Our story of rape and reconciliation | Thordis Elva and Tom Stranger

2,722,476 views ・ 2017-02-13

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Sophia Mwema Reviewer: Joachim Mangilima
00:11
[This talk contains graphic language and descriptions of sexual violence
0
11843
3441
[Majadiliano yana lugha na maelezo ya ukatili wa kijinsia
00:15
Viewer discretion is advised]
1
15308
1381
Mtazamaji anatahadharishwa]
00:16
Tom Stranger: In 1996, when I was 18 years old,
2
16713
2956
Tom Stranger: Mwaka 1996, nilipokuwa nina miaka 18,
00:19
I had the golden opportunity to go on an international exchange program.
3
19693
3607
Nilipata fursa ya kusoma nchi ngeni,
00:23
Ironically I'm an Australian who prefers proper icy cold weather,
4
23891
3721
La kushangaza mimi ni mzaliwa wa Australia anayependa baridi ya haswa,
00:27
so I was both excited and tearful when I got on a plane to Iceland,
5
27636
4859
hivyo nilikuwa na furaha na njonzi nilipopanda ndege kwenda Iceland,
00:32
after just having farewelled my parents and brothers goodbye.
6
32519
3223
baada ya kuwaaga wazazi wangu na ndugu.
00:36
I was welcomed into the home of a beautiful Icelandic family
7
36673
3055
Nilikaribishwa katika familia nzuri ya wana Iceland
00:39
who took me hiking,
8
39752
1401
ambao walinichukua katika matembezi,
00:41
and helped me get a grasp of the melodic Icelandic language.
9
41177
3091
na kunisaidia kuielewa lugha ya tuni ya wana Iceland.
00:45
I struggled a bit with the initial period of homesickness.
10
45033
2988
Mwanzo nilipambana na hisia za kutamani kurudi nyumbani
00:48
I snowboarded after school,
11
48045
1998
Baada ya shule, nilicheza mchezo wa kuteleza juu ya barafu
00:50
and I slept a lot.
12
50067
1363
na kulala sana.
00:52
Two hours of chemistry class in a language that you don't yet fully understand
13
52300
3938
Masaa mawili ya Kemia katika lugha ambayo bado hujaielewa,
00:56
can be a pretty good sedative.
14
56262
1782
inaweza kukuweka kulala vizuri.
00:58
(Laughter)
15
58068
1150
(Vicheko)
01:00
My teacher recommended I try out for the school play,
16
60456
2524
Mwalimu wangu ilipendekeza nishiriki katika igizo shuleni,
01:03
just to get me a bit more socially active.
17
63004
2330
ilinijumuike na wengine shuleni.
01:05
It turns out I didn't end up being part of the play,
18
65914
2501
Hata kama sikuwa sehemu ya igizo,
01:08
but through it I met Thordis.
19
68439
1907
hapo nilikutana na Thordis.
01:11
We shared a lovely teenage romance,
20
71271
2063
Tulifurahia simulizi letu la penzi la ujanani,
01:13
and we'd meet at lunchtimes to just hold hands
21
73358
2494
tulikula wote mchana, ili tu kushika mikono
01:15
and walk around old downtown Reykjavík.
22
75876
2146
na kutembea jiji la Reykjavík.
01:18
I met her welcoming family, and she met my friends.
23
78475
3262
Nilikutana na familia yake, naye alikutana na marafiki zangu.
01:22
We'd been in a budding relationship for a bit over a month
24
82495
2774
Tulikuwa katika urafiki karibia zaidi ya mwezi
01:25
when our school's Christmas Ball was held.
25
85293
2247
wakati shule iliandaa sherehe ya Krismasi
01:29
Thordis Elva: I was 16 and in love for the first time.
26
89872
3284
Thordis Elva: Nilikuwa miaka 16 na nimekutana penzi langu la kwanza.
01:33
Going together to the Christmas dance
27
93617
1797
Kwenda pamoja kwa sherehe ya Krismasi
01:35
was a public confirmation of our relationship,
28
95438
2797
Ilikuwa uthibitisho wa uhusiano wetu,
01:38
and I felt like the luckiest girl in the world.
29
98259
2967
na nilijisikia kama msichana mwenye bahati sana duniani.
01:41
No longer a child, but a young woman.
30
101250
2577
Sio tena mtoto, lakini mwanamke.
01:44
High on my newfound maturity,
31
104550
1913
mkakamavu katika upevu wangu mpya,
01:46
I felt it was only natural to try drinking rum for the first time that night, too.
32
106487
4360
Niliamini kuwa kujaribu kunywa kilo kwa mara ya kwanza,
01:51
That was a bad idea.
33
111316
2062
ulikuwa uamuzi mbaya.
01:53
I became very ill,
34
113402
1488
Niliumwa sana,
01:54
drifting in and out of consciousness
35
114914
1820
kupoteza fahamu na kutojielewa
01:56
in between spasms of convulsive vomiting.
36
116758
3125
katika misukosuko ya kutapika.
01:59
The security guards wanted to call me an ambulance,
37
119907
2964
Walinzi walitaka kuniitia gari la wagonjwa,
02:02
but Tom acted as my knight in shining armor,
38
122895
2989
lakini Tom aliatokea kuwa mkombezi wangu,
02:05
and told them he'd take me home.
