A few ways to fix a government | Charity Wayua

81,061 views ・ 2017-03-20

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Sophia Mwema Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
Growing up in Kenya,
0
12844
1842
Tangu nilipokulia Kenya,
00:14
I knew I always wanted to study biochemistry.
1
14710
2551
nilijua nilitaka kusoma biokemia.
00:18
See, I had seen the impact of the high prevalence of diseases like malaria,
2
18908
5531
Unaona, nilishuhudia madhara ya magonjwa kama malaria,
00:24
and I wanted to make medicines that would cure the sick.
3
24463
2693
na nilitaka kutafuta dawa ya kutibu wagonjwa.
00:27
So I worked really hard,
4
27585
1385
Hivyo nilijituma kwa bidii,
00:28
got a scholarship to the United States, where I became a cancer researcher,
5
28994
3787
nikapata udhamini kutoka Marekani, ambapo nilikuwa mtafiti wa kansa
00:32
and I loved it.
6
32805
1229
na nilipenda kazi yangu.
00:34
For someone who wants to cure diseases,
7
34432
2087
Kwa mtu anayetaka kutibu magonjwa,
00:36
there is no higher calling.
8
36543
1711
hakuna wito mkubwa zaidi.
00:39
Ten years later, I returned to Kenya to do just that.
9
39141
3352
Miaka kumi baadaye, nilirudi Kenya kwa kufanya hilo tu.
00:43
A freshly minted PhD,
10
43021
1961
msomi mwenye PhD,
00:45
ready to take on this horrific illness,
11
45006
2201
tayari kupambana na ugonjwa huu kutisha,
00:47
which in Kenya was almost certainly a death sentence.
12
47231
2911
ambao ulikuwa kama adhabu ya kifo kwa hakika kwa Kenya.
00:51
But instead of landing a job in a pharmaceutical company
13
51421
2951
Badala ya kuchukua kazi katika kampuni ya madawa
00:54
or a hospital,
14
54396
1889
au hospitali,
00:56
I found myself drawn to a different kind of lab,
15
56309
2372
Nilijikuta nikiitikia wito katika maabara tofauti,
00:59
working with a different kind of patient --
16
59186
2376
kutibu mgonjwa wa aina nyingine --
01:01
a patient whose illness was so serious
17
61586
2354
mgonjwa ambaye ugonjwa wake ulikuwa mkubwa
01:03
it impacted every single person in my country;
18
63964
2885
na kuathiri kila mtu katika nchi yangu;
01:07
a patient who needed to get healthy fast.
19
67438
2340
mgonjwa aliyehitaji kuponwya upesi.
01:10
That patient was my government.
20
70148
2403
Mgonjwa huyo alikuwa serikali yangu.
01:13
(Laughter)
21
73946
1150
(Vicheko)
01:15
See, many of us will agree that lots of governments are unhealthy today.
22
75922
3602
Tazama, wengi wetu tunakubaliana kwamba serikali zetu leo zina afya mbovu.
01:20
(Laughter)
23
80696
2083
(Vicheko)
01:22
(Applause)
24
82803
4634
(Makofi)
01:28
And Kenya was no exception.
25
88634
1742
Na Kenya haina upekee.
01:30
When I returned to Kenya in 2014,
26
90795
2503
Niliporudi Kenya mwaka 2014,
01:33
there was 17 percent youth unemployment.
27
93322
2704
asilimia 17 ya vijana hawakuwa na ajira.
01:36
And Nairobi, the major business hub,
28
96605
2348
Na Nairobi, kitovu kuu cha biashara ,
01:38
was rated 177th on the quality of living index.
29
98977
4075
ilikuwa ya 177 kwa ubora wa maisha duniani.
01:43
It was bad.
30
103076
1204
hali Ilikuwa mbaya.
01:46
Now, an economy is only as healthy as the entities that make it up.
31
106090
4459
Sasa, afya ya uchumi inategemea afya ya mashirika ambayo huifanya.
01:51
So when government --
32
111007
1150
Hivyo serikali -
01:52
one of its most vital entities --
33
112181
1745
moja ya taasisi zake muhimu -
01:53
is weak or unhealthy,
34
113950
1438
inapokuwa dhaifu au ina afya mbaya,
01:55
everyone and everything suffers.
35
115412
1983
kila mtu na kila kitu vinateseka.
01:58
Sometimes you might put a Band-Aid in place
36
118342
2773
Wakati mwingine unaweza kuweka plasta
02:01
to try and temporarily stop the pain.
