Boniface Mwangi: The day I stood up alone

122,545 views ・ 2015-04-03

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: David Mvoi Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
People back home call me a heckler,
0
13707
2889
Nyumbani, watu huniita mpiga makelele,
00:16
a troublemaker, an irritant,
1
16596
2717
mleta matata, msumbufu,
00:19
a rebel, an activist,
2
19313
2670
muasi, mwanaharakati,
00:21
the voice of the people.
3
21983
1857
kioo cha jamii.
00:23
But that wasn't always me.
4
23840
2170
Lakini sikuwa hivyo.
00:26
Growing up, I had a nickname.
5
26650
1532
Utotoni, nilikuwa na jina la utani.
00:28
They used to call me Softy,
6
28182
2320
Waliniita Softi,
00:30
meaning the soft, harmless boy.
7
30502
3253
yaani kijana mwepesi asiye na mambo mengi.
00:33
Like every other human being, I avoided trouble.
8
33755
2740
Kama binaadamu yeyote, niliepuka balaa,
00:36
In my childhood, they taught me silence.
9
36495
2043
Utotoni, walinifunza kimya.
00:38
Don't argue, do as you're told.
10
38538
1802
Usibishane, fanya unachoambiwa.
00:40
In Sunday school, they taught me don't confront, don't argue,
11
40340
3932
Kwenye shule ya dini, walinifunza nisilete bughudha, nisibishane.
00:44
even if you're right, turn the other cheek.
12
44272
3313
hata kama huna hatia, nyenyekea.
00:47
This was reinforced by the political climate of the time.
13
47585
4597
Hili lilisisitizwa na hali ya siasa.
00:52
(Laughter)
14
52182
3601
(Kicheko)
00:55
Kenya is a country where you are guilty
15
55783
1809
Kenya ni nchi unayochukuliwa kuwa na hatia
00:57
until proven rich.
16
57592
2647
hadi unapojulikana una mali
01:00
(Laughter)
17
60239
2745
(Kicheko)
01:02
Kenya's poor are five times more likely
18
62984
2742
Wakenya maskini wanaweza mara tano zaidi
01:05
to be shot dead by the police who are meant to protect them
19
65726
2924
kupigwa risasi na polisi wanaopaswa kuwalinda
01:08
than by criminals.
20
68650
1648
Kuliko wahalifu.
01:10
This was reinforced by the political climate of the day.
21
70298
2647
Haya yalisisitizwa na hali ya kisiasa nyakati hizo.
01:12
We had a president, Moi, who was a dictator.
22
72945
2949
Tulikuwa na rais, Moi, aliyekuwa kiongozi wa kiimla.
01:15
He ruled the country with an iron fist,
23
75894
2206
Aliitawala nchi kwa mabavu,
01:18
and anyone who dared question his authority
24
78100
2438
na yeyote aliyethubutu kukiuka uongozi wake
01:20
was arrested, tortured, jailed or even killed.
25
80538
4969
alishikwa, akapigwa, akafungwa au kuuawa.
01:25
That meant that people were taught to be smart cowards, stay out of trouble.
26
85507
3924
Hivyo wananchi walikuwa waoga werevu, kujiepusha na matata.
01:29
Being a coward was not an insult.
27
89431
2043
Kuwa mwoga halikuwa tusi.
01:31
Being a coward was a compliment.
28
91474
1927
Kuwa mwoga lilikuwa jambo zuri.
01:33
We used to be told that a coward goes home to his mother.
29
93401
3158
Tuliishi kuelezwa kuwa mtu mwoga hurudi nyumbani kwa mamaye.
01:36
What that meant: that if you stayed out of trouble you're going to stay alive.
30
96559
3761
Ilikuwa na maana hii: ukijiepusha na matata utaishi.
01:40
I used to question this advice,
31
100320
1940
Niliushuku wosia huu,
01:42
and eight years ago we had an election in Kenya,
32
102260
2822
na miaka minane iliyopita tukawa na uchaguzi nchini Kenya,
01:45
and the results were violently disputed.
33
105082
2483
na matokeo yakapingwa vikali.
01:47
What followed that election was terrible violence, rape,
34
107565
4737
Kilichofuata kilikuwa fujo mbaya, ubakaji,
01:52
and the killing of over 1,000 people.
35
112302
3937
na mauaji ya zaidi ya watu elfu moja.
01:56
My work was to document the violence.
36
116239
3121
Kazi yangu ilikuwa kunasa fujo hizo.