39
125908
2035
na kuwaambia atanipeleka nyumbani.
02:08
It was like a fairy tale,
40
128602
1701
Ilikuwa kama simulizi za vichimbakazi,
02:10
his strong arms around me,
41
130327
1776
mikono yake yenye nguvu ikinishikilia,
02:12
laying me in the safety of my bed.
42
132127
2291
kuniweka katika usalama wa kitanda changu.
02:15
But the gratitude that I felt towards him soon turned to horror
43
135422
4527
Lakini shukrani yang kwake iligeuka haraka kuwa woga
02:19
as he proceeded to take off my clothes and get on top of me.
44
139973
4458
aliponivua nguo na kupanda juu yangu.
02:25
My head had cleared up,
45
145277
1336
nilikuwa nimepata fahamu,
02:26
but my body was still too weak to fight back,
46
146637
3127
lakini mwili wangu ulikuwa bado dhaifu mno kupambana,
02:29
and the pain was blinding.
47
149788
2334
na maumivu yalikuwa makali.
02:32
I thought I'd be severed in two.
48
152585
2083
Nilidhani nimegawanywa mara mbili.
02:35
In order to stay sane,
49
155624
1575
Ili kubaki timamu,
02:37
I silently counted the seconds on my alarm clock.
50
157223
3274
nilihesabu sekunde kwenye saa yangu.
02:41
And ever since that night,
51
161442
1735
Na tangu usiku huo,
02:43
I've known that there are 7,200 seconds in two hours.
52
163201
5774
Nimejua kwamba kuna sekunde 7200 katika masaa mawili.
02:50
Despite limping for days and crying for weeks,
53
170960
3238
Pamoja na kuchechmea na kulia kwa mawiki,
02:54
this incident didn't fit my ideas about rape like I'd seen on TV.
54
174222
4406
tukio hili halikuwakilisha mawazo yangu kuhusu ubakaji kama nilivyoona kwenye TV.
02:59
Tom wasn't an armed lunatic;
55
179181
2021
Tom hakuwa mwendawazimu mwenye silaha;
03:01
he was my boyfriend.
56
181226
1763
alikuwa mpenzi wangu.
03:03
And it didn't happen in a seedy alleyway,
57
183013
2609
Na haikutokea katika mahali pa ajabu,
03:05
it happened in my own bed.
58
185646
2061
ilitokea katika kitanda changu mwenyewe.
03:08
By the time I could identify what had happened to me as rape,
59
188553
3619
nilipotambua kwamba nimebakwa,
03:12
he had completed his exchange program
60
192196
1991
alikuwa amemaliza masomo yake
03:14
and left for Australia.
61
194211
1555
na kurudi kwao Australia.
03:16
So I told myself it was pointless to address what had happened.
62
196352
3643
Hivyo nilijiambia kuwa hakuna maana kufuatilia kilichotokea.
03:20
And besides,
63
200019
1185
Na zaidi,
03:21
it had to have been my fault, somehow.
64
201228
2595
ilibidi iwe kosa langu.
03:24
I was raised in a world where girls are taught
65
204505
2305
Nilikulia katika dunia ambapo wasichana hufundishwa
03:26
that they get raped for a reason.
66
206834
2162
kwamba wakibakwa ni kwa sababu.
03:29
Their skirt was too short,
67
209604
2565
sketi zao ni fupi mno,
03:32
their smile was too wide,
68
212193
2494
tabasamu zao kubwa mno,
03:34
their breath smelled of alcohol.
69
214711
2418
pumzi yao inanuka kileo.
03:37
And I was guilty of all of those things,
70
217837
2766
Nilikuwa na hatia ya mambo hayo yote,
03:40
so the shame had to be mine.
71
220627
2050
hivyo aibu ilibidi iwe yangu.
03:43
It took me years to realize
72
223495
1424
Ilinichukua miaka kutambua
03:44
that only one thing could have stopped me from being raped that night,
73
224943
3911
kwamba jambo moja tu ilngeweza kuzuia mimi kubakwa,
03:48
and it wasn't my skirt,
74
228878
2142
haikuwa sketi yangu,
03:51
it wasn't my smile,
75
231044
1950
haikuwa tabasamu langu,
03:53
it wasn't my childish trust.
76
233018
2196
haikuwa imani yangu ya kitoto.
03:55
The only thing that could've stopped me from being raped that night
77
235652
3734
Kitu pekee ambacho kingeweza kuzuia kubakwa
03:59
is the man who raped me --
78
239410
2050
ni aliyenibaka --
04:01
had he stopped himself.
79
241484
2013
kama angejizuia.
04:04
TS: I have vague memories of the next day:
80
244549
2111
TS: Sina kumbukumbu nzuri ya siku ya pili
04:07
the after effects of drinking,
81
247536
2314
athari ya kileo,
04:09
a certain hollowness that I tried to stifle.
82
249874
2789
utupu niliojaribu kukandamiza.
04:13
Nothing more.
83
253451
1214
Hakuna cha ziada.
04:15
But I didn't show up at Thordis's door.
84
255565
2291
Lakini sikuenda kwa Thordis.