37
121139
2512
kujaribu kupunguza maumivu kwa muda
02:04
Maybe some of you here have participated
38
124552
1982
Labda baadhi yenu hapa mmeshiriki
02:06
in a Band-Aid operation to an African country --
39
126558
2979
katika wimbi la utoaji misaada Afrika --
02:09
setting up alternative schools, building hospitals, digging wells --
40
129561
4482
kuanzisha shule mbadala, kujenga hospitali, kuchimba visima --
02:14
because governments there either weren't or couldn't provide
41
134067
2937
kwa sababu serikali hazikutaka ama hazikuweza
02:17
the services to their citizens.
42
137028
1969
kuhudumia wananchi wao.
02:19
We all know this is a temporary solution.
43
139720
2809
Sote tunajua haya masuluhisho ni ya muda mfupi.
02:23
There are just some things Band-Aids can't fix,
44
143275
2785
Kuna baadhi ya mambo ambayo misaada haiwezi kutatua,
02:26
like providing an environment where businesses feel secure
45
146847
4389
kama kujenga mazingira ambapo wafanyabiashara hujisikia salama
02:31
that they'll have an equal opportunity
46
151260
1811
kuwa watakuwa na fursa sawa
02:33
to be able to run and start their businesses successfully.
47
153095
3242
kuweza kuanza na kuendesha biashara zao kwa ufanisi.
02:36
Or there are systems in place
48
156361
1814
Au kuna mifumo
02:38
that would protect the private property that they create.
49
158199
3041
ambayo huwawezesha kulinda mali walizovuna.
02:41
I would argue,
50
161264
1157
Ningependa kusema,
02:42
only government is capable of creating these necessary conditions
51
162445
3444
Serikali pekee ndiyo inaweza kujenga mazingira muhimu
02:45
for economies to thrive.
52
165913
1651
kwa ajili ya ustawi wa uchumi.
02:48
Economies thrive when business are able to quickly and easily set up shop.
53
168369
4838
Uchumi hustawi pale biashara zinaweza kuanzishwa kwa urahisi.
02:53
Business owners create new sources of income for themselves,
54
173231
3372
wamiliki wa biashara hujiekea vyanzo vipya vya mapato,
02:56
new jobs get added into the economy
55
176627
2451
ajira zinazoongezwa katika uchumi
02:59
and then more taxes are paid to fund public projects.
56
179102
3564
na mapato ya kodi ili kufadhili miradi ya umma.
03:03
New business is good for everyone.
57
183324
2463
Biashara mpya zinamnufaisha kila mtu.
03:06
And it's such an important measure of economic growth,
58
186235
2830
Na ni kipimo muhimu cha ukuaji wa uchumi,
03:09
the World Bank has a ranking called the "Ease of Doing Business Ranking,"
59
189089
3951
Benki ya Dunia ina kipimo kinachotwa "Mazingira ya Kufanya Biashara,"
03:13
which measures how easy or difficult it is to start a business
60
193064
3037
ambacho hulinganisha urahisi au ugumu wa kuanzisha biashara
03:16
in any given country.
61
196125
1597
katika nchi yoyote.
03:17
And as you can imagine,
62
197746
1619
Na kama unavyofikiria,
03:20
starting or running a business in a country with an ailing government --
63
200224
3621
kuanzisha au kuendesha biashara katika nchi ambayo serikali ni mgonjwa --
03:23
almost impossible.
64
203869
1449
karibia haiwezekani.
03:26
The President of Kenya knew this, which is why in 2014,
65
206252
3724
Rais wa Kenya alijua hili, hivyo mwaka 2014,
03:30
he came to our lab and asked us to partner with him
66
210000
3369
alikuja katika maabara yetu na kuomba tushirikiane naye
03:33
to be able to help Kenya to jump-start business growth.
67
213393
3270
kuisaidia Kenya katika ukuaji wa biashara.
03:37
He set an ambitious goal:
68
217509
1722
Aliweka lengo kuu:
03:39
he wanted Kenya to be ranked top 50 in this World Bank ranking.
69
219598
4922
alitaka Kenya kuwa kati ya nchi 50 za juu katika kipimo hiki cha Benki ya Dunia.
03:44
In 2014 when he came,
70
224987
2077
Mwaka 2014 alipokuja,
03:47
Kenya was ranked 136 out of 189 countries.
71
227088
4326
Kenya ilikuwa ya 136 kati ya nchi 189.
03:51
We had our work cut out for us.
72
231891
2156
kazi yetu ilikuwa bayana.
