Andrew Mwenda: Let's take a new look at African aid

110,700 views ・ 2007-09-04

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Hector Mongi
00:26
I am very, very happy to be amidst some of the most --
0
26000
4000
nina furaha kubwa kuwa kati ya
00:30
the lights are really disturbing my eyes
1
30000
2000
mwanga unasumbua sana macho yangu
00:32
and they're reflecting on my glasses.
2
32000
2000
na unaakisiwa katika miwani yangu
00:34
I am very happy and honored to be amidst
3
34000
4000
Ni furaha na heshima kwangu kuwa kati ya
00:38
very, very innovative and intelligent people.
4
38000
3000
watu wabunifu na wenye ufahamu wa hali ya juu
00:41
I have listened to the three previous speakers,
5
41000
3000
nimewasikiliza wazungumzaji watatu waliopita
00:44
and guess what happened?
6
44000
2000
na jaribu kufikiri nini kilichotokea?
00:46
Every single thing I planned to say, they have said it here,
7
46000
3000
kila kitu nilichopanga kuzungumza wameshakiongea,
00:49
and it looks and sounds like I have nothing else to say.
8
49000
5000
na inaonekana sasa ni kama sina chochote cha kuongea
00:54
(Laughter)
9
54000
1000
(vicheko)
00:55
But there is a saying in my culture
10
55000
3000
lakini kuna msemo katika jamii yangu
00:58
that if a bud leaves a tree without saying something,
11
58000
5000
kuwa kama jani likidondoka kutoka mtini bila kusema chochote
01:03
that bud is a young one.
12
63000
3000
basi jani hilo ni changa
01:06
So, I will -- since I am not young and am very old,
13
66000
5000
kwa hiyo kwa kuwa si mchanga nami nina umri mkubwa sana
01:11
I still will say something.
14
71000
2000
bado nitaongea kitu
01:13
We are hosting this conference at a very opportune moment,
15
73000
5000
tunaandaa mkutano huu katika wakati ambao umejaa fursa nyingi
01:18
because another conference is taking place in Berlin.
16
78000
2000
kwa kuwa mkutano mwingine unafanyika katika mji wa Berlin(Ujerumani)
01:20
It is the G8 Summit.
17
80000
3000
na huu ni mkutano wa G8
01:23
The G8 Summit proposes that the solution to Africa's problems
18
83000
7000
mkutano huu wa G8, unapendekeza kuwa ufumbuzi wa matatizo ya Afrika
01:30
should be a massive increase in aid,
19
90000
3000
ni ongezeko maradufu la misaada,
01:33
something akin to the Marshall Plan.
20
93000
2000
hatua ambayo inafanana na mpango wa Marshall
01:35
Unfortunately, I personally do not believe in the Marshall Plan.
21
95000
4000
bahati mbaya ni kuwa mimi siamini katika mpango huu wa Marshall
01:39
One, because the benefits of the Marshall Plan have been overstated.
22
99000
5000
kwanza, kwa sababu faida za mpango huu wa Marshall zimeongezwa chumvi.
01:44
Its largest recipients were Germany and France,
23
104000
3000
waliopokea msaada mkubwa kupitia mpango huu walikuwa ni ujerumani na ufaransa,
01:47
and it was only 2.5 percent of their GDP.
24
107000
3000
na msaada huu ulikuwa ni asilimia 2.5 tu ya pato lao la taifa(GDP)
01:50
An average African country receives foreign aid
25
110000
3000
kwa wastani nchi yoyote Afrika inapokea misaada kutoka nje
01:53
to the tune of 13, 15 percent of its GDP,
26
113000
6000
kufikia kiwango cha asilimia 13, 15 ya pato la taifa,
01:59
and that is an unprecedented transfer of financial resources
27
119000
3000
huu ni uhamishaji wa rasilimali za kiuchumi mkubwa sana
02:02
from rich countries to poor countries.
28
122000
3000
kutoka nchi tajiri kwenda nchi maskini
02:05
But I want to say that there are two things we need to connect.
29
125000
3000
lakini kuna vitu viwili ambavyo tunahitaji kuviunganisha
02:08
How the media covers Africa in the West, and the consequences of that.
30
128000
6000
navyo ni jinsi vyombo vya habari vinavyoionyesha Afrika katika nchi za magharibi na madhara yake
02:14
By displaying despair, helplessness and hopelessness,
31
134000
3000
kwa kuonyesha majonzi, matatizo na ukosefu wa matumaini
02:17
the media is telling the truth about Africa, and nothing but the truth.
32
137000
6000
vyombo vya habari vinaonyesha ukweli kuhusu Afrika,na si vinginevyo zaidi ya ukweli.
02:23
However, the media is not telling us the whole truth.
33
143000
4000
lakini vyombo vya habari havielezi ukweli wote.