04:19
It is important to now state
85
259229
1806
Sasa, ni muhimu kusema
04:21
that I didn't see my deed for what it was.
86
261059
2500
kwamba sikuona tendo langu kwa ubaya wake..
04:24
The word "rape" didn't echo around my mind as it should've,
87
264478
3048
Neno "ubakaji" halikuwepo katika mawazo yangu kama ilivyotakiwa,
04:28
and I wasn't crucifying myself with memories of the night before.
88
268459
3295
sikujisulibisha kwa kumbukumbu ya usiku uliopita.
04:33
It wasn't so much a conscious refusal,
89
273344
2374
Hata haikuwa mimi kukataa kwa fahamu,
04:35
it was more like any acknowledgment of reality was forbidden.
90
275742
3359
ila zaidi kuwa kukiri ukweli wowote ni haramu.
04:40
My definition of my actions completely refuted any recognition
91
280185
4114
Tafsiri yangu ya matendo yangu yalikanusha kutambua
04:44
of the immense trauma I caused Thordis.
92
284323
2277
madhara nilyomfanyia Thordis.
04:48
To be honest,
93
288274
1403
Kusema ukweli,
04:49
I repudiated the entire act in the days afterwards
94
289701
4094
Nilikemea kitendo chote siku za baadaye
04:54
and when I was committing it.
95
294578
1520
na wakati nilikuwa natenda.
04:57
I disavowed the truth by convincing myself it was sex and not rape.
96
297263
4509
Niliukataa ukweli kwa kuJIshawishi ilikuwa ngono sio ubakaji.
05:02
And this is a lie I've felt spine-bending guilt for.
97
302608
3866
Na huu ni uongo umekuwa ukiniwinda.
05:07
I broke up with Thordis a couple of days later,
98
307994
2247
Niliachana na Thordis siku kadhaa baadaye,
05:10
and then saw her a number of times
99
310265
1644
nilimuona mara kadhaa
05:11
during the remainder of my year in Iceland,
100
311933
2058
katika muda wangu uliobaki Iceland,
05:14
feeling a sharp stab of heavyheartedness each time.
101
314015
2893
nilijisikia vibaya na roho nzito kila wakati.
05:18
Deep down, I knew I'd done something immeasurably wrong.
102
318134
3962
Ndani, nilijua nimekosa vibaya mno.
05:23
But without planning it, I sunk the memories deep,
103
323146
3023
Lakini bila kukusudia, nilikandamiza kumbukumbu yote
05:26
and then I tied a rock to them.
104
326193
1781
ilikusahau kabisa.
05:30
What followed is a nine-year period
105
330035
1746
Kilichofuata ni miaka tisa
05:31
that can best be titled as "Denial and Running."
106
331805
3138
ya "Kuukana na kuukimbia ukweli."
05:35
When I got a chance to identify the real torment that I caused,
107
335830
4479
Nilipopata nafasi ya kutambua uhalisi wa unyama niliotenda,
05:40
I didn't stand still long enough to do so.
108
340333
2243
sikuweza kustahamili.
05:43
Whether it be via distraction,
109
343922
2057
Nilihekaheka, iwe kwa
05:46
substance use,
110
346003
1476
matumizi ya madawa,
05:47
thrill-seeking
111
347503
1618
kutafuta hatari
05:49
or the scrupulous policing of my inner speak,
112
349145
3349
au kukandamika hisia zangu,
05:52
I refused to be static and silent.
113
352518
2269
Nilikataa kukaa tuli na kimya.
05:56
And with this noise,
114
356747
1460
Na sauti hiyo,
05:58
I also drew heavily upon other parts of my life
115
358231
2969
nilitafakari katika sehemu nyingine za maisha yangu
06:01
to construct a picture of who I was.
116
361224
2171
ili kujenga picha ya mimi ni nani.
06:04
I was a surfer,
117
364456
1230
Nilikuwa surfer,
06:05
a social science student,
118
365710
1717
mwanafunzi wa sayansi za jami,
06:07
a friend to good people,
119
367451
2086
rafiki kwa watu wema,
06:09
a loved brother and son,
120
369561
2258
kaka mpendwa na mwana,
06:11
an outdoor recreation guide,
121
371843
1552
kiongozi wa burudani za nje ,
06:13
and eventually, a youth worker.
122
373419
1563
na hatimaye, mfanyakazi wa mambo ya vijana.
06:15
I gripped tight to the simple notion that I wasn't a bad person.
123
375939
4002
Nilshikilia imani kuwa sikuwa mtu mbaya.
06:21
I didn't think I had this in my bones.
124
381280
2080
Sikudhani nilikuwa na ukatili katika mifupa yangu.
06:23
I thought I was made up of something else.
125
383949
2070
Nilidhani nilikuwa tofauti.
06:26
In my nurtured upbringing,
126
386428
1560
Katika malezi yangu,
06:28
my loving extended family and role models,
127
388012
2346
upendo wa familia na jamaa,
06:31
people close to me were warm and genuine
128
391406
1935
watu wa karibu walikuwa wakarimu na wakweli
06:33
in their respect shown towards women.
129
393365
1895
katika heshima yao kwa wanawake.
06:36
It took me a long time to stare down this dark corner of myself,
130
396537
4826
Ilinichukua muda mrefu kuangalia kona ya kiza changu,
06:41
and to ask it questions.
