How do you know whom to trust? - Ram Neta

Unajuaje nani wa kumuamini?

997,055 views ・ 2013-04-30

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Transcriber: Andrea McDonough Reviewer: Bedirhan Cinar
0
0
7000
Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:14
You believe that the Sun is much larger than the Earth,
1
14626
3511
Unaamini kwamba jua ni kubwa kuliko dunia,
00:18
that the Earth is a roughly spherical planet
2
18137
2586
kwamba dunia duara lisilo dufu
00:20
that rotates on its axis every 24 hours
3
20723
2995
inajizungusha katika mhimili kila masaa 24
00:23
and it revolves around the Sun once every 365 days.
4
23718
5248
na hulizunguka jua mara moja kwa siku 365
00:28
You believe that you were born on a particular date,
5
28966
3228
Unaamini kwamba ulizaliwa katika tarehe fulani,
00:32
that you were born to two human parents
6
32194
2585
ulizaliwa na wazazi wawili ambao ni binadamu
00:34
and that each of your human parents
7
34779
1835
na kila mmoja ya wazazi wako
00:36
was born on an earlier date.
8
36614
2325
alizaliwa tarehe kabla ya yako.
00:38
You believe that other human beings
9
38939
1887
Unaamini kwamba bindamu wengine
00:40
have thoughts and feelings like you do
10
40826
2211
wana mawazo na hisia kama wewe
00:43
and that you are not surrounded by humanoid robots.
11
43037
3899
na hujazungukwa na roboti watu.
00:46
You believe all of these things and many more,
12
46936
2731
Unaamini vitu hivi na vingine vingi,
00:49
not on the basis of direct observation,
13
49667
2939
sio katika kuona mwenyewe kwa uchunguzi wako
00:52
which can't, by itself, tell you very much
14
52606
2830
ambapo hauwezi kukwambia mengi
00:55
about the relative size and motion
15
55436
1699
kuhusu ukubwa na mwendo
00:57
of the Sun and the Earth,
16
57135
1258
wa jua na dunia,
00:58
or about your own family history,
17
58393
2495
au kuhusu historia ya familia yako,
01:00
or about what goes on in the minds of other humans.
18
60888
3381
au kinachoendelea katika vichwa vya binadamu wengine.
01:04
Instead, these beliefs are mostly based on
19
64269
2888
Badala,hizi imani zinategemea zaidi
01:07
what you've been told.
20
67157
1990
na ambacho umeambiwa.
01:09
Without spoken and written testimonies,
21
69147
2037
Bila shuhuda za kuongelewa wala kuandikwa,
01:11
human beings could not pass on knowledge
22
71184
2519
binadamu asingehamisha maarifa
01:13
from one person to another,
23
73703
1537
kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine,
01:15
let alone from one generation to another.
24
75240
2665
achia mbali kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.
01:17
We would know much, much less
25
77905
2052
Tungejua machache,machache sana
01:19
about the world around us.
26
79957
2116
kuhusu dunia inayotuzunguka.
01:22
So learning about a topic
27
82073
1713
Kwa hiyo kuhusu mada
01:23
by asking an expert on that topic,
28
83786
2207
kwa kumuuliza mtaalamu katika hiyo mada,
01:25
or appealing to authority,
29
85993
2213
au kuwaona mamlaka,
01:28
helps us gain knowledge,
30
88206
2207
kutusaidia kupata maarifa,
01:30
but, it doesn't always.
31
90413
2371
lakini,haisaidii mara zote.
01:32
Even the most highly respected authorities
32
92784
1928
Hata mamlaka za juu zinazoheshimiwa
01:34
can turn out to be wrong.
33
94712
1917
zinaweza kutokuwa sahihi.
01:36
Occasionally this happens
34
96629
1545
Mara kadhaa hutokea
01:38
because a highly respected authority is dishonest
35
98174
3292
kwa sababu mamlaka ya juu inayoheshimika ni danganyifu
01:41
and claims to know something
36
101466
1474
na hudai inajua kitu
01:42
that she or he really doesn't know.
37
102940
3626
ambacho mtu hakijui kabisa.
01:46
Sometimes it happens just because they make a mistake.
38
106566
3738
Muda mwingine hutokea kwa sababu wanafanya makosa.
01:50
They think they know when they don't know.
39
110304
2913
Wanadhani wanajua wakati hawajui.
01:53
For example, a number of respected economists
40
113863
3107
Kwa mfano,idadi ya wanauchumi wanaoheshimika
01:56
did not expect the financial collapse of 2008.
41
116970
3629
hawakutegemei mporomoko wa kifedha wa mwaka 2008
02:00
They turned out to be wrong.
42
120599
1960
Walikuja kuwa sio sahihi.
02:02
Maybe they were wrong
43
122559
751
Labda walikuwa sio sahihi
02:03
because they were overlooking some important evidence.
44
123310
2966
kwa sababu walikuwa wanaangalia sana ushahidi muhimu.
02:06
Maybe they were wrong because they were misinterpreting
45
126276
2342
Labda hawakuwa sahihi kwa sababu walikuwa wanatafsiri visivyo
02:08
some of the evidence they had noticed.
46
128618
2034
baadhi ya ukweli waliogundua.
02:10
Or maybe they were wrong
47
130652
875
au hawakuwa sahihi
02:11
simply because they were reasoning carelessly
48
131527
2300
kwa sababu wanafikiri pasipo uangalifu wa makini
02:13
from the total body of their evidence.