02:27
Because despair, civil war, hunger and famine,
34
147000
4000
kwa sababu huzuni,vita vya wenyewe kwa wenyewe na njaa
02:31
although they're part and parcel of our African reality,
35
151000
4000
ingawa ni sehemu ya ukweli kuhusu Afrika
02:35
they are not the only reality.
36
155000
2000
lakini sio ukweli pekee
02:37
And secondly, they are the smallest reality.
37
157000
2000
na pili ni sehemu ndogo sana ya ukweli
02:39
Africa has 53 nations.
38
159000
2000
bara la Afrika lina mataifa 53
02:41
We have civil wars only in six countries,
39
161000
3000
lakini tuna vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi sita tu,
02:44
which means that the media are covering only six countries.
40
164000
4000
hii inamaanisha kwamba vyombo vya habari vinaonyesha nchi sita tu
02:48
Africa has immense opportunities that never navigate
41
168000
4000
Afrika ina fursa nyingi ambazo hazijatolewa
02:52
through the web of despair and helplessness
42
172000
2000
katika mzunguko wa matatizo na kukosa msaada
02:54
that the Western media largely presents to its audience.
43
174000
5000
ambao vyombo vya habari vya magharibi vinaonyesha kwa watazamaji wao
02:59
But the effect of that presentation is, it appeals to sympathy.
44
179000
4000
lakini madhara ya hali hii ni kuwa inaleta hali ya huruma
03:03
It appeals to pity. It appeals to something called charity.
45
183000
5000
inaleta hali ya huruma na kusaidia
03:08
And, as a consequence, the Western view
46
188000
3000
kwa hiyo mwonekano kwa nchi za magharibi
03:11
of Africa's economic dilemma is framed wrongly.
47
191000
5000
kuhusu matatizo ya kiuchumi ya afrika unakuwa mbaya
03:16
The wrong framing is a product of thinking
48
196000
4000
mwonekano huu mbaya ni zao la mawazo
03:20
that Africa is a place of despair.
49
200000
3000
kuwa afrika ni sehemu ya matatizo
03:23
What should we do with it? We should give food to the hungry.
50
203000
3000
tuifanyie nini?tupeleke chakula kwa wenye njaa
03:26
We should deliver medicines to those who are ill.
51
206000
3000
tupeleke madawa kwa wagonjwa
03:29
We should send peacekeeping troops
52
209000
2000
tupeleke majeshi ya kulinda amani
03:31
to serve those who are facing a civil war.
53
211000
2000
kuwalinda wanaokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
03:33
And in the process, Africa has been stripped of self-initiative.
54
213000
5000
na katika hali hii afrika imenyang'anywa kujitegemea yenyewe
03:38
I want to say that it is important to recognize
55
218000
3000
nataka kusema kuwa ni muhimu kuelewa
03:41
that Africa has fundamental weaknesses.
56
221000
3000
kuwa afrika ina udhaifu wa msingi
03:44
But equally, it has opportunities and a lot of potential.
57
224000
4000
lakini pia ina fursa nyingi na uwezo mkubwa
03:48
We need to reframe the challenge that is facing Africa,
58
228000
4000
tunahitaji kubadilisha fikra kuhusu changamoto zinazoikabili Afrika
03:52
from a challenge of despair,
59
232000
2000
kutoka changamoto za matatizo
03:54
which is called poverty reduction,
60
234000
4000
matatizo yanayoitwa upunguzaji wa umaskini
03:58
to a challenge of hope.
61
238000
2000
kuwa changamoto ya matumaini
04:00
We frame it as a challenge of hope, and that is worth creation.
62
240000
4000
tunahitaji kuonyesha kuwa ni changamoto ya matumaini
04:04
The challenge facing all those who are interested in Africa
63
244000
3000
changamoto inayowakabili wote wanaoipenda Afrika
04:07
is not the challenge of reducing poverty.
64
247000
2000
siyo changamoto ya kupunguza umaskini
04:09
It should be a challenge of creating wealth.
65
249000
3000
bali ni changamoto ya kutengeneza mafanikio
04:12
Once we change those two things --
66
252000
3000
ni mpaka tutakapobadilisha vitu hivi viwili
04:15
if you say the Africans are poor and they need poverty reduction,
67
255000
5000
ukisema Waafrika ni maskini na wanahitahitaji kupunguza umaskini
04:20
you have the international cartel of good intentions
68
260000
4000
utakuwa na ushirika wa kimataifa wenye nia ya kusaidia
04:24
moving onto the continent, with what?
69
264000
3000
ukiingia afrika na nini?
04:27
Medicines for the poor, food relief for those who are hungry,
70
267000
3000
dawa kwa ajili ya maskini,msaada wa chakula kwa ajili ya wenye njaa
04:30
and peacekeepers for those who are facing civil war.
