A summer school kids actually want to attend | Karim Abouelnaga

88,099 views ・ 2017-05-29

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
Getting a college education
0
13100
2021
Kupata elimu ya chuo
00:15
is a 20-year investment.
1
15145
2155
ni uwekezaji wa miaka 20
00:18
When you're growing up poor,
2
18220
1655
Unapokulia katika umaskini,
00:19
you're not accustomed to thinking that far ahead.
3
19900
2936
unakuwa hujazoea kufikiria mbele kiasi hicho
00:22
Instead, you're thinking about where you're going to get your next meal
4
22860
3336
Badala yake, unafikiria wapi utapata mlo unaofuata
00:26
and how your family is going to pay rent that month.
5
26220
2856
na namna gani familia yako italipa kodi ya pango kwa mwezi huo
00:29
Besides, my parents and my friends' parents
6
29100
3136
Mbali na hilo, wazazi wangu na wazazi wa rafiki zangu
00:32
seemed to be doing just fine driving taxis and working as janitors.
7
32260
3640
walionekana kuwa vizuri tu wakiendesha teksi na kufanya kazi za usafi na uhudumu.
00:36
It wasn't until I was a teenager
8
36740
1896
Ni mpaka nilipokuwa kijana
00:38
when I realized I didn't want to do those things.
9
38660
2480
nilipogundua sikutaka kufanya kazi zile.
00:41
By then, I was two-thirds of the way through my education,
10
41940
3616
Wakati huo, nilikuwa theluthi mbili ya muda wa kumaliza elimu yangu
00:45
and it was almost too late to turn things around.
11
45580
2320
na ilikuwa bado kidogo tu ningechelewa kufanya mabadiliko.
00:49
When you grow up poor, you want to be rich.
12
49500
2320
Unapokulia umaskini, unataka kuwa tajiri.
00:52
I was no different.
13
52620
1200
Sikuwa tofauti
00:54
I'm the second-oldest of seven,
14
54420
1736
Mi ni wa pili kuzaliwa kati ya saba,
00:56
and was raised by a single mother on government aid
15
56180
2416
na nililelewa na mama pekee kwa msaada wa serikali
00:58
in Queens, New York.
16
58620
1200
mjini Queens, New York.
01:00
By virtue of growing up low-income,
17
60540
1936
Kwa sababu ya kukulia kwenye kipato cha chini,
01:02
my siblings and I went to some of New York City's
18
62500
2336
mimi na ndugu zangu tulikwenda
kwenye baadhi ya shule za umma zilizo duni sana katika Jiji la New York
01:04
most struggling public schools.
19
64860
1520
01:07
I had over 60 absences when I was in seventh grade,
20
67020
3200
Nilikosa shule zaidi ya mara 60 nilipokuwa darasa la 7
01:11
because I didn't feel like going to class.
21
71100
2000
kwa sababu sikujisikia kwenda darasani.
01:13
My high school had a 55 percent graduation rate,
22
73700
3056
Katika shule yangu ya sekondari, kwa wastani ni 55% walihitimu
01:16
and even worse,
23
76779
1297
na kibaya zaidi,
01:18
only 20 percent of the kids graduating
24
78100
2296
ni 20% tu ya waliohitimu
01:20
were college-ready.
25
80420
1200
walikuwa tayari kwa chuo.
01:22
When I actually did make it to college,
26
82780
2136
Nilipoingia chuo,
01:24
I told my friend Brennan
27
84940
1416
nilimwambia rafiki yangu Brennan
01:26
how our teachers would always ask us to raise our hands
28
86380
3696
jinsi gani walimu wetu walituambia tunyooshe mikono juu
01:30
if we were going to college.
29
90100
2000
kama tulitaka kwenda chuo.
01:33
I was taken aback when Brennan said,
30
93220
1736
Nilishtushwa pale Brennan aliposema,
01:34
"Karim, I've never been asked that question before."
31
94980
2680
"Karim, sijawahi kuulizwa swali hilo kabla."
01:38
It was always, "What college are you going to?"
32
98540
2976
Daima lilikuwa, "Ni chuo gani unakwenda?"
01:41
Just the way that question is phrased
33
101540
1936
Namna tu swali lilivyoulizwa
01:43
made it unacceptable for him not to have gone to college.
34
103500
2760
ilifanya kuwa jambo lisiliokubalika kwa yeye kutokwenda chuo.
01:47
Nowadays I get asked a different question.
35
107780
2040
Sikuhizi naulizwa swali tofauti.
