The next global agricultural revolution | Bruce Friedrich

134,453 views ・ 2019-06-19

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Brian Bosire Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
In 2019, humanity received a warning:
0
13841
3824
Mwaka 2019, ubinadamu ulipata tahadhari:
00:17
30 of the world's leading scientists released the results
1
17689
2712
30 ya wanasayansi mashuhuri duniani walipeana majibu
00:20
of a massive three-year study into global agriculture
2
20425
3482
ya utafiti wa miaka mitatu ya kilimo cha kimataifa
00:23
and declared that meat production is destroying our planet
3
23931
3641
na kutangaza kuwa uzalishaji wa nyama unaathiri sayari yetu
00:27
and jeopardizing global health.
4
27596
1683
na kuhatarisha afya ya dunia.
00:29
One of the study's authors explained
5
29804
1754
Mwandishi mmoja wa utafiti alinena
00:31
that "humanity now poses a threat to the stability of the planet ...
6
31582
3544
ya kuwa "ubinadamu ni hatarisho kwa utulivu wa sayari ...
00:35
[This requires] nothing less than a new global agricultural revolution."
7
35150
4920
[Hii inahitaji] sio chini ya uvumbuzi mpya wa kilimo wa kimataifa."
00:40
As somebody who's spent the last two decades
8
40935
2141
Kama mtu ambaye ametumia miongo miwili
00:43
advocating a shift away from industrial meat production,
9
43100
3088
kutetea kuhama uzalishaji wa nyama kwa viwanda,
00:46
I wanted to believe that this clarion call was going to make a difference.
10
46212
3928
nilitaka kuamini kuwa wito huu ulikuwa unaenda kuleta mabadiliko.
00:50
The thing is, I've seen this sort of thing again and again and again for decades.
11
50164
5100
Jambo ni kuwa nimeona hili mara kwa mara kwa miongo.
00:55
Here's 2018 from the journal "Nature,"
12
55750
3502
Hii hapa 2018 kutoka kwa jarida "Nature,"
00:59
2017 from "Bioscience Journal,"
13
59276
3075
2017 kutoka "Bioscience Journal,"
01:02
2016 from the National Academy of Sciences.
14
62375
3378
2016 kutoka Chuo cha Taifa cha Sayansi.
01:06
The main point of these studies tends to be climate change.
15
66367
3755
Lengo kuu la utafiti hizi huwa ni mabadiliko ya hewa.
01:10
But antibiotic resistance represents just as big of a threat.
16
70146
4019
Lakini upinzani wa kiuavijasumu ni tishio kubwa.
01:14
We are feeding massive doses of antibiotics to farm animals.
17
74640
3329
Tunawapa mifugo vipimo kubwa vya viuavijasumu.
01:18
These antibiotics are then mutating into superbugs
18
78382
4001
Viuavijasumu kisha hubadilika na kuwa wadudu wenye nguvu
01:22
that threaten to render antibiotics obsolete
19
82407
3019
wanaotishia kufanya kiuavijasumu kuwa bila kazi
01:25
within all of our lifetimes.
20
85450
2051
katika maisha yetu.
01:27
You want a scare?
21
87985
1176
Unataka kitisho?
01:29
Google: "the end of working antibiotics."
22
89185
2513
Tafuta: "mwisho wa kazi wa kiuavijasumu."
01:32
I'm going to get one thing out of the way:
23
92589
2030
Naenda kuweka bayana jambo moja:
01:34
I am not here to tell anybody what to eat.
24
94643
2294
Siko hapa kueleza mtu anachopaswa kula.
01:37
Individual action is great,
25
97539
1896
Hatua ya kibinafsi ni sawa,
01:39
but antibiotic resistance and climate change --
26
99459
2701
lakini upinzani wa kiuavijasumu na mabadiliko ya hewa --
01:42
they require more.
27
102184
1466
yanahitaji zaidi.
01:44
Besides, convincing the world to eat less meat hasn't worked.
28
104212
4233
Kando na hayo, kusadikisha ulimwengu kupunguza kula nyama haijafaulu.
01:48
For 50 years, environmentalists, global health experts and animal activists
29
108918
4668
Kwa miaka 50, wanaharakati wa mazingira, wataalamu wa afya wa duniani
01:53
have been begging the public to eat less meat.
30
113610
3061
na wanaharakati wa wanyama, wamesihi umma kula nyama kiasi.
01:57
And yet, per capita meat consumption
31
117194
2056
Na bado, wastani wa ulaji nyama
01:59
is as high as it's been in recorded history.
32
119274
3404
umekuwa juu kihistoria.
