A virus detection network to stop the next pandemic | Pardis Sabeti and Christian Happi

51,417 views

2020-06-03 ・ TED


New videos

A virus detection network to stop the next pandemic | Pardis Sabeti and Christian Happi

51,417 views ・ 2020-06-03

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
[In January 2020,
0
12602
1151
[Mnamo Januari ya mwaka 2020,
00:13
Christian Happi and Pardis Sabeti presented an Audacious idea]
1
13777
3032
Christian Happi na Pardis Sabeti waliwasilisha wazo lenye uthubutu]
00:18
[Sentinel: An early warning system to detect and track the next pandemic]
2
18934
4308
[Sentinel: Mfumo wa ilani ya mapema katika kutambua na kufuatilia mlipuko wa gonjwa lijalo]
00:25
[Here's how it would work ...]
3
25223
1761
[Hivi ni namna utavyofanya kazi ...]
00:28
Christian Happi: Sentinel is a proactive early warning system to preempt pandemics.
4
28455
6625
Christian Happi: Kiashiria ni mfumo wa ilani ya mapema iliyo amilifu katika kukinzana na magonjwa yanayoenea sana.
00:35
It is built on three major pillars.
5
35104
2396
Inajengwa na misingi mikuu mitatu.
00:37
Pardis Sabeti: The first pillar is Detect.
6
37524
2028
Pardis Sabeti: Msingi wa kwanza ni Utambuzi.
00:39
Christian and I have been studying infectious diseases together
7
39576
2981
Mimi na Christian tumekuwa tukitafiti pamoja magonjwa ya kuambukizwa
00:42
around the world for two decades.
8
42581
1964
duniani kote kwa miongo miwili.
00:44
We have been using genome sequencing.
9
44569
2204
Tumekuwa tukitumia mfululizo wa jenomu.
00:46
Reading out the complete genetic information of a microbe,
10
46797
2937
Tukizisoma taarifa timilifu za vinasaba vya vijidudu,
00:49
it allows us to identify viruses, even those we've never seen before,
11
49758
4337
inatusaidia kutambua virusi, hata vile ambavyo hatujawahi kuviona kabla,
00:54
track them as they spread
12
54119
1401
kuvifuatilia pale vinaposambaa
00:55
and watch for new mutations.
13
55544
1884
na kuangazia mabadiliko yake mapya.
00:57
And now with the powerful gene-editing technology CRISPR,
14
57452
3297
Na sasa tukiwa na teknolojia yenye uwezo mkubwa wa kuziboresha chembe za urithi(jeni) iitwayo CRISPR,
01:00
we can use this genetic information
15
60773
2170
tunaweza kutumia taarifa hizi za kinasaba
01:02
to rapidly design exquisitely sensitive diagnostic tests for any microbe.
16
62967
5126
kutengeneza vipimo vya utambuzi vilivyo sahihi kwa vijidudu aina zote.
01:08
CH: One of these tools is called SHERLOCK.
17
68557
2519
CH: Moja ya nyenzo hizi zinafahamika kama SHERLOCK.
01:11
It can be used to test known viruses on simple paper strips.
18
71100
5367
Inaweza kutumika kutambua virusi vinavyotambulika katika vijikaratasi.
01:16
It is very inexpensive,
19
76885
1711
Ni nafuu mno,
01:18
and frontline health workers can use SHERLOCK
20
78620
3014
na wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele wanaweza tumia SHERLOCK
01:21
to detect the most common or the most threatening viruses
21
81658
4569
Kutambua virusi vinavyojulikana au vile ambavyo ni tishio
01:26
within an hour.
22
86251
1390
ndani ya saa moja.
01:28
PS: The other tool is CARMEN.
23
88109
1580
PS: Nyenzo nyingine ni CARMEN.
01:29
It requires a lab, but it can test for hundreds of viruses simultaneously.
24
89713
4332
Inahitaji maabara, lakini inaweza kupima mamia ya virusi kwa wakati mmoja.
