga
00:27
"Nana, will you ever get sick and die?"
6
27536
2830
"Nana, utaumwa na kufa siku moja?"
00:31
I think this pretty much says it for me and most of the people I know,
7
31018
4442
Nadhani hili linasema mengi kwangu na watu wengi ninaowajua,
00:35
that we're a mixed grill of happy anticipation
8
35484
3280
kwamba sisi ni mchanganyiko wa matarajio yenye furaha
00:38
and dread.
9
38788
1219
na hofu.
00:40
So I sat down a few days before my 61st birthday,
10
40400
4222
Hivyo, siku chache kabla ya kutimiza miaka 61, nilitafakari
00:44
and I decided to compile a list of everything I know for sure.
11
44646
4661
nikaamua kukusanya orodha ya kila kitu ninachojua.
00:49
There's so little truth in the popular culture,
12
49837
3123
Kuna ukweli mchache sana katika utamaduni wetu,
00:52
and it's good to be sure of a few things.
13
52984
2956
na ni vizuri tuwe na uhakika na mambo machache.
00:57
For instance, I am no longer 47,
14
57037
2921
Kwa mfano, umri wangu sio 47 tena,
01:00
although this is the age I feel,
15
60665
2780
Ingawa ndio umri ninaojisikia,
01:03
and the age I like to think of myself as being.
16
63469
2617
au umri ningependa kufikiri niko.
01:06
My friend Paul used to say in his late 70s
17
66674
2673
Rafiki yangu Paulo alisema katika miaka yake ya 70
01:09
that he felt like a young man with something really wrong with him.
18
69371
3583
kwamba alihisi kama kijana mwenye matatizo mengi tu.
01:12
(Laughter)
19
72978
3850
(Vicheko)
01:16
Our true person is outside of time and space,
20
76852
2840
Nafsi yetu ya kweli ipo nje ya muda na sehemu
01:19
but looking at the paperwork,
21
79716
1510
lakini nikiangalia nyaraka,
01:21
I can, in fact, see that I was born in 1954.
22
81250
3335
Naweza, kwa kweli, kuona kwamba nilizaliwa mwaka wa 1954
01:25
My inside self is outside of time and space.
23
85173
2952
Hisia zangu binafsi zipo nje ya muda na sehemu.
01:28
It doesn't have an age.
24
88149
2045
Haina umri.
01:30
I'm every age I've ever been, and so are you,
25
90218
3349
Nina kila umri ambao nimewahi kuwa,na wewe pia,
01:33
although I can't help mentioning as an aside
26
93591
2684
Ingawa siwezi kuepuka kusema,
01:36
that it might have been helpful if I hadn't followed
27
96299
2631
kwamba ingesaidia kama nisingefuata
01:38
the skin care rules of the '60s,
28
98954
2521
kanuni za huduma ya ngozi za miaka ya 60,
01:41
which involved getting as much sun as possible
29
101499
3394
ambayo ilihusisha kuota jua kama iwezekanavyo
01:44
while slathered in baby oil
30
104917
2546
nikijisiliba mafuta ya mtoto
01:47
and basking in the glow of a tinfoil reflector shield.
31
107487
4247
na kumeremeta chini ya foii ya aluminium
01:51
(Laughter)
32
111758
1714
(Vicheko)
01:53
It was so liberating, though, to face the truth
33
113496
2598
Nilijisikia uhuru sana, ingawa, nilbidi kuutizama ukweli
01:56
that I was no longer in the last throes of middle age,
34
116118
3348
kwamba sikuwa tena katika miaka ya mwisho ya rika la kati,
01:59
that I decided to write down every single true thing I know.
35
119490
4352
hivyo niliamua kuandika kila kitu nilichojua.
02:03
People feel really doomed and overwhelmed these days,
36
123866
3398
Siku hizi watu wamejisikia wameelemewa,
02:07
and they keep asking me what's true.
37
127288
2722
na huniuliza ukweli ni upi.
02:10
So I hope that my list of things I'm almost positive about
38
130034
6349
Hivyo, natumaini orodha ya vitu ninavzo fahamu kwau fasaha
02:16
might offer some basic operating instructions
39
136407
3065
itatoa misingi ya uendeshaji
02:19
to anyone who is feeling really overwhelmed or beleaguered.
