Why I speak up about living with epilepsy | Sitawa Wafula

80,689 views ・ 2017-06-14

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
Nina jambo la kushuhudia.
00:12
I have a confession.
0
12605
2227
00:16
I have been in an affair
1
16858
2447
Nimekuwa katika mahusiano
00:19
since I was 17 years old.
2
19329
2203
tangu nikiwa na miaka 17.
00:22
I wish I could talk about butterflies in my stomach
3
22704
3847
Natamani ningeongelea kuhusu vipepeo ndani ya tumbo langu
00:26
or maps I drew on the ground
4
26575
2839
au ramani nilizochora ardhini
00:29
when I think about this affair,
5
29438
2285
kila ninapowaza kuhusu uhusiano huu,
00:31
but I cannot.
6
31747
1419
lakini siwezi.
00:33
I wish I could talk about sweet words spoken
7
33896
3260
Natamani ningeongelea kuhusu maneno matamu yaliyotamkwa
00:37
or gifts that I received
8
37180
2073
au zawadi nilizowahi kupokea
00:39
from this affair,
9
39277
1720
kutokana na uhusiano huu,
00:41
but I cannot.
10
41021
1476
lakini siwezi.
00:43
All I can tell you about is the aftermath,
11
43738
3179
Yote ninayoweza kukwambia ni matokeo,
00:47
about days I spent constantly asking:
12
47742
3752
ya kuhusu siku nilizotumia nikijiuliza mfululizo;
00:51
Why, why, why me?
13
51518
3373
Kwanini, kwanini, kwanini mimi?
00:57
I remember how it all began.
14
57240
2145
Nakumbuka yote haya yalipoanzia.
01:00
I was in my final year of high school,
15
60088
2787
Nilikuwa katika mwaka wangu wa mwisho wa shule ya sekondari,
01:02
and my class had just won in sports,
16
62899
3123
na darasa langu lilikuwa limeshinda katika michezo,
01:06
so we were singing and dancing and hugging each other.
17
66046
4719
hivyo tulikuwa tukiimba na kucheza na kukumbatiana.
01:10
I went and took a shower.
18
70789
1784
Nilikwenda kuoga.
01:12
Then I went for dinner.
19
72597
1584
Kisha nikaenda kupata chakula cha jioni.
01:15
And when I sat down to eat,
20
75061
2250
Na nilipokaa ili nipate chakula,
01:17
my teeth started chattering,
21
77335
2550
meno yangu yakaanza kugongana,
01:19
and so I couldn't put the spoon in my mouth.
22
79909
2535
na nikashindwa kuweka kijiko katika mdomo wangu.
01:22
I rushed to the nurse's office,
23
82468
2554
Nilikimbia katika ofisi ya nesi,
01:25
and because I couldn't talk, I just pointed at my mouth.
24
85046
3176
na kwa sababu nilikuwa siwezi kuongea, nilinyooshea kidole mdomoni mwangu.
01:28
She didn't know what was happening,
25
88984
1786
Hakuelewa ni jambo gani lililokuwa likitokea,
01:30
so she told me to lie down,
26
90794
2084
aliniambia nilale
01:32
and it worked --
27
92902
1272
ilinisaidia --
01:34
after a few minutes, the chattering stopped.
28
94198
2463
baada ya dakika chache, kugongana kwa meno kuliacha.
01:36
I was about to dash out, and she told me --
29
96685
4428
Nilitaka kuondoka haraka, kisha akaniambia --
01:41
no, she insisted -- that I go up to the dormitories to sleep.
30
101137
4130
Hapana, akisisitiza -- kwamba niende bwenini kulala.
01:46
Here I was in my final year of high school,
31
106085
3117
Wakati huu nilikuwa mwaka wa mwisho wa elimu yangu ya sekondari,
01:49
just a few months from doing my end of high school exams
32
109226
4555
miezi michache tu kabla sijaanza mitihani yangu ya mwisho
01:53
and a few days from doing a set of exams we call here in Kenya "mocks,"
33
113805
4889
na siku chache kabla ya kufanya mitihani ambayo kwa hapa Kenya tunaiita "mocks"
01:58
which are somehow meant to gauge how prepared one is for the final exams.