71
270000
5000
na walinda amani kwa wale wanaokabiliwa na vita za wenyewe kwa wenyewe
04:35
And in the process, none of these things really are productive
72
275000
4000
na mwisho vitu hivi vyote havisaidii chochote
04:39
because you are treating the symptoms, not the causes
73
279000
2000
kwa sababu unatibu dalili na sio chanzo
04:41
of Africa's fundamental problems.
74
281000
3000
cha msingi cha matatizo ya Afrika
04:44
Sending somebody to school and giving them medicines,
75
284000
3000
kumpeleka mtu shule na kumpatia dawa
04:47
ladies and gentlemen, does not create wealth for them.
76
287000
5000
mabibi na mabwana, hakutengenezi mafanikio kwa ajili yao
04:52
Wealth is a function of income, and income comes from you finding
77
292000
4000
mafanikio yanatokana na kipato,kipato kinachokuja kutokana na kupata
04:56
a profitable trading opportunity or a well-paying job.
78
296000
4000
fursa ya biashara yenye faida au ajira inayolipa vizuri
05:00
Now, once we begin to talk about wealth creation in Africa,
79
300000
3000
kwa hiyo tunaapoanza kuongelea kutengeneza mafanikio katika Afrika
05:03
our second challenge will be,
80
303000
2000
changamoto yetu ya pili itakuwa ni,
05:05
who are the wealth-creating agents in any society?
81
305000
3000
ni kina nani ambao ni mawakala wa utengenezaji wa mafanikio katika jamii yoyote
05:08
They are entrepreneurs. [Unclear] told us they are always
82
308000
4000
ni wajasiriamali ..[haileweki] .... alituambia kuwa siku zote
05:12
about four percent of the population, but 16 percent are imitators.
83
312000
4000
asilimia 4 ya watu,lakini asilimia 16 ni waigaji
05:16
But they also succeed at the job of entrepreneurship.
84
316000
5000
lakini pia wanafanikiwa katika ujasiriamali
05:21
So, where should we be putting the money?
85
321000
3000
kwa hiyo tuwekeze pesa zetu wapi sasa?
05:24
We need to put money where it can productively grow.
86
324000
5000
tunahitaji kuwekeza pesa zetu pale ambapo itazaa
05:29
Support private investment in Africa, both domestic and foreign.
87
329000
4000
wezesha uwekezeji binafsi Afrika,uwekezaji kutoka ndani na nje
05:33
Support research institutions,
88
333000
3000
wezesha taasisi za utafiti,
05:36
because knowledge is an important part of wealth creation.
89
336000
4000
kwa sababu maarifa ni sehemu muhimu ya utengenezaji wa mafanikio
05:40
But what is the international aid community doing with Africa today?
90
340000
4000
lakini ni nini jumuiya ya misaada ya kimataifa inafanya afrika leo?
05:44
They are throwing large sums of money for primary health,
91
344000
3000
wanatupa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya huduma za msingi za afya,
05:47
for primary education, for food relief.
92
347000
3000
elimu na misaada ya chakula.
05:50
The entire continent has been turned into
93
350000
2000
bara lote limegeuzwa kuwa ni,
05:52
a place of despair, in need of charity.
94
352000
3000
sehemu ya matatizo inayohitaji msaada
05:55
Ladies and gentlemen, can any one of you tell me
95
355000
2000
mabibi na mabwana,kuna yeyote anayeweza kuniambia
05:57
a neighbor, a friend, a relative that you know,
96
357000
3000
jirani,rafiki,ndugu unayemjua
06:00
who became rich by receiving charity?
97
360000
4000
ambaye alikuwa tajiri kwa kupokea misaada?
06:04
By holding the begging bowl and receiving alms?
98
364000
3000
kwa kushika bakuli la kuombea?
06:07
Does any one of you in the audience have that person?
99
367000
3000
kuna mtu yeyote kati yenu aliye na mtu wa aina hiyo?
06:10
Does any one of you know a country that developed because of
100
370000
5000
kuna yeyote anayejua nchi iliyoendelea kwa sababu ya
06:15
the generosity and kindness of another?
101
375000
3000
huruma na ukarimu wa nchi nyingine?
06:18
Well, since I'm not seeing the hand,
102
378000
2000
kwa kuwa sioni mkono wowote
06:20
it appears that what I'm stating is true.
103
380000
3000
inaonekana ninachokiongea kuwa ni sahihi
06:23
(Bono: Yes!)
104
383000
2000
Bono:ndio
06:25
Andrew Mwenda: I can see Bono says he knows the country.
105
385000
2000
Andrew Mwenda: naona bono anasema anaijua nchi hiyo.
06:27
Which country is that?
106
387000
1000
ni nchi gani hiyo?
06:28
(Bono: It's an Irish land.)
107
388000
1000
Bono:ni jina la kiireland
06:29
(Laughter)
108
389000
2000
(vicheko)
06:31
(Bono: [unclear])
109
391000
2000
Bono[haileweki]
06:33
AM: Thank you very much. But let me tell you this.
