We don't "move on" from grief. We move forward with it | Nora McInerny | TED

1,781,453 views ・ 2019-04-25

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Julie Mbeyella
00:12
So, 2014 was a big year for me.
0
12896
2541
Mwaka 2014 ulikua ,mkubwa kwangu.
00:15
Do you ever have that,
1
15461
1166
Ulishawahi kuwa na hio,
00:16
just like a big year, like a banner year?
2
16651
2245
kama tu mwaka mkubwa, kama mwaka bango?
00:19
For me, it went like this:
3
19198
1437
Kwangu, ulienda hivi:
00:20
October 3, I lost my second pregnancy.
4
20659
3299
Oktoba 3, nilipoteza ujauzito wangu wa pili.
00:23
And then October 8, my dad died of cancer.
5
23982
3095
Halfu Oktoba 3, baba yangu alifariki kwa saratani.
00:27
And then on November 25, my husband Aaron died
6
27101
2770
Halafu tena Novemba 25, mme wangu Aaron alifariki
00:29
after three years with stage-four glioblastoma,
7
29895
2778
baada ya miaka mitatu ya hatua ya nne ya glioblastoma,
00:32
which is just a fancy word for brain cancer.
8
32697
2435
ambalo ni neno la mbwembwe la saratani ya ubongo.
00:36
So, I'm fun.
9
36822
1150
Hivyo, nina vichekesho.
00:38
(Laughter)
10
38639
1373
(Kicheko)
00:40
People love to invite me out all the time.
11
40036
3841
Watu wanapenda kunialika sehemu kila mara.
00:43
Packed social life.
12
43901
1406
Maingiano kibao.
00:45
Usually, when I talk about this period of my life,
13
45331
3064
Kawaida, ninapoongelea hiki kipindi cha maisha yangu,
00:48
the reaction I get is essentially:
14
48419
3214
majibu ninayopata kimsingi ni:
00:51
(Sighs)
15
51657
1935
(Mhemo)
00:53
"I can't -- I can't imagine."
16
53616
1860
"Siwezi -- siwezi kufikiria."
00:57
But I do think you can.
17
57061
1534
Lakini ninafikiri unaweza.
00:59
I think you can.
18
59696
1151
Ninafikiri unaweza.
01:00
And I think that you should
19
60871
1367
Na ninafikiri kua unatakiwa
01:02
because, someday, it's going to happen to you.
20
62262
2617
kwa sababu, siku moja, itakutokea wewe.
01:04
Maybe not these specific losses in this specific order or at this speed,
21
64903
4658
Labda sio hizi hasara kabisa kwenye namna hii maalum au kwa kazi hii,
01:09
but like I said, I'm very fun
22
69585
1390
ila nimesema, nina vichekesho
01:10
and the research that I have seen will stun you:
23
70999
3697
na utafiti nilioona utakushangaza:
01:14
everyone you love has a 100 percent chance of dying.
24
74720
3610
kila mtu unaempenda ana nafasi asilimia 100 ya kufa.
01:18
(Laughter)
25
78354
2596
(Kicheko)
01:20
And that's why you came to TED.
26
80974
1571
Na ndio maana ukaja TED.
01:22
(Laughter)
27
82569
2062
(Kicheko)
01:24
(Applause)
28
84655
3312
(Makofi)
01:28
So, since all of this loss happened,
29
88292
1730
Tangu hasara yote ilivyonitokea,
01:30
I've made it a career to talk about death and loss,
30
90046
4293
nimefanya kazi kuongelea kuhusu kifo na hasara,
01:34
not just my own, because it's pretty easy to recap,
31
94363
2420
sio yangu tu, kwa sababu ni rahisi kukumbuka,
01:36
but the losses and tragedies that other people have experienced.
32
96807
4046
lakini hasara na mikasa ambayo watu wengine wamepitia.
01:40
It's a niche, I have to say.
33
100877
2339
Ni sehemu, naweza kusema.
01:43
(Laughter)
34
103240
1741
(Kicheko)
01:45
It's a small niche, and I wish I made more money, but ...
35
105005
3099
Ni sehemu ndogo, na natamani ningekua na hela nyingi, lakini ...
01:48
(Laughter)
36
108128
1330
(Kicheko)
01:49
I've written some very uplifting books,
37
109482
3111
Nimeandika vitabu vya kuinua kweli,
01:52
host a very uplifting podcast, I started a little nonprofit.