03:55
Fortunately, he came to the right place.
73
235412
2701
Bahati nzuri, alikuja kwa watu muafaka.
03:58
We're not just a Band-Aid kind of team.
74
238137
2327
Hatukuwa timu ya kutoa misaada tu.
04:00
We're a group of computer scientists, mathematicians, engineers
75
240488
3766
Sisi ni kundi la wanasayansi wa kompyuta, wanahisabati, wahandisi
04:04
and a cancer researcher,
76
244278
1937
na mtafiti wa kansa,
04:06
who understood that in order to cure the sickness
77
246239
2446
ambao tulielewa kwamba ili kutibu ugonjwa
04:08
of a system as big as government,
78
248709
2074
katika mfumo kubwa kama serikali,
04:10
we needed to examine the whole body,
79
250807
2400
tulibidi kuchunguza mwili mzima,
04:13
and then we needed to drill down all the way from the organs,
80
253231
3087
kisha tulibudi kuchimba ndani zaidi katika viungo,
04:16
into the tissues,
81
256342
1333
katika tishu,
04:17
all the way to single cells,
82
257699
1502
kote hadi kwa seli mojamoja,
04:19
so that we could properly make a diagnosis.
83
259225
2337
ili tunaweza kuchunguza vizuri.
04:22
So with our marching orders from the President himself,
84
262582
2831
Hivyo kwa maagizo ya Rais mwenyewe,
04:25
we embarked on the purest of the scientific method:
85
265437
3113
tulianza na njia halisi kabisa ya kisayansi:
04:28
collecting data --
86
268574
1175
kukusanya data
04:29
all the data we could get our hands on --
87
269773
2087
data zote tulizoweza kupata--
04:31
making hypotheses,
88
271884
1257
kuunda nadharia,
04:33
creating solutions,
89
273165
1237
kutafuta ufumbuzi,
04:34
one after the other.
90
274426
1192
mmoja baada nyingine.
04:36
So we met with hundreds of individuals who worked at government agencies,
91
276665
4035
Hivyo tulikutana na mamia ya watu waliofanya kazi katika mashirika ya serikali,
04:40
from the tax agency, the lands office, utilities company,
92
280724
3936
kuanzia vyombo vya kodi, ardhi, kampuni za huduma,
04:44
the agency that's responsible for registering companies,
93
284684
3468
shirika kenya jukumu la kusajili makampuni,
04:48
and with each of them, we observed them as they served customers,
94
288176
3599
na kwa kila mmoja yao, tuliwaangalia kama walivyohudumia wateja wao ,
04:51
we documented their processes -- most of them were manual.
95
291799
4613
tuliweka kumbukumbu ya michakato yao - mingi ilitegemea kazi ya mikono.
04:57
We also just went back and looked at a lot of their previous paperwork
96
297293
3456
Pia tulirudi kuangalia makaratasi ya kazi zao za awali
05:00
to try and really understand;
97
300773
2168
kujaribu kuelewa vyema zaidi;
05:02
to try and diagnose what bodily malfunctions had occurred
98
302965
3350
kujaribu kutambua nini katika mwili hakifanyi kazi vizor
05:06
that lead to that 136th spot on the World Bank list.
99
306339
3308
na kusababisha kuwa ya 136 katika orodha ya Benki ya Dunia.
05:10
What did we find?
100
310068
1303
Tuligundua nini?
05:11
Well, in Kenya it was taking 72 days
101
311794
4071
Naam, ilichukua siku 72 kwa
05:15
for a business owner to register their property,
102
315889
2944
mfanyabiashara kusajili mali yake Kenya,
05:18
compared to just one day in New Zealand,
103
318857
2397
ikilinganishwa na siku moja tu katika New Zealand,
05:21
which was ranked second on the World Bank list.
104
321278
2378
ambayo ilikuwa ya pili katika orodha Benki ya Dunia.
05:24
It took 158 days to get a new electric connection.
105
324647
4385
Ilichukua siku 158 kupata umeme.
05:29
In Korea it took 18 days.
106
329699
2432
Korea, ilichukua siku 18.
05:32
If you wanted to get a construction permit
107
332804
2053
Ukitaka kibali cha ujenzi
05:34
so you could put up a building,
108
334881
1520
ili kuweza kujenga,
05:36
in Kenya, it was going to take you 125 days.
109
336425
3571
Kenya, ilikuchukua siku 125.
05:40
In Singapore, which is ranked first, that would only take you 26 days.
