Chinaka Hodge: What will you tell your daughters about 2016? | TED

98,465 views ・ 2016-12-22

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Joseph Geni Reviewer: Joanna Pietrulewicz
0
0
7000
Translator: Nelson Lutta Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Tell your daughters of this year,
1
12984
2272
Ambieni ma binti wenu kuhusu mwaka huu
00:15
how we woke needing coffee
2
15280
2096
jinsi tulivyo amka tukihitaji kahawa
00:17
but discovered instead cadavers strewn about our morning papers,
3
17400
3816
ila tukapata pindi imemwagwa, kati ya magazeti ya asubuhi
00:21
waterlogged facsimiles of our sisters, spouses, small children.
4
21240
4800
faksi za dada, mke/mume, watoto wadogo zilizojaa maji
00:26
Say to your baby of this year when she asks, as she certainly should,
5
26600
3616
Mwambie mwana wako kuhusu huu mwaka atakapo kuuliza, anavyofaa kukuuliza,
00:30
tell her it was too late coming.
6
30240
1576
mwambie ili kuwa imechelewa kuja
00:31
Admit even in the year we leased freedom, we didn't own it outright.
7
31840
4456
Kubali kuwahata ule mwaka tulikodisha uhuru,hatuku umiliki moja kwa moja
00:36
There were still laws for every way we used our privates
8
36320
2816
Bado kulikuwa na sheria jinsi tunavyotumia sehemu zetu za siri.
ilhali wakivuruga upole wetu
00:39
while they pawed at the soft folds of us,
9
39160
2496
00:41
grabbed with no concern for consent,
10
41680
2735
wakatunyakua bila kujali ridhaa
00:44
no laws made for the men that enforced them.
11
44439
2617
Hamna sheria ziliundiwa wanaume walioitekeleza
Tulifunzwa ku hepa,
00:47
We were trained to dodge,
12
47080
2416
00:49
to wait, to cower and cover,
13
49520
2616
kungoja, kuhofia, na kujifunika
kungoja zaidi, na bado kungoja.
00:52
to wait more, still, wait.
14
52160
2896
Tuliambiwa tuwe kimya
00:55
We were told to be silent.
15
55080
1880
00:57
But speak to your girls of this wartime,
16
57440
2256
Ila ambia ma binti wako kuhusu muda huu wa vita
00:59
a year preceded by a score of the same,
17
59720
2576
mwaka uliotanguliwa na matokeo sawa,
01:02
so as in two decades before,
18
62320
2256
kama miongo miwili iliyopita
01:04
we wiped our eyes,
19
64600
1536
tuliyapangusa macho yetu
ma jeneza yakafunikwa na bendera
01:06
laced caskets with flags,
20
66160
1896
kuondoa eneo la uhalifu wa Klabu,
01:08
evacuated the crime scene of the club,
21
68080
2176
01:10
caterwauled in the street,
22
70280
1296
kwaruza kuomboleza mitaani,
01:11
laid our bodies on the concrete against the outlines of our fallen,
23
71600
3296
tukailaza mili yetu kwenye sakafu ya saruji tukiegemea walioanguka,
01:14
cried, "Of course we mattered,"
24
74920
1935
tukalia, "Bila shaka tuna umuhimu,"
01:16
chanted for our disappeared.
25
76879
1377
tukawaimbia waliopotea.
01:18
The women wept this year.
26
78280
1600
Wanawake walilia huu mwaka.
01:20
They did.
27
80440
1216
Walilia.
01:21
In the same year, we were ready.
28
81680
2456
Mwaka huo huo, tulikuwa tayari.
Mwaka tuliopoteza uoga na kusonga kwa ujasiri
01:24
The year we lost our inhibition and moved with courageous abandon
29
84160
3096
01:27
was also the year we stared down barrels,
30
87280
2496
huu pia ndio mwaka tulioyangalia chini mapipa
01:29
sang of cranes in skies, ducked and parried,
31
89800
2336
tukaimba korongo angani, tuka hepa na kupangua,
kashika dhahabu kwa hijab, tukapokea vitisho vya kifo,
01:32
caught gold in hijab, collected death threats,
32
92160
2456
01:34
knew ourselves as patriots,
33
94640
1336
tulijifahamu kama wazalendo,
kasema, "tuko 35 sasa, mda wa kutulia na kumtafuta mgombea mwenza,"
01:36
said, "We're 35 now, time we settled down and found a running mate,"
34
96000
3216
01:39
made road maps for infant joy, shamed nothing but fear,
35
99240
3136
tukakuza ramani ya furaha mpya ya kitoto, kutokua na aibu ila ya hofu,
01:42
called ourselves fat and meant, of course,
36
102400
2256
tukajiita wanene na kumaanisha, bila shaka,
01:44
impeccable.
37
104680
1216
safi kabisa
01:45
This year, we were women,
38
105920
1936
Mwaka huu, tulikuwa wanawake,
01:47
not brides or trinkets,
39
107880
1776
sio bibi harusi au kishaufu,
01:49
not an off-brand gender,
40
109680
1496
sio jinsia duni,
01:51
not a concession, but women.
41
111200
2136
sio mawaidha, ila wanawake.
01:53
Instruct your babies.
42
113360
1296
Wafunze watoto wako.
01:54
Remind them that the year has passed to be docile or small.
43
114680
3376
Wakumbushe kua mwaka wa kuwa watulivu au wadogo umepita.
Wale kati yetu waliosema ni wanawake kwa mara ya kwanza,
01:58
Some of us said for the first time that we were women,
44
118080
2616
02:00
took this oath of solidarity seriously.