110
393000
4000
asante sana. lakini naomba nikwambie kuwa
06:37
External actors can only present to you an opportunity.
111
397000
4000
wasaidizi kutoka nje watakachokupa ni fursa tu
06:41
The ability to utilize that opportunity and turn it into an advantage
112
401000
5000
uwezo wa kuitumia na kuigeuza kuwa faida
06:46
depends on your internal capacity.
113
406000
2000
unategemea na uwezo ulionao
06:48
Africa has received many opportunities.
114
408000
2000
afrika imepata fursa nyingi
06:50
Many of them we haven't benefited much.
115
410000
3000
nyingi kati ya hizo hazijatusaidia sana.
06:53
Why? Because we lack the internal, institutional framework
116
413000
5000
kwa nini? kwa sababu tumekosa uwezo kutoka ndani
06:58
and policy framework that can make it possible for us
117
418000
3000
na sera zitakazowezesha
07:01
to benefit from our external relations. I'll give you an example.
118
421000
3000
kufaidika na mahusiano yetu ya nje.nitatoa mfano
07:04
Under the Cotonou Agreement,
119
424000
2000
chini ya makubaliano ya Cotonou
07:06
formerly known as the Lome Convention,
120
426000
3000
zamani yakijulikana kama makubaliano ya Lome
07:09
African countries have been given an opportunity by Europe
121
429000
3000
nchi za afrika zimepewa nafasi na bara la ulaya
07:12
to export goods, duty-free, to the European Union market.
122
432000
5000
ya kusafirisha bidhaa bila ushuru katika soko lao
07:17
My own country, Uganda, has a quota to export 50,000 metric tons
123
437000
6000
Nchi yangu mwenyewe,Uganda imepewa kuuza kiasi cha tani 50 000
07:23
of sugar to the European Union market.
124
443000
3000
za sukari kwenda katika soko la ulaya
07:26
We haven't exported one kilogram yet.
125
446000
2000
mpaka sasa hatujauza hata kilo moja
07:28
We import 50,000 metric tons of sugar from Brazil and Cuba.
126
448000
9000
tunaagiza tani 50 000 za sukari kutoka brazili na Cuba
07:37
Secondly, under the beef protocol of that agreement,
127
457000
3000
pili,upande wa nyama katika makubaliano haya
07:40
African countries that produce beef
128
460000
2000
nchi za afrika zinazozalisha nyama
07:42
have quotas to export beef duty-free to the European Union market.
129
462000
5000
zimepewa kiasi cha kuuza bila ushuru katika soko la ulaya
07:47
None of those countries, including Africa's most successful nation, Botswana,
130
467000
4000
hakuna nchi yoyote ikiwamo botswana,nchi iliyofanikiwa sana afrika
07:51
has ever met its quota.
131
471000
3000
ambayo imefanikiwa kufikia kiwango hicho
07:54
So, I want to argue today that the fundamental source of Africa's
132
474000
5000
kwa hiyo nataka kusema kuwa msingi wa afrika
07:59
inability to engage the rest of the world
133
479000
2000
kushindwa kushirikiana kikamilifu na nchi nyingine duniani
08:01
in a more productive relationship
134
481000
3000
katika mahusiano ya kiuchumi
08:04
is because it has a poor institutional and policy framework.
135
484000
4000
ni kwa sababu ya uwezo mbovu kitaasisi na kisera
08:08
And all forms of intervention need support,
136
488000
3000
njia zozote za utatuzi zinahitaji msaada
08:11
the evolution of the kinds of institutions that create wealth,
137
491000
4000
kuanzishwa kwa taasisi zinazotengeneza mafanikio
08:15
the kinds of institutions that increase productivity.
138
495000
3000
taasisi zinazoongeza uzalishaji
08:18
How do we begin to do that, and why is aid the bad instrument?
139
498000
4000
tunaanzaje kufanya hivyo na kwa nini misaada si njia nzuri?
08:22
Aid is the bad instrument, and do you know why?
140
502000
2000
misaada si njia nzuri,unajua ni kwa nini?
08:24
Because all governments across the world need money to survive.
141
504000
4000
ni kwa sababu serikali zote duniani zinahitaji pesa ili zidumu
08:28
Money is needed for a simple thing like keeping law and order.
142
508000
4000
pesa inahitajika kwa ajili ya kufanya vitu kama kuhakikisha usalama.
08:32
You have to pay the army and the police to show law and order.
143
512000
2000
unahitaji kulipa wanajeshi na polisi kulinda usalama.
08:34
And because many of our governments are quite dictatorial,
144
514000
4000
na kwa sababu serikali zetu nyingi ni za kidikteta
08:38
they need really to have the army clobber the opposition.