01:34
So hospital lab staff can test patient samples
25
94069
2708
Hivyo wafanyakazi wa maabara wanaweza pima sampuli za wagonjwa
01:36
for a broad range of viruses
26
96801
1502
kutambua aina nyingi za virusi
01:38
within a day.
27
98327
1514
ndani ya siku moja.
01:39
Our second pillar is Connect.
28
99865
2691
Msingi wetu wa pili ni Ungana.
01:42
Connect everyone and share this information
29
102580
2436
Kumuunganisha kila mmoja na kushirikishana taarifa
01:45
across the public health community.
30
105040
1934
kote katika jamii ya afya ya umma.
01:47
In most outbreaks,
31
107752
1341
Katika magonjwa mengi ya mlipuko,
01:49
hospital staff share case information through paper, Excel -- if at all.
32
109117
4443
wafanyakazi wa hospitali hushirikishana taarifa kupitia nyaraka za karatasi.
01:54
This makes tracking an outbreak through space and time
33
114115
2568
Hii hufanya ufatiliaji wa taarifa katika nafasi na nyakati
01:56
and coordinating a response
34
116707
1330
na upatikanaji wa huduma
01:58
extremely difficult.
35
118061
1435
kuwa mgumu sana.
01:59
So we're developing a cloud-based system and mobile applications
36
119877
3105
Hivyo tunatengeneza mfumo wa kimtandao na programu za simu
02:03
that connect community health workers,
37
123006
1979
ambazo zinawaunganisha wafanyakazi wa afya,
02:05
clinicians, public health teams -- everyone --
38
125009
3244
waliopo zahanati, timu za afya umma -- kila mmoja --
02:08
and allows them to upload data,
39
128277
2178
na kuwawezesha kuingiza taarifa,
02:10
perform analysis, share insights
40
130479
2736
kufanya tathmini, kushirikishana vidokezo
02:13
and coordinate a response and action plan
41
133239
2079
na kutengeneza mpango wa kuweza kuchukua hatua
02:15
in real time.
42
135342
1498
katika wakati sahihi.
02:16
CH: Our third pillar is Empower.
43
136864
3023
CH: Msingi wetu wa tatu ni Uwezeshaji.
02:20
An outbreak surveillance system can only succeed
44
140462
2612
Mfumo wa uangalizi wa magonjwa ya mlipuko unaweza fanikiwa
02:23
if we empower frontline health workers that are already out there
45
143098
4021
kama tutawawezesha wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele
02:27
taking care of communities.
46
147143
1690
kuhudumia jamii.
02:28
It requires a lot of training.
47
148857
2180
Inahitaji mafunzo mengi sana.
02:31
Pardis and I are very much aware of that.
48
151061
2470
Mimi na Pardis tunalitambua hilo.
02:33
We've spent the past 10 years
49
153555
1867
Tumetumia miaka kumi
02:35
training hundreds of young African scientists and clinicians.
50
155446
3967
tukiwafunza mamia ya wanasayansi wadogo na wafanyakazi wa zanahati barani Afrika.
02:39
Over the next five years, we will train an additional 1,000 health workers
51
159437
4110
Katika miaka mitano ijayo, tutaweza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya wengine takribani 1,000
02:43
to use Sentinel detection tools
52
163571
2326
katika kutumia mfumo wa Kiashiria
02:45
and empower them to train their colleagues.
53
165921
2873
na kuwawezesha pia kufundisha wafanyakazi wenzao.
02:48
This way, we will improve the original health care system
54
168818
3514
Namna hii, tutaweza kuboresha mfumo halisi wa afya
02:52
and integrate surveillance into medical practice.
55
172356
4182
na kuweza tumia uangalizi wa kina katika masuala ya kitabibu.
02:57
[Since presenting their Audacious plan at TED, the world has changed ...]
56
177488
3880
[Tangu kuwakilisha mpango wao wa Uthubutu katika TED, ulimwengu umebadilika ...]
03:02
Briar Goldberg: So here we are. We're recording this.