01:50
"How were you able to make it out?"
36
110500
2280
"Uliwezaje kufanikiwa kutoka?"
01:53
For years I said I was lucky,
37
113580
2360
Kwa miaka nilisema nilikuwa na bahati,
01:57
but it's not just luck.
38
117140
1200
Lakini haikuwa bahati tu.
01:59
When my older brother and I graduated from high school
39
119100
2576
Mimi na kaka yangu mkubwa tulipomaliza sekondari
02:01
at the very same time
40
121700
1256
katika wakati mmoja
02:02
and he later dropped out of a two-year college,
41
122980
2216
na baadaye akaacha chuo chuo cha miaka miwili
02:05
I wanted to understand why he dropped out
42
125220
2456
Nilitaka kujua kwanini aliacha
02:07
and I kept studying.
43
127700
1200
na niliendelea kusoma
02:10
It wasn't until I got to Cornell as a Presidential Research Scholar
44
130060
3376
Ni mpaka nilipofika Cornell kama Mwafunzi wa Utafiti wa Kirais
02:13
that I started to learn about the very real educational consequences
45
133460
3736
ndipo nilipoanza kujifunza juu ya matokeo halisi ya kielimu
02:17
of being raised by a single mother on government aid
46
137220
2775
yatokanayo na malezi ya mama pekee kwa msaada wa serikali
02:20
and attending the schools that I did.
47
140019
1801
na kusoma shule nilizosoma.
02:22
That's when my older brother's trajectory began to make complete sense to me.
48
142739
3841
Pale ndipo njia ya kaka yangu mkubwa ilipoanza kuleta maana kamili kwangu.
02:28
I also learned that our most admirable education reformers,
49
148100
3376
Nilijifunza pia kuwa wanamaboresho elimu wetu maarufu
02:31
people like Arne Duncan, the former US Secretary of Education,
50
151500
3656
watu kama Arne Duncan, Waziri wa zamani wa Elimu Marekani
02:35
or Wendy Kopp, the founder of Teach For America,
51
155180
2696
au Wendy Kopp, mwanzilishi wa Teach For America,
02:37
had never attended an inner city public school like I had.
52
157900
2800
hawajawahi kusoma kwenye shule za umma za ndani ndani ya jiji kama mimi.
02:41
So much of our education reform is driven by a sympathetic approach,
53
161340
3816
Kwa hiyo maboresho mengi ya elimu yanaendeshwa na mtazamo wa kihuruma
02:45
where people are saying,
54
165180
1256
ambapo watu wanasema
02:46
"Let's go and help these poor inner city kids,
55
166460
3016
"Twende tukasaidie hawa watoto maskini wa ndani ndani ya jiji
02:49
or these poor black and Latino kids,"
56
169500
2000
au hawa watoto maskini weusi na wakilatino
02:52
instead of an empathetic approach,
57
172140
2376
badala ya mtazamo wa uelewa,
02:54
where someone like me, who had grown up in this environment, could say,
58
174540
3416
ambapo mtu ka' mimi, aliyekulia katika mazingira haya, ningeweza kusema,
02:57
"I know the adversities that you're facing
59
177980
2216
"Najua taabu mnazokumbana nazo
03:00
and I want to help you overcome them."
60
180220
1840
na ninataka kuwasaidia kuzishinda."
03:03
Today when I get questions about how I made it out,
61
183380
2696
Leo nipatapo maswali kuhusu jinsi nilivyofanikiwa kutoka,
03:06
I share that one of the biggest reasons
62
186100
2496
Natoa sababu moja wapo kubwa
03:08
is that I wasn't ashamed to ask for help.
63
188620
2080
kuwa sikuwa na aibu kuomba msaada.
03:11
In a typical middle class or affluent household,
64
191660
2616
Katika tabaka la hali ya kati au kaya tajiri,
03:14
if a kid is struggling,
65
194300
1776
kama mwanafunzi atakuwa na shida
03:16
there's a good chance that a parent or a teacher will come to their rescue
66
196100
3936
kuna uwezekano mkubwa kuwa mzazi au mwalimu atakuja kumsaidia
03:20
even if they don't ask for help.
67
200060
1936
hata asipoomba msaada.
Lakini, kama mtoto huyo amekulia katika umaskini
03:22
However, if that same kid is growing up poor
68
202020
2136
03:24
and doesn't ask for help,
69
204180
1240
na hataomba msaada,
03:26
there's a good chance that no one will help them.
