What's missing in the global debate over refugees | Yasin Kakande

44,774 views ・ 2018-05-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Nelson Simfukwe
00:17
I am an immigrant from Uganda living in the United States
0
17154
3905
Mimi ni mhamiaji kutoka Uganda Naishi Marekani
00:21
while waiting for my asylum application
1
21083
2661
nikisubiri ombi langu la hifadhi
00:23
to go through.
2
23768
1186
kupita.
00:25
Migrants do not enjoy much freedom of movement
3
25723
3268
Wahamiaji hawafaidi sana Uhuru wa kutembea
00:29
in our world today.
4
29015
1424
Katika dunia yetu leo.
00:30
This certainly applies to those who are desperate enough
5
30802
3171
Hii hasa huwahusu wale walio tayari kwa lolote
00:33
to navigate choppy and stormy seas in boats.
6
33997
3018
hata kusafiri kwenye bahari yenye mawimbi na dhoruba kwa mashua.
00:37
These are the risks my cousins from West Africa and North Africa face
7
37352
4772
Hizi ndizo hatari ambazo ndugu zangu wa Afrika Magharibi na Kaskazini huzipata
00:42
while trying to cross over to Europe.
8
42148
2302
wanapojaribu kuvuka kwenda Ulaya.
00:44
Indeed, it is a rare but fortunate opportunity
9
44474
3827
Kweli, ni nadra lakini ni fursa ya bahati
00:48
for a migrant to address a gathering like this.
10
48325
3157
kwa mhamiaji kuhutubia kusanyiko kama hili.
00:52
But this also signifies what often is missing
11
52259
3147
Lakini hii pia inaonesha kitu gani hukosekana mara nyingi
00:55
in the global debate over refugees,
12
55430
2674
katika mdahalo wa kidunia juu ya wakimbizi,
00:58
migrants and immigrants,
13
58128
2358
wahamaji na wahamiaji,
01:00
voices of the disenfranchised.
14
60510
2969
sauti za wasio na haki ya uraia.
01:03
Citizens of many host countries,
15
63503
1963
Wananchi wa nchi nyingi wenyeji,
01:05
even those that previously welcomed newcomers,
16
65490
2915
hata zile ambazo mwanzoni zilikaribisha wageni,
01:08
are uneasy about the rising numbers of individuals
17
68429
3282
wana wasiwasi juu ya ongezeko la namba ya watu
01:11
coming into their countries.
18
71735
2218
wanaokuja kwenye nchi zao.
01:13
The immediate criticism is that the newcomers upend the stability
19
73977
3995
Kasoro ya kwanza ni kuwa wageni wataangusha uthabiti
01:17
of social welfare and employment in their countries.
20
77996
3157
wa huduma za kijamii na ajira katika nchi zao.
01:21
Uncertain and skeptical citizens look towards politicians
21
81177
3718
Wanachi wenye mashaka na shuku huwaelekea wanasiasa
01:24
who are competing against each other to see who can claim the prize
22
84919
4788
wanaoshindana wao kwa wao kuona nani anaweza kushinda
01:29
of the loudest voice of populism and nationalism.
23
89731
3711
sauti kubwa kabisa ya uwingi na utaifa.
01:33
It is a contest of who is the toughest on migrants,
24
93917
4413
Ni ushindani juu ya nani ni mkali zaidi juu ya wahamaji,
01:38
the most willing to impose travel bans
25
98354
2231
aliye tayari zaidi kuamuru mazuio ya kusafiri
01:40
and the most eager to propose projects in building walls.
26
100609
3788
na mwenye hamu kubwa ya kupendekeza miradi ya kujenga kuta.
01:44
All these restrictions simply address symptoms of the problem,
27
104782
3661
Vikwazo vyote hivi vinatatua viashiria vya tatizo
01:48
not the causes.
28
108467
1421
sio visababishi.
01:49
Why are they coming?
29
109912
1581
Kwa nini wanakuja?
01:52
Migrants can share perspectives,
30
112221
1705
Wahamaji waweza kutoa mitazamo yao,
01:53
if only politicians would be willing to listen.
31
113950
3230
ikiwa tu wanasiasa watakuwa tayari kusikiliza.
01:57
In Dubai, I chronicled injustices and inequalities inflicted regularly
32
117590
4168
Nikiwa Dubai, nimeandika ukiukwaji wa haki na usawa unaofanywa mara nyingi
02:01
on the migrant labor force.
33
121782
1884
kwa wafanyakazi wahamiaji.
02:03
As a result, pressures from the governments
34
123690
3067
Matokeo yake, mashinikizo toka serikali
02:06
of the respective countries
35
126781
1463
za nchi husika
02:08
led to me being forced out of my career as a journalist in the Middle East.