57
182773
2519
Briar Goldberg: Tupo hapa, tunarekodi hili tukio.
03:05
It's April 7th, 2020,
58
185316
2444
Ni tarehe 7 mwezi Aprili, 2020,
03:07
and obviously, we are in the throes of this crazy global pandemic
59
187784
5083
na kwa uhakika, tupo katika tabu ya hili gonjwa ambalo ni janga la ulimwengu
03:12
caused by this new coronavirus.
60
192891
1762
linalosababishwa na virusi vipya vya corona.
03:14
So you two have been working together forever,
61
194677
2934
Nyinyi wawili mmekuwa mkifanya kazi pamoja siku zote,
03:17
and you really came together pretty aggressively
62
197635
2819
na mlikuwa pamoja kwa juhudi
03:20
with the Ebola crisis back in 2014.
63
200478
2875
katika janga la Ebola mwaka 2014.
03:23
What does it feel like from your perspective?
64
203377
2196
Mnalitazamaje hili jambo?
03:25
CH: Pretty much six years after the Ebola outbreak,
65
205597
3367
CH: Miaka sita baada ya mlipuko wa Ebola,
03:28
we're really facing another crisis,
66
208988
2088
tumekumbana na janga lingine,
03:31
and we still pretty much, like, we never learned from the previous crisis.
67
211100
5928
na tupo katika wakati, ambao kwamba, hatujajifunza mengi kuhusu janga lililopita.
03:37
And that, really, for me, is heartbreaking.
68
217052
2361
Na hivyo, kiukweli, kwangu mimi, inanivunja moyo.
03:39
PS: I think that this pandemic has shown us how unprepared we are
69
219437
6598
PS: Ninadhani janga hili limetuonyesha ni namna gani hatukujiandaa
03:46
everywhere in the world.
70
226059
1168
duniani kote.
03:47
Christian and our partners together had diagnostics at our hospital sites
71
227251
4733
Christian na washirika wetu pamoja tulikuwa na vikagua magonjwa katika hospitali zetu
03:52
in Nigeria, Sierra Leone and Senegal in early February.
72
232008
3237
nchini Nigeria, Sierra Leone na Senegal mapema mwezi Februari.
03:55
Most states in the United States didn't have it until far later.
73
235269
5520
Majimbo mengi nchini Marekani hayakuwa navyo mpaka baadaye.
04:00
It tells us that we are all in this together,
74
240813
2979
Inatueleza kwamba wote tupo pamoja katika hili,
04:03
and we are all very much behind the curve.
75
243816
2126
na wote tupo nyuma .
04:05
BG: So, this Sentinel system is amazing,
76
245966
3908
BG: Hivyo, huu mfumo wa Kiashiria ni mzuri,
04:09
but I know that the question that's on everybody's mind is:
77
249898
2817
lakini nafahamu swali ambalo lipo akilini mwa kila mtu:
04:12
How is that playing into the here and now?
78
252739
2028
Namna gani huu mfumo unasaidia sasa hivi?
04:14
PS: You know, we describe Sentinel as a pandemic preemption system,
79
254791
3259
PS: Unajua, tumeelezea Kiashiria kama mfumo wa kuondokana na magonjwa yanayoenea sana,
04:18
and here we are in a pandemic.
80
258074
1446
na hapa tupo katika moja ya magonjwa hayo.
04:19
But what's great is that, actually, the same tools you need
81
259544
2784
Lakini kilicho kikubwa ni kwamba, nyenzo zilezile unazohitaji
04:22
to preempt a pandemic
82
262352
1154
kuondokana na gonjwa linaloenea
04:23
are the ones that you need to respond to one.
83
263530
2109
ni zilezile unazohitaji kuondokana nalo.