45
120720
2376
kachukua kiapo hiki cha umoja kwa umahiri
Kuna wale walizaa watoto na wale hawakuzaa,
02:03
Some of us bore children and some of us did not,
46
123120
2256
02:05
and none of us questioned whether that made us real
47
125400
2416
na hamna miongoni mwetu aliuliza ilitufanyawakweli
02:07
or appropriate or true.
48
127840
1776
au sahihi au kweli.
02:09
When she asks you of this year,
49
129640
2136
Anapokuuliza juu ya mwaka huu,
02:11
your daughter, whether your offspring or heir to your triumph,
50
131800
2905
binti wako, iwapo mwanawe au mrithi wa ushindi wako,
02:14
from her comforted side of history teetering towards woman,
51
134729
3007
toka pande ya faraja yake historia, kiyumba kuelekea wanawake,
02:17
she will wonder and ask voraciously,
52
137760
2296
atashangaa na kuuliza kwa lafua,
licha yake kutoweza kuelewa kafara yako,
02:20
though she cannot fathom your sacrifice,
53
140080
1935
ataiweka ukadiri wako takatifu,
02:22
she will hold your estimation of it holy,
54
142039
2777
02:24
curiously probing, "Where were you?
55
144840
2496
jambo la ajabu atadadisi,"Ulikuwa wapi?
02:27
Did you fight? Were you fearful or fearsome?
56
147360
3016
Ulipigana? Ulikuwa na hofu au ulihofisha?
02:30
What colored the walls of your regret?
57
150400
1856
Nini ilikupa majuto?
02:32
What did you do for women in the year it was time?
58
152280
2656
Ulifanyia nini wanawake katika mwaka uliowasili
02:34
This path you made for me, which bones had to break?
59
154960
2896
Njia hii ulio nitengezea, mifupa ipi ilibidii ivunjwe?
02:37
Did you do enough, and are you OK, momma?
60
157880
2256
Ulifanya ya kutosha, na je uko sawa, mama?
Na je wewe ni shujaa?
02:40
And are you a hero?"
61
160160
1216
02:41
She will ask the difficult questions.
62
161400
2416
Atauliza yale maswali magumu.
02:43
She will not care about the arc of your brow,
63
163840
2176
Hatajali juu ya mikunjo ya uso wako,
uzito wa ufumbata wako.
02:46
the weight of your clutch.
64
166040
1256
02:47
She will not ask of your mentions.
65
167320
1656
Hatakuuliza kuhusu kutajwa kwako.
Binti wako, uliyembebea mengi, anataka kujua
02:49
Your daughter, for whom you have already carried so much, wants to know
66
169000
3376
02:52
what you brought, what gift, what light did you keep from extinction?
67
172400
3496
ulimletea nini, zawadi ipi, ulizuia nuru ipi kutokomea
02:55
When they came for victims in the night,
68
175920
1936
Walipowakujia waathirika usiku,
02:57
did you sleep through it or were you roused?
69
177880
2096
ulilala au uliamshwa?
Bei ya kuwa macho ilikuwa nini?
03:00
What was the cost of staying woke?
70
180000
1656
03:01
What, in the year we said time's up, what did you do with your privilege?
71
181680
3466
Nini, kwa mwaka tuisema saa imefika, ulifanyia nini upendeleo wako?
Uliyanywa umaskini wa wengine?
03:05
Did you sup on others' squalor?
72
185170
1526
03:06
Did you look away or directly into the flame?
73
186720
2136
Uliangalia kando au uliuangalia moto?
03:08
Did you know your skill or treat it like a liability?
74
188880
2536
Uliujua ujuzi wako au uliutunza kama dhima?
03:11
Were you fooled by the epithets of "nasty" or "less than"?
75
191440
3336
Je ulidanganywa na matusi ya "gonjwa" au "ndogo kuliko"?
03:14
Did you teach with an open heart or a clenched fist?
76
194800
2496
Je ulifunza na moyo mkunjufu au ngumu iliyokazwa?
03:17
Where were you?
77
197320
1216
Ulikuwa wapi?
03:18
Tell her the truth. Make it your life.
78
198560
1856
Mwambie ukweli. Ifanye iwe maisha yako.
03:20
Confirm it. Say, "Daughter, I stood there
79
200440
1976
Ithibitishe. Sema,"Binti, nilisimama pale
03:22
with the moment drawn on my face like a dagger,
80
202440
2216
kwa muda, uliochorwa kwa uso wangu kama sime
03:24
and flung it back at itself,
81
204680
1336
na kuirusha ilipotoka
kukata nafasi kwa'jili yako."
03:26
slicing space for you."
82
206040
1416
03:27
Tell her the truth, how you lived in spite of crooked odds.
83
207480
2816
Mwambie ukweli, vile ulivyoishi licha ya tabia mbaya
03:30
Tell her you were brave,
84
210320
1256
Mwambie ulikuwa jasiri
03:31
and always, always in the company of courage,
85
211600
2336
na daima, daima ukaungana na ujasiri,
03:33
mostly the days when you just had yourself.
86
213960
2296
sana sana zile siku, ulikuwa wewe mwenyewe,
03:36
Tell her she was born as you were,
87
216280
1976
Mwambie alizaliwa jinsi wewe ulivyo,
03:38
as your mothers before, and the sisters beside them,
88
218280
2616
kama kina mama wako mbeleni, na kina dada kando yao,
03:40
in the age of legends, like always.
89
220920
2096
Katika muda wa wazalendo, kama kawaida.
Mwambie alizaliwa kwa muda uliyofaa,
03:43
Tell her she was born just in time,
90
223040
2696
03:45
just in time
91
225760
1280
kwa muda uliyofaa
03:47
to lead.
92
227520
1216
kuongoza.
03:48
(Applause)
93
228760
7336
(Vigelegele)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7