34
118718
5681
ambayo dhumuni lake ni kumpima mwanafunzi ni kwa namna gani amejiandaa na mtihani wa mwisho.
02:04
There is no way I was going to sleep
35
124423
2292
Hakuna namna ningeweza kulala
02:06
and let a set of exams mock me.
36
126739
2444
na kuacha mitihani hii inifanyie mzaha.
02:09
I went to class, sat down,
37
129207
3003
Nilienda darasani, nikaketi,
02:12
took my Kenyan history notes,
38
132234
2355
nikachukua notisi zangu za historia ya Kenya,
02:14
and there I was, down Kenyan coastal town,
39
134613
3765
Nikaanza kusoma, kuhusu miji ya pwani za Kenya,
02:18
with the great Mekatilili wa Menza,
40
138402
2483
kuhusu mfalme Mekatili wa Menza,
02:20
the Giriama woman who led her people against British colonial rule.
41
140909
4998
mwanamke wa Giriama aliyeongoza watu wake kupinga ukoloni wa Waingereza.
02:27
Then, without any notice,
42
147319
2916
Baada ya hapo, bila kutambua chochote,
02:30
my left hand started jerking,
43
150259
2777
mkono wangu wa kushoto ukaanza kutetemeka,
02:34
and it was as if I was marking imaginary papers.
44
154375
2736
na ikawa kama naweka alama katika karatasi la kufikirika.
02:37
In and out it went,
45
157893
2406
Ndani na nje,
02:40
and with every stroke, one by one,
46
160953
3195
na kila mjongeo, mmoja baada ya mwingine,
02:44
my classmates stopped concentrating on their reading
47
164172
3483
wanadarasa wenzangu wakaacha kujisomea
02:47
and started looking at me.
48
167679
2034
na wakaanza kunishangaa mimi.
02:50
And I tried really hard to stop it,
49
170376
2671
Na kujaribu kwa bidii zote kuzuia hali hiyo,
02:53
but I couldn't,
50
173071
1656
lakini sikuweza,
02:54
because it had a life of its own.
51
174751
2050
kwa sababu ulikuwa na aina yake ya maisha.
02:58
And then, when it was sure everybody was looking at us,
52
178107
4622
Kisha, ulipokuwa umehakikisha kwamba kila mtu alikuwa akituangalia,
03:02
in its final show and official introduction,
53
182753
4190
Ukaonyesha rasmi,
03:06
I had my first full-blown seizure,
54
186967
2809
Kuwa na degedege kwa mara ya kwanza,
03:09
which was the beginning of what has been a 15-year-long affair.
55
189800
5153
ambapo ilikuwa ni mwanzo wa mahusiano ambayo yana miaka 15 mpaka sasa.
03:17
Seizures are the trademark characteristic for most types of epilepsy,
56
197361
6555
Mpapatiko ni moja dalili ya aina nyingi za kifafa,
03:23
and every first-ever seizure needs to be assessed by a doctor
57
203940
4478
na kila mpapatiko wowote wa mapema hutakiwa kuchunguzwa na daktari
03:28
to determine if one has epilepsy
58
208442
2503
kugundua kama mtu ana kifafa
03:30
or if it's a symptom of something else.
59
210969
2686
au kama ni dalili ya ugonjwa mwingine.
03:33
In my case, it was confirmed that I had epilepsy.
60
213679
3856
Katika tatizo langu, iligundulika kwamba nilikuwa na kifafa.
03:38
I spent a large chunk of my time in hospital and at home,
61
218091
4895
Nilitumia muda mwingi sana hospitali na nyumbani,
03:43
and only went back to do my final exams.
62
223010
3285
na shule nilirudi kufanya mtihani wangu wa mwisho tu.
03:47
I had seizures in between papers,
63
227255
3849
Nilikuwa nikipatwa na mpapatiko katika ya mitihani,
03:51
but managed to get good enough grades
64
231128
2136
lakini nilifanikiwa kupata alama nzuri za kutosha
03:53
to be admitted for an actuarial science degree
65
233288
3260
kupata nafasi ya kujiunga na shahada ya sayansi ya takwimu za bima
03:56
at the University of Nairobi.
66
236572
1591
katika chuo cha Nairobi.
03:58
(Applause)
67
238187
3448
(Makofi)
04:04
Unfortunately, I had to drop out in my second year.