38
112617
3693
nikaendesha podikasti ya kuinua sana, nikaanzaisha shirika lisilo la serikali.
01:56
I'm just trying to do what I can
39
116334
1600
Ninajaribu tu kufanya ninachoweza
01:57
to make more people comfortable with the uncomfortable,
40
117958
3524
kufanya watu wengi zaidi wafarijike kwenye hali zilizo ngumu,
02:01
and grief is so uncomfortable.
41
121506
2134
na majonzi ni magumu sana.
02:04
It's so uncomfortable, especially if it's someone else's grief.
42
124014
3817
Ni magumu sana, haswa kama ni majonzi ya mtu mwingine.
02:09
So part of that work is this group that I started with my friend Moe,
43
129323
4222
Basi sehemu ya hio kazi ni hili kundi nililoanzisha na rafiki yangu Moe,
02:13
who is also a widow;
44
133569
1222
ambae pia ni mjane;
02:14
we call it the Hot Young Widows Club.
45
134815
2535
tunaliita Chama cha Wajane Wadogo Wakali.
02:17
(Laughter)
46
137374
1374
(Kicheko)
02:18
And it's real, we have membership cards
47
138772
2475
Na ni ukweli, tuna kadi za uwanachama
02:21
and T-shirts.
48
141271
1373
na tisheti.
02:23
And when your person dies, your husband, wife, girlfriend, boyfriend,
49
143272
3680
Na pale mtu wako akifariki, mmeo, mke, mchumba,
02:26
literally don't care if you were married,
50
146976
1991
hatujali kabisa kama ulikua kwenye ndoa,
02:28
your friends and your family are just going to look around
51
148991
2751
marafiki zako na familia yako watakua tu wanaangalia
02:31
through friends of friends of friends of friends
52
151766
2356
kwa marafiki wa marafiki wa marafiki wa marafiki
02:34
until they find someone who's gone through something similar,
53
154146
2864
mpaka wapate mtu ambae amepitia hali inayofanana,
02:37
and then they'll push you towards each other
54
157034
2361
halafu watawasukuma mje pamoja
02:39
so you can talk amongst yourselves and not get your sad on other people.
55
159419
4367
ili muongee miongoni mwenu na msiwe na masikitiko kwa watu wengine.
02:43
(Laughter)
56
163810
2159
(Kicheko)
02:45
So that's what we do.
57
165993
1401
Basi ndicho tunachofanya.
02:47
It's just a series of small groups,
58
167418
3492
Ni mfululizo tu wa makundi madogo,
02:50
where men, women, gay, straight, married, partnered,
59
170934
3549
ambapo wanaume, wanawake, mashoga, wa kawaida, wanandoa, wenye wenza,
02:54
can talk about their dead person,
60
174507
4269
wanaweza kuongelea kuhusu mtu wao aliyekufa,
02:58
and say the things
61
178800
1246
na kusema vile vitu
03:00
that the other people in their lives aren't ready or willing to hear yet.
62
180070
3719
ambavyo mtu mwingine kwenye maisha yao hayuko tayari kuvisikia bado.
03:03
Huge range of conversations.
63
183813
2478
Eneo kubwa la mazungumzo.
03:06
Like, "My husband died two weeks ago,
64
186315
1788
Kama, "Mme wangu alikufa wiki mbili zilizopita,
03:08
I can't stop thinking about sex, is that normal?"
65
188127
2318
siwezi kuacha kufikiria kuhusu ngono, ni kawaida?"
03:10
Yeah.
66
190469
1154
Ndio.
03:11
"What if it's one of the Property Brothers?"
67
191647
2049
"Je kama ni mmoja wa Property Brothers?"
03:13
Less normal, but I'll accept it.
68
193720
1546
Kawaida kidogo, ila nitaikubali.
03:15
(Laughter)
69
195290
3134
(Kicheko)
03:18
Things like, "Look, when I'm out in public and I see old people holding hands,
70
198910
3841
Vitu kama, "Ona, nikiwa hadharani na nikaona wazee wanashikana mikono,
03:22
couples who have clearly been together for decades,
71
202775
2586
wenzi ambao ni wazi wamekua pamoja kwa miongo,
03:25
and then I look at them and I imagine
72
205385
2327
halafu ninawaangalia na kuwaza
03:27
all of the things they've been through together,
73
207736
2246
vitu vyote ambavyo wamepitia pamoja,
03:30
the good things, the bad things,
74
210006
1539
vitu vizuri na vitu vibaya,
03:31
the arguments they've had over who should take out the trash ...