110
340020
4446
Katika Singapore, ambayo ni nafasi ya kwanza, ilichukua siku 26.
05:45
God forbid you had to go to court
111
345400
2044
Hasha, ikubidi uenda mahakamani
05:47
to get help in being able to settle a dispute to enforce a contract,
112
347468
3887
kupata msaada kutatua mzozo na kutekeleza mkataba,
05:51
because that process alone would take you 465 days.
113
351379
4281
kwa sababu mchakato peke yake tu utachukua siku 465.
05:56
And if that wasn't bad enough,
114
356885
1932
Na kama hiyo halikuwa mbaya,
06:00
you would lose 40 percent of your claim in just fees --
115
360495
4152
utapoteza asilimia 40 ya madai yako katika ada tu --
06:04
legal fees, enforcement fees, court fees.
116
364671
2872
gharama ya kisheria, ya utekelezaji, ya mahakama.
06:08
Now, I know what you're thinking:
117
368928
2073
Sasa, najua kile unachofikiri:
06:12
for there to exist such inefficiencies in an African country,
118
372546
3667
ili kuwepo na uhaba huo wa ufanisi katika nchi ya kiafrika,
06:16
there must be corruption.
119
376237
1360
lazima kuwe na rushwa.
06:18
The very cells that run the show must be corrupt to the bone.
120
378311
3476
Seli kuu husika lazima iwe inahusishwa na rushwa.
06:22
I thought so, too, actually.
121
382792
1532
Nilidhani hivyo, pia.
06:24
When we started out,
122
384804
1153
Tulipoanza,
06:25
I thought I was going to find so much corruption,
123
385981
3488
Nilitarajia kukuta rushwa nyingi katika mfumo,
06:29
I was literally going to either die or get killed in the process.
124
389493
3496
Nilihisi ningekufa ama kuuawa katika mchakato.
06:33
(Laughter)
125
393013
1543
(Vicheko)
06:36
But when we dug deeper,
126
396766
1955
Lakini tulipochunguza kiundani,
06:38
we didn't find corruption in the classic sense:
127
398745
2635
hatukukuta rushwa katika maana ya kawaida:
06:41
slimy gangsters lurking in the darkness,
128
401926
3008
majambazi wakinyemea kwenye giza,
06:44
waiting to grease the palms of their friends.
129
404958
2317
wakisubiri lusaka mafuta mikono ya marafiki zao.
06:47
What we found was an overwhelming sense of helplessness.
130
407959
3986
Tulichogundua ni hisia kubwa ya unyonge.
06:53
Our government was sick,
131
413504
1262
Serikali yetu ilikuwa mgonjwa,
06:54
because government employees felt helpless.
132
414790
3524
kwa sababu wafanyakazi wa serikali walijiona wanyonge.
06:58
They felt that they were not empowered to drive change.
133
418813
3083
Walihisi hawakuwa na uwezo wa kuendesha mabadiliko.
07:02
And when people feel stuck and helpless,
134
422420
3636
Na watu wanapojisikia kukwama na wanyonge,
07:06
they stop seeing their role in a bigger system.
135
426788
2495
huacha kuona majukumu yao katika mfumo mzimo.
07:10
They start to think the work they do doesn't matter in driving change.
136
430085
4469
Huanza kufikiri kazi yao haijalishi katika kuendesha mabadiliko.
07:14
And when that happens,
137
434578
1806
Na hilo linapotokea,
07:16
things slow down,
138
436408
1593
mambo huenda polepole,
07:18
fall through the cracks
139
438025
1420
nyufa hujitokeza
07:19
and inefficiencies flourish.
140
439469
1766
na ukosefu wa ufanisi hunawiri.
07:22
Now imagine with me,
141
442991
1765
Sasa fikiria na mimi,
07:24
if you had a process you had to go through --
142
444780
3938
kama ulikuwa na mchakato ulibidi kufuata --
07:28
had no other alternative --
143
448742
1770
na hukuwa na njia nyingine --
07:30
and this process was inefficient, complex
144
450536
3047
na utaratibu huu ulikosa ufanisi, ulikuwa tata
07:34
and very, very slow.
145
454281
1390
na taratibu mno.
07:35
What would you do?
146
455695
1224
Ungefanya nini?
07:38
I think you might start by trying to find somebody to outsource it to,
147
458302
3328
Nadhani unaweza kujaribu kutafuta mtu mwingine akufanyie hilo jukumu,
07:41
so that they can just take care of that for you.
148
461654
2345
ili tu wafanye kwa niaba yako.