68
244530
4563
Kwa bahati mbaya, niliacha chuo nikiwa mwaka wa pili.
04:09
I didn't have good enough coping skills
69
249117
2443
Sikuwa na uwezo wa kutosha wa kuendana na wenzangu
04:11
and a support community around me.
70
251584
2136
na jamii iliyokuwa inanizunguka.
04:14
I was lucky enough to get a job,
71
254315
1910
Nilibahatika kupata kazi,
04:17
but I was fired from that job when I had a seizure in the workplace.
72
257050
4684
lakini nilifukuzwa baada ya kupatwa na mpapatiko nikiwa kazini.
04:22
So I found myself in a space
73
262521
4124
Nikajikuta katika mahala
04:26
where I was constantly asking myself
74
266669
3432
ambapo nilikuwa najiuliza kila wakati
04:30
why this had to happen to me.
75
270125
2471
kwanini suala hili limenitokea mimi.
04:33
I lived in denial for a long time,
76
273548
2858
Nimeishi katika kukataa ukweli kwa muda mrefu,
04:37
and the denial was maybe because of the things that had happened,
77
277264
6861
na kujikataa huku pengine ni kwa sababu ya mambo ambayo yalitokea,
04:44
dropping out of school and being fired from my job.
78
284149
2720
kuacha chuo na kufukuzwa kazi.
04:47
Or maybe it was because of the things I had heard about epilepsy
79
287523
4015
Au kwa sababu ya vitu nilivyosikia kuhusu kifafa
04:51
and about people living with epilepsy:
80
291562
2585
na kuhusu watu wanaoishi na kifafa;
04:54
that they would never live on their own;
81
294171
2232
kwamba hawawezi kuishi wenyewe
04:56
that they would never travel on their own
82
296427
2241
na hawawezi kusafiri wakiwa peke yao
04:58
or even get work;
83
298692
1420
au hata kupata kazi;
05:01
that they were outcasts,
84
301191
1849
Kwamba ni watu walio tofauti,
05:03
with a spirit in them that they needed to be delivered from.
85
303064
3823
walio na roho ambayo wanatakiwa kuokolewa kutoka hiyo roho.
05:08
And so the more I thought about these things,
86
308482
3627
Hivyo, nilipokuwa nikizidi kuwaza kuhusu haya mambo,
05:12
the more my seizures became,
87
312133
3677
na ndiyo hali yangu ilikuwa ikinitokea,
05:15
and I spent days with my legs locked,
88
315834
3105
Niliishi miguu yangu ikiwa inafungwa kamba kwa siku kadhaa,
05:18
my speech became blurred
89
318963
3421
sauti yangu ilikuwa ikififia
05:22
and on days on end, this is how I'd be.
90
322408
3661
na katika mwisho wa siku, hivi ndivyo ambavyo ningekuwa.
05:26
Two or three days after a seizure,
91
326867
2033
Siku mbili au tatu baada ya mpapatiko,
05:28
my head and my hand would still be twitching.
92
328924
3230
kichwa na mikono yangu vilikuwa bado vinatingishika.
05:34
I felt lost,
93
334079
1604
Nilijihisi kupotea,
05:36
like I'd lost everything,
94
336500
1944
kama vile ningepoteza kila kitu,
05:39
and sometimes,
95
339353
1457
na wakati mwingine,
05:42
even the will to live.
96
342596
1719
hata shauri la kuishi.
05:53
(Sigh)
97
353544
1342
(Mguno)
06:00
I had so much frustration in me.
98
360377
2535
Nilikuwa na msongo mkubwa wa mawazo.
06:03
And so I started writing,
99
363821
1547
Nikaanza kuandika,
06:05
because the people around me didn't have answers
100
365392
2839
kwa sababu watu waliokuwa wananizunguka hawakuwa na majibu
06:08
to the questions that I had.
101
368255
1955
ya maswali niliyokuwa nayo.
06:10
And so I wrote my fears
102
370929
2702
Kisha nikaandika hofu zangu zote
06:13
and my doubts.
103
373655
1300
na wasiwasi wangu.