131
401387
1634
na kujiuliza maswali hayo.
06:46
TE: Nine years after the Christmas dance,
132
406051
1975
TE: Miaka tisa tangu ile sherehe ya Krismasi,
06:48
I was 25 years old,
133
408050
1481
Nilikuwa nina miaka 25,
06:49
and headed straight for a nervous breakdown.
134
409555
2567
ninaelekea kuchanganyikiwa.
06:52
My self-worth was buried under a soul-crushing load of silence
135
412918
3624
thamani yangu ilizikwa na usiri
06:56
that isolated me from everyone that I cared about,
136
416566
3292
ulionitenga kutoka kwa kila mtu niliyemjali,
06:59
and I was consumed with misplaced hatred and anger
137
419882
2905
na chuki na hasira
07:02
that I took out on myself.
138
422811
1764
niliyoelekeza kwangu mwenyewe.
07:05
One day, I stormed out of the door in tears
139
425455
2610
Siku moja, nilitoka nje kwa hasira na machozi
07:08
after a fight with a loved one,
140
428089
1943
baada ya kugombana na mpendwa,
07:10
and I wandered into a café,
141
430056
1699
na kuingia katika café,
07:11
where I asked the waitress for a pen.
142
431779
2082
ambapo niliomba kalamu.
07:14
I always had a notebook with me,
143
434468
1846
Daima nilikuwa daftari pamoja nami,
07:16
claiming that it was to jot down ideas in moments of inspiration,
144
436338
3733
nikidai ilikuwa ni kwa ajili ya kuandika mawazo mapya,
07:20
but the truth was that I needed to be constantly fidgeting,
145
440095
4230
lakini ukweli ni kwamba nilihitaji daima kuriaria,
07:24
because in moments of stillness,
146
444349
1887
kwa sababu katika wakati wa utulivu,
07:26
I found myself counting seconds again.
147
446260
2645
nilijikuta nikihesabu sekunde tena.
07:29
But that day, I watched in wonder as the words streamed out of my pen,
148
449891
5009
Lakini siku hiyo, nilistaajabu jinsi maneno yalitoka kwenye kalamu yangu,
07:34
forming the most pivotal letter I've ever written,
149
454924
3061
kuandika barua muhimu maishani
07:38
addressed to Tom.
150
458009
1534
kwa Tom.
07:40
Along with an account of the violence that he subjected me to,
151
460115
3540
Pamoja na nakala ya ukatili alionitendea,
07:43
the words, "I want to find forgiveness"
152
463679
3183
maneno, "Nataka kutafuta msamaha"
07:46
stared back at me,
153
466886
1484
yalinishangaa,
07:48
surprising nobody more than myself.
154
468394
2415
kunishangaza mimi hasa.
07:51
But deep down I realized that this was my way out of my suffering,
155
471400
4686
Lakini ndani, niligundua hio Ilikuwa ni njia ya kujikomboa mateso yangu,
07:56
because regardless of whether or not he deserved my forgiveness,
156
476110
4037
kwa sababu, bila kujali kama alistahili msamaha wangu au la,
08:00
I deserved peace.
157
480171
2486
mimi nilistahili amani.
08:03
My era of shame was over.
158
483167
3000
Kipindi changu cha aibu kimefika kikomo.
08:07
Before sending the letter,
159
487992
1499
Kabla ya kutuma barua,
08:09
I prepared myself for all kinds of negative responses,
160
489515
2747
nilijitayarisha kwa kila aina ya majibu hasi,
08:12
or what I found likeliest: no response whatsoever.
161
492286
3747
kuliko vote: sikutarajia kupata jibu lolote.
08:17
The only outcome that I didn't prepare myself for
162
497036
2747
Tokeo ambalo sikujiandaa tu
08:19
was the one that I then got --
163
499807
2229
ndilo nililopata-
08:22
a typed confession from Tom, full of disarming regret.
164
502060
4911
barua ya kukiri kutoka Tom, iliyojaa majuto.
08:27
As it turns out, he, too, had been imprisoned by silence.
165
507438
4087
Yeye pia alikuwa amefungwa katika ukimya.
08:32
And this marked the start of an eight-year-long correspondence
166
512174
4050
Na huo ndio mwanzo wa mawasiliano ya yetu yaliyodumu miaka nane
08:36
that God knows was never easy,
167
516248
2424
Mungu anajua haikuwa rahisi kamwe,
08:38
but always honest.
168
518696
2168
lakini daima ukweli.
08:41
I relieved myself of the burdens that I'd wrongfully shouldered,
169
521537
3587
Nilitua dhulma yote niliyobeba,
08:45
and he, in turn, wholeheartedly owned up to what he'd done.
170
525148
3408
na yeye, kwa moyo wote alikiri alichofanya.
08:49
Our written exchanges became a platform
171
529235
2272
Mabadilishano yetu yakawa jukwaa la
08:51
to dissect the consequences of that night,
172
531531
2717
kuchambua matokeo ya usiku ule,
08:54
and they were everything from gut-wrenching
173
534272
2195
na ilikuwa kila kitu, kutoka maneno yaliyoumiza
08:56
to healing beyond words.