07:44
If that doesn't work,
149
464620
1404
Kama hafanikiwi,
07:47
maybe you'd consider paying somebody
150
467127
2010
labda utafikiria kumlipa mtu
07:49
to just "unofficially" take care of it on your behalf --
151
469161
3380
'kiholela' tu ili kufanya kwa niaba yako --
07:52
especially if you thought nobody was going to catch you.
152
472565
2758
hasa unapodhani hakuna mtu atakukamata.
07:56
Not out of malice or greed,
153
476610
2370
Sio kwa nia mbaya au uchoyo,
07:59
just trying to make sure that you get something to work for you
154
479004
3091
ili tu kuhakikisha mambo yanakuendea vizuri
08:02
so you can move on.
155
482119
1158
ili uweze kuendelea na biashara zako.
08:03
Unfortunately, that is the beginning of corruption.
156
483738
3010
Kwa bahati mbaya, huo ndio mwanzo wa rushwa.
08:07
And if left to thrive and grow,
157
487259
2323
Na kama ikiachwa kustawi na kukua,
08:09
it seeps into the whole system,
158
489606
1566
inavuja katika mfumo mzima,
08:11
and before you know it,
159
491196
1370
na kabla ya kujitambua,
08:12
the whole body is sick.
160
492590
1565
mwili mzima huumwa.
08:16
Knowing this,
161
496416
1293
Tukijua hili,
08:17
we had to start by making sure
162
497733
1555
tulianza kwa kuhakikisha
08:19
that every single stakeholder we worked with had a shared vision
163
499312
4577
kwamba kila mdau tuliyeshirikiana nae alikuwa na malengo kama yetu
08:23
for what we wanted to do.
164
503913
1429
kwa ajili ya tulichotaka kutimiza.
08:26
So we met with everyone,
165
506012
2034
Hivyo tulikutana na kila mtu,
08:28
from the clerk whose sole job is to remove staples
166
508476
2559
kuanzia karani ambaye kazi yake pekee ni kufungua
08:31
from application packets,
167
511059
1549
pakiti za maombi,
08:33
to the legal drafters at the attorney general's office,
168
513266
2985
hadi waandaaji wa sheria katika ofisi ya mwanasheria mkuu,
08:37
to the clerks who are responsible for serving business owners
169
517007
2997
kwa makarani mwenye wajibu kwa kuwahudumia wamiliki wa biashara
08:40
when they came to access government services.
170
520028
2432
walipo kuja kupata huduma za serikali.
08:43
And with them,
171
523377
1150
Na pamoja nao,
08:44
we made sure that they understood
172
524551
1572
tulihakikisha kwamba walielewa
08:46
how their day-to-day actions were impacting our ability as a country
173
526147
4747
jinsi matendo yao ya kila siku huathiri uwezo wetu kama nchi
08:50
to create new jobs and to attract investments.
174
530918
3075
kujenga ajira mpya na kuvutia uwekezaji.
08:54
No one's role was too small; everyone's role was vital.
175
534425
3560
hakuna jukumu dogo; jukumu la kila mtu lilikuwa muhimu.
08:59
Now, guess what we started to see?
176
539907
1875
Sasa, kisia tulianza kuona nini?
09:02
A coalition of government employees
177
542814
2013
Muungano wa wafanyakazi wa serikali
09:04
who are excited and ready to drive change,
178
544851
2112
wenye motisha wa kuleta mabadiliko,
09:06
began to grow and form.
179
546987
2065
ulianza kukua na kuonekana.
09:09
And together we started to implement changes
180
549747
2604
Na pamoja tuliaanza kutekeleza mabadiliko
09:12
that impacted the service delivery of our country.
181
552375
3232
yaliyoathiri utoaji wa huduma nchini.
09:16
The result?
182
556405
1424
Matokeo?
09:17
In just two years,
183
557853
2041
Katika miaka miwili tu,
09:19
Kenya's ranking moved from 136 to 92.
184
559918
3960
Kenya ilitoka kuwa ya 136 hadi ya 92.
09:24
(Applause)
185
564844
5960
(Makofi)
09:32
And in recognition of the significant reforms we've been able to implement
186
572340
4389
Na katika kutambua mageuzi tuliyoweza kutekeleza
09:36
in such a short time,
187
576753
1779
katika muda mfupi,
09:38
Kenya was recognized
188
578556
1881
Kenya ilitambuliwa
09:40
to be among the top three global reformers in the world
189
580461
3586
kuwa miongoni mwa nchi tatu kimataifa katika marekebisho
09:44
two years in a row.