06:15
I wrote about my good days and my bad days and my really ugly days,
104
375749
4267
Niliandika kuhusu siku zangu nzuri na siku zangu mbaya na zile zilizo mbaya zaidi,
06:20
and I shared them on a blog.
105
380040
1750
kisha nikashirikisha katika blogu.
06:22
And before long,
106
382898
1338
Na kabla ya muda kupita,
06:25
I began to be seen and heard by people who had epilepsy
107
385308
3631
Nilianza kuonekana na kusikika na watu waliokuwa na kifafa
06:28
and their families,
108
388963
1434
na familia zao,
06:30
and even those who did not have the diagnosis.
109
390421
2836
na hata wale ambao hawana ugonjwa huu.
06:33
And I moved from that girl who constantly asked why me
110
393773
4090
Na nikaondoka kutoka kwa yule msichana ambae alikuwa akijiuliza ni kwanini mimi kila wakati mimi
06:37
to one who not only self-advocates,
111
397887
2787
na nikawa ambae sio tu najishauri mwenyewe
06:40
but does it for those who are yet to find their voices.
112
400698
3492
lakini hata kwa wale ambao bado hawajatambua sauti zao.
06:47
(Applause)
113
407197
4850
(Makofi)
06:54
My seizures are greatly reduced, from two to three times a day,
114
414901
3944
Mpapatiko wangu umepungua mno, kutoka mara mbili hadi tatu kwa siku,
06:58
to sometimes two to three times in one year.
115
418869
3407
na wakati mwingine mara mbili hadi tatu ndani ya mwaka.
07:02
I went on --
116
422300
1210
Nikaendelea --
07:03
(Applause)
117
423534
3964
(Makofi)
07:09
I went on to employ five people,
118
429299
2604
Nikafanikiwa kuajiri watu watano,
07:11
when I began what was Kenya's first
119
431927
2261
nilipoanzisha inayofahamika kama taasisi ya kwanza Kenya
07:14
free mental health and epilepsy support line.
120
434212
3078
ya bure kuhusu ushauri wa afya ya akili na kifafa.
07:17
And I travel --
121
437682
1322
Na nikasafiri --
07:19
(Applause)
122
439028
2297
(Makofi)
07:21
And I travel to speak about my affair,
123
441349
4498
Nikasafiri kuongelea kuhusu uhusiano wangu,
07:25
all these things that I had been told
124
445871
2357
vitu hivi vyote ambavyo niliambiwa
07:28
people like me living with epilepsy could never be able to do.
125
448252
4357
kwamba watu wenye kifafa kama mimi hawatoweza kamwe.
07:33
Every year, a population as big as 80 percent of Nairobi
126
453110
5216
Kila mwaka, watu takribani asilimia 80 sawa na watu waliopo jijini Nairobi
07:38
gets diagnosed with epilepsy
127
458350
2765
hugundulika kuwa na kifafa
07:41
across the globe.
128
461139
1439
dunia nzima.
07:43
And they, like me,
129
463166
1159
Na ni watu kama mimi.
07:44
go through the emotions of stigma and exclusion.
130
464349
4930
ambao wanapitia hisia za unyanyapaa na kutengwa.
07:50
And so I have made it my life journey
131
470422
3476
Nimeifanya kuwa safari ya maisha yangu
07:53
to keep these conversations going,
132
473922
2584
kufanya maongezi yaendelee,
07:56
and I keep confessing about my affair
133
476530
3175
na bado ninakubaliana na uhusiano wangu
07:59
so that those people who do not have the diagnosis
134
479729
3354
Ili watu ambao hawana kifafa
08:03
might know and might have a constant reminder
135
483107
3937
wanaweza tambua na kukumbuka kila wakati
08:07
that it is alright to engage with people like us,
136
487068
3180
kwamba hakuna tatizo kuwa pamoja na watu kama sisi.
08:10
that as long as they pull down the walls of stigma and exclusion,
137
490272
5560
kwa kadiri wanavyodidimiza ukuta wala unyanyapaa na kutengwa,
08:15
that we, just like them,
138
495856
2217
Ya kwamba sisi, kama wao,
08:18
can be able to take anything life throws at us.
139
498097
3680
tunaweza kabiliana na chochote kinachotujia maishani.
08:21
Thank you.
140
501801
1183
Asante.
08:23
(Applause)
141
503008
4403
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7