174
536491
2554
hadi uponyaji kupita maelezo.
08:59
And yet, it didn't bring about closure for me.
175
539433
3936
Na bado, haikuwa kunipa amani.
09:04
Perhaps because the email format didn't feel personal enough,
176
544178
3482
Labda kwa sababu barua pepe haikua binafsi ya kutosha,
09:07
perhaps because it's easy to be brave
177
547684
1911
labda kwa sababu ni rahisi kuwa jasiri
09:09
when you're hiding behind a computer screen on the other side of the planet.
178
549619
4108
wakati unajificha nyuma ya kompyuta upande wa pili wa dunia
09:13
But we'd begun a dialogue
179
553751
1786
Lakini tulianza mjadala
09:15
that I felt was necessary to explore to its fullest.
180
555561
3766
niliyohisi ni lazima kuchunguza kikamilifu.
09:19
So, after eight years of writing,
181
559892
2065
Hivyo, baada ya miaka nane ya kuandikiana,
09:21
and nearly 16 years after that dire night,
182
561981
3706
na karibia miaka 16 tangia usiku ule,
09:25
I mustered the courage to propose a wild idea:
183
565711
3831
nilikwamua ujasiri kupendekeza:
09:29
that we'd meet up in person
184
569566
1660
kwamba tukutane uso kwa uso
09:31
and face our past once and for all.
185
571250
2831
kuongelea historia yetu na kumalizana kabisa.
09:36
TS: Iceland and Australia are geographically like this.
186
576991
3193
TS: Kijiografia, Iceland na Australia zipo hivi.
09:41
In the middle of the two is South Africa.
187
581070
2247
Katikati, ni Afrika Kusini.
09:43
We decided upon the city of Cape Town,
188
583866
2905
Tuliamua kukutana mji wa Cape Town,
09:46
and there we met for one week.
189
586795
2044
kwa wiki moja.
09:50
The city itself proved to be a stunningly powerful environment
190
590246
3470
mji wenyewe ulikuwa ni uthibitisho fika kwa mazingira
09:53
to focus on reconciliation and forgiveness.
191
593740
2884
ya kufikia maridhiano na msamaha.
09:57
Nowhere else has healing and rapprochement been tested
192
597667
2639
Hakuna mahali pengine ambapo uponyaji wa mahusiano yamejaribiwa
10:00
like it has in South Africa.
193
600330
1634
kama nchini Afrika Kusini.
10:02
As a nation, South Africa sought to sit within the truth of its past,
194
602856
3867
Kama taifa, Afrika Kusini walitaka kuishi katika ukweli wa historia,
10:06
and to listen to the details of its history.
195
606747
2403
na kuwasikiliza maelezo ya historia yake.
10:10
Knowing this only magnified the effect that Cape Town had on us.
196
610639
3749
Kujua hii tu, athari ya Cape Town iliongezeka kwetu .
10:15
Over the course of this week,
197
615826
1462
Katika kipindi cha wiki hio,
10:17
we literally spoke our life stories to each other,
198
617312
2890
tulisimuliana hadithi ya maisha yetu kwa kila mmoja,
10:20
from start to finish.
199
620226
1590
kuanzia manzo hai mwisho.
10:23
And this was about analyzing our own history.
200
623125
2500
Na kuchambua historia yetu wenyewe.
10:27
We followed a strict policy of being honest,
201
627388
2833
Tulifuata sera kali ya kuwa wakweli,
10:30
and this also came with a certain exposure,
202
630245
2925
hii ilimaanisha kujiweka wazi,
10:33
an open-chested vulnerability.
203
633194
1906
uwazi kuhusu kasoro na mapungufu yetu.
10:36
There were gutting confessions,
204
636132
2127
Kulikuwa na kukiri,
10:38
and moments where we just absolutely couldn't fathom
205
638283
2824
na wakati ambapo sote hatukuweza kudhania kabisa
10:41
the other person's experience.
206
641131
1808
maaumivu ya mwingine.
10:44
The seismic effects of sexual violence were spoken aloud and felt,
207
644078
4894
Madhara ya ukatili wa kijinsia yalisemwa kwa sauti na hisia,
10:48
face to face.
208
648996
1330
uso kwa uso.
10:51
At other times, though,
209
651799
1503
Wakati mwingine,
10:53
we found a soaring clarity,
210
653326
2634
tuligundua ubayana uliyongezeka,
10:56
and even some totally unexpected but liberating laughter.
211
656984
4400
na hata vicheko visivyotarajiwa lakini vilitukomboa .
11:03
When it came down to it,
212
663070
1530
Ki ukweli,
11:04
we did out best to listen to each other intently.
213
664624
3628
tulijitahidi kusikilizana kwa makini.
11:09
And our individual realities were aired with an unfiltered purity
214
669224
5841
Na hali halisi yetu binafsi ziliwasilihwa kwa uhalisia wake
11:15
that couldn't do any less than lighten the soul.
215
675089
2376
kwamba hatukuweza kufanya lolote kuliko kurahisha uzito wa nafsi.
11:20
TE: Wanting to take revenge is a very human emotion --
216
680328
4045
TE: Kutaka kulipiza kisasi ni hisia ya kawaida kama binadamu --
11:24
instinctual, even.