04:25
And so all of the technologies that we have laid out --
84
265663
3065
Na hivyo teknolojia ambazo tumeziainisha --
04:28
the point-of-care testing, the multiplex testing,
85
268752
2625
Vipimo vyote vya awali vya uchaguzi,
04:31
the discovery and tracking of the virus as it's changing,
86
271401
3410
utambuzi na ufatiliaji wa virusi vinavyobadilika,
04:34
and the overlay of the mobile applications to dashboard --
87
274835
3400
na utumiaji wa programu za simu --
04:38
are all critical.
88
278259
1159
ni muhimu mno.
04:39
CH: For us, it is a war.
89
279442
2132
CH: Kwetu sisi, ni vita.
04:41
We are basically committed for 24 hours' turnaround time
90
281598
3341
Kimsingi tumejidhatiti katika ratiba ya masaa 24
04:44
in order to give results,
91
284963
1945
ili kuweza kutoa majibu,
04:46
and that requires for us to work around the clock nonstop.
92
286932
4187
na inatuhitaji sisi kufanya kazi bila kupoteza muda.
04:51
So it's a pretty challenging moment.
93
291143
2209
Hivyo ni nyakati yenye changamoto sana.
04:53
We are away from family.
94
293376
1174
Tupo mbali na familia.
04:54
At least I have the privilege to see family today,
95
294574
2376
Angalau nina wasaha wa kuiona familia yangu leo,
04:56
and then I'm sure tomorrow I'm heading back in the trenches.
96
296974
2960
na kisha nina uhakika kesho ninarudi tena kwenye kazi.
04:59
In my lab, we sequenced the first COVID-19 genome
97
299958
3164
Katika maabara yangu, tumetengeneza mfululizo wa kwanza wa jenomu ya COVID-19
05:03
on the African continent,
98
303146
1239
katika bara la Afrika,
05:04
and that really was done within 48 hours.
99
304409
2031
na hilo lilifanyika ndani ya masaaa 48.
05:06
This is revolutionary coming from Africa
100
306464
3067
Haya ni mapinduzi yanayotokea Afrika
05:09
and then making this information available for the global health community
101
309555
3555
na kisha kufanya taarifa hizi kupatikana katika jamii ya masuala ya afya ulimwenguni
05:13
to see what the virus within Africa looks like.
102
313134
2238
ili kuona virusi vya Afrika vinaonekana katika namna gani.
05:15
I believe that with technologies and knowledge
103
315396
2656
Ninaamini kwa kutumia teknolojia na maarifa
05:18
and then sharing information,
104
318076
2109
na kisha kushirikisha taarifa,
05:20
we can do better and then we can overcome.
105
320209
2168
tunaweza fanya vizuri na kuweza kulishinda gonjwa.
05:22
PS: The whole idea of Sentinel
106
322401
2122
PS: Wazo zima la Sentinel
05:24
is that we all stand guard over each other.
107
324547
2148
ni katika kusimama wote kwa pamoja kulindana.
05:26
We all watch.
108
326719
1156
Wote tunatazama.
05:27
Each one of us is a sentinel.
109
327899
1460
Kila mmoja wetu ni mlinzi.
05:29
Each one of us, being able to monitor what is making us sick,
110
329383
3909
Kila mmoja wetu, anaweza tambua kipi kinachofanya sisi kuumwa,
05:33
can share that with the rest of our community.
111
333316
2601
na kuweza kushirikisha jamii nzima taarifa hizo.
05:35
And I think that is what I profoundly want,
112
335941
3025
Na nadhani hichi ndicho kitu ninachohitaji kiukweli,
05:38
is for us to all stand guard
113
338990
2305
ni kwa wote kusimama kulindana
05:41
and watch over each other.
114
341319
1536
na kutazamiana pamoja.
05:43
[Dr. Pardis Sabeti and Dr. Christian Happi]
115
343269
2337
[Dr. Pardis Sabeti na Dr. Christian Happi]
05:46
[Ingenious scientists.
116
346998
1155
[Wanasayansi wenye ustadi.
05:48
Courageous partners.
117
348177
1756
Washirika wenye moyo.
05:49
Global heroes.]
118
349957
1693
Mashujaa wa ulimwengu.]
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7