02:03
The average North American last year ate more than 200 pounds of meat.
33
123378
3809
Mkazi wastani wa Amerika Kaskazini alikula pauni 200 ya nyama mwaka jana.
02:07
And I didn't eat any.
34
127724
1513
Na sikula ata.
02:09
(Laughter)
35
129261
1230
(Kicheko)
02:10
Which means somebody out there ate 400 pounds of meat.
36
130515
3060
Inamaanisha kuna mtu huko nje alikula pauni 400 ya nyama.
02:13
(Laughter)
37
133599
2087
(Kicheko)
02:15
On our current trajectory,
38
135710
1705
Kwa njia tunayoelekea,
02:17
we're going to need to be producing 70 to 100 percent more meat by 2050.
39
137439
4688
tunaenda kuhitaji kuzalisha asilimia 70 hadi 100 zaidi ya nyama ifikapo 2050.
02:22
This requires a global solution.
40
142151
2467
Hili linahitaji suluhisho la duniani pote.
02:25
What we need to do is we need to produce the meat that people love,
41
145317
3953
Tunachohitaji ni kuzalisha nyama ambayo watu watapenda,
02:29
but we need to produce it in a whole new way.
42
149294
2499
lakini tuizalishe kwa njia mpya.
02:32
I've got a couple of ideas.
43
152465
1858
Nina mawazo kadhaa.
02:34
Idea number one: let's grow meat from plants.
44
154347
3442
Wazo la kwanza: tukuze nyama kutoka kwa mimea.
02:37
Instead of growing plants, feeding them to animals,
45
157813
2449
Badala ya kukuza mimea, kuyalisha kwa wanyama,
02:40
and all of that inefficiency,
46
160286
1434
na hayo yote yasiyofaa,
02:41
let's grow those plants, let's biomimic meat with them,
47
161744
2905
tukuze mimea hiyo, tuikuze na nyama,
02:44
let's make plant-based meat.
48
164673
1653
tuifanye iwe na nyama.
02:46
Idea number two: for actual animal meat,
49
166968
2838
Wazo la pili: kwa nyama halisi ya wanyama,
02:49
let's grow it directly from cells.
50
169830
2148
tuikuze kwa chembe moja kwa moja.
02:52
Instead of growing live animals, let's grow the cells directly.
51
172002
3275
Badala ya kukuza wanyama waliohai, tukuze chembe moja kwa moja,
02:55
It takes six weeks to grow a chicken to slaughter weight.
52
175967
2759
Inachukua wiki sita kulea kuku afike kimo cha kuchinjwa.
02:58
Grow the cells directly, you can get that same growth
53
178750
2524
Kuza chembe moja kwa moja, na utapata matokea sawia
03:01
in six days.
54
181298
1458
kwa siku sita.
03:03
This is what that looks like at scale.
55
183693
2277
Hivi ndivyo itakuwa katika skeli.
03:07
It's your friendly neighborhood meat brewery.
56
187237
2680
Ni ujirani wa kirafiki wa kiwanda cha nyama.
03:09
(Laughter)
57
189941
2895
(Kicheko)
03:12
I want to make two points about this.
58
192860
1799
Nitataja mambo mawili kuhusu hili.
03:14
The first one is, we believe we can do it.
59
194683
2122
Jambo la kwanza, tunasadiki tunaweza.
03:16
In recent years, some companies have been producing meat from plants
60
196829
3978
Miaka iliyopita, makampuni mengine yamekuwa yakikuza nyama kutoka kwa mimea
03:20
that consumers cannot distinguish from actual animal meat,
61
200831
4047
na walaji hawawezi tofautisha na nyama halisi,
03:24
and there are now dozens of companies growing actual animal meat
62
204902
3751
na sasa kuna makampuni mbalimbali yanayokuza nyama halisi ya wanyama
03:28
directly from cells.
63
208677
1881
moja kwa moja kutoka kwa chembe.
03:30
This plant-based and cell-based meat
64
210582
2188
Nyama hii ya mimea na ya chembe
03:32
gives consumers everything that they love about meat --
65
212794
2613
inawapa walaji vyote wanavyopenda kuhusu nyama --
03:35
the taste, the texture and so on --
66
215431
2009
ladha, umbile na kadhalika --
03:37
but with no need for antibiotics
67
217464
2073
lakini bila hitaji ya viuavijasumu
03:39
and with a fraction of the adverse impact on the climate.
68
219561
3220
na sehemu ya madhara kwa hali ya hewa.
03:43
And because these two technologies are so much more efficient,
69
223352
3153
Na kwa sababu teknolojia hizi mbili ni bora zaidi,
03:46
at production scale
70
226529
1443
kwa ukuzaji
03:47
these products will be cheaper.