40
139496
3647
kwa mtu yeyote anayehisi kuelemewa au kuchanganyikiwa.
02:23
Number one:
41
143960
1882
Namba moja:
02:25
the first and truest thing is that all truth is a paradox.
42
145866
3661
Jambo la kwanza na ukweli kabisa ni kwamba ukweli wote ni kitendawili.
02:29
Life is both a precious, unfathomably beautiful gift,
43
149551
4315
Maisha yana thamani, na zawadi nzuri sana kupita maelezo,
02:33
and it's impossible here, on the incarnational side of things.
44
153890
4682
na haiwezekani kutelezeka kwa kiumbe cha mwili.
02:38
It's been a very bad match
45
158596
1620
Imekuwa uwiano mbaya sana
02:40
for those of us who were born extremely sensitive.
46
160240
3266
kwa wale ambao tulizaliwa nyeti sana.
02:43
It's so hard and weird that we sometimes wonder
47
163530
2864
Ni vigumu sana na ni ajabu kwamba wakati mwingine tunajiuliza
02:46
if we're being punked.
48
166418
1436
kama tunataniwa.
02:48
It's filled simultaneously with heartbreaking sweetness and beauty,
49
168822
4954
Imejazwa na wema na uzuri wa umbo,
02:53
desperate poverty,
50
173800
1775
umasikini,
02:55
floods and babies and acne and Mozart,
51
175599
3544
Mafuriko na watoto na chunusi na Mozart,
02:59
all swirled together.
52
179167
2139
vyote vilibiringizwa pamoja.
03:01
I don't think it's an ideal system.
53
181330
2570
Sidhani ni mfumo mzuri.
03:03
(Laughter)
54
183924
3316
(Vicheko)
03:07
Number two: almost everything will work again
55
187264
3395
Namba mbili: karibia kila kitu kitafanya kazi tena
03:10
if you unplug it for a few minutes --
56
190683
2341
ukikichomoa kwa dakika chache --
03:13
(Laughter)
57
193048
2695
(Vicheko)
03:15
(Applause)
58
195767
3282
(Makofi)
03:19
including you.
59
199073
1723
hata na wewe.
03:22
Three: there is almost nothing outside of you
60
202795
3238
Tatu: karibia, hakuna chochote nje ya wewe
03:26
that will help in any kind of lasting way,
61
206057
2912
kitakachokusaidia kwa njia yoyote ya kudumu,
03:28
unless you're waiting for an organ.
62
208993
1964
isipokuwa kama unasubiria kiungo.
03:31
You can't buy, achieve or date serenity and peace of mind.
63
211778
4938
Huwezi kununua, kutekeleza au kuchumbia utulivu na amani.
03:36
This is the most horrible truth, and I so resent it.
64
216740
3774
Huu ni kweli ya kutisha, na ninauchukia.
03:41
But it's an inside job,
65
221369
2224
Lakini ni kazi ya ndani,
03:43
and we can't arrange peace or lasting improvement
66
223617
2818
na hatuwezi kupanga amani au uboreshaji wa kudumu
03:46
for the people we love most in the world.
67
226459
2388
kwa ajili ya watu tunaowapenda duniani.
03:48
They have to find their own ways,
68
228871
2080
Wanapaswa kutafuta njia yao wenyewe,
03:50
their own answers.
69
230975
1622
majibu wenyewe.
03:52
You can't run alongside your grown children
70
232621
3627
Huwezi kuenda pamoja na watoto wako wakubwa
03:56
with sunscreen and ChapStick on their hero's journey.
71
236272
4586
kwenye safari yao ya kishujaa.
04:00
You have to release them.
72
240882
2117
Unapaswa kuwaacha huru.
04:03
It's disrespectful not to.
73
243023
2395
Sio heshima kuwavunga.
04:06
And if it's someone else's problem,
74
246908
1859
Na kama ni tatizo la mtu mwingine,
04:08
you probably don't have the answer, anyway.
75
248791
2300
labda hata wewe hauna jibu, pia.
04:11
(Laughter)
76
251115
1192
(Vicheko)
04:12
Our help is usually not very helpful.
77
252331
2743
Msaada wetu mara nyingi hausaidii.
04:15
Our help is often toxic.
78
255568
2425
Msaada wetu mara nyingi ni sumu.