70
206060
2320
kuna uwezekano mkubwa hakuna atakayemsaidia.
03:28
There are virtually no social safety nets available.
71
208700
3000
Hakuna wigo wa usalama wa kijamii unaopatikana.
03:32
So seven years ago,
72
212980
1376
Kwa hiyo miaka saba iliyopita,
03:34
I started to reform our public education system
73
214380
2816
Nilianza kuboresha mfumo wetu wa elimu ya umma
03:37
shaped by my firsthand perspective.
74
217220
2320
nikichukua taswira ya mtazamo wangu wa moja kwa moja.
03:40
And I started with summer school.
75
220780
1572
Na nilianza na shule ya kiangazi.
03:43
Research tells us that two-thirds of the achievement gap,
76
223780
3336
Utafiti unatuambia kuwa theluthi mbili ya pengo la ufaulu,
03:47
which is the disparity in educational attainment
77
227140
2336
ambayo ni tofauti katika upatikanaji wa elimu
03:49
between rich kids and poor kids
78
229500
2176
kati ya watoto matajiri na watoto maskini
03:51
or black kids and white kids,
79
231700
2136
au watoto weusi na watoto weupe
03:53
could be directly attributed to the summer learning loss.
80
233860
2680
inaweza kuhusishwa moja kwa moja na upotevu wa elimu kipindi cha kiangazi
03:57
In low-income neighborhoods, kids forget almost three months
81
237460
2816
Katika kaya maskini, watoto husahau karibu miezi mitatu
04:00
of what they learned during the school year
82
240300
2056
ya walichosoma kipindi cha mwaka wa shule
04:02
over the summer.
83
242380
1336
wakati wa kiangazi.
04:03
They return to school in the fall,
84
243740
1616
Wanarudi shule kipindi cha vuli,
04:05
and their teachers spend another two months
85
245380
2056
na walimu wao wanatumia miezi miwili mingine
04:07
reteaching them old material.
86
247460
1416
kurudia tena kuwafundisha.
04:08
That's five months.
87
248900
1496
Hiyo ni miezi mitano.
04:10
The school year in the United States is only 10 months.
88
250420
2616
Mwaka wa shule Marekani ni miezi 10 tu.
04:13
If kids lose five months of learning every single year,
89
253060
2616
Kama watoto watapoteza miezi 5 ya kujifunza kila mwaka
04:15
that's half of their education.
90
255700
1480
hiyo ni nusu ya elimu yao.
04:17
Half.
91
257940
1200
Nusu.
04:19
If kids were in school over the summer, then they couldn't regress,
92
259900
3160
Kama watoto wangekuwa shule kipindi cha kiangazi, wasingerudi nyuma,
04:23
but traditional summer school is poorly designed.
93
263820
2320
lakini shule ya kiangazi iliyozoeleka imeundwa vibaya.
04:26
For kids it feels like punishment,
94
266740
2056
Kwa watoto inaonekana kama adhabu,
04:28
and for teachers it feels like babysitting.
95
268820
2040
na kwa walimu inaonekana kama uyaya.
04:32
But how can we expect principals to execute an effective summer program
96
272140
4016
Lakini tunatarajia vipi walimu wakuu kutekeleza programu madhubuti ya kiangazi
04:36
when the school year ends the last week of June
97
276180
2456
ikiwa mwaka wa shule unaisha juma la mwisho la Juni
04:38
and then summer school starts just one week later?
98
278660
2360
na shule ya kiangazi inaanza juma moja tu baadaye?
04:41
There just isn't enough time to find the right people,
99
281780
2576
Yaani hakuna wakati wa kutosha kupata watu sahihi
04:44
sort out the logistics,
100
284380
1256
kuratibu ugavi,
04:45
and design an engaging curriculum that excites kids and teachers.
101
285660
4200
na kuunda mtaala mahsusi unaowavutia watoto na walimu.
04:51
But what if we created a program over the summer
102
291580
3976
Lakini vipi kama tungetengeneza programu ya kiangazi
04:55
that empowered teachers as teaching coaches
103
295580
3696
ambayo ingewapa nguvu walimu kama makocha wa kufundisha
04:59
to develop aspiring educators?
104
299300
2000
kuendeleza waelimishaji watarajiwa?
05:02
What if we empowered college-educated role models
105
302540
2736
Vipi kama tungewawezesha wasomi wa chuo wa mfano
05:05
as teaching fellows
106
305300
1280
kuwa wakufunzi wenza
05:07
to help kids realize their college ambitions?