145
518000
4000
wanahitaji jeshi kunyanyasa wapinzani
08:42
The second thing you need to do is pay your political hangers-on.
146
522000
5000
na pili unahitaji kulipa washirika wako wa kisiasa
08:47
Why should people support their government?
147
527000
1000
kwa nini watu waisaidie serikali yao?
08:48
Well, because it gives them good, paying jobs,
148
528000
2000
kwa sababu inawapa kazi yenye malipo mazuri
08:50
or, in many African countries, unofficial opportunities
149
530000
4000
au,katika nchi nyingi za africa,nafasi zisizo rasmi
08:54
to profit from corruption.
150
534000
2000
za kujinufaisha na rushwa
08:56
The fact is no government in the world,
151
536000
3000
ukweli ni kwamba hakuna serikali duniani
08:59
with the exception of a few, like that of Idi Amin,
152
539000
2000
ukiondoa chache kama ile ya Idi Amin
09:01
can seek to depend entirely on force as an instrument of rule.
153
541000
5000
ambazo zitategemea nguvu katika kutawala
09:06
Many countries in the [unclear], they need legitimacy.
154
546000
3000
nchi nyingi katika [haileweki],zinahitaji uhalali
09:09
To get legitimacy, governments often need to deliver things like primary education,
155
549000
6000
kujihalalisha, serikali mara nyingi inaleta vitu kama elimu ya msingi
09:15
primary health, roads, build hospitals and clinics.
156
555000
5000
huduma za afya,barabara, hospitali na vituo vya afya
09:20
If the government's fiscal survival
157
560000
2000
kama kusimama kwa serikali kiuchumi
09:22
depends on it having to raise money from its own people,
158
562000
4000
kunategemea kuingiza pesa kutoka kwa watu wake
09:26
such a government is driven by self-interest
159
566000
2000
serikali kama hiyo inaendeshwa na maslahi binafsi
09:28
to govern in a more enlightened fashion.
160
568000
2000
ikitawala kwa kutoa amri
09:30
It will sit with those who create wealth.
161
570000
3000
itakaa na wanaoingiza fedha
09:33
Talk to them about the kind of policies and institutions
162
573000
3000
kuongea nao kuhusu sera na taasisi
09:36
that are necessary for them to expand a scale and scope of business
163
576000
4000
ambazo ni muhimu kwao kwa ajili ya kukuza biashara zao
09:40
so that it can collect more tax revenues from them.
164
580000
3000
ili iweze kukusanya kodi zaidi kutoka kwao
09:43
The problem with the African continent
165
583000
2000
tatizo la bara la afrika
09:45
and the problem with the aid industry
166
585000
1000
na mashirika ya misaada
09:46
is that it has distorted the structure of incentives
167
586000
3000
ni kwamba imeharibu mfumo wa kujitegemea
09:49
facing the governments in Africa.
168
589000
3000
unaozikumba serikali za Afrika
09:52
The productive margin in our governments' search for revenue
169
592000
3000
inatafuta mapato ya maana
09:55
does not lie in the domestic economy,
170
595000
3000
sio katika uchumi wa ndani
09:58
it lies with international donors.
171
598000
2000
bali kutoka kwa wafadhili
10:00
Rather than sit with Ugandan --
172
600000
2000
baada ya kukaa na
10:02
(Applause) --
173
602000
4000
makofi
10:06
rather than sit with Ugandan entrepreneurs,
174
606000
3000
baada ya kukaa na wajasiriamali wa Uganda
10:09
Ghanaian businessmen, South African enterprising leaders,
175
609000
6000
wafanyabiashara wa Ghana,au viongozi wa viwanda wa afrika ya kusini
10:15
our governments find it more productive
176
615000
3000
serikali zetu zinaona ni bora
10:18
to talk to the IMF and the World Bank.
177
618000
3000
kuongea na IMF na benki ya dunia
10:21
I can tell you, even if you have ten Ph.Ds.,
178
621000
4000
hata kama utakuwa na madaktari wa falsafa kumi
10:25
you can never beat Bill Gates in understanding the computer industry.
179
625000
5000
hauwezi kumshinda Bill Gates kuhusu ufahamu wa biashara ya kompyuta
10:30
Why? Because the knowledge that is required for you to understand
180
630000
4000
kwa nini?kwa sababu maarifa yanayohitajika ili uelewe
10:34
the incentives necessary to expand a business --
181
634000
2000
jinsi ya kukuza biashara
10:36
it requires that you listen to the people, the private sector actors in that industry.
182
636000
6000
yanahitaji uwasikilize watu walio katika sekta binafsi
10:42
Governments in Africa have therefore been given an opportunity,
183
642000
3000
serikali za afrika kwa hiyo zimepewa nafasi
10:45
by the international community, to avoid building
184
645000
3000
na jamii ya kimataifa kujiondoa katika kujenga
10:48
productive arrangements with your own citizens,
185
648000
2000
mipango endelevu na wananchi wao
10:50
and therefore allowed to begin endless negotiations with the IMF
186
650000
6000
na kufanya majadiliano yasiyoisha na IMF
10:56
and the World Bank, and then it is the IMF and the World Bank
187
656000
3000
na benki ya dunia na baada ya hapo ni IMF na benki ya dunia
10:59
that tell them what its citizens need.