04:18
And help is the sunny side of control.
79
258644
2796
Na msaada ni upande chanya wa udhibiti.
04:22
Stop helping so much.
80
262656
2474
Acha kusaidia sana.
04:25
Don't get your help and goodness all over everybody.
81
265154
3457
Usisambaze msaada wako na wema kwa kila mtu.
04:28
(Laughter)
82
268635
2512
(Vicheko)
04:31
(Applause)
83
271171
1661
(Makofi)
04:32
This brings us to number four:
84
272856
1973
Hii inatuleta kwa namba nne:
04:34
everyone is screwed up, broken, clingy and scared,
85
274853
3884
kila mtu amevunjika, amevunjwa, ana wivu na hofu zake,
04:38
even the people who seem to have it most together.
86
278761
2975
hata wanaoonekana kuwa pamoja zaidi.
04:41
They are much more like you than you would believe,
87
281760
2439
Wako kama wewe kuliko unavzoweza kuamini,
04:44
so try not to compare your insides to other people's outsides.
88
284223
4648
hivyo usilinganisha undani wako na nje za watu wengine.
04:48
It will only make you worse than you already are.
89
288895
2866
Itakufanya ujisikie ovyo kuliko ulivyo tayari.
04:51
(Laughter)
90
291785
2992
(Vicheko)
04:56
Also, you can't save, fix or rescue any of them
91
296092
3471
Pia, huwezi kuwaokoa, kurekebisha au kuwakomboa
04:59
or get anyone sober.
92
299587
2035
au kumpatia mtu yeyote busara.
05:01
What helped me get clean and sober 30 years ago
93
301646
2754
Kilichosaidia kupata nafuu na kukaa safi na madawa kwa miaka 30 iliyopita
05:04
was the catastrophe of my behavior and thinking.
94
304424
3611
ilikuwa janga la tabia na fikra zangu.
05:08
So I asked some sober friends for help,
95
308059
2006
Hivyo niliomba msaada kwa marafiki,
05:10
and I turned to a higher power.
96
310089
1934
na nikamrudia muumbaji.
05:12
One acronym for God is the "gift of desperation,"
97
312047
4059
Kifupisho kimoja cha Mungu ni "zawadi ya kukata tamaa,"
05:16
G-O-D,
98
316130
1429
M-U-N-G-U,
05:17
or as a sober friend put it,
99
317583
2032
Au kama rafiki yangu mmoja alivyoiweka,
05:19
by the end I was deteriorating faster than I could lower my standards.
100
319639
4967
mwishoni nilikuwa nikipungukiwa kuliko nilivyoweza kupunguza viwango vyangu.
05:24
(Laughter)
101
324630
6311
(Vicheko)
05:30
So God might mean, in this case,
102
330965
2310
Kwa hiyo Mungu anaweza kumaanisha, katika kesi hii,
05:33
"me running out of any more good ideas."
103
333299
3141
"mimi kuishiwa na mawazo yoyote mazuri zaidi."
05:37
While fixing and saving and trying to rescue is futile,
104
337352
4166
Wakati kurekebisha na kuokoa na kujaribu kuokoa ni bure,
05:41
radical self-care is quantum,
105
341542
3411
Kujitegemea na kujitunza ni quantum,
05:44
and it radiates out from you into the atmosphere
106
344977
3616
na hujiangaza katika mazingira yako
05:48
like a little fresh air.
107
348617
1645
kama hewa safi.
05:50
It's a huge gift to the world.
108
350286
2581
Ni zawadi kubwa kwa duniani.
05:52
When people respond by saying, "Well, isn't she full of herself,"
109
352891
4510
Watu wanapojibu kwa kusema, "Mmh, mtizame anavyojisikia,"
05:57
just smile obliquely like Mona Lisa
110
357425
2966
tabasamu tu kama vile Mona Lisa
06:00
and make both of you a nice cup of tea.
111
360415
2962
na kuwatengenezea kikombe cha chai.
06:04
Being full of affection for one's goofy, self-centered,
112
364425
4683
Kuonyesha upendo kikamilifu kwa uzuzu wa mtu, ubinafsi,
06:09
cranky, annoying self
113
369132
2493
ukimwa, usumbufu wako
06:11
is home.
114
371649
1529
ni nyumbani.