107
307380
2536
kuwasaidia watoto kutambua matarajio yao ya chuo?
05:09
What if empowered high-achieving kids
108
309940
2256
Vipi kama tungewawezesha watoto wenye ufaulu mkubwa kuwa washauri
05:12
as mentors to tutor their younger peers
109
312220
3416
kuwafundisha vijana wenzao
05:15
and inspire them to invest in their education?
110
315660
2320
na kuwahamasisha kuwekeza katika elimu yao?
05:19
What if we empowered all kids as scholars,
111
319460
3736
Vipi kama tungewawezesha watoto wote kama wasomi,
05:23
asked them what colleges they were going to,
112
323220
3216
tukiwauliza ni vyuo gani wangependa kwenda,
05:26
designed a summer school they want to attend
113
326460
2960
tukiunda shule ya kiangazi wanayotaka kwenda
05:30
to completely eliminate the summer learning loss
114
330220
2536
kuondoa kabisa upotevu wa elimu kipindi cha kiangazi
05:32
and close two-thirds of the achievement gap?
115
332780
2200
na kufunga theluthi mbili ya pengo la ufaulu?
05:37
By this summer, my team will have served over 4,000 low-income children,
116
337100
4616
Kiangazi hiki, timu yangu itakuwa imehudum ia zaidi ya watoto 4,000 wa kaya maskini,
05:41
trained over 300 aspiring teachers
117
341740
2936
imefundisha zaidi ya walimu watarajiwa 300
05:44
and created more than 1,000 seasonal jobs
118
344700
2296
na kuunda zaidi ya kazi 1,000 za msimu
05:47
across some of New York City's most disadvantaged neighborhoods.
119
347020
3040
katika baadhi ya vitongoji vilivyo nyuma vya jiji la New York
05:50
(Applause)
120
350820
3800
(Makofi na Vifijo)
05:56
And our kids are succeeding.
121
356660
2336
Na watoto wetu wanafanikiwa
05:59
Two years of independent evaluations
122
359020
1976
Miaka miwili ya uthamini binafsi
inatuambia kuwa watoto wetu wameondoa upotevu wa elimu wa kiangazi
06:01
tell us that our kids eliminate the summer learning loss
123
361020
2936
06:03
and make growth of one month in math
124
363980
2176
na wameongeza mwezi mmoja kwenye Hisabati
06:06
and two months in reading.
125
366180
1240
na miezi miwili kwenye kusoma.
Kwa hiyo badala ya kurudi shule kipindi cha vuli wakiwa miezi mitatu nyuma,
06:08
So instead of returning to school in the fall three months behind,
126
368020
3496
06:11
they now go back four months ahead in math
127
371540
2640
sasa hivi wanarudi wakiwa miezi minne mbele kwenye Hisabati
06:15
and five months ahead in reading.
128
375380
2056
na miezi mitano mbele kwenye kusoma.
06:17
(Applause)
129
377460
3400
(Makofi na Vifijo)
06:24
Ten years ago, if you would have told me
130
384580
1936
Miaka 10 iliyopita, kama ungeniambia
06:26
that I'd graduate in the top 10 percent of my class from an Ivy League institution
131
386540
4176
kuwa ningehitimu katika 10% bora ya darasa langu kutoka taasisi ya Ivy League
06:30
and have an opportunity to make a dent on our public education system
132
390740
3976
na kuwa na fursa ya kubadilisha japo kiduchu tu mfumo wetu wa elimu ya umma
06:34
just by tackling two months of the calendar year,
133
394740
3040
kwa kukabiliana na miezi miwili tu ya mwaka wa kalenda,
06:38
I would have said,
134
398500
1736
ningesema,
06:40
"Nah. No way."
135
400260
2120
"Hapana, haiwezekani"
06:43
What's even more exciting
136
403540
1496
Cha kusisimua ziaidi
06:45
is that if we can prevent five months of lost time
137
405060
3176
ni kuwa kama tunaweza kuzuia miezi mitano ya upotevu wa muda
06:48
just by redesigning two months,
138
408260
1960
kwa kuunda upya miezi miwili
06:51
imagine the possibilities that we can unlock
139
411300
2656
fikiria fursa tunazoweza kufumbua
06:53
by tackling the rest of the calendar year.
140
413980
2560
kwa kukabiliana na miezi yote iliyobaki ya mwaka wa kalenda
06:57
Thank you.
141
417980
1216
Asanteni
06:59
(Applause)
142
419220
4661
(Makofi na Vifijo)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7