190
584071
1416
miaka miwili mfululizo
09:46
(Applause)
191
586518
5380
(Makofi)
09:52
Are we fully healthy?
192
592984
1566
Je tuna afya nzuri kikamilifu?
09:55
No.
193
595376
1166
Hapana.
09:56
We have some serious work still to do.
194
596969
2432
Bado tuna kazi kubwa ya kufanya.
10:00
I like to think about these two years like a weight-loss program.
195
600156
3477
Napenda kufikiria miaka hii miwili kama harakati ya kupunguza uzito.
10:03
(Laughter)
196
603995
1576
(Vicheko)
10:06
It's that time after months of hard, grueling work at the gym,
197
606341
3962
Ni ule muda baada ya miezi ya bidii, na mazoezi makable,
10:10
and then you get your first time to weigh yourself,
198
610327
2430
na kisha unapopima uzito kwa mara ya kwanza,
10:12
and you've lost 20 pounds.
199
612781
1664
na umepoteza paundi 20.
10:14
You're feeling unstoppable.
200
614827
1782
Unajisikia hausimamishwiki.
10:18
Now, some of you may think this doesn't apply to you.
201
618517
4337
Sasa, baadhi yenu mnaweza kufikiria hili haliwahusu.
10:22
You're not from Kenya.
202
622878
1350
Wewe sio Mkenya.
10:24
You don't intend to be an entrepreneur.
203
624252
2142
Huna nia ya kuwa mwekezaji.
10:26
But think with me for just a moment.
204
626418
1962
Lakini kufikiri na mimi japo mara moja tu.
10:29
When is the last time you accessed a government service?
205
629134
3452
Lini mara ya mwisho ulipotumia huduma ya serikali?
10:33
Maybe applied for your driver's license,
206
633800
2776
Labda kupata leseni ya udereva,
10:36
tried to do your taxes on your own.
207
636600
3568
kufanya mahesabu ya kodi peke yako.
10:42
It's easy in this political and global economy
208
642464
2770
Ni rahisi katika uchumi huu wa kisiasa na dunia
10:45
to want to give up when we think about transforming government.
209
645258
3050
kutaka kukata tamaatunapofikiria kubadilisha serikali.
10:49
We can easily resign to the fact or to the thinking
210
649206
3501
Ni rahisi kujiuzulu kutoka kwa wajibu tu kwa kufikiria
10:52
that government is too inefficient,
211
652731
2342
kuwa serikali haina ufanisi,
10:55
too corrupt,
212
655097
1156
ina rushwa mno,
10:56
unfixable.
213
656277
1231
hairekebishiki.
10:58
We might even rarely get some key government responsibilities
214
658347
3437
Huenda tukapata majukumu muhimu katika serikali
11:01
to other sectors,
215
661808
1200
katika sekta nyingine,
11:03
to Band-Aid solutions,
216
663032
1169
katika suluhisho la utoaji misaada,
11:04
or to just give up and feel helpless.
217
664225
2568
au kukata tu tamaa na kujisikia wanyonge.
11:07
But just because a system is sick doesn't mean it's dying.
218
667849
3883
Lakini, kwa sababu tu mfumo unaumwa haina maana unakufa.
11:12
We cannot afford to give up
219
672509
2807
Hatuna starehe ya kukata tamaa
11:15
when it comes to the challenges of fixing our governments.
220
675340
3033
inapohusu changamoto za kuzirekebisha serikali zetu.
11:19
In the end,
221
679809
1156
Hatimaye,
11:22
what really makes a government healthy is when healthy cells --
222
682502
4175
serikali hula na afya pale tu ambapo seli huwa na afya--
11:26
that's you and I --
223
686701
1991
huyo ni wewe na mimi --
11:29
get to the ground,
224
689654
1647
kunuia,
11:31
roll up our sleeves,
225
691325
1284
kukunja mkono ya mashati yetu,
11:32
refuse to be helpless
226
692633
2105
kukataa kuwa wanyonge
11:34
and believe that sometimes,
227
694762
1796
na kuamini kuwa wakati mwingine,
11:36
all it takes is for us to create some space
228
696582
3230
kinachoitajika ili kujenga nafasi, ni sisi,
11:39
for healthy cells to grow and thrive.
229
699836
2215
kwa ajili ya seli kukua na kustawi.
11:42
Thank you.
230
702601
1157
Asante.
11:43
(Applause)
231
703782
6239
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7