06:13
It's where world peace begins.
115
373202
2032
Ndipo amani ya dunia huanzia.
06:16
Number five:
116
376858
1717
Namba tano:
06:18
chocolate with 75 percent cacao is not actually a food.
117
378599
5064
chokoleti yenye asilimia 75 kakao sio kweli chakula.
06:23
(Laughter)
118
383687
4012
(Vicheko)
06:27
Its best use is as a bait in snake traps
119
387723
4080
Matumizi yake bora ni katika mitego ya nyoka
06:31
or to balance the legs of wobbly chairs.
120
391827
4560
au kusawazisha miguu ya viti vinavyotetema.
06:36
It was never meant to be considered an edible.
121
396411
3251
Haikuwahi kumaanishwa kama chakula.
06:41
Number six --
122
401685
1365
Namba sita
06:43
(Laughter)
123
403074
3504
(Vicheko)
06:46
writing.
124
406602
1256
Kuandika.
06:48
Every writer you know writes really terrible first drafts,
125
408694
4388
Kila mwandishi unayemjua huanaandika rasimu mbaya za mwanzo,
06:53
but they keep their butt in the chair.
126
413106
2153
Lakini hutuliza kitako kwenye kiti.
06:55
That's the secret of life.
127
415283
1720
Hiyo ndio siri ya maisha.
06:57
That's probably the main difference between you and them.
128
417027
3200
Hiyo labda ndio tofauti kuu kati yako na wao.
07:00
They just do it.
129
420251
1462
Wanafanya tu.
07:01
They do it by prearrangement with themselves.
130
421737
2566
Wanafanya kwa makubaiano na wao wenyewe.
07:04
They do it as a debt of honor.
131
424327
2043
Wanafanya katika deni la heshima yao.
07:07
They tell stories that come through them
132
427156
2294
Wanasimulia hadithi kutokea kwao
07:09
one day at a time, little by little.
133
429474
2510
siku moja banda ya nyingine, kidogo kidogo.
07:12
When my older brother was in fourth grade,
134
432008
2226
Kaka yangu alipokuwa darasa la nne,
07:14
he had a term paper on birds due the next day,
135
434258
3974
alitakiwa kuwasilisha insha juu ya ndege kesho yake,
07:18
and he hadn't started.
136
438256
2280
Na hakuanza bado.
07:20
So my dad sat down with him with an Audubon book,
137
440560
4082
Basi baba akaketi naye na kitabu cha Audubon,
07:24
paper, pencils and brads --
138
444666
2344
karatasi, penseli na brads -
07:27
for those of you who have gotten a little less young and remember brads --
139
447034
5600
kwa wale ambao mmekuwaa wadogo kidogo na mna kukumbuka brads -
07:32
and he said to my brother,
140
452658
2830
na akamwambia kaka yangu,
07:35
"Just take it bird by bird, buddy.
141
455512
2610
"Chukua tu ndege kwa ndege, rafiki.
07:38
Just read about pelicans
142
458146
2315
Soma tu juu ya Mwari
07:40
and then write about pelicans in your own voice.
143
460485
3856
na kisha andika kuhusu Mwari kwa sauti yako mwenyewe.
07:44
And then find out about chickadees,
144
464365
3155
Na kisha soma kuhusu chickadee,
07:47
and tell us about them in your own voice.
145
467544
2771
na utuambie kwa sauti yako mwenyewe.
07:50
And then geese."
146
470339
1746
Na kisha bata bukini. "
07:52
So the two most important things about writing are: bird by bird
147
472109
3748
Hivyo vitu viwili muhimu kuhusu kuandika ni: ndege kwa ndege
07:55
and really god-awful first drafts.
148
475881
3106
na kwa kweli rasimu ovyo za mwanzo.
07:59
If you don't know where to start,
149
479779
1675
Kama hujui uanzie wapi
08:01
remember that every single thing that happened to you is yours,
150
481478
3229
kumbuka unamiliki kila kitu kilichokutokea
08:04
and you get to tell it.
151
484731
1516
na unaweza kusimulia.
08:06
If people wanted you to write more warmly about them,
152
486672
3162
Ikiwa watu walitaka uandike mazuri kuhusu wao,
08:09
they should've behaved better.
153
489858
1720
wangemudu tabia zao vizuri zaidi.