49
133827
1962
kutoka katika ushahidi mzima.
02:15
But whatever the reason,
50
135789
1168
Lakini kwa sababu yoyote
02:16
they turned out to be wrong
51
136957
1851
walitokea kukosea
02:18
and many people who trusted their authority
52
138808
1979
na watu wengi walioamini mamlaka yao
02:20
ended up losing lots of money,
53
140787
2157
waliishia kupoteza hela nyingi,
02:22
losing lots of other people's money,
54
142944
2324
kupoteza hela nyingi za watu wengine,
02:25
on account of that misplaced trust.
55
145268
2658
katika akaunti iliyopoteza uaminifu.
02:27
So while appealing to authority
56
147926
1911
Kwa hiyo kuona mamlaka
02:29
can sometimes provide us with valuable knowledge,
57
149837
2630
muda mwingine inatupa maarifa muhimu,
02:32
it also can sometimes be the cause
58
152467
1965
pia inaweza sababisha
02:34
of monumental errors.
59
154432
2465
matatizo makubwa
02:36
It's important to all of us to be able to distinguish
60
156897
2801
Ni muhimu sisi sote kuweza kutofautisha
02:39
those occasions on which we can safely and reasonably trust authority
61
159698
3736
zile shughuli tunaweza tukaiamini mamlaka
02:43
from those occasions on which we can't.
62
163434
3065
na zile ambazo hatuwezi kuiamini mamlaka
02:46
But how do we do that?
63
166499
2594
Lakini tunafanya vipi?
02:49
In order to do that,
64
169093
1365
Kwa ajili ya kufanya hivyo,
02:50
nothing is more useful than
65
170458
1685
hakuna cha msingi zaidi
02:52
an authority's track record on a particular topic.
66
172143
3684
mamalaka kufatilia rekodi ya mada husika.
02:55
If someone turns out to perform well
67
175827
1888
Kama inatokea mtu anafanya vizuri
02:57
in a given situation much of the time,
68
177715
2160
katika kitu fulani mara nyingi,
02:59
then it's likely that he or she will continue
69
179875
2418
ni wazi kwamba mtu huyo ataendelea
03:02
to perform well in that same situation,
70
182293
2198
kufanya vizuri katika hicho kitu,
03:04
at least in the near term.
71
184491
2109
angalau kwa kiasi.
03:06
And this generalization holds true
72
186600
2328
Na hili jumuisho lina ukweli
03:08
of the testimony of authorities as much as of anything else.
73
188928
3567
kwa ushahidi wa mamlaka zaidi ya kitu kingine chochote.
03:12
If someone can consistently pick winners
74
192495
2357
Kama mtu anaweza chagua mshindi ki uhakika
03:14
in both politics and baseball,
75
194852
2084
katika siasa na baseball,
03:16
then we should probably trust him or her
76
196936
2061
kwa hiyo tunaweza kumuamini yeye
03:18
to keep on picking winners in both politics or baseball,
77
198997
3494
kuchagua washindi katika siasa au baseball,
03:22
though maybe not in other things
78
202491
1369
ingawa inawezekana isiwe katika vitu vingine
03:23
where his or her track record may be less stellar.
79
203860
3008
ambapo rekodi yake yote inaweza isiwe nzuri sana.
03:26
If other forecasters have a poorer track record
80
206868
2625
Kama watabiri wa hali ya hewa wana kumbukumbu isiyo nzuri
03:29
on those same two topics,
81
209493
1872
katika mada hizo mbili sawa,
03:31
then we shouldn't trust them as much.
82
211365
2429
basi hatutakiwi kuwaamini sana.
03:34
So whenever you're considering whether
83
214978
1739
kwa muda wowote unapoangalia
03:36
to trust the testimony of some authority,
84
216717
2560
kuamini ushuhuda wa mamlaka fulani,
03:39
the first question to ask yourself is,
85
219277
2772
swali la kwanza kujiauliza ni,
03:42
"What's their track record on this topic?"
86
222049
3073
Ipi ni rekodi yao katika hii mada?
03:45
And notice that you can apply
87
225122
2767
Na tambua unaweza tumia
03:47
the very same lesson to yourself.
88
227889
2981
somo hilohilo kwa nafsi yako.
03:50
Your instincts tell you that you've just met Mr. Right,
89
230870
3466
Uzoefu wako unakuambia umekutana na bwana sawa,
03:54
but what sort of track record do your instincts have
90
234336
2929
lakini ni rekodi ipi uzoefu wako unayo
03:57
on topics like this one?
91
237265
2098
katika mada kama hii?
03:59
Have your instincts proven themselves
92
239363
2123
Je uzoefu wako umejidhihirisha wenyewe
04:01
to be worthy of your trust?
93
241486
2051
kuwa wa kuaminika?
04:03
Just as we judge other people's testimony
94
243537
2867
Kama tunavyohukumu shuhuda za wengine
04:06
by their track record,
95
246404
1587
kwa rekodi zao,
04:07
so, too, we can judge our own instincts
96
247991
2334
pia tunaweza kuhukumu maarifa yetu
04:10
by their track record.
97
250325
1694
kwa rekodi zao.
04:12
And this brings us one step closer
98
252019
2313
Na hii inatupeleka hatua moja karibu
04:14
to an objective view of ourselves
99
254332
2202
katika uono wa majukumu yetu
04:16
and our relation to the world around us.
100
256534
3070
na uhusiano wetu na dunia inayotuzunguka.

Original video on YouTube.com
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7