36
128268
4670
zimepelekea mimi kuacha kazi yangu ya uandishi habari katika Mashariki ya Kati.
02:13
I was deported to Uganda,
37
133747
1503
Nilirudishwa Uganda,
02:15
where economic deprivation puts everyone at the risk of starvation.
38
135274
4657
ambapo uchumi uliokengeuka humweka kila mtu katika hatari ya kukosa chakula.
02:19
I fled Uganda to come to the United States
39
139955
2667
Nilikimbia Uganda kuja Marekani
02:22
in the hope of sustaining a voice for my brothers and sisters
40
142646
4110
Katika tumaini la kudumisha sauti ya kaka na dada zangu
02:26
who experience a more serious plight as migrants.
41
146780
3373
ambao wanapata majanga makubwa zaidi kama wahamiaji
02:30
My father told me he was not happy about me writing a book
42
150707
3658
Baba yangu aliniambia hakuwa na furaha kwa mimi kuandika kitabu
02:34
that risked deportation and unemployment.
43
154389
3728
kilichohatarisha kurudishwa nyumbani na kukosa kazi
02:38
He had been diabetic for many years when I still worked in Dubai,
44
158141
3474
Alikuwa na kisukari kwa miaka mingi nilipokuwa bado nikifanya kazi Dubai,
02:41
and my salary was always sufficient to pay for his treatments.
45
161639
3579
na mshahara wangu ulitosha wakati wote kulipia matibabu yake.
02:45
After I was expelled,
46
165854
1770
Baada ya mimi kufukuzwa,
02:47
I could not afford to sustain his treatment,
47
167648
2868
Sikuweza kugharamia matibabu yake,
02:50
and even in the last days of his life,
48
170540
2744
na hata katika siku zake za mwisho,
02:53
I could not afford to take him to a hospital.
49
173308
2485
sikuweza kumpeleka hospitali.
02:56
As I carried his body in my hands to lay it in the ground
50
176911
3772
Nilipobeba mwili wake mikononi mwangu kumlaza ardhini
03:00
in June of last year,
51
180707
1637
Mwezi juni mwaka jana,
03:02
I realized I had paid a profound price
52
182368
3434
Nilitambua nimelipa bei kubwa sana
03:05
for amplifying my voice.
53
185826
1800
kwa ajili ya kukuza sauti yangu.
03:09
The act of speaking up against injustices that are multilayered is never easy,
54
189482
6151
Kitendo cha kuongelea juu ya udhalimu ulio na matabaka mengi si rahisi,
03:16
because the problems require more than just rhetoric.
55
196257
3884
sababu matatizo haya huhitaji zaidi ya elimu ya usemaji.
03:20
So long as gold mines, oilfields and large farms in Africa continue to be owned
56
200165
6657
Iwapo migodi ya dhahabu, visima vya mafuta na mashamba makubwa Afrika yataendelea
03:26
by foreign investors
57
206846
1748
kumilikiwa na wawekezaji wa kigeni
03:28
and those vital resources are shipped to the West,
58
208618
3546
na zile rasilimali muhimu zikisafirishwa magharibi,
03:32
the stream of African migrants will flow continuously.
59
212188
4722
mkodo wa wahamaji wa Kiafrika utaendelea bila kukata.
03:37
There are no restrictions that could ever be so rigorous
60
217423
4629
Hakuna mazuio ambayo yangeweza kuwa madhubuti sana
03:42
to stop the wave of migration that has determined our human history.
61
222076
5509
kuzuia wimbi la uhamaji ambalo limeamua historia yetu ya binadamu.
03:47
Before border controls can be tightened
62
227609
2865
Kabla ulinzi wa mipaka haujaimarishwa
03:50
and new visa restrictions imposed,
63
230498
2964
na masharti mapya ya viza kuwekwa,
03:53
countries that have long received migrants
64
233486
2545
nchi ambazo zimekuwa zikipokea wahamiaji
03:56
should engage in a more open discussion.
65
236055
3318
zinatakiwa kujishughulisha na majadiliano ya wazi zaidi.
03:59
That is the only practical start for reconciling, finally,
66
239397
4876
Huo ndio mwanzo pekee wa kitendaji wa kupatanisha, hatimaye,
04:05
a legacy of exploitation,
67
245217
2346
hiba ya unyonyaji,
04:08
slavery,
68
248713
1516
utumwa,
04:10
colonialism
69
250253
1400
ukoloni
04:11
and imperialism,
70
251677
1780
na ubeberu,
04:13
so that together, we can move forward in creating a more just global economy
71
253481
5612
ili sote kwa pamoja, tuweze kwenda mbele kujenga uchumi wa dunia wa usawa zaidi
04:19
in the 21st century --
72
259752
1787
katika karne ya 21 --
04:22
one that benefits all.
73
262087
2833
ambao unanufaisha wote.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7