08:11
(Laughter)
154
491602
3030
(Vicheko)
08:14
(Applause)
155
494656
2910
(Makofi)
08:18
You're going to feel like hell if you wake up someday
156
498965
2873
Utajisikia ovyo siku moja utakapoamka
08:21
and you never wrote the stuff
157
501862
1761
na hujaandika juu ya mambo
08:23
that is tugging on the sleeves of your heart:
158
503647
3461
yanazo anazokukereketa, unayotunza moyoni:
08:27
your stories, memories, visions and songs --
159
507132
3396
hadithi zako, kumbukumbu, maono na nyimbo -
08:30
your truth,
160
510552
1653
Ukweli wako,
08:32
your version of things --
161
512229
1825
mtizamo wako wa vitu -
08:34
in your own voice.
162
514078
1485
katika sauti yako mwenyewe.
08:35
That's really all you have to offer us,
163
515587
2475
Hicho pekee ndicho unachokubui kutupatia,
08:38
and that's also why you were born.
164
518086
2454
Hiyo ndiyo sababu ulizaliwa.
08:42
Seven: publication and temporary creative successes
165
522308
4185
Saba: kuchapishwa na mafanikio ya ubunifu ya muda mfupi
08:46
are something you have to recover from.
166
526517
2190
ni kitu ambacho unapaswa kuponywa kutoka.
08:49
They kill as many people as not.
167
529564
2842
Vinaua watu wengi kama visivo.
08:52
They will hurt, damage and change you
168
532430
2530
Vitakuumiza, kukuharibu na kukubadilisha
08:54
in ways you cannot imagine.
169
534984
2114
kwa njia ambazo huwezi kufikiria.
08:57
The most degraded and evil people I've ever known
170
537527
3516
Watu dhilifu na waovu kuliko wote niliowahi kujua
09:01
are male writers who've had huge best sellers.
171
541067
3109
ni waandishi wa kiume walioandika vitabu vilivyo uza vizuri mno.
09:04
And yet, returning to number one, that all truth is paradox,
172
544913
4157
Na bado, tukurudia namba moja, kwamba ukweli wote ni kitendawili,
09:09
it's also a miracle to get your work published,
173
549094
2425
Pia ni muujiza kupata kazi yako kuchapishwa,
09:11
to get your stories read and heard.
174
551543
2836
Ili hadithi zako zisomwe na kusikika.
09:14
Just try to bust yourself gently of the fantasy
175
554403
2755
Jaribu tu kujitahidi polepole na fantasia
09:17
that publication will heal you,
176
557182
2454
ambayo itakuponya,
09:19
that it will fill the Swiss-cheesy holes inside of you.
177
559660
4084
itajaza mashimo ya chizi ya Uswisi ndani yako.
09:23
It can't.
178
563768
1594
haiwezekani.
09:25
It won't.
179
565386
1360
haitokuwa.
09:26
But writing can.
180
566770
1705
Lakini uandishi unaweza.
09:28
So can singing in a choir or a bluegrass band.
181
568499
3598
Pia unaweza kuimba kwenye kwaya au bendi.
09:32
So can painting community murals or birding
182
572121
3307
Pia uchoraji au ufugaji wa ndege
09:35
or fostering old dogs that no one else will.
183
575452
3168
au kukuza mbwa wazee ambao hakuna mtu mwingine anataka.
09:40
Number eight: families.
184
580390
3051
Ya nane: familia.
09:44
Families are hard, hard, hard,
185
584703
3096
Familia ni ngumu, ngumu, ngumu,
09:47
no matter how cherished and astonishing they may also be.
186
587823
3426
haijalishi namna gani tunaipenda au wavyotushangaza.
09:51
Again, see number one.
187
591273
2126
Tena, rudia namba moja
09:53
(Laughter)
188
593423
1047
(Vicheko)
09:54
At family gatherings where you suddenly feel homicidal or suicidal --
189
594494
4288
Katika mikusanyiko ya familia ambapo ghafla hujisikia kuua au kujiua --
09:58
(Laughter)
190
598806
1016
(Vicheko)
09:59
remember that in all cases,
191
599846
2331
Kumbuka kwamba katika hali zote,
10:02
it's a miracle that any of us, specifically, were conceived and born.