01:59
As a photographer, I took thousands of images,
37
119360
2856
Kama mnasa picha, nilinasa maelfu ya picha,
02:02
and after two months,
38
122216
2067
na baada ya miezi miwili,
02:04
the two politicians came together, had a cup of tea,
39
124283
4875
wanasiasa hao walikutana, wakapata chai
02:09
signed a peace agreement, and the country moved on.
40
129158
3437
wakatia sahihi mkataba wa amani na nchi ikasonga mbele.
02:12
I was a very disturbed man because I saw the violence firsthand.
41
132595
3529
Nilitatizika sana kwa sababu nilishuhudia rabsha kinaganaga
02:16
I saw the killings. I saw the displacement.
42
136124
3606
Niliona mauaji. Niliona waliofurushwa kutoka kwa makao yao.
02:19
I met women who had been raped, and it disturbed me,
43
139730
3081
Nilipata wanawake waliobakwa, na lilinitatiza,
02:22
but the country never spoke about it.
44
142811
2044
lakini nchi kaikuyajali hayo.
02:24
We pretended. We all became smart cowards.
45
144855
2484
Tulijidai. Tuligeuka kuwa waoga werevu.
02:27
We decided to stay out of trouble and not talk about it.
46
147339
3599
Tuliamua kujiepusha na rabsha na kutojishughulisha.
02:30
Ten months later, I quit my job. I said I could not stand it anymore.
47
150938
3297
Miezi kumi baadaye, niliacha kazi. Singeweza tena kustahimili hayo.
02:34
After quitting my job, I decided to organize my friends
48
154235
2595
Baada ya kuiacha kazi, niliamua kujiunga na marafiki zangu
02:36
to speak about the violence in the country,
49
156830
2020
kuongea kuhusu ghasia nchini,
02:38
to speak about the state of the nation,
50
158850
1864
kuongeakuhusu hali taifa lilipokuwa,
02:40
and June 1, 2009 was the day that we were meant to go to the stadium
51
160714
4116
na Juni Mosi Elfu mwaka wa Mbili na Tisa ilikuwa siku tuliyopanga kufika uwanjani
02:44
and try and get the president's attention.
52
164830
2059
na kujaribu kupata sikio la rais.
02:46
It's a national holiday,
53
166889
1440
Ilikuwa siku kuu,
02:48
it's broadcast across the country,
54
168329
1649
sherehe yenyewe ilitangazwa kote nchini,
02:49
and I showed up at the stadium.
55
169978
3408
na nilifika uwanjani.
02:53
My friends did not show up.
56
173386
2994
Marafiki zangu hawakutokea.
02:56
I found myself alone,
57
176380
3373
Nilijipata peke yangu,
02:59
and I didn't know what to do.
58
179753
2527
na sikujua la kufanya.
03:02
I was scared,
59
182280
1415
Niliogopa,
03:03
but I knew very well that that particular day,
60
183695
2170
lakini nilifahamu vyema kuwa siku hiyo,
03:05
I had to make a decision.
61
185865
1221
Nilihitaji kufanya uamuzi.
03:07
Was I able to live as a coward, like everyone else,
62
187086
2423
Ningeweza kuishi kama mwoga, kama watu wengine,
03:09
or was I going to make a stand?
63
189509
1598
au ningechukua msimamo thabiti?
03:11
And when the president stood up to speak,
64
191107
2206
Na rais aliposimama kuhutubu,
03:13
I found myself on my feet shouting at the president,
65
193313
4607
Nilijipata nimesimama nimkemea,
03:17
telling him to remember the post-election violence victims,
66
197920
3194
nikimwambia awakumbuke waasiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi,
03:21
to stop the corruption.
67
201114
2276
kumaliza ufisadi.
03:23
And suddenly, out of nowhere,
68
203390
2205
Na punde si punde,
03:25
the police pounced on me like hungry lions.
69
205595
3112
polisi walinirukia kama simba wenye njaa.
03:28
They held my mouth
70
208707
1857
Walinifunga mdomo
03:30
and dragged me out of the stadium,
71
210564
1927
na kuniburuta hadi nje ya uwanja,
03:32
where they thoroughly beat me up and locked me up in jail.
72
212491
2971
ambapo walinitwanga na kunitupa jela.
03:37
I spent that night in a cold cement floor in the jail,
73
217112
6758
Usiku huo nililala kwenye sakafu baridi ndani ya jela,
03:43
and that got me thinking.