217
684397
1638
ya kiasili, hata.
11:26
And all I wanted to do for years
218
686649
2011
Nilichotaka kufanya kwa miaka yote
11:28
was to hurt Tom back as deeply as he had hurt me.
219
688684
3969
ni kumdhuru Tom kama alivyoniumiza.
11:33
But had I not found a way out of the hatred and anger,
220
693478
3053
Lakini sikupata njia ya kutoa chuki na hasira yangu,
11:36
I'm not sure I'd be standing here today.
221
696555
2165
sina hakika kama ningekuwa nasimama hapa leo.
11:39
That isn't to say that I didn't have my doubts along the way.
222
699878
3927
Hivyo siyo kusema kwamba sikuwa na mashaka yangu njiani.
11:44
When the plane bounced on that landing strip in Cape Town,
223
704509
3661
Ndege ilipotua Cape Town,
11:48
I remember thinking,
224
708194
1603
Nakumbuka kufikiri,
11:49
"Why did I not just get myself a therapist and a bottle of vodka
225
709821
4206
"Kwa nini sikujipatia mtaalamu na chupa ya vodka
11:54
like a normal person would do?"
226
714051
2216
kama mtu wa kawaida? "
11:56
(Laughter)
227
716291
2920
(Vicheko)
11:59
At times, our search for understanding in Cape Town
228
719235
3205
Wakati mwingine, utafiti wetu wa uelewa Cape Town
12:02
felt like an impossible quest,
229
722464
2167
ulionekana kama jitihada isiyowezekana,
12:04
and all I wanted to do was to give up
230
724655
2099
na nilitaka kukata tu tamaa
12:06
and go home to my loving husband, Vidir,
231
726778
2216
na kurudi nyumbani kwa mume wangu mpenzi, Vidir,
12:09
and our son.
232
729018
1211
na mtoto wetu.
12:11
But despite our difficulties,
233
731814
2363
Lakini licha ya matatizo yetu,
12:14
this journey did result in a victorious feeling
234
734201
4628
safari hii ilileta hisia ya ushindi
12:18
that light had triumphed over darkness,
235
738853
3133
kwamba mwanga umeshinda giza,
12:22
that something constructive could be built out of the ruins.
236
742632
4312
kwamba kitu chema kinaweza kujengwa kutoka kwa magofu.
12:28
I read somewhere
237
748392
1325
Nilisoma mahali fulani
12:29
that you should try and be the person that you needed when you were younger.
238
749741
3861
kwamba unapaswa kujaribu na kuwa mtu uliyehitaji ulipokuwa mtoto.
12:33
And back when I was a teenager,
239
753626
1584
Na nilipokuwa kijana,
12:35
I would have needed to know that the shame wasn't mine,
240
755234
3848
Ningependa kujua kwamba aibu haikuwa yangu,
12:39
that there's hope after rape,
241
759106
2514
kwamba kuna matumaini baada ya kubakwa,
12:41
that you can even find happiness,
242
761644
1595
kwamba unaweza hata kupata furaha,
12:43
like I share with my husband today.
243
763263
1890
kama niliyonayo na mume wangu leo.
12:45
Which is why I started writing feverishly upon my return from Cape Town,
244
765681
4355
Ndiyo maana niliaanza kuandika niliporudi kutoka Cape Town,
12:50
resulting in a book co-authored by Tom,
245
770060
2724
kitabu na mwandishi mwenzangu Tom,
12:52
that we hope can be of use to people from both ends
246
772808
3185
kwamba tuna imani kinaweza kuwa msaada kwa pande zote mbili,
12:56
of the perpetrator-survivor scale.
247
776017
2304
aliyetendwa na kutenda.
12:59
If nothing else,
248
779000
1454
Vinginevyo,
13:00
it's a story that we would've needed to hear when we were younger.
249
780478
4135
ni hadithi tulipaswa kusikia tulipokuwa vijana.
13:06
Given the nature of our story,
250
786546
1821
Kutokana na hali ya hadithi yetu,
13:08
I know the words that inevitably accompany it --
251
788391
2776
Najua maneno ambayo huambatana nayo -
13:11
victim, rapist --
252
791753
2556
muathirika, mbakaji --
13:14
and labels are a way to organize concepts,
253
794333
2255
na majina yanayotumika kuapanga dhana,
13:16
but they can also be dehumanizing in their connotations.
254
796612
4382
lakini wanaweza pia huvua utu katika vidokezo yanavyomaanisha.
13:21
Once someone's been deemed a victim,
255
801658
2100
Mtu anapoonyeshwa kama muathirika,
13:23
it's that much easier to file them away as someone damaged,
256
803782
5233
ni rahisi sana kumpuuza kama bidhaa mbovu,
13:29
dishonored,
257
809039
1506
fedheha,
13:30
less than.
258
810569
1275
isiyo na thamani.
13:32
And likewise, once someone has been branded a rapist,
259
812463
2720
Na vivyo hivyo, mara moja mtu anapoitwa mbakaji,
13:35
it's that much easier to call him a monster --
260
815207
2546
ni rahisi zaidi kumuita zimwi -
13:38
inhuman.
261
818396
1299
mnyama.