188
659000
2000
ambao wanawaeleza kile wananchi wao wanachihitaji
11:01
In the process, we, the African people, have been sidelined
189
661000
4000
katika hali hiyo watu wa afrika wanaachwa pembeni
11:05
from the policy-making, policy-orientation, and policy-
190
665000
4000
katika utengenezaji na utekelezaji wa sera
11:09
implementation process in our countries.
191
669000
2000
katika nchi zetu
11:11
We have limited input, because he who pays the piper calls the tune.
192
671000
4000
tunakuwa hatuna mchango, kwa kuwa amlipaye mpiga filimbi ndiye anayechagua wimbo
11:15
The IMF, the World Bank, and the cartel of good intentions in the world
193
675000
4000
IMF, Benki ya dunia na muunganiko wa watoa misaada
11:19
has taken over our rights as citizens,
194
679000
3000
wametunyang'anya haki zetu sisi kama raia
11:22
and therefore what our governments are doing, because they depend on aid,
195
682000
3000
kwa hiyo ambacho serikali zetu inafanya kwa kuwa zinategemea misaada
11:25
is to listen to international creditors rather than their own citizens.
196
685000
4000
ni kuwasikiliza wafadhili kuliko wananchi wao wenyewe
11:29
But I want to put a caveat on my argument,
197
689000
2000
lakini nataka niweke angalizo katika maelezo yangu
11:31
and that caveat is that it is not true that aid is always destructive.
198
691000
8000
na angalizo hili ni kuwa si kila msaada ni mbaya
11:39
Some aid may have built a hospital, fed a hungry village.
199
699000
7000
baadhi ya misaada inaweza ikawa imejenga hospitali na kulisha wenye njaa
11:46
It may have built a road, and that road
200
706000
2000
inaweza ikawa imejenga barabara na hiyo barabara
11:48
may have served a very good role.
201
708000
2000
inaweza ikawa imefanya kazi nzuri
11:50
The mistake of the international aid industry
202
710000
2000
Kosa la jamii ya misaada ya kimataifa
11:52
is to pick these isolated incidents of success,
203
712000
4000
ni kuchagua mafanikio haya machache
11:56
generalize them, pour billions and trillions of dollars into them,
204
716000
5000
na kuingiza mabillioni kwa matrillioni ya Dola
12:01
and then spread them across the whole world,
205
721000
2000
na baadaye kuyatangaza dunia nzima
12:03
ignoring the specific and unique circumstances in a given village,
206
723000
5000
wakisahau mazingira mengine tofauti katika kijiji
12:08
the skills, the practices, the norms and habits
207
728000
3000
ujuzi, mazoea na tabia
12:11
that allowed that small aid project to succeed --
208
731000
3000
vilivyosababisha mradi mdogo wa msaada kufanikiwa
12:14
like in Sauri village, in Kenya, where Jeffrey Sachs is working --
209
734000
3000
kama katika kijiji cha sauri, Kenya,ambako Jeffrey Sachs yupo
12:17
and therefore generalize this experience
210
737000
3000
na kuifanya kuwa ndio hali
12:20
as the experience of everybody.
211
740000
3000
ya kila mtu
12:23
Aid increases the resources available to governments,
212
743000
5000
misaada inaongeza rasilimali kwa serikali
12:28
and that makes working in a government the most profitable thing
213
748000
4000
na hiyo inasababisha kufanya kazi serikalini kuwa na faida
12:32
you can have, as a person in Africa seeking a career.
214
752000
3000
utakuta mtu Afrika anatafuta ajira
12:35
By increasing the political attractiveness of the state,
215
755000
4000
kwa kuongeza ushawishi wa kisiasa wa serikali
12:39
especially in our ethnically fragmented societies in Africa,
216
759000
4000
na hasa katika jamii zetu zenye makabila mbalimbali
12:43
aid tends to accentuate ethnic tensions
217
763000
3000
misaada inachochea misuguano ya kikabila
12:46
as every single ethnic group now begins struggling to enter the state
218
766000
6000
kwa kuwa kila kabila litakuwa linataka kuingia serikalini
12:52
in order to get access to the foreign aid pie.
219
772000
3000
ili liweze kupata sehemu ya misaada
12:55
Ladies and gentlemen, the most enterprising people in Africa
220
775000
5000
mabibi na mabwana,watu wenye ujuzi zaidi Afrika
13:00
cannot find opportunities to trade and to work in the private sector
221
780000
5000
hawapati fursa za kufanya kazi na biashara na sekta binafsi
13:05
because the institutional and policy environment is hostile to business.