74
223870
2648
ndipo nikawaza.
03:46
What was making me feel this way?
75
226518
1871
Ni lipi lililonifanya nihisi hivyo?
03:48
My friends and family thought I was crazy because of what I did,
76
228389
3165
Marafiki zangu na jamaa zangu walifikiri nimekuwa kichaa kwa yale niliyofanya,
03:51
and the images that I took were disturbing my life.
77
231554
5014
na picha nilizonasa zilinisumbua.
03:56
The images that I took were just a number to many Kenyans.
78
236568
2950
Picha nilizonasa zilikuwa nambari tu kwa wakenya wengi.
03:59
Most Kenyans did not see the violence.
79
239518
1947
Wakenya wengi hawakushuhudia ghasia.
04:01
It was a story to them.
80
241465
1695
Kwao ilikuwa hadithi tu.
04:03
And so I decided to actually start a street exhibition
81
243160
2787
Hivyo nikaamua kuanza maonyesho mtaani
04:05
to show the images of the violence across the country
82
245947
2786
kuonyesha picha za ghasia hizo nchini kote
04:08
and get people talking about it.
83
248733
1974
na kuwapa watu fursa ya kujadiliana kuhusu ghasia hizo.
04:10
We traveled the country and showed the images,
84
250707
2809
Tulizuru sehemu mbali mbali nchini na kuonyesha picha hizo,
04:13
and this was a journey that has started me to the activist path,
85
253516
3483
na hio ilikuwa safari iliyoniweka katika mkondo wa uwanaharakati,
04:16
where I decided to become silent no more,
86
256999
2717
nilipoamua kutonyamaza tena kamwe,
04:19
to talk about those things.
87
259716
2198
Kuongea wazi kuhusu mambo yale.
04:21
We traveled, and our general site from our street exhibit
88
261914
3650
Tulitembea na ugunduzi uliotokana na kuonyesha picha mitaani
04:25
became for political graffiti about the situation in the country,
89
265564
4798
ukachangia unanzilishi wa picha za kisiasa kuhusu hali iliyokumba nchi yetu,
04:30
talking about corruption, bad leadership.
90
270362
2758
kuongea kuhusu ufisadi, uongozi mbovu.
04:33
We have even done symbolic burials.
91
273120
3780
Hata tumefanya mazishi-ashiria.
04:36
We have delivered live pigs to Kenya's parliament
92
276900
3982
Tumefikisha nguruwe kwenye bunge la Kenya
04:40
as a symbol of our politicians' greed.
93
280882
1928
kuashiria tamaa ya wanasiasa
04:42
It has been done in Uganda and other countries,
94
282810
2231
Hili limeigizwa nchini Uganda na nchi zingine,
04:45
and what is most powerful is that the images have been picked by the media
95
285041
3509
na jambo kuu ni kwamba picha hizo zimechukuliwa na vyombo vya habari
04:48
and amplified across the country, across the continent.
96
288550
3036
na kusambazwa kote nchini, kote Africa.
04:51
Where I used to stand up alone seven years ago,
97
291586
2647
Ingawa nilisimama peke yangu miaka saba iliyopita,
04:54
now I belong to a community of many people who stand up with me.
98
294233
3026
sasa nimekuwa mmoja katika jamii ya watu wanaosimama pamoja nami.
04:57
I am no longer alone when I stand up to speak about these things.
99
297259
4328
Simo peke yangu tena ninaposimama kuongea kuhusu mambo haya.
05:02
I belong to a group of young people who are passionate about the country,
100
302177
4173
Mie ni mmoja kati ya kikundi cha vijana wanaopenda sana nchi yao,
05:06
who want to bring about change,
101
306350
1850
wanaopania kuleta mabadiliko,
05:08
and they're no longer afraid, and they're no longer smart cowards.
102
308200
4414
na hawaogopi tena, na si waoga werevu.
05:13
So that was my story.
103
313744
2728
Hio ndio hadithi yangu.
05:18
That day in the stadium,
104
318242
2598
Siku ile uwanjani,
05:20
I stood up as a smart coward.
105
320840
2487
Nilisimama kama mwoga mwerevu.
05:23
By that one action, I said goodbye to the 24 years living as a coward.
106
323327
5247
Kwa kitendo hicho kimoja, niliipungia mkono wa buriani miaka ishirini na nne ya kuishi kama mwoga.
