How Pakistani women are taking the internet back | Nighat Dad

42,104 views ・ 2018-06-07

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Brian Bosire Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
Imagine waking up to a stranger --
0
13122
2541
Fikiria kuamka ukapata mgeni usiyemfahamu
00:15
sometimes multiple strangers --
1
15687
2446
wakati mwingine wageni wengi usiowafahamu
00:18
questioning your right to existence
2
18939
2838
wanaohoji haki yako ya kuishi
00:21
for something that you wrote online,
3
21801
2320
kwa kitu ulichoandika kwa mtandao
00:25
waking up to an angry message,
4
25480
3321
kuamkia ujumbe wa hasira
00:28
scared and worried for your safety.
5
28825
2187
ukiogopa na kuhofia usalama wako.
00:31
Welcome to the world of cyberharassment.
6
31975
2683
Karibu katika ulimwengu wa unyanyasaji wa mtandaoni.
00:35
The kind of harassment that women face in Pakistan is very serious
7
35344
3931
Aina ya unyanyasaji ambao wanawake wanakabiliana nao Pakistani ni mbaya sana
00:39
and leads to sometimes deadly outcomes.
8
39299
3028
na wakati mwengine unasababisha maafa makali.
00:43
This kind of harassment keeps women from accessing the internet --
9
43066
3324
Unyanyasaji wa aina hii unawazuia wanawake kutumia mtandao
00:46
essentially, knowledge.
10
46414
1777
hasa ujuzi.
00:48
It's a form of oppression.
11
48926
2291
Ni aina ya ukandamizaji
00:52
Pakistan is the sixth most populous country in the world,
12
52819
3689
Pakistani ni taifa la sita ulimwenguni kwa wingi wa idadi ya watu
00:56
with 140 million people having access to mobile technologies,
13
56532
3824
na watu milioni 140 wenye uwezo wa kutumia teknolojia ya simu,
01:00
and 15 percent internet penetration.
14
60380
3590
na asilimia 15 ya upenyo wa mtandao.
01:05
And this number doesn't seem to go down with the rise of new technologies.
15
65256
4223
Na idadi hii haionekani kukpunguka na mwamko wa teknolojia.
01:10
Pakistan is also the birthplace of the youngest Nobel Peace Prize winner,
16
70270
5289
Pakistani pia ndilo taifa la kuzaliwa kwa mtu kijana kabisa kuwahi kushinda tuzo
01:15
Malala Yousafzai.
17
75583
1359
la Nobel Malala Yousafzai
01:18
But that's just one aspect of Pakistan.
18
78438
2583
Lakini hicho ni kipengele kimoja tu cha Pakistani.
01:21
Another aspect is where the twisted concept of honor
19
81961
4163
Kipengle kingine ni dhana iliyopotoka ya heshima
01:26
is linked to women and their bodies;
20
86148
2892
inayohusishwa na wanawake na miili yao;
01:29
where men are allowed to disrespect women
21
89924
3235
pahali ambapo wanaume wanakubaliwa kutowaheshimu wanawake
01:33
and even kill them sometimes
22
93183
1817
na wakati mwingi ata kuwaua
01:35
in the name of so-called "family honor";
23
95024
2629
wakisinzia ni "heshima ya familia";
01:38
where women are left to die right outside their houses
24
98522
4549
pahali ambapo wanawake wanaachwa wafe nje ya manyumba yao
01:43
for speaking to a man on a mobile phone,
25
103095
2588
kwa sababu ya kuzungumza na mwanaume kwa rununu
01:45
in the name of "family honor."
26
105707
1870
wakisinzia ni "heshima ya familia."
01:48
Let me say this very clearly:
27
108158
1771
Wacha niseme hivi bayana:
01:50
it's not honor;
28
110681
1465
siyo heshima;
01:52
it's a cold-blooded murder.
29
112170
2356
hayo ni mauaji.
01:57
I come from a very small village in Punjab, Pakistan,
30
117551
4151
Mimi natokea kijiji kidogo sana pale Punjab, Pakistani
02:01
where women are not allowed to pursue their higher education.
31
121726
4874
pahali ambapo wanawake hawaruhusiwi kuendelea na masomo ya juu.
02:07
The elders of my extended family didn't allow their women
32
127308
3714
Wakubwa wa jamaa yangu hawakuwaruhusu wanawake wao
02:11
to pursue their higher education or their professional careers.
33
131046
3862
waendelee na masomo ya juu ama taaluma zao.
02:14
However, unlike the other male guardians of my family,
34
134932
4126
Hata hivyo, tofauti na walezi waume wengine wa familia yangu,
02:19
my father was one who really supported my ambitions.
35
139082
5484
baba yangu ndiye aliye aliniunga mkono katika jitihada zangu
02:25
To get my law degree,
36
145941
1686
za kupata shahada ya uana sheria.
02:28
of course, it was really difficult,
37
148344
3913
Bila shaka ilikuwa vigumu
02:32
and [there were] frowns of disapproval.
38
152281
4213
na kulikuwa na manunguniko ya kutoridhika.
02:37
But in the end, I knew it's either me or them,
39
157373
3494
Lakini mwishowe nilijua ni mimi ama wao,
02:40
and I chose myself.