13:40
But how will we understand what it is in human societies
262
820434
3031
Lakini ni jinsi gani tutaelewa nini katika jamii
13:43
that produces violence
263
823489
1581
kinazalisha ukatili
13:45
if we refuse to recognize the humanity of those who commit it?
264
825094
4479
kama sisi kunataa kutambua utu katika wale wanaoufanya?
13:50
And how --
265
830354
1164
13:51
(Applause)
266
831542
2179
(Makofi)
13:53
And how can we empower survivors if we're making them feel less than?
267
833745
5368
Na tunawezaje kuwawezesha waliopitia taabu kama hatuwathamini?
13:59
How can we discuss solutions to one of the biggest threats
268
839892
3427
Jinsi gani tunaweza kujadili ufumbuzi kwa moja ya vitisho kubwa
14:03
to the lives of women and children around the world,
269
843343
3274
katika maisha ya wanawake na watoto duniani kote,
14:06
if the very words we use are part of the problem?
270
846641
3823
kama majina tunayotumia ni sehemu ya tatizo?
14:13
TS: From what I've now learnt,
271
853606
2492
TS: Nilichojifunza,
14:16
my actions that night in 1996 were a self-centered taking.
272
856122
4573
matendo yangu usiku ule mwaka 1996 yalikuwa ya kibinafsi.
14:21
I felt deserving of Thordis's body.
273
861848
2123
Nilijisikia kustahili mwili wa Thordis.
14:25
I've had primarily positive social influences
274
865563
2865
Nilikuwa na misingi mizuri katika malezi na kijamii
14:28
and examples of equitable behavior around me.
275
868452
2541
na mifano ya tabia usawa.
14:31
But on that occasion,
276
871650
1197
Lakini katika tukio hilo,
14:32
I chose to draw upon the negative ones.
277
872871
2104
Nilichagua kufuata mifano mibaya.
14:35
The ones that see women as having less intrinsic worth,
278
875536
2896
Ambayo wanawake walikuwa na thamani ya chini ,
14:39
and of men having some unspoken and symbolic claim to their bodies.
279
879507
4411
na wanaume wana hati juu ya miili yao.
14:45
These influences I speak of are external to me, though.
280
885601
3009
Misukumo hii ilitokea nje kwangu.
14:49
And it was only me in that room making choices,
281
889402
2781
Ilikuwa mimi pekee katika chumba nifanya maamuzi,
14:52
nobody else.
282
892207
1228
hakuna mtu mwingine.
14:54
When you own something
283
894789
1785
Unapokiri kosa
14:56
and really square up to your culpability,
284
896598
2618
na kweli kuchukua hatia kwa matendo yako,
15:00
I do think a surprising thing can happen.
285
900079
2323
ninaamini mambo ya kushangaza yanaweza kutokea.
15:03
It's what I call a paradox of ownership.
286
903069
2307
Hiko nachoita kitendawili cha umiliki.
15:06
I thought I'd buckle under the weight of responsibility.
287
906809
2792
Nilidhani ningeelemewa na uzito wa wajibu.
15:10
I thought my certificate of humanity would be burnt.
288
910197
2883
Nilidhani cheti changu cha ubinadamu kingechomwa moto.
15:14
Instead, I was offered to really own what I did,
289
914296
3746
Badala yake, nilipewa umiliki wa makosa yangu,
15:18
and found that it didn't possess the entirety of who I am.
290
918968
3260
na kutambua kwamba haikumiliki ukamilifu wa mimi ni nani.
15:23
Put simply,
291
923280
1361
Kurahisisha,
15:24
something you've done doesn't have to constitute the sum of who you are.
292
924665
4516
kitendo ulichofanya haliwezi kuwa Jumla ya nafsi na utu wako.
15:30
The noise in my head abated.
293
930479
1658
Sauti katika kichwa changu zilikoma.
15:32
The indulgent self-pity was starved of oxygen,
294
932771
4028
Anasa ya kujihurumia iliyokuwa imekosa oksijeni,
15:36
and it was replaced with the clean air of acceptance --
295
936823
4473
na kubadilishwa na hewa safi ya kukubalika -
15:42
an acceptance that I did hurt this wonderful person standing next to me;
296
942478
4284
kukubalika kwamba nilimdhuru binadamu huyu wa ajabu anayesimama karibu na mimi;
15:46
an acceptance that I am part of a large and shockingly everyday grouping of men
297
946786
5599
kukubalika kwamba mimi ni sehemu ya kundi kubwa la kutisha la wanaume
15:52
who have been sexually violent toward their partners.
298
952409
2682
ambao wamekuwa wakatili kwa wapenzi wao.
15:56
Don't underestimate the power of words.
299
956751
2409
Usidharau nguvu ya maneno.
16:00
Saying to Thordis that I raped her changed my accord with myself,
300
960192
4641
Kutubu kwa Thordis kwamba nilimbaka ilibadili hiari yangu na mimi mwenyewe,
16:04
as well as with her.
301
964857
1260
na pia na yeye.
16:07
But most importantly,
302
967337
1472
Lakini muhimu zaidi,
16:08
the blame transferred from Thordis to me.
303
968833
3076
lawama ilhamishwa kutoka kwa Thordis kwangu.