05:28
There are two most powerful days in your life:
107
328574
3042
Kuna siku mbili kuu zaidi maishani mwako:
05:31
the day you're born, and the day you discover why.
108
331616
4546
ile siku uliyozaliwa, na ile utakapogundua kwa nini.
05:36
That day standing up in that stadium shouting at the President,
109
336771
3244
Siku ile niliposimama uwanjani nikikemea Rais,
05:40
I discovered why I was truly born,
110
340015
3280
Niligundua kwa kweli kwa nini nilizaliwa,
05:43
that I would no longer be silent in the face of injustice.
111
343295
3251
kwamba sitakimya tena nionapo unyanyasaji.
05:47
Do you know why you were born?
112
347776
2804
Je, wajua nia yako ya kuzaliwa?
05:51
Thank you.
113
351700
1835
Asanteni.
05:53
(Applause)
114
353535
4919
(Makofi)
06:00
Tom Rielly: It's an amazing story.
115
360524
2507
Tom Rielly: Hadithi nzuri sana hii.
06:03
I just want to ask you a couple quick questions.
116
363031
2556
Nataka tu kukuuliza maswali machache.
06:05
So PAWA254:
117
365587
2320
Hii PAWA254:
06:07
you've created a studio, a place where young people can go
118
367907
4313
umeunda studio, mahali vijana wanaweza kwenda
06:12
and harness the power of digital media
119
372220
1956
na kudhihirisha umuhimu wa vyombo vya utandawazi
06:14
to do some of this action.
120
374176
2511
kufanya mambo haya.
06:16
What's happening now with PAWA?
121
376687
1877
Ni yepi yanayoendelea na PAWA?
06:18
Boniface Mwangi: So we have this community of filmmakers,
122
378564
2783
Boniface Mwangi: Tuna hii jamii ya watengeneza filamu,
06:21
graffiti artists, musicians, and when there's an issue in the country,
123
381347
3363
wasanii, wanamuziki, na wakati kuna tukio nchini,
06:24
we come together, we brainstorm, and take up on that issue.
124
384710
2801
tunajiunga pamoja, tunajadiliana, na kulichukulia maanani tukio hilo.
06:27
So our most powerful tool is art,
125
387511
2056
Chombo muhimu zaidi kwetu ni sanaa,
06:29
because we live in a very busy world where people are so busy in their life,
126
389567
3831
kwa sababu tunaishi nyakati mabazo watu wanashughulika na mambo mengi maishani,
06:33
and they don't have time to read.
127
393398
2067
na hawana ule wakati wa kusoma.
06:35
So we package our activism and we package our message in art.
128
395465
4133
Hivyo tunaeleza uwanaharakati na ujumbe wetu tukitumia sanaa.
06:39
So from the music, the graffiti, the art, that's what we do.
129
399598
4979
Tukitumia muziki, usanii, sanaa, hayo ndiyo tufanyayo.
06:45
Can I say one more thing?
130
405557
2028
Naweza kusema jambo la ziada?
06:47
TR: Yeah, of course. (Applause)
131
407585
1881
TR: Kwa kweli. (Makofi)
06:49
BM: In spite of being arrested, beaten up, threatened,
132
409466
2635
BM: Licha ya kutiwa mbaroni, kupigwa, kutishwa,
06:52
the moment I discovered my voice,
133
412101
1713
nilipogundua sauti yangu,
06:53
that I could actually stand up for what I really believed in,
134
413814
2896
kuwa ningeweza kuchukua msimamo kwa lile nililoamini,
06:56
I'm no longer afraid.
135
416710
1038
sina uoga tena.
06:57
I used to be called softy, but I'm no longer softy,
136
417748
2742
Waliniita softi, lakini mie si softi tena,
07:00
because I discovered who I really am, as in, that's what I want to do,
137
420490
3401
kwa sababu niligundua mimi ni nani, yaani, kazi hio tu ndio nataka kufanya,
07:03
and there's such beauty in doing that.
138
423891
3036
na ni raha ilioje kufanya kazi hio.
07:06
There's nothing as powerful as that, knowing that I'm meant to do this,
139
426927
3389
Hakuna jambo kuu kama kufahamu unapaswa kufanya jambo fulani,
07:10
because you don't get scared, you just continue living your life.
140
430316
3147
kwa sababu hautakuwa na woga, unaendelea tu kuishi maisha kivyako.
07:13
Thank you.
141
433463
2186
Asanteni.
07:15
(Applause)
142
435649
3590
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7