40
160891
1378
na nikachagua mimi
02:44
(Applause)
41
164446
4561
(Makofi)
02:50
My family's traditions and expectations for a woman
42
170673
3159
Mila ya familia yangu na matarajio ya mwanamke
02:53
wouldn't allow me to own a mobile phone until I was married.
43
173856
2921
hayangeniruhusu nimiliki rununu mpaka kuolewa.
02:57
And even when I was married,
44
177544
2083
Na ata nilpoolewa,
02:59
this tool became a tool for my own surveillance.
45
179651
4087
kifaa hiki kikawa kifaa cha ufuatiliaji wangu.
03:04
When I resisted this idea of being surveilled by my ex-husband,
46
184923
4430
Nilipokataa haya mafikira ya kufuatiliwa na mume wangu wa zamani,
03:09
he really didn't approve of this
47
189377
1689
hakukubalina na wazo hilo
03:11
and threw me out of his house,
48
191090
2084
na akanifurusha kutoka nyumbani,
03:13
along with my six-month-old son, Abdullah.
49
193198
3372
pamoja na mtoto wangu wa kiume wa miezi sita, Abdullah.
03:17
And that was the time when I first asked myself, "Why?
50
197436
4319
Na hapo ndipo nilipojiuliza mara ya kwanza, "Mbona?
03:21
Why are women not allowed to enjoy the same equal rights
51
201779
3746
Mbona wanawake hawaruhusiwi kufurahia haki sawa na wanaume
03:25
enshrined in our Constitution?
52
205549
1976
kama ilivyo katika katiba yetu?
03:28
While the law states that a woman has the same equal access
53
208631
3950
Ilhali sheria inasema ya kuwa mwanamke ana haki sawia
03:32
to the information,
54
212605
1429
kwa taarifa
03:34
why is it always men -- brothers, fathers and husbands --
55
214058
3779
mbona huwa ni wanaume mandugu, mababa na
mabwana, ndio wanaoturuzukia haki hizi
03:37
who are granting these rights to us,
56
217861
2039
kwa hiyo kuifanya sheria kuwa bila maana?"
03:39
effectively making the law irrelevant?"
57
219924
2848
Kwa hiyo nikaamua kuchukua hatua,
03:44
So I decided to take a step,
58
224801
1757
badala ya kuendelea kunungunikia
03:46
instead of keep questioning these patriarchal structures
59
226582
2967
hizi misingi na tamaduni
03:49
and societal norms.
60
229573
1319
Na nikaanzisha mwaka 2012
03:51
And I founded the Digital Rights Foundation in 2012
61
231656
3980
Digital Rights Foundation ili kushughulikia matatizo yanayowakumba
03:55
to address all the issues and women's experiences in online spaces
62
235660
6452
wanawake katika mtandao na unyanyasaji katika mtandao.
04:02
and cyberharassment.
63
242136
1464
Kutoka kushawishia mtandao
04:04
From lobbying for free and safe internet
64
244990
3927
bure na salama kuwashawishi wanawake
04:08
to convincing young women
65
248941
1463
utumizi wa mtandao salama ni haki yao ya kimsingi
04:10
that access to the safe internet is their fundamental, basic, human right,
66
250428
5226
Najaribu tetekeleza majumu yangu kwa kuanzisha msuko
04:15
I'm trying to play my part in igniting the spark
67
255678
2930
ili kuyajibu maswali ambayo yamekuwa yakinitatiza hii miaka yote
04:18
to address the questions that have bothered me all these years.
68
258632
3615
Na matumaini moyoni mwangu,
04:22
With a hope in my heart,
69
262955
1853
na kupeana suluhisho katika janga hili,
04:24
and to offer a solution to this menace,
70
264832
2566
nilianzisha msaada wa usaidizi wa kwanza Pakistani na katika eneo
04:27
I started Pakistan's and the region's first cyberharassment help line
71
267422
4382
Decemba 2016--
04:31
in December 2016 --
72
271828
1816
(Makofi)
04:33
(Applause)
73
273668
5741
kunyosha mkona wa usaidizi kwa wanawake wasiojua wamkimbilie nani
04:40
to extend my support to the women who do not know who to turn to
74
280038
4273
wanapokabiliana na tishio kkubwa mtandaoni.
04:44
when they face serious threats online.
75
284335
2683
Nawafikiria wanawake wasiokuwa na usaidizi unaohitajika
04:47
I think of the women who do not have the necessary support
76
287757
4010
kukabiliana na shida ya kili wanapojihisi hawako salama katika mtandao,
04:51
to deal with the mental trauma when they feel unsafe in online spaces,
77
291791
5554
na wakiendelea na shughuli zao za kila siku,
04:57
and they go about their daily activities,
78
297369
2083
wakidhani kuwa kuna tishio la ubakaji katika ujumbe wao.
04:59
thinking that there is a rape threat in their in-box.
79
299476
3243
Kuweza
05:03
Safe access to the internet is an access to knowledge,
80
303329
4162
na elimu ni uhuru.
05:07
and knowledge is freedom.
81
307515
1828
Ninapopigania haki z
05:09
When I fight for women's digital rights,
82
309367
2118
Ninapopigania maslahi ya wanawake ya kidijitali
05:11
I'm fighting for equality.
83
311509
1872
Ninaapigania usawa
05:13
Thank you.
84
313405
1151
Asanteni
05:14
(Applause)
85
314580
1943
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7