222
785000
3000
kwa kuwa sera zilizopo hazivutii biashara
13:08
Governments are not changing it. Why?
223
788000
2000
serikali hazitaki kubadilisha hali hii, Kwa nini?
13:10
Because they don't need to talk to their own citizens.
224
790000
5000
kwa sababu hawahitaji kuongea na wananchi wao.
13:15
They talk to international donors.
225
795000
2000
wanaongea na mashirika ya misaada ya kimataifa
13:17
So, the most enterprising Africans end up going to work for government,
226
797000
5000
kwa hiyo waafrika wenye ujuzi zaidi wanaishia kufanya kazi serikalini
13:22
and that has increased the political tensions in our countries
227
802000
3000
na hiyo imeongeza misuguano ya kisiasa katika nchi zetu
13:25
precisely because we depend on aid.
228
805000
3000
kwa kuwa tunategemea misaada
13:28
I also want to say that it is important for us to
229
808000
4000
nataka kusema pia ni muhimu kwetu
13:32
note that, over the last 50 years, Africa has been receiving increasing aid
230
812000
4000
kukumbuka kuwa kwa miaka 50 iliyopita Afrika imekuwa ikipokea misaada inayozidi kuongezeka
13:36
from the international community,
231
816000
2000
kutoka kwa jamii ya kimataifa
13:38
in the form of technical assistance, and financial aid,
232
818000
3000
katika njia za misaada ya kiufundi na fedha
13:41
and all other forms of aid.
233
821000
2000
na katika njia nyingine za misaada
13:43
Between 1960 and 2003, our continent received 600 billion dollars of aid,
234
823000
10000
kati ya mwaka 1960 na 2003 bara letu lilipokea dola billioni 600 za misaada
13:53
and we are still told that there is a lot of poverty in Africa.
235
833000
3000
na bado tunaelezwa kuwa kuna umaskini mwingi katika bara la afrika
13:56
Where has all the aid gone?
236
836000
3000
misaada yote hii imeenda wapi?
13:59
I want to use the example of my own country, called Uganda,
237
839000
4000
nataka kutumia mfano wa nchi yangu mwenyewe ya Uganda
14:03
and the kind of structure of incentives that aid has brought there.
238
843000
5000
jinsi misaada ilivyoleta mfumo wa utegemezi
14:08
In the 2006-2007 budget, expected revenue: 2.5 trillion shillings.
239
848000
6000
Katika bajeti ya 2006-2007,makisio ya mapato yalikuwa ni 2.5 trillion shillings
14:14
The expected foreign aid: 1.9 trillion.
240
854000
3000
makisio ya misaada ilikuwa ni 1.9 trillion.
14:17
Uganda's recurrent expenditure -- by recurrent what do I mean?
241
857000
4000
Matumizi ya Uganda yanayojirudi rudia,ninaposema hivi ninamaanisha nini?
14:21
Hand-to-mouth is 2.6 trillion.
242
861000
4000
ninamaanisha kutoka mkononi kwenda mdomoni ni trillioni 2.6
14:25
Why does the government of Uganda budget spend 110 percent
243
865000
5000
Kwa nini bajeti ya serikali ya Uganda inatumia asilimia 110
14:30
of its own revenue?
244
870000
1000
ya mapato yake?
14:31
It's because there's somebody there called foreign aid, who contributes for it.
245
871000
5000
kwa sababu kuna mtu anayeitwa misaada anayeichangia
14:36
But this shows you that the government of Uganda
246
876000
2000
Lakini hii inakuonyesha kuwa serikali ya Uganda
14:38
is not committed to spending its own revenue
247
878000
4000
haijajifunga kutumia mapato yake yenyewe
14:42
to invest in productive investments,
248
882000
2000
kuwekeze katika uzalishaji
14:44
but rather it devotes this revenue
249
884000
2000
Lakini inatumia mapato haya
14:46
to paying structure of public expenditure.
250
886000
4000
kulipia matumizi ya sekta ya umma
14:50
Public administration, which is largely patronage, takes 690 billion.
251
890000
5000
usimamizi wa serikali ambao ni wa kujuana sana,unachukua billioni 690
14:55
The military, 380 billion.
252
895000
2000
Jeshi, billioni 380
14:57
Agriculture, which employs 18 percent of our poverty-stricken citizens,
253
897000
5000
Kilimo ambacho kinaajiri asilimia 18 ya watu wetu ambao wengi ni maskini
15:02
takes only 18 billion.
254
902000
3000
kinachukua billioni 18 tu.
15:05
Trade and industry takes 43 billion.
255
905000
4000
Viwanda na biashara vinachukua billioni 43
15:09
And let me show you, what does public expenditure --
256
909000
4000
Ngoja nikuonyeshe ni nini matumizi ya umma
15:13
rather, public administration expenditure -- in Uganda constitute?