71
227996
2015
bidhaa hizi zitakuwa za bei ya chini.
03:50
But one quick point about that --
72
230940
1764
Jambo moja kuhusu hilo --
03:52
it's not going to be easy.
73
232728
1851
haitakuwa rahisi.
03:54
These plant-based companies have spent small fortunes on their burgers,
74
234603
3903
Makampuni haya yanayotumia mimea yametumia misandali kidogo kwa baga zao,
03:58
and cell-based meat has not yet been commercialized at all.
75
238530
3615
na chembe ya nyama bado haijazinduliwa kibiashara.
04:02
So we're going to need all hands on deck
76
242685
2131
Kwa hivyo tutahitaji ushirikiano wa wote
04:04
to make these the global meat industry.
77
244840
2442
ili kufanya hili liwe kiwanda cha nyama duniani.
04:07
For starters, we need the present meat industry.
78
247979
2709
Mwanzo, tunahiaji sekta ya nyama ya sasa.
04:11
We don't want to disrupt the meat industry,
79
251156
2206
Hatutaki kuvuruga sekta ya nyama,
04:13
we want to transform it.
80
253386
2002
tunataka kuibadilisha.
04:15
We need their economies of scale,
81
255412
1703
Tunahitaji dhana yake ya uchumi,
04:17
their global supply chain, their marketing expertise
82
257139
3184
msururu wake wa ugavi, utaalam wake wa uuzaji
04:20
and their massive consumer base.
83
260347
1862
na wateja wake.
04:22
We also need governments.
84
262962
1820
Tunahitaji pia serikali.
04:24
Governments spend tens of billions of dollars every single year
85
264806
3544
Serikali hutumia mabilioni ya madola kila mwaka
04:28
on research and development
86
268374
1636
kwa utafiti na maendeleo
04:30
focused on global health and the environment.
87
270034
2505
unaozingatia afya duniani na mazingira.
04:33
They should be putting some of that money into optimizing and perfecting
88
273007
3912
Yanafaa kuwekeza sehemu ya fedha hizo katika sadifisha na kuboresha
04:36
the production of plant-based and cell-based meat.
89
276943
3682
uzalishaji wa mimea na nyama iliyokuzwa na chembe ya mimea.
04:41
Look, tens of thousands of people died from antibiotic-resistant superbugs
90
281673
5293
Tazama, kumi ya maelfu ya watu walikufa kutoka kwa usugu wa viuavijasumu
04:46
in North America just last year.
91
286990
2485
Amerika Kaskazini mwaka jana.
04:50
By 2050, that number is going to be 10 million per year globally.
92
290004
5305
Ifikapo 2050, tarakimu hiyo itakuwa milioni 10 kwa mwaka duniani.
04:56
And climate change represents an existential threat
93
296091
3928
Mabadiliko ya hewa pia ni athari iliyopo
05:00
to huge portions of our global family,
94
300043
3156
kwa sehemu kubwa ya familia yetu duniani,
05:03
including some of the poorest people on the face of the planet.
95
303223
3429
wakiwemo watu maskini zaidi hapa duniani.
05:07
Climate change, antibiotic resistance -- these are global emergencies.
96
307396
4282
Mabadiliko ya hewa, kinga ya viuavijasumu-- hizi ni dharura duniani.
05:12
Meat production is exacerbating these emergencies on a global scale.
97
312263
4517
Uzalishaji wa nyama unazidi dharura hizi kwa kipimo duniani.
05:17
But we are not going to decrease meat consumption
98
317430
2609
Lakini hatuendi kupunduza ulaji nyama
05:20
unless we give consumers alternatives
99
320063
2518
hadi tuwape walaji bidhaa mbadala
05:22
that cost the same or less and that taste the same or better.
100
322605
4349
zitakazo gharimu sawa au chini na ladha iwe sawia au bora.
05:27
We have the solution.
101
327637
1331
Tuko na jawabu.
05:29
Let's make meat from plants. Let's grow it directly from cells.
102
329412
3981
Tutengeneze nyama kutoka kwa mimea. Tuikuze moja kwa moja kutoka kwa chembe.
05:33
It's past time that we mobilize the resources that are necessary
103
333417
3973
Tayari tumechelewa kutumia raslimali tulizonazo
05:37
to create the next global agricultural revolution.
104
337414
4359
kutengeneza mapinduzi ya kilimo mapya.
05:42
Thank you.
105
342252
1160
Asanteni.
05:43
(Applause)
106
343436
3824
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7