75
211569
3071
ugomvi waliokuanao kuhusu nani wa kutoa taka ...
03:34
I just find my heart filled with rage."
76
214664
3032
nakuta tu moyo umejawa na hasira."
03:37
(Laughter)
77
217720
1001
(Kicheko)
03:38
And that example is personal to me.
78
218745
1807
Na huo mfano ni wa pekee kwangu.
03:42
Most of the conversations that we have in the group
79
222077
3151
Mazungumzo mengi ambayo tunakuwa nayo kwenye kundi
03:45
can and will just stay amongst ourselves,
80
225252
1977
yanaweza na yanakaa miongoni mwetu,
03:47
but there are things that we talk about
81
227253
1919
lakini kuna vitu tunavyoviongelea
03:49
that the rest of the world -- the world that is grief-adjacent
82
229196
3183
ambavyo duniani -- dunia ambayo iko karibu na majonzi
03:52
but not yet grief-stricken --
83
232403
1514
ila bado haijapigwa na majonzi
03:53
could really benefit from hearing.
84
233941
1906
inaweza kweli kunufaika kusikia.
03:55
And if you can't tell,
85
235871
1278
Na kama huwezi kusema,
03:57
I'm only interested in / capable of unscientific studies,
86
237173
4380
ninavutiwa/uwezo tu wa masomo yabbsiyo ya kisayansi,
04:01
so what I did was go to The Hot Young Widows Club
87
241577
2374
nilienda kwenye Chama cha Wajane Wadogo Wakali
04:03
and say, "Hello, friends, remember when your person died?" They did.
88
243975
4610
na kusema, "Habari, marafiki, unakumbuka mtu wako alivyokufa?" Walikumbuka.
04:08
"Do you remember all the things people said to you?"
89
248609
2485
"Unakumbuka vitu vyote watu walikuambia?"
04:11
"Oh, yeah."
90
251118
1171
"Ah, ndio."
04:12
"Which ones did you hate the most?"
91
252313
1763
"Ni vipi ulivyovichukia zaidi?"
04:14
I got a lot of comments, lot of answers, people say a lot of things,
92
254100
3207
Nilipata maoni mengi, majibu mengi, watu wanasema vitu vingi,
04:17
but two rose to the top pretty quickly.
93
257331
2600
lakini viwili vilisimama juu haraka sana.
04:20
"Moving on."
94
260990
1150
"Kusonga mbele."
04:23
Now, since 2014,
95
263561
2610
Sasa, tangu 2014,
04:26
I will tell you I have remarried a very handsome man named Matthew,
96
266195
4048
nitakuambia nilifunga ndoa tena na mwanaume mzuri kweli aitwae Matthew,
04:30
we have four children in our blended family,
97
270267
3103
tuna watoto wanne kwenye familia yetu iliyochanganyika,
04:33
we live in the suburbs of Minneapolis, Minnesota, USA.
98
273394
3493
tuniashi kwenye viunga vya Minneapolis, Minnesota, Marekani.
04:36
We have a rescue dog.
99
276911
1420
Tuna mbwa aliyeokolewa.
04:38
(Laughter)
100
278355
1307
(Kicheko)
04:39
I drive a minivan,
101
279686
1412
ninaendesha gari la familia,
04:41
like the kind where doors open and I don't even touch them.
102
281122
2816
kama la aina ambayo milango inafunguka bila hata kuigusa.
04:43
(Laughter)
103
283962
1184
(Kicheko)
04:45
Like, by any "mezhure," life is good.
104
285170
3193
Kama, "mezhure" yoyte, maisha ni mazuri.
04:48
I've also never said "mezhure," I've never once said it that way.
105
288387
3072
Sijawahi pia kusema "mezhure," sijawahi hata mara moja kuisema hivyo.
04:51
(Laughter)
106
291483
5279
(Kicheko)
04:56
I don't know where that came from.
107
296786
1651
Sijui hata imetokea wapi.
04:58
(Laughter)
108
298461
1761
(Kicheko)
05:00
I've never heard anyone else say it that way.
109
300246
2275
Sijawahi kusikia mtu yeyote akiisema hivyo.
05:02
It looks like it should be said that way,
110
302545
1977
Inaonekana kama inapaswa kusemwa hivyo,
05:04
and that's why the English language is trash, so ...
111
304546
2557
na ndio sababu lugha ya Kiingereza ni mbovu, basi ...
05:07
(Laughter)
112
307127
1054
(Kicheko)
05:08
So impressed with anyone who, like, speaks it
113
308205
2126
Ninavutiwa sana na mtu ambae anaiongea
05:10
in addition to a language that makes sense -- good job.
114
310355
2873
kuongezea kwenye lugha inayoeleweka -- kazi nzuri.
05:13
(Laughter)
115
313252
1992
(Kicheko)
05:15
But by any measure ...
116
315268
1436
Lakini, kwa vyovote vile ...
05:16
(Laughter)
117
316728
1500
(Kicheko)
05:18
By any measure, life is really, really good, but I haven't "moved on."
118
318252
5150
Kwa vyovyote vile, maisha ni mazuri sana sana, lakini "sijasonga mbele."
05:24
I haven't moved on, and I hate that phrase so much,
119
324085
3024
Sijasonga mbele, na siupendi kabisa huo msemo,
05:27
and I understand why other people do.
120
327133
1791
na ninaelewa kwanini wengine hawaupendi.
05:28
Because what it says
121
328948
1150
Kwa sababu unachosema
05:30
is that Aaron's life and death and love are just moments
122
330122
4588
ni kua maisha na kifo cha Aaron na upendo ni wakati tu
05:34
that I can leave behind me -- and that I probably should.
123
334734
3803
ambao nauweza kuuacha nyuma yangu -- na kua napaswa kufanya hivyo.
05:38
And when I talk about Aaron, I slip so easily into the present tense,
124
338561
4230
Na ninapoongelea kuhusu Aaron, ninaingia kirahisi kwenye hali halisi,
05:42
and I've always thought that made me weird.
125
342815
2556
na nimewaza kweli kua hio inanifanya wa ajabu.
05:45
And then I noticed that everybody does it.
126
345395
2424
Halafu nikagundua kua kila mtu anafanya hivyo.
05:48
And it's not because we are in denial or because we're forgetful,
127
348595
4167
Na sio kwa sababu tuna kana au kwa sababu tunasahau,
05:52
it's because the people we love, who we've lost,
128
352786
2261
ni kwa sababu watu tunaowapenda, tuliowapoteza,
05:55
are still so present for us.
129
355071
2158
bado ni halisi kwetu sisi.
05:58
So, when I say, "Oh, Aaron is ..."
130
358800
2600
Basi, ninaposema, "Oh, Aaron ni ..."
06:02
It's because Aaron still is.
131
362276
2245
Ni kwa sababu Aaron bado yupo.
06:05
And it's not in the way that he was before,
132
365831
2040
Na sio kwa namna alivyokua kabla.
06:07
which was much better,
133
367895
1183
iliyokua bora zaidi,
06:09
and it's not in the way that churchy people try to tell me that he would be.
134
369102
3642
na sio namna ambayo watu wa kanisani wanavyojaribu kuniambia anavyokua.
06:12
It's just that he's indelible,
135
372768
3679
ni kua tu amezimika,
06:17
and so he is present for me.
136
377411
2636
na hivyo yupo sasa kwangu.
06:20
Here,
137
380610
1150
Hapa,
06:21
he's present for me in the work that I do,
138
381784
2259
yupo hapa kwenye kazi ninayofanya,
06:24
in the child that we had together,
139
384067
2608
kwenye mtoto tulionae pamoja,
06:26
in these three other children I'm raising,
140
386699
2055
kwenye hawa watoto wengine watatu ninaolea,
06:28
who never met him, who share none of his DNA,
141
388778
2786
ambao hawajawahi kunuona, ambao hawana DNA yake,
06:31
but who are only in my life because I had Aaron
142
391588
3865
lakini wapo kwenye maisha yangu tu kwa sababu nilikuwa na Aaron
06:35
and because I lost Aaron.
143
395477
1666
na kwa sababu nilimpoteza Aaron.
06:38
He's present in my marriage to Matthew,
144
398302
2351
Yupo nami kwenye ndoa yangu na Matthew,
06:40
because Aaron's life and love and death
145
400677
3205
kwa sababu maisha na upendo na kifo cha Aaron
06:43
made me the person that Matthew wanted to marry.
146
403906
2666
vimenifanya kua mtu ambae Matthew angetaka kuoa.
06:46
So I've not moved on from Aaron,
147
406596
4233
Hivyo sijasonga mbele kutoka kwa Aaron,
06:50
I've moved forward with him.
148
410853
2841
nimesonga mbele na yeye.
06:56
(Applause)
149
416925
5649
(Makofi)
07:02
We spread Aaron's ashes in his favorite river in Minnesota,
150
422995
4667
Tulisambaza majivu ya Aaron kwenye mto aupendao huko Minnesota,
07:07
and when the bag was empty --
151
427686
1507
na pale begi lilipokua tupu --
07:09
because when you're cremated, you fit into a plastic bag --
152
429217
4721
kwa sababu ukiwa umechomwa, unatoshea kwenye mfuko wa plastiki --
07:13
there were still ashes stuck to my fingers.
153
433962
2920
kulikua na majibu bado yamebaki kwenye vidole vyangu.
07:16
And I could have just put my hands in the water and rinsed them,
154
436906
3087
Na ningeingiza tu mikono yangu kwenye maji na kuisuuza,
07:20
but instead, I licked my hands clean,
155
440017
2806
lakini badala lake, nililamba mikono yangu,
07:23
because I was so afraid of losing more than I had already lost,
156
443617
3722
kwa sababu niliogopa kupoteza zaidi ya nilichopoteza zaidi,
07:27
and I was so desperate to make sure that he would always be a part of me.
157
447363
4063
na nilitamani sana kuhakikisha kua atakua ni sehemu yangu daima.
07:32
But of course he would be.
158
452371
1733
Lakini bila shaka atakua.
07:34
Because when you watch your person fill himself with poison for three years,
159
454878
4461
Kwa sababu unapomuona mtu wako akijijaza na sumu kwa miaka mitatu,
07:39
just so he can stay alive a little bit longer with you,
160
459363
2660
ili tu aweze kuishi zaidi kidogo na wewe,
07:42
that stays with you.
161
462047
1744
hilo linakaa na wewe.
07:45
When you watch him fade from the healthy person he was the night you met
162
465196
4650
Unapomuangalia akififia kutoka kwenye mtu mwenye afya siku mliokutana
07:49
to nothing, that stays with you.
163
469870
1583
kuwa sifuri, hiyo inakaa na wewe.
07:51
When you watch your son, who isn't even two years old yet,
164
471477
2837
Unapomuangalia mwanao, amba hata bado hana miaka miwili,
07:54
walk up to his father's bed on the last day of his life,
165
474338
2691
akienda kitandani kwa baba yake siku ya mwisho ya maisha yake,
07:57
like he knows what's coming in a few hours,
166
477053
2270
kama vile anajua kinachofuata masaa machache,
07:59
and say, "I love you. All done. Bye, bye."
167
479347
5016
na kusema, "Nakupenda. Nimemaliza. Kwaheri."
08:05
That stays with you.
168
485776
1975
Hiyo inakaa na wewe.
08:09
Just like when you fall in love, finally, like really fall in love
169
489347
4690
Kama tu unapopenda, hatimae, unapopenda kweli
08:14
with someone who gets you and sees you
170
494061
2342
mtu anaekuelewa na kukuona
08:16
and you even see, "Oh, my God, I've been wrong this entire time.
171
496427
3097
na unaona pia, "Mungu wangu, nimekua nikikosea mda wote huu.
08:19
Love is not a contest or a reality show -- it's so quiet,
172
499548
4784
Upendo sio mashindano au kipindi cha televisheni -- ni ukimya sana,
08:24
it's this invisible thread of calm that connects the two of us
173
504356
3689
ni huu uzi usioonekana wa utulivu unatuunganisha wawili
08:28
even when everything is chaos,
174
508069
1768
hata kama kila kitu kina vurugu,
08:29
when things are falling apart, even when he's gone."
175
509861
2926
vitu vinapoenda vibaya, hata kama akiondoka."
08:34
That stays with you.
176
514474
2269
Hio inakaa na wewe.
08:38
We used to do this thing --
177
518958
1371
Tulikua tunafanya hivi --
08:40
because my hands are always freezing and he's so warm,
178
520353
2635
mikono yangu ilikua na baridi na yeye ana joto,
08:43
where I would take my ice-cold hands and shove them up his shirt ...
179
523012
3412
nilichukua mikono yangu ya barafu na kuisukuma ndani ya shati lake ...
08:46
press them against his hot bod.
180
526886
2009
kuikandamiza kwenye mwili wake mkali.
08:48
(Laughter)
181
528919
2063
(Kicheko)
08:51
And he hated it so much,
182
531405
2515
Na alikua hapendi kabisa,
08:53
(Laughter)
183
533944
1021
(Kicheko)
08:54
but he loved me,
184
534989
1358
lakini alinipenda,
08:56
and after he died, I laid in bed with Aaron
185
536371
4857
na alivyokufa, nililala kitandani na Aaron
09:01
and I put my hands underneath him
186
541252
2404
na nikaweka mikono yangu chini yake
09:05
and I felt his warmth.
187
545355
2490
na nikahisi joto lake.
09:10
And I can't even tell you if my hands were cold,
188
550374
3507
Na sikuweza hata kusema kama mikono yangu ilikua na baridi,
09:13
but I can tell you
189
553905
1556
lakini ninaweza kuwaambia
09:15
that I knew it was the last time I would ever do that.
190
555485
2928
kua nilijua ilikua mara ya mwisho ningeweza kufanya hivyo.
09:20
And that that memory is always going to be sad.
191
560209
3200
Na hio kumbukumbu itakua ya kusikitisha daima.
09:23
That memory will always hurt.
192
563733
1933
Hio kumbukumbu itauma daima.
09:26
Even when I'm 600 years old and I'm just a hologram.
193
566051
2844
Hata kama nikiwa na miaka 600 na ni hologramu tu.
09:28
(Laughter)
194
568919
2277
(Kicheko)
09:32
Just like the memory of meeting him is always going to make me laugh.
195
572204
5693
Kama tu kumbukumbu ya kukutana nae itanifanya nicheke daima.
09:39
Grief doesn't happen in this vacuum,
196
579860
1794
Maombolezo hayatokei kwenye huu utupu,
09:41
it happens alongside of and mixed in with all of these other emotions.
197
581678
6468
yanatokea pamoja na na ikichanganyika na hisia zote hizi nyingine.
09:50
So, I met Matthew, my current husband --
198
590024
4548
Hivyo, nikakutana na Matthew, mme wangu wa sasa --
09:54
who doesn't love that title,
199
594596
1872
ambae hapendi hicho cheo,
09:56
(Laughter)
200
596492
3778
(Kicheko)
10:00
but it's so accurate.
201
600713
1476
lakini ni sawa kabisa.
10:02
(Laughter)
202
602213
2610
(Kicheko)
10:05
I met Matthew, and ...
203
605935
2348
Nilikutana na Matthew, na ...
10:09
there was this audible sigh of relief among the people who love me,
204
609577
3331
kulikua na hii pumzi ya wazi ya faraja kati ya watu wanaonipenda,
10:12
like, "It's over!
205
612932
2422
kama, "Imekwisha!
10:16
She did it.
206
616680
1150
Ameweza.
10:19
She got a happy ending, we can all go home.
207
619069
2468
Amepata mwisho mzuri, tunaweza kurudi nyumbani sasa.
10:21
And we did good."
208
621561
2001
Na tumefanya vizuri."
10:23
And that narrative is so appealing even to me,
209
623586
3023
Na hio hadithi inafaa hata hata kwangu,
10:26
and I thought maybe I had gotten that, too, but I didn't.
210
626633
3842
na nikawaza labda nimeipata hio pia, lakini haikua hivyo.
10:30
I got another chapter.
211
630499
2538
Nilipata sura nyingine.
10:33
And it's such a good chapter -- I love you, honey --
212
633061
3945
Na ni sura nzuri sana -- nakupenda, mpenzi --
10:37
it's such a good chapter.
213
637030
1745
ni sura nzuri sana.
10:39
But especially at the beginning, it was like an alternate universe,
214
639419
3861
Tena haswahaswa mwanzoni, ilikua kama ulimwengu mbadala,
10:43
or one of those old "choose your own adventure" books from the '80s
215
643304
3158
au moja ya vile vitabu ya zamani vya "chagua shani yako" vya miaka ya 80
10:46
where there are two parallel plot lines.
216
646486
1928
ambapo kuna mistari miwili sambamba.
10:48
So I opened my heart to Matthew,
217
648438
1594
Nikafungua moyo wangu kwa Matthew,
10:50
and my brain was like, "Would you like to think about Aaron?
218
650056
3764
na ubongo wangu ukawa, "Ungependa kumfikiria Aaron?
10:54
Like, the past, the present, future, just get in there," and I did.
219
654409
4000
Kama zamani, sasa, mbeleni, ingia tu huko," na nilifanya hivyo.
10:59
And all of a sudden, those two plots were unfurling at once,
220
659052
3089
Na ghafla, hiyo mistari miwili ilifunguka kwa pamoja,
11:02
and falling in love with Matthew really helped me realize the enormity
221
662165
3587
na kupendana na Matthew kumenisaidia sana kugundua ukubwa
11:05
of what I lost when Aaron died.
222
665776
2066
wa nilichopoteza Aaron alivyofariki.
11:09
And just as importantly,
223
669680
1163
Na ilivyo muhimu,
11:10
it helped me realize that my love for Aaron
224
670867
3750
ilinisaidia kugundua kua upendo wangu kwa Aaron
11:14
and my grief for Aaron,
225
674641
2111
na maombolezo yangu kwa Aaron,
11:16
and my love for Matthew, are not opposing forces.
226
676776
4531
na upendo wangu kwa Matthew, sio nguvu za kupishana.
11:22
They are just strands to the same thread.
227
682680
2800
Ni sehemu tu za uzi mmoja
11:26
They're the same stuff.
228
686111
1533
Ni vitu sawa sawa.
11:30
I'm ... what would my parents say?
229
690000
3246
Wazazi wangu wangesemaje?
11:33
I'm not special.
230
693270
1539
Mimi sio wa pekee.
11:35
(Laughter)
231
695645
1015
(Kicheko)
11:36
They had four kids, they were like ... frankly.
232
696684
2536
Walikua na watoto wanne, walikua kama ... wa kweli.
11:39
(Laughter)
233
699244
1785
(Kicheko)
11:41
But I'm not, I'm not special.
234
701053
1768
Lakini mimi sio, mimi sio wa pekee.
11:42
I know that, I'm fully aware
235
702845
2058
Ninajua hilo, ninajua vizuri
11:44
that all day, every day, all around the world,
236
704927
2507
kua siku nzima, kila siku duniani kote,
11:47
terrible things are happening.
237
707458
1778
vitu vibaya vinatokea.
11:49
All the time.
238
709260
1151
Kila mara.
11:50
Like I said, fun person.
239
710435
1745
Kama nilivyosema, mtu mcheshi.
11:52
But terrible things are happening,
240
712204
2486
Lakini vitu vibaya vinatokea,
11:54
people are experiencing deeply formative and traumatic losses every day.
241
714714
6394
watu wanapata hasara za kina na mbaya kila siku.
12:01
And as part of my job,
242
721132
2588
Na kama sehemu ya kazi yangu,
12:03
this weird podcast that I have,
243
723744
1682
hii podikasti ya ajabu niliyonayo,
12:05
I sometimes talk to people
244
725450
1248
kuna mda ninaongea na watu
12:06
about the worst thing that's ever happened to them.
245
726722
2984
kuhusu kitu kibaya kilichowahi kuwatokea.
12:09
And sometimes, that's the loss of someone they love,
246
729730
3031
Na saa nyingine, hio ni kupotelewa na mpendwa,
12:12
sometimes days ago or weeks ago, years ago, even decades ago.
247
732785
4690
mara nyingine siku, wiki miaka au miongo iliyopita.
12:18
And these people that I interview,
248
738373
2530
Na hawa watu ninaowahoji,
12:20
they haven't closed themselves around this loss
249
740927
2308
hawajajifungia wenyewe kwenye hii hasara
12:23
and made it the center of their lives.
250
743259
2350
na kuifanya sehemu kuu ya maisha yao.
12:25
They've lived, their worlds have kept spinning.
251
745911
4301
Wameishi, dunia zao zimeendelea kuzunguka.
12:31
But they're talking to me, a total stranger,
252
751478
3142
Lakini wanaongea na mimi, mgeni kabisa,
12:34
about the person they love who has died,
253
754644
1935
kuhusu mtu wanaempenda aliyekufa,
12:36
because these are the experiences
254
756603
3140
kwa sababu hivi ndivyo vitu tunavyopitia
12:39
that mark us and make us just as much as the joyful ones.
255
759767
5087
vinavyotuonyesha na kutufanya kama tu wale wenye furaha.
12:45
And just as permanently.
256
765355
1857
Na kama ilivyo ya kudumu.
12:48
Long after you get your last sympathy card
257
768895
2571
Baadae baada ya kupata kadi yako ya mwisho ya huruma
12:51
or your last hot dish.
258
771490
1467
au pishi la moto la mwisho.
12:53
Like, we don't look at the people around us
259
773546
2031
Kama, hatuangalii watu wanaotuzunguka
12:55
experiencing life's joys and wonders and tell them to "move on," do we?
260
775601
4499
wakipitia furaha na maajabu ya maisha na kuwaambia "wasonge mbele", ndio?
13:00
We don't send a card that's like, "Congratulations on your beautiful baby,"
261
780124
3556
Hatutumi kadi ambazo zinasema "Hongera kwa mtoto mzuri,"
13:03
and then, five years later, think like, "Another birthday party? Get over it."
262
783704
3691
halafu, miaka mitano baadae, tunawaza, "Sherehe nyingine ya kuzaliwa? Acha hizo."
13:07
(Laughter)
263
787419
1666
(Kicheko)
13:09
Yeah, we get it, he's five.
264
789109
1659
Ndio, tunaelewa, ana miaka mitano.
13:10
(Laughter)
265
790792
1428
(Kicheko)
13:12
Wow.
266
792244
1174
Wow.
13:13
(Laughter)
267
793442
1150
(Kicheko)
13:16
But grief is kind of one of those things,
268
796148
2016
Lakini maombolezo ni moja ya vile vitu,
13:18
like, falling in love or having a baby or watching "The Wire" on HBO,
269
798188
3779
kama kupenda au kuwa na mtoto au kuangalia "The Wire" kwenye HBO,
13:21
where you don't get it until you get it, until you do it.
270
801991
4082
ambapo hauelewi mpaka upate, mpaka ufanye.
13:27
And once you do it, once it's your love or your baby,
271
807219
5303
Na punde unavyofanya, punde ni mpenzi wako au mtoto wako,
13:32
once it's your grief and your front row at the funeral,
272
812546
5190
punde ni maombolezo yako na uko mstari wa mbele kwenye msiba,
13:37
you get it.
273
817760
1150
unaelewa.
13:39
You understand what you're experiencing is not a moment in time,
274
819315
4136
Unaelewa unachopitia sio sehemu ya mda,
13:43
it's not a bone that will reset,
275
823475
1942
sio mfupa kua utajirudi,
13:45
but that you've been touched by something chronic.
276
825441
2866
lakini kua umeguswa na kitu kikali.
13:48
Something incurable.
277
828919
1198
Kitu kisichotibika.
13:50
It's not fatal, but sometimes grief feels like it could be.
278
830141
2856
Hakiui, lakini saa nyingine yanakua kama yanaweza.
13:55
And if we can't prevent it in one another,
279
835269
3579
Na kama hatuwezi kuzuia miongoni mwetu,
13:58
what can we do?
280
838872
1317
nini tunaweza kufanya?
14:02
What can we do other than try to remind one another
281
842554
4320
Nini tunaweza kufanya zaidi ya kukumbushiana
14:06
that some things can't be fixed,
282
846898
2706
kua vitu vingine havirekebishiki,
14:10
and not all wounds are meant to heal?
283
850136
3182
na sio kila kidonda kinapaswa kupona.
14:14
We need each other to remember,
284
854493
3191
Tunahitajiana kukumbuka,
14:17
to help each other remember,
285
857708
1762
kusaidiana kukumbuka,
14:19
that grief is this multitasking emotion.
286
859494
2769
kua maombolezo ni hisia ya mambo mengi.
14:22
That you can and will be sad, and happy; you'll be grieving, and able to love
287
862287
5797
Kua unaweza na utakua na huzuni, na furaha; utaomboleza na kupenda
14:28
in the same year or week, the same breath.
288
868108
3239
kwenye mwaka au wiki au pumzi hio hio.
14:32
We need to remember that a grieving person is going to laugh again and smile again.
289
872982
5722
Tunahitaji kukumbuka kua mtu anaeomboleza ataenda kucheka na kutabasamu tena.
14:39
If they're lucky, they'll even find love again.
290
879498
3200
Wakibahatika, wanaweza hata kupenda tena.
14:43
But yes, absolutely, they're going to move forward.
291
883697
3466
Lakini ndio, hakika wataenda kusonga mbele.
14:48
But that doesn't mean that they've moved on.
292
888071
3000
Lakini hiyo haimaanishi kua wameendelea mbele.
14:52
Thank you.
293
892253
1159
Asanteni.
14:53
(Applause)
294
893436
6642
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7