257
913000
4000
matumizi ya usimamizi wa umma yana nini ndani yake?
15:17
There you go. 70 cabinet ministers, 114 presidential advisers,
258
917000
6000
mawaziri 70, washauri wa rais 114
15:23
by the way, who never see the president, except on television.
259
923000
3000
ambao hawaonani na rais, isipokuwa katika runinga
15:26
(Laughter)
260
926000
3000
vicheko
15:29
(Applause)
261
929000
5000
makofi
15:34
And when they see him physically, it is at public functions like this,
262
934000
5000
na pale wanapokutana naye ni katika shughuli za kijamii kama hii,
15:39
and even there, it is him who advises them.
263
939000
4000
na hata hapo ni yeye anayewashauri
15:43
(Laughter)
264
943000
2000
vicheko
15:45
We have 81 units of local government.
265
945000
3000
tuna serikali za mitaa 81
15:48
Each local government is organized like the central government --
266
948000
2000
kila moja imeundwa kama serikali kuu
15:50
a bureaucracy, a cabinet, a parliament,
267
950000
2000
watawala, baraza la mawaziri, bunge
15:52
and so many jobs for the political hangers-on.
268
952000
3000
na kazi nyingine nyingi kwa washirika wa kisiasa
15:55
There were 56, and when our president wanted to
269
955000
3000
zilikuwa 56,na pale rais wetu alipotaka
15:58
amend the constitution and remove term limits,
270
958000
3000
kubadilisha katiba ili kuondoa ukomo wa kutawala
16:01
he had to create 25 new districts, and now there are 81.
271
961000
4000
aliunda wilaya mpya 25, na sasa kuna wilaya 81
16:05
Three hundred thirty-three members of parliament.
272
965000
2000
wabunge 333
16:07
You need Wembley Stadium to host our parliament.
273
967000
2000
unahitaji uwanja cha wembley kuweza kufanya kikao cha bunge letu
16:09
One hundred thirty-four commissions
274
969000
2000
tume 134
16:11
and semi-autonomous government bodies,
275
971000
5000
na vyombo vya serikali vyenye uhuru usio kamili
16:16
all of which have directors and the cars. And the final thing,
276
976000
4000
vyote vikiwa na wakurugenzi na magari, na kitu cha mwisho
16:20
this is addressed to Mr. Bono. In his work, he may help us on this.
277
980000
4000
hii naielekeza kwa Ndugu Bono. katika kazi yake anaweza akatusaidia katika hili
16:24
A recent government of Uganda study found
278
984000
2000
utafiti wa karibuni wa serikali ya Uganda uligundua
16:26
that there are 3,000 four-wheel drive motor vehicles
279
986000
4000
kuwa kuna magari ya kifahari 3000
16:30
at the Minister of Health headquarters.
280
990000
2000
katika makao makuu ya waziri wa afya
16:32
Uganda has 961 sub-counties, each of them with a dispensary,
281
992000
5000
Uganda ina tarafa 961,kila moja ikiwa na kituo cha afya
16:37
none of which has an ambulance.
282
997000
2000
lakini hakuna hata kimoja chenye gari la kubebea wagonjwa
16:39
So, the four-wheel drive vehicles at the headquarters
283
999000
3000
kwa hiyo magari ya kifahari makao makuu
16:42
drive the ministers, the permanent secretaries, the bureaucrats
284
1002000
3000
yanawaendesha mawaziri,makatibu wa wizara,viongozi
16:45
and the international aid bureaucrats who work in aid projects,
285
1005000
3000
viongozi kutoka mashirika ya misaada wanaofanya katika miradi ya misaada
16:48
while the poor die without ambulances and medicine.
286
1008000
6000
wakati maskini wanakufa kwa kukosa magari ya wagonjwa na madawa
16:54
Finally, I want to say that before I came to speak here,
287
1014000
4000
Mwisho,nataka kusema kuwa kabla ya kuja hapa kuzungumza
16:58
I was told that the principle of TEDGlobal
288
1018000
4000
niliambiwa kuwa msingi wa TEDGlobal
17:02
is that the good speech should be like a miniskirt.
289
1022000
3000
ni kuwa hotuba nzuri inatakiwa iwe kama sketi fupi
17:05
It should be short enough to arouse interest,
290
1025000
2000
inatakiwa iwe fupi kiasi cha kuamsha hisia
17:07
but long enough to cover the subject.
291
1027000
2000
lakini pia ndefu kufunika jambo lenyewe
17:09
I hope I have achieved that.
292
1029000
1000
natumaini nimefanikisha hilo
17:10
(Laughter)
293
1030000
1000
vicheko
17:11
Thank you very much.
294
1031000
1000
Asante sana
17:12
(Applause)
295
1032000
2000
makofi
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7