192
602201
5464
Ni muujiza kwamba yeyote kati yetu hasa, alizaliwa.
10:08
Earth is forgiveness school.
193
608340
1927
Dunia ni shule ya msamaha.
10:10
It begins with forgiving yourself,
194
610291
2110
Inaanza kwa kujisamehe,
10:12
and then you might as well start at the dinner table.
195
612425
3274
na kisha unaweza pia kuanza kusamehe watu mezani.
10:16
That way, you can do this work in comfortable pants.
196
616460
3645
Hivyo unaweza kufanya kazi hio katika hali tulivu.
10:20
(Laughter)
197
620129
2946
(Vicheko)
10:23
When William Blake said that we are here
198
623099
1947
William Blake aliposema kuwa tuko hapa
10:25
to learn to endure the beams of love,
199
625070
2988
kujifunza kuhimili miale ya upendo,
10:28
he knew that your family would be an intimate part of this,
200
628082
3333
alijua kwamba familia yako itakuwa sehemu kubwa ya hili,
10:31
even as you want to run screaming for your cute little life.
201
631439
3694
Hata unapotaka kukimbia, kupiga kelele kwa ajili ya kimaisha chako.
10:35
But I promise you are up to it.
202
635631
2559
Lakini ninakuahidi uko tiyari.
10:38
You can do it, Cinderella, you can do it,
203
638214
3380
Unaweza, Sindereli, unaweza,
10:41
and you will be amazed.
204
641618
2025
Na utashangaa.
10:44
Nine: food.
205
644984
1793
Tisa: chakula.
10:48
Try to do a little better.
206
648007
2538
Jaribu kufanya vizuri zaidi.
10:51
I think you know what I mean.
207
651317
1890
Nadhani unajua ninachmaanisha.
10:53
(Laughter)
208
653231
3645
(Vicheko)
11:02
Number 10 --
209
662979
1151
Namba 10 --
11:04
(Laughter)
210
664154
2224
(Vicheko)
11:06
grace.
211
666402
1185
neema.
11:08
Grace is spiritual WD-40,
212
668248
3107
Neema ni WD-40 ya kiroho,
11:11
or water wings.
213
671379
1480
Au mabawa ya maji.
11:12
The mystery of grace is that God loves Henry Kissinger and Vladimir Putin
214
672883
5967
Fumbo la neema ni kwamba Mungu anapenda Henry Kissinger na Vladimir Putin
11:18
and me
215
678874
1159
na mimi
11:20
exactly as much as He or She loves your new grandchild.
216
680057
4356
sawa kama anavyompenda mjukuu wako mpya.
11:24
Go figure.
217
684808
1217
Embu fikiria.
11:26
(Laughter)
218
686049
1777
(Vicheko)
11:27
The movement of grace is what changes us, heals us
219
687850
3337
Harakati ya neema ndio kinachotubadilisha, hutuponya
11:31
and heals our world.
220
691211
1998
na huponya ulimwengu wetu.
11:33
To summon grace, say, "Help," and then buckle up.
221
693233
3771
Kuita neema, sema, "Nisaidie," na kisha jiandae.
11:37
Grace finds you exactly where you are,
222
697028
2690
Neema hukukuta wewe mahali ulipo,
11:39
but it doesn't leave you where it found you.
223
699742
2525
lakini haikuachi itakapokukuta.
11:42
And grace won't look like Casper the Friendly Ghost,
224
702291
3096
Na neema haitofanana na Casper zimwi rafiki,
11:45
regrettably.
225
705411
1605
kwa bahati mbaya.
11:47
But the phone will ring or the mail will come
226
707040
2383
Lakini simu itapiga au barua itakuja
11:49
and then against all odds,
227
709447
1480
Na kisha dhidi ya vikwazo vyote,
11:50
you'll get your sense of humor about yourself back.
228
710951
2979
utapata ucheshi wako kuhusu mwenyewe tena.
11:54
Laughter really is carbonated holiness.
229
714391
3319
Kicheko kweli ni utakatifu wenye kaboni.
11:58
It helps us breathe again and again
230
718694
2692
Inatusaidia kupumua tena na tena
12:01
and gives us back to ourselves,
231
721410
2133
Na kujipa tena,
12:03
and this gives us faith in life and each other.
232
723567
3737
Na hutupa imani katika maisha na wengine.
12:08
And remember -- grace always bats last.
233
728315
3978
Na kumbuka - daima neema huja mwishoni.
12:13
Eleven: God just means goodness.
234
733472
3109
Eleven: Mungu anamaanisha wema tu.
12:16
It's really not all that scary.
235
736605
2441
Hata haiogopeshi.
12:19
It means the divine or a loving, animating intelligence,
236
739070
4450
Ina maana ya kimungu au upendo, kimaarifa
12:23
or, as we learned from the great "Deteriorata,"
237
743544
3725
au, kama tulivyojifunza kutoka kwa "Deteriorata" mkuu
12:27
"the cosmic muffin."
238
747293
1608
"keki ya kikosmiki."
12:29
A good name for God is: "Not me."
239
749620
2919
Jina jema la Mungu ni: "Sio mimi."
12:33
Emerson said that the happiest person on Earth
240
753647
2746
Emerson alisema mtu mwenye furaha zaidi duniani
12:36
is the one who learns from nature the lessons of worship.
241
756417
4178
ni anayejifunza ibada kutoka kwa mazingira.
12:40
So go outside a lot and look up.
242
760619
3126
Hivyo nenda nje na angalia juu.
12:43
My pastor said you can trap bees on the bottom of mason jars without lids
243
763769
4503
Mchungaji wangu alisema unaweza kutega nyuki ndani ya glasi bila kufunika
12:48
because they don't look up,
244
768296
1713
kwa sababu hawaangalii juu,
12:50
so they just walk around bitterly bumping into the glass walls.
245
770033
4400
hivyo wanatembea tu kwa huzuni na kuingia ndani ya glasi.
12:54
Go outside. Look up.
246
774457
2368
Nenda nje. Tazama juu
12:56
Secret of life.
247
776849
1367
Siri ya maisha.
12:59
And finally: death.
248
779297
1864
Na hatimaye: kifo.
13:02
Number 12.
249
782193
1280
Namba 12.
13:04
Wow and yikes.
250
784466
1777
Wow na yikes.
13:07
It's so hard to bear when the few people you cannot live without die.
251
787195
4225
Ni vigumu kuhimili kifo cha watu wachache tunaowapenda kwa dhati.
13:11
You'll never get over these losses, and no matter what the culture says,
252
791444
3637
Kamwe huwezi kusahau hasara hizi, haijalishi utamaduni unasemaje,
13:15
you're not supposed to.
253
795105
1867
hautakiwi.
13:16
We Christians like to think of death as a major change of address,
254
796996
5143
Sisi wakristo tunapenda kufikiria kifo kama mabadiliko makubwa ya anwani,
13:22
but in any case, the person will live again fully in your heart
255
802163
4586
Lakini katika hali yoyote, mtu huishi tena katika moyo wako
13:26
if you don't seal it off.
256
806773
1992
usipoufunga na sili.
13:28
Like Leonard Cohen said, "There are cracks in everything,
257
808789
2768
Kama Leonard Cohen alisema, "Kuna nyufa katika kila kitu,
13:31
and that's how the light gets in."
258
811581
1853
na ndio jinsi mwanga unavyoingia.
13:33
And that's how we feel our people again fully alive.
259
813458
3578
Na ndivyo tunavyojisikia wapendwa wetu wakiwa hai tena.
13:39
Also, the people will make you laugh out loud
260
819060
4011
Pia, watu watakufanya ucheke kwa nguvu
13:43
at the most inconvenient times,
261
823095
3066
katika mida isio sahihi,
13:46
and that's the great good news.
262
826185
2074
na hiyo ndiyo habari njema.
13:48
But their absence will also be a lifelong nightmare of homesickness for you.
263
828283
4455
Lakini kutokuwepo kwao pia utakuacha na ndoto mbaya na ukimisi nyumbani daima
13:52
Grief and friends, time and tears will heal you to some extent.
264
832762
4681
Huzuni na marafiki, muda na machozi vitakuponya kwa kiasi fulani.
13:57
Tears will bathe and baptize and hydrate and moisturize you
265
837467
4251
Machozi yatakuosha na kukubatiza na kukuhidrati na kukurutubisha
14:01
and the ground on which you walk.
266
841742
2329
na ardhi unayotembelea.
14:04
Do you know the first thing that God says to Moses?
267
844095
3031
Unajua kitu cha kwanza Mungu amwambia Musa?
14:07
He says, "Take off your shoes."
268
847848
2494
Anasema, "Vua viatu vyako."
14:10
Because this is holy ground, all evidence to the contrary.
269
850899
4040
Kwa sababu hii ni ardhi takatifu, ushahidi wote unakanua hili.
14:14
It's hard to believe, but it's the truest thing I know.
270
854963
3065
Ni vigumu kuamini, lakini ni jambo la ukweli kabisa nalojua .
14:18
When you're a little bit older, like my tiny personal self,
271
858052
4142
Unapokuwa mzee kidogo, kama mtoto mie,
14:22
you realize that death is as sacred as birth.
272
862218
3806
unatambua kifo ni takatifu kama kuzaliwa.
14:26
And don't worry -- get on with your life.
273
866605
2994
Na hujali tena - bali uendelea na maisha yako.
14:30
Almost every single death is easy and gentle
274
870225
4495
Karibu kila kifo ni rahisi na polepole
14:34
with the very best people surrounding you
275
874744
3016
pamoja na wapendwa wakikuzunguka
14:37
for as long as you need.
276
877784
1843
kulingana na unavyohitaji.
14:39
You won't be alone.
277
879651
1640
Hautokuwa peke yako.
14:42
They'll help you cross over to whatever awaits us.
278
882506
3668
Watakusaidia kuvuka kwa chochote kinachokusubiri.
14:46
As Ram Dass said,
279
886691
1737
Kama Ram Dass alisema,
14:48
"When all is said and done,
280
888452
1860
"Yote yakishasemwa na kutendwa,
14:50
we're really just all walking each other home."
281
890336
3000
tunatembea tu katika nyumba ya kila mmoja wetu. "
14:54
I think that's it,
282
894844
1588
Nadhani nimemaliza,
14:56
but if I think of anything else,
283
896456
2102
lakini kama nikifikiria kitu kingine chochote,
14:58
I'll let you know.
284
898582
1462
Nitawajulisha.
15:00
Thank you.
285
900068
1203
Ahsante.
15:01
(Applause)
286
901295
1579
(Makofi)
15:02
Thank you.
287
902898
1276
Ahsante.
15:04
(Applause)
288
904198
1808
(Makofi)
15:06
I was very surprised to be asked to come,
289
906030
2154
Nilishangaa sana nilipoulizwa kuja hapa,
15:08
because it is not my realm,
290
908208
2683
Kwa sababu sio eneo langu,
15:10
technology or design or entertainment.
291
910915
2327
Teknolojia au tarakibu au burudani.
15:13
I mean, my realm is sort of faith and writing
292
913266
3181
Yaani eneo langu ni imani na uandishi
15:16
and kind of lurching along together.
293
916471
2950
na huambatana pamoja.
15:19
And I was surprised,
294
919445
1763
Na nilishangaa,
15:21
but they said I could give a talk, and I said I'd love to.
295
921232
4273
Lakini waliniuliza niwasilishe majadiliano, na nilikubali.
15:25
(Video) If you don't know where to start,
296
925529
2052
(Video) Kama hujui utaanzia wapi,
15:27
remember that every single thing that happened to you is yours
297
927605
3125
kukumbuka kwamba unamiliki kila kitu kilichokutokea
15:30
and you get to tell it.
298
930754
1378
na una haki ya kusimulia.
15:32
Anne Lamott: People are very frightened and feel really doomed
299
932156
3105
Anne Lamott: Watu wana hofu sana na kuhisi kweli wamepotea
15:35
in America these days,
300
935285
1188
katika Amerika ya leo,
15:36
and I just wanted to help people get their sense of humor about it
301
936497
3141
na nilitaka tu kuwasaidia watu kuuona ucheshi kuhusu hilo
15:39
and to realize how much isn't a problem.
302
939662
3598
na kutambua ni kiasi gani sio tatizo.
15:43
If you take an action,
303
943284
3226
Ukikuchukua hatua,
15:47
take a really healthy or loving or friendly action,
304
947359
3563
chukua kweli hatua katika upendo, katika kirafiki,
15:50
you'll have loving and friendly feelings.
305
950946
2861
utabaki na hisia za upendo na urafiki.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7