16:13
Far too often,
304
973151
1151
Mara nyingi mno,
16:14
the responsibility is attributed to female survivors of sexual violence,
305
974326
4584
wajibu ni ulitokana kwa waathirika wa kike wa ukatili wa kijinsia,
16:18
and not to the males who enact it.
306
978934
2511
na si kwa wanaume ambao kutunga yake.
16:22
Far too often,
307
982556
1150
Mara nyingi mno,
16:23
the denial and running leaves all parties at a great distance from the truth.
308
983730
5082
kuukana ukweli huwaacha wahusika mbali na ukweli.
16:30
There's definitely a public conversation happening now,
309
990804
2780
Kuna mazungumzo katika umma sasa,
16:34
and like a lot of people,
310
994191
2179
na kama watu wengi,
16:36
we're heartened that there's less retreating
311
996394
2590
tuna imanishwa na hamasa ndogo
16:39
from this difficult but important discussion.
312
999008
2720
kwa majadiliano haya magumu lakini muhimu.
16:42
I feel a real responsibility to add our voices to it.
313
1002848
3638
Ninasikia wajibu kuongeza sauti zetu.
16:49
TE: What we did is not a formula that we're prescribing for others.
314
1009892
4659
TE: Tulichofanya sio formula tunayopendekeza kwa wengine.
16:55
Nobody has the right to tell anyone else how to handle their deepest pain
315
1015002
5533
Hakuna mtu ana haki ya kuwaambia mtu mwingine namna ya kushughulikia maumivu yao
17:00
or their greatest error.
316
1020559
1745
au kosa lao mkuu.
17:03
Breaking your silence is never easy,
317
1023156
2351
Kuvunja ukimya yako si rahisi kamwe,
17:05
and depending on where you are in the world,
318
1025531
2214
na kutegemea ni wapi katika dunia ulipo,
17:07
it can even be deadly to speak out about rape.
319
1027769
3212
inaweza hata kuwa ni kifo kuzungumzia kuhusu ubakaji.
17:11
I realize that even the most traumatic event of my life
320
1031908
4066
Nimetambua hata tukio baya la maisha yangu,
17:15
is still a testament to my privilege,
321
1035998
2759
bado ni ushahidi wa upendeleo kwangu,
17:18
because I can talk about it without getting ostracized,
322
1038781
3230
kwa sababu naweza kuzugumzia bila hofu ya unyanyapaa
17:22
or even killed.
323
1042035
1348
au hata kuuawa.
17:24
But with that privilege of having a voice
324
1044113
2929
Lakini pamoja na upendeleo wa kuwa na sauti
17:27
comes the responsibility of using it.
325
1047066
2858
huja wajibu wa kuitumia.
17:30
That's the least I owe my fellow survivors who can't.
326
1050553
4530
Hiyo ni angalau mimi deni langu kwa wenzangu wasiyoweza.
17:36
The story we've just relayed is unique,
327
1056661
3066
hadithi tuliyowasilisha ni ya kipekee,
17:39
and yet it is so common with sexual violence being a global pandemic.
328
1059751
4666
na bado ni ukatili wa kijinsia ni janga la kimataifa.
17:44
But it doesn't have to be that way.
329
1064441
2405
Lakini haifai kuwa njia hivyo.
17:47
One of the things that I found useful on my own healing journey
330
1067561
3016
Moja ya mambo nimeona muhimu katika safari yangu ya uponyaji
17:50
is educating myself about sexual violence.
331
1070601
2648
ni kujielimisha kuhusu ukatili wa kijinsia.
17:53
And as a result, I've been reading, writing
332
1073273
2414
Na matokeo yake, Nimekuwa nikisoma, kuandika
17:55
and speaking about this issue for over a decade now,
333
1075711
2653
na kuzungumzia suala hili kwa zaidi ya muongo mmoja sasa,
17:58
going to conferences around the world.
334
1078388
2552
kwenda katika makongamano duniani kote.
18:00
And in my experience,
335
1080964
1979
Katika uzoefu wangu,
18:02
the attendees of such events are almost exclusively women.
336
1082967
4631
wanaohudhuria mijadala hayo ni karibia wanawake pekee.
18:08
But it's about time that we stop treating sexual violence as a women's issue.
337
1088833
6616
Lakini ni wakati tuache kuona unyanyasaji wa kijinsia kama ya tatizo la wanawake tu.
18:15
(Applause)
338
1095473
5447
(Makofi)
18:28
A majority of sexual violence against women and men
339
1108889
4044
Ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wanaume
18:32
is perpetrated by men.
340
1112957
1883
unaofanywa na wanaume.
18:34
And yet their voices are sorely underrepresented in this discussion.
341
1114864
4408
Na bado sauti zao haziwakilishwi ipasavyo katika mjadala huu.
18:40
But all of us are needed here.
342
1120662
3901
Lakini sisi sote tunahitajika hapa.
18:45
Just imagine all the suffering we could alleviate
343
1125564
3885
Fikiria mateso tunaweza kupunguza
18:49
if we dared to face this issue together.
344
1129473
3934
kama sisi alijitokeza uso suala hili kwa pamoja.
18:54
Thank you.
345
1134700
1158
Asanteni.
18:55
(Applause